Click here to load reader

HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI TANGAZO LA miembe mirefu Kusini – inapakana na mwisho wa nyumba ya Mohamedi Baraza. 3. KIWANJANI Mashariki – imepakana na barabara kuu ya kwenda

 • View
  30

 • Download
  0

Embed Size (px)

Text of HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI TANGAZO LA miembe mirefu Kusini – inapakana na mwisho wa...

 • 1

  HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI

  TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA MTAA (Tangazo la Serikali Namba 300 la tarehe 22 August, 2014).

  SN

  JINA LA KATA

  SN

  JINA LA MTAA

  MIPAKA YA MTAA

  MAELEZO

  1. JAMHURI 1. MTANGE Magharibi - umepakana na nyumba ya mama Halima na Wale. Mashariki- Umepakana na Bahari ya Hindi. Kaskazini - Umepakana na Mlima wa Ngweje na Shamba la Chumvi la Magereza. Kusini – Umepakana na Daraja la Ngurumahamba.

  2. KIDUNI Kaskazini – Umepakana na Mtaa wa Mtange. Mashariki – Umepakana na Bahari ya Hindi. Kusini – Umepakana na Mtaa wa Tulieni na barabara ya Ulimwengu inayoelekea Namwikuta. Magharibi – Umepakana na Kata ya N`gapa

  3. TULIENI Kaskazini – Umepakana na Mtaa wa Kuduni ikitenganishwa na barabara ya Ulimwengu. Mashariki – Umepakana na Bahari ya Hindi. Magharibi – Umepakana na Mtaa wa Mayani. Kusini – Umepakana na Mtaa wa Mitumbati ikitenganishwa na barabara ya Baba K.

 • 2

  4. MITUMBATI Kaskazini – Umepakana na Mtaa wa Tulieni ikitenganishwa na barabara ya baba K. Mashariki – Umepakana na Bahari ya Hindi. Magharibi – Umepakana na Mtaa wa Mayani ukitenganishwa na barabara kuu ya Mingoyo Lindi. Kusini – Umepakana na Kata ya Mingoyo.

  5. MAYANI Kaskazini – Umepakana na Mtaa wa Kiduni. Mashariki – Umepakana na Mtaa wa Mitumbati Magharibi – umepakana na kata ya N`gapa. Kusini – umepakana na Kata ya Mnazimmoja ukitenganisha na Kijiji cha Ruaha.

  Mtaa mpya

  2. CHIKONJI 1. LIKABUKU Mashariki – umepakana na barabara kuu ya kwenda Nangaru. Magharibi – imepakana na mtaa wa Mkanga. Kaskazini – imepakana na Kijiji cha Likwaya. Kusini – imepakana na Nyumba ya Mohamedi Nambea kuelekea barabara inayoenda Ofisi ya Kata mpaka kwa Bakari Kiwawaga.

  Mtaa mpya

  2. NANJINGA Mashariki – inapakana na kijiji cha Jangwani. Magharibi – inapakana na barabara kuu ya kwenda Nangaru.

  Mtaa mpya

 • 3

  Kaskazini – inapakana na miembe mirefu Kusini – inapakana na mwisho wa nyumba ya Mohamedi Baraza.

  3. KIWANJANI Mashariki – imepakana na barabara kuu ya kwenda Nangaru Magharibi – imepakana na kijiji cha Mkanga Kaskazini – imepakana kwenye mwembe wa Mkutano Kusini – imapakana na kwa Mtokoma hadi Mtutu

  4. KOLEJI Mashariki – inapakana na Kiijji cha Jangwani Magharibi – inapakana na Barabara kuu ya kutoka Mtange kwenda Nangaru Kaskazini – inapakana na visiwa vya kienyeji vya maji Kusini – inapakana na mmwiwi

  Mtaa mpya

  5. JANGWANI Mashariki – inapakana na Mitwero Magharibi – inapakana na mtaa wa Koleji Kaskazini – inapakana na mtaa wa Nanyanje Kusini – imepakana na Kineng`ene na Muhimbili

  6. NANYANJE Mashariki – imepakana na Mbanja Magharibi – imepakana na mtaa wa Nanjinga Kaskazini – imepakana na kijiji cha Likwaya

 • 4

  Kusini – imepakana na Mtaa wa Jangwani

  3. MWENGE 1. MAGOGONI Mashariki – imepakana na barabara kuu iendayo Dar es Salaam Magharibi – imepakana na nyumba ya Mr. Mpaka Kaskazini – imepakana na nyumba ya kanisa la Kagwa Kusini – umepakana na barabara kuu iendayo Dar es Salaam.

  2. MWENGE Mashariki – imepakana na nyumba ya Mzee Kamnokole. Magharibi – imepakana na barabara ya mzunguko Kaskazini – imepakana na barabara ya mzunguko Kusini - imepakana na barabara ya Bohari

  3. NHC Mashariki – imepakana na barabara kuu iendayo Dar es Salaam Magharibi – imepakana na barabara ya Kagwa Kaskazini – imepakana na barabara ya kwenda Mtanda Kusini – imepakana na nyumba ya mzee Kitenge

  4. KILIMAHEWA Mashariki – imepakana na barabara ya Mzunguko Magharibi – imepakana na Tanki kubwa la maji jipya. Kaskazini – imepakana na nyumba ya mzee Manyoma Kusini - imepakana na nguzo za umeme za laini kubwa

 • 5

  5. MIGOMBANI Mashariki – imepakana za kota za magogoni Magharibi - mepakana na nyumba ya Mkuu wa Wilaya Kaskazini – imepakana na kanisa la Kagwa Kusini – imepakana na Soko la Mwenge

  4. RAHALEO 1. MAJENGO Mashariki – imepakana na mtaa wa ufukoni barabara ya mzee Mbito kuelekea kwa Mzee Katenga Magharibi – imepakana na Kata ya Mwenge inaanzia nyumba ya Diwani Lihumbo Kaskazini – imepakana na Ofisi ya Kata ya Rahaleo inayoanzia nyumba ya Mama Mcharazo hadi mzee Mbito Kusini – imepakana na barabara ya Mchinga road kuelekea bahari ya Hindi hadi nyumba ya bi Mgwegwe karibu na daraja jirani na nyumba

  2. RAHALEO Mashariki – imepakana na Bahari ya Hindi Magharibi – imepakana na barabara kuu iendayo Dar es Salaam Kaskazini – imepakana na Idara ya Maji Kusini - imepakana na Ofisi ya Kata ya Rahaleo

  3. UFUKONI Mashariki –imepakana na Bahari ya Hindi Magharibi – imepakana na makaburi ya binti Sudi

 • 6

  Kaskazini - imepakana na mfereji uliopo nyuma ya nyumba za Walimu shule ya msingi Rahaleo. Kusini – imepakana na nyumba ya mama Stambuli

  4. MCHINGA ROAD

  Mashariki – unaanzia nyumba ya Mehbob iliyopakana na bahari ya Hindi. Magharibi – unaanzia jisoni nyuma ya nyumba ya Mzee Ngumba. Kaskazini – unaanzia nyumba ya Shekh Kinara iliyopakana na jiso na mtaa wa ufukoni. Kusini - unaanzia mwisho wa jiso kuelekea Idahoti hadi barabara ya Mchinga road

  5. MAKONDE 1. AMANI Mashariki – umepakana na Bahari ya Hindi Magharibi – unapakana na mtaa wa Ndoro juu barabara ya Makonde. Kaskazini – umepakana na mtaa wa ndoro chini, mtaa wa Msonobarini juu na mtaa wa Benki barabara ya Eliet Kusini – unapakana na mtaa wa Shekh Badi barabara ya Uhuru

  2. SHEKH-BADI Mashariki – Umepakana na Bahari ya Hindi. Magharibi – unapakana na Mtaa wa Ndoro juu-barabara ya Makonde. Kaskazini – umepakana na mtaa wa amani barabara ya uhuru. Kusini - -umepakana na kata ya Mikumbi barabara ya Market

 • 7

  6. MITANDI 1. MNUBI Mashariki – umepakana na Bahari ya Hindi Magharibi – unapakana na barabara ya kawawa. Kaskazini – umepakana na barabara ya Mchinga road kata ya Rahaleo. Kusini – unapakana barabara ya Mahengo.

  2. MANISPAA Mashariki – imepakana barabara ya Sailent. Magharibi – unapakana na barabara ya Halifa. Kaskazini – umepakana na barabara ya Mchinga road kata ya Rahaleo. Kusini - umepakana na barabara ya Mnarani.

  3. NAVETAVETA Kaskazini – imepakana na barabara ya Mchinga road. Mashariki – barabara ya Liwale Maghairbi - umepakana na barabara ya Sailent. Kusini – umepakana na barabara ya Mnalani (Kapilima).

  4. MAISALA Kaskazini – umepakana na barabara ya Mchinga (Mchinga road) Kata ya Rahaleo. Mashariki – umepakana na barabara ya Mbanja. Magharibi – umepakana na barabara ya Liwale. Kusini – umepakana na barabara ya Mnalani (Kapilima).

 • 8

  5. IDAHOTI Kaskazini – umepakana na barabara ya Mchinga road (Kata ya Rahaleo). Mashariki – umepakana na barabara ya Mbanja. Magharibi – umepakana na barabara ya Mbanja. Kusini – umepakana na barabara ya Mnalani (Kapilima).

  6. JAFF-PEMBE Kaskazini – umepakana na barabara ya Mnalani (Kapilima). Mashariki – umepakana na barabara ya Jamhuri. Magharibi umepakana na barabara ya Kawawa. Kusini umepakana na dula la Mzee Samji (Mhindi keep left)

  7. NG’APA 1 MBUYUNI Mashariki – inapakana na Mtaa wa Mkupama, mpaka ni Kalvati lililopo karibu na nyumbani kwa Bi Kulu. Magharibi – unapakana na Mtaa wa Mahakamani na Mapokeni na mpaka ni Ngotangota zamani ofisi ya CCM. Kusini – unapaka na mayani na shauri moyo. Kaskazini – unapakana na Kineng’ene.

  2. MAPOKEZI Mashariki – unapakana na Mtaa wa Mbuyuni. Magharibi – unapakana na Mtaa wa Kumbaila na mpaka ni mfereji uliopo karibu na kwa mzee Milanzi. Kusini – unapakana na Kata ya Mnazi mmoja mtaa wa Ruaha

  Mtaa mpya

 • 9

  pia kitongoji hicho kinajumuisha eneo la shauri moyo. Kaskazini – unapakana na Mtaa wa Mahakamani na mpaka ni barabara kuu itokayo Ngongo kuelekea Rutamba.

  3. MAHAKAMANI Mashariki – unapakana na Mtaa wa Mbuyuni, mpaka ngotangota zamani ofisi ya CCM. Magharibi – unapakana na Mtaa wa Livengula mpaka ni baada ya nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji cha Mbuyuni. Kusini – unapakana na mtaa wa Mapokezi na mpaka ni barabara ya kutoka Ngongo kuelekea Rutamba.

  Mtaa mpya

  4. MKUPAMA Mashariki – unapakana na Kata ya Jamhuri – mashambani. Magharibi – unapakana na mtaa wa Mbuyuni eneo la kalvati kwa Bi Kulu. Kusini – unapakana na Kata ya Jamhuri Mtaa wa Mayani mashambani. Kaskazini – unapakana na Kata ya Mtanda eneo la Kineng’ene mashambani.

  5. KUMBAILA Mashariki – unapakana na mtaa wa Mbuyuni nyumba ya Mzee Milanzi. Magharibi – unapakana na shamba la Kijiji (fens). Kusini – unapakana na Kijiji cha Ruaha mashambani. Kaskazini – unapakana na barabara iendayo Rutamba.

  Mtaa mpya

 • 10

  6. LIVENGULA Mashariki – unapakana na mtaa wa Mbuyuni – eneo la nyumba ya Nandonde. Magharibi – unapakana na eneo la Sekondari. Kusini – unapakana na barabara Kaskazini – unapakana na Kijij