5
A Ijumaa Aprili 26, 2013 KUWAUNGA MKONO WADAU WA MAPINDUZI YA MKUTANO KUJADILI HATMA YA UFADHILI WA KILIMO KATIKA AFRIKA [email protected] Wasiliana nasi bure kwa ujumbe mfupi kwenye simu andika KILIMO kwenda 15774 "Yaliyopita yanafuta matumaini yajayo… Nchi za SADC ziliahidi kutenga katika bajeti zao “ sio chini ya asilimia 10 “ kwa sekta hiyo kwa mwaka 2008/09. Sasa ni miaka 4 tangu muda maalum huo uliopangwa umepita lakini hakuna utekelezaji. Hali hiyo inaashiria changamoto kwa mkutano wa kimataiifa wa Sacau unaoatarajiwa kufanyika Dar mwezi ujao.

Nipashe Kilimo Kwanza

Embed Size (px)

DESCRIPTION

The Guardian Kilimo Kwanza issue 52 SEND Nipashe Kilimo Kwanza issue 49 YOUR COMMENTS FOR FREE TO 15774 BY STARTING WITH THE WORD “KILIMO” FOLLOWED BY YOUR COMMENTS

Citation preview

Page 1: Nipashe Kilimo Kwanza

AIjumaa Aprili 26, 2013 KUWAUNGA MKONO WADAU WA MAPINDUZI YA

MKUTANO KUJADILIHATMA YA UFADHILIWA KILIMOKATIKA AFRIKA

[email protected] nasi bure kwa ujumbe mfupi kwenye simu andika KILIMO kwenda 15774

“ "Yaliyopita yanafuta matumaini yajayo…Nchi za SADC ziliahidi kutenga katika bajeti zao “ sio chini ya asilimia 10 “ kwasekta hiyo kwa mwaka 2008/09. Sasa ni miaka 4 tangu muda maalum huouliopangwa umepita lakini hakuna utekelezaji. Hali hiyo inaashiria changamotokwa mkutano wa kimataiifa wa Sacau unaoatarajiwa kufanyika Dar mwezi ujao.

Page 2: Nipashe Kilimo Kwanza

Na Mwandishi Wetu

MSINGI wa kuendeshasekta ya uchumikuwa na kanuni zaudhibiti unalengakuboresha na kulin-da kiwango na usala-

ma wa bidhaa zinazozalishwa na kutu-miwa na katika kila nchi.

Utaratibu huo una manufaa ya us-alama kwa walaji na pia ni jambomuhimu katika kuweka mfumo mzuriwa biashara, kwa mujibu wa wazal-ishaji na wataalam wa uchumi.

Hata hivyo, suala hilo halipo kati-ka mfumo wa uendeshaji sekta yamaziwa nchini, ingawa hali halisi nimbaya, kwa sababu kanuni zilizopo zi-naongeza zaidi gharama za uendeshajiwa shughuli za biashara kuliko kukuzasekta yenyewe.

Kanuni zilizopo pia zinapunguzaushindani katika mfumo wa biasharaya sekta hiyo miongoni mwa nchi zaAfrika Mashariki.

Matokeo yake maendeleo ya sektaya maziwa nchini Tanzania na Ugandakwa sasa ni ushahidi tosha juu ya haliiliyopo katika ukanda wote wa mataifaya Afrika Mashariki.

Kabla ya sekta ya maziwa kuin-gizwa katika mfumo wa soko huru mi-

aka ya 1990, kampuni za maziwa nchi-ni Uganda na Tanzania zilibinafsish-wa. Ili kufanikisha zoezi la utaifishajiUganda ilitoa motisha nzuri kulikoTanzania. Hali hiyo iliwezesha Ugandakusindika asilimia kati ya 10 na 20 yamaziwa yanayozalishwa nchini humowakati Tanzania ilisindika asilimiatatu peke yake.

Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka2011 juu ya mpango wa chama chakutengeneza bidhaa zitokanazo namaziwa Tanzania (Tampa), viwanda35 vya maziwa nchini vilikuwavinasindika jumla ya lita 112,500 kwasiku mwaka 2005.

Kampuni ya Sameer ya Ugandailikuwa inasindika zaidi ya lita 300,000kwa siku, kampuni za KCC naBrookside zilikuwa zinazalisha zaidi yalita 600,000 kwa siku nchini Kenya,kwa mujibu wa utafiti.

Sekta moja inadhibitiwa na kanuni15 na sheria 25

Tafiti hizo zinaonyesha kuwa sektaya maziwa katika Tanzania inaratibi-wa kwa kutumia zaidi ya kanuni 15 zi-natekelezwa kwa kutumia vifungu 25vya vinavyozingatia kanuni 25.

Ripoti za tafiti hizo zinaeleza kuwataratibu za kisheria zimeelekezwa zai-di katika kudhibiti kuliko kuijengeasekta binafsi mazingira ya kushamiri

na kukuza mchango wake kwa taifa. Majukumu ya kudhibiti sekta ya

maziwa yanatekelezwa kwa njia zenyeutata mkubwa unaozuia kuwapo kwamazingira rafiki katika utekelezaji wakazi hiyo.

Kuna mlolongo mrefu wa kazi zaukaguzi unaosababisha hata kazi yakupima bidhaa zinazozalishwa ku-tokana na maziwa kufanyika bilampangilio. Wapo maofisa wanaohusikana usalama wa vyakula na afya yawafanyakazi kutoka mamlaka tofautitofauti wanaofanyakazi ya kukaguamaziwa na bidhaa zitokakanazo namaziwa zinazoingia katika soko.

Inaelezwa pia leseni zinazotakiwakwa ajili ya maeneo ya shughuli zauzalishaji katika sekta ya maziwa ninyingi. Kampuni inayozalisha aina sitatofauti za bidhaa zitokanazo na mazi-wa analazimika kuwa na leseni 15 to-fauti zinazofanyiwa mabadiliko kilamwaka. Hii ni kwa sababu serikaliinatumia kanuni hizo kama chanzo chamapato ambayo ukusanyaji wakehauzingatii gharama za uendeshaji wasekta hiyo na umuhimu wa hudumakwa jamii.

Hali ilivyo Uganda Mwenendo wa sekta hiyo nchini

Uganda ni tofauti kulinganisha na

Tanzania. Shughuli za makampuni yamaziwa nchini humo zinaratibiwa naMamlaka ya Mandeleo ya Sekta yaMaziwa (DDA). Hiyo ndiyo mamlakapekee iliyopewa jukumu la kuratibusekta hiyo.

Utaratibu huo umekubaliwa nataasisi zote zinazotengeneza bidhaa zamaziwa (UDPA) na pia umekubaliwana mamlaka zinazoshughulikia masu-ala ya udhibiti wa bidhaa hiyo.

DDA kwa upande wakeimeanzisha uhusiano mkubwa nawadau wengine wanaoratibu shughulihiyo. Mamlaka ya Mapato ya Uganda,kwa mfano, haiwezi kuruhusu kuin-giza nchini humo bidhaa zitokanazo namaziwa kutoka nje bila kuwa na kibalicha DDA.

Hali hiyo inapaswa kuwa darasakwa Tanzania ikiwa inataka sekta hiyokupata maendeleo na kushindana nanchi nyingine katika biashara chini yamwavuli wa ushirikiano wa Afrikamashariki.

Madhara ya udhibiti dhidi ya sektaya maziwa nchini Tanzania ni mkub-wa. Kwa mujibu wa ripoti ya Tampa,wajasiriamali katika sekta hiyowanaingia gharama wanapotekelezamasharti ya kanuni za biashara hiyo.

Gharama hizo zinatokana na fedhakwa ajili ya matumizi ya kusimamia

shughuli za udhibiti, gharama za uzal-ishaji, ukaguzi na faini wanazotozwawazalishaji.

Inaelezwa kuwa wazalishaji wado-go wa maziwa, kwa mfano anayezal-isha lita 6,000 kwa siku analipa shilin-gi 12,000,000 anapoanza mradi huo nakodi ya shilingi 48,000,000.

Kutokana na hali hiyo, iwapoTanzania inatengeneza asilimia 50 yabidhaa zitokanazo na maziwa, atalipakodi ya shilingi bilioni 20.4 kwa mujibuwa utaratibu unaotumika kudhibitimwenendo wa shughuli hiyo kwa sasa.

Madhara kwa uzalishajiKwa mujibu wa tafiti, sekta hiyo

inapoteza shilingi bilioni 12.91 ikiwa niushuru kwa mwaka.

Zaidi ya ajira 76,500 na shilingi bil-ioni 103 zikiwa ni kodi ya mapato zi-napotea kutokana na sekta hiyokushindwa kufikia kiwango cha kuten-geneza asilimia 50 ya maziwa yanay-ozalishwa nchini. Sera ya taifa ya mifu-go inalenga kuhamasisha maendeleoya sekta ya mifugo ili iweze kutumiafursa zilizopo kuchangia maendeleo yauchumi wa taifa.

Sekta hiyo pia ina nafasi yake kati-ka kuimarisha usalama wa vyakula nakuongeza ajira. Umuhimu huounaongeza haja ya kuwapo nia ya kui-jengea mazingira bora sekta hiyo iliitoe huduma kwa ushindani.

Tanzania imepewa bahati kubwaya rasilimali ya ardhi na mifugo. Katiya hekta milioni 88.6 za ardhi, milioni60 ni mbuga ambayo ina nafasi kwamatunzo ya mifugo milioni 20 na inay-oweza kutoa asilimia 90 ya malishokwa mifugo.

Kati ya mifugo hiyo milioni 21.3 ning’ombe, milioni 15.2 ni mbuzi.Tanzania inashika nafasi ya tatubarani Afrika kwa kuwa na idadi kub-wa ya ng’ombe na mbuzi baada yaEthiopia na Sudan, kwa mujibu wawizara ya mifugo na uvuvi.

Kinachofanyika kurekebisha haliChini ya uongozi wa Chama wa-

tengeneza bidhaa za maziwa Tanzania(Tampa) na bodi ya maziwa Tanzania(TDB) tayari kanuni zimeanza ku-fanyiwa kazi ili kuondoa dosari unaok-wamisha mafanikio katika biashara yasekta ya maziwa.

Edmund Mariki, katibu mtendajiwa Tampa hatua zinazochukuliwa zi-tasaidia kuwavutia wawekezaji katikasekta ya mifugo ya Tanzania.

Dk Goodluck Urassa, mshauri wamasuala ya biashara aliyeko Dar esSalaam, anasema mamlaka za udhibitiwa sekta hiyo zinapaswa kufanya kazikwa ufanisi zinapotekeleza majukumuyake. Mkurugenzi wa kampuni yamaziwa iitwayo Tan Dairies,Devangwa Mmari anashauri serikalikuwa na mfumo moja wa uratibu naukaguzi na kupunguza uwingi wa sa-fari za kwenda viwandani mara kwamara badala yake kufanya kazi hiyoifanyike mara moja.

Kwa sasa mamlaka zinazofanyakazi hiyo ni pamoja na bodi ya maziwaTanzania (TDB), shirika la viwango(TBS) baraza la mazingira Tanzania(NEMC), Mkemia mkuu wa serikali(GCLA), mamlaka ya usalama na afyakazini (Osha) na Mamlaka ya vyakulana madawa (TFDA).

3MAZIWA2 UJUMBE WETUIjumaa Aprili 26, 2013 Ijumaa Aprili 26, 2013

NDANI

KATIKA siku kama ya leo, April26, miaka 49 iliyopita,Tanganyika na Zanzibar ziliun-gana kuunda Jamhuri yaMuungano - Tanzania.

Malengo ya msingi ya Muungano ni pamojana kujenga umoja na kuimarisha usalama nakatika eneo hilo, ushirikiano wa wananchi wapande hizi mbili umepata mafanikio makubwa.

Lakini wakati tunafurahia mafanikio hayona Muungano kunatimiza umri wa miaka 49,tunadhani pia kuna dosari nyingi za kisheria nakiutendaji zinazoibua malalamiko ya msingi juuya uendeshaji wa shughuli za mfumo huu.

Dosari zinazolalamikiwa ni pamoja naTanzania kuwa na mifumo miwili ya kodi - zaSerikali ya Muungano na Serikali ya MapinduziZanzibar. Mfumo uliopo wa kodi unazuia ukua-ji wa uchumi kwa sababu utekelezaji wakeumesababisha Tanzania kuwa na kodi nyingi.

Mlolongo wa kodi hizo una athari kubwakwa maendeleo ya sekta ya biashara ya ummana ya binafsi na ambayo ndiyo chanzo kikubwacha pato la taifa, kutokana na kuchangia sehe-mu kubwa kwa njia ya kulipa kodi na ushuru.

Sekta binafsi na ya umma ndiyo mzalishajimkubwa wa bidhaa zinazoibua msingi wa bi-ashara ya ushindani nchini, lakini shughuli zasekta hiyo zinaratibiwa na sheria nyingi nahivyo kuinyima hata fursa ya kusaidia kuibuaajira kwa maana ya ujasiriamali unaotegemwakuwa msingi wa kuwawezesha wananchi kuon-dokana na umasikini.

Ipo mifano mingi inayoonyesha Tanzaniakuwa na sheria na kanuni nyingi za udhibiti wamwenendo wa shughuli za sekta binafsi. Sektaya maziwa kwa sasa shughuli zake zinaratibiwakwa kutumia kanuni 15 ambazo utekelezajiwake nao unafanyika kwa kutumia vifungu 25vya sheria.

Mbali na mlolongo wa kanuni na sheria, uk-

aguzi wa sekta hiyo pia unafanywa na utitiri wamaofisa wanaorudiarudia kazi iliyofanywa nawaliotangulia.

Pia wapo maofisa wanaohusika na usalamawa vyakula na afya ya wafanyakazi kutokamamlaka tofauti tofauti wanaofanyakazi yakukagua maziwa na bidhaa zitokakanazo namaziwa zinazoingia katika soko.

Kila bidhaa inayozalishwa kutokana namaziwa pia inatakiwa kuwa na leseni tofauti naya bidhaa nyingine pia inatokana na maziwa.Hali hiyo imesababisha uzalishaji bidhaa zi-tokanazo na maziwa nchini Tanzania kuwa naleseni 15.

Mbali na leseni nyingi, taasisi za kuku-sanya kodi na ushuru nazo vile vile ni utitiri.Udhibiti huo umesababisha sekta binafsi yaumma kukosa maendeleo kwa kipindi cha mia-ka 49 ya Muungano, 50 ya uhuru waTanganyika na 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Tunaamini nafasi ipo kwa Tanzania kui-

jengea mazingira rafiki ya kuiwezesha sekta bi-nafsi kujenga msingi wa biashara ya ushindani.Moja ya njia za kuondoa dosari za sasa nikupunguza utitiri wa kodi na pia kuwe nadirisha moja la kulipia kodi, yaani one stop cen-tre kwa lengo la kupunguza kero kwa walipakodi.

Vinginevyo pumzi ya malalamiko dhidi yaMuungano pia itazidi kupanda badala yakushuka.

Jesse KwayuMhariri

Kodi ijengewemazingira rafiki kwa

sekta ya biashara

3

Tahadhari kwa ulaji vyakula ilikupunguza hatari ya saratani

8

Msaada wa Best-AC umeletamafanikio ZNCCIA

6

Kanuni nyingi zinaongezagharama katika biashara

Kanuni nyingi zinaongezagharama katika biashara

Tuma maoni yako bureukianza na neno MAZIWAkwenda namba 15774

Page 3: Nipashe Kilimo Kwanza

Nchi za SADC ziliahidikutenga bajeti ya "siochini ya asilimia 10 "kwa sekta mwaka2008/09. Sasa ni miakaminne imepita yatarehe ya mwisho naongezeko hili badohalijazaa matunda.Kama kuna kitu, kuhusumgawo wa bajeti nikwamba imekuwaikipungua. Hii inajengaimani kuwa hali hiyo yazamani inaonekanakufuta matumaini yabaadaye!Mkutano wa Kusini mwaAfrika wa Shirikisho laVyama vya Kilimo(SACAU) ambayoHalmashauri ya KilimoTanzania (ACT) nimwanachama, itafanyamkutano mkuu wamwaka wa sera namkutano mkuu (AGM)kutoka Mei 13-15 Meimwaka huu katikaHoteli ya White Sandsjijini Dar es Salaam.Kaulimbiu ya mkutanohuu muhimu itakuwa "Ufadhili wa KilimoAfrika". Kusoma juu ya ...

Na Milly Sanga, ACT

Mtazamo kuhusu maamuzi

Washiriki katikamkutano huo wabara wanatarajiwakutathmini kiwangocha kuwekeza kati-ka kilimo na kupen-

dekeza jinsi ya kuboresha hali halisikwa kujenga mazingira mazuri ya ku-vutia uwekezaji zaidi katika sektahiyo.

Hii ni pamoja na kuendelezaushirikiano wa nguvu na sekta binafsi,ikiwa ni pamoja na taasisi za fedha nabiashara ya kilimo.

Washiriki pia watajadili mwenen-do na mtazamo wa baadhi ya bidhaaza kilimo hasa nafaka, miwa, mbeguza pamba, mafuta, mazao ya mboga namaua, mifugo, na uvuvi.

5

A

HABARI YA MBELE4

A

HABARI YA MBELEIjumaa Aprili 26, 2013 Ijumaa Aprili 26, 2013

WashirikiMkutano unatarajiwa kutoa man-

ufaa mengii. Washiriki, wapatao 200–wakiwamo wakulima, watunga serana wataalam katika sekta hii, watato-ka katika nchi 12 zikiwamo,Zimbabwe, Zambia, Madagascar,Malawi, Namibia, Swaziland,Msumbiji, Shelisheli, Lesotho,Botswana, Afrika Kusini na mwenyejiTanzania.

Katika orodha ya washiriki wapopia wawakilishi, taasisi za wadaukama CTA, Norad, Agra / Fosca, Usaid,SCC, ILC, IFAD, SADC, Comesa,Jumuiya ya Afrika Mashariki,NEPAD, Benki ya Maendeleo yaAfrika, Grow Afrika, Pafo, na vyombovya habari.

RatibaSiku mbili za kwanza ni kwa ajili

ya kongamano. Mkutano Mkuu waMwaka utafanyika siku ya tatu, ukifu-atiwa na ziara ya mafunzo ili kuan-galia shughuli za kilimo katika sham-ba la jumuiya ya wakulima wa mpun-ga Bagamoyo na shamba la mkongeUbena Zomozi jirani ya mji waChalinze.

Fursa Kubwa Baraza la Kilimo Tanzania (ACT)

inaamini kwamba huu ni wakatimuafaka na nafasi kubwa ya kuundauhusiano wa kimataifa na kujenga mi-tandao na mashirika wadau.

ACT pia inatarajia kujengaushirikiano na kupata faida yakushirikiana uzoefu, habari na maari-fa.

SACAU: Kwa kifupiSacau ni shirika la wakulima la

kikanda ambalo ilianzishwa mwaka1992. Uanachama wake ni wazi kwavyama vya wakulima vya kitaifa navyama vya bidhaa vya kikanda katikakanda ya kusini mwa Afrika.Inahusisha maendeleo ya kilimo kati-ka kanda na kujenga uwezo kwa vya-ma vya wakulima.

Umoja ni sauti ya pamoja kwa ajiliya wakulima katika masuala yakikanda na kimataifa na pia hutoataarifa kuhusiana na kilimo na habarikwa wadau wengine. Makao yakeyapo Pretoria, Afrika Kusini.

MaonoKuwa mahiri, ustawi na endelevu

katika sekta ya kilimo ili kuhakik-isha usalama wa chakula nakuchangia ukuaji wa uchumi kusinimwa Afrika.

DiraKuwa sauti kuu kwa wakulima

kuhusu masuala ya kikanda, bara nakimataifa, na kukuza na kuhakikishawakulima wana nguvu na ufanisi /mashirika wazalishaji katika nchi zotekatika kusini mwa Afrika

Maadili na KanuniSacauis imejengwa juu ya maadili

na kanuni zifuatazo:

• Hiari ya jumla

• Udhibiti wa Kidemokrasia nawanachama

• Uwazi katika shughuli zote

• Wajibu na uaminifu

• Kuhutubia mambo na sifa

• Hakuna ubaguzi kwa misingi yaukabila, rangi, imani, dini, jinsiana ukubwa wa kilimo

Mkakati Mkakati wa SACAU imejikita

katika nguzo tatu za kimkakati, yaani:

• Sera ya utetezi juu ya masuala yakikanda, bara na kimataifa.

• Kuimarisha uwezo wa vyama vyawakulima.

• Utoaji wa taarifa zinazohusiana nakilimo.

• Masuala mtambuka ni jinsia,mazingira na VVU / Ukimwi.

Mkakati wa malengo na mad-humuni

Lengo 1:Kukuza viumbe wa mazingira

mazuri ambayo yanahusu wakulimawa kusini mwa Afrika kwa kutambuauwezo wao wa uzalishaji kwa kushaw-ishi kikanda, sera ya bara na kimataifana mipango kuhusiana na kilimo.

Kuhusu malengo:

• Ili kuimarisha uwezo wa SACAUkatika maendeleo ya sera nautetezi.

• Ili kuongeza muonekano waSACAU katika michakato yamaendeleo ya sera na mpango.

• Ili kuboresha ufanisi wa ushirikiwa SACAU katika sera na mpangowa maendeleo.

Lengo 2:Kusaidia uanzishwaji na maen-

deleo ya nguvu mashirika, kuaminikana endelevu ya wakulima (FOS) katikakanda hiyo kutoa msaada wa hudumabora na ufanisi kwa wakulima nawadau wengine.

Kuhusiana malengo:

• Ili kuboresha umuhimu wa FOSkusini mwa Afrika kwa wakulima.

• Ili kuboresha uaminifu wa FOSkusini mwa Afrika na wadaumuhimu.

• Ili kuimarisha ushiriki wa FOSkusini mwa Afrika katika maen-deleo ya sera na mipango.

• Ili kuimarisha kusini mwa Afrikamashirika ya bidhaa za kikanda.

Lengo 3:Kuunga mkono uamuzi wa

kimkakati wa kufanya katika kilimona Fos kusini mwa Afrika na wadauwengine kwa njia ya utoaji wa taarifakwa wakati mwafaka.

Kuhusiana malengo:

• Ili kukuza matumizi ya taarifakatika kufanya maamuzi.

• Ili kuendeleza nafasi ya SACAUkama chanzo kikuu cha habari juuya Fos katika kanda.

• Kukuza ubadilishanaji habarimiongoni mwa wahusika muhimukatika sekta.

Tuma maoni yako bure ukianzana neno SACAUkwenda namba 15774

Hatua ya kuweka kwa bara kukutana Dar

Mkutano kujadili hatma ya ufadhili wakilimo katikaAfrika

Page 4: Nipashe Kilimo Kwanza

7

A

MAHITAJI6

A

MAHITAJIIjumaa Aprili 26, 2013 Ijumaa Aprili 26, 2013

Na Mwandishi Wetu

MALENGO ya Chamacha Biashara,Viwanda na Kilimocha Zanzibar (ZNC-CIA) ni pamoja nakusimamia mwenen-

do wa biashara kwa nia ya kukuza sek-ta hiyo na kujenga mazingira bora kwaajili ya maendeleo ya ujasiriamali kupi-tia sekta binafsi na ya umma.

Ukubwa na umuhimu wa majuku-mu yake, unakipa ZNCCIA uhalali wakuwa na sura ya taasisi kama za fedhana kuipangia sekta ya biasharavipaumbele kwa njia ya ushaurikuhusu namna ya kutambua matatizona kurahisisha upatikanaji wa misaa-da.

Wakati hayo yakifanyiwa kazi,bado ZNCCIA inakabiliwa na chang-amoto za kujenga msingi wa uwa-jibikaji wa kisekta wenye sura yakutegemeana baina ya sekta moja nanyingine.

Mfumo wa kutegemeana baina yasekta moja na nyingine utawezeshasekta ya umma na ya binafsi kuwa nanguvu moja badala ya kila moja kuba-ki na udhaifu wake au nguvu kiuchu-mi.

Kwa kuijengea sekta ya biasharauwajibikaji wa kisekta, ZNCCIAitakuwa inatimiza jukumu lake lakutekeleza utendaji unaoangalia uhal-isia wa mazingira ya ushindani unai-jengea sekta ya kuchangia maendeleoya uchumi wa taifa kupitia sekta hiyo.

Kwa kipindi cha miongo miwili,Zanzibar inafanya juhudi ya kuten-geneza mazingira ya kufufua uchumikwa kuzingatia mipango na hatua zi-nazochukuliwa na serikali.

Mipango ya serikali na hatua zaZNCCIA zinaungwa mkono na Best-AC tangu mwaka 2007 na mafanikiotayari yameanza kuonekana.

Mafanikio hayo yameimarisha nakukuza biashara, uanachama katikataasisi za kibiashara na upatikanaji wahabari na huduma za sekta hiyo.

Msaada wa taasisi hiyo pia umetu-mika kujenga uwezo wa ZNCCIAkutekeleza wajibu wake wa kuiungan-isha sekta binafsi visiwani Zanzibar.

Pamoja na mifano hiyo yamafanikio mengi ZNCCIA kwa msaadawa Best–AC pia yamepatikana maen-deleo katika mpango wa miaka mitatuulioanza mwaka 2009 na kumalizikamwaka jana.

Pia tafiti kadhaa zimefanyikazikionyesha mafanikio ya kukua kwasekta binafsi na kwamba ili kulindamafanikio hayo lazima mipango iwapoya kuleta mageuzi zaidi.

Matokeo ya tafiti hizo yanakiweze-sha ZNCCIA kuwa na mfano wakuonyesha inapotoa ushauri kwaserikali na wawekezaji juu ya namnaya mahitaji kwa ajili ya maendeleo yasekta ya ujasiriamali mdogo na ya katinchini.

Baadhi ya mafanikio hayoyameelezwa katika ripoti juu ya msaa-da wa maendeleo kwa sekta binafsivisiwani Zanzibar.

Ripoti juu ya tathimini ya vikwazovya kanuni na sheria imefanyika ili ku-jua athari zake kwa kazi ya uanzishaji

shughuli za ujasiriamali, mfumo wakodi, ajira, umiliki wa ardhi masualaya wanawake na vikundi vya watuwanaoishi katika mazingira magumu.

Imebaini kuwa mfumo huo unahi-taji kufanyiwa uchambuzi zaidi nautafiti ili kujua nguvu na udhaifu navikwazo vyake kwa maendeleo ya sek-ta ya biashara.

Serikali kwa upande wake imed-hamiria kujenga uchumi endelevu laki-ni pia kwa upande wa sekta binafsi in-ahitaji kuongeza uwekezaji kwa lengo

la kukuza uibukaji wa biashara.Mpango wa maendeleo ya biasharaBest-AC ni mshirika mkubwa wa

kweli katika utoaji misaada kwa ZNC-CIA ili kuiwezesha kujenga sekta yaujasiriamali kubwa na yenye nguvuvisiwani.

Ushauri unaotolewa kusaidia ku-jenga mazingira ni pamoja nakuongeza huduma kwa wajasiriamali,hasa wa maeneo ya mkoa wa MjiniMagharibi ambako idadi ya watu nikubwa kulinganisha na maeneo ya viji-

jini. Huduma za ZNCCIA tayari zime-fika katika mikoa yote ya Zanzibar nawatu sasa shughuli za taasisi hiyo siyongeni tena.

Huduma hizo zimewajengeaushirikiano mkubwa wadau mbalimbali wa sekta ya wajasiriamali wado-go na wafanyabiashara wa kati.

Kabla ya kufikia hatua hiyo, hudu-ma za ZNCCIA zilikuwa zinapatikanamaeneo ya mjini na kujulikana nawafanyabiashara wakubwa tu.

Hata hivyo, idadi ya wajasiriamali

wadogo na wafanyabiashara wa katikuwa wanachma wa ZNCCIA ume-ongezeka haraka katika sekta zote am-bazo ni pamoja na kilimo, uvuvi,mifugona utalii.

Idadi ya wanachama imeongezekakufikia 513 kutoka 160 mwaka 2009.

Katika miaka ya karibuni pia kunadalili ya wajasiriamali wa Zanzibar ku-taka kujifunza kutoka kwa wenzanowa nchi jirani za Tanzania bara, Kenyana Uganda.

Hali hii inatia matumaini juu ya

uwapo wa mahitaji ya kuwaunganishawajasiriamali hao na mitandaomingine ya biashara na viwanda ya njeya Zanzibar.

Mazingira ya utendaji kazi bainaya ZNCCIA na serikali ya Zanzibar piani mkubwa na kuna hali ya kuaminikwa kiwango cha juu kama wadau.

Kualikwa kwa ZNCCIA katikamikutano inayoandaliwa na serikali niishara inayoonyesha kukua kwaushirikiano baina ya pande hizo mbili.

Karibu wizara zote za serikali ya

mapinduzi Zanzibar, idara na mamla-ka nyingine zinashirikishwa ZNCCIAmoja kwa moja katika uandaaji wasera kupitia semina na mikutano.

Kwa msaada wa Best-AC, chamacha ZNCCIA kimeshirikishwa katikauhamasishaji wa sera mbali mbali zi-nazotumika sasa kutekeleza mipangoya maendeleo visiwani humo.

Sera hizo ni pamoja na mfumo wafedha na sera ya viwanda. Uandaaji wasera hizo ulisimamiwa na wizara ya bi-ashara na viwanda chini ya ufadhili

wa UNIDO.Ripoti ya Tanzania juu ya mwe-

nendo wa mfumo wa ushindani yamwa 2012, inaonyesha kuwa sera hizondizo zilizoibua mawasilano naMamlaka ya Bandari Zanzibar (ZMA)yaliyowezesha mamlaka hiyo kupun-guza ushuru wa bandari kwa meli kub-wa kushuka kufikia dola 0.3 kutokadola 0.6.

Utekelezaji wa hatua hiyo upo chi-ni ya wizara ya fedha na mipango yaZanzibar ambayo ilishasisitiza kuwa

hatua hiyo itaanza kutekelezwa katikamwaka wa fedha wa 2011/2012 mwakajana.

Ushirikiano wa sekta binafsina ya umma (PPP)

ZNCCIA inaendelea kuendeshakampeni ya uhamasishaji juu yaumuhimu wa kuishirikisha sekta bi-nafsi katika mpango wa kuanzisha nakukuza matawi ya PPP chini ya ofisi yarais.

Ili jamii, serikali na sekta binafsikuweza kuwa msingi wa kiungo cha

PPP kwa ajili ya maendeleo ya uchumiwa taifa, inawezekana kutumiaushirikiano huo kukuza uchumi waZanzibar kuanzia chini hadi ngazi yajuu.

Utekelezaji sera na vyombovya habari

ZNCCIA kimeanzisha uhusiano navyombo vya habari visiwani Zanzibarsio tu kwa ajili ya uandishi na utoajihabari nzuri, bali pia kuuelimishaumma juu ya mwenendo wa shughuliza biashara.

ZNCCIA inaeleza kufurahishwakwake na ushirikiano uliopo bainayake na Shirika la Utangazaji ZanzibarZBC, Radio Nuur, Hits and Zenj FMradios, ZBC- TV na Zanzibar Cable TV.

Kutokana na mahusiano na ZNC-CIA, vyombo hivyo vimesaidia kufanik-isha shughuli za uhamasishaji ulio-fanikisha kuanzishwa kwa shirika laviwango Zanzibar (ZBS) na Baraza laBiashara Zanzibar (ZBC).

Baraza la biashara ambalo linaen-desha shughuli zake kisheria lik-ishirikiana na wawakilishi wa ngazi yajuu kutoka sekta binafsi, limekuwajukwaa sahihi la kuziunganisha sektambali mbali kujadili masuala ya uchu-mi. ZBC hata hivyo inahitaji kufanyi-wa marekebisho ili kuondoa mazingirayanapunguza nguvu za sekta binafsikatika uandaaji wa sera na uandaajiajenda za maendeleo kwa taifa.

Tafiti zinazohitaji kufanyikaZNCCIA ilifanya tafiti mbili mwa-

ka jana, moja iligusa eneo la kodi, vi-wango vya gharama ya umeme namanufaa ya biashara visiwaniZanzibar.

Matokeo ya utafiti juu ya viwangovya gharama ya umeme yalisambazwakwa wadau mbali mbali namazungumzo juu ya suala hiloyalianzishwa.

Utafiti mwingine wa aina hiyo uli-olenga kujua mwenendo wa mfumo wakodi umekamilika na ripoti yake ndiyoitakayokuwa mwongozo wamazungumzo baina ya ZNCCIA naserikali pamoja na Baraza laWawakilishi juu ya namna ya kutafutaufumbuzi wa tatizo hilo.

Juhudi hiyo itakuwa inachangiautekelezaji wa utafiti mwingine un-akaofanyika baadaye juu ya namna yakuendeleza mipango ya biashara. Hiini kwa sababu ZNCCIA inaamini kunauhusiano wa moja kwa moja kati yamotisha na masuala ya kodi.

Kuwapo kwa mfumo mpya narahisi wenye mfumo mzuri wa kodiutasaidia kupunguza gharama za uen-deshaji shughuli za biashara.

Kimsingi inaweza kubainika kuwaZNCCIA bado ina safari ndefu ya ku-toa elimu kikamilifu juu ya shughuli zabiashara na huduma kama vile mamboya mikopo na uuzaji bidhaa nchi za nje.

Katika hatua hii bado sera ni nzurikwa ajili ya kusaidia ukuaji wa bi-ashara na maendeleo ya viwanda naujuzi kwa wajasiriamali.

Msaada wa Best-AC umeleta mafanikio ZNCCIA

Tuma maoni yako bureukianza na neno MAHITAJIkwenda namba 15774

Page 5: Nipashe Kilimo Kwanza

8

A

SAFUIjumaa Aprili 26, 2013

Kila mtu anapenda kulamara kwa mara vyakulavyenye ladha tamumdomoni, lakini kileambacho hakifahamikina baadhi ya watu ni

athari za baadhi ya vyakula katikamfumo wa maisha yetu. Daimahatuwezi kwenda kutafuta vyakulavyenye mafuta ili kuituliza shaukundani yetu lakini badala yake tu-naweza kula kwa kuzingatia afya nakuishi kwa muda mrefu.

Unaweza kupunguza hatari yakansa kwa kuboresha mlo wako.Utafiti mpya unaonyesha kwambakaribu moja ya tatu ya vifo vyotevinavyotokana na kansa vinahusish-wa na vyakula na shughuli za kimwili.Leo,tutaangalia upande wa vyakula.Huku tukiacha somo la upande wakimwili kwa siku nyingine.

Kansa inazuilika , ndiyo, unasikiasasa hivi ni kwamba pia yawezakuepukwa. Lakini tena, kutokana namtindo wa maisha ya watu wengi sikuhizi, itakuwa ni ajabu kama mtu hukonje anadhani kwamba haiepukiki nawanaweza kuipata wakiwa wamekaana kusubiri zamu zao ili kupata habariza kusikitisha kutoka kwa daktari waokwamba wamefanyiwa uchunguzi nakubainika wana aina fulani yasaratani.

Kujengea nguvu ya mfumo wakinga,inashauriwa kutumiwa matun-da mengi na mboga za majani katikamlo wa kawaida ikiwa pamoja navyakula vyenye nyuzi nyuzi. Wewe nahasa wewe tu, una uamuzi wa kubadilitabia yako ya ulaji.

Anza kwa kupunguza ulaji wavyakula vya mafuta hasa mafuta yawanyama. Hakikisha mlo wako kwasehemu kubwa una matunda, mbogamboga, karanga, maharage na kwaujumla nafaka. Anza kidogokidogo.

Hakuna mtu anaweza kubadilitabia yake ya kula vyakula haraka.Ongeza mchanganyiko wa matunda nambogamboga katika chakula chakokila siku ili kupunguza hatari yasaratani kwako. Changanya aina zamajani kama vile mchicha na saladi.

Kula kidogo nyama nyekundu napunguza au acha kula nyama zili-

zosindikwa . Nyama nyekundu zinatindikali nyingi kwa sababu zi-nachukua muda mrefu kumeng’enyekana kuzidisha seli za saratani katikamwili. Kula sana nyama nyekundu ku-naweza kuongeza hatari ya saratanikatika maisha yako. Jiepushe na ulajiwa nyama za kusindika kama bacon,ham, pastrami, salami, sausage, napepperoni.

Badala ya kula nyama nyekundu,unaweza kubadilisha kwa kula nyamanyeupe ikiwemo maharagwe, samaki,kuku, au hata kuwa mbadala wa nya-ma ya nguruwe, nyama ya ng'ombe, aukondoo.

Andaa nyama kwa kuoka,

kuchemsha au banika kwa moto mdo-go badala ya kuoka au kukaanga kati-ka mafuta au kuchoma kwa joto kub-wa. Vyakula vingine vinavyotakiwakuliwa kwa kiasi ni pamoja na sukarina maziwa. Badilisha sukari kwaasali badala yake. Ulaji wa maziwa wamara kwa mara unaweza kujenga mfu-mo ambao unarutubisha seli zasaratani. Unywaji wa maziwa unawezakubadilishwa na maziwa ya soyakama mbadala wake. Aidha, badala yakunywa kahawa nyeusi kwa ajili yaafya yako kunywa mitishamba au chaiya kijani.

Eneo ambalo linaweza kuongezashida ni wakati mtu anapofahamishwakuhusu pombe. Wote tunapenda kun-ywa moja au mbili, lakini tunatakiwakuwa na kikomo. Unywaji wa pombeunahusishwa na ongezeko la hatari yasaratani ya kinywa, koo, ini na mati-ti. Kama unakunywa pombe,wanaume wanapaswa kujaribu kuny-wa si zaidi ya vinywaji viwili kwa sikuna wanawake wanapaswa wasijaribukunywa zaidi ya kinywaji kimoja kwasiku.

Njia ya ziada ya kuishi, kula nakuwa na afya ni kusoma na kupatataarifa nyingi kutoka katika vyanzombalimbali ili kuweza kumudusaratani, namna ya kuzuia, na jinsi yakuishi kwa usalama.

Kwa mfano, haya yamewezekana

kutokana na mazungumzo na kikundifulani ya wasichana watano vijana kwajina la Mradi wa Pink (Pink project)ambao wana shauku ya kujenga uele-wa kuhusu saratani kwa nia ya kujen-ga jamii bora ambayo haina saratanihasa ya matiti na saratani ya kizazikwa wanawake. Sina utaalamu wa juukuhusu saratani na sio daktari aliyepa-ta mafunzo kuhusu dawa lakini lengoni kushirikisha kile ninachokifahamu.

Kulingana na wao, wanatoa ma-funzo waliyoyapata kutoka taasisimbalimbali za saratani nchini kwakusoma kwa kina kwa njia ya mtandaoili kupata uelewa kuhusu kuzuiasaratani kama msemo wa kale usemaokuzuia ni bora kuliko tiba.

Kuzuilika ni pamoja na kansa yamatiti, kansa ya kizazi, kansa ya ma-pafu, kansa ya mdomo, kansa ya kibo-fu, kansa ya ngozi na kansa nyingine-zo. Mfumo imara wa kinga unawezakupambana na seli za kansa kwa ku-panda matunda na mboga mboga kati-ka mashamba na bustani yako kwaajili ya kulinda maisha ya afya. Na piambogamboga na matunda toka sham-bani na kwenye bustani kwa ajili yamfumo wa afya bora. Na kununuamazao yanayozalishwa nchini nakuwaendeleza wakulima wa nchini

.Kwa maelezo zaidi au maoni:[email protected]

Tahadhari kwa ulaji vyakula ilikupunguza hatari ya saratani

KILIMOKWANZADIRECTORY

WATER AND SANITATION

Dar es Salaam Water and Sewerage Authority(DAWASA) – Tel: +255 22 276 0006

Dar es Salaam Water and Sewarage Corporation(DAWASCO) Tel: +255 22-2131191/4

Drilling and Dam Construction Agency (DDCA)Tel: +255 22 2410430/2410299

Energy and Water Utilities Regulatory Authority Tel: +255 22 2123850, 22 2123853

Ministry of WaterTel: +255 22 245 1448

INDUSTRY SUPPORT AND ASSOCIATIONS

Small Industries Development Organization(SIDO) – Email: [email protected], [email protected]

Agricultural Non State Actors Forum,P.O Box 33562, Dar es Salaam,TEL: + 255 22 2771566 / 2775970

Agricultural Council of TanzaniaTel: 255 22 2124851

CNFA - [email protected]

TCCIA Iringa Regional Chamber Tel: +255 26 2702486.

Tractors Limited Cells: +255 784 421606, 786 150213

Export Processing Zones in Tanzania (EPZ)Tel: +255 22 2451827-9

Agricultural Economics Society of Tanzania(AGREST) – Tel. +255-23 260 3415

Tanzania National Business Council (TNBC)Tel: +255 22 2122984-6

Tanzania Agriculture Partnership (TAP)Tel: +255 22 2124851

Tanzania Milk Processors Association (TAMPA)Tel: +255 222 450 426

Rural Livelihood Development Company (RLDC)Tel: +255 26 2321455

Tanzania Cotton BoardTel: +255 22 2122564, 2128347

AGRO-PROCESSING

TANEXA, Samora Avenue, N.I.C InvestmentHouse 6th Floor, Wing A, P. O BOX 1175 Dar es Salaam Tanzania [email protected], www.tanexa.com Tel:+255-732-924564 Fax: +255-22-2125432

ERTH Food - Tel: +255 22 2862040

Tanzania Organic Agriculture MovementPO Box 70089 DSM. Tel: 0732975739

ASAS Diaries Limited - Tel: +255 26 2725200

Tanga Fresh – Tel +255 27 2644238

NatureRipe Kilimanjaro LimitedTel: +255 22 21 51457

EQUIPMENT

Gurudumu Tatu LimitedTel: +255 22 2865632 / 2863699

National Service Corporation Sole (SUMAJKT)Cell: +255 717 993 874, 715 787 887

FINANCE

Private Agricultural Sector Support (PASS)Tel: 023-3752/3758/3765

Community Bank AssociationTel: +255 22 2123245

AGRO-INPUTS

Minjingu Mines & Fertilizers LtdTel: +255 27 253 9259 250 4679

KwetuAfrika

Na Nicolas

Begisen

www.best-ac.orgImefadhiliwa na