View
267
Download
5
Category
Preview:
Citation preview
ARTICLE FROM WORLD AQUACULTURE MAGAZINE
June 2017 Volume 48, Number 2
Ufugaji mkubwa wa perege nchini Malawi kwa kutumia teknolojia ya ulishaji
wa kutumia vimelea hai vinavyopatikana kwenye maji.
Taarifa ya mafanikio – Ray Koune
Malawi: Nchi ya walaji wa samaki.
Ingawa nchi ya Malawi inapakana na ziwa la tisa kwa ukubwa duniani na la tatu kwa kina
kirefu Afrika, uvuvi uliopitiliza umesababisha kupungua kwa samaki ziwani,taarifa ya mwaka
1990-1991. Perege ambaye huitwa chambo kwa jina la asili la Malawi anapendwa sana nchini
humo, kwa sasa samaki huyo anauzwa dola nne mpaka nane ya pesa za Marekani kwa kilo
moja. Hii imetokana na uhaba wa samaki huyu aitwaye chambo, bei imekua kubwa kwa
sababu mahitaji yameongezeka na samaki wamepungua. Kabla ya mwaka 1990, samaki huyo
alikuwa akipatikana kwa urahisi na bei ilikuwa ndogo, kilo moja ilikuwa ikiuzwa dola 1.5 ya
pesa za Marekani. Tangu mwaka 1990 ongezeko la watu nchini Malawi ni asilimia tatu kwa
mwaka, hiyo imepelekea upungufu wa samaki kwa tani 80,000 kwa mwaka 2017 ukilinganisha
na mwaka 1990.
Perege ni samaki anayependwa sana nchini Malawi na analiwa sehemu zote za nchi. Soko la
perege ni zuri ukilinganisha na kuku wa kisasa wanaofugwa kwa dola 2.4 ya pesa za Marekani
kwa kilo moja nchini Malawi. Katika mazingira mazuri, ufugaji wa perege kwa kutumia
teknolojia ya ulishaji wa vimelea hai ni uwekezaji mzuri na wenye faida kubwa.
Teknolojia ya ulishaji perege kwa kutumia vimelea hai.
Teknolojia hiyo ni mpya na ni kwa ajili ya ufugaji wa perege na kamba, ni endelevu na
haiharibu mazingira. Ni teknolojia inayotunza ubora wa maji na kuzuia wadudu na mimea
haribifu pia huongeza vimelea vyenye protini kwenye maji. Mkusanyiko wa vimelea vya rangi
ya kijani, bakteria huwanufaisha kamba na perege wanaochuja vimelea vilivyopo kwenye maji
na kuvitumia kama chakula. Njia hiyo husaidia sana kupunguza gharana za chakula kwa
perege na kamba hivyo kuinua kiwango cha ulishaji.
Uzuri wa teknolojia hii ni namna ambavyo amonia inaondolewa kwenye maji kwa kutumia
vimelea hai vyenye virutubisho muhimu kwa perege na kamba, teknolojia hii ni sawa na kupata
faida mbli kwa wakati mmoja,sawa na methali isemayo kuua ndege wawili kwa jiwe moja.
Uzoefu wa ufugaji perege kwa kutumia teknolojia yaulishaji wa kutumia vimelea hai bado ni
mdogo,hasa pale matarajio ya kufikia kiwango cha asilimia nne mpaka tano cha

Figure 1. Imhoff cones are used to measure biofloc volume in BFT tanks at Chambo Fisheries.
Figure 2. A schematic of the process of biofloc technology to promote nitrogen uptake via heterotrophic bacteria that becomes a food source for tilapia and shrimp.
ulishaji.Mapungufu ya utaalamu wa matumizi ya teknolojia hii ni makadirio ya kiuchumi
kwenye ujenzi wa mfumo wa teknolojia,gharama na thamani ya kiuchumi katika matumizi ya
teknolojia hii mpya ya ufugaji wa perege.Uzoefu wa kitaalamu uliopatikana katika kituo cha
ufugaji cha Chambo umetatua baadhi ya changamoto zilizoorodheshwa hapo juu.
Kituo cha ufugaji perege cha Chambo.
Kituo cha ufugaji cha Chambo ni kikubwa barani Afrika kinachotumia teknologia ya ulishaji
wa kutumia vimelea hai,kipo pembezoni mwa mji wa Blantyre nchini Malawi.Shamba hilo
lilianza uzalishaji mwaka 2013 likizalisha perege aina oreochromis mossambicus na
oreochromis shiranus kwa masharti ya kutokuagiza na kufuga oreochromis niloticus nchini
Malawi.
O. mossambicus na O. shiramus wanaongezeka uzito polepole ukilinganisha na O. niloticus
ila minofu yao ina ladha nzuri na ulishaji mdogo wa chakula. Ufungaji wa mtambo wa umeme
wa jua uliounganishwa kitaalamu na mtunzi wa mada hii ni mtaalamu wa Sust Aqua Fish Farm
wa Afrika ya Kusini, pia ndiye aliyeandaa mpango wa uzalishaji wa samaki, usimamizi na
ufundishaji.
Utaalamu wa ufugaji samaki mjumuisho
Kituo cha ufugaji wa samaki cha Chambo kina vifaa vya kuhifadhi samaki wazazi, chumba cha
kutotoleshea mayai yaliyochukuliwa toka kwa majike, sehemu ya kulelea vifaranga, mashine
ya kutengenezea chakula cha samaki, majokofu na sehemu ya kukuzia vifaranga.
Kielelezo namba 4 kinaonyesha mzunguko wa uzalishaji wa perege aina ya O.shiranus.
Kituo cha ufugaji perege cha Chambo kina matanki manane ya kukuzia vifaranga yenye ujazo
wa maji mita 780 kila moja, lenye uwezo wa uzalishaji wa tani 100 ya samaki kwa mwaka,
wastani ni kilo 20 kwa mita moja ya ujazo wa maji.
Blantyre ni mji uliopo mita 1130 juu ya usawa wa bahari, hali ya hewa ni ya baridi kiasi,
uzalishaji wa samaki hufanyika kwenye nyumba ya kioo ya kuhifadhia joto linalotokana na
mionzi ya jua.Matanki yametengenezwa kwa ubunifu mkubwa, yana umbo la herufi R, kuna
mahali pa kukusanyia mabaki ya chakula na kinesi cha samaki baadaye kuziondoa. Mfumo huo
pia unadhibiti ubora na mzunguko wa maji kwa kutumia vifaa maalumu vilivyowekwa ndani
ya matanki hayo. Mfumo huo una punguza gharama za uzalishaji na mapato yanaongezeka.
Perege hulishwa chakula chenye wanga na mafuta kidogo kuliko protini, matokeo ni kupata
samaki wenye mafuta kidogo na kuwa na minofu mizuri.
Mfumo wa uzalishaji perege kwa wingi
Ubunifu wa teknolojia hii una faida ya mtiririko, kila tanki hupandikizwa vifaranga vya perege
na wakifikia uzito unaotakiwa wanavuliwa kila baada ya wiki tatu. Hii inawezekana kwa
sababu ya kutumia vyumba vya wavu (kielelezo namba 5), perege wanasogezwa kila baada ya
Figure 3. A battery of eight 766-m3 multi-cohort sequential SAFF-BFT grow-out tanks at Chambo Fisheries near Blantyre, Malawi.
Figure 4. Farmed production cycle of Shiranus tilapia from a four-tank biofloc technology module producing up to 400 t/yr of 218-g fish year-round.
wiki tatu kwenda kwenye chumba kikubwa. Usimamizi mzuri wa mfumo huu wa uzalishaji
huleta faida ya tani 4.6 mpaka 5.8 kila baada ya wiki tatu. Mfumo huu unaongeza mapato
mara mbili na kupunguza gharama za uendeshaji ukilinganisha na ufugaji wa makundi ambao
husubiri perege waliopandikizwa wavuliwe ndio wapandikizwe wengine.
Mfumo huu wa ufugaji perege ulibuniwa na mtaalamu kutoka Sust Aqua Fish, ni ufugaji wa
kutumia tanki moja lenye vyumba vya wavu. Mfumo huu ulishafanyika mashariki ya kati na
baadaye Malawi, kwa kutumia ufugaji wa kuzungusha maji yale yale bila kuongeza mengine.
Perege aina ya O. shiranus walifikia uzito wa kuuzwa wa gramu 218 kwa samaki mmoja, kwa
muda wa siku 189 tangu walipoanguliwa. Joto lililofaa kwa ukuaji wa samaki hao ilikua ni kati
ya nyuzi joto 27 mpaka 29 sentigredi. Peregei baada ya kuvuliwa wanahifadhiwa katika
chumba chenye baridi sana au barafu na baadaye kuuzwa.
Chakula maalum cha perege hutengenezwa hapo hapo kituoni
Chakula cha perege wazazi, vifaranga wadogo na wanaokua, hutengenezwa kwa kutumia
mashine ya kutengenezea punje punje zinazozama ndani ya maji chenye uwiano wa kitaalamu
wa kaboni na naitrojeni.Mashine hiyo ina uwezo wa kusaga, kuchanganya, kutengeneza punje
punje na kukausha, pia kuchekecha ili kutenganisha ukubwa wa punje punje. Chakula cha
perege wenye uzito zaidi ya gramu tano hutengenezwa kwa kuchanganya, mashudu ya mbegu
zinazokamuliwa mafuta, unga wa mahindi, vitamin na mchanganyiko wa madini yanayotakiwa
kwa perege. Molasi huchanganywa ili kushikanisha chakula cha samaki na virutubisho pia
huzuia sumu ipatikanayo kwenye mahindi na mashudu.
Perege waliongezeka uzito zaidi kwa kuwalisha chakula chenye protini asilimia 20.2, chenye
uwiano wa kaboni na naitrojeni ya 15 kwa 5, uwiano wa chakula kilicholishwa na kiasi cha
samaki kilichozalishwa ni 1.
Perege walilishwa kila baada ya masaa manne mpaka wakifikia siku 45-60, chakula chao
huongezwa vitamini C na kitunguu saumu ili kuongeza kinga dhidi ya magonjwa. Baada ya
miezi mitatu ya ufugaji mfululizo wa samaki kwenye tanki, ni muhimu kupunguza kipimo cha
madini hasa shaba, chuma na manganizi maana kiasi hubakia kwenye maji wakati wa ulishaji.
Mikakati ya utengenezaji chakula cha perege.
Chakula cha perege ni asilimia 55 – 65 ya gharama za uzalishaji kwenye mabwawa, vizimba na
ufugaji wa kutumia maji yanayozungushwa kwenye tanki. Kituo cha ufugaji perege cha
Chambo kimefanikiwa kupata uwiano wa chakula kilicholishwa perege na kiasi cha uzito wa
perege kilichozalishwa kuwa 1 kwa kulisha samaki chakula chenye protini asilimia 20.2, sawa
na uwiano wa kaboni na naitrojeni 15:5 kwa perege aina ya O.mossambicus na O.shiranus.
Upungufu wa protini kwenye chakula wanacholishwa perege katika mfumo wa teknolojia ya
kulisha vimelea hai, hufidiwa na protini iliyopo kwenye vimelea ambavyo perege huvipata
Figure 5. A single multi-cohort sequential 766-m3 SAFF-BFT grow-out tank at Chambo Fisheries.
kutoka kwenye maji, perege wanao uwezo wa kuchuja vimelea hivyo kutoka kwenye maji na
kuvitumia kama chakula. Njia iliyotumika kutengeneza vimelea hai ni kaboni + naitrojeni →
kaboni + naitrojeni kwenye vimelea hai →kaboni + naitrojeni kwenye viumbe hai wanaofugwa
majini.
Jedwali namba 1,inaonyesha faida ya perege waliolishwa vimelea hai katika kituo cha ufugaji
samaki cha Chambo. Mafanikio ya asilimia 36.6 cha kiwango cha protini na asilimia 20.9 ya
kiwango cha chakula cha kutia nguvu kilichotumika kwenye ukuaji wa perege katika kuongeza
minofu kwenye perege. Mafanikio yaliyopatikana katika kituo cha ufugaji perege cha Chambo
kwa kutumia teknolojia ya kulisha vimelea hai imeonyesha asilimia 20 mpaka 25 ya kiwango
cha chakula cha kutia nguvu kilichomeng’enywa na perege. Teknolojia ya ulishaji wa aina
hiyo haijatumika kwa wingi,utafiti zaidi unahitajika ufanyike ili kuongeza matumizi ya
teknolojia hiyo sehemu nyingine duniani.
Kiwango cha protini kilichotumika kwenye ukuaji wa perege katika teknolojia ya kulisha
vimelea hai ni yenye ufanisi kwa asilimia 100, ukilinganisha na teknolojia ya kuzungusha maji
kwenye matanki ya kufugia perege ni asilimia 162 zaidi ya ufanisi, ukilinganisha na ufugaji wa
vizimba (Jedwali namba 1). Ufugaji wenye ufanisi mkubwa katika kituo cha ufugaji samaki
cha Chambo na wataalamu kutoka SustAgua Fish Farms umeonyesha kupungua kwa gharama
za ulishaji ukilinganisha na wanyama kama kondoo, kuku wa kisasa, nguruwe na ng’ombe wa
nyama.
Matokeo ya kiuchumi katika kituo cha ufugaji samaki cha Chambo, imepunguza gharama za
chakula, cha samaki kwa asilimia 50 ukilinganisha na mifumo mingine ya ulishaji samaki.
Teknolojia ya kulisha vimelea hai kimepunguza gharama za uzalishaji wa perege kwa kiasi cha
dola ya marekani 1.30 kwa kila kilo moja ya perege nchini Malawi kwa mwaka 2016.
Takwimu zilizopatikana katika shamba la ufugaji perege la Chambo, zimeonyesha teknolojia
ya ulishaji vimelea hai,inazalisha samaki kwa gharama nafuu ukilinganisha na teknolojia ya
ufugaji wa vizimba kwa asilimia 60, ufugani wa kuzungusha maji kwenye tanki kwa asilimia
34 na kwa ufugaji wa mabwawa yaliyorutubishwa na mbolea ni kwa asilimai 8.5. Ikizingatiwa
kuwa ufugaji wa kutumia mifumo hiyo imefanyika nchini Malawi.
Matumizi mazuri ya maji yenye ufanisi
Faida kubwa ya kutumia teknolojia ya kulisha perege vimelea hai una matumizi madogo ya
maji ukilinganisha na mifumo mingine ya ufugaji wa perege. Kituo cha ufugaji perege cha
Chambo hutumia lita za maji 150 kuzalisha kilo 1 ya perege, ufugaji wa kutumia mabwawa
hutumia lita za maji 2500-5000 kuzalisha kilo 1 ya perege. Mapato makubwa ya perege
yatokanayo na matumizi ya teknolojia ya kulisha vimelea hai yanayotoa nafasi ya kuweza
kuitumia teknolojia hiyo sehemu za uwanda wa juu wa Afrika na pembezoni mwa miji
mikubwa kupunguza gharama za usafiri. Matumizi ya teknolojia ya kulisha vimelea hai katika
Table1.Productyield,energyandproteinretentioninediblepartsofAtlanticsalmon,tilapia,pigs,chickensandlamb.
Harvestyield(%)a 86.0 86.8 86.8 86.8 86.8 72.5 65.6 62.5 46.9
Edibleyield(%)b 68.3 46.3 46.3 46.3 46.3 52.1 46.1 40.0 38.2
FCRc 1.15 1.00 1.27 1.60 1.10+fertilizerN 2.63 1.79 12.7 6.3
NetEnergyretention(%)d 23.0 20.9 15.9 12.5 19.3 14.0 10.0 n/a 5.0
NetProteinretention(%)e 31.0 36.6 18.3 14.0 10.8 18.0 21.0 5.0 5.0
aHarvestyieldisyieldofguttedandblendanimalbEdibleyieldisratiooftotalbodyweightthatisnormallyeaten,muscle,bodyadiposetissueandliver,lung,andheartforpig.
Skinisexcludedfromallanimalsexceptintilapiawhereskinhasbeencounted.Harvestandedibleyieldsfortilapiabaseduponthe
workofEl-Zaeemetal.2012determinedfor125to185gtilapiacFCR=(kgfeedfed)/(kgbodyweightgain)dNetEnergyretention=(energyinedibleparts)/(grossenergyfed)forallanimalsexcepttilapiatakenatwholecarcassenergycontentfromLupatsch(2012)eNetProteinretention=(kgproteininedibleparts)/(kgproteinfed)forallanimalsexcepttilapiatakenatwholecarcassproteincontentfromLupatsch(2012)fFCRdatabaseduponresultsachievedatChamboFisheriesfeeding20.2%proteinfeed(C/Nratio=15.5:1)feeding127gto147gOreochromisshiranusgFCRdatafromChowduryetaal.(2013)feedinga32%proteinfeed,GEof16.7MJ/kg,DEof14.3MJ/Kgraisingfishupto220ghFCRdatabaseduponachievementsinlargescalecagecultureraising127/147gNiletilapia(O.niloticus)on32%proteinextrudedfeedsIFCR,ediblemeatyield,energyandproteinretentionaspercentagesofediblemeatyieldinbeeftakenfromSmil(2002)jCalculatedfromDianaetal.(1994).SupplementalFeedingofTilapiainFertilizedPonds.JOURNALOFTHEWORLDAQUACULTURESOCIETY
Vol.25,No.4December.1994.
Datafrom:
1)Bjorkli,J.(2002.Proteinandenergyaccountinsalmon,chickenpigandlamb.M.Sc.Thesis,NorwegianUniversityofLifeSciences(UMB),
NorwayforAtlanticsalmon,pigs,broilerchickensamdlamb.
2)El-Zaeemetal.(2012)FleshqualitydifferentiationofwildandculturedNiletilapia(Oreochromisniloticus)populations.AfricanJournal
ofBiotechnologyVol.11(17),pp.4086-4089.
3)Smil,V.2002.NitrogenandFoodProduction:ProteinsforHumanDiets.AmbioVol.31No.2,March2002
4)UnpublishedinventorydatafromChamboFisheries(historicaldatainarchives)
5)Dianaetal.(1994).SupplementalFeedingofTilapiainFertilizedPonds.JOURNALOFTHEWORLDAQUACULTURESOCIETYVol.25,No.4December.1994.
Broilerchickens Beefi LambMeasurementparameter Atlantic
salmon
Bioflocraisedtilapia
(realized)f
RASraised
tilapiag
Cageculturetilapia
(typical)h
Greenwater
TilapiaPondsjPigs
Table2.Comparisonofsustainabilityindicatorsamongproteinproductionsystems.Livestocktypeandsystemtypefor Food Wholecarcass NEmissions PEmissions Landuse Consumptivefoodfishaquaculturespecies conversion Protein (kg/tonne (kg/tonne (tonnes freshwater
(kgfeed/kg Efficiency protein protein edible useedibleweight) (%) produced) produced) product/ha) (m^3/tonne)
Beef*1 31.7 5.0 1200.0 180 0.24–0.37 15497
Chicken*1 4.2 25.0 300.0 40.0 1.0–1.20 3918
Pork*1 10.7 13.0 800.0 120.0 0.83–1.10 4856Finfish(average)*1 2.3 30.0 360.0 48.0 0.15–3.70 5000 *2
Bivalvemolluscs*1 notfed notfed -27 -29 0.28–20.00 0
Large-scalelakecageculturefarm 3.5 30.7 361.4 87.2 0.00 0 *3
Greenwaterpondfarm(+fertilizer+manureN) 2.4 23.3 526.4 143.3 4.06 2500 *4
SAFF-RAStilapiafarm 2.7 38.7 0.0 0.0 450-600 0.12-0.15 *5
SAFF-BFTtilapiafarm 2.2 79.2 0.0 0.0 220-305 0.2 *6
Notes:
*1SourcedatafromPhillips,Beveridge,andClarke1991;FAO2003;Halletal.2011;Boumanetal.2013;
*2ConsumptiveuseisdifficulttocompareacrossthewidespectrumofaquacultureproductionsystemsInthevastmajorityofcases,wateroutfallsfromaquaculturearemuchcleanerandmoreeasilyrecycledthanforlandanimals.*3Feedconversionof1.6:1arebeingachievedbylargescalelakecageaquacultureoperationsonLakeKariba.NlossescalculatedfromtotalNfedlesstotalNfeddividedbyNrecoveryinfishat16%proteinusingaproteinconstantof6.25.PlossescalculatedfromtotalPfedlesstotalPrecovereddividedbythewholecarcassproteincontentoftilapia.*4Feedconversionof1.1:1calculatedon30.1%proteinfeed(resultsfromDianaetal.1994)andanedibleweightyieldof46.3%afterEl-Zaeemetal.2012
determinedfor125to185gtilapia.51.7%ofNinputsoriginatedfromfertilizersand48.3%viaformulatedfeed.Pemissionsascalculatedfornote*3
above.Landusebasedupon10.522tonnes/Hawatersurfaceareaand20%ofpondfarmaceragecomprisingoflevees,watersupplyanddrainagechannelling.Waterusebasedupondrainingatharvestandevaporativeandseepagelossesof76.25%ofvolumelossespercycle.*5Feedconversionratioof1.27:1intheSAFF-RASon32%proteinfeed.NandPlossescalculatedasfornote*3above,althoughzerodischargeisachievedviaeitheranoxidationlagoonornutrientrecoveryduckweedlagoon.Landusedoesnotincludenutrientrecoverylagoons.*6Feedconversionratioof1:1on20.2%proteinfeed(=C/Nratioof15.5:1intheSAFF-BFTbaseduponChamboFisheriesresults).NandPlossescalculatedasfornote*3above,althoughzerodischargeisachievedviaeitheranoxidationlagoonornutrientrecoveryduckweedlagoon.Landdoesnotincludenutrientrecoverylagoons.
kituo cha ufugaji perege cha Chambo, kimetoa mavuno mazuri ya perege yenye kuleta
ushindani na pia ni endelevu kwa kutumia gharama ndogo za ulishaji chakula.
Utunzaji mazingira endelevu
Ufugaji wa perege kwa kutumia teknolojia ya kulisha vimelea hai pamoja na kuzungusha maji
kwenye tanki zinao mfumo wa kuondoa taka ngumu na virutubisho vilivyomo ndani ya maji
(naitrojeni na fosforasi). Ukilinganisha na ufugaji perege wa vizimba ambapo mabaki ya
chakula,kinyesi na virutubisho vilivyomo ndani ya maji, hubakia na hubadilisha hali ya
mazingira ya maji.
Mifumo minne ya teknolojia ya ufugaji wa perege ikilinganishwa kwa kufuata vigezo vifuatvyo
(Jedwali namba 2).
• Uwiano wa chakula kilicholishwa samaki na kiasi cha uzito wa samaki kilichozalishwa.
• Matumizi ya protini kwenye minofu ya samaki.
• Naitrojeni iliyotumika kutengeneza protini kwenye minofu ya samaki.
• Fosforasi iliyotumika kutengeneza protini.
• Eneo lililotumika kuzalisha uzito/kiasi cha samaki
• Ujazo wa maji yaliyotumika
Kwa matokeo yaliyoonyeshwa katika jedwali namba 2, teknolojia ya ulishaji vimelea hai
inayotumika katika kituo cha ufugaji perege cha Chambo kwa ufadhili wa Susta Aqua Fish
Farms ni bora zaidi,ikifuatiwa na teknolojia ya kuzungusha maji katika matanki ya kufugia
perege. Ufugaji perege kwa kutumia mabwawa yaliyorutubishwa yanao uwiano mdogo wa
naitrojeni na fosforasi inayosababishwa na upotevu wa virutubisho hivyo kwenye mazingira ya
bwawa. Ufugaji wa kutumia vizimba sio endelevu kimazingira ambapo mabaki ya
chakula,kinyesi na virutubisho hubakia ndani ya maji, kwa hiyo hubadilsha mazingira ya eneo
husika.
Maendeleo ya baadaye ya SustAqua Fish Farms na kituo cha ufugaji perege cha
Chambo.
Teknolojia ya ulishaji wa vimelea hai katika ufugaji wa perege na kamba imeongeza
maendeleo makubwa katiaka fani ya ufugaji wa viumbe vya kwenye maji duniani.
Wanasayansi wanaamini kuongeza vimelea vinavyotumiwa na samaki kama lishe ni maendeleo
yatakayopunguza gharama za chakula cha perege na kamba. Kituo cha ufugaji perege cha
Chambo kina malengo ya kutumia teknolojia hiyo sehemu zenye hali ya joto nchini Malawi na
kwingineko duniani. SustAqua Fish Farms imehamisha mfumo huo wa ufugaji perege kutoka
nchi za mashariki ya katika na kuwekeza zaidi kusini mwa Afrika.
Recommended