16
NOT FOR SALE

03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Special 3 - part series commissioned by the National Cohesion and Intergration Commission.

Citation preview

Page 1: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

don’t miss

chap

ta 3

next

sato!

NOT FOR SALE

Page 2: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

boyie mlishika jamaa anaitwa dede jana?

hakuna mtu na jina kama hiyo hapa.

wewe kijana, kaa mbali na wahalifu kama hao.

lakini dede, kwani kumeendaje?

haiya, hakunamtu anachukua!

hakuna jibu. namba inaenda kwa mteja...

nani sasa atatutoa hapa, jo?

wametutumia!

yenyewe hatungewaamini na hizo pesa zao!

boyiepolice station

hapo awali kilicho-happen na boyie...

Boyie amwacha Dede aki-decide kama ata-join gang au kusaidia mamake…

…na gang ili-arrest-iwa juu ya ku-disrupt rally...

… na sasa Boyie anasumbuka ilimfika nini Dede...

2

Page 3: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

dede!chapo zako zinatoka za round vipoa!

vipi boyie? umeshapiga kura? niliishia mapemajuu niweze kurudi home nisaidie kina mathe hapa!

nafurahi sana kijana wetu amechagua kutusaidia kazi hapa. otherwise, angekua jela leo.

na Nimepata chanceya kutengeneza

dooh bila stress!kweli! niliambia bwanangu atusaidie kwa hoteli piabadala ya kuwa kwa gang.

bro wangu alikubalikunisaidia kuuza mboga zenye tulipanda.

inaonekana kuna njia zingine za kuepuka ghasia. lazima ni-share na vijanaa!

3

Page 4: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

vipi ma-fans! beste yangu ameni-show story poa leo! ati PAL yake alifikiria kujiunga na gang fulani lakini akaamua kusaidia mathake na job instead.

akapata njia ya kutengenezachapaa bila violence!

tuwe GANGare!

ma-youth, kunanjia poa ya kuji- jenga kuliko ma-gangs nahazikuwangi mbali!

4

Kuna choices zingine unaweza ku-make badala ya ku-join gang! Ebu cheki kundi ya wamathe ‘The Kibera Women for Peace and Fairness’. Hawa wamathe walikuja pamoja baada ya noma ya post election. Wakasahau tofauti zao na kuamua kufikiria kama Wakenya. Hawa wamathe waliita mavijanaa ambao walikuwa kwa ma-gangs na kuwa-show watie zii maisha ya zamani waangalie future ilio

na maisha ya amani. Wamama

waliunda vikundi za members kutoka makabila different, kama team ya foota, ambapo members wanafanya job pamoja kama team sio kama kabila.KWPF wanasema “Tunahimiza watu wahakikishe wame -vote kulin-gana na vile wanaamini ndani yao. Usilazimishwe na mtu kuchagua wanavyotaka. Kila mtu ana haki ya ku-vote anavyotaka bila kufurahi-sha mwingine”

Waweza kusoma zaidi kuhusu KWPF kwa website yetu….www.shujaaz.fm

Page 5: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

Na sasa nitasomamatokeo ya kura…

Kura nyingi ni za…

…School council!

Chekini! Tulijuatutashinda! Yaay!

hapo awalI...

Ex-prefects walipo-complain juu ya vile shule ina-run-iwa na School Council...

…Principal aliwaambia students wa-decide system wanayotaka…

…Both sides zika-present maoni yao, kisha students waka-vote...

5

Page 6: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

Yenyewe hapo umebonda idea kali.…

Poa! Tukutane keshobasi ku-discuss hizi

issues…?

Nyinyi ma-cops mlidhanimtatushinda? Losers!

Jameni! Hatufaikuchokozana! Si poa.

Hey! Tafadhali tujaribu

kuelewana …

Nyinyi ni ma-students hapachuoni kama sisi. Mna hakiya kupeana opinion zenu…

… na kutu-advise vipi twaweza-makechuo kuwa better. Hatufai

ku-worry nani ameshinda amaameshindwa...

… Tukifanya job pamoja,sote tunakuwa washindi!

6

Page 7: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

Yenyewe hapo umebonda idea kali.…

Poa! Tukutane keshobasi ku-discuss hizi

issues…?

Nyinyi ma-cops mlidhanimtatushinda? Losers!

Jameni! Hatufaikuchokozana! Si poa.

Hey! Tafadhali tujaribu

kuelewana …

Nyinyi ni ma-students hapachuoni kama sisi. Mna hakiya kupeana opinion zenu…

… na kutu-advise vipi twaweza-makechuo kuwa better. Hatufai

ku-worry nani ameshinda amaameshindwa...

… Tukifanya job pamoja,sote tunakuwa washindi!

Well Told Story © 2010 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

Shujaaz™ is published by Well Told Story Ltd. P.O. Box 1700 - 00502 Nairobi, Kenya. Tel. 020 603214 / 0719 407512. www.welltoldstory.co.ke. Printed on recycled paper Printed by Colourprint Limited. P.O Box 44466 – 00100, Nairobi, Kenya.

7

Kama side yenye una-support inashindwa kwa kura haimaanishi eti all is lost. Each side huwanga na positive sides zake na each side inaweza benefit kila mtu.Hebu tusiwe na mentality ya lazima tushinde au sivyo kutakuwa kubaya sababu italeta chuki na mwishowe ni wachache wata-benefit.Ni bora kuwa na mentality ya ku-benefit pamoja ili tuweze kupeana opinions zetu vizuri na kushirikiana na wenzetu na kuleta maisha poa.

Mentality ya ku-benefit pamoja inamaanisha: Kutofikiria ‘ubinafsi’, ‘dhidi yao’, lakini kufikiria kuhusu ‘sisi pamoja’. Kusikiza na kuheshimu viewpoints za wengine. Kuheshimu tofauti za wenzetu. Kuelewa kuwa hakuna opinion ‘right’ ama ‘wrong’. Kuwa tayari kutofautiana.

Page 8: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

Your Questions on the

CONSTItUTIONanswered by the

Committee Of Experts

Big ups kwa mafans walionitumia maswali

juu ya constitution. Haya ni majibu mengine kutoka kwa Commitee of Experts. NI-join pamoja na

maelfu ya youth kwa facebook kwa “djboyie shujaaz” au kwa Twitter, “Shujaaz” au uni-SMS on 3008 ili tuendelee kujijenga na kujenga

Kenya sisi mavijanaa!!!

The information in this box is exclusively brought to you by the Committee of Experts on Constitutional Review and does not in any way reflect the views of

the publishers or their partners

If YES wins in the referendum, afta what

period of time will this new constitution begin its role?

Provisions tofauti za constitution zitaanza

ku-work kwa periods tofauti zinazo-guide-iwa na Schedules V na VI. - COE

Hiyo risto ya kadhi courts kuwa included

illegaly iliendaje? Ama me ndio nimebaki nyuma? – Fred M. Jumah

Kadhi courts zimekuwa kwa current

constitution na kwa sheria zetu. Kadhi courts hu-deal na divorce, marriage na inheritance kwa waislamu tu na sio kwa wale wasio waislamu. - COE

Refugees in camps, will they become Kenyans?

- Kelvice Ambia

Hakuna provision kwa proposed constitution

inayokubali refugees kuwa wakenya. - COE

DJ B, Wat is the difference btwn

private and public land? – Man Bonny.

private land ni ardhi ilio kuwa owned na mtu

private kwa ku-lease ama kuimiliki. Public land ni ile iliokuwa owned na serikali na agencies zake. - COE

Page 9: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

Your Questions on the

CONSTItUTIONanswered by the

Committee Of Experts

Special thanks ni kwa Committee of experts waliojibu

maswali yenu!

How will da constitution msg be

received and understood especially in da pastoral communities? Will there be voluntary youth groups available?

Committee of experts ina cordinators

waliowekwa kwa kila constituency na wafanya kazi wa Community-Based Organizations na kuhakikisha wakenya wamefundishwa juu ya constitution kabla ya referendum. - COE

Je constitution ni mradi wa serikali? Mbona basi

kuna ‘yes’ na ‘no’?

Constitution ni project ya Kenya na ya wakenya

wote. Referendum inapatia wananchi option ya kukubali au kukataa constitution kwa ku-vote Yes au No. - COE

Hiyo ni poa bt saga ya kupata id ukifika 16

iliendaje? – Thomas Tj Mbogho.

Hakukuwa na proposal kama hiyo.

- COE

Mbona wata toa public holidays?

- Jeff, Nairobi.

Proposed constitution itabakisha national days

lakini parliament ina mamlaka ya ku-announce public holidays. - COE

Je committee imepitisha ma-youth watengewe

dooh za kuboresha miradi yao?

Article 55 ina-provisions za ku-allow

youth kupata training, kuajiriwa na kupata nafasi ya ku-participate kisiasa, kiuchumi na maisha ya watu wote. - COE

Page 10: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

hapo mbeleni,

katika hadithi za

kijana yule

mara that that!

Eh, ulicheki sura zao results zilipo announce-iwa?

Hic…hehehe! Walikaa nyani zimenyeshewa!

Wanajua toka leo tumewamaliza!

Haya…

Nyote sasa mumekamatwa… Kwa kueneza semi

za chuki.

Ati? Hatujakosea

lolote!

Wee!

Umetumwa na hao tuliowashinda!

Udhabiti uko hapa tu!

…Watu wa kabila hiyo si watu, ni wanyama…

Hamna hata haya, watu wakubwa

mna-behave hivi!

Charlie…kwani hujafurahishwa?

Charlie na Rosie waliposikia hate speech…

…walijaribu mara nyingi kui-record kwa simu iwe evidence…

…na kisha waka-succeed ku-pata recording ya kutuma kwa NCIC…

10

Page 11: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3
Page 12: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

Cheki Rosie, kila mtu

kijijini ana wasiwasi.

Hii story ya semi za chuki zinafanya kila

mtu ashukumwenzake.

Najua! tuWA ambie

uncle na brathakowa-organise

game ya foota!

Aiyaia! Rosie idea zako

ni vi-deadly!Kila mtu aje

tucheze ball na tusahau tofauti

zetu!

mwisho.

12

Hate speech ni makosa KWA SISI SOTE. Inaleta tension kati ya jamii. Zuia chuki kwa ku-recognise sisi sote tuko tofauti, na hizi tofauti ndizo zinafanya Kenya kuwa country poa!

Michezo ni njia moja ya kuleta community ya watu wa kabila mbali mbali pamoja na kuwasaidia kujuana vipoa. Kuna community moja huko Baringo Central ilijaribu na ikatoboa, ilipoanzisha Community Development and Empowerment Forum. CODEF waliandaa na ku-sponsor game kadhaa za foota huko Ng’arua Division ya Laikipia West na Mochongoi

Division ya Baringo Central.

Timu ishirini walicheza kutoka hizo division mbili zikiwa na wachezaji kutoka jamii mbali mbali. Competition yenyewe ilichukua miezi mitatu, kisha fainali zenyewe zilichezwa na hatimaye mkutano wa amani kufanyika.

Mkutano wa amani ulifanya ku-educate watu kuhusu umuhimu wa amani na ushirikiano. Ma-youth walikuwa encouraged kufanya mambo positive na kuacha mambo ya violence.Kumbuka kubonga kuchochea chuki yaani ‘hate speech’ utashikwa na

waweza kufungwa hadi miaka 5 ama upigwe fine ya hadi million moja…ama zote mbili!

Page 13: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

HII ILITENDEKA

VIPI…?

no!

amka...

maria-kim!

amka!

hapo awali...

Maria-Kim na JK wali-suspect mambo mwana siasa alisema na waka-check facts...

…Despite Chuxx kujaribu kuwazuia waliambia wengine ukweli wa mambo…

…Usiku wa kuamkia referendum, Maria-Kim alilala akisumbuka vile mambo yatatokea...

13

Page 14: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

EH...? HAIYA…KWANI

NILIKUWA NIMELALA?

jana NIliOTA VIBAYA,

JK…ATI KILIUMANA NA KILA KITU

KIKAHARIBIWA!

LAKINI, MARIA-KIM, SI UNACHEKI KILA

KITU KIKO POA.

KWELI. YENYEWE WATU WAME-BEHAVE

VIPOA. Kumbuka VILE MA-LEADERS WALIPOJARIBU KUTUDANGANYA…

…HATUKUWA-BELIeVE TU

HIVYO.

14

Page 15: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3

the end.

TULIJIKAZA KUJISOMEA KATIBA SISI WENYEWE…

… NA KUCHEKI

MA-FACTS.

KISHA TUKA-DISCUSS ISSUES ILI KUZIELEWA VIPOA…

…HATA KAMA WALIJARIBU

KUIFANYA IWE HARD KWETU.

ALAFU HATUKUKUBALI

KUWA BRIBED…

…AMA KUDANGANYWA

TWENDE KWA GHASIA.

NAFURAHI VILE KILA MTU AME-BEHAVE

VIPOA! YENYEWE AT THE END OF THE DAY SOTE WAKENYA TUNAPENDA COUNTRY YETU

NA TUNATAKA AMANI!

Ndio Inawezekana!

EH...? HAIYA…KWANI

NILIKUWA NIMELALA?

jana NIliOTA VIBAYA,

JK…ATI KILIUMANA NA KILA KITU

KIKAHARIBIWA!

LAKINI, MARIA-KIM, SI UNACHEKI KILA

KITU KIKO POA.

KWELI. YENYEWE WATU WAME-BEHAVE

VIPOA. Kumbuka VILE MA-LEADERS WALIPOJARIBU KUTUDANGANYA…

…HATUKUWA-BELIeVE TU

HIVYO.

This special edition has been produced at the request of National Cohesion and Integration Commission with the support of Committee Of Experts and GTZ, in collaboration with Safaricom and Saturday Nation.

Factual content & technical info: National Cohesion and Integration Commission & Committee of Experts. Producer: Fatima Aly Jaffer. Layout design: Joe Barasa. Art: Daniel Muli, Eric Zoe Muthoga, Salim Busuru, Movin Were, Joe Barasa.

Page 16: 03 - Shujaaz NCIC Special Part 3 of 3