Upload
well-told-story
View
329
Download
9
Embed Size (px)
DESCRIPTION
Chapta 23– Charlie Pele: Mganga Vaccine
Citation preview
ai, biashara
siku hizi ni mbaya!
yule daktari wa
wanyama, uncle rosie, ameniibia
customers wengi tu sana...
itabidi nianze ku-strategize aggressively...
...kabla nianze kuisha!
wah! vile
figure yangu inakuwanga
sweet...
grrr!
ngoja tu nimpate huyo uncle rosie!
weweeeee!!!nimejazzika
tu sana!
ai!
sasa hawa ni akina nani?
ni taabu na mwenye
kelele nyingi, charlie pele!
naenda home ku-make dye ni-colour
hizi chicks mpya!
MGANGA
VACCINE
25
nizi-make pink kama zile zingine? Ama
labda ni orange this
time? wah, unajua hizi
chicks ni vile nitaanza
kuchanga dowry ya komwoa
purity?
itabidi nizilee vizuri...
ama green, kuzitofautisha?
ama blue?
ama purple???
oho!
strategy imeiva!
baadaye...
...unajua, hizi kuku ni pesa!
huwezi kuzilea bila mimi
kuzi-bless! zitakufa!
na vile wewe ni customer
mpoa, niko na special offer, kuku moja tu badala ya
mbili zangu za kawaida...
...ni dj B kwenye dial, na leo
tunawakilisha wakulima!
sikizeni stori fulani...
eh, sijui mambo ya hizi
chicks za taabu, lakini siwezi
kuhata offer...
uncle rosie?!?
umeshafika???
sangoma! habari yako?
26
unafanya nini hapa?
nimekuja ku-vaccinate hizi chicks...
kwenda huko na hizo madawa zako! blessings
zangu pekee ndio zinahitajika
hapa!ehm,
taabu ndiye ameniita...
aaaah, hawa watoto wanajua
nini? wacha kudanganya watu na hizi madawa
zako! wasee!
sikizeni!
DJ B anaongea
juu ya stori kama hii
yetu!
dj b, thanx 4 da tip about chicken vac. i've started a project 2 help generate sme
income.
pia nimeweka trees flowers nursery coz we need them and also i'll get some money big ups
4da gudwork. lydia amagoro.
lydia, asante sana
kwa hiyo message yako, hiyo ni stori
poa sana... si utuelezee more kuhusu project
yako?
27
Name:Lydia Amagoro Namaemba
Base: Webuye, lakini nasomaMachakos Technical
Age:33 years
Tulikuwa na kuku mob sana kwetu time nilikuwa mdogo. Then later vile nilienda high school, kuku zetu zilianza ku-reduce pole pole. Sikujua reason then, but baadaye Mum aliniambia diseases zilikuwa zimeongezeka sana.
Later on long baada ya kumaliza shule, nilikuwa tu home. Most of the time nilikuwa free. Around hiyo time ndio niliona story ya chicken vaccines kwa Shujaaz.FM. Nili-realize kuwa kama ningechukua hatua, maybe kuku zangu zingeacha kufa ovyo ovyo. That is when niliamua kutafuta place yak u-buy vaccines.
Kulingana na wasee wa hapa mtaani, kuku zinalindwa na Mungu. In case of disease outbreak, wanaziacha tu zife na zile zina-survive ndio wanaanza nazo afresh. Mimi niliamuanii-give a try nione kama ita-make a difference.
28
So outbreak ilipo-come, nilienda kwa agrovet na nikam-show symptoms. Huyo msee anajua kazi yake. Alinipa dawa flani inaitwa Coprsol ambayo hu-prevent chicks kupata magonja. Ali-advise nizipe for 4 days only. According to instructions, hii dawa inafaa kuwekwa kwa maji ili chicken zikunywe maji pamoja na dawa. Yeye alini-advise nizipatie drops za hiyo maji mwenyewe kwa sababu haiko guaranteed zitakunywa ukiiweka hapo nje.
After the 4 days nilianza kuzipatia Avapox ambayo nilizidunga kwa mabawa. Imagine hiyo dawa yote ilini-cost 65 bob! Of the 13 chicks ambazo zilikuwa na dalili ya ugonjwa, only 1 died. Saa hii niko na over 60 chickens, nimeuza more than 10 na zenye nimepeana kwa harambee hazihesabiki. Thanks to Shujaaz.FM, nina project inani-susutain nikirudi home during holidays. Pia pocket money ni constant. 29
na-hope stori ya lydia imewasaidia,
wasee! tupatane next time!
tuko gangare!
agh, sawa, basi. mnaweza
kuzi-vaccinate.
grrr... uncle rosie... ngoja tu! siku moja nitakupata...
Advise yangu kwa ma-youth na farmers ni, tuwe wajanja. C ati kuku zinajilinda. Hizo kuku zinakula uchafu na ni lazima tuzitunze sisi ili kupata faida zaidi. Vaccine ni cheap lakini outcome ni rewarding. Kuku moja inauzwa 450 at the moment huku ocha. Imagine utapata how much kwa kuku 60! Pia tunauza mayai, na tunakula incase tunataka mboga. Thanks sana DJ B!
sms3008kuku
TUMA
SMS NA NENO KUKU KWA 3008 UTOE MAONI JUU YA HII R
ISTO.
30