2
SHAKUR H. MOHAMED, P.O. BOX 588, ZANZIBAR. TANZANIA. 16-4-2015. MENEJA MKUU, INTERPRESS OF (T) LTD, DAR ES SALAAM, P.O. BOX 6130, TANZANIA. YAH: OMBI LA LIKIZO BILA MALIPO KWA MWEZI MMOJA KUANZIA 1 MEI. Tafadhali husika na mada kama inavyojieleza. Kwa heshima ya pekee, nawasilisha ombi langu kwako, kuomba likizo bila malipo kwa kipindi cha mwezi mmoja utakaoanzia tarehe 1 Mei, 2015 hadi tarehe 29 Mei, 2015 ili niweze kumuhudumia mzee wangu ambae kwa sasa ni mgonjwa. Ni matarajio yangu kuwa ombi langu litafikiriwa na kukubaliwa, ikizingatiwa kuwa matatizo ni sehemu ya maisha na yoyote humfika, kwa amri ya Mwenyezi Mungu. Natanguliza shukrani zangu za dhati. Ahsante sana. Wako katika Ujenzi wa Taifa,

Barua Ya Likizo

Embed Size (px)

Citation preview

SHAKUR H. MOHAMED,

P.O. BOX 588,

ZANZIBAR.

TANZANIA.

16-4-2015.

MENEJA MKUU,

INTERPRESS OF (T) LTD,

DAR ES SALAAM,

P.O. BOX 6130,

TANZANIA.

YAH: OMBI LA LIKIZO BILA MALIPO KWA MWEZI MMOJA KUANZIA 1 MEI.

Tafadhali husika na mada kama inavyojieleza.

Kwa heshima ya pekee, nawasilisha ombi langu kwako, kuomba likizo bila malipo kwa kipindi cha mwezi mmoja utakaoanzia tarehe 1 Mei, 2015 hadi tarehe 29 Mei, 2015 ili niweze kumuhudumia mzee wangu ambae kwa sasa ni mgonjwa.

Ni matarajio yangu kuwa ombi langu litafikiriwa na kukubaliwa, ikizingatiwa kuwa matatizo ni sehemu ya maisha na yoyote humfika, kwa amri ya Mwenyezi Mungu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Ahsante sana.

Wako katika Ujenzi wa Taifa,

.

S.H. MOHAMED

(GRAPHIC DESIGNER).