Upload
others
View
7
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
African Otter Network – africanotternetwork.wordpress.com – Spotted-necked otter
Chiucha Ayina Madoa Kuhingu Akalibii Kohova Kabisa
Extensive webbing on all feet
Chiucha Ayina kilu 3 mpaka 6 ni
wapili kwa uchoku kati ya aina 13 ya.
Chiucha Amanyika kwa ulachu na
ulembamba wa ywegha yake (62 –
950 cm kwa vakolongwa) ayina nkera
wo upyera pae mawolu mayipi,
mangoma yamaheli na mapili (upili
wanga kukolea sana) ayina madoa
mahuu mumilomu, muhingu au
mulutumbu na ngonji yake
hiunganishwi na ngozi nyembamba
ye imsaidia kuyoghale wicho
mumachi.
Chiucha chakula chaki Zaidi ni
homba, macheghi pia vakulainyama
he itama mumachi kama manjura au
idudu ngati mapayi ngati yayi sana.
Chiucha kwa historia vapatikana
sana mughwanga/mumikokaye iyana
machi manyai na mahuu Afrika yoha.
Pavapita mumachi apita yumu au
Limbomba pamoja na Vyana vyaki na
hata likambaku lelibalehe na
mapomba bila vana vao vyawahiki
kuwonakana kwa makundi ya hadi
chiucha 20 na mara yengi <10 (Zaidi
ya kumi).
Na vawinda kwa kutegemee Zaidi
mihu kutokana na vela vahitaji machi
safi na mahuu ili kuwinda wichu.
Ili kupata lihuki utumii muda
wamaheli kulikunda makoma yake
mumagogo, mumanyongoli au
mumaganga. Kulikuta hoku
kunjangatii yombi kuyavuruga
makoma ya ngozi yake na hewa
kupeta kunja na mukati ya ngozi ye
inywekaliwi na mangoma.
African Otter Network – africanotternetwork.wordpress.com – Spotted-necked otter
Liwolu la palongi kushotu na nyayo Yaki 40-45 milimita kwa upana waki.
Mahi-mavei (pai) ya mwandi kunani (kulia)
Mahi ngati mrija 11-21 milimita Mvilingo kiweza pia kuwonakana Likelu, sehemu amapu mahi hulindikwa huweza kuto sehemu kama mita kadha.
African Otter Network – africanotternetwork.wordpress.com – Spotted-necked otter
Ukachanganya nyayo au mayi ya nguchiro (pai)
Nyayu yaka Nguchiro =/- 30 milimita kwa upana
Mahi yaka nguchiru mahighalilu ya manjeghi, mangoma ya inyama, ichokuichoku, manjura, idudu, iyuni, kwa kukadili 15-22 milimita.
Nguchiru/2 – 5.4kg Mangoma malachu na yayayemiki, mkera uyiru na mangoma yamaheli. Huhenga sana ikiluna na kanjika yaki hutama kunchi kavu kalibu na mikoka Taarifa pavawonakanayi lili vyakawonakini kwaku, vyalenga na taarifa hengi ziweza kutumwa kwa William Mgomo, S.L.P 65-Mbinga, Pori la Akiba Liparamba, Namba ya simu-0765-519212.