43

Du`a Kumayl - دعاء كميل

  • Upload
    others

  • View
    38

  • Download
    13

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Du`a Kumayl - دعاء كميل
Page 2: Du`a Kumayl - دعاء كميل

DU’A-E-KUMAIL

Kimetarjumiwa na:

SheiKh Omar jumaa mayunga

Kimetolewa na :Bilal Muslim Mission of Kenya

S.L.P. 82508 Mombasa - Kenya

Page 3: Du`a Kumayl - دعاء كميل

i

UTANGULIZI

Kumayl ibn Ziyad Nakha’i ni mmoja wa wafuasi wakuaminika wa Amirul Mu’miniin Ali bin Abi Talib (A.S.).

Dua hii iitwayo “Dua Kumayl” ni dua ya kusisimua. Ilisikika kwa mara ya kwanza, kwa sauti nzuri ya masikitiko kutoka kwake Imam Ali (A.S.).

Kumayl alikuwa amehudhuria mkutano katika msikiti wa Basra ambao Imam Ali (A.S.) alikuwa anahutubia. Na katika hotuba yake alitaja kuhusu usiku wa tarehe 15 wa mwezi wa Sha’ban. Imam Ali (A.S.) alisema:“Yeyote yule atakayekesha na kujitolea katika usiku huu na akasoma dua ya Mtume Khidhr (A.S.), bila shaka maombi yake yatajibiwa na kukubaliwa.”

Wakati mkusanyiko wa watu katika msikiti ulipotawanyika, Kumayl alienda katika nyumba aliyokuwa akiishi Imam Ali (A.S.) na kumuomba amfahamishe dua hiyo ya Mtume Khidhr (A.S.). Imam Ali (A.S) alimuomba Kumayl aketi ili asikilize na kujifunza kwa moyo dua hiyo.

Baadaye Imam Ali (A.S.) alimuomba Kumayl awe akiisoma dua hii katika usiku wa kuamkia siku ya Ijumaa au mara moja kwa mwezi na kwa uchache mara moja kwa mwaka, “ili”, aliongezea Imam Ali (A.S.), “Allah S.W.T. akulinde kutokana na maovu yanayosababishwa na wabaya au kutokana na vikwazo vifanywavyo na wanafiki.”“Ewe Kumayl! kulingana na ufuasi wako kwangu na kuelewana kwetu nakuachia jukumu hili la kuaminika la dua hii.”

Katika kitabu hiki, “Dua Kumayl” kimechapishwa kwa maandishi ya kiarabu. Chini ya maandishi haya dua hii imeandikwa kwa herufi za kizungu rfuatiwayo na tafsiri yake. Msomaji apendaye kusoma dua hii kwa maandishi ya kizungu anaweza kutumia mwongozo wa herufi za kiarabu pamoja na kizungu kwenye ukurasa Na: 39.

Page 4: Du`a Kumayl - دعاء كميل

1

ـن الرحيم بسم اللـه الرحBISMILLAHIR-RAHMAANIR-RAHIIM

Kwa jina la Mwenyeezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu

ء ش سئللك برحتك الت وسعت كل أ م إن اللهل

Al-lāhumma innī as’aloka bi-Rahmatik-al-latī wase’at kulla shay’-in.Ee Mwenyeezi Mungu! Hakika mimi ninakuomba, kwa Rehema zako, ambazo zimeenea kila kitu.

ل شيء تك التي قهرت بها كل و وبقلWa bi-quwwatik-al-latī qaharta bihā kulla shay’-in.Na kwa nguvu zako ambazo kwa nguvu hizo umeshinda kila kitu.

لل شيء و خضع لها كلWa khadha’a lahā kullu shay’-in.Na kwa nguvu hizo kimenyenyekea kila kitu.

لل شيء وذل لها كلWa dhalla lahā kullu shay’-in.Na kwa nguvu hizo kimedhalilika kila kitu.

ل شيء وتك التي غلبت بها كل وبجبرلWa bi-jabarūtika-l-latī ghalabta bihā kulla shay’-in.Na kwa nguvu zako ambazo kwa nguvu hizo, umeshinda kila kitu.

Page 5: Du`a Kumayl - دعاء كميل

2

ومل لها شيء تك التي ل يقل وبعزWa bi-‘izzatika-l-latī lā yaqūmū lahū shay’-un.Na kwa ushindi wako ambao hakikusimama kwa ushindi huo chochote.

ء ش ت كلوبعظمتك الت مل

Wa bi-‘adhamatika-l-latī mala’at kulla shay’-in.Na kwa utukufu wako ambao umejaza kila kitu.

ء ش ي عل كل لطانك ال وبسلWa bi- Sultānika-l-ladhī ‘alā kulla shay’-in.Na kwa uongozi wako ambao umetukuza kila kitu.

ء ش وبوجهك الاق بعد فناء كل

Wa bi-wajhika-l-bāqī ba’da fanā’i kulli shay’-in.Na kwa dhati yako yenye kudumu baada ya kwisha kila kitu.

ء ش ركن كل

ت أ

سمائك الت مل

وبأ

Wa bi-asmā’ik-al-latī mala’at arkāna kulli shay’-in.Na kwa majina yako ambayo yamejaza nguzo ya kila kitu.

ء ل ش حاط بكلي أ وبعلمك ال

Wa bi-‘ilmika-l-ladhī ahāta bi-kulli shay’-in.Na kwa elimu yako ambayo imezunguka kila kitu.

ء ش ضاء لل كلي أ وبنلور وجهك ال

Wa bi-nūri wajhika-l-ladhî adā’a lahu kullu shay’-in.Na kwa mwangaza wa dhati yako ambayo kimeng’arika kila kitu.

.

Page 6: Du`a Kumayl - دعاء كميل

3

، ويا آخر الخرين. لي ول ال و

، يا أ وسل يا نلورل يا قلد

yā nūru yā quddūs, yā awwal-al-awwālīn wa yā ākhira-l-ākhirîn.Ee! Nuru, Ee! Quddus,(Mtakatifu), Ee! Wa kwanza wenye kutangulia. Ee! Wa mwisho wenye kumalizia.

نلوب الت تهتكل العصم. م اغفر ل ال اللهلAl-lāhumma-ghfir līya-dh-dhunūba-l-latī tahtiku-l-‘isam.Ee Mola! nisamehe dhambi ambayo yanavunja uchaMungu.

نلوب الت تلنلل النقم. م اغفر ل ال اللهلAl-lāhumma-ghfir liya-dh-dhunūb-al-latī tunzilu-n-niqam-a.Ee Mola! nisamehe makosa ambayo yanateremsha adhabu.

ل النعم. نلوب الت تلغي م اغفر ل ال اللهلAl-lāhumma-ghfir liya-dh-dhunūb-al-latī tughayyiru-n-ni’am-a.Ee Mola! nisamehe makosa ambayo yanabadilisha neema.

عء. نلوب الت تبسل الد م اغفر ل ال اللهلAl-lāhumma-ghfir liya-dh-dhunūb-al-latī tahbis-ud-du’ā-a.Ee Mola! nisamehe makosa ambayo yanafunga maombi.

نلوب الت تقطعل الرجاء. م اغفر ل ال اللهلAl-lāhumma-ghfir liya-dh-dhunūb-al-latī taqtau-r-rajā-a.Ee Mola! nisamehe makosa ambayo yanakata matumaini.

.

.

Page 7: Du`a Kumayl - دعاء كميل

4

نلوب الت تلنلل اللء. م اغفر ل ال اللهلAl-lāhumma-ghfir liya-dh-dhunūb-al-latī tunzil-ul-balā-a.Ee Mola! nisamehe makosa ambayo yanateremsha balaa.

ذنبتلهل ذنب أ م اغفر ل كل اللهل

Al-lāhumma-ghfir li kulla dhanbin adhnabtuhuEe Mola! nisamehe nisamehe kila dhambi niliyoifanya.

تلها.خطأ

خطيئة أ وكل

wa kulla khatī’atin akhta’tuhā.Na kila kosa nililolikosea.

تقربل إلك بذكرك أ م إن اللهل

Al-lāhumma innī ataqarrabu ilayka bi-dhikrika,Ee Mola! mimi najikurubisha kwako kwa utajo wako,

ستشفعل بك إل نفسكوأ

wa-astashfi’u bika ilā nafsika.Kwa ajili yako nataka shufaa itakayonikurubisha kwako.

ن تلدنين من قلربكسئللك بلودك أ

وأ

wa-as’aluka bi-jūdika an tudnīyanī min qurbika.Na nakuomba kwa ukarimu wako, Yakuwa unikurubishe katika mkuruba wako.

كرك ن تلوزعن شلوأ

wa-an tūzī ‘anī shukraka.Na kwamba unikusanyie malipo yako.

. .

Page 8: Du`a Kumayl - دعاء كميل

5

ن تللهمن ذكرك.وأ

wa-an tulhimanī dhikraka.Na kwamba unielimishe mafunzo yako.

تذلل خاشع ؤال خاضع م سئللك سل أ م إن اللهل

Al-lāhumma innī as’aluka su’āla khādhi’in mutadhallilin khāshi’in.Ee Mola! mimi nakuomba maombi ya unyenyekevu, yaliyojaa unyonge mkubwa.

لسامن وترحن ن تأ

an tusāmihanī wa tarhamanī.Unisamehe na unihurumie.

وتعلن بقسمك راضيا قانعاwa taj‘ālanī bi-qismika rādīyan qāni‘ānNa uniweke mahala pa kuridhia mno.

تواضعا حوال ملوف جيع ال

wa fī jamī‘-l-ahwāli mutawādhi‘anNa katika hali zote za kupendeza.

ت فاقتلهل ؤال من اشتد سئللك سلم وأ اللهل

Al-lāhumma wa as’aluka su āla man-ishtaddat fāqatūhūEe Mola! na nakuomba maombi ya mtu aliyezidiwa shida yake.

داىد حاجتهل نزل بك عند الشوأ

wa anzala bika‘inda-sh-shadāidi hājatahuNa ameleta kwako haja zake wakati wa matatizo.

.

.

.

Page 9: Du`a Kumayl - دعاء كميل

6

. م فيما عندك رغبتلهل وعظلwa ‘azuma fīmā ‘indaka raghbatuhuNa raghaba yake imezidi (kuhitajia) yaliyo kwako.

لطانلك،وعل مكنلك م سل م عظل اللهلAl-lāhumma ‘azuma sultānuka wa ‘alā makānukaEe Mola! umetukuka uongozi wako, na imenyenyuka heshima yako,

مرلكوخف مكرلك وظهر أ

wa khafīya makruka wa zahara amruka Na adhabu yako imefichikana, na amri yako imeonekana,

وغلب قهرلك وجرت قلدرتلكwa ghalaba qahruka wa jarat qudratukaNa umeshinda uwezo wako, na zimetokeza nguvu zako,

ومتك. كل مكنل الفرارل من حل ول يلwa lā yumkin-l-firāru min hukūmatikaNa wala haiwezekani kukimbia hukumu yako.

نلوب غفرا جدل للم ل أ اللهل

Al-lāhumma lā ajido li-dhunūbī ghāfiranEe Mola! simpati mwenye kusamehe makosa yangu,

ول لقبائح ساتراwa lā liqabā’ihī sātiranWala mwenye kuficha maovu yangu.

.

.

.

Page 10: Du`a Kumayl - دعاء كميل

7

لغيك بد ء من عمل القبيح بالسن مل ول لشwa lā li-shay’in min ‘amālīya-l-qabīhi bi-l-hasani mubaddilan ghayrakaWala mwenye kubadilisha chochot e katika matendo yangu maovu, Isi-yokuwa wewe.

بحانك وبحمدك نت سلل إل إل أ

lā ilāha illā anta subhānaka wa bi-hamdikaHapana mungu ila Wewe. Umetakasika, Mwenye kusifika,

تل بهلأ ظلمتل نفس وتر

zalamtu nafsī wa tajarra‘tu bi-jahlīNimeidhulumu nafsi yangu, na nimeteleza (nimekosea) kwa ujinga wangu.

وسكنتل إل قديم ذكرك ل ومنك عwa sakantu ilā qadīmi dhikrika lī wa mannika ‘alayyaKwa muda mrefu nimekaa kukukumbuka, Naruzuku yako (inashuka) juu yangu kwa ajili yangu.

م مولي اللهلAl-lāhumma MawlāyaEe Mola! (wewe ndiye) mtawala wangu.

تهل كم من قبيح ستKam min qabīhin satartahuMaovu mangapi umeyaficha.

قلتهلوكم من فادح من اللء أ

.

Page 11: Du`a Kumayl - دعاء كميل

8

wa kam min fādihin mina-l-balā’i aqaltahuMazito mangapi ya balaa umeyapunguza.

قيتهل وكم من عثار وwa kam min ‘ithārin waqaytahuMakosa mangapi umeyakinga.

وه دفعتهل كرل وكم من مwa kam min makrū hin dafa’tahūMaudhi mangapi umeyazuia.

. تهل ل نش هل لستل أ وكم من ثناء جيل ل

wa kam min thanā’in jamīlin lastu ahlan lahu nashartahuSifa nzuri ngapi ambazo mimi sina, wewe umezieneza.

م بلىي م عظل اللهلAl-lāhumma ‘azhuma balā’ī Ee Mola! balaa langu lifnekuwa kubwa.

وءل حا ل فرط ب سلوأ

wa-afrata bī sū’u hālīUbaya wa hali yangu umezidi mpaka.

عمال ت ب أ وقصل

wa qasurat bī a‘mālī Matendo yangu yamekosea.

غلل وقعدت ب أ

wa -qa‘adat bī aghlālīKhiana zangu zimeniangusha.

.

.

.

Page 12: Du`a Kumayl - دعاء كميل

9

وحبسن عن نفع بلعدل آمل wa habasanī ‘an naf‘ī bu‘du āmālīUmbali wa matumaini yangu umezuia kuninufaisha.

ورها رل نيا بغل و خد عتن الدwa-khada ‘atnī-d-dunyā bi-ghurūrihāDunia imenihadaa kwa udanganyifu wake.

ونفس بنايتها ومطال wa-nafsī bi-jināyatihā wa mitāliNa (imenihadaa) nafsi yangu kwa khiyana zake na (kwa khiyana) ya mwendo wangu.

وءل عمل وفعال ب عنك دلعآئی سل ن ل يجلتك أ سئللك بعز

يا سيدي فأ

yā sayyidī fa’as-aluka bi-‘izzatika an lā yahjuba ‘anka du‘ā’ī sū’u ‘amalī wa fi‘ālīEe bwana wangu! ninakuomba kwa utukufu wako usinizuie maombi yangu, (kwa sababu) ya ubaya wa matendo yangu na tabia zangu.

ي لعت عليه من س ما اط ول تفضحن بفwa lā tafdahanī bi-khafiyyi mā-t-tala‘ta ‘alayhi min sirrīNa wala usinifedheheshe kwa makosa madogo ambayo umeyadhihirisha kutokana na kuyaficha kwangu.

وبة ع ما عملتلهل ف خلوات قل ول تلعاجلن بالعلwa lā tu‘ājilnī bi-l-‘uqūbati ‘alā mā ‘amiltuhu fī khalawātīNa wala usiniharakishie adhabu katika yale niliyoyatenda faraghani.

وء فعل وإسائت ودوام تفريطي وجهالت من سلmin sū’i fi‘lī wa isā’atī wa dawāmi tafrītī wa jahālatīKutokana na matendo yangu mabaya na kuchukiza kwangu, na ujinga

.

. . .

.

Page 13: Du`a Kumayl - دعاء كميل

10

wangu uliopitiliza mpaka

وكثة شهوات وغفلتwa kathrati shahawātī wa ghaflatīNa wingi wa matamanio yangu na kusahau kwangu.

وفا حوال رؤل ال

تك ل ف كل م بعز ن اللهل وكلwa kuni-l-lāhumma bi-‘izzatatika lī fī kul-lil-ahwāli ra ūfanEe Mola! kwa utukufu Wako uwe mpole kwangu katika hali zote.

وفا ور عطل ملل ف جيع ال وع

wa ‘alayya fī jamī’i-l-umri `atûfanNa (uwe) na huruma nyingi juu yangu katika mambo yote.

مريي والنظر ف أ سئللهل كشف ضل

غيلك أ من ل إله ورب

ilahī wa rabbī man lī ghayruka as aluhu kashfa durrī wa-n-na zara fī amrīMola wangu! na mlezi wangu! nani (Mola wangu mwingine) kwangu isiyokuwa wewe. Ninamuomba aniondolee madhara yangu na kulinda mambo yangu.

كما إتبعتل فيه هوى نفس حل جريت عإله ومولي أ

Ilahī wa Mawlāya ajrayta ‘alayya hukman ittaba’tu fihi hawā nafsīMola wangu! na mlinzi wangu! umepitisha hukumu juu yangu, niliyofuata matamanio ya nafsi yangu.

..

Page 14: Du`a Kumayl - دعاء كميل

11

وي حتس فيه من تزيي عدلولم أ

wa lam ahtaris fīhi min tazyīni ‘aduwwīSikujilinda na vishawishi vya adui yangu.

سعدهل ع ذلك القضاءلهوى وأ

ن بما أ فغر

fa-gharranī bi-ma ahwā wa as‘adahu ‘alā dhalika-l-qada uBasi amenihadaa kwa yale ya hovyo na amefaulu juu ya hukumu hiyo

ودك دل من ذلك بعض حل فتجاوزتل بما جرى عfa-tajāwazto bi-mā jarā ‘alayya min dhalika ba’da hudūdikaNimekwisha vuka haadhi ya mipaka yako kwa yale yaliyonipitia juu yangu.

وامركوخالفتل بعض أ

wa khālaftu ba’da awāmirikaNa nimeacha baadhi ya amri zako

ف جيع ذلك ) ع ةل فلك المدل (اللجfalaka-l-hamdu (huj-jatu) ‘alayya fī jamī’i dhālikaBasi sifa Zako njema ziko juu yangu kwa yote hayo.

فيه قضاؤلك ة ل فيما جرى ع ج ول حلwa lā hujjata lī fīmā jarā ‘alayya fīhi qādhā’ukaSina hoja katika hukumu zako zilizopita juu yangu

ك وبلؤلك كمل لزمن حلوأ

.

.

.

.

Page 15: Du`a Kumayl - دعاء كميل

12

wa alzamanī hukmuka wa bala ukaHukumu yako na mtihani wako imenifunga nitulie,

تيتلك يا إله بعد تقصييوقد أ

wa qad ataytuka yā ilāhī ba’da taqsīrīNa nimekujia Ee Mola Wangu! baada ya kukosa kwangu

اف ع نفس وإسwa isrāfi ‘alā nafsīNa kuzidi mno makosa yangu juu ya nafsi yangu

عتفا ذعنا م ا م قر نيبا م ستغفرا م ستقيلا م ا م نكس عتذرا نادما م ملmu’tadhiran-nādiman munkasiran mustaqīlan mustaghfiran munīban muqirran mudh’inan mu’tarifanHali ya kuomba udhuru, mwenye kujuta, mwenye kukatikiwa, mwenye masikitiko, mwenye kuomba samahani, mwenye kurejea, mwenye kutulia, mwenye kunyenyekea, mwenye kukiri.

ا كن من ا مم جدل مفرل أ

lā ajidu mafarran mimmā kāna minnīSina pa kukimbilia kwa makosa niliyo nayo.

مريهل إله ف أ توج

ول مفزع أ

wa lā mafza’an atawajjahu ilayhi fī amrīNa wala mahala pa kuhangaika, naelekea kwake katika (kushitakia) mambo yangu.

.

Page 16: Du`a Kumayl - دعاء كميل

13

ذري غي قبلولك علghayra qabūlika ‘udhrīPasipo kunikubalia udhuru wangu.

وإدخالك إياي ف سعة (نسخه سعة ) من رحتكwa idkhālika iyyāya fī sa’atin min rahmatikaNa kuniingiza katika nafasi kubwa kutokana na rehema zako.

ي ة ضل ذري وارحم شد م فاقبل عل اللهلAl-lāhumma fa-qbal ‘udhrī wa-rham shiddata durriEe Mola! nikubalie udhuru wangu na nihurumie madhara yangu makubwa.

ن من شد وثاق وفلكwa fukkanī min shaddi wathāqīNa nifungulie mizigo yangu mikubwa (ya madhambi).

يا رب ارحم ضعف بدن ورقة جلي ودقة عظمYâ Rabbi-rham da’fa badanī wa riqqata jildī wa diqqata ‘azmīEe Mola! rehemu udhaifu wa mwili wangu, na wepesi wa ngozi yangu, na udhaifu wa mifupa yangu(Udhaifu = epesi kuvunjika)

يا من بدء خلق وذكري وتربيت وبري وتغذيتyā man bada’a khalaqī wa dhikrī wa tarbīyatī wa birrī wa taghdhīyatīEe ambae uliyeanza umbo langu na utajo wangu na malezi yangu na wema wangu na chakula changu.

.

. .

م

Page 17: Du`a Kumayl - دعاء كميل

14

هبن لبتدآءكرمك وسالف برك بhabnī li-btida’i karamika wa sālifi bir-rika bāNipe kwa kuanza heshima yako na wema wako uliopita kwangu.

يا إله وسيدي وربyā īlāhī wa sayyidī wa rabbīEe Mol a wangu! na Bwana wangu! na Mlezi wangu.

ب بنارك بعد توحيدك عذ تلراك ملأ

a-tūrāka mu’adh-dhibi bi-nārika ba’da tawhīdikaMbona unaniadhibu kwa moto wako baada ya kukupwekesha.

عرفتك وبعد ما انطوى عليه قلب من مwa ba’da mā-ntawā ‘alayhi qalbī min ma’rifatikaNa baada ya kukunjika moyo wangu kwa tawhid kutokana na kukufahamu

ولهج به لسان من ذكركwa lahija bihi lisānī min dhikrikaNa kwa kukutaja ulimi wangu kwa kukukumbuka

بك واعتقدهل ضميي من حلwa-’taqadahu damīrī min hubbikaNa una amini moyo wangu katika kukupenda.

بلوبيتك اف ودلعئ خاضعا لرل وبعد صدق إعت

.

.

Page 18: Du`a Kumayl - دعاء كميل

15

wa ba’da sidqi-‘tirāfī wa du’āī khādi’an li-rubūbīyyatikaNa baada ya kuthibitisha kukiri kwangu, na maombi yangu, hali ya kunyenyekea kwa ajili ya Uwungu wako.

بيتهل ن تلضيع من ركرمل من أ

نت أ

هيهات أ

hayhāta anta akramu min an tudayyi’a man rabbaytahuHivyo sivyo! Wewe mtukufu mno kuliko kumpoteza yule uliyemlea.

دنيتهلو تلبعد من أ

أ

aw tuba’ida man adnaytahuAu kumtenga mbali ambaye uliyemkurubisha

د من آويتهل لش و تأ

aw tusharrida man āwaytahuAu kumtelekeza ambaye uliyemhifadhi

لسلم إل اللء من كفيتهل ورحتهل و تأ

aw tusallima ila-l-balā i man kafaytahu wa rahimtahuAu kumtosa kwenye balaa ambae uliyemsalimisha na uliyemrehemu.

ولت شعري يا سيدي وإله وموليwa layta shi’rī yā sayyidī wa ilāhī wa mawlāyaEe hali gani, Ee Bwana wangu! na Mola wangu! na kiongozi wangu!

وه خرت لعظمتك ساجدة لسلطل النار ع ولجل تأ

atusallitu-n-nāra alā wujūhin kharrat li-‘azamatika sājidatan

. .

.

. .

Page 19: Du`a Kumayl - دعاء كميل

16

Unachanganya moto na nyuso ambazo zimeporomoka kwa ajili ya utukufu wako kwa kusujudu?!

كرك مادحة ن نطقت بتوحيدك صادقة وبشل لسلوع أ

wa ‘alā alsunin nataqat bi-tawhidika sādiqatan wa bi-shūkrika mādihatanNa ndimi zilizotamka kweli LA ILAHA ILLA LLAHU! Na kukutaja kwa sifa.

ققة وع قلللوب إعتفت بإلهيتك ملwa ‘alā qulūbin i’tarafat bi-ilāhiyyatika mohaqqiqahNa nyoyo zllizokiri kwa Uwungu wako kwa kuhakikisha kabisa,

وع ضمائر حوت من العلم بك حت صارت خاشعة.wa ‘alā damāra hawat mina-l ‘ilmi bika hattā sārat khāshi‘atanNa nafsi zilizokusanya ujuzi wako mpaka zikawa na khofu kubwa kabisa

وطان تعبدك طائعةاوع جوارح سعت إل أ

wa ‘alā jawāriha sa’at ilā awtāni ta’abbudika ta’i’atanNa viungo vilivyokwenda katika miji kwa ajili ya kukuabudu kwa unyenyekevu kweli kweli.

ذعنة. شارت باستغفارك ملوأ

wa ashārat bi-stighfārika mudh’inatanVikaonyesha kukuomba msamaha kwa unyenyekevu.

نا بفضلك عنك يا كريمل خبلن بك ول أ ما هكذا الظ

. .

. .

Page 20: Du`a Kumayl - دعاء كميل

17

mā hākadhā-z-zannu bika wa lā ukhbirnā bi-fadlika ‘anka yā karīmuHivi ndivyo, na amini kwako, na wala hatukuambiwa kwa fadhla zako zilizo juu yako Ee Mtukufu!

وباتها قل نيا وعل نت تعلمل ضعف عن قليل من بلء الديارب وأ

yā rabbi wa anta ta’lamo da’fî ‘an qalīlin min balā’i-d-dunyā wa ‘uqūbātihāEe Bwana! na wewe unajuwa udhaifu wangu kutokana na wingi wa matatizo ya ulimwengu na adhabu zake.

هلهاوما يري فيها من المكره ع أ

wa mā yajrī fīhā mina-l-makārihi ‘alā ahlihaNa yanayopita humo ya maudhi kwa watu wake.

كثلهل وه قليل م ن ذلك بلء ومكرلع أ

‘alā anna dhālika balāun wa makrūhun qalīlun makthuhuJuu yakuwa hayo ni matatizo na maudhi ya na muda mdogo.

. تلهل د يسي بقآئلهل قصي مyasīron baqā uhu qasīrun muddatuhuKubakia kwake ni wepesi na muda wake ni mfupi.

قلوع المكره فيها فكيف احتمال للء الخرة وجليل ولfakayfa-htimāli li-balai-l-ākhirati wa jalīli wuqu’i-l-makārihi fīhaItakuwaje kuvumilia kwangu matatizo ya Akhera na utukufu wa kuingia maudhi humo.

. . .

.

Page 21: Du`a Kumayl - دعاء كميل

18

هل ومل مقامل تلهل ويدل د ولل مل و بلء تطل وهلwa huwa balāun tatulu muddatuhu wa yadūmu maqāmuhuNa matatizo hayo yatachukua muda mrefu na hali yake itabakia sana.

هلهفل عن أ ف ول يل

wa lā yukhaf-fafu ‘an ahlihiWala hawatapunguziwa wenyewe.

ونل إل عن غضبك وانتقامك وسخطك نهل ل يكلل

li an-nahu lā yakūno illā ‘an ghadabika wa-ntiqāmika wa sakhatikaKwa sababu haiwi ila kwa ghadhabu zako na kwa mateso yako na ukali wako.

. رضلمواتل وال ومل لل الس وهذا ما ل تقل

wa hādhā mā lā taqūmo lahu-s-samāwātu wa-l-arduNa hili siyo lililosimamishia mbingu na ardhi.

المسكيل القيل للل ال عيفل الض ك عبدل نا وأ ب فكيف سيدي يا

. ستكيل الملyā sayyidī fa-kayfa bī wa anā ‘abdukad-da’īfu-dh-dhalīlu-l-haqīru-l-miskīnu-l-mustakīnuEe Bwana wangu! itakuwaje na mimi mtumwa wako mdhaifu, mnyonge aliye mdogo sana, asiye na kitu, mwenye kuhangaika.

وسيدي ومولي يا إله ورب

.

..

.

. .

Page 22: Du`a Kumayl - دعاء كميل

19

yā Ilāhī wa Rabbī wa Sayyidī wa MawlāyaEe Mola wangu! na mlezi wangu! na bwana wangu! na kiongozi wangu!

و شكلور إلك أ مل

لي ال

ل

li-ayyi-l-umūri ilayka ashkūNashitakia mambo gani kwako?

بكيضج وأ

ولما منها أ

wa limā minhā adijju wa abkīNa kwa kitu gani nalia na kupiga kelele?

ته لم العذاب وشدل

li-alīmi-l-‘adhābi wa shiddatihiKwa ajili ya maumivu ya adhabu na taabu zake.

ته د ول اللء ومل م لطلأ

am li-tūli-l-balāi wa muddatihiAu kwa ajili ya matatizo makubwa na ya muda mrefu.

عدآئكوبات) مع أ قل وبات (نسخه ف العل قل تن للعل فلئن صي

fala’in sayyartani li-l-‘uqūbâti ma‘a a‘dā’ikaKama utanibadilishia katika mateso pamoja na maadui zako.

هل بلئكوجعت بين وبي أ

wa jama’ta baynī wa bayna ahli balāikaUmekusanya kati yangu na wenye matatizo

.

.

.

Page 23: Du`a Kumayl - دعاء كميل

20

ولائكحبائك وأ

وفرقت بين وبي أ

wa farraqta baynī wa bayna ahibbā ika wa awlīyā ikaNa umetenganisha kati yangu na wapenzi wako na mawalii wako.

فهبن يا إله وسيدي ومولي وربfa-habnī yā Ilāhī wa Sayyidī wa Mawlāya wa RabbīBasi nipe Ee Mola wangu! na bwana wangu! na kiongozi wangu! na mlezi wangu!

صبتل ع عذابكsabartu ‘alā ‘adhābikaNimevumilia adhabu yako.

صبل ع فراقكفكيف أ

fakayfa asbiro ‘alā firāqikaItakuwaje nivumilie kukuacha?

وهبن صبتل ع حر ناركwa habnī sabartu ‘alā harri nārikaNimevumilia ukali wa moto wako nipe (uvumilivu zaidi).

صبل عن النظر إل كرامتكفكيف أ

fakayfa asbiru ‘an-in-nazari ilā karāmatikaItakuwaje nisivumilie kuangalia utukufu wako.

نل ف النار ورجائ عفولك سكلم كيف أ

أ

.

.

.

. .

Page 24: Du`a Kumayl - دعاء كميل

21

am kayfa askunu fi-n-nāri wa raja i ‘afwukaAu vipi nitakaa motoni na matarajio yangu ni (kupata) msamaha wako?

قسمل صادقالتك يا سيدي ومولي أ فبعز

fa-bi-‘izzatika yā Sayyidī wa Mawlāya uqsimu sādiqanEe kiongozi wangu! kwa utukufu wako ninaapa kwa ukweli.

لمين) هلها ضجيج الملي (نسخه ال

ن إلك بي أ ضج

لئن تركتن ناطقا ل

la in tara-ktanī nā tiqan lā adijjanna bayna ahliha dajīja-l-āmilīnaNi kuwa umeniacha hali nikisema; Wallahi nitakupigia kelele kati ya watu wake, kelele za matarajio.

ستصخي اخ المل صلخن إلك صلول

wa la-asrukhanna ilayka surākha-l-mustasrikhīnaNa wallahi, nitakulilia kilio cha wenye kudhalilika.

بكي عليك بلكاء الفاقدينول

wa la-abkīyn-na ‘alayka bukā-al-fāqidīnaNa wallahi, nitakulilia machozi kilio cha waliokosa kitu.

ؤمني نت يا ول المل ين كل نادينك أ

لول

wa la unādiyan-naka ayna kunta yā walīyy-al-mu’minīnaNa wallahi, nitakuita uko wapi Ee kiongozi wa Waumini?

يا غية آمال العارفي

.

. . .

. . .

Page 25: Du`a Kumayl - دعاء كميل

22

yā ghāyata āmāli-l-‘ārifīnaEe mwisho wa matarajio ya wacha Mungu.

ستغيثي يا غياث الملyā ghiyātha-l-mustaghīthīnaEe mnusuru wa wenye kuomba nusra.

ادقي يا حبيب قلللوب الصyā habība qulūbi-s-sādiqīnaEe kipenzi cha nyoyo za wakweli

. ويا إل العالميwa yā ilāha-l-‘âlamīnaEe Mola wa walimwengu.

بحانك يا إله وبحمدك اك سل فتلأ

afaturāka subhānaka yā Ilāhī wa bi-hamdikaKweli wewe - Umetakasika - Ee Mola wangu! na kwa sifa zako njema.

خالفته ) فيها بمل لسجنل جن (نسخه ي سلم سل تسمعل فيها صوت عبد مtasma‘u fīhā sawta ‘abdin muslimin sujina fīhā bi-mukhâla fatihiHumo unasikia sauti ya mja muislam, amefungwa humo kwa sababu ya kukhalifu kwake.

وذاق طعم عذابها بمعصيته

. .

.

Page 26: Du`a Kumayl - دعاء كميل

23

wa dhāqa ta’ma ‘adhābiha bi-ma’siyatihiAmeonja ladha ya adhabu yake kwa sababu ya maasi yake,

طباقها بلرمه وجريرتهبس بي أ وحل

wa hubisa bayna atbāqihā bi-jurmihi wa jarīratihiNa amefungwa kati ya tabaka zake kwa sababu ya uovu wake na makosa yake.

ؤمل لرحتك و يضج إلك ضجيج مل وهلwa huwa yadijju ilayka dajija mu’ammilin li-RahmatikaNa yeye anakupigia kelele ukelele wa mwenye kutumaini kwa rehema zako.

هل توحيدكويلناديك بلسان أ

wa yunādīka bi-lisāni ahli tawhīdikaNa anakuita kwa ulimi wa wenye kukupwekesha.

بلوبيتك لل إلك برل ويتوسwa yatawassalu ilayka bi-RubūbiyyatikaNa anajikurubisha kwako kwa Uungu wako.

يا مولي فكيف يبق ف العذابyā Mawlāya fakayfa yabqā fī-l-‘adhabiEe Kiongozi wangu! itakuwaje abakie katika adhabu

و ما سلف من حلمك. و يرجل وهلwa-huwa yarjū mā salafa min hilmika

. .

.

. .

Page 27: Du`a Kumayl - دعاء كميل

24

Na yeye anatumaini (kusamehewa) makosa ambayo yaliyopita kutokana na upole wako.

هل النارل م كيف تلؤلملأ

am kayfa tu’limuhu-n-nāruAu vipi ataumizwa na moto.

لل فضلك ورحتك. ملو يأ وهل

wa-huwa ya’mulu fadlaka wa RahmatakaNa yeye anategemea fadhla zako na rehma zako.

. نت تسمعل صوتهل وترى مكنهلرقلهل لهيبلها (نسخه لهبلها) وأ م كيف يل

أ

am kayfa yuhriquhu lahībuhā wa anta tasma‘o sawtahu wa tarā makānahuAu vipi utamuunguza moto wake na hali wewe unasikia sauti yake na unaona mahali pake.

. نت تعلمل ضعفهلم كيف يشتملل عليه زفيلها وأ

أ

am kayfa yashtamilu ‘alayhī zafīruhā wa anta ta’lamu dafahuAu vipi sauti zake zimemkusanyikia na hali wewe unajua unyonge wake.

. نت تعلمل صدقهلطباقها وأ

م كيف يتقلقلل بي أ

أ

am kayfa yataqalqalu bayna atbāqihā wa anta ta’lamu sidqahoAu vipi anatangatanga kati ya tabaka zake na hali wewe unajua ukweli wake.

. ناديك يا ربهل و يل هل زبانيتلها وهل رل م كيف تزجلأ

.

.

.

. .

Page 28: Du`a Kumayl - دعاء كميل

25

am kayfa tazjuruhu zabāniyatuhā wa huwa yunādīka yā RabbahuAu vipi anakemewa na mlinzi wake (mlinzi wa motoni) na hali yeye anakuita Ee bwana!

هل فيها كل و فضلك ف عتقه منها فتتل م كيف يرجلأ

am kayfa yarjū fadlaka fī ‘itqihi minhā fatatrukahu fīhāAu vipi anatumaini (kupata) fadhla zako, katika kumwachia huru kutoka motoni, unamwacha humohumo tu?

وفل من فضلك ن بك ول المعرل هيهات ما ذلك الظhayhāta mā dhālika-z-zannu bika wa lā-l-ma’rūfū min fadhlikaHivyo sivyo, imani hiyo kwako wala wema kutoka na fadhla zako.

دين من برك وإحسانك. وح شبه لما عملت به المل ول ملwa lā mushbihun limā ‘āmalta bihi-l-muwah-hidīna min birrika wa ihsānikaNa wala sisawa na yale uliyowatendea wenye kukupwekesha kutokana na wema wako na ihsani zako.

قطعلفبالقي أ

fa-bil-yaqīni aqta’uNaamini kwa hakika.

لول ما حكمت به من تعذيب جاحديكlaw lā mā hakamta bihi min ta‘dhībi jahidīkaKama hukuwahukumu kwa kuwaadhibu wanaokupinga

.

. ..

.

Page 29: Du`a Kumayl - دعاء كميل

26

عانديك وقضيت به من إخلد ملwa qadayta bihi min ikhlādi mu’ānidīkaNa umewaadhibu kutokana na kubakia na wenye kukukhalifu.

ها بردا وسلما لعلت النار كلla-ja’alta-n-nāra kullahā bardan wa salamanWallahi umeufanya moto wote kuwa baridi na amani.

قاما ل مل ا و حد فيها مقرما كن ل و

wa mā kāna li-ahadin fīha maqarran wa lā muqāmanHapati yeyote humo makazi (mema) wala mahala (patukufu).

سماؤلكست أ لكنك تقد

lākinnaka taqaddasat AsmāukaHakika wewe majina yako yametukuka.

جعينة والناس أ ها من الكفرين من ال

ن تمل

قسمت أ

أ

aqsamta an tamla’aha mina-l-kāfirīna, mina-l-jinnati wa-n-nāsi ajma’īnaUmeapa kuwa utawajaza humo (motoni) makafiri katika majinni na watu wote.

عاندين. فيها المل ل ن تلوأ

wa an tukhallida fīhā-l-mu’ānidīnaKuwa utawaweka milele humo wapingaji (wa sheria zako).

.

Page 30: Du`a Kumayl - دعاء كميل

27

بتدئا نت جل ثناءلك قللت ملوأ

wa anta jalla thanāuka qulta mubtadianNa wewe zimetukuka sifa zako umesema mwanzo.

تكرما نعام مل لت بال وتطوwa tatawwalta bi-l-in‘āmi mutakarrimanUmeneemesha kwa neema (nyingi kabisa) kwa kuwakarimu.

ون. ؤمنا كمن كن فاسقا ل يستول فمن كن ملأ

A-fa-man kāna mu’minan ka-man kāna fāsiqan lā yastawunaJe Mwislamu wa kweli anaweza kuwa sawa na yule fasiki! hawalingani.

رتها درة الت قد سئللك بالقلإله وسيدي فأ

Ilāhī wa Sayyidī fa-asaluka bi-l-qudrati-l-latī qaddartahāMola wangu! na Bwana wangu! ninakuomba kwa kiasi ambacho ulichokadiria.

وبالقضية الت حتمتها وحكمتهاwa bi-l-qadīyyati-l-latī hatamtahā wa hakamtahāKwa hukumu ambayo umeipasisha na kuihukumu.

جريتهاوغلبت من عليه أ

wa ghalabta man‘alayhi ajraytahāNa umemshinda ambae umemhukumu.

اعة ن تهب ل ف هذه الليلة وف هذه السأ

.

.

Page 31: Du`a Kumayl - دعاء كميل

28

an tahaba lī fī hādhihi-l-laylati wa fī hādhihi-s-sā‘atiKwamba unipe katika usiku huu na wakati huu.

ذنبتلهل ذنب أ جرمتلهل وكل

رم أ جل كل

kulla jurmin ajramtuhu wa kulla dhanbin adhnabtuhuKila ovu nililolitenda, na kila kosa nililolifanyo,

ظهرتلهلو أ

خفيتلهل أ

علنتلهل أ

و أ

جهل عملتلهل كتمتلهل أ رتلهل وكل س

قبيح أ وكل

wa kulla qabīhin asrartuhu wa kulla jahlin ‘amiltuhu katam-tuhu aw a’lantuhu akhfaytuhu aw azhartuhuNa kila ubaya nilioficha na kila ujinga nilioufanya, Nimeuficha au nimeudhihirisha, nimeunyamaza au nimeutamka.

مرت بإثباتها الكرام الكتبي سيئة أ وكل

wa kulla sayyiatin amarta bi-ithbātihā-l-kirāma-l-kātibīnaNa kila maovu uliyomwamrisha kuyaandika Malaika Mtukufu.

ونل من م بفظ ما يكل تهل ين وك الal-ladhina wak-kaltahum bi-hifzi mā yakūnu minnīAmbao umewawakilisha kudhibiti yote yaliyoko kwangu.

مع جوارح ودا ع هل م شل وجعلتهلwa ja‘altahum shuhūdan ‘alayya ma‘a jawārihīUmewafanya kuwa mashahidi juu yangu pamoja na viungo vyangu.

رائهم من و نت الرقيب عنت أ وكل

.

.

Page 32: Du`a Kumayl - دعاء كميل

29

wa kunta anta-r-raqība ‘alayya miw-warāihimWewe umekuwa juu yangu mlinzi nyuma yao.

م اهد لما خف عنهل والشwa-sh-shāhida limā khafiya ‘anhumNa umekuwa shahidi kwa yale yaliyofichika kwao.

. تهل خفيتهل وبفضلك ستوبرحتك أ

wa bi-rahmatika akhfaytahu wa bi-fadlika satartahuNa kwa rehema zako umeyaficha na kwa fadhla zako umeyasitiri.

( ل لل خي أنزلهل (نسخه تلن ي من كل ن تلوفر حظ

وأ

wa an tuwaffira haz-zī min kulli khayrin anzaltahuUnilipe fungu langu kila kheri ulizoziteremsha.

تهل و بر نشلتهل أ و إحسان فض

أ

aw ihsānin fad-daltahu aw bir-rin nashrutahuAu wema ulioukadiria, au uzuri ulioueneza.

لهل و خطاء تستلهل أ و ذنب تغفرل

) أ هل طل و رزق بسطتهل (نسخه تبسل

أ

aw rizqin basat-tahu aw thanbin taghfiruhu aw khata‘in tasturuhuAu riziki uliyoitoa au kosa unalolisamehe au kuteleza unakokusitiri.

يارب يارب يارب يا إله وسيديYā Rabbi Yā Rabbi Yā Rabbi yā Ilāhī wa SayyidīEe Bwana! Ee Bwana! Ee Bwana! Ee Mola wangu na Bwana wangu.

.

..

. .

.

Page 33: Du`a Kumayl - دعاء كميل

30

يا من بيده ناصيت ومولي ومالك رقwa Mawlāya wa Mālika riq-qī yā man biyadihi nāsiyatīNa Kiongozi wangu na mwenye kumiliki maisha yangu. Ee ambae katika miliki yake namsujudia kwa kichwa changu.

ي ومسكنت يا عليما بضلyā ‘Alīman bi-durrī wa maskanatīEe mwenye kujua madhara yangu na makazi yangu.

يا خبيا بفقري وفاقتyā khabīran bi-faqrī wa fāqatīEe mwenye ujuzi (mwenye kujua) ufakiri wangu na matatizo yangu makubwa.

سئللك بقك وقلدسكيا رب يا رب يا رب أ

Yā Rabbi Yā Rabbi Yā Rabbi Asaluka bi-haqqika wa qudsikaEe Bwana! Ee Bwana! Ee Bwana! nihakuomba kwa haki yako na utukufu wako.

سمائكعظم صفاتك وأ

وأ

wa A’zami sifātika wa asmā’ikaNa utukufu wa sifa zako na majina yako.

ورة وقات من (نسخه ف) الليل والنهار بذكرك معملأن تعل أ

an taj’ala awqātî mina-l-layli wan-nahāri bidhikrika ma’mūratanUufanye muda wangu wote usiku na mchana kwa kukumbuka milele.

.

.

. .

Page 34: Du`a Kumayl - دعاء كميل

31

ولة وبخدمتك موصلwa bi-khidmatika mawsulatanNa kwa kukutumikia moja kwa moja.

عمال عندك مقبلولةأ و

wa a’mālī ‘indaka maqbūlatanNa matendo yangu mbele yako hali ya kukudaliwa

ها وردا واحدا ورادي كلعمال وأ

ون أ حت تكل

hattā takūna a’mālī wa awrādī kul-luhā wirdan wāhidanMpaka matendo yangu na nyuradi zangu zote ziwe kitu kimoja

وحال ف خد متك سمدا.wa hālī fī khidmatika sarmadanNa hali yangu katika kukutum ikia siku zote.

ل عو يا سيدي يا من عليه ملyā Sayyidī yā Man‘alayhi mu‘awwalīEe Bwana wangu! Ee ambae mategemeo yangu yako juu yake.

. حواليا من إله شكوتل أ

yā man ilayhi shakawtu ahwālīEe ambaye hali yangu nashitakia Kwake.

يا رب يا رب يا رب قو ع خدمتك جوارحYā Rabbi Yā Rabbi Yā Rabbi Qawwi ‘alā khidmatika jawārihi

.

Page 35: Du`a Kumayl - دعاء كميل

32

Ee Bwana! Ee Bwana! Ee Bwana! vitie nguvu viungo vyangu juu ya kukutumikia.

د ع العزيمة جوانح واشدلwa-shdud ‘alā-l-azīmati jawānihiImarisha maazfmio ya unyenyekevu wangu.

د ف خشيتك وهب ل الwa-hab līya-l-jidda fī khashyatikaNa unipe juhudi katika kukuogopa.

تصال بدمتك وام ف ال والدwa-d-dawāma fī-l-ittisāli bi-khidmatikaNa yadumu mafungamano ya kukutumikia.

ابقي ح إلك ف ميادين الس سحت أ

hattā asraha ilayka fī mayādīni-s-sābiqīnaMpaka niyaachie kwako katika nywanja za washindi.

بادرين سع إلك ف المللوأ

wa usri‘a ilayka fī-l-mubādirīnaNa nikimbilie kwako mbele mbele .

شتاقي شتاق إل قلربك ف الملوأ

wa ashtāqa ilā qurbika fi-l-mushtāqīnaNa natamani kukukurubia katika (hadhara) ya wenye kukupenda.

.

Page 36: Du`a Kumayl - دعاء كميل

33

خلصي نلو المل دنلو منك دلوأ

wa adnuwa minka dunu-w-wal mukhlisīnaNa kukusogelea karibu (pamoja na) wenye Ikhlasi.

وقني خافك مافة الملوأ

wa akhāfaka makhāfata-l mūqinīnaNa kukuogopa kwa khofu za wenye hakika.

. ؤمني جتمع ف جوارك مع الملوأ

wa ajtami‘a fi jawārika ma‘a-l-mu’minīnaNa kukusanyika karibu nawe pamoja na waaminio.

ردهلوء فأ رادن بسل

م ومن أ اللهل

Al-lāhumma wa man arādani bi-su‘in fa’aridhuEe Mola! na yoyote anaenikusudie kwa ubaya basi mrudishie (ubaya wake).

ومن كدن فكدهلwa man kādani fa-kid-huNa mwenye kunikurubia (kwa ubaya) mtenge mbali

حسن عبيدك (نسخه عبادك) نصيبا عندكواجعلن من أ

wa-j‘alnī min ahsani abīdika nasiban ‘indakaUnifanye katika waja wako wenye bahati nzuri kwako.

نلة منك قربهم موأ

.

.

Page 37: Du`a Kumayl - دعاء كميل

34

wa aqrabihim manzilatan minkaNa walio karibu mno kwa cheo kwako.

يك لفة لد هم زل خصوأ

wa akhassihim zulfatan ladaykaNa waliohusika kabisa kwa ukuruba mbele yako.

نالل ذلك إل بفضلك فإنهل ل يلfa-innahu lā yunālu dhālika illā bi-fadlikaKwani halipatikani hilo isipokuwa kwa fadhla zako.

د ل بلودك وجلwa jud lī bi-JūdikaNa unifanyie uzurl kwa ukarimu wako.

بمجدك واعطف عwa-a’tif ‘alayyâ bi-majdikaNa unifanyie upole kwa utukufu wako.

واحفظن برحتك واجعل لسان بذكرك لهجاwa-hfaznī bi-rahmatika wa-j‘al lisānī bi-dhikrika lahijanNa unihifadhi kwa rehema zako, na uufanye ulimi wangu ukukumbuke kwa kukutaja.

تيما وقلب بلبك ملwa qalbī bi-hubbika mutay-yamanNa moyo wangu ukupende kwa kukusudia.

..

.

.

.

Page 38: Du`a Kumayl - دعاء كميل

35

بلسن إجابتك ن ع وملwa munna‘alayya bi-husni ijābatikaNa uneemeshe juu yangu kukuitikia kwa uzuri zaidi.

ت قلن عثوأ

wa aqilnī ‘athratīNa unisamehe makosa yangu

واغفر لي زلتwa-ghfirlī zallatīNa unighufirie kuteleza kwangu (kukosea kwangu)

فإنك قضيت ع عبادك بعبادتكfa-innaka qadayta ‘alā ‘ibādika bi-‘ibādatikaHakika wewe umehukumu juu ya waja wako kwa ibada zako (wanazo kuabudu).

مل الجابة. عئك وضمنت لهل م بدل مرتهلوأ

wa amartahum bi-do‘āika wa daminta lahumu-l-ijābataNa umewa amuru wakuombe, na umewahifadhia majibu.

فإلك يارب نصبتل وجهfa-ilayka yā Rabbi nasabtu wajhīBasi kwako wewe Ee Bwana! nimeweka uso wangu.

وإلك يارب مددتل يدي.

.

.

.

Page 39: Du`a Kumayl - دعاء كميل

36

wa ilayka yā Rabbi madadtu yadīNa kwako wewe Ee Bwana! nimenyoosha mikono yangu.

تك استجب ل دلعئ فبعزFa-bi-‘izzatika-stajib lī du‘aīKwa utukufu wako, nikubalie maombi yangu.

ناي ول تقطع من فضلك رجائ وبلغن ملwa ballighnī munāya wa lā taqta’ min fadlika rajāiNa unifikishie makusudio yangu, na wala usikate matarajio yangu kwa fadhla zako.

. عدائنس من أ ن وال واكفن ش ال

wa-kfinī sharra-l-jinni wa-l-insi min a’dāīNa uniepushie shari ya majini na watu katika maadui zangu.

عء يا سيع الرضا اغفر لمن ل يملكل إل الدyā sarī‘a-r-ridā ighfir li-man lā yamliku illa-d-du‘āaEe mwepesi wa kukubali, msamehe ambae hana chochote anachomiliki isipokuwa maombl (ya kukuomba wewe).

ال لما تشاءل فإنك فعfa-innaka fa’‘ālun limā tashāuHakika wewe kwa kila unachotaka unafanya mara moja.

هل شفاء وطاعتلهل غن هل دواء وذكرل يا من اسملyā mani-smuhu dawāun wa dhikruhu shifā’un wa ta’atutu ghi-nan

. .

.

.

Page 40: Du`a Kumayl - دعاء كميل

37

Ee ambae jina lake ni dawa, na kutajwa kwake ni pozo, na kumtii kwake ni utajiri.

. هل اللكءل سل مال الرجاءل وسلحلأ ن ر ارحم م

Irham man ra’su mālihi-r-rajāu wa silāhuhu-l-bukāuMsamehe ambae msingi wa mali (rasilimali) yake ni matumaini, na silaha yake ni kulia.

يا سابغ النعم يا دافع النقمYā sābigha-n-ni‘ami! yā dāfian-niqamiEe mwenye kueneza neema, Ee mwenye kukinga balaa.

لم ستوحشي ف الظ يا نلور الملyā nūra-l-mustawhishīna fîz-zulamiEe Nuru mwenye kuondoa kiza.

علمل يا علما ل يلyā ‘āliman lā yu‘allamuEe Mjuzi (wa mambo yote) asiyefundishwa.

د م آل مل د و م صل ع ملSalli ‘alā muhammadin wa āli MuhammadinMrehemu (Mtume) Muhammad na Aali Muhammad (s.a.w.w.)

هللهلنت أ

وافعل ب ما أ

wa-f‘al bī mā Anta AhluhuNa unifanyie yale ambayo wewe unayaridhia (matendo ya kheri).

..

.

Page 41: Du`a Kumayl - دعاء كميل

38

ا ا كثي ة الميامي من آل وسلم تسليما كثي ئمول وال ل ع رسل وصل الل

wa sal-lā-l-lāhu ‘alā rasūlihi wa-l-A’immati-l-mayāmīna min ālihi wa sallama taslīman kathīrāNa rehema za Mwenyeezi Mungu zishuke kwa Mtume wake na kwa Maimam madhubuti katika Aali zake Mtume (Ahlul Bayti) (pia zishuke) nusura nyingi kabisa.

.

Page 42: Du`a Kumayl - دعاء كميل

39

TRANSLITERATION

Symbol Transliteration Symbol Transliterationء , ل l

ب b م m

ت t ن n

ث th ه h

ج j و w

ح ḥ ي y

خ kh ة ah

د d

ذ dh

ر r Long Vowels

ز z ○ا ā

س s ○و ū

ش sh ○ي ī

ص ṣ

ض ḍ

ط ṭ Short Vowels

ظ ẓ ○ a

ع ‘ ○ u

غ gh ○ i

ف f

ق q

ك k

Page 43: Du`a Kumayl - دعاء كميل

Na Mola wenu anasema: “Niombeni nitakujibuni . . . . ”

(Surah Al Mu’min 40:60)

Ombeni Dua wakati wa shida, kwani hiyo itaieta rehma

Mtume Muhammad (s.a.w.w)

Dua ni ufunguo wa rehema na mwangaza kwenye giza

Amirui Mu’minin Imam Ali bin Abi Talib (a.s)

Kimetolewa na Kimechapishwa na:Bilal Muslim Mission of Kenya

S.L.P. 82508 Mombasa - Kenya