HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

Embed Size (px)

Citation preview

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    1/45

     JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

     

    WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

    MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO,

     MHESHIMIWA DKT. PHILIP ISDOR MPANGO (MB),

    AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA

    MATUMIZI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

    KWA MWAKA 20161!

    1 JUNI, 2016

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    2/45

    1.0 UTANGULIZI

    1. Mheshimiwa Spika,  kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa

    Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti,

    naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea,

    kujadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya

    Fedha na Mipango kwa mwaka 2!"#!$%

    2. Mheshimiwa Spika,  naomba kuanza hotuba yangu kwa

    kumshukuru Mwenyezi Mungu, kwa kuniruhusu kusimama mbele ya

    Bunge lako Tukufu kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango

    kwa mwaka 2!"#!$%

    ". Mheshimiwa Spika, napenda kutumia fursa hii adhimu

    kuwapongeza kwa dhati kabisa Mhe% &kt% 'ohn (ombe 'oseph Magufuli,

    )ais wa 'amhuri ya Muungano wa Tanzania na Mhe% *amia *uluhu

    +assan, Makamu wa )ais wa 'amhuri ya Muungano wa Tanzania kwa

    ushindi mkubwa waliopata katika -haguzi Mkuu wa tarehe 2.

    /ktoba, 2!. na kuwawezesha kuongoza Taifa letu na *erikali ya

    0wamu ya Tano% 0idha, nitumie fursa hii kumpongeza Mhe% Kassim M%

    Majaliwa kwa ku-haguliwa na wanan-hi wa 'imbo la )uangwa kwa

    kura nyingi kuwa Mbunge wao na hi1yo kutoa fursa kwa yeye

    kuteuliwa na Mheshimiwa )ais kuwa Waziri Mkuu wa 'amhuri ya

    Muungano wa Tanzania% Kwa pamoja, nawaombea afya njema na

    hekima kutoka kwa Mungu katika kutekeleza majukumu yao -hini ya

    !

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    3/45

    kaulimbiu ya #H$%$ K$&' T kwa manufaa ya wanan-hi wote na

    hasa masikini%*. Mheshimiwa Spika, naomba nikupongeze wewe binafsi  kwa

    ku-haguliwa kwako kuwa *pika wa Bunge la 'amhuri ya Muungano wa

     Tanzania na kwa kuliongoza Bunge letu Tukufu kwa busara na hekima%

    0idha, nampongeza pia Mhe% &kt% Tulia 0-kson Mwansasu, kwakuteuliwa kuwa mbunge na kwa ku-haguliwa kuwa aibu *pika na

    hi1yo kukusaidia kuendesha 1yema shughuli za Bunge% awaombea

    kwa Mungu awape afya na hekima ya kuendesha Bunge hili kwa

    manufaa ya Taifa kwa ujumla%

    +. Mheshimiwa Spika, naomba ku-hukua fursa hii pia

    kuwapongeza Waheshimiwa Wabunge wote kwa ku-haguliwa

    kuwakilisha wanan-hi wa majimbo yenu na wote walioteuliwa

    kuwakilisha makundi maalum katika jamii yetu% 0idha, nawapongeza

    Mawaziri na aibu Mawaziri wote wa *erikali ya 0wamu ya Tano kwa

    kuaminiwa na kuteuliwa na Mheshimiwa )ais kumsaidia katika

    kuwaletea maendeleo Watanzania%

    6. Mheshimiwa Spika, naomba pia nitoe shukrani zangu za dhati

    kwa Mheshimiwa )ais wa 'amhuri ya Muungano wa Tanzania, &kt% 'ohn

    (ombe 'oseph Magufuli kwa kuniamini na kuniteua kuwa Waziri wa

    Fedha na Mipango% +i1yo, kwa mara nyingine, ninamuahidi

    Mheshimiwa )ais na Watanzania kwa ujumla kwamba nitatekeleza

     jukumu hili kwa bidii, weledi na uadilifu%

    2

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    4/45

    !. Mheshimiwa Spika, kipekee nimshukuru aibu Waziri wa Fedha

    na Mipango, Mheshimiwa &kt% 0shatu Ka-hwamba Kijaji 3 Mbunge wa

    Kondoa, kwa ushirikiano anaonipa kutekeleza majukumu yangu kwa

    ufanisi mkubwa% 0idha, niwashukuru pia 4iongozi wa Wizara, nikianza

    na Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa *erikali, &kt% *er1a-ius Beda

    5ikwelile, aibu Makatibu Wakuu, dugu &orothy *% Mwanyika, dugu

     'ames &oto na dugu 0mina Kh% *haaban, kwa ari yao ya kujituma

    katika kutekeleza majukumu ya Wizara ya Fedha na Mipango% 4ile1ile

    napenda kuwashukuru (rof% Benno dulu, 6a1ana wa Benki Kuu ya

     Tanzania, Bw% 0lphayo Kidata, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato

     Tanzania, Bw% 5awren-e Mafuru 7 Msajili wa +azina na &kt% 0lbina

    8huwa 7 Mkurugenzi Mkuu wa /9si ya Taifa ya Takwimu, kwa

    kunisaidia kutekeleza majukumu yangu 1izuri na kuongoza taasisi

    muhimu wanazosimamia kwa weledi mkubwa% 0idha, nawashukuru

    Makamishna, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Wakuu wa 4itengo na

    Wafanyakazi wote wa Wizara ya Fedha na Mipango kwa kazi nzuri na

    ushirikiano wao mkubwa wanaonipatia katika kutekeleza majukumu

    yetu ya kila siku%

    . Mheshimiwa Spika, napenda kuishukuru kwa dhati Kamati ya

    Kudumu ya Bunge ya Bajeti -hini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa

    +awa 0bdulrahman 6hasia, Mbunge wa Mtwara 4ijijini, na Makamu

    Mwenyekiti Mheshimiwa 'osephat *inkamba Kandege, Mbunge wa

    Kalambo kwa ushirikiano wao waliotupatia wakati wa kujadili

    Mapendekezo ya Mpango na Bajeti ya Wizara yangu% inaahidi

    kwamba tutaendelea kushirikiana na Kamati hii na kuzingatia ushauri

    :

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    5/45

    na maelekezo wanayotupatia kwa lengo la kuleta ufanisi katika

    kutekeleza majukumu ya Wizara yangu%

    -. Mheshimiwa Spika,  hotuba yangu itajikita katika maeneo

    makuu matatu yafuatayo; Kwanza, ni Mwelekeo wa Majukumu ya

    Wizara katika Kujenga Msingi wa -humi , alipokuwa

    anawasilisha hotuba yake katika Bunge lako Tukufu mnamo tarehe 2.0prili 2!", alielezea mwelekeo wa *erikali ya 0wamu ya Tano yenye

    falsafa ya +0(0 K0?< T nanukuu #M$/3 4$ S5'$/' 4$ K7'$

    '%$83 9:$ $8' $ ;$4'$

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    6/45

    12. Mheshimiwa Spika, Wizara yangu imejipanga ku-hukua hatua

    madhubuti zinazolenga kujenga Taifa linalojitegemea kwa kukuza

    u-humi na kupunguza umasikini% Moja ya hatua hizo ni kusimamia na

    kufuatilia kwa ukamilifu utekekelezaji wa Mpango wa (ili wa

    Maendeleo wa Miaka Mitano 2!"#!$ 7 22#2!% Mpango huu unajikita

    katika kujenga msingi wa u-humi wa 1iwanda na maendeleo ya watu%

    1".   Mheshimiwa Spika,  ili mpango huu uweze kutekelezwa kwa

    ufanisi na kupata matokeo tarajiwa, ni dhahiri kuwa tutahitaji rasilimali

    za kutosha, hususan rasilimali fedha% Wizara ya Fedha na Mipango

    kwa kushirikiana na wadau wengine inalo jukumu la kuimarisha

    ukusanyaji wa mapato ili kukabiliana na -hangamoto ya upungufu wa

    rasilimali fedha% 0idha,

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    7/45

    mapato yanayokusanywa na taasisi na mamlaka mbalimbali za

    *erikali ili kuongeza ukusanyaji wa mapato ya *erikali% Tunalenga pia

    kuimarisha ukusanyaji wa mapato yasiyo ya kodi na kuboresha

    usimamizi wake -hini ya Mamlaka ya Mapato Tanzania kutokana na

    uzoefu na mifumo ya ukusanyaji iliyopo n-hi nzimaA Kuendelea

    ku-hukua hatua za kudhibiti na kupunguza misamaha ya kodi isiyo na

    tijaA na Kuendelea kuimarisha usimamizi na kufanya ukaguzi wa mara

    kwa mara bandarini na maeneo ya mipakani ili kuhakikisha kwamba

    kodi stahiki zinakusanywa%

    1+. Mheshimiwa Spika, mikakati mingine itakayotekelezwa na

    Wizara ni kama ina1yooneshwa katika kitabu -ha hotuba yangu

    kuanzia ukurasa wa $>$ hadi ukurasa wa % Mafungu hayo ni Fungu

    "

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    8/45

    . 7 Wizara ya Fedha na MipangoA Fungu 2! 3 +azinaA Fungu 22 7 &eni

    la TaifaA Fungu 2: 7 ' $ K'

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    9/45

    zaidi% *era ya bajeti inalenga, pamoja na mambo mengine, kudhibiti

    na kupunguza mfumuko wa bei na hi1yo kupunguza gharama za

    maisha ya wanan-hi%

    ".1.2 U5$8'> ?$ M'%$3 4$ M$=/3 4$ T$';$

    21. Mheshimiwa  Spika,  Wizara imeendelea kuratibu uandaaji na

    ufuatiliaji wa mipango ya maendeleo n-hini sambamba na kusimamia

    u-humi%

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    10/45

    pamoja na kufanya tathmini ya mkakati huo ambao baada ya

    kuongezewa muda wa mwaka mmoja wa utekelezaji, una9kia ukomo

    wake mwezi 'uni, 2!"% Matokeo ya tathmini hiyo yameainishwa katika

     Taarifa ya tekelezaji wa MKKT07% Taarifa hii ilisambazwa kwa Waheshimiwa Wabunge

    wakati nilipowasilisha mwelekeo wa Mpango wa Maendeleo wa Miaka

    Mitano 0wamu ya (ili =2!"#!$ 7 22#2!> kwenye semina ya

    Waheshimiwa Wabunge mwezi Februari, 2!"% Tathmini hiyo imetoa

    m-hango mkubwa katika kubainisha 1ipaumbele 1ya Mpango wa

    Maendeleo 0wamu ya (ili ambao umejumuisha masuala ya

    kupambana na umaskini%

    2*. Mheshimiwa Spika, kwa ufupi, mafanikio yaliyopatikana katikautekelezaji wa MKKT07

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    11/45

    Binadamu =+uman &e1elopment yalikuwa

    :'/'' >'/'3' 10,"*6.++  sawa na $'/'

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    12/45

    Kuwatambua walipa kodi kupitia ta9ti mbalimbali na hatimaye

    kuwasajiliA na Kutekeleza utaratibu wa ulipaji kodi kwa kutumia 1italu

    1ya kodi%

    2. Mheshimiwa Spika,  hatua nyingine zilizo-hukuliwa ni pamoja

    na; kuwatambua na kuwasajili wajasiriamali walio kwenye sekta isiyo

    rasmi na kufuatilia mwenendo wa malipo yaoA Kutekeleza mkakati wa

    ulipaji kodi kwa hiariA Kufanya uta9ti kuhusu kodi za pango za majengo

    ambazo zinatoa mwelekeo wa kodi za mapato kutoka kwa wenye

    majengo ya biasharaA Kutumia mifumo ya TE+0M0 katika kusajili na

    malipo ya kodiA na uwasilishaji kwa njia ya kielektroniki wa )itani za

    kodi ya ongezeko la thamani na miamala ya forodha% 0idha, *erikali

    ilikamilisha *heria ya simamizi wa Mapato ya Mafuta na 6esi ya

    mwaka 2!. yenye lengo la kuhakikisha kuwa matumizi ya mapato

    yatokanayo na mafuta na gesi yatasimamiwa ipasa1yo kwa manufaa

    ya kizazi -ha sasa na 1izazi 1ija1yo%

    2-. Mheshimiwa Spika, katika kuimarisha ukusanyaji wa mapato

    yasiyo ya kodi Wizara imesimamia na kuhimiza utumiaji wa mfumo wa

    kielektroniki katika utoaji wa risiti kwa tozo, faini, ada na malipo

    mengine yote ya *erikali Kuu, Mamlaka za *erikali za Mitaa na

    Mawakala wote wa *erikali% 0idha, Wizara imeendelea kuhimiza

    uongezaji wa kufanya uthamini wa majengo mijini ili kuhakikisha

    ulipaji wa 1iwango stahikiA na kusimamia kwa karibu zaidi Mashirika ya

    mma na Wakala wa *erikali ili kuhakikisha *erikali inapata gawio

    !!

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    13/45

    stahiki, matumizi yasiyo na tija yanaondolewa na mapato ya ziada

    yana-hangia Mfuko Mkuu wa *erikali%

    =b> M'$$=$ $ M'3%3

    "0. Mheshimiwa Spika, Wizara ililenga kuendeleza ushirikiano na

    wadau mbalimbali wakiwemo Washirika wa Maendeleo katika

    kutekeleza mipango ya maendeleo% Katika mwaka 2!.#!", Washirika

    wa Maendeleo waliahidi ku-hangia bajeti ya *erikali kwa kiasi -ha

    :'/'' >'/'3' 2,"22.+  ambapo misaada ya Kibajeti ni :'/''

    >'/'3' 660, Mifuko ya kisekta ni :'/'' >'/'3' 1-- na miradi ya

    Maendeleo ni :'/'' >'/'3' 1,*6"%

    "1. Mheshimiwa Spika, hadi ku9kia Ma-hi, 2!" kiasi -ha :'/''

    >'/'3' 1,06*.-  sawa na $'/''/'3' 16-.6 =sawa na asilimia

    2" ya ahadi>, Mifuko ya kisekta ni :'/'' >'/'3' 2*".-6 =sawa na

    asilimia !2: ya ahadi> na Miradi ya Maendeleo :'/'' >'/'3'

    6+1."2 =sawa na asilimia @" ya ahadi>%

    "2. Mheshimiwa Spika,  kupungua kwa misaada toka nje

    kunatokana na kujiondoa kwa baadhi ya Washirika wa Maendeleo

    wanao-hangia kupitia Misaada na mikopo ya kibajeti na baadhi ya

    Washirika wa Maendeleo kupunguza ahadi zao% Wafadhili

    wanao-hangia kupitia misaada ya kibajeti walipunguza mi-hango yao

    !2

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    14/45

    kutoka :'/'' >'/'3' 660  mpaka :'/'' >'/'3' "--  katikati ya

    mwaka wa fedha 2!.#!" na wengine kuhusisha utoaji wa fedha na

    masharti ambayo hayakuwemo katika makubaliano ya awali% Katika

    kushughulikia -hangamoto hizi, *erikali inaendelea na mazungumzo

    na Washirika wa Maendeleo ili kuhakikisha kwamba fedha

    zilizoahidiwa zinatolewa kwa wakati%

    ".*.+.1. U$=$$C' $ U'

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    15/45

    na matumizi ya 4ET0A fedha za J*kills &e1elopment 5e1yH kwa

    Mamlaka ya Elimu Tanzania% 0idha, Wizara ilihakiki madeni ya *hirika

    la +abari Tanzania =TB8>, Kampuni ya Magazeti Tanzania =T*>,

    Kampuni ya *imu =TT85> yanayodaiwa katika Taasisi mbalimbali za

    *erikali na *hirika la kudhibiti nzige wa jangwani na nzige wekundu%

    Wizara pia ilifanya ufuatiliaji wa fedha za *&5 zilizotolewa kwenye

    mradi wa G*upport *kills &e1elopment (roje-tI kwa Wizara ya Kazi%

    ".*.6. U'

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    16/45

    "!. Mheshimiwa Spika, Wizara imeendelea kudhamini mafunzo ya

    muda mrefu kwa watumishi 2: wa kada ya uhasibu, uga1i, u-humi

    na kompyuta kutoka kwenye Wizara,

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    17/45

    barabara, reli, ujenzi wa mitambo ya kufua umeme na ujenzi wa

    1iwanja 1ya ndege%

    "-. Mheshimiwa Spika,  kwa mwaka 2!.#!", *erikali ilitenga

    shilingi bilioni .@%.$ kwa ajili ya kulipa riba ya deni la nje% +adi Ma-hi,

    2!" shilingi bilioni @!@%"" sawa na asilimia 2 zilitumika kwa ajili

    hiyo% 0idha, *erikali ilitenga shilingi bilioni CC%C kwa ajili ya kulipa

    riba ya deni la ndani% +adi Ma-hi, 2!" shilingi bilioni .@$% sawa na

    asilimia "! zilitumika kwa ajili hiyo%

    *0. Mheshimiwa Spika,  kwa mwaka wa fedha 2!.#!" *erikali

    ilitenga pia shilingi bilioni @2!%2 kwa ajili ya kulipa mtaji wa deni la

    nje% +adi Ma-hi, 2!" shilingi bilioni :C.%C sawa na asilimia C@zilitumika kwa ajili hiyo% 0idha, *erikali ilitenga shilingi trilioni 2%$ kwa

    ajili ya kulipa mtaji wa deni la ndani% +adi Ma-hi, 2!" shilingi trilioni

    !%" sawa na asilimia "C zilitumika kwa ajili hiyo%

    ".*.-. U'

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    18/45

    1ili1yokuwa na thamani ya shilingi bilioni !%" 1ilitolewa kwa mamlaka

    na taasisi mbalimbali za *erikali%

    ".*.10. U&' ?$ U

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    19/45

    kwa kipindi -ha mwaka 2!@#!. kwa mujibu wa

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    20/45

    Mkuu wa +esabu za *erikali 7 806A Kukirejesha kwenye umiliki wa

    *erikali Kiwanda -ha General Tyre  kwa kununua hisa za mbiaA

    Kukamilisha uhakiki wa madai wa waliokuwa watumishi kwenye

    mashirika yaliyobinafsishwaA Kufanya kaguzi wa Kimenejimenti

    kwenye Taasisi tano  ambazo ni 8huo -ha Kumbukumbu ya Mwalimu

    yerere 3 Ki1ukoni, *hirika la Elimu 7 Kibaha, Bodi ya Kahawa Tanzania

    na 8huo -ha baharia 7 &ar Es *alaam na Makumbusho ya Taifa

    ambapo taarifa ya kaguzi hizo zimeandaliwa%*. Mheshimiwa Spika, mambo makubwa yaliyobainika katika

    kaguzi hizo za kimenejimenti ni pamoja na; Matumizi yasiyoridhisha ya

    rasilimali watu na fedhaA ajira zisizozingatia utaratibuA ulipaji

    marupurupu na posho usiozingatia utaratibu na nyaraka za Msajili wa

    +azinaA madeni ya wazabuni ya muda mrefu yaliyolimbikizwa

    kutokana na ukosefu wa fedha, kutokana na ukosefu wa fedhaA baadhi

    ya  Taasisi kuingia mikataba ya kibiashara ambayo haina maoni ya

    /9si ya Mwanasheria Mkuu wa *erikali, uendeshaji wa Taasisi bila

    kuzingatia 1igezo 1ya utawala bora kwa baadhi ya taasisi na hi1yo

    kushindwa kutumia rasilimali zilizopo kwa weledi na tijaA na Mamlaka

    za uteuzi kushindwa kuteua Bodi za Wakurugenzi kwa wakati kwa

    baadhi ya taasisi na kusababisha maamuzi ya msingi ku-helewa

    kufanyika au kutokufanyika kabisa%

    *-. Mheshimiwa Spika,  hatua mbalimbali zime-hukuliwa ili

    kurekebisha mapungufu yaliyobainishwa katika kaguzi hizo ikiwemoA

    kuzijulisha Wizara Mama pamoja na mamlaka nyingine za *erikali

    !C

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    21/45

    matokeo ya kaguzi hizo ili ziweze ku-hukua hatua stahiki kwa Taasisi

    na Mashirika wanayoyasimamiaA /9si ya Msajili wa +azina kutoa

    maelekezo ya kusitisha malipo ya posho yasiyozingatia nyaraka na

    kanuni za tumishi na kanuni za fedha, kuziagiza Taasisi husika

    kuandaa miongozo inayohitajika katika uendeshaji wa Taasisi na

    Mashirika, kuziagiza Bodi za Taasisi ku-hukua hatua stahiki dhidi ya

    mapungufu yaliyobainishwa kwenye kaguzi na kumuomba

    Mwanasheria Mkuu wa *erikali kupitia upya mikataba ya kibiashara

    iliyoingiwa na Taasisi na Mashirika ya mma%

    +0. Mheshimiwa Spika, Wizara pia ilifanya uperembaji

    =Monitoring and E1aluation> kwenye Taasisi na Mashirika ya mma ..

    yaliyobinafsishwa kwa lengo la kukagua ufanisi na kuhakiki utekelezajiwa masharti kulingana na mikataba ya ununuzi kwa mujibu wa agizo

    la Mheshimiwa )ais wakati wa ufunguzi wa Bunge la !!% Baadhi ya

    mashirika hayo ni Mwanza TeDtile, *hinyanga Meat,

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    22/45

    +1. Mheshimiwa Spika,  baada ya uperembaji huu Wizara

    ime-hukua hatua mbalimbali zikiwemo; Kuwaita wawekezaji wote

    waliobainika kutotekeleza mikataba ya mauzoA Kutoa notisi ya kusudio

    la ku1unja mikataba ya mauzo kwa baadhi ya wawekezajiA Ku1unja

    mkataba wa mauzo na wawekezajiA Kusaidia kutatua baadhi ya

    -hangamoto ambazo zimesababisha kutotekelezwa ipasa1yo kwa

    mikataba ya mauzo ikiwemo kutokuwepo mipango wa wekezajiA na

    kuwapongeza baadhi ya wawekezaji ambao wameendelea kufanya

    1izuri katika kuendeleza mali walizonunua na ku-ho-hea shughuli za

    kiu-humi na hatimaye ku-hangia kwenye pato la Taifa%

    ".*.1". M$;$3 4$ W$8$$; $ M'5$8:'

    +2. Mheshimiwa Spika, dhana ya msingi ya sekta ya hifadhi ya

     jamii imejikita katika kuhakikisha kuwa wanan-hi wanawezeshwa

    kuishi maisha yenye staha kwa kupata huduma za msingi katika

    1ipindi 1ya uzee, maradhi, ukosefu wa kazi, uzazi, kifo na hali nyingine

    itakayosababisha mtu asiweze kufanya shughuli za kujiongezea

    kipato% *erikali kwa kutambua m-hango mkubwa uliotolewa na

    wastaafu katika ujenzi wa Taifa imeendelea kuboresha huduma ya

    malipo kwa wastaafu, kwa kulipa pensheni moja kwa moja kwenye

    akaunti zao kwa kutumia mfumo wa TE+0M0 wa Benki Kuu ya

     Tanzania uitwao T08+ kuanzia mwezi Mei, 2!.% 0idha kumbukumbu

    za wastaafu zimeendelea kuhifadhiwa kwenye mfumo wa TE+0M0

    2!

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    23/45

    unaoitwa *0(E) na wadau wa ndani na nje ya n-hi

    ikiwemo Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na )ushwa na Kitengo -ha

    Kudhibiti takasishaji wa Fedha +aramu -ha ?imbabwe na hi1yo

    kufanya idadi ya hati za makubaliano na 1itengo mbalimbali kuwa

    kumiA Kutoa elimu na mafunzo kwa wadau mbalimbali wakiwemo

    watoa taarifa za jinsi ya kutumia mfumo maalum wa u-hambuzi wa

    22

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    24/45

    taarifa wa kompyuta kwa ajili ya kurahisisha uwasilishaji wa taarifa za

    miamala shuku na u-hambuziA na Kuratibu na kusimamia zoezi la

    Kitaifa la kutathmini 1iashiria hatarishi 1ya fedha haramu na ufadhili

    wa ugaidi%

    ".*.1+. T'$ $8' 4$ S5'$/' $ S8$ B'$;'

    +!. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2!.#!", Wizara imeendelea

    kupokea na ku-hambua miradi ya ubia kwa lengo la kuiidhinisha kwa

    mujibu wa *heria% Wizara kupitia Kitengo -hake -ha bia kati ya *ekta

    ya mma na *ekta Binafsi ime-hambua na kuidhinisha mradi wa

    kufua umeme wa Kinyerezi lll% 0idha, upembuzi yakinifu wa mradi wa

    barabara ya tozo kati ya &ar es *alaam na 8halinze unaendelea

    kufanyika% Kadhalika, *erikali ipo katika hatua ya mwisho kumpata

    mshauri elekezi kwa ajili ya mradi wa kuzalisha madawa muhimu na

    utengenezaji wa 1ifaa tiba -hini ya Bohari Kuu ya Madawa =M*&>%

    2:

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    25/45

    4ile1ile, Wizara kupitia kitengo -hake -ha ubia inafanya u-hambuzi wa

    maandiko ya mradi wa uendeshaji wa daraja la Kigamboni kwa lengo

    la kuidhinisha Mradi huo tayari kwa kuandaliwa mkataba wa

    uendeshaji%

    +. Mheshimiwa Spika, sambamba na u-hambuzi wa miradi, katika

    mwaka 2!.#!" mafunzo mbalimbali yalitolewa kwa makundi sita

    yakiwemo watunga seraA Mao9sa Waandamizi *erikali Kuu na *erikali

    za MitaaA Taasisi BinafsiA Mashirika ya mmaA Taasisi za *erikaliA na

    taasisi za fedha kutegemea na mahitaji na majukumu ya kila kundi%

     'umla ya wadau 2!$ walipatiwa mafunzo kuhusu *era, *heria na

    Kanuni za Miradi ya bia%

    ".+. USIMAMIZI NA URATIBU WA TAASISI NA MASHIRIKA

     YA UMMA HINI YA WIZARA

    +-. Mheshimiwa Spika, kama nili1yoeleza hapo awali, Wizara

    yangu inaratibu na kusimamia mashirika na Taasisi za mma :. zilizo

    -hini yake% tekelezaji wa majukumu ya Taasisi na Mashirika haya kwa

    mwaka 2!.#!" ni kama ina1yooneshwa katika kitabu -ha hotuba

    yangu kuanzia ukurasa wa *6 hadi ukurasa wa !+% 0idha, utekelezaji

    wa miradi ya maendeleo -hini ya Wizara kwa mwaka 2!.#!",

    ikijumuisha mafanikio pamoja na -hangamoto ni kama pia

    una1yooneshwa katika kitabu -ha hotuba yangu kuanzia ukurasa wa

    !6 hadi ukurasa wa 2.

    2@

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    26/45

    *.0 MALENGO YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 20161!

    60. Mheshimiwa Spika, baada ya kuelezea utekelezaji wa mjukumu

    ya Wizara kwa kina kwa mwaka 2!.#!", naomba sasa nieleze

    malengo ya Mpango na Bajeti kwa mwaka 2!"#!$%

    *.1 MAJUKUMU YA WIZARA

    *.1.1 K>' $ K' ?$ M'%$3 4$ M$=/3 4$ T$';$

    62. Mheshimiwa Spika,  katika mwaka 2!"#!$ Wizara imepanga

    kuendelea kuwaelimisha wadau mbalimbali kuhusu wajibu wao katika

    2.

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    27/45

    kutekeleza Mpango wa (ili wa Maendeleo wa Miaka Mitano =2!!#!2 3

    22#2!>A Kuandaa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka

    2!$#!A Kufuatilia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo naA

    Ku-hapisha, kusambambaza na kuelimisha wadau mbalimbali kuhusu

    Mwongozo wa simamizi wa wekezaji wa mma =(% *hughuli

    hii inalenga kuimarisha taratibu za uibuaji, utekelezaji na usimamizi

    wa miradi ya maendeleo ili kuhakikisha kuwa miradi inayoibuliwa

    inatekelezwa kikamilifu na kwa mafanikio makubwa%

    *.1." U5$8'> ?$ M'$$8' 4$ K%&$

    U

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    28/45

    kuhusu masuala ya kuondoa umaskini hususan namna bora na

    endele1u ya kuboresha jitihada za *erikali katika kuinua hali ya

    maisha ya watanzania walio -hini ya mstari wa umaskini na kuongeza

    kasi katika kuleta maendeleo ya binadamu%

    *.1.* U'

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    29/45

    6+. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2!"#!$ *erikali itaendelea

    kushirikiana na wadau mbalimbali ili kupata fedha za nje za

    kugharamia miradi ya maendeleo% *erikali itaelekeza fedha za nje

    katika kutelekeza miradi mikubwa ya maendeleo itakayo-ho-hea

    ukuaji wa u-humi sambamba na kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa

    mapato ya ndani na kuimarisha usimamizi wa matumizi ya *erikali%

    +ata hi1yo, azma ya *erikali ni kupunguza na hatimaye kuondokana

    na utegemezi wa kibajeti%

    66. Mheshimiwa Spika, *erikali kwa kushirikiana na Washirika wa

    Maendeleo tumekubaliana kuwaleta Washauri Elekezi wa kimataifa ili

    waweze kufanya tathmini ya ushirikiano wetu pamoja na namna ya

    kuendesha majadiliano% 5engo ni kuboresha ushirikiano wa maendeleona kushauriana na *erikali juu ya njia nzuri ya kupokea fedha za nje ili

    ziweze kuwekezwa kwenye miradi ya maendeleo yenye kuleta ufanisi

    zaidi%

    *.1.+ U$=$$C' $ U'

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    30/45

    Wizara,

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    31/45

    *.1.! U' na mfumo wa +azina 7 Treasury )e1enue 0--ounting *ystem

    kwa lengo la kupata taarifa za mapato ya kodi kutoka T)0

    kielektroniki%

    !0. Mheshimiwa Spika, Wizara imepanga pia kufuatilia utekelezaji

    wa Miongozo ya ukaguzi wa ndaniA kukagua mfumo wa kuandaa

    bajetiA Kufanya ukaguzi maalum kadri ya mahitaji ya Mlipaji Mkuu wa

    *erikali na wadau wengineA na kuendelea kutoa mafunzo na kufanya

    ufuatiliaji wa miongozo mbalimbali ambayo imetolewa na Wizara kwa

    wakaguzi wa ndani wote na wadau mbalimbali wanaotumia miongozo

    hiyo%

    :

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    32/45

    *.1. D' /$ T$';$

    !1. Mheshimiwa Spika,  Wizara kwa mwaka 2!"#!$ imepanga

    kuendelea kulipa madeni mbalimbali yaliyokopwa na *erikali ili

    kugharamia miradi ya maendeleo n-hini pamoja na kuwasilisha

    mi-hango ya *erikali kwenye Mifuko ya +ifadhi za 'amii% 0idha, kwakuwa malipo ya 9dia kwa wafanyakazi waliokuwa wakipata ajali

    mahala pa kazi yalikuwa hayashughulikiwi ipasa1yo na waajiri na

    mifuko iliyopo ya +ifadhi ya 'amii ambayo mingi ni ya (ensheni,

    *erikali ilianzisha Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi na Wizara kwa

    mwaka 2!"#!$ imepanga kuanza kuwasilisha m-hango wa mwajiri

    kwenye Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi ili watumishi wa umma

    wakipata ajali mahala pa kazi waweze kulipwa na Mfuko huu kwa

    wakati%

    *.1.- U'

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    33/45

    kuepuka ulipaji wa 9dia usiokuwa wa lazima% 0idha, Wizara itahakiki

    mali katika Wizara,

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    34/45

    1ifaa tiba pamoja na manunuzi ya bidhaa mtambukaA Kuongeza uwezo

    wa watumiaji wa *heria ya nunuzi wa mma kwa kufanya mafunzo

    kwa wanataaluma na wadau wengine ikiwa ni pamoja na kufanya

    uta9ti juu ya taaluma ya ununuzi na uga1i utakaopelekea kutoa

    ushauri kwa *erikali kwenye maeneo ya taratibu na sera za ununuzi

    na uga1i naA Kuongeza kiwango -ha ufaulu wa watahiniwa toka

    kiwango -ha sasa -ha asilimia @2% hadi ku9kia asilimia . kwa

    kuboresha mazingira ya kujifunzia%

    !+. Mheshimiwa Spika,  katika mwaka 2!"#!$, Wizara kupitia

    Wakala wa +uduma ya nunuzi *erikalini imepanga kuendelea na

    ununuzi wa magari kwa pamojaA Kuongeza uwezo wa Wakala wa

    kuhifadhi mafuta ku9kia wastani wa lita ., kila mkoa katika mikoaya

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    35/45

    Kuu, Mamlaka za *erikali za Mitaa, Taasisi za *erikali na Mashirika ya

    mma% 0idha, ukaguzi utahusisha *ekta ya mafuta na gesi na pia

    ukaguzi katika sekta ya madini utaimarishwa% Wizara itaendelea

    kuimarisha uwezo wa kitaalam kwa Wakaguzi wake, na kuendelea na

    ujenzi wa majengo ya /9si ya Taifa ya kaguzi ili kuongeza uhuru wa

    wakaguzi kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na tija zaidi ili kukidhi

    matakwa ya 1iwango 1ya kimataifa 1ya taasisi za ukaguzi pamoja na

    maazimio ya kimataifa ya 5ima na MeDi-o ambayo Tanzania

    imeyaridhia%

    *.1.12 U'

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    36/45

    !. Mheshimiwa Spika,  kwa mwaka 2!"#!$ shilingi trilioni !%!@

    zimetengwa kwa ajili ya kulipa m-hango wa mwajiri kwenye Mifuko ya

    +ifadhi ya 'amii% 0idha, Wizara itaendelea kuboresha kumbukumbu za

    wastaafu ikiwa ni pamoja na kulipa pensheni kwa wakati%

    *.1.1* U=:'>'8' ?$ F=:$ H$5$

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    37/45

    katika mambo ya muungano% *tadi hii inalenga kubaini ushiriki wa

    pande mbili za muungano katika uwekezaji kwa mambo ya muungano%

    0idha, Wizara inakusudia kufanya mapitio ya stadi zilizofanywa na

     Tume kuhusu mfumo bora wa kodi wa 'amhuri ya Muungano wa

     Tanzania ikiwa ni pamoja na u-hambuzi wa masuala ya fedha

    yanayohusu mambo ya muungano%

    *.1.16 U>'$ $8' 4$ S5'$/' $ S8$ B'$;'

    1. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2!"#!$ Wizara itaendelea

    kupokea na ku-hambua miradi ya ubia kwa lengo la kuiidhinishaA

    Kutoa ushauri kwa Wizara na Taasisi za *erikali katika ku-hagua miradi

    bora ya ubiaA Kuziwezesha taasisi zenye miradi ya ubia kuajiriwashauri elekezi pamoja na kuendelea kutoa elimu kwa wadau

    mbalimbali kuhusu sera, sheria na kanuni za miradi ya ubia%

    *.2 USIMAMIZI NA URATIBU WA TAASISI NA MASHIRIKA

     YA UMMA HINI YA WIZARA

    2. Mheshimiwa Spika, mipango na malengo ya bajeti kwa mwaka

    2!"#!$ kwa upande wa mashirika na taasisi za umma zilizo-hini ya

    Wizara ni kama ina1yooneshwa katika kitabu -ha hotuba yangu

    kuanzia ukurasa wa C$ hadi ukurasa wa !2!%

    +.0 MAKADIRIO YA MAPATO KWA MWAKA 20161!

    :"

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    38/45

    +.1 MAKADIRIO YA MAPATO

    ". Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2!"#!$, Wizara inakadiria

    kukusanya maduhuli kiasi -ha shilingi **-,6--,!2!,+0"  kutoka

    katika 1yanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mauzo ya nyaraka za

    zabuni, kodi za pango, mauzo ya leseni za minada na mishahara

    isiyolipwa, gawio, marejesho ya mikopo na mi-hango kutoka katika

     Taasisi na Mashirika ya mma%

    +.2 MAOMBI YA FEDHA KWA MWAKA 20161!

    *. Mheshimiwa Spika, Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka

    2!"#!$ kupitia mafungu yote tisa ya kibajeti inaomba kuidhinishiwa

     jumla ya S:'/''  ,!16,*-",*00,+10 (>'/'3' ,!16.*-) kwa ajili

    ya Matumizi ya Kawaida% Kati ya fedha hizo, S:'/''

    *+,*+*,*!,000  (>'/'3' *+.*+)  ni kwa ajili ya Mishahara na

    S:'/''  ,6!1,0",-22,+10  (>'/'3' ,6!1.0*)  ni kwa ajili ya

    Matumizi Mengineyo% Kwa upande wa fedha za maendeleo, Wizara ya

    Fedha na Mipango inaomba kuidhinishiwa jumla ya :'/''

    !-1,--,*2*,26 (>'/'3' !-1.--)% Kati ya fedha hizo, S:'/''

    !2",1+0,000,000  (>'/'3' !2".1+)  ni Fedha za dani na S:'/''

    6,*,*2*,26  (>'/'3' 6.+) ni Fedha za je% M-hanganuo kwa

    kila fungu ni kama ifuata1yo;7

    :$

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    39/45

      +.2.1 FUNGU +0 WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

    +. Mheshimiwa Spika, katika Fungu hili kwa mwaka 2!"#!$, Wizara

    inaomba kuidhinishiwa kiasi -ha fedha kama ifuata1yo;

    =a> Matumizi ya kawaida 7 S:'/''  +0,!16,!,000 (>'/'3'

    +0.!2)% Kati ya hizo;=i> Mishahara 7 S:'/'' 6,-*,01,000 (>'/'3' 6.-)=ii> Matumizi Mengineyo 3 S:'/'' *",!"2,0!!,000 (>'/'3'

    *".!")

      =b> Miradi ya Maendeleo 7 S:'/'' 26,0"+,+-1,+00 (>'/'3'

    26.0")% Kati ya hizo;=i> Fedha za dani 7 S:'/'' -,000,000,000 (>'/'3' -.00)%=ii> Fedha za je 7 S:'/'' 1!,0"+,+-1,+00 (>'/'3' 1!.0").

     

    +.2.2FUNGU 21 HAZINA

    6. Mheshimiwa Spika, katika Fungu hili kwa mwaka 2!"#!$, Wizara

    inaomba kuidhinishiwa kiasi -ha fedha kama ifuata1yo;

    =a> Matumizi ya Kawaida 7 S:'/'' *11,2!-,2*0,+10 (>'/'3'

    *11.2)% Kati ya hizo;

    =i> Mishahara ya fungu hili 7 S:'/'' *,*!*,!+2,000 (>'/'3'*.*!). 

    =ii> Matumizi Mengineyo 7 S:'/'' *06,0*,*,+10 (>'/'3'

    *06.) ambazo ni kwa ajili ya matumizi ya Miradi ya maendeleo 7 S:'/'' !*0,1++,+2",*00 (>'/'3'

    !*0.1+)% Kati ya hizo;

    :

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    40/45

    =i> Fedha za dani 7 S:'/'' 6--,+00,000,000 (>'/'3'

    6--.+)=ii> Fedha za je 7 S:'/'' *0,6++,+2",*00 (>'/'3' *0.6+)

    +.2." FUNGU 22 DENI LA TAIFA

    !. Mheshimiwa Spika, katika Fungu hili kwa mwaka 2!"#!$, Wizara

    inaomba kuidhinishiwa kiasi -ha fedha kama ifuata1yo;

    =a> Matumizi ya Kawaida 7 S:'/'' ,00-,"*1,1!,000 (>'/'3'

    ,00-."*). Kati ya hizo;

    =i> Mishahara 7 S:'/'' -,"*0,!16,000 (>'/'3' -."*)=ii> Matumizi Mengineyo 7 S:'/'' ,000,000,*!1,000

    (>'/'3' ,000)

     

    +.2.*FUNGU 2" MHASIBU MKUU WA SERIKALI

    . Mheshimiwa Spika, katika Fungu hili kwa mwaka 2!"#!$, Wizara

    inaomba kuidhinishiwa kiasi -ha fedha kama ifuata1yo;7

    =a> Matumizi ya Kawaida 7 S:'/'' *+,++,6+,000 (>'/'3' *+.+).

    Kati ya hizo=i> Mishahara 7 S:'/'' 6,!*,116,000 (>'/'3' 6.!)=ii> Matumizi Mengineyo 7 S:'/'' ",01,!*-,000 (>'/'3'

    ".).

    =b> Miradi ya Maendeleo 3 S:'/'' *,*-",!+0,000 (>'/'3' *.*-).

    Kati ya hizo;=i> Fedha za dani 7 S:'/'' 2,000,000,000 (>'/'3' 2).=ii> Fedha za je 7 S:'/'' 2,*-",!+0,000 (>'/'3' 2.*-).

    :C

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    41/45

    +.2.+ FUNGU ! OFISI YA MSAJILI WA HAZINA

    -. Mheshimiwa Spika, katika Fungu hili kwa mwaka 2!"#!$, Wizara

    inaomba kuidhinishiwa kiasi -ha fedha kama ifuata1yo;

    =a> Matumizi ya Kawaida 3 S:'/'' 160,11,000,000 (>'/'3'

    160.1). Kati ya hizo;7=i> Mishahara 7 S:'/'' 1,-!*,"++,000 (>'/'3' 1.-!)=ii> Matumizi Mengineyo 7 S:'/'' 1+,206,6*+,000 (>'/'3'

    1+.21).=b> Miradi ya Maendeleo 3 S:'/'' ",22,+*0,000 (>'/'3' ".2")

    Kati ya hizo;=i> Fedha za dani 3 S:'/'' 6+0,000,000 (>'/'3' 0.6+).=ii> Fedha za je 7S:'/'' 2,+!,+*0,000 (>'/'3' 2.+).

    +.2.6 FUNGU 10 TUME YA PAMOJA YA FEDHA

    -0. Mheshimiwa Spika, katika Fungu hili kwa mwaka 2!"#!$, Wizara

    inaomba kuidhinishiwa kiasi -ha fedha kama ifuata1yo;7

    =a> Matumizi ya Kawaida 7 S:'/'' 1,"!*,2!0,000 (>'/'3' 1."!).

    Kati ya hizo;7=i> Mishahara S:'/'' *6*,*!2,000 (>'/'3' 0.*6)

    =ii> Matumizi Mengineyo7 S:'/'' -0-,!-,000 (>'/'3'0.-1).

    +.2.!FUNGU 1" KITENGO HA UDHIBITI WA FEDHA HARAMU

    @

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    42/45

    -1. Mheshimiwa Spika, katika Fungu hili kwa mwaka 2!"#!$, Wizara

    inaomba kuidhinishiwa kiasi -ha fedha kwa Matumizi ya Kawaida 7 S:'/''

    1,60",01,000 (>'/'3' 1.6).

    +.2. FUNGU *+ OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI

    -2. Mheshimiwa Spika, katika Fungu hili kwa mwaka 2!"#!$, Wizara

    inaomba kuidhinishiwa kiasi -ha fedha kama ifuata1yo;

    =a> Matumizi ya Kawaida S:'/'' "2,"!",0-6,000 (>'/'3' "2."!).

    Kati ya hizo;7 =i> Mishahara ni  S:'/'' 1",!0,!!*,000

    (>'/'3' 1".!)('') Matumizi Mengineyo ni S:'/'' 1,+02,"22,000 (>'/'3'

    1.+0)

    =b> Miradi ya Maendeleo  Fedha za je ni  S:'/'' 12,2+,*2!,"6

    (>'/'3' 12.2).=i>Fedha za dani 3 S:'/'' ,000,000,000 (>'/'3' .00)

    =ii> Fedha za je 3 S:'/'' *,2+,*2!,"6 (>'/'3' *.2)

    +.2.- FUNGU 66 TUME YA MIPANGO

    -". Mheshimiwa Spika, katika Fungu hili kwa mwaka 2!"#!$, Wizara

    inaomba kuidhinishiwa kiasi -ha fedha kama ifuata1yo;7

    =a> Matumizi ya kawaida 7 S:'/'' *,0",!",000 (>'/'3' *.0*).

    Kati ya hizo;=i> Mishahara 7 S:'/'' 1,+60,*-2,000 (>'/'3' 1.+6)=ii> Matumizi Mengineyo 7 S:'/'' 2,*!,2-1,000 (>'/'3'

    2.*)

    @!

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    43/45

    =b> Miradi ya Maendeleo 3 S:'/'' +,!--,+-2,000 (>'/'3' +.!-)%

    Kati ya hizo;=i> Fedha za dani 7 S:'/'' *,000,000,000 (>'/'3' *).=ii> Fedha za je 7 S:'/'' 1,!--,+-2,000 (>'/'3' 1.!-).

    -*. Mheshimiwa Spika,  pamoja na kuwasilisha mbele ya Bunge lako

     Tukufu maombi ya fedha kwa mafungu Tisa niliyoyataja katika aya ya !C ya

    kitabu -ha hotuba yangu, ni-hukue fursa hii pia kuwasilisha maombi ya

    fedha kwa mwaka 2!"#!$ kwa ajili ya Mfuko wa Mahakama =Fungu @> na

    Mfuko wa Bunge =Fungu @2>% Maombi haya ni kwa mujibu wa marekebisho

    yaliyofanyika kwenye kifungu -ha .C kifungu kidogo -ha : -ha *heria ya

    tawala wa Mahakama *ura 2:$ na kifungu -ha 2C kifungu kidogo -ha :

    -ha *heria ya tawala wa Bunge, *ura !!., kupitia *heria ya Bajeti ya

    mwaka 2!.% *heria hizi zinampa mamlaka Waziri mwenye dhamana na

    masuala ya fedha kuwasilisha Bungeni maombi ya fedha za matumizi ya

    mifuko hii%

    -+. Mheshimiwa Spika, kwa kuzingatia sheria hii, naomba Bunge lako

     Tukufu liidhinishe jumla ya S:'/''  2"0,6-",160,000 (>'/'3' 2"0.6-)

    kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na Maendeleo kwa mafungu haya mawili%

    Kati ya hizo, S:'/''  1!6,-"1,*26,000  (>'/'3' 1!6.-") ni kwa ajili ya

    Matumizi ya Kawaida na S:'/'' +",!61,!"*,000  (>'/'3' +".!6) ni kwa

    ajili ya miradi ya Maendeleo% M-hanganuo wake ni kama ifuata1yo;7

    +.2.10 FUNGU *0 MFUKO WA MAHAKAMA

    -6. Mheshimiwa Spika, katika Fungu hili kwa mwaka 2!"#!$, Wizara

    inaomba kuidhinishiwa kiasi -ha fedha kama ifuata1yo;7

    @2

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    44/45

    =a> Matumizi ya kawaida 7 S:'/'' *,6+,"0-,000 (>'/'3' *.6)%

    Kati ya hizo;=i> Mishahara 7 S:'/'' +0,"*+,!!+,000 (>'/'3' +0."+)=ii> Matumizi Mengineyo 3 S:'/'' "*,+1-,+"*,000 (>'/'3'

    "*.+2)

    =b> Miradi ya Maendeleo 7 S:'/'' *6,!61,!"*,000 (>'/'3'

    *6.!6)% Kati ya hizo;

    =i> Fedha za dani 7 S:'/'' 2*,000,000,000 (>'/'3'

    2*.00)%=ii> Fedha za je 7 S:'/'' 22,!61,!"*,000 (>'/'3' 22.!6).

      +.2.1 FUNGU *2 MFUKO WA BUNGE

    -!. Mheshimiwa Spika, katika Fungu hili kwa mwaka 2!"#!$, Wizara

    inaomba kuidhinishiwa kiasi -ha fedha kama ifuata1yo;7

    =a>Matumizi ya kawaida 7 S:'/'' -2,066,11!,000 (>'/'3' -2.0!)%Kati ya hizo;

    =i> Mishahara 7 S:'/'' 2",!-,60-,000 (>'/'3' 2".0)=ii> Matumizi Mengineyo 7 S:'/'' 6,26!,+0,000 (>'/'3'

    6.2!)

    =b>Miradi ya Maendeleo Fedha za dani 7 S:'/'' !,000,000,000(>'/'3' !.00)%

    6.0 SHUKRANI

    @:

  • 8/16/2019 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO 2016/2017 MJINI DODOMA LEO

    45/45

    -. Mheshimiwa Spika, naomba nitumie nafasi hii kuzishukuru n-hi

    na mashirika mbalimbali ya kimataifa ambayo kwa namna moja ama

    nyingine yamesaidia katika utekelezaji wa bajeti ya Wizara% Kwanza

    napenda kuzishukuru n-hi za Finland, ingereza kupitia shirika la

    &F