9
HUDUMA KATIKA KANISA LA AGANO JIPYA Somo la 9 kwa ajili ya Agasti 31, 2019

HUDUMA KATIKA KANISA LA AGANO JIPYADorkas akafa na kanisa likamuita Petro. Wakamuonyesha vile alivyowasaidia wajane na maskini. Kuwasaidia wengine bila ubinafsi siyo rahisi. Maisha

  • Upload
    others

  • View
    76

  • Download
    10

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: HUDUMA KATIKA KANISA LA AGANO JIPYADorkas akafa na kanisa likamuita Petro. Wakamuonyesha vile alivyowasaidia wajane na maskini. Kuwasaidia wengine bila ubinafsi siyo rahisi. Maisha

HUDUMA

KATIKA

KANISA LA

AGANO JIPYA

Somo la 9 kwa ajili ya Agasti 31, 2019

Page 2: HUDUMA KATIKA KANISA LA AGANO JIPYADorkas akafa na kanisa likamuita Petro. Wakamuonyesha vile alivyowasaidia wajane na maskini. Kuwasaidia wengine bila ubinafsi siyo rahisi. Maisha

Kuhudumia ndani ya kanisa

Kuhudumia nje ya kanisa

Kuwahudumia makutano mengine

Kuhudumia kama mtindo wa maisha

Paulo na huduma

Yakobo na huduma

Yesu ametuagiza kuihubiriinjili kwa ulimwengu, kuwafanya kuwa wanafunzina kuwabatiza.

Kanisa la awali lilifuatakielelezo cha Yesu kwakuwajali wenye uhitaji waliondani na nje ya kanisa wakatiwakihubiri injili.

Page 3: HUDUMA KATIKA KANISA LA AGANO JIPYADorkas akafa na kanisa likamuita Petro. Wakamuonyesha vile alivyowasaidia wajane na maskini. Kuwasaidia wengine bila ubinafsi siyo rahisi. Maisha

Kanisa likakua sana chini ya uongozi waRoho Mtakatifu. Na waumini wapya“walikuwa na moyo mmoja roho moja.” (Matendo 4:32)

Wale ambao walikua wametoa sana nawale ambao hawakuwa na chochote, hivyohapakuwa na mtu mwenye uhitaji.

Baada ya muda, kugawanya mahitajimiongoni mwa wahitaji pakaleta ugumu, hivyo kanisa likaleta utaratibu waugawanyaji kwa kuteua mashemasi saba.

Huu mfumo-shirikishi haukuendelea katikajumuiya zingine za Kikristo zaidi yaYersalemu, lakini uliweka msingi wakusaidia wenye mahitaji.

Page 4: HUDUMA KATIKA KANISA LA AGANO JIPYADorkas akafa na kanisa likamuita Petro. Wakamuonyesha vile alivyowasaidia wajane na maskini. Kuwasaidia wengine bila ubinafsi siyo rahisi. Maisha

Mji wa Yafa ulikuwa umebarikiwa sana kwahuduma ya mwanamke mkristo , Dorkas.

Alikuwa akishona nguo na kuwapatia wale waliokuwa wana uhitaji nazo. Pia alikuwaakitoa msaada kutimiza mahitaji ya maskini.

Hakusaidia washiriki wa kanisa tu, bali yeyotealiyehitaji msaada wake.

Dorkas akafa na kanisa likamuita Petro. Wakamuonyesha vile alivyowasaidia wajane namaskini.

Kuwasaidia wengine bila ubinafsi siyo rahisi. Maisha ya huduma yanahitaji kujikana nafsi, lakinimatokeo yake katika maisha ya wengine ni yaumilele.

Page 5: HUDUMA KATIKA KANISA LA AGANO JIPYADorkas akafa na kanisa likamuita Petro. Wakamuonyesha vile alivyowasaidia wajane na maskini. Kuwasaidia wengine bila ubinafsi siyo rahisi. Maisha

Tofauti zikainuka pale injili ilipoanzakupokelewa kwa wamataifa. Baraza likakaakutatua tatizo (Matendo 15).

Paulo aliagizwa kuwafundisha wamataifabaadhi ya mafundisho na kuwajali maskini(Wagalatia 2:10).

Wakati kanisa la Yerusalemu lilipopatwana njaa, Paulo aliyaomba makanisa yawamataifa kukusanya sadaka ilikuwasaidia.

Makanisa mahalia lazima yasaidie kutoamisaada kwa makutano mengine, siyo tukwa mahitaji yao wenyewe.

Page 6: HUDUMA KATIKA KANISA LA AGANO JIPYADorkas akafa na kanisa likamuita Petro. Wakamuonyesha vile alivyowasaidia wajane na maskini. Kuwasaidia wengine bila ubinafsi siyo rahisi. Maisha

E.G.W. (Welfare Ministry, cp. 3, p. 32)

Page 7: HUDUMA KATIKA KANISA LA AGANO JIPYADorkas akafa na kanisa likamuita Petro. Wakamuonyesha vile alivyowasaidia wajane na maskini. Kuwasaidia wengine bila ubinafsi siyo rahisi. Maisha

Kwenye Warumi 12, Paulo alifundishanamna tunavyowezakuishi na kujihusishana wengine“dhabihu iliyo hai" (aya. 1):

Kama una karama ya huduma, hudumu (aya 7)

Kama una karama ya kutoa, ifanye kwa uhuru (aya. 8)

Kuwa mwenye Kurehemu kwa furaha (aya. 8)

Penda bila unafiki (aya. 9)

Lichukie lililo ovu na fanya lililo jema (aya. 9)

Mpendane kwa pendo la undugu (aya. 10)

Heshimu wengine (aya. 10)

Kuwa na bidii na si mlegevu (aya. 11)

Toa kutimiza mahitaji ya watakatifu (aya. 13)

Kuwa mkarimu (aya. 13)

Furahini pamoja nao wafurahio, lieni pamoja nao waliao (aya. 15)

Kama adui yako ana njaa, mlishe (aya. 20)

Page 8: HUDUMA KATIKA KANISA LA AGANO JIPYADorkas akafa na kanisa likamuita Petro. Wakamuonyesha vile alivyowasaidia wajane na maskini. Kuwasaidia wengine bila ubinafsi siyo rahisi. Maisha

Yakobo alikuwa ndugu yake na Yesu na moja ya nguzoya kanisa (Wagalatia 2:9). Wakazi wa Yerusalemuwalimwangalia kama mtakatifu na mtu mwenye haki.

Katika barua yake alitufundisha jinsi ya kuwahudumiawengine:

Kuweka imani zetu katika matendo (1:22)Kuwasaidia wahitaji (1:27)Kuzuia upendeleo (2:1-4)Kuwavika walio uchi na kuwapa chakulawenye jaa (2:15-16)Kutenda kwa haki (5:4)

Huduma yetu ni matokeo ya mwonekano waimani yetu (2:14-17).

Page 9: HUDUMA KATIKA KANISA LA AGANO JIPYADorkas akafa na kanisa likamuita Petro. Wakamuonyesha vile alivyowasaidia wajane na maskini. Kuwasaidia wengine bila ubinafsi siyo rahisi. Maisha

“Kristo atayatunza majina ya wote ambao

hawaihesabu kafara kuu itolewayo

kwake juu ya madhabahu ya imani na

upendo… Pale ambapo ubinafsi na

kujisifu vitasahauliwa, watakumbukwa;

majina yao yatahuishwa. Ili tuwe na

furaha wenyewe, ni lazima tuwafanye

wengine wafurahi. Ni salama kwetu

kutoa mali zetu, talanta zetu, na faraja

zetu katika ibada ya shukuran kwa

Kristo, na kwa njia hiyo kuwa na furaha

kwa maisha ya sasa na utukufu wa

kutokufa wa maisha ya badae.”

E.G.W. (Testimonies for the Church, vol. 3, cp. 26, p. 250)