8
ISSN: 1821 - 6021 Vol XI - No - 40 Tuesday October 02, 2018 3 7 - 8 Procurement Opportunities Awarded Contracts Inside Govt: More road projects soon to ease Dar’s traffic congestion DID YOU KNOW? A procuring entity is required to specify in a tender document requirements with respect to issuer, nature, form, amount as well as other principal terms and conditions of the required tender security. Maximum number of working days given to Attorney General to vet a contract, upon receiving its draft from an accounting officer 5 14 Mzumbe University, Kuehne Foundation to jointly train logistics and supply cadre By TPJ Reporter GPN By TPJ Reporter Cont....Pg 2 Mfugale Flyover at the junction of Nyerere Road and Nelson Mandela Expressway, Dar es Salaam T he Government has said more road projects are soon going to be implemented to ease chronic traffic con- gestion in the city of Dar es Salaam and to facilitate the country’s eco- nomic development, TPJ has learnt. Speaking at the opening ceremony of the Mfugale Flyover at the Nyere- re Road/Nelson Mandela Intersection in Dar es Salaam recently, President John Magufuli hailed the project and said it was one of the many other big infrastructural projects underway or soon to be implemented, including the ongoing 247 billion/- Ubungo Inter- change and a flyover at Chang’ombe and Machinjioni Area, along Nyere- re and Kawawa roads intersections. “The next flyover projects will be executed at Chang'ombe junction and Machinjioni area, and both ten- ders have been announced” he said. T he Mzumbe Univer- sity - Dar es Salaam Campus and Kuehne Foundation, have agreed to collaborate in building capacity of the country’s logistics and supply cadre, TPJ has learnt Officiating at a three-day work- shop recently in Dar es Salaam, the Principal of Mzumbe Universi- ty – Dar es Salaam campus, Prof. Honest Ngowi, said the agree- ment has already made possible training sessions on supply and management of logistics to pro- curement and logistic stakehold- ers at the Mzumbe University pavilion in Dar es Salaam, meant to help them to cope with chal- lenges presented by the advance- ment of science and technology. The agreement provides for three-year program whereby in each year one institution will cov- er five topics focusing on skills training and capacity building in- cluding managing logistics and customer services, health sup- ply chain on humanitarian lo- gistics, agricultural warehouse management, management of logistics in elections and man- aging urban transportation. The Kuehne Foundation was founded in Switzerland in 1976 and is renowned for its initiatives for promoting ed- ucation, further training and research in various sectors.

ISSN: 1821 - 6021 Vol XI - No - 40 Tuesday October 02 ...tenders.ppra.go.tz/model/tpj/TPJ_40_of_2018.pdf · John Magufuli hailed the project and said it was one of the many other

  • Upload
    lyliem

  • View
    278

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: ISSN: 1821 - 6021 Vol XI - No - 40 Tuesday October 02 ...tenders.ppra.go.tz/model/tpj/TPJ_40_of_2018.pdf · John Magufuli hailed the project and said it was one of the many other

ISSN: 1821 - 6021 Vol XI - No - 40 Tuesday October 02, 2018

3 7 - 8ProcurementOpportunities

Awarded Contracts Inside

Govt: More road projects soon to ease Dar’s traffic congestion

DID YOUKNOW?

A procuring entity is required to specify in a tender document requirements with respect to issuer, nature, form, amount as well as other principal terms and conditions of the required tender security.

Maximum number of working days given to Attorney General to vet a contract, upon receiving its draft from an accounting offi cer

??????A procuring entity is ?A procuring entity is ?A procuring entity is ?A procuring entity is required to specify in a ?required to specify in a ?required to specify in a ?required to specify in a tender document requirements ?tender document requirements ?tender document requirements ?tender document requirements with respect to issuer, nature, ?with respect to issuer, nature, ?with respect to issuer, nature, ?with respect to issuer, nature,

5

14

Mzumbe University, Kuehne Foundation to jointly train logistics and supply cadre By TPJ Reporter

GPN

By TPJ Reporter

Cont....Pg 2 Mfugale Flyover at the junction of Nyerere Road and Nelson Mandela Expressway, Dar es Salaam

The Government has said more road projects are soon going to be implemented to ease chronic traffi c con-

gestion in the city of Dar es Salaam and to facilitate the country’s eco-nomic development, TPJ has learnt.

Speaking at the opening ceremony of the Mfugale Flyover at the Nyere-re Road/Nelson Mandela Intersection in Dar es Salaam recently, President John Magufuli hailed the project and said it was one of the many other big infrastructural projects underway or soon to be implemented, including the ongoing 247 billion/- Ubungo Inter-change and a fl yover at Chang’ombe and Machinjioni Area, along Nyere-re and Kawawa roads intersections.

“The next fl yover projects will be executed at Chang'ombe junction and Machinjioni area, and both ten-ders have been announced” he said.

The Mzumbe Univer-sity - Dar es Salaam Campus and Kuehne Foundation, have

agreed to collaborate in building capacity of the country’s logistics and supply cadre, TPJ has learnt

Offi ciating at a three-day work-shop recently in Dar es Salaam,

the Principal of Mzumbe Universi-ty – Dar es Salaam campus, Prof. Honest Ngowi, said the agree-ment has already made possible training sessions on supply and management of logistics to pro-curement and logistic stakehold-ers at the Mzumbe University pavilion in Dar es Salaam, meant to help them to cope with chal-

lenges presented by the advance-ment of science and technology.

The agreement provides for three-year program whereby in each year one institution will cov-er fi ve topics focusing on skills training and capacity building in-cluding managing logistics and customer services, health sup-ply chain on humanitarian lo-

gistics, agricultural warehouse management, management of logistics in elections and man-aging urban transportation.

The Kuehne Foundation was founded in Switzerland in 1976 and is renowned for its initiatives for promoting ed-ucation, further training and research in various sectors.

Page 2: ISSN: 1821 - 6021 Vol XI - No - 40 Tuesday October 02 ...tenders.ppra.go.tz/model/tpj/TPJ_40_of_2018.pdf · John Magufuli hailed the project and said it was one of the many other

Tanzania Procurement Journal Tuesday October 02, 2018

Makala

2

Je Wajua?

???Taasisi nunuzi inapaswa kubainisha kwenye nyaraka za zabuni, masharti kuhusu uwasilishaji wa dhamana ya zabuni, ikiwa ni pamoja na mdhamini, aina na thamani ya dhamana pamoja na masharti mengine kuhusiana na dhamana hiyo.

Idadi ya siku za kazi anazopewa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhakiki mkataba, baada ya kupokea rasimu ya mkataba huo kutoka kwa afi sa masuuli.

TAARIFA KATIKA TARAKIMU 14

PPAA inaweza kufuta mchakato wa zabuni na kuamuru ufanywe mpya Na Zabdiel Moshi

Govt: More road... From....Pg 1

Sheria ya manunuzi ya umma inaruhusu mz-abuni anayehisi kuwa hakutendewa haki ka-

tika mchakato wa zabuni ku-peleka malalamiko yake kwa afi sa masuuli ndani ya kipindi cha siku saba za kazi toka siku alipopata taarifa ya mazingi-ra yaliyozaa malalamiko hayo.

Aidha, sheria haimruhusu mz-abuni kupeleka malalamiko iwapo mkataba wa zabuni husika utaku-wa umekwishasainiwa. Sheria hii pia imempa afi sa masuuli muda usiozidi siku saba kushughulik-ia malalamiko na kuyatolea ua-muzi, na iwapo atashindwa kufa-nya hivyo au kama uamuzi aliotoa hautamridhisha mlalamikaji, basi mlalamikaji atakata rufaa PPAA ndani ya siku saba toka alipo-pokea uamuzi wa afi sa masuuli.

Kwa upande mwingine, iwapo mkataba utakuwa umekwisha-sainiwa, mlalamikaji anatakiwa kupeleka malalamiko yake moja kwa moja PPAA. Aidha, kati-ka hali hiyo, sheria imeielekeza PPAA kuitaka taasisi inayolala-mikiwa kuwasilisha taarifa na

nyaraka zote zinazohusiana na zabuni husika na ikishazipitia in-aweza kuamua kuyatupilia mba-li malalamiko hayo iwapo itaona hayana mashiko, au kuyasikiliza na kuyatolea uamuzi kama vile kufuta mchakato wa zabuni husi-ka na hata kuamuru kufanyika kwa mchakato mpya. Sehemu ili-yobaki ya makala hii itabainisha baadhi ya sababu zinazoweza kui-fanya PPAA kufi kia uamuzi huo.

•Taasisi Nunuzi kutumia vigezo vya Uchambuzi wa Zabuni ambavyo havikujumuish-wa katika nyaraka ya zabuni

Kanuni za manunuzi ya umma zinaelekeza kufanywa uchambuzi wa zabuni kwa kutumia vigezo vilivyoainishwa kwenye nyaraka ya zabuni peke yake. Hii ni ili ku-toa haki sawa kwa waombaji wote na jambo hili liliwekwa bayana na PPAA katika Kesi ya Rufani ya Zabuni kati ya JKV and Profession-al Associates Services (Mrufani) dhidi ya Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro (Mrufaniwa). Katika kesi hii Mrufaniwa alikataa zabuni ya Mrufani kwa kutumia vigezo ambayo havikuwa katika nyaraka za zabuni. Katika uchambuzi wa

zabuni hii, ya kumtafuta msimaizi wa miradi ya barabara, zabuni ya mrufani ilikataliwa kwa kigezo cha team leader kuwa na post-graduate degree wakati nyaraka zilitaka digrii ya kwanza. Aidha, kiliwekwa pia kigezo cha mhandi-si wa vifaa kuwa na post grad-uate degree na watumishi wote katika mradi kuwa watumishi wa kudumu wa kampuni waka-ti hakukuwa na hitaji hilo katika nyaraka ya zabuni. PPAA iliweza kujiridhisha kuwa vigezo vilivyo-tumika vilikuwa vipya na hivyo ilikubaliana na madai ya mrufaa na kuiagiza halmahauri kufanya upya mchakato wa zabuni hiyo.

• Kutoa mkataba kwa kampuni isiyokuwa kwenye orodha ya GPSA kwa ajili ya huduma mtambuka

Sheria imeipa GPSA jukumu la kuandaa mikataba ya ununuzi wa vifaa na huduma mtambuka kwa ajili ya taasisi za umma. Aidha, kwa vile mikataba hii huwa haina bei, taasisi nunuzi huitisha ushin-dani mdogo kutoka kwa wazabuni walio kwenye orodha ya GPSA ili kumpata mwenye bei nafuu. Taas-isi zinalazimika kisheria kutoa mi-

Inaendelea Uk ....4

President Magufuli added that the government has already announced the tender for constructing a 21-kilo-meter road to link Mbagala, Gerezani, Kivukoni, Chang’ombe and Mago-meni, which would be funded by the African Development Bank (AfDB) and the ongoing expansion of the Kimara to Kibaha section of Moro-goro Road into an eight-lane highway.

The mentioned projects, to-gether with the Julius Nyerere Bridge, originated from the 2008 Dar es Salaam Transport Master Plan aimed at easing serious traf-fi c congestion problems in the city.

Another of the big projects whose procurement process has already start-ed is construction of the second phase of Dar es Salaam Rapid Transit (Dart), which involves Kilwa Road, Mbaga-la depot, terminals and feeder roads.

According to AfDB, which is pro-viding the funds, the project will also involve the construction of Kariakoo Terminal, construction of control and administration building, terminal building, security huts, a fence wall and associated concrete-surface pavements.

The Mfugale Flyover, whose construction was completed one month ahead of the scheduled com-pletion date, is named in honor of the current Chief Executive Offi -cer of the Tanzania Roads Agency (Tanroads), Eng. Patrick Mfugale.

Page 3: ISSN: 1821 - 6021 Vol XI - No - 40 Tuesday October 02 ...tenders.ppra.go.tz/model/tpj/TPJ_40_of_2018.pdf · John Magufuli hailed the project and said it was one of the many other

Tanzania Procurement JournalTuesday October 02, 2018

Procurement Opportunities

3This section provides summaries of open tender opportunities in Procuring Entities (PEs). More details of the tenders may be found on PPRA website www.ppra.go.tz. Prospective bidders are required to confirm the information provided hereunder or seek further details from respective PEs.

GOODSEntity: TPDCTender No: PA/031/2018-19/G/16 LOT I & IITender Name: Lot 1: Supply of Submersible Pumps for Waste Water Tanks and Gas Plant - Madimba GPPLot 2: Supply of Portable Submersible Pumps - Madimba GPPSource of Fund: GovernmentPrice of Bid Document: TZS 100,000Eligible Firms: NationalMethod of Procurement: NCBContact Address: TB Secretary, Tanza-nia Petroleum Development Corpora-tion, P. O. Box 2774, Dar es SalaamDeadline: 05th October 2018, 11:00 HRS Entity: Tanesco - TaboraTender No: PA/001/ 2018- 19/WZN/G/ 29Tender Name: Supply of Distribution and Service Line Materials for West Zone Regions Source of Fund: GovernmentPrice of Bid Document: TZS 100,000Eligible Firms: NationalMethod of Procurement: NCBContact Address: TB Secretary, Tanza-nia Electric Supply Company Limited, P.O. Box 8, TaboraDeadline: 04th October 2018, 14:30 HRS Entity: TTCLTender No: PA/032/HQ/2018-2019/G/22Tender Name: LOT 1 - Supply and In-stallation of Drive Test Tool (Software and License), Drive Test Logs Ana-lyzer (Software) and Data Processing LaptopSource of Fund: GovernmentPrice of Bid Document: TZS 150,000Eligible Firms: NationalMethod of Procurement: NCBContact Address: TB Secretary, Tan-zania Telecommunications Company Limited, P. O. Box 9070, 11950, Dar es SalaamDeadline: 23rd October 2018, 14:00 HRS Entity: Tanesco - MtwaraTender No: PA/001/2018-19/SZN/G/31-BTender Name: Bolt and Nuts, Steel Works, Stay Materials,Service Line abc Accessories, Light-ning Arrestors, Fuse Gears and Fuse Links, Earthling Materials, Termina-tion Kits, Connectors and Cable Lugs, Insulators-mv & lvSource of Fund: GovernmentPrice of Bid Document: TZS 100,000Eligible Firms: National

Method of Procurement: NCBContact Address: TB Secretary, Tanza-nia Electric Supply Company Limited, P.O. Box 3, MtwaraDeadline: 09th October 2018, 10:00 HRS Entity: Tanesco - HQTender No: PA/001/2018-19/HQ/G/52Tender Name: Supply of Spare 33kV Outdoor Circuit Breakers for Lake Zone - Nyakato, Kyaka and KibetaSource of Fund: GovernmentPrice of Bid Document: TZS 100,000Eligible Firms: NationalMethod of Procurement: NCBContact Address: TB Secretary, TAN-ESCO Head Office, Ground Floor Room No. 04, Umeme Park Building Ubungo, Morogoro Road, P.O. Box 9024, Dar es SalaamDeadline: 12th October 2018, 10:30 HRS Entity: Tanesco - HQTender No: PA/001/2018-19/HQ/G/53Tender Name: Supply of Routers and Switch for Interconnection of OFC Network StationsSource of Fund: GovernmentPrice of Bid Document: TZS 100,000Eligible Firms: NationalMethod of Procurement: NCBContact Address: TB Secretary, TAN-ESCO Head Office, Ground Floor Room No. 04, Umeme Park Building Ubungo, Morogoro Road, P.O. Box 9024, Dar es SalaamDeadline: 12th October 2018, 10:30 HRS

WORKSEntity: Tanroads - RukwaTender No: AE/001/2018-19/KT-V/W/20-29, 31 AND 33-35Tender Name: Works for Various Periodic , Routine/Recurrent, Bridge Preventive Maintenance, Spot im-provement and Rehabilitation works for Trunk and Regional Roads in KataviSource of Fund: GovernmentPrice of Bid Document: N/AEligible Firms: NationalMethod of Procurement: NCBContact Address: TB Secretary, Tanza-nia National Roads Agency, P.O. Box 440, MpandaDeadline: 04th October 2018, 12:00 HRS Entity: Tanroads - RuvumaTender No: AE/001/2018-19/RV/W/20, 47-55Tender Name: Works Upgrading,

Rehabilitation, Opening up and Road Safety Intervention WorksSource of Fund: GovernmentPrice of Bid Document: TZS 150,000Eligible Firms: NationalMethod of Procurement: NCBContact Address: TB Secretary, Tanza-nia National Roads Agency, P. O. Box 31, SongeaDeadline: 12th October 2018, 10:00 HRS Entity: Tanesco - MwanzaTender No: PA/001/2018-19/LZN/W/ 04Tender Name: Construction of District Office at NyamaganaSource of Fund: GovernmentPrice of Bid Document: TZS 118,000Eligible Firms: NationalMethod of Procurement: NCBContact Address: TB Secretary, TAN-ESCO, P.O. Box 812, MwanzaDeadline: 11th October 2018, 14:30 HRS

CONSULTANCYEntity: TPDCTender No: PA/031/2018-2019/C/32Tender Name: Consultancy Services for Undertaking Detailed Engineering Design (DED) and Supervision of Construction of Compressed Natural Gas (CNG) System in Dar Es SalaamSource of Fund: GovernmentPrice of Bid Document: N/AEligible Firms: InternationalMethod of Procurement: ICBContact Address: TB Secretary, Tanzania Petroleum Development Corporation, P.O. Box 2774, Dar es SalaamDeadline: 16th October 2018, 11:00 HRS Entity: EWURATender No: AE/024/2018-19/HQ/C/29Tender Name: Consultancy Services for Establishment of Wholesalers and Retailers’ Margins in the Tanzania Petroleum Downstream IndustrySource of Fund: GovernmentPrice of Bid Document: N/AEligible Firms: InternationalMethod of Procurement: ICBContact Address: TB Secretary, En-ergy and Water Utilities Regulatory Authority, LAPF Tower, Kijitonyama 19th Floor, Room No. B 1905, P.O Box 72175, Dar es SalaamDeadline: 11th October 2018, 14:00 HRS Entity: TANROADS - ManyaraTender No: AE/001/2018-19/MN-R/C/01Tender Name: Expression of Interest for Consultancy Services for Feasibil-

ity Study, Environmental and Social Impact, Detailed Engineering Design and Preparation of Tender Documents for Upgrading of Dareda - Dongobesh Regional Road ( 60Km) to Bitumen StandardSource of Fund: GovernmentPrice of Bid Document: N/AEligible Firms: NationalMethod of Procurement: NCBContact Address: TB Secretary, Tanza-nia National Roads Agency, P.O. Box 24, BabatiDeadline: 2nd October 2018, 10:00 HRS Entity: PO - RALGTender No: ME/022/2016/2017/C/22Tender Name: Consultancy Service for the Urban Development Support Component of the Dar es Salaam Bus Rapid Transit System Project Phase 2Source of Fund: AFDBPrice of Bid Document: N/AEligible Firms: InternationalMethod of Procurement: ICBContact Address: TB Secretary, Pres-ident’s Office - Regional Administra-tion and Local Government, P. O. Box 1923, DodomaDeadline: 08th October 2018, 10:00 HRS Entity: Roads Fund BoardTender No: IE/020/2018-19/C/06Tender Name: Consultancy Service for Establishment of Impact on Roads Maintenance WorksSource of Fund: GovernmentPrice of Bid Document: N/AEligible Firms: NationalMethod of Procurement: NCBContact Address: TB Secretary, Roads Fund Board, Njedengwa Investment Area, Block D Plot No. 3, 4th floor, Roads Fund Building, P.O. Box 993, DodomaDeadline: 10th October 2018, 14:00 HRS

Entity: Roads Fund BoardTender No: IE/020/2018-19/C/01Tender Name: Consultancy Services for Conducting VFM Audit on Roads Works Executed by Tanroads, Tarura, Poralg and Ministry of Works, Trans-port and CommunicationSource of Fund: GovernmentPrice of Bid Document: N/AEligible Firms: NationalMethod of Procurement: NCBContact Address: TB Secretary, Roads Fund Board, Njedengwa Investment Area, Block D Plot No. 3, 4th floor, Roads Fund Building, P.O. Box 993, DodomaDeadline: 10th October 2018, 14:00 HRS

Page 4: ISSN: 1821 - 6021 Vol XI - No - 40 Tuesday October 02 ...tenders.ppra.go.tz/model/tpj/TPJ_40_of_2018.pdf · John Magufuli hailed the project and said it was one of the many other

Tanzania Procurement Journal Tuesday October 02, 2018

E d i t o r i a l B o a r dChairman

Eng. Awadhi Suluo

Mr. Yoswam Nyongera

Vice Chairman

Members Qs. Bertha RuteganywaMr. Paul BilabayeAdv. Daudi MomburiMr. Nicodemus Ikonko

SecretaryMr. Nelson Kessy

EditorEng. Nestor Ilahuka

Contacts

Public ProcurementRegulatory Authority (PPRA),PSPF Plaza, 9th Floor,P.O. Box 2865, Dodoma.TanzaniaTel: +255 26 296 3854;email: [email protected];Website: www.ppra.go.tz

The Editorial Board of TPJ wishes to invite from the general public, procurement related news and articles for publication in the Journal.

The invited articles could be either in English or Kiswahili. Please submit the article through the following emailsaddress:[email protected]

The Editorial Board reserves the right to approve articles for publication in TPJ.

Ensure fairness, competitiveness, transparency and efficiency in public procurement to achieve best value for money for national development.

4

kataba kwa wazabuni walioko ka-tika orodha ya GPSA. Msimamo huu ulibainishwa pia na PPAA katika kesi ya Rufani ya Zabuni baina ya Pamba Road Service Sta-tion ( Mrufani) dhidi ya Mwau-wasa (Mrufaniwa). Katika kesi hii, Pamba Service Station haiku-ridhishwa na kitendo cha Mwau-wasa kukusudia kutoa mkataba kwa kampuni ya ORYX ambayo haikuwa katika orodha ya GPSA. PPAA ilibainisha kuwa kwa vile utaratibu wa manunuzi uliotumi-ka ulikuwa restrictive, ulitakiwa kutumika kwa mujibu wa sheria ya manunuzi inayotaka wazabuni wawe ni wale tu walioko kwenye orodha ya GPSA na kuwa kut-ofanya hivyo ni kukiuka sheria hiyo. Aidha, PPAA ilikubaliana na rufaa ya Mrufani na kuamuru MWAUWASA kurudia zabuni ile.

• Ukiukwaji wa taratibu katika uchambuzi wa zabuni

Kanuni zimeweka utaratibu wa kufuata katika chambuzi wa zabuni, kuanzia uchambuzi wa awali, uchambuzi wa kina na mwisho post qualification. Uki-ukwaji wa kanuni unaweza kusa-babisha zabuni kufutwa kufuatia rufaa. Msimamo huu uliwekwa bayana na PPAA katika kesi ya Rufani ya Zabuni ya M/s Nippon Automobile Garage Limited (Mru-fani), dhidi ya Tanzania Standard Newspaper Ltd (Mrufaniwa). Ka-tika kesi hii, kampuni ya Nippon Automobile, ilikuwa ikilalami-ka kwamba pamoja na kuwa na bei ndogo, haikushinda zabuni. Pamoja na hoja nyingine, rufani ilijikita katika hoja kuwa mshindi wa zabuni hiyo hakushinda kiha-lali. PPAA iliweza kubaini kuwa kulikuwa na upungufu katika maeneo kadhaa, kama vile kiapo cha dhamana cha mshidi kuto-kidhi matakwa ya zabuni, taratibu

za uchambuzi kutofuatwa kwani uchambuzi wa kina ulirukwa na hivyo postqualification kufanywa mara tu baada ya uchambuzi wa awali. PPAA iliweza kubaini kuwa mshindi wa zabuni hiyo hakuwa halali kutokana na uchambuzi ku-endeshwa kunyume na taratibu. Aidha, PPAA iliamuru mchakato wa zabuni hiyo kufanywa upya.

• Marekebisho katika nyara-ka za zabuni kutotolewa kwa wazabuni wote walioshiriki

Nyaraka sanifu za zabuni zin-aelekeza kuwa iwapo kutakuwa na marekebisho (addendum) katika nyaraka za zabuni, basi mareke-bisho hayo yanatakiwa kuwafikia wazabuni wote walioshiriki, vinginevyo itakuwa vigumu kul-inganisha zabuni kwani nyingine zitakuwa zimeandaliwa bila kuzin-gatia marekebisho. PPAA iliweka msimamo huo katika kesi ya Ru-fani ya Zabuni ya Jaffery Industries Saini Ltd (Mrufani) dhidi ya Tanza-nia Institute of Accountancy (TIA (Mrufaniwa). Katika kesi hii, Mr-ufani hakuridhika na kitendo cha TIA kurudia tathmini ya zabuni bila kuzingatia addendum iliyoku-wa imetolewa kwa ajili ya zabuni hiyo. PPAA ilibaini kuwa sababu ya addendum hiyo kutozingati-wa katika tathmini ya pili ilikuwa kwamba haikuwafikia waomba-ji wote walioshiriki. Hata hivyo, PPAA ilieleza zaidi kuwa zabuni ziliandaliwa kwa kutumia specifi-cations mbili tofauti kwani kuliku-wa na wazabuni waliopata adden-dum na kuzizingatia na kulikuwa na wengine ambao hawakuzipata. Mwisho, PPAA iliamuru mchaka-to huo urudiwe kwani ucham-buzi hauwezi kufanyika kwa ku-tumia specification mbili tofauti.

• Kubadilisha au kuondoa ki-gezo cha uchambuzi ili kumpende-lea mzabuni aliyepungukiwa sifa.

Uchambuzi ni lazima ufanyike

PPAA inaweza kufuta mchakato wa zabuni ... Inatoka Uk ....2

Mwandishi wa makala haya ni Mtaalam wa Ununuzi, anapatikana 0784 386 004

kwa kuzingatia vigezo vilivyomo katika nyaraka ya zabuni. Sheria hairuhusu kubadilisha kigezo ili kumpendelea mzabuni ambaye amepungukiwa sifa; mabadiliko yanaweza kufanyika iwapo ha-yatamuathiri mzabuni mwingine katika zabuni hiyo. PPAA iliwe-ka msimamo huu katika kesi ya Koates Tanzania Ltd (Mrufani) dhidi ya Wizara ya Mawasilia-no Sayansi na Teknolojia (Mr-ufaniwa). Katika kesi hii, Mru-fani alimlalamikia Mrufaniwa kwa kutokumpatia matokeo ya zabuni na kwa kupunguza muda wa uhai wa dhamana ya zabuni.

PPAA iliweka bayana kuwa zabuni ya Mrufani ilitakiwa ku-kataliwa katika hatua ya awali ya uchambuzi kwani dhamana yake haikukidhi muda wa uhai wa zabuni kwa mujibu wa maelekezo katika nyaraka za zabuni.Hitimisho

Sheria ya manunuzi ya umma inatoa fursa kwa yeyote an-ayehisi kwamba hakutendewa haki katika manunuzi kupeleka malalamiko kwa afisa masuu-li wa taasisi au na kukata rufaa PPAA ili apate haki. PPAA, am-bayo kimsingi inaendeshwa kwa mfumo kama wa kimahakama, hupokea rufaa mbalimbali zin-azohusu manunuzi ya umma, kuzisikiliza na baadaye kuzitolea uamuzi unaokwenda sambamba na remedies mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kufuta mchakato wa zabuni na kuagiza mchaka-to wa zabuni kufanywa upya.

Hata hivyo, kufuta mchakato na kuamuru kurudiwa siyo aina pe-kee ya uamuzi unaoweza kutole-wa. PPAA inaweza pia kuamuru mlalamikaji kulipwa fidia na hata kubatilisha uamuzi wa taasisi.

Page 5: ISSN: 1821 - 6021 Vol XI - No - 40 Tuesday October 02 ...tenders.ppra.go.tz/model/tpj/TPJ_40_of_2018.pdf · John Magufuli hailed the project and said it was one of the many other

Tanzania Procurement JournalTuesday October 02, 2018 5

PLANNED PROCUREMENT FOR FINANCIAL YEAR 2018/19 - SUMMARY FORM&Awarded Contracts

Makala

No Category No. of Tenders Total Value (TZS) 1 Goods 10 1,735,051,9642 Works 01 1,800,000,0003 Consultancy Services 02 230,000,0004 Non-Consultancy Services 07 766,325,287

Total Approved Budget for Planned Procurement

20 4,531,377,251

Prime Minister’s Office - Policy, Coordination and Parliament

Usimamizi mzuri wa mikataba ya manunuzi huleta thamani halisi ya fedha Mwakiselu Mwambange

Ununuzi wa umma ni moja ya sek-ta muhimu katika ukuaji wa maende-

leo ya taifa kwani hutumia seh-emu kubwa ya bajeti ya Serikali.Moja ya misingi mikuu ya ununuzi wa umma ni uzingatiaji wa lengo la kupata thamani halisi ya fedha. Ununuzi wa umma ni mchaka-to unaopitia hatua mbalim-bali kama vile kuaini-sha mahitaji, kutengeneza nyaraka za zabuni, kutangaza zabuni, uchambuzi, kusaini mkata-ba na mwisho, kusimamia mkataba. Hatua zote hizi ni muhimu na zinapaswa kufuatwa na kusima-miwa ipasavyo kwa kuzingatia sheria, kanuni, pamoja na mion-gozo ya ununuzi wa umma ili kupata thamani halisi ya fedha. Makala hii itajadili hatua ya usima-mizi wa utekelezaji wa mikataba, lengo kuu likiwa ni kubadilisha-na uzoefu na wadau wa ununuzi wa umma kwani uzeofu una-onyesha eneo hili halifanyi vizuri.Mambo ya kuzingatia waka-ti wa usimamizi wa mika-taba ya ununuzi wa ummaKwa mujibu wa kanuni za un-unuzi wa umma za mwaka 2013, mambo muhimu ya kuzingatia ni:Mikataba ya ununuzi wa vifaa; ta-asisi nunuzi inatakiwa kumteua msimamisi wa utekelezaji mkataba baada ya kusaini mkataba. Msi-mamizi huyo kwa kushirikiana na

kamati ya mapokezi na ukaguzi wanatakiwa kuwasilisha taari-fa ya mapokezi ya vifaa. Endapo mzabuni atachelewa kukamili-sha majukumu yake kulingana na makubalianao ya mkataba taasisi nunuzi inaweza ikaomba ipewe taarifa ya kuchelewa kutekelezwa kwa mkataba kwa wakati, taasi-si nunuzi inaweza kwenda hatua inayofuata ya kudai fidia kama mkataba utakuwa umeeleza hivyo. Ukaguzi na mapokezi ya vi-faa vyote sharti ufanyike kabla ya kupokelewa ili kuona kama vinakidhi vigezo na specifications kama zilivyoainishwa kwenye mkataba husika. Afisa masuuli ana-paswa kuteua kamati ya ukaguzi na mapokezi ya vifaa/bidhaa kwa kila zabuni, pamoja na call-off-or-der, jukumu kubwa la kamati hiyo ni kuangalia vifaa/bidhaa kama vinakidhi vigezo vya ubora,idadi pamoja na vigezo vingine kama vi-takavyoelezwa kwenye mkataba. Endapo itatokea ukahitajika uk-aguzi wa kitaalam, taasi nunuzi in-aweza ikamualika mtaalam husika kwa ushauri wake au bidhaa hiyo inaweza kupelekwa kwa mtaalam.Kwa kuzingatia utaratibu ulio-elezwa hapo juu, kamati ya uk-aguzi na mapokezi itapokea vi-faa baada ya kujiridhisha kuwa vimekidhi vigezo vya mkataba na nyaraka husika za mapokezi zinapaswa kusainiwa kwa ajili ya hatua za malipo kwa mzabuni.

Mikataba ya huduma pamoja na kazi za ujenzi; taasisi inapaswa ku-simamia kikamilifu ikiwa ni pamo-ja na utoaji wa taarifa za utendaji kazi wa siku,wiki au mwezi al-izofanya mzabuni. Taarifa zian-daliwe na msimamizi wa mradi.Mzabuni anapaswa atimize wa-jibu wake katika kila hatua ya kazi, mfano kazi za ujenzi zina hatua mbalimbali na malipo yafanyike kwa awamu kulinga-na na kazi iliyofanyika na ku-kaguliwa na kutolewa hati ya uthibitisho kwa ajili ya malipo.Ikitokea mkandarasi au mtoa huduma hakutimiza majukumu yake ipasavyo,taasisi nunuzi ina-paswa kumtaarifu kuhusiana na hilo na inaweza kusitisha malipo mpaka arekebishe mapungufu yaliyojitokeza. Endapo mzabuni hakuafikiana na taasi juu ya kure-kebisha kasoro zake, taasisi nunuzi inapaswa kumtaarifu mzabuni juu ya uvunjwaji wa mkataba na inaweza kufuata hatua za kufun-gua mashitaka ya mgogoro kul-ingana na matakwa ya mkataba. Ikitokea mzabuni kashindwa ku-toa huduma kulingana na viwan-go vilivyopo kwenye mkataba,au kashindwa kurekebisha makosa, kazi isiyoridhisha. Taasisi nunuzi inaweza chukua hatua zifuatazo(i) Kusimamisha malipo yoyote yaliyobakia(ii) Kuitisha “performance security”.

Malipo ya mwisho kwa mz-abuni yafanyike baada ya taaa-sisi nunuzi kujiridhisha kuwa huduma au kazi imekamilika na kukidhi matakwa ya mkata-ba. Hatua hii itafanyika baada ya mtoa huduma/mkandarasi ku-wasilisha maombi ya malipo yake.Mambo mtambuka kati-ka usimamizi wa mikata-ba ya ununuzi wa ummaUsimamizi wa mahusiano; Mi-kataba yenye ufanisi ni ile inayo-jali pamoja na mambo mengine uhusiano wa mtoa huduma na mpokea huduma,ni muhimu ku-tambua kuwa msingi wa kuende-leza mahusiano kwa pande hizi mbili ni kuleta uwazi na mawa-zo endelevu,kutatua migogoro katika utekelezaji wa mikataba na kuibua fursa za kuboresha . Mahusiano lazima yatazamwe kwa jicho la kitaalam na hatua za kitaalam zitumike kwenye usi-mamizi na kutatua migogoro ya kimkataba na siyo vinginevyo.Usimamizi wa viashiria hatarishi; Viashiria hatarishi ni matokeo ya mambo ambayo hayajapangwa au kutabirika, ambapo yakito-kea yanaweza kuzuia utekeleza-ji wa jambo lililopangwa. Hivyo basi, usimamizi wa viashiria ha-tarishi ni sharti uwe timilifu. Mapitio ya utekelezaji wa mka-taba; Mapitio ya utekelezaji wa mkataba ni kitendo cha kulingan-isha utendaji kazi wa kifaa,kan-

Inaendelea Uk ...7

Page 6: ISSN: 1821 - 6021 Vol XI - No - 40 Tuesday October 02 ...tenders.ppra.go.tz/model/tpj/TPJ_40_of_2018.pdf · John Magufuli hailed the project and said it was one of the many other

Tanzania Procurement Journal Tuesday October 02, 20186

Makala

Faida za kutumia huduma za GPSADavid Nganila

Utangulizi

W akala wa Hudu-ma ya Ununuzi Serikalini-GP-SA, umeedelea

kutoa huduma mbalimbali kwa taasisi za umma kama sheria ya ununuzi wa umma inavyoelekeza.

Hata hivyo, bado kuna baadhi ya taasisi hazitumii huduma hizo kwa sababu mbalimbali, zikiwe-mo baadhi ya taasisi hizo kuto-elewa huduma zitolewazo, ku-toelewa matakwa ya sheria juu ya huduma hizo na inawezeka-na kuamua kutotumia huduma hizo bila sababu yoyote ya msingi.

Lengo la makala hii ni kuchan-gia katika kuongeza uelewa wa wadau na kuwakumbusha juu ya huduma zinazotolewa na GPSA, na faida zitokanazo na utumiaji wa huduma hizo. Zaidi ya hapo, hii ni fursa ya kubadilishana uzoefu wa kitaalamu ili kuongeza ufanisi ka-tika utendaji wa kila siku na hati-maye kuzisaidia taasisi za umma kupata huduma inayolingana na thamani ya fedha inayotumika.Umuhimu na faida za kutumia huduma za GPSA ni kama ifuatavyo:

Kupata unafuu wa bei Kwa mujibu wa kanuni ya 130

ya Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2013, taasissi nunuzi zinalazimika kununua “catalogue items” zinazopatikana GPSA enda-po bei itakuwa chini ya bei ya soko.

Lengo la kanuni hii ni kudhibi-ti taasisi nunuzi kununua ma-hitaji yake nje ya GPSA na kwa upande mwingine ni kuidhibiti GPSA isiuze vifaa vyake kwa bei kubwa ikilinganishwa na bei ya

soko. Matokeo makubwa ya ute-kelezaji wa kanuni hii ni Serikali kupata mahitaji yake kwa gharama nafuu na hivyo kuiwezesha ku-toa huduma bora kwa wananchi.

Kwa nini GPSA?a) GPSA ni taasisi ya umma pekee ambayo ina miundombinu ya kuto-sha kununua kwa wingi, kuhifadhi kitaalam na kusambaza nchi nzima.b) Sheria ya ununuzi wa umma sasa inaruhusu ununuzi wa moja kwa moja kutoka kwa waten-genezaji, wakala au wauza jumla.

Mara nyingi, watengeneza-ji huuza bidhaa zao kwa njia ya usambazaji ambapo kabla bidhaa haijamfikia mlaji, hupi-tia mikononi mwa watu walioko katikati – madalali - ambao nao huongeza gharama kwa kuweka faida. Lengo la kifungu hiki kati-ka sheria ni kuondoa udalali kati-ka mfumo wa ununuzi wa umma.

Taasisi ya umma pekee in-ayoweza kuisaidia Serikali kuk-wepa udalali huu ni GPSA, jam-bo ambalo ni vigumu kwa taasisi nunuzi kuweza kununua moja kwa moja kutoka kwa watengenezaji.

Hivyo basi, si sahihi kwa ta-asisi nunuzi kuichukulia GPSA kama mzabuni anayeshindana na kampuni binafsi kuuza bidhaa Serikalini bali ni wakala una-onunua kwa niaba ya taasisi nyingine kwa lengo la kuzipun-guzia gharama za manunuzi. Huo ndiyo mtazamo sahihi na utazie-pusha taasisi kufanya marudio ya mchakato wa zabuni ambazo huongeza gharama kwa Serikali.

Muda mfupi wa kupata MahitajiTaasisi nunuzi, pindi zinapohi-

taji kununua, hutumia muda mfupi zaidi katika uagizaji wa vifaa kwa kutumia fomu maalum kwa ajili hii.

Udhibiti wa bidhaa zinazonunuliwa Taasisi nunuzi inaponunua

mahitaji yake kutoka GPSA,ina-hakikishiwa kwa asilimia kubwa juu ya uwezekano wa bidhaa hizo kuwasili katika muda muafaka.

Mfano mzuri ni ununuzi wa ma-futa kwa ajili ya magari: kwenye vi-tuo vya GPSA shughuli hii husima-miwa na walinzi pamoja na maafisa ugavi ili kuhakikisha kuwa kiasi chote kilichonunuliwa kinaingiz-wa kwenye magari - tofauti na un-unuzi kufanyika kwenye vituo vya watu au kampuni binafsi, penye uwezekano mkubwa wa madereva kushirikiana nao kubadilisha ki-asi cha mafuta na kujipatia fedha.

Aidha, matumizi ya mifumo ya kielektroniki kama epicor, ora-cle kunasaidia kudhibiti madeni. GPSA inasisitiza umuhimu wa taasisi kuagiza bidhaa baada ya kutenga fedha kwa ajili hii. Tasisi hazitakiwi kuagiza vifaa GPSA bila kuwa na fedha za kulipia. Su-ala hili husimamiwa na mameneja wa mikoa ambao hutoa maelekezo ya kiutekelezaji kwa wateja wao.

Udhibiti wa ubora wa bidhaa

Ukaguzi wa mafuta au bidhaa zinazonunuliwa hufanywa na kamati inayoteuliwa na mtendaji mkuu au meneja wa kituo-mikoani ili kuhakikisha kwamba mafuta au bidhaa zinazopokewa vinakidhi viwango na maelezo yake kama yalivyotolewa na watumiaji.

Huduma za GPSA hutolewa na watumishi ambao wengi wao ni waajiriwa wa kudumu Serika-lini na wana viapo vya kuzingatia maadili ya utumishi wa umma, jambo ambalo wakilikiuka hu-wajibishwa, tofauti na mtaani ambako njama na hujuma dhi-

di ya mali za umma hutamalaki. Utunzaji wa kumbukumbuGPSA ina mifumo dhabiti ya

kutunza kumbukumbu ambazo hufanyiwa ukaguzi na vyombo mahsusi kila mwaka kama CAG, PPRA na Msimamizi wa Mali za Serikali (GAM). Kumbukumbu hizi muhimu zinaweza kupatikana kwa miaka mingi baadaye hata baada ya ile ya kisheria yaani miaka mitano.

Kituo cha mafun-zo kwa vitendo na tafiti

GPSA ni taasisi pekee hapa nchini yenye wataalamu wengi wa ununuzi na ugavi na ambayo majukumu yake ya msingi ni un-unuzi na ugavi. Pia, ndiyo taasisi pekee ipokeayo wanafunzi wengi wa kujifunza kwa vitendo kuto-ka vyuo mbalimbali hapa nchini, na ambao kwa kupitia tafiti wana-zofanyia GPSA, huchangia katika kubuni mbinu nyingi za kubore-sha taaluma ya ununuzi na ugavi.

HitimishoGPSA hutoa zaidi ya asilimia 98

ya huduma zake kwenye taasisi za umma tu na wakati wote imeen-delea kuziboresha, jambo ambalo ni vyema likafahamika kwa taa-sisi za umma ili nazo zitoe kipa-umbele katika kutumia huduma hizo kwa sababu GPSA ni chom-bo cha Serikali kwa ajili ya kutoa huduma bora kwa gharama nafuu. Rai yangu kwa wadau wote wa ununuzi wa umma ni kushiriki-ana na GPSA, kuishauri na kuwa na mtazamo chanya juu yake ili kutimiza matarajio ya wadau.

Mwandishi wa Makala haya ni Mene-ja Mkoa Mtwara - Wakala wa Hudu-ma ya Ununuzi Serikalini (GPSA)

Page 7: ISSN: 1821 - 6021 Vol XI - No - 40 Tuesday October 02 ...tenders.ppra.go.tz/model/tpj/TPJ_40_of_2018.pdf · John Magufuli hailed the project and said it was one of the many other

Tanzania Procurement JournalTuesday October 02, 2018 7

Procuring Entity

Tender/Contract Number Description of Suppliers/Services/Works

Procurement Method

Suppliers/Contractors/Service Providers

Contract Amount (TZS)

Award Date(dd/mm/yyyy)

Tanroads - Mbeya AE/001/2018-19/MBY/W/12 Periodic Maintenance Works on Paved Section along Mbalizi - Chang'ombe

National Competative Tendering

Milo Group Ltd 604,801,000.00 21/08/2018

AE/001/2018-19/MBY/W/13 Bridge Major Repair of Songwe Bridge along TANZAM Highway

Competitive Quotations

IRA General Enterprises Co. Ltd

161,344,000.00 21/08/2018

AE/001/2018-19/MBY/W/14 Bridge Major Repair on Majombe - Madibira Regional Road (2Nos)

National Competative Tendering

Maxqual Engineering Group Ltd

203,969,300.00 21/08/2018

AE/001/2018-19/MBY/W/28 Bridge Major Repair at km 7 + 000 along Igoma - Irambo Regional Road.

Competitive Quotations

Asjel Enterprises Ltd

35,847,000.00 21/08/2018

TBC PA/084/2017-18/HQ/G/05 Lot 4

Supply of Camera and Accessories Competitive Quotations

Jumbo Camera House

47,790,000.00 25/01/2018

PA/084/HQ/2017-18/HQ/NC/01

Provision of Consultancy services for architectural design concept of pro-posed TBC head quarter's building in Dodoma

Individual Selection

Ardhi University 59,708,000.00 15/05/2018

PA/084/2017-18/HQ/G/05 Supply Professional Handheld Solid State Recorder

Competitive Quotations

Energy and Telecoms (T) Limited

61,140,948.00 28/03/2018

PA/084/2017-18/HQ/G/25 Supply of LIVE-U Equipment and accessories

Single Source Shultz-Net Ltd 197,870,638.80 23/02/2018

PA/084/2017-18/HQ/G/02 Supply of Fiber Equipment and Acces-sories

Competitive Quotations

Aplite Consulting Co. Ltd

13,885,547.00 28/02/2018

PA/084/2017-18/HQ/G/28 Lot 1

Supply of Building Materials for Main-tenance and Repair of Building at Kisarawe Transmission Station

Competitive Quotations

Sunoro Enterprises

16,119,670.00 12/2/2018

PA/084/2017-18/G/05 Lot 4

Supply of Camera and Accessories. Competitive Quotations

Jumbo Camera House

62,540,000.00 22/06/2018

PA/084/2017-18/HQ/NC/3 Lot 5

Supply and Installation of TBC APP’s Single Source Pulsans Technology

101,920,000.00 5/3/2018

PA/084/2017-18/HQ/W/01 Extension of DG's office and renovation of red studio roof at TBC Mikocheni

Direct Contracting TBA 71,266,704.12 9/8/2017

PA/084/2017-18/HQ/NC/08

Provision of Cleaning Services for TBC Competitive Quotations

Kishengweni En-terprises

132,000,000.00 29/07/2017

Procuring Entity Tender/Contract Number Description of Suppliers/Services/Works Procurement Method

Suppliers/Contractors/Service Providers

Contract Amount (USD)

Award Date(dd/mm/yyyy)

TBC PA/084/2017-18/HQ/G/26 Design, supply, installation, testing, Integration, training and com-missioning of TBC TV broadcasting server system on turnkey project.

International Competitive Bidding

Onset System Engineering Ltd

531,853.00

20/03/2018

PA/084/2017-18/HQ/G/36 Supply, installation, testing,, training and commissioning for TV channel ingest & playout system for Utalii channel on turnkey system

Single Source Onset System Engineering Ltd

208,528.00

19/07/2018

PA/084/2017-18/HQ/G/25 Lot 2

Design, supply, installation, testing, Integration, training and commission-ing of flyaway-(DSNG) Digital satellite news gathering system

International Competitive Bidding

Onset System Engineering Ltd

88,375.00 20/03/2018

Awarded Contracts

darasi au huduma kulingana na vigezo vilivyowekwa na kukub-alika kwenye mkataba husika. Mara nyingi eneo hili husahaulika hasa baada ya mkataba kuka-milika, na wakati mwingine ta-asisi inaweza ikaingia mkataba

mwingine bila kupitia hatua hii. Utekelezaji wa hatua hii utasaid-ia kujifunza na kutambua makosa na kufanya marekebisho kwa mi-radi ya baadae ambayo inafanana na miradi iliyokwishatekelezwa.

Hitimisho Usimamizi sahihi wa mikataba ya ununuzi wa umma ni nguzo kuu ya upatikanaji wa thamani halisi ya fed-ha kwa ununuzi uliofanyika. Aidha usimamizi mzuri husaidia kuondoa migogoro na kupunguza upotevu

wa rasilimali fedha, watu na muda. Rai yangu ni kuwa kila taasisi ihakikishe kuwa kila mkataba wa ununuzi unasimamiwa kikamilifu ili kufanikisha lengo la kupata tha-mani halisi ya fedha inayotumika.

Makala Usimamizi mzuri wa mikataba ya manunuzi huleta thamani halisi ya fedha Inaendelea Uk ...5

Page 8: ISSN: 1821 - 6021 Vol XI - No - 40 Tuesday October 02 ...tenders.ppra.go.tz/model/tpj/TPJ_40_of_2018.pdf · John Magufuli hailed the project and said it was one of the many other

Tanzania Procurement Journal Tuesday October 02, 20188

Awarded Contracts Procuring Entity

Tender/Contract Number Description of Suppliers/Services/Works

Procurement Method

Suppliers/Contractors/Service Providers

Contract Amount (TZS)

Award Date(dd/mm/yyyy)

Tanroads - Mbeya AE/001/2018-19/MBY/W/01 Maintenance Works on TANZAM Highway

National Competative Tendering

Hari Singh & Sons LTD

2,124,565,500.00 21/08/2018

AE/001/2018-19/MBY/W/02 Routine/Recurrent Maintenance Works on Uyole - Kasumulu Trunk Road (km 0+000 to km 102+500), Ibanda - Kiwi-ra Port Trunk Road (km 0+000 to km 22+000) Paved Section and (km 22+000 to km,27+840) Unpaved Section and Periodic Maintenance Works on ibanda - Kiwira Port Trunk Road (km 24+000 to km 27+540) Unpaved section

National Competative Tendering

Mtwivila Traders Construction Co. Ltd

581,912,533.00 21/08/2018

AE/001/2018- 19/MBY/W /03 Periodic Maintenance Works on Uyole - Kasumulu Trunk Road (km 95+000 to km 97+000) and Ibanda - Kiwira Port Trunk Road (,km13+568 to km 14+568)

National Competative Tendering

Bharya Engineering and Contracting Co Ltd

1,283,037,800,00 21/08/2018

AE/001/2018-19/MBY/W/04 Routine/Recurrent Maintenance Works on TANZAM Highway: Igawa Songwe Section (km 11+500 to km 154+200)

National Competative Tendering

Bharya Engineering and Contracting Co Ltd

1,203,747,500.00 21/08/2018

AE/001/2018-19/MBY/W/05 Routine/Recurrent Maintenance Works (km 0+000 to km 52+200), Peri-odic Maintenance Works (km 34+000 to km 41+000) and Spot Improvement Works (km 44+900 to 46+400) on Mbal-izi - Shigamba Regional Road

National Competative Tendering

Rahda Investment Ltd

542,846,200.00 21/08/2018

AE/001/2018-19/MBY/W/06 Routine/Recurrent Maintenance Works on Tukuyu - Mbambo - Ipinda Region-al Road (km 0+000 to km 44+000) and Bujesi - Itete Regional Road (km 0+000 to km 5+300), Periodic Maintenance Works on Tukuyu - Mbambo - Ipin-da Regional Road (km 29+000 to km 36+000) and Spot Improvement Works on Bujesi - itete Regional Road (km 3+900 to km 4+200)

National Competative Tendering

Wisa General Enterprises and Construction Ltd

325,959,600.00 21/08/2018

AE/001/2018-19/MBY/W/07 Routine/Recurrent Maintenance Works on Katumba - Lwangwa - Mbambo (km 0+000 to km 58+500), Lusanje - Kandete (km 0+000 to km 12+000) and Masebe -Kyejo (km 0+00 to km 9+700) Regional Roads, Periodic Maintenance Works on Katumba - Lwangwa - Mbambo Regional Road (km 16+000 to km 21+000), Spot Improvement Works on Katumba - Lwangwa -Mbambo, Lusanje - Kandete and Masebe - Kyejo Regional Roads

National Competative Tendering

IRA General Enterprises Co. Ltd

460,063,620.34 21/08/2018

AE/001/2018-19/MBY/W/08 Routine/Recurrent Maintenance Works on Katumba - Lutengano - Ky-imbila Road (km 0+000 to km 30+400), Ushirika - Lutengano (km 0+000 to km 11+600) and Kyimo - Kafwafwa (km 0+000 to km 19+600) Regional Roads, Periodic Maintenance Works on Ush-irika - Lutengano Regional Road (km 0+000 to km 5+000), Spot Improvement Works on Ushirika -Lutengano and Kyimo - Kafwafwa Regional Roads

National Competative Tendering

JOSIC Co. Ltd 501,502,000.00 21/08/2018

AE/001/2018-19/MBY/W/09 Routine/Recurrent Maintenance Works (km 0+000 to km 21+700), Periodic Maintenance Works (km 5+000 to km 10+000) and Spot Improvement Works on Kiwira - Isangati Regional Road

Competitive Quotations

Appropriate Tech-nology Training Institute

154,057,000.00 21/08/2018

AE/001/2018-19/MBY/W/10 Routine/Recurrent Maintenance Works on Isyonje - Kikondo and Igoma - Irambo Regional Roads, Periodic Maintenance Works on Isyonje - Kikon-do Regional Road and Spot Improve-ment Works on Isyonje - Kikondo and Igoma -Irambo Regional Roads

National Competative Tendering

Lumocons Co. Ltd 502,779,500.00 21/08/2018

AE/001/2018-19/MBY/W/11 Routine/Recurrent Maintenance Works on Kikondol - Mwela, Vensi - Mase-she - Mswiswi, and Spot Improvement Works on Vensi - Maseshe - Mswiswi Regional Roads

Competitive quotation Dynotech Engineering Ltd

138,486,000.00 21/08/2018