55
1 Ÿ 6 ? ] ô Ö F ä ø ] ô Ÿ $ ] Ö × # ä ö Ú ö v ø Û $ º $ ö ç » Ù ö ] Ö × # ä ô SHEIKH MUZAFFAR AHMAD DURRANI ] ø û Â ô n $ è ö ] Ö Ï ö û á ô ] Ö Ó ø m û Ü MAOMBI YA QUR'AN TUKUFU

Maombi ya Quran Tukufu

  • Upload
    haxuyen

  • View
    495

  • Download
    18

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Maombi ya Quran Tukufu

11

Ÿ6?]ôÖFäø]ôŸ$]Ö×#äöÚövøÛ$‚º…$‰öç»Ùö]Ö×#äô

SHEIKH MUZAFFAR AHMAD DURRANI

]ø�ûÂôn$èö]ÖÏö†û áô]ÖÓø†mûÜ

MAOMBIYA

QUR'AN TUKUFU

Page 2: Maombi ya Quran Tukufu

MAOMBI YA QUR'AN TUKUFU

Mwandishi: Sheikh Muzaffar Ahmad Durrani

© Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya

Tanzania

ISBN 9987-8932-1-x

Chapa ya mara ya Kwanza: 2002

Nakala: 5000

Kimeenezwa na:

Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania

P. O. Box 376

Simu: +255-22-2110473

Fax: +255-22-2121744

Dar es Salaam

Kimechapwa na:

Ahmadiyya Printing Press

S.L.P 376

Dar es Salaam.

2

Page 3: Maombi ya Quran Tukufu

YALIYOMOUtanguliz ............................................................... 6

Mwenyezi Mungu hukubali maombi ..................... 7

1. Ombi kabla ya maombi ................................. 12

2. Dua ya kuongezewa Elimu ............................ 13

3. Maombi kwa ajili ya wazazi ............................ 13

4. Kuomba ghofira yako na ya

wazazi wako na ya waaminio

na maangamizi ya wadhalimu ........................ 14

5. Dua kwa ajili ya waaminio waliotangulia ........ 15

6. Maombi ya kupata uwezo wa kushukuru ........16

7. Dua wakati wa kupanda merikebu

au chombo chochote ...................................... 18

8. Dua ya kupata ufaulu katika mahubiri ............ 19

9. Dua ya kuokolewa katika wasiwasi

wa shetani ...................................................... 20

10. Dua ya kuingia katika mkazi mapya

na ya kutoka kwa heshima ............................ 21

11. Dua ya kupata msaada wa

Mwenyezi Mungu ........................................... 22

12. Dua ya kuomba msamaha na

mwisho mwema ............................................ 23

13. Dua ya kuomba ghofira na rehema

ya Mwenyezi Mungu ...................................... 25

14. Dua ya kupata nuru kamili na

ulinzi wa Mwenyezi Mungu ............................. 27

15. Dua ya kuomba msamaha na

msaada dhidi ya makafiri ............................... 27

3

Page 4: Maombi ya Quran Tukufu

16. Dua ya kupata subira na nusura

juu ya makafiri ................................................ 29

17. Dua ya kuomba ghofira yako

na ya kaka yako ............................................. 30

18. Dua ya kutokuwa mkiwa ................................ 30

19. Dua ya kutoa mtoto wakfu

wakati bado yuko tumboni ............................. 31

20. Dua ya kuomba kizazi chema ........................ 32

21. Dua kwa ajili ya ahli na watoto ....................... 33

22. Dua kwa ajili ya kusali wewe

na wazao wako ............................................. 34

23. Dua ya kupata amani ya mji na

kuepukana na ibada ya masanamu ............... 35

24. Dua ya kupata riziki ........................................ 35

25. Dua ya kutopotea baada

ya kuongoka ................................................... 36

26. Dua ya kuokolewa katika mji ambao watu

wake ni wadhalimu na kupata msaidizi

kutoka kwa Mwenyezi Mungu ........................ 37

27. Dua ya upambanuo baina

ya haki na batili .............................................. 38

28. Dua ya kuokolewa na watu wadhalimu .......... 38

29. Dua ya kujiepusha na wadhalimu .................. 39

30. Dua ya wokovu katika hila za wapinzani ........ 40

31. Dua ya kuomba ghofira baada ya kukosea .....40

32. Dua ya kuokolewa katika fitina ya

makafiri na wafisadi ...................................... 41

4

Page 5: Maombi ya Quran Tukufu

33. Dua ya kuomba msaada wa Mwenyezi

Mungu baada ya kushindwa jambo ............... 43

34. Dua ya maangamio ya makafiri ..................... 44

35. Dua ya kuomba wema katika dunia na Akhera

na kujikinga na adhabu ya moto .................... 45

36. Dua ya ya kupata subira na kifo chema ......... 47

37. Dua ya kuwa mtu mwema, kutajwa

kwa wema na kupata pepo ............................ 47

38. Dua ya kupata wema katika

dunia na Akhera ............................................. 48

39. Dua ya kuepushwa kuomba juu ya

jambo usilo na elimu nalo ............................. 49

40. Dua ya ya kujikinga kwa Mwenyezi Mungu .... 50

DUA ZA MANABII / WATU WEMA

1. Dua ya Nabii Ibrahimu 13, 32, 33, 34, 35, 42, 47.

2. Dua ya Nabii Nuhu 14, 18, 21, 22, 23, 43, 44, 49.

3. Dua ya Nabii Suleiman 16

4. Dua ya Nabii Musa 17, 19, 25, 30, 39, 40, 44, 48.

5. Dua ya Nabii Zakaria 30, 32.

6. Dua ya Nabii Isa 35.

7. Dua ya Nabii Shuaib 38.

8. Dua ya Nabii Lut 40, 41.

9. Dua ya Bibi Mariamu 31.

10. Dua ya watu wa Peponi 38.

11. Dua ya watu wa Pango 22.

12. Dua ya watu wa Nabii Mussa 25, 40, 47.

5

Page 6: Maombi ya Quran Tukufu

UTANGULIZI

Mwenyezi Mungu Ametufundisha maombi

mbalimbali katika Qur'an Tukufu kwa ajili ya faida

yetu. Manabii wa Mwenyezi Mungu na watu

wema walikuwa wakiomba kwa maombi haya.

Maulana Muhammad Ishaq Soofi, Amir na

Mbashiri Mkuu wa zamani wa þJumuiya ya

Waislamu Waahmadiyya Uganda aliyakusanya

maombi haya pamoja na tafsiri mwaka 1969. Sasa

ilihitajika kuiboresha kazi hii. Kwa hiyo Maulana

Muzaffar Ahmad Durrani, Amir na Mbashiri

Mkuu wa Tanzania amepanga taratibu mpya ya

maombi pamoja na matamshi yake kwa herufi za

Kilatini. Vile vile jina la Mtume anayehusika na

dua fulani limeelezwa.

Bw. Abdulrahman M. Ame, Katibu Mkuu wa

Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Tanzania

kwa shauku kubwa amefanya upangaji na uwekaji

wake na masahihisho yake kwenye kompyuta.

Mwenyezi Mungu Awasaidie na Awabariki

wahusika wote, Amin.

6

Page 7: Maombi ya Quran Tukufu

eôŠûÜô]²ô]Ö†$uûÛFàô]Ö†$uônûÜ

MWENYEZI MUNGU HUKUBALI MAOMBI

Mwenyezi Mungu ambaye ni Muumbaji wa

ulimwengu wote anao uhusiano wa kudumu na

kila Alichokiumba. Uhusiano huo ni wa

Muumbaji na viumbe Vyake, na wa Mwabudiwa

na watumishi Wake. Basi ni jukumu la kila mtu

kuuimarisha uhusiano huo. Mwenyezi Mungu

kwa fadhili na hisani zake, anawahurumia watu

wake na anawakurubia.

Njia moja ya kuudumisha uhusiano huu ni

kumuomba Mwenyezi Mungu. Bali Mwenyezi

Mungu Mwenyewe Amehimiza juu ya jambo

hili kwamba tusighafilike kumuomba Mwenyezi

Mungu. Mtume Mtukufu Muhammad s.a.w.

aliamrishwa aseme kwamba:

ù ÎöØûÚø^møÃûføç.]eôÓöÜû…øeôùoûÖøçûŸø�öÂø«æ.ÒöÜû

"Sema: Mola wangu hangewajalini kama si

7

Page 8: Maombi ya Quran Tukufu

kuomba kwenu." (25:78).

Yaani Mwenyezi Mungu anaonesha huruma

nyingi kwa sababu ya maombi ya watu.

Tena ameeleza kwamba ni Yeye ambaye

anakubali maombi ya wenye matatizo. Kasema

kwamba:

ù ]øÚ$àûm%rônûgö]ÖûÛö–û_ø†$]ôƒø]�øÂø^åöæømøÓû)ôÌö]ÖŠ%ç?ðø

" Au n i na n i a naye mj i b u a l i yed h i k i ka

amwombapo na kuondoa dhiki." (27:63).

Yaani ni Mwenyezi Mungu ambaye anakubali

maombi yetu na anaondoa matatizo na dhiki

z e t u . N i Y e ye t u a m b a ye t u n a we z a

kumkumbuka na kumuomba wakati wa

mahitaj i yetu. Bal i Yeye ametuamrisha

kumuomba kwa faida yetu na ametuahidi

kwamba atakubali maombi yetu.

Mwenyezi Mungu ametuelezea kupitia

Mtume Mtukufu Muhammad s.a.w. masharti ya

8

Page 9: Maombi ya Quran Tukufu

kukubalika maombi, amesema kwamba:

æø]ôƒø]‰øøÖøÔøÂôfø^�ôpûÂøßôùoûÊøôÞôùoûÎø†ômûgº]öqônûgö�øÂûçøéø]Ö‚$]Åô]ôƒø]�øÂø^áôù Êø×ûnøŠûjørônûföç]ÖôoæøÖûnöç+Úôßöçû]eôoûÖøÃø×$öÜûmø†û<ö‚öæûáø

"Na watu wangu watakopokuuliza juu yangu,

basi hakika mimi nipo karibu. Nayaitika

maombi ya mwombaji anaponiomba. Basi

waniitikie na waniamini ili wapate kuongoka."

(2:187).

Katika aya hii Mwenyezi Mungu ametubashiria

kwamba Yeye yupo karibu sana na hukubali na

h u j i b u m a o m b i y a w a t u , w a k a t i

wanapomwomba. Lakini kwa ajili ya kukubali

maombi ameweka masharti mawili.

1. Watu na waombaji waniitikie Mimi (Allah),

yaani watu wafuate amri Zangu na watekeleze

wajibu wao kulingana na mafundisho Yangu.

2. Waombaji waniamini Mimi (Allah). Yaani

imani yao iwe imara juu ya Mwenyezi Mungu na

w a s i m s h i r i k i s h e n a c h o c h o t e w a l a

9

Page 10: Maombi ya Quran Tukufu

wasimtegemee yeyote minghairi ya Mwenyezi

Mungu. Imani yao iwe ya hali ya juu. Na haya ni

masharti mawili na njia sahihi ili wapate

kuongoka.

Kisha Mwenyezi Mungu ametufundisha adabu

na taratibu za kumwomba amesema kwamba:

ù æøŸøiørûø†ûeô’ø¡øiôÔøæøŸøiöíø^Êôkûeôø^æø]eûjøÈôeønûàøƒFÖôÔø‰øfônû¡÷

Wala usiseme dua zako kwa sauti kubwa, wala

usiseme kwa sauti ndogo bali ushike njia baina

ya hizo." (17:111).

Yaani Mwenyezi Mungu yu karibu na Msikiaji

sana. Kwahiyo haina maana kupiga makelele

wakati wa kumwomba. Lakini kwa ajili ya

kuondoa usingiz i na f ikra mbal imbal i

tunafundishwa kuomba kwa sauti ndogo.

Katika kurasa zijazo tunawaletea wasomaji

10

Page 11: Maombi ya Quran Tukufu

wetu maombi ya Qur'an Tukufu. Maombi haya

m e n g i n i y a M a n a b i i w a z a m a n i

wal iyofundishwa na Mwenyezi Mungu

kumuomba. Kwa hiyo tumeandika kabla ya dua

kwamba dua hii iliombwa na Nabii fulani.

Baadhi ya maombi, kwa uchache sana, ni ya

watu wema wengine. Na maombi mengine ni

ya l e a l i yo f un d i s h wa M t u me M t u ku f u

Muhammad s.a.w.

Mwenyezi Mungu atujaal ie kumuomba

Muumbaji wetu na kumshukuru juu ya

aliyotusaidia katika mambo yote. Amin.

Sheikh Muzaffar Ahmad Durrani

Dar es Salaam

6.3.2002

11

Page 12: Maombi ya Quran Tukufu

1. OMBI KABLA YA MAOMBI

eôŠûÜô]²ô]Ö†$uûÛFàô]Ö†$uônûÜ™M—

]øÖûvøÛû‚öÖô×#äô…øhôù]ÖûÃF×øÛônûàø™N—]Ö†$uûÛFàô]Ö†$uônûÜô™O—

ÚF×ôÔômøçûÝô]Ö‚ôùmûàô™P—]ôm$^ÕøÞøÃûfö‚öæø]ôm$^ÕøÞøŠûjøÃônûàö™Q—

]ôaû‚ôÞø^]Ö’ôù†ø]½ø]ÖûÛöŠûjøÏônûÜø™R—‘ô†ø]½ø]Ö$„ômûàø]øÞûÃøÛûkøÂø×ønûôÜ

Æønû†ô]ÖûÛøÇû–öçûhôÂø×ønûôÜæøŸø]Ö–$«Öôùnûàø™S—

Matamshi:

Bismillahir Rahmaanir Rahiim. Alhamdulillaahi

Rabbil 'Alamiin Arrahmaanir Rahiim. Maaliki

yawmid Diin. Iyyaka na'budu waiyyaka nastaiin.

I h d i n a s S w i r a a t w a l m u s t a q i i m .

Swiraatwalladhiina An'amta alaihim ghairil

maghdhuubi 'alaihim waladhdhaaliin.

Tafsiri:

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa

rehema, Mwingi wa ukarimu. Sifa zote njema

zinamhusu Mwenyezi Mungu, Mola wa

12

Page 13: Maombi ya Quran Tukufu

walimwengu, Mwingi wa rehema, Mwingi wa

ukarimu, Mmiliki wa siku ya malipo. Wewe tu

twakuabudu, na Wewe tu twakuomba msaada.

Utuongoze njia iliyonyooka. Njia ya wale

U l i o w a n e e m e s h a ; s i y o y a w a l e

wal ioghadhibikiwa, wala s iyo ya wale

waliopotea.

2. DUA YA KUONGEZEWA ELIMU

ù …$hôù‡ô�ûÞôoûÂô×ûÛ÷^

Matamshi: Rabbi zidnii Ilmaa.

Tafsiri: Mola wangu, nizidishie elimu. (20:115)

3. MAOMBI KWA AJILI YA WAZAZI

A. (Dua ya Nabii Ibrahim a.s.)

ù …øe$ßø^]ÆûËô†ûÖôoûæôÖôçø]Öô‚øp$æøÖô×ûÛöç+ÚôßônûàømøçûÝømøÏöçûÝö]ÖûvôŠø^hö

Matamshi: Rabbanaghfirlii waliwaalidayya

13

Page 14: Maombi ya Quran Tukufu

walilmu'miniina yauma yaquumulhisaab.

Tafsiri: Ee Mola wangu unisamehe mimi na

wazazi wangu na wale walioamini siku ya

kusimama hesabu. (14:42).

ù …$hôù]…ûuøÛûöÛø^ÒøÛø^…øe$nFßôo‘øÇônû†÷]

B. Matamshi:

Rabb i r hamh umaa kama a rabbaya an i

swaghiira.

Tafsiri: Ee Mola wangu uwarehemu hawa

wawili (wazazi wangu) kama walivyonilea

nilipokuwa mdogo. (17:25).

4. KUOMBA GHOFIRA YAKO NA YA

W A Z A Z I N A Y A W A A M I N I O N A

MAANGAMIZO YA WADHALIMU

(Dua ya Nabii Nuhu a.s.).

…$hôù]ÆûËô†ûÖôoûæøÖôçø]Öô‚ø°$æøÖôÛøàû�øìøØøeønûjôoøÚöç+Úôß÷^æ$Öô×ûÛöç+Úôßônûà

14

Page 15: Maombi ya Quran Tukufu

ù æø]ÖûÛöç+ÚôßFkôôæøŸøiøô�ô]Ö¿#×ôÛônûàø]ôŸ$iøfø^…÷]

Matamshi: Rabbighfirlii waliwaalidayya

w a l i m a n d a k h a l a b a i t i y a m u ' m i n a n

walilmu'miniina walmu'minaati walaa tazidi

dhdhaalimiina illa tabaaraa.

Tafsiri: Ee Mola wangu nighofirie mimi na

wazazi wangu na wale walioamini miongoni

mwa wanaume na wanawake na usiwazidishie

wadhalimu ila maangamizo. (71:29).

5. DUA KWA AJILI YA WAAMINIO

WALIOTANGULIA

…øe$ßø^]ÆûËô†ûÖøßø^æø¦ûôìûçø]Þôßø^]Ö$„ômûàø‰øføÏöçûÞø^eô§ûômûÛø^áôæøŸøiørûÃøØûÊôoû

ù Îö×öçûeôßø^Æô¡&Öôù×$„ômûàøø!Úøøßöç]…øe$ßø«]ôÞ$Ôø…øñöçͺ…$uônûܺ

Matamshi: Rabbanaghfirlanaa wal ikhwaanina

lladhiina sabaquuna bil iimaan walaa taj’al fii

15

Page 16: Maombi ya Quran Tukufu

quluubinaa ghi l la l i l ladhi ina aamanu,

Rabbanaa innaka Rauufur Rahiim.

Tafsiri: Mola wetu, Utughofiri pamoja na

ndugu zetu waliotutangulia katika imani wala

Usiweke mafundo katika mioyo yetu kwa

walioamini; Mola wetu, hakika Wewe ni Mpole

sana. Mwenye rehema. (59:11).

6. MAOMBI YA KUPATA UWEZO WA

KUSHUKURU

A. (Dua ya Nabii Suleiman a.s.).

…$hôù]øæû‡ôÂûßôo?]øáû]ø<ûÓö†øÞôÃûÛøjøÔø]Ö$jôo?]øÞûÃøÛûkøÂø×øo$æøÂø×Foæø]Öô‚øp$æø]øáû

ù ]øÂûÛøØø‘ø^Öôv÷^iø†û•Fäöæø]ø�ûìô×ûßôoeô†øuûÛøjôÔøÊôoÂôfø^�ôÕø]Ö’#×ôvônûàø

Matam shi: Rabbi auz’eni i an ashkura

ne'matakal latii an’amta 'alayya wa 'alaa

waalidayya wa an a'mala swaalihan tardhaahu

wa ad'khlinii bi rahmatika fi i ibaadikas

swalihiin.

16

Page 17: Maombi ya Quran Tukufu

Tafsir i : Ee Mola wangu, Unipe nguvu

nishukuru neema Zako Ulizonineemesha mimi

na wazazi wangu, na nipate kufanya vitendo

vizuri vikupendezavyo, na Uniingize kwa

rehema Zako katika watumishi Wako wema.

(27:20).

B. (Dua ya Nabii Musa a.s.)

…$hôù]øæû‡ôÂûßôo?]øáû]ø<ûÓö†øÞôÃûÛøjøÔø]Ö$jôo?]øÞûÃøÛûkøÂø×øo$æøÂø×Foæø]Öô‚øp$æø]øáû

]øÂûÛøØø‘ø^Öôv÷^iø†û•Fäöæø]ø‘û×ôxûÖôoûÊôoûƒö…ôùm$jôoû]ôÞôùoûiöfûkö]ôÖønûÔøæø]ôÞôùoûÚôàø

ù ]ÖûÛöŠû×ôÛônûàø

Matam shi: Rabbi auz’eni i an ashkura

ne'matakal latii an’amta 'alayya wa 'alaa

waalidayya wa an a'mala swaalihan tardhaahu

wa aslih lii fii dhurriyyatii innii tubtu ilaika wa

innii minal muslimiin.

Tafsiri: Ee Mola wangu, Uniwezeshe nishukuru

neema Zako ulizonineemesha mimi na wazazi

17

Page 18: Maombi ya Quran Tukufu

wan gu , n a i l i n i f a nye v i t end o v i z u r i

Unavyovipenda, na Ukanifanyie wema katika

watoto wangu; kwa yakini ninatubu Kwako; na

hakika mimi ni miongoni mwa waliosilimu.

(46:16)

7 . D U A W A K A T I W A K U P A N D A

MERIKEBU AU CHOMBO CHOCHOTE

A. (Dua ya Nabii Nuhu a.s.)

ù eôŠûÜô]²Úørû†ômø^æøÚö†û‰Fø^]ôá$…øe(oûÖøÇøËöçû…º…$uônûܺ

Matamshi: Bismillahi Majreehaa wamursaahaa

inna rabbii laghafuurur Rahiim.

Tafsiri: Kwa jina la Mwenyezi Mungu, kuwe

kwenda kwake na kusimama kwake, hakika

Mola wangu ni Msamehevu sana, Mrehemevu.

(11:42).

æø]ôÞ$^]ôÖoF…øeôß$^ ù ‰öfûvFàø]Ö$„ôpû‰øí$†øÖøßø^aF„ø]æøÚø^Òöß$^ÖøäüÚöÏû†ôÞônûàø

ù ÖøÛößûÏø×ôföçûáø

18

Page 19: Maombi ya Quran Tukufu

B. Matamshi: Subhaanal ladhii sakhkhara

l an aa h a adh aa w am aa kun na a l ah u u

m u q r i n i i n a w a i n n a a i l a a r a b b i n a a

lamunqalibuun:

Tafsiri: Atukuzwe yeye aliyetutiishia haya na

tusingaliweza kutenda haya wenyewe. Na bila

shaka sisi tunarudia kwa Mola wetu.(43:14-15).

8. DUA YA KUPATA UFAULU KATIKA

MAHUBIRI.

(Dua ya Nabii Musa a.s.)

ù æømøŠôù†ûÖôoû]øÚû†ôp ùû …$hôù]<û†ø|ûÖôo‘ø‚û…ôp

ù møËûÏøöç]ÎøçûÖôoû ù æø]uû×öØûÂöÏû‚øé÷ÚôùàûÖôùŠø^Þôoû

Matamshi: Rabbish rahlii swadrii wayassirlii

amrii wahlul ‘uqdatan millisaani yafqahuu

qaulii.

Tafsiri: Mola wangu! Unipanulie kifua changu.

19

Page 20: Maombi ya Quran Tukufu

Na Unifanyie rahisi kazi yangu. Na ufungue

kifungo katika ulimi wangu. Wapate kufahamu

kauli yangu. (20:26-29).

9. DUA YA KUOKOLEWA KATIKA

WASIWASI WA SHETANI

ù …$hôù]øÂöçûƒöeôÔøÚôàûaøÛøFlô]Ö)$nF_ônûàôù æø]øÂöçûƒöeôÔ…øhôù]øáûm$vû–ö†öæûáô

Matamshi: Rabbi ‘auudhubika min hamazaati

shshayaatwiin waa’uudhubika rabbi an

yyahdhuruun.

Tafsir i : Mola wangu naj ikinga kwako

uniepushe na wasiwasi wa mashetani. Na

n a j i k i n g a K w a k o M o l a w a n g u i l i

wasinihudhurie. (23:98-99).

20

Page 21: Maombi ya Quran Tukufu

10. DUA YA KUINGIA KATIKA MAKAZI

M A P Y A N A Y A K U T O K A K W A

HESHIMA

A. (Dua ya Nabii Nuhu a.s.)

ù …øhôù]øÞûôÖûßôoÚößûøŸ÷Ú%fF†øÒ÷^æ$]øÞûkøìønû†ö]ÖûÛößûôÖônûàø

M a t a m s h i : R ab b i a n z i l n i i M u n z a l a n

Mubaarakan wa anta khairul Munziliin.

Tafsiri: Mola wangu uniteremshe uteremsho

wenye baraka, maana wewe ni mbora wa

wateremshao. (23:30).

…øhôù]ø�ûìô×ûßôoÚö‚ûìøØø‘ô‚ûÑõæ$]øìû†ôqûßôoÚöíû†øtø‘ô‚ûÑõæ$]qûÃøØûÖôùoûÚôàû

ù Ö$‚öÞûÔø‰ö×û_6ß÷^Þ$’ônû†÷]

B. Matamshi: Rabbi Ad’khilnii mud'khala

swidiqin wwa’akhrij'nii mukhraja swidiqin

wwaj’allii milladunka sultwanan naswiira.

21

Page 22: Maombi ya Quran Tukufu

Tafsiri: Mola wangu uniingize mwingizo

mwema, na Unitoe kutoka kwema. Na unipe

nguvu kutoka Kwako isaidiayo. (17:81).

11. DUA YA KUPATA MSAADA WA

MWENYEZI MUNGU

A. (Dua ya watu wa pango).

ù …øe$ßø«!iôßø^ÚôàûÖ$‚öÞûÔø…øuûÛøè÷æ$aønôù®ûÖøßø^Úôàû]øÚû†ôÞø^…ø<ø‚÷]

Matamshi: Rabbanaa aatinaa milladunka

rahmatan wwahayyi'i lanaa min amrinaa

rashadaa.

Tafsiri: Mola wetu utupe rehema kutoka Kwako

na ututengenezee mwongozo katika jambo letu.

(18:11).

B. (Dua ya Nabii Nuhu a.s.).

ù ]øÞôùoûÚøÇû×öçûhºÊø^Þûjø’ô†û

22

Page 23: Maombi ya Quran Tukufu

Matamshi: Annii maghluubun fantaswir.

Tafsiri : Kwa hakika nimeshindwa basi

unisaidie. (54:11).

C. (Dua ya Nabii Nuhu a.s.).

ù …øhôù]Þû’ö†ûÞôoûeôÛø^Òø„$eöçûáô

M a t a m s h i : R a b b i n s w u r n i i b i m a a

kadhdhabuun.

Tafsiri: Mola wangu unisaidie kwa sababu

wamenikadhibisha. (23:27).

12. DUA YA KUOMBA MSAMAHA NA

MWISHO MWEMA

…øe$ßø«]ôÞ$ßø^‰øÛôÃûßø^Úößø^�ôm÷^m%ßø^�ôpûÖô§ûômûÛø^áô]øáû!Úôßçû]eô†øeôùÓöÜûÊøFÚøß$^…øe$ßø^

ù Êø^ÆûËô†ûÖøßø^ƒöÞöçûeøßø^æøÒøËôù†ûÂøß$^‰ønôùFiôßø^æøiøçøÊ$ßø^ÚøÄø]ûŸøeû†ø]…ô

23

Page 24: Maombi ya Quran Tukufu

…øe$ßø^æø!iôßø^Úø^æøÂø‚ûiøßø^Âø×øo…ö‰ö×ôÔøæøŸøiöíûôÞø^møçûÝø]ÖûÏônFÛøèô]ôÞ$Ôø

ù Ÿøiöíû×ôÌö]ÖûÛônûÃø^�ø

Matamshi: Rabbanaa Innanaa sami’enaa

munaadiyay yunaadii lil iimaani an`aaminuu

birabbikum fa`aamannaa - Rabbanaa faghfir

l a n a a d h u n u u b a n a a w a k a f f i r ‘ a n n a a

sayyiaatinaa watawaffanaa ma’al'abraar.

Rabbanaa wa-aatinaa maa wa’adtanaa 'alaa

rusulika walaa tukhzinaa yaumal qiyaamati

innaka laa tukhliful mi’aad.

Tafsiri: Mola wetu, hakika tumesikia Mwitaji

anayeita kwenye imani ya kwamba mwaminini

Mola wenu, kwa hiyo tumeamini. (Kwa hiyo)

Mola wetu, Utusamehe madhambi yetu na

Utuondolee maovu yetu na wakati wa kifo chetu

Ut uungan i she pamoj a na wa t u wema.

Mola wetu, na Utupe Uliyotuahidi kwa Mitume

Wako, wala Usitufedheheshe siku ya Kiyama;

24

Page 25: Maombi ya Quran Tukufu

bila shaka Wewe huvunji miadi. (3:194-195).

B. (Dua ya wachawi waliomwamini Nabii

Musa a.s.)

ù …øe$ßø«]øÊû†ôÉûÂø×ønûßø^‘øfû†÷]æ$iøçøÊ$ßø^ÚöŠû×ôÛônûàø

Matamshi: Rabbanaa afrigh alainaa swabran

wwa tawaffanaa muslimiin.

Tafsiri: Mola wetu tumiminie subira na utufishe

Waislamu (watii) (7:127).

13. DUA YA KUOMBA GHOFIRA NA

REHEMA YA MWENYEZI MUNGU

A. (Dua ya Nabii Musa a.s.)

ù ]øÞûkøæøÖôn%ßø^ÊøÆûËô†ûÖøßø^æø…ûuøÛûßø^æø]øÞûkøìønû†ö]ÖûÇFËô†ômûàø

Matamshi: Anta waliyyunaa faghfirlanaa

warhmanaa wa anta khairul ghaafiriin.

25

Page 26: Maombi ya Quran Tukufu

Tafsiri. Wewe ndiwe Mlinzi wetu basi

tusamehe na Uturehemu, nawe ndiwe Mbora wa

kughofiri. (7:156).

ù …øe$ßø«!Úøß$^ÊøÆûËô†ûÖøßø^æø]…ûuøÛûßø^æø]øÞûkøìønû†ö]Ö†#uôÛônûàø

B. Matamshi: Rabbanaa aamannaa faghfir

lanaa warhamnaa wa anta khairur Raahimiin.

Tafsiri: Mola wetu tumeamini, basi tusamehe

n a t u r e h e m u n a w e n d i w e M b o r a w a

wanaorehemu (23:110).

ù …øhôù]ÆûËô†ûæø]…ûuøÜûæø]øÞûkøìønû†ö]Ö†#uôÛônûàø

C. Matamshi: Rabbi ghfir warham wa anta

khairur Raahimiin:

Tafsiri: Mola wangu samehe na rehemu, nawe

ndiwe Mbora wa wanaorehemu (23:119).

26

Page 27: Maombi ya Quran Tukufu

14. DUA YA KUPATA NURU KAMILI NA

GHOFIRA YA MWENYEZI MUNGU

ù …øe$ßø«]øiûÛôÜûÖøßø^Þöçû…øÞø^æø]ÆûËô†ûÖøßø^]ôÞ$ÔøÂø×FoÒöØôù<ø®ûõÎø‚ômû†º

Matamshi: Rabbanaa Atmim lanaa nuuranaa

waghfir lanaa innaka alaa kulli shai’in Qadiir.

Tafsiri: Mola wetu Ututimizie nuru yetu na

Utughofirie, hakika wewe ni Mwenye uwezo juu

ya kila kitu.(66:9).

15. DUA YA KUOMBA MSAMAHA NA

MSAADA DHIDI YA MAKAFIRI

…øe$ßø^Ÿøiöç*]ìô„ûÞø«]ôáûÞ$Šônûßø«]øæû]øìû_øûÞø^…øe$ßø^æøŸøiøvûÛôØûÂø×ønûßø^

]ô‘û†÷]ÒøÛø^uøÛø×ûjøäüÂø×øo]Ö$„ômûàøÚôàûÎøfû×ôßø^…øe$ßø^æøŸøiövøÛôù×ûßø^Úø^

Ÿø›ø^ÎøèøÖøßø^eôäæø]ÂûÌöÂøß$^æø]ÆûËô†ûÖøßø^æø]…ûuøÛûßø^]øÞûkøÚøçûÖFßø^

ù Êø^Þû’ö†ûÞø^Âø×øo]ÖûÏøçûÝô]ÖûÓFËô†ômûàø

27

Page 28: Maombi ya Quran Tukufu

A. Matamshi: Rabbanaa laa tuaakhidhnaa inna

siinaa au akhtwa'naa. Rabbanaa walaa tahmil

alainaa iswran kamaa hamaltahuu ‘alalladhiina

min qablinaa. Rabbanaa walaa tuhammilnaa

maa laa twaaqatalanaa bihi. Wa’fu’annaa

waghfirlanaa warhamnaa. Anta maulaanaa

fansurnaa alalqaumil kaafiriin.

Tafsiri: Mola wetu, Usitushike kama tukisahau

au tukikosa, Mola wetu, na Usitubebeshe mzigo

kama Ulivyowabebesha wale waliokuwa kabla

yetu. Mola wetu, Usitutwike tusiyoyaweza, na

Utusamehe, na Utughofirie, na Uturehemu;

Wewe ndiwe mlinzi wetu; basi Utusaidie juu

ya watu makafiri. (2:287).

…øe$ßø^]ÆûËô†ûÖøßø^ƒöÞöçeøßø^æø]ô‰û†ø]Êøßø^Êôo?]Úû†ôÞø^æø$øfôùkû]øÎû‚ø]Úøßø^

ù ø æøÞû’ö†ûÞø^Âø×øo]ÖûÏøçûÝô]ÖûÓFËô†ômûà

B . M a t a m s h i : R a b b a n a g h ' f i r l a n a a

dhunuubanaa wa israafanaa fii amrinaa wa

28

Page 29: Maombi ya Quran Tukufu

thabbit aqdaamanaa wanswurnaa alal-qaumil

kaafiriin:

Tafsiri: Mola wetu tughofirie madhambi yetu na

kupita kwetu kiasi katika mambo yetu na

Uimarishe miguu yetu na Utusaidie juu ya watu

makafiri.(3:148).

16 . DUA YA K UPAT A S UB IRA NA

NUSURA JUU YA MAKAFIRI

…øe$ßø«]øÊû†ôÉûÂø×ønûßø^‘øfû†÷]æ$$øfôùkû]øÎû‚ø]Úøßø^æøÞû’ö†ûÞø^Âø×øo]ÖûÏøçûÝôù ]ÖûÓFËô†ômûàø

Matamshi: Rabbanaa afrigh ‘alainaa swabran

w w a t h abb i t aq da amanaa w answ urna

Alal-qaumil kaafiriin:

Tafsiri: Mola wetu tumiminie subira na

Uimarishe miguu yetu na Utusaidie juu ya watu

makafiri.(2:251).

29

Page 30: Maombi ya Quran Tukufu

17. DUA YA KUOMBA GHOFIRA YAKO

NA YA KAKA YAKO

(Dua ya Nabii Musa a.s.)

ù …øhôù]ÆûËô†ûÖôoûæøŸô*ìôoûæø]ø�ûìô×ûßø^Êôoû…øuûÛøjôÔøæø]øÞûkø]ø…ûuøÜö]Ö†#uôÛônûàø

Matam shi: Rabbi gh'f irl i i waliakhii wa

ad'khilnaa fii rahmatika wa anta Arhamur

Raahimiin.

Tafsiri: Mola wangu unisamehe mimi na ndugu

yangu, na Utuingize katika rehema zako maana

Wewe ndiwe M rehemevu za id i ku l iko

wanaorehemu. (7:152).

18. DUA YA KUTOKUWA MKIWA

(Dua ya Nabii Zakaria a.s.)

ù …øhôùŸøiø„ø…ûÞôoûÊø†û�÷]æ$]øÞûkøìønû†ö]ÖûçF…ô$ônûàø

Matamshi: Rabbii laa tadharnii fardan wwa

30

Page 31: Maombi ya Quran Tukufu

anta khairul waarithiin.

Tafsiri: Mola wangu usiniache peke yangu; na

Wewe ndiwe Mbora wa wanaorithi. (21:90).

19. DUA YA KUTOA MTOTO WAKFU

WAKATI BADO YUKO TUMBONI

(Dua ya Bibi Mariamu)

…øhôù]ôÞôùoûÞø„ø…ûlöÖøÔøÚø^Êôoûeø_ûßôoûÚövø†$…÷]ÊøjøÏøf$ØûÚôßôùoû]ôÞ$Ôø]øÞûkø

ù ]ÖŠ$ÛônûÄö]ÖûÃø×ônûÜöº

Matamshi: Rabbi Innii nadhartu laka maa fii

batwnii Muharraran fataqabbal minnii, Innaka

antas samiiul 'aliim.

Tafsiri: Mola wangu hakika nimeweka nadhiri

Kwako aliyomo tumboni mwangu kuwa wakfu;

basi nikubalie. Bila shaka Wewe ndiwe

Usikiaye, Ujuaye. (3:36).

31

Page 32: Maombi ya Quran Tukufu

20. DUA YA KUOMBA KIZAZI CHEMA

A. (Dua ya Nabii Ibrahim a.s.).

ù ÖôoûÚôàø]Ö’#×ôvônûàø …øhôùaøgû

Matamshi: Rabbi hab lii minasswaalihiin:

Tafsiri: Mola wangu nipe (mwana) miongoni

mwa watendao wema. (37:101).

B. (Dua ya Nabii Zakaria a.s.)

…øhôùaøgûÖôoûÚôàûÖ$‚öÞûÔøƒö…ôùm$è÷›ønôùføè÷]ôÞ$Ôø‰øÛônûÄö]Ö‚%Âø«ðô

Matam shi : Rabbi hab l i i min ladunka

dhurriyyatan twayyibatan Innaka samiiu ddu'aa

Tafsiri: Mola wangu unipe kutoka Kwako

wazao wazuri; kwa yakini wewe ndiwe usikiaye

maombi. (3:39).

C. Dua ya Nabii Zakaria a.s.

aøgûÖôoûÚôàûÖ$‚öÞûÔøæøÖôn&^

32

Page 33: Maombi ya Quran Tukufu

Matamshi: Hab lii min ladunka waliyyaa.

Tafsiri: (Mola wangu) Unipe mrithi kutoka

Kwako. (19:6).

21. DUA KWA AJILI YA AHLI NA WATOTO

A. (Dua ya Nabii Ibrahim a.s.)

…øe$ßø^æø]qûÃø×ûßø^ÚöŠû×ôÛønûàøÖøÔøæøÚôàûƒö…ôùm$jôßø«]öÚ$è÷Ú%Šû×ôÛøè÷Ö$Ôøæø]ø…ôÞø^

ù Úøßø^‰ôÓøßø^æøiögûÂø×ønûßø^]ôÞ$Ôø]øÞûkø]Öj$ç$]hö]Ö†$uônûÜö

Matamshi: Rabbanaa waj’alnaa muslimaini

l a ka w am i n d h u r r i y ya t i n aa um ma t a n

mmuslimatan llaka, wa arinaa manaasikanaa

watub’alainaa innaka antat tawwaabur Rahiim.

Tafsiri: Ee Mola wetu , Utufanye tuwe

wajitupao Kwako, na miongoni mwa wazao

wetu pia Uwafanye watu wajitupao Kwako. Na

Utuonyeshe njia za ibada yetu na Utuelekee; bila

33

Page 34: Maombi ya Quran Tukufu

shaka Wewe ndiwe Mwelekevu, Mrehemevu.

(2:129).

ù …øe$ßø^aøgûÖøßø^Úôàû]ø‡ûæø]qôßø^æøƒö…ôùm#jôßø^Îö†$éø]øÂûnöàõæ$qûÃø×ûßø^Öô×ûÛöj$Ïônûàø]ôÚø^Ú÷^

B. Matamshi: Rabbanaa hab lanaa min

az'waajinaa wadhurriyyaatinaa qurrata a’yunin

waj’alnaa lilmuttaqiina imaamaa.

Tafsiri: Mola wetu utupe katika wake zetu na

watoto wetu yaburudishayo macho, na Utujaalie

kuwa viongozi kwa wamchao (Mungu).(25:75).

22. DUA KWA AJILI YA KUSALI WEWE

NA WAZAO WAKO

(Dua ya Nabii Ibrahimu a.s.).

ù …øhôù]qûÃø×ûßôoûÚöÏônûÜø]Ö’$×FçéôæøÚôàûƒö…ôùm$jôo…øe$ßø^æøiøÏøf$Øû�öÂø«ðô

Matamshi: Rabbij'alnii muqiima sswalaati wa

min dhurriyyatii. Rabbanaa wa taqabbal du’aa.

34

Page 35: Maombi ya Quran Tukufu

Taf s i r i : M o l a wangu un i j aa l i e n iwe

msimamisha sala na wazao wangu (pia); Mola

wetu na Upokee maombi yangu. (14:42).

23. DUA YA KUPATA AMANI YA MJI NA

KUJIEPUSHA NA IBADA YA MASANAMU

(Dua ya Nabii Ibrahim a.s.)

ù …øhôù]qûÃøØûaF„ø]]Öûfø×ø‚ø!Úôß÷^æ$]qûßöfûßôoûæøeøßôo$]øáûÞ$Ãûfö‚ø]Ÿûø‘ûßø^Ýø

Matamshi: Rabbij'al haadhal balada aaminan

wwaj'nubnii wabaniya an na'buda l'aswnaam.

Tafsiri: Mola wangu, Ujaalie mji huu uwe wa

amani, na Unitenge mimi na wanangu tusiabudu

masanamu. (14:36).

24. DUA YA KUPATA RIZIKI

(Dua ya Nabii Isa a.s.)

]øÖ×#öÜ$…øe$ßø«]øÞûôÙûÂø×ønûßø^Úø«ñô‚øé÷Úôùàø]ÖŠ$Ûø«ðôiøÓöçûáöÖøßø^Âônû‚÷]Ùôù]øæ$Öôßø^

ù æø!ìô†ôÞø^æø!møè÷ÚôùßûÔøæø]…û‡öÎûßø^æø]øÞûkøìønû†ö]Ö†#‡ôÎônûàø

35

Page 36: Maombi ya Quran Tukufu

Matamshi: Allaahumma Rabbanaa Anzil

‘Alainaa Maaidatan mminassamaai takuunu

lanaa 'iiddaliawwalinaa wa aakhirinaa wa

aayatan mminka warzuqnaa wa anta khairur

Raaziqiin.

Tafsiri: Mola wetu, tuteremshie chakula kutoka

mbinguni ili kiwe sikukuu kwa ajili ya wa

mwanzo wetu na wa mwisho wetu, na kiwe

Ishara itokayo Kwako, na Uturuzuku, kwani

Wewe ni Mbora wa wanaoruzuku. (5:115).

25. DUA YA KUTOPOTEA BAADA YA

KUONGOKA

…øe$ßø^ŸøiöôÉûÎö×öûûçûeøßø^eøÃû‚ø]ôƒûaø‚ømûjøßø^æøaøgûÖøßø^ÚôàûÖ$‚öÞûÔø…øuûÛøè÷]ôÞ$Ôø

ù ]øÞûkø]Öûçøa$^hö

Matamshi: Rabbanaa laa tuzigh quluubanaa

ba’ada idh hadai tanaa wa hab lanaa

milladunka rahmatan, Innaka antal Wahhaab.

36

Page 37: Maombi ya Quran Tukufu

Tafsiri: Mola wetu usiipotoshe mioyo yetu

baada ya Kutuongoza, na Utupe rehema kutoka

Kwako, hakika Wewe ndiwe Mpaji Mkuu.(3:9).

26. DUA YA KUOKOLEWA KATIKA MJI

AMBAO WATU WAKE NI WADHALIMU

NA KUPATA MSAIDIZI KUTOKA KWA

MWENYEZI MUNGU

…øe$ßø«]øìû†ôqûßø^ÚôàûaF„ôåô]ÖûÏø†ômøèô]Ö¿$^ÖôÜô]øaû×öø^æøqûÃøØûÖ$ßø^ÚôàûÖ$‚öÞûÔøæøÖôn&^

ù æ$qûÃøØûÖ$ßø^ÚôàûÖ$‚öÞûÔøÞø’ônû†÷]

Matamshi: Rabbanaa Akh’rijnaa min haadhihil

qaryati dhdhaalimi ahluhaa. Waj’allanaa

minlladunka waliyyaa, waj’allana milladunka

naswiiraa.

Tafsiri: Mola wetu Ututoe katika mji huu

ambao watu wake ni wadhalimu, na Utujaalie

mlinzi kutoka Kwako, na Utujaalie msaidizi

kutoka Kwako. (4:76).

37

Page 38: Maombi ya Quran Tukufu

27. DUA YA UPAMBANUO BAINA YA

HAKI NA BATILI

(Dua ya Nabii Shuaib a.s.)

ù …øe$ßø^]Êûjøxûeønûßøßø^æøeønûàøÎøçûÚôßø^eô^ÖûvøÐôùæø]øÞûkøìønû†ö]ÖûËFjôvônûàø

Matamshi: Rabbana-ftah bainanaa wa baina

Qauminaa bilhaqqi wa anta khairul faatihiin.

Tafsiri: Mola wetu hukumu baina yetu na baina

ya kaumu yetu kwa haki, nawe ndiwe Mbora wa

wanaohukumu. (7:90).

28. DUA YA KUOKOLEWA NA WATU

WADHALIMU

(Dua ya watu wa Peponi).

ù …øe$ßø^ŸøiørûÃø×ûßø^ÚøÄø]ÖûÏøçûÝô]Ö¿#×ôÛônûàø

Matamshi: Rabbanaa laa taj’alnaa ma’alqaumi

dhdhaalimiin.

38

Page 39: Maombi ya Quran Tukufu

Tafsiri: Mola wetu Usituweke pamoja na watu

wadhalimu. (7:48).

ù …øhôùÞørôùßôoûÚôàø]ÖûÏøçûÝô]¾#×ôÛônûàø

Matam shi: Rabbi Najj ini i minal qaumi

dhdhaalimiin.

Tafsiri: Mola wangu niokoe katika watu

wadhalimu.(28:22).

2 9 . D U A Y A K U J I E P U S H A N A

WADHALIMU

(Dua ya Nabii Musa a.s.)

ù …øhôùÊø¡øiørûÃø×ûßôoûÊôo]ÖûÏøçûÝô]Ö¿#×ôÛônûàø

Matamshi: Rabbi falaa taj’alnii Fil qaumi

dhdhaalimiin

Tafsiri: Mola wangu usinijaalie katika watu

wadhalimu.(23:95).

39

Page 40: Maombi ya Quran Tukufu

30. DUA YA WOKOVU KATIKA HILA ZA

WAPINZANI

(Dua ya Nabii Luti a.s.)

ù …øhôùÞøíôùßôoûæø]øaû×ôoÚôÛ$^møÃûÛø×öçûáø

Matamshi: Rabbi Najjinii wa ahlii mimmaa

yaamaluun.

Tafsiri: Mola wangu, Uniokoe mimi na ahali

zangu katika yale wanayoyafanya.(26:170).

31. DUA YA KUOMBA GHOFIRA BAADA

YA KUKOSEA

(Dua ya Nabii Musa a.s.)

ù …øhôù]ôÞôùoû¾ø×øÛûköÞøËûŠôoûÊø^ÆûËô†ûÖôoû

Matamshi: Rabbi Innii dhalamtu nafsii faghfir

lii.

40

Page 41: Maombi ya Quran Tukufu

Tafsiri: Mola wangu nimedhulumu nafsi yangu

basi nighofirie.(28:17).

32. DUA YA KUOKOLEWA KATIKA

FITINA YA MAKAFIRI NA WAFISADI

A. (Dua ya watu wa Nabii Musa a.s.).

æøÞørôùßø^eô†øuûÛøjôÔø ù …øe$ßø^ŸøiørûÃø×ûßø^Êôjûßøè÷Öôù×ûÏøçûÝô]Ö¿#×ôÛônûàø

ù Úôàø]ÖûÏøçûÝô]ÖûÓFËô†ômûàø

Matamshi: Rabbanaa laa taj’alnaa fitnatan

lilqaumi dhdhaalimiin wa najjinaa birahmatika

minal qaumil kaafriin.

Tafsiri: Mola wetu usitufanye jaribio kwa watu

wadhalimu. Na Utuokoe kwa rehema Yako na

watu wadhalimu.(10:86-87).

B. (Dua ya Nabii Lut a.s.)

ù …øhôù]Þû’ö†ûÞôoûÂø×øo]ÖûÏøçûÝô]ÖûÛöËûŠô‚ômûàø

41

Page 42: Maombi ya Quran Tukufu

Matamshi: Rabbi n’swurnii Alal Qaumil

mufsidiin.

Tafsiri: Mola wangu unisaidie juu ya watu

wafisadi. (29:31).

C. (Dua ya Nabii Ibrahim a.s.).

…øe$ßø^ŸøiørûÃø×ûßø^Êôjûßøè÷Öôù×$„ômûàøÒøËø†öæû]æø]ÆûËô†ûÖøßø^…øe$ßø^]ôÞ$Ôø]øÞûkø

ù ]ÖûÃøômûö]ÖûvøÓônûÜö

Matamshi: Rabbanaa laa taj’alnaa fitnatan

llilladhiina kafaruu waghfir lanaa Rabbanaa

innaka antal Aziizul Hakiim.

Tafsiri: Mola wetu, Usitufanye jaribio kwa wale

waliokufuru, na Utughofiri, Mola wetu hakika

Wewe ni mwenye nguvu, mwenye hekima.

(60:6).

42

Page 43: Maombi ya Quran Tukufu

33. DUA YA KUOMBA MSAADA WA

MWENYEZI MUNGU

A. (Dua ya Nabii Nuhu a.s.)

ù ]øÞôùoûÚøÇû×öçûhºÊøßûjø’ô†û

Matamshi: Innii Maghluubun fantaswir

T a f s i r i : (M o l a w a n g u ) k w a h a k i k a

nimeshindwa basi nisaidie.(54:11).

B. (Dua ya Nabii Nuhu a.s.)

ù …øhôù]Þû’ö†ûÞôoûeôÛø^Òø„$eöçûáô

M a t a m s h i : R a b b i n S w u r n i i b i m a a

kadhdhabuun.

Tafsiri: Mola wangu unisaidie kwa sababu

wamenikadhibisha.(23:27).

43

Page 44: Maombi ya Quran Tukufu

34. DUA YA MAANGAMIO YA MAKAFIRI

A. (Dua ya Nabii Nuhu a.s.)

ù …øhôùŸøiø„ø…ûÂø×øo]Ÿûø…ûšôÚôàø]ÖûÓFËô†ômûàøCøm$^…÷]

Matamshi: Rabbi laa tadhar ala l'ardhi minal

kaafiriina dayyaaraa.

Tafsiri: Mola wangu usiache juu ya ardhi mkazi

ye yote katika makafiri (71:27).

B. (Dua ya Nabii Musa a.s.)

ù …øe$ßø^]›ûÛô‹ûÂø×Fo?]øÚûçø]ÖôôÜûæø<û‚ö�ûÂø×FoÎö×öçûeôôÜû

Matamshi: Rabbana tw'mis alaa am'waalihim

wash'dud alaa quluubihim

Tafsiri: Mola wetu, ziangamize mali zao na

ishambulie mioyo yao. (10:89).

44

Page 45: Maombi ya Quran Tukufu

35. DUA YA KUOMBA WEMA KATIKA

DUNIA NA AKHERA NA KUJIKINGA NA

ADHABU YA MOTO

ù …øe$ßø«!iôßø^Êôo]Ö‚%Þûnø^uøŠøßøè÷æ$Êôo]ŸûFìô†øéôuøŠøßøè÷æ$Îôßø^Âø„ø]hø]Öß$^…ô

A. Matamshi: Rabbanaa aatinaa fii dduniya

hasanatan wwaf i l aakhira t i hasanatan

wwaqinaa adhaaban naar.

Tafsiri: Mola wetu utupe wema duniani na

wema katika Akhera na Utulinde na adhabu ya

Moto. (2:202).

ù …øe$ßø«]ôÞ$ßø«!Úøß$^Êø^ÆûËô†ûÖøßø^ƒöÞöçûeøßø^æøÎôßø^Âø„ø]hø]Öß$^…ô

B. Matamshi: Rabbanaa innanaa aamanaa

faghfir lanaa dhunuubanaa waqinaa adhaaban

naar.

Tafsiri: Mola wetu hakika sisi tumeamini, basi

45

Page 46: Maombi ya Quran Tukufu

utughofirie madhambi yetu, na Utuepushe na

Adhabu ya Moto.(3:17).

ù …øe$ßø^Úø^ìø×øÏûkøaF„ø]eø^›ô¡÷‰öfûvFßøÔøÊøÏôßø^Âø„ø]hø]Öß$^…ô

C. Matamshi: Rabbanaa maa khalaqta hadhaa

baatwilan. Sub'haanaka faqinaa adhaaban

naar.

Tafsiri: Mola wetu Hukuviumba hivi bure;

utukufu ni Wako, basi Utuepushe na adhabu ya

Moto. (3:192).

ù …øe$ßø^]‘û†ôÍûÂøß$^Âø„ø]høqøøß$Üø]ôá$Âø„ø]eøø^Òø^áøÆø†ø]Ú÷^

D. Matamshi: Rabbana-swrif 'annaa 'adhaaba

Ja h a n n a m a i n n a ' a d h a a b a h a a k a a n a

gharaamaa.

Tafsiri: Mola wetu utuondolee adhabu ya

Jahannam, bila shaka adhabu yake ndiyo

iendeleayo. (25:66).

46

Page 47: Maombi ya Quran Tukufu

36. DUA YA KUPATA SUBIRA NA KIFO

CHEMA

(Dua ya wachawi waliomwamini Nabii Musa

a.s.)

ù …øe$ßø«]øÊû†ôÉûÂø×ønûßø^‘øfû†÷]æ$iøçøÊ$ßø^ÚöŠû×ôÛônûàø

Matamshi: Rabbanaa afrigh alainaa swabran

wwatawaffanaa Muslimiin.

Tafsiri: Mola Wetu tumiminie uvumilivu na

Utufishe watii.(7:127).

37. DUA YA KUWA M TU M WEM A

KUTAJWA KWA WEMA NA KUPATA

PEPO

(Dua ya Nabii Irahim a.s.)

æø]qûÃøØûÖôùoûÖôŠø^áø ù …øhôùaøgûÖôoûuöÓûÛ÷^æ$]øÖûvôÏôßôoûeô^Ö’#×ôvônûàø

ù æø]qûÃø×ûßôoûÚôàûæ$…ø$øèôqøß$èô]Öß$ÃônûÜô ù ‘ô‚ûÑõÊôo]Ÿ6ìô†ômûàø

47

Page 48: Maombi ya Quran Tukufu

Matamshi: Rabbi Hablii Hukman wwa alhiqnii

bi sswaalihiin. Waj’allii lisaana swidiqin fil

a a k h i r i i n . W a j ’ a l l i i m i n w w a r a t h a t i

jannatin-naiim.

Tafsiri: Mola wangu Unipe (nguvu ya kutoa)

hukumu na Uniunge pamoja na watendao wema.

Na unijaalie kutajwa kwa wema katika watu wa

baadaye. Na Unijaalie katika warithi wa Bustani

za neema. (26:84-86).

38. DUA YA KUPATA WEMA KATIKA

DUNIA NA AKHERA

(Dua ya Nabii Musa a.s.).

ù æø]ÒûjögûÖøßø^ÊôoûaF„ôåô]Ö‚%Þûnø^uøŠøßøè÷æ$Êôo]ŸûFìô†øéô]ôÞ$^aö‚ûÞø«]ôÖønûÔø

Matamshi: Waktublanaa fii haadhihii dduniyaa

hasanatan wwa fil aakhirati, Innaa hudnaa

Ilaika.

48

Page 49: Maombi ya Quran Tukufu

Tafsiri: Na Utuandikie mema katika dunia hii

na Akhera; bila shaka tumeelekea Kwako.

(7:157).

39. DUA YA KUEPUSHWA KUOMBA JUU

YA JAMBO USILO NA ELIMU NALO

(Dua ya Nabii Nuhu a.s.)

…$hôù]ôÞôùoû?]øÂöçûƒöeôÔø]øáû]ø‰ûòø×øÔøÚø^Öønû‹øÖôoûeôäÂô×ûܺæø]ôŸ$iøÇûËô†ûÖôoû

ù æøiø†ûuøÛûßôoû?]øÒöàûÚôùàø]ÖûíFŠô†ômûàø

Matamshi: Rabbi innii a'uudhubika an as'alaka

maa laisa lii bihii 'ilmun wwaillaa tadhfirlii

watarhamnii akun mminal khaasiriin.

Tafsiri: Mola wangu, hakika mimi najikinga

Kwako nisije kukuomba nisiyoyajua; na kama

Hutanisamehe na kunirehemu, ni takuwa

miongoni mwa wapatao hasara. (11:48).

49

Page 50: Maombi ya Quran Tukufu

4 0 . D U A Y A K U J I K I N G A K W A

MWENYEZI MUNGU

ù eôŠûÜô]²ô]Ö†$uûÛFàô]Ö†$uônûÜôæøÚôàû<ø†ôùÆø^‰ôÐõ]ôƒø] ù Úôàû<ø†ôùÚø^ìø×øÐø ù ÎöØû]øÂöçûƒöeô†øhôù]ÖûËø×øÐû

ù æøÚôàû<ø†ôù]Öß$Ë#%FkôÊôo]ÖûÃöÏø‚ô ù æøÎøgø

ù æøÚôàû<ø†ôùuø^‰ô‚õ]ôƒø]uøŠø‚ø

A. Matamshi: Bismillahir-Rahmaanir-Rahiim.

Qul a'uudhu birabbil falaq. Min sharri maa

khalaq, wamin sharri ghaasiqin idhaa waqab,

wa min sharrin Naffaathaati fil 'uqad, wamin

sharri haasidin idhaa hasad.

Tafsiri: Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi

wa rehema, Mwingi wa ukarimu.

2 . S e m a : N a j i k i n g a k w a M o l a w a

mapambazuko,

3. (Anilinde) katika shari ya Alivyoviumba,

50

Page 51: Maombi ya Quran Tukufu

4. Na katika shari ya giza la usiku liingiapo,

5. Na katika shari ya wale wanaopulizia

mafundoni,

6. Na katika shari ya hasidi anapohusudu.

(113:1-6).

ù eôŠûÜô]²ô]Ö†$uûÛFàô]Ö†$uônûÜôù ]ôÖFäô]Öß$^Œô ù Úø×ôÔô]Öß$^Œô ù ÎöØû]øÂöçûƒöeô†øhôù]Öß$^Œô

ù Úôàû<ø†ôù]Öûçø‰ûçø]Œô]Öûíøß$^Œôù Úôàø]Öûrôß$èôæø]Öß$^Œô ù ]Ö$„ôpûmöçø‰ûçôŒöÊôoû‘ö‚öæû…ô]Öß$^Œô

B. Matamshi: Bismillahir-Rahmaanir-Rahiim.

Qul a'uudhu birabbin-Naas, Malikin-Naas,

Ilaahin-Naas; min sharril was'waasil khannaas.

Alladhii yuwas'wisu fii suduurin-Naas. Minal

jinnati wan-Naas.

Tafsiri: Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi

wa rehema, Mwingi wa ukarimu.

2. Sema: Ninajikinga kwa Mola wa watu,

3. Mfalme wa watu,

51

Page 52: Maombi ya Quran Tukufu

4. Mwabudiwa wa watu,

5. Katika shari ya wasiwasi wa (Shetani)

aendaye kisirisiri kwa hila,

6. Atiaye wasiwasi mioyoni mwa watu,

7. Miongoni mwa majini na watu. (114:1-7).

52

Page 53: Maombi ya Quran Tukufu

QURANIC PRAYERS

Kiswahili Version

By

Muzaffar Ahmad Durrani

ISBN 9987-8932-1-x

Many Quranic Prayers have been compiled in

this pocket book, to make it easy for our new

readers. There is transliteration of Arabic text in

Roman letters and its Kiswahili translation.

It has been also mentioned that certain prayer

was used by which Prophet.

AHMADIYYA MUSLIM JAMAAT TANZANIA

53

Page 54: Maombi ya Quran Tukufu

5454

Ÿ6?]ôÖFäø]ôŸ$]Ö×#äöÚövøÛ$‚º…$‰öç»Ùö]Ö×#äô

SHEIKH MUZAFFAR AHMAD DURRANI

]ø�ûÂôn$èö]ÖÏö†û áô]ÖÓø†mûÜ

MAOMBIYA

QUR'AN TUKUFU

Page 55: Maombi ya Quran Tukufu

55

QURANIC PRAYERS

Kiswahili Version

By

Muzaffar Ahmad Durrani

Many Quranic Prayers have been compiled in

this pocket book. To make it easy for our new

readers, there is transliteration of Arabic text in

Roman letters and its Kiswahili translation.

It has been also mentioned that certain prayers

were used by particular Prophet.

AHMADIYYA MUSLIM JAMAAT TANZANIA

ISBN 9987-8932-1-X