15
©NHK WORLD-JAPAN 81 https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/ S o m o l a 26 この卵 たまご き、甘 くておいしいです かい Kaito お弁 べん とう だよ。 Obentoo da yo. Hiki hapa chakula cha mchana kilichofungashwa. ぼくが作 つく ったんだ。どうぞ。 Bo ku ga tsuku ttan da. Do ozo. Nimeandaa. Furahieni mlo tafadhali. ミーヤー Mi Ya きれい! Ki ree! Kizuri! タム Tam すごい! いただきます。 Sugo i! Itadakima su. Kinaonekana kizuri! Tule. この卵 たまご き、 Kono tamago-yaki, あま くておいしいです。 ama kute oishi i de su. Hiki kimanda cha Kijapani ni kitamu na kina ladha nzuri. ミーヤー Mi Ya かい は本 ほん とう Ka ito wa hontoo ni りょう が上 じょう だね。 ryo ori ga joozu da ne. Kaito, kweli wewe ni mpishi mzuri. かい Kaito ぼく、シェフになりたいんだ。 Bo ku, she fu ni narita in da. Nataka kuwa mpishi mkuu. ミーヤー Mi Ya いいねえ。 I i ne e. Ni vizuri. Msamiati たまご き kimanda cha Kijapani tamago-yaki あま い tamu (-enye sukari) amai りょう mapishi ryo ori Mazungumzo ya leo Kono tamago-yaki, amakute oishii desu Hiki kimanda cha Kijapani ni kitamu na kina ladha nzuri.

Mazungumzo ya leo - NHKza anime, muziki wa enka, na muziki wa aina nyingi. Pia kuna muziki wa kitamaduni Pia kuna muziki wa kitamaduni unaotumia ala za Kijapani kama kinubi cha Koto,

  • Upload
    others

  • View
    0

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

  • ©NHK WORLD-JAPAN 81https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Somo la

    26 この卵たまご

    焼や

    き、甘あ ま

    くておいしいです

    海かい

    斗と

    Kaito: お弁

    べん

    当とう

    だよ。Obentoo da yo.

    Hiki hapa chakula cha mchana kilichofungashwa.

    ぼくが作つく

    ったんだ。どうぞ。Bo⎤ku ga tsuku⎤ttan da. Do⎤ozo.

    Nimeandaa. Furahieni mlo tafadhali.

    ミーヤーMi Ya

    : きれい!Ki⎤ree!

    Kizuri!

    タムTam

    : すごい! いただきます。Sugo⎤i! Itadakima⎤su.

    Kinaonekana kizuri! Tule.

    この卵たまご

    焼や

    き、Kono tamago-yaki,

    甘あま

    くておいしいです。ama⎤kute oishi⎤i de⎤su.

    Hiki kimanda cha Kijapani ni kitamu na kina ladha nzuri.

    ミーヤーMi Ya

    : 海かい

    斗と

    は本ほん

    当とう

    にKa⎤ito wa hontoo ni

    料りょう

    理り

    が上じょう

    手ず

    だね。ryo⎤ori ga joozu⎤ da ne.

    Kaito, kweli wewe ni mpishi mzuri.

    海かい

    斗と

    Kaito: ぼく、シェフになりたいんだ。

    Bo⎤ku, she⎤fu ni narita⎤in da.Nataka kuwa mpishi mkuu.

    ミーヤーMi Ya

    : いいねえ。I⎤i ne⎤e.

    Ni vizuri.

    Msamiati

    卵たまご

    焼や

    き kimanda cha Kijapanitamago-yaki

    甘あ ま

    い tamu (-enye sukari)amai

    料りょう

    理り

     mapishiryo⎤ori

    Mazungumzo ya leo

    Kono tamago-yaki, amakute oishii desu Hiki kimanda cha Kijapani ni kitamu na kina ladha nzuri.

  • ©NHK WORLD-JAPAN82 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

    Usemi wa Msingi

    この卵たまご

    焼や

    き、甘あ ま

    くておいしいです。Kono tamago-yaki, ama⎤kute oishi⎤i de⎤su.

    Hiki kimanda cha Kijapani ni kitamu na kina ladha nzuri.Ili kutumia vivumishi viwili au zaidi kwa pamoja, kwa kivumishi cha I, ondoa “-i” mwishoni na weka “-kute,” kisha unganisha na kivumishi kingine. (“kitamu” “amai” → “amakute”) Kwa kivumishi cha NA ondoa “-na” mwishoni na weka “-de.” (“kizuri” “kiree (na)” → “kiree de”)

    Tumia!

    上うえ

    野の

    公こう

    園えん

    、どうでしたか。Ueno-ko⎤oen, do⎤o de⎤shita ka.

    広ひろ

    くて、きれいで、とてもよかったです。Hiro⎤kute, ki⎤ree de, totemo yo⎤katta de⎤su.

    Bustani ya Ueno ilikuwaje?Ilikuwa kubwa na nzuri, na ilipendeza sana.

    Jaribu!

    【kivumishi 1】くて/で【kivumishi 2】です(ね)。[kivumishi 1] kute/de [kivumishi 2] de⎤su (ne).

    Ni [kivumishi 1] na [kivumishi 2] (, sivyo?)

    ① 小ち い

    さいchiisa⎤i

    ndogo

    かわいいkawai⎤i

    nzuri

    ② 正せ い

    確か く

    (な)seekaku (na)

    kwenda na muda

    便べ ん

    利り

    (な)be⎤nri (na)

    rahisi kutumianzuri

    Usemi wa ziadaどうぞ。

    Do⎤ozo.Tafadhali furahia / karibu / endelea / hii hapa.

    Ni neno lenye maana pana linalotumika wakati unapomkaribisha mtu mlo au unapompatia mtu ruhusa. Pia linatumika wakati unapompa mtu kitu.

    Can-do! Kuelezea fikra zako mbalimbali -- Sehemu 1

  • ©NHK WORLD-JAPAN 83https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Twende “Ohanami”!

    Ushauri wa Haru-san

    “Ohanami” ni desturi ya wakati wa msimu wa machipuo ya kutazama maua ya micheri. Watu huzungukazunguka, hukaa chini ya miti ili kula chakula cha mchana walichofungasha kutoka nyumbani au mgahawani. Maua ya mcheri huchanua kuanzia mwezi wa Machi hadi mwezi Mei, yakiipamba Japani kuanzia kusini hadi kaskazini. Pia inavutia kuiangalia miti ya micheri inayoangazwa wakati wa usiku.

    Majibu ① 小ちい

    さくてかわいいですね。 Chiisa⎤kute kawai⎤i de⎤su ne.② 正

    せい

    確かく

    で便べん

    利り

    ですね。 Seekaku de be⎤nri de⎤su ne.

    Ohanami

    Tokyo Midtown

    Kasri la Himeji na maua ya micheri (Mkoa wa Hyogo)

    ©Himeji City

    Miharu Takizakura (Mkoa wa Fukushima)

  • ©NHK WORLD-JAPAN84 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

    Somo la

    27 どれが一い ち

    番ば ん

    おいしいですか

    店てん

    員いん

    Mhudumu: ご注

    ちゅう

    文もん

    は?Gochuumon wa?

    Mngependa kuagiza nini?

    海かい

    斗と

    Kaito: タムさん、何

    なに

    にする?Ta⎤mu-san, na⎤ni ni suru?

    Tam-san, umeamua kula nini?

    タムTam

    : どれが一いち

    番ばん

    おいしいですか。Do⎤re ga ichiban oishi⎤i de⎤su ka.

    Kipi ni kitamu zaidi?

    海かい

    斗と

    Kaito: みそラーメンがおすすめだよ。

    Miso-ra⎤amen ga osusume da yo.Napendekeza tambi za rameni za supu ya miso.

    タムTam

    : みそラーメン・・・。Miso-ra⎤amen...

    Tambi za rameni za supu ya miso…

    悠ゆう

    輝き

    Yuuki: 日

    本ほん

    のラーメンはおいしいよ。Nihon no ra⎤amen wa oishii yo.

    Tambi za rameni za Kijapani ni tamu.

    ぼくはみそラーメンがBo⎤ku wa miso-ra⎤amen ga

    好す

    きなんだ。suki⎤ nan da.

    Nazipenda sana tambi za rameni za supu ya miso.

    タムTam

    : 私わたし

    、みそラーメンにします。Watashi, miso-ra⎤amen ni shima⎤su.

    Nitakula tambi za rameni za supu ya miso.

    Msamiati

    ~にする amua ~~ni suru

    どれ ipi / kipido⎤re

    一いち

    番ばん

    ~ namba moja / zaidi / kabisaichiban~

    みそラーメン tambi za rameni za misomiso-ra⎤amen

    おすすめ pendekezoosusume

    日に

    本ほ ん

     JapaniNiho⎤n

    Mazungumzo ya leo

    Dore ga ichiban oishii desu kaKipi ni kitamu zaidi?

  • ©NHK WORLD-JAPAN 85https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Usemi wa Msingi

    どれが一い ち

    番ば ん

    おいしいですか。Do⎤re ga ichiban oishi⎤i de⎤su ka.

    Kipi ni kitamu zaidi?Ili kuuliza kipi cha kuchagua miongoni mwa vitu kadhaa, sema “Dore ga ichiban ~ka.” “Dore” yaani “ipi/kipi” ni kiulizi cha kuulizia kipi cha kuchagua miongoni mwa vitu vitatu au zaidi. “Ichiban” yaani “namba moja” ambayo huja kabla ya kivumishi inamaanisha “bora zaidi ya vyote.”

    Tumia!

    どれが一いち

    番ばん

    人にん

    気き

    がありますか。Do⎤re ga ichiban ninki ga arima⎤su ka.

    これがおすすめです。Kore ga osusume de⎤su.

    Ipi ni maarufu zaidi?Napendekeza hii.

    Jaribu!

    どれが一いち

    番ばん

    ~ですか。Do⎤re ga ichiban ~de⎤su ka.

    Ipi ni ~ zaidi?

    ① 安や す

    いyasu⎤i

    gharama nafuu

    ② お得と く

    (な)otoku (na)

    yenye bajeti ndogo

    Usemi wa ziadaご注

    ちゅう

    文も ん

    は?Gochuumon wa?Ungependa kuagiza nini?

    Mhudumu husema hivi anapochukua oda kutoka kwa wateja. “Chuumon” ina maana ya “agizo” na “go” imeambatanishwa kabla ili kuonesha heshima kwa mteja.

    Can-do! Kuulizia kipi cha kuchagua

  • ©NHK WORLD-JAPAN86 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

    Asili ya tambi za rameni ni China, lakini zimefanyiwa mabadiliko ya kipekee nchini Japani. Zimekuwa mojawapo ya vyakula vinavyoiwakilisha Japani.

    Tambi za rameni zinaweza kuandaliwa pamoja na supu kama vile ya kuku, mifupa ya nguruwe na chakula cha baharini. Rojo la maharage ya miso, chumvi, sosi ya soya na viambato vingine vinaongeza ladha. Vyakula vya maeneo mengi ya Japani vina ladha ya aina yake. Kama kuna chakula usichoweza kukila, hakikisha unaulizia viambato. Baadhi ya migahawa ya tambi za rameni ina viambato vya “Halal”, visivyo na mzio, au vyakula vya wanaokula mbogamboga pekee.

    Majibu ① どれが一いち

    番ばん

    安やす

    いですか。 Do⎤re ga ichiban yasu⎤i de⎤su ka.② どれが一

    いち

    番ばん

    お得とく

    ですか。 Do⎤re ga ichiban otoku de⎤su ka.

    ©Ramen Tatsunoya

    Tambi za rameni za supu yenye sosi ya soya

    Tambi za rameni za supu ya mifupa ya nguruwe Tambi za rameni za supu ya miso

    Kaito, Mwongozaji wako wa chakula!

    Tambi za rameni za Kijapani

  • ©NHK WORLD-JAPAN 87https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Somo la

    28 写し ゃ

    真し ん

    を撮と

    ってもいいですか

    ミーヤーMi Ya

    : 大お と な

    人1ひとり

    人お願ねが

    いします。Otona hito⎤ri onegai-shima⎤su.

    Tiketi ya mtu mzima mmoja, tafadhali.

    すみません。Sumimase⎤n.

    Samahani.

    写しゃ

    真しん

    を撮と

    ってもいいですか。Shashin o to⎤tte mo i⎤i de⎤su ka.

    Ninaweza kupiga picha?

    受うけ

    付つけ

    Mhudumu 1

    : ええ、いいですよ。E⎤e, i⎤i de⎤su yo.

    Ndiyo, unaweza.

    ミーヤーMi Ya

    : すてき!Suteki!

    Safi!

    案あん

    内ない

    係がかり

    Mhudumu 2

    : お客きゃく

    様さま

    、Okyakusa⎤ma,

    ここから先さき

    はご遠えん

    慮りょ

    ください。koko kara saki wa goenryo-kudasa⎤i.

    Bibiye, hutakiwi kwenda zaidi.

    ミーヤーMi Ya

    : あ、すみません。A, sumimase⎤n.

    Oh, samahani.

    Msamiati

    大お と な

    人 mtu mzimaotona

    ええ ndiyoe⎤e

    すてき(な) safisuteki (na)

    お客きゃく

    様さま

     bwana/bibiye (kiungwana)okyakusa⎤ma

    先さ き

     zaidisaki

    遠え ん

    慮り ょ

    する jizuieenryo-suru

    Mazungumzo ya leo

    Shashin o totte mo ii desu kaNinaweza kupiga picha?

  • ©NHK WORLD-JAPAN88 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

    Usemi wa Msingi

    写し ゃ

    真し ん

    を撮と

    ってもいいですか。Shashin o to⎤tte mo i⎤i de⎤su ka.

    Ninaweza kupiga picha?Ili kupata ruhusa ya kufanya kitu, uliza kwa kutumia “[kitenzi cha umbo la TE] + mo ii desu ka.” “-te mo ii (desu)” ina maana ya “-naweza ku-” na inaashiria ruhusa. “Shashin o totte” ni “shashin o toru” yaani “kupiga picha” katika umbo la TE.(Tazama ukurasa 150-151)

    Tumia!

    この服ふく

    、試し

    着ちゃく

    してもいいですか。Kono fuku⎤, shichaku-shite⎤ mo i⎤i de⎤su ka.

    もちろんです。Mochi⎤ron de⎤su.

    Ninaweza kujaribu kuvaa nguo hizi?Bila shaka.

    Jaribu!

    ~てもいいですか。~te mo i⎤i de⎤su ka.

    Ninaweza ku-?

    ① 入は い

    る(→入は い

    って)ha⎤iru (→ha⎤itte)

    ingia

    ② 休や す

    む(→休や す

    んで)yasu⎤mu (→yasu⎤nde)

    pumzikairu (→hairu (→ha itte)itte) mu (→yasumu (→yasu⎤mu (→yasu⎤mu (→yasu nde)nde)

    Ongeza maarifa

    Kuhesabu watu1 2 3 4 5

    hito⎤ri futari⎤ san-ninsan-ni⎤nyo-ninyo-ni⎤n

    go-ningo-ni⎤n

    Can-do! Kuomba ruhusa

  • ©NHK WORLD-JAPAN 89https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Utamaduni wa kisasa na Mike

    Unaweza kusikia aina tofauti tofauti ya muziki nchini Japani -- J-pop, nyimbo za katuni za anime, muziki wa enka, na muziki wa aina nyingi. Pia kuna muziki wa kitamaduni unaotumia ala za Kijapani kama kinubi cha Koto, ala yenye kamba tatu ya shamisen, na ngoma za wadaiko.

    Hata J-pop yenyewe ina makundi pendwa, bendi za rock, na kadhalika, ikiwahusisha wasanii mbalimbali. Na “matamasha ya muziki” hufanyika kote nchini Japani, yakishirikisha wanamuziki wengi kutoka ndani na nje ya nchi.

    ©Kodo, Taiko Performing Arts Ensemble/Takashi Okamoto

    ©Masanori Naruse©SUMMER SONIC

    Onyesho la WadaikoOnyesho la Koto

    Tamasha la muziki la Summer Sonic Tamasha la muziki la Fuji Rock

    Majibu ① 入はい

    ってもいいですか。 Ha⎤itte mo i⎤i de⎤su ka.② 休

    やす

    んでもいいですか。 Yasu⎤nde mo i⎤i de⎤su ka.

    Muziki wa Kijapani

  • ©NHK WORLD-JAPAN90 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

    Somo la

    29 ピアノの演え ん

    奏そ う

    を聴き

    きに行い

    きました

    ミーヤーMi Ya

    : 日にち

    曜よう

    日び

    に、ピアノの演えん

    奏そう

    をNichi-yo⎤obi ni, piano no ensoo o

    聴き

    きに行い

    きました。kiki ni ikima⎤shita.

    Nilikwenda kusikiliza onyesho la piano Jumapili.

    はるHaru

    : どうでしたか。Do⎤o de⎤shita ka.

    Lilikuwaje?

    ミーヤーMi Ya

    : すばらしかったです。Subarashi⎤katta de⎤su.

    Lilikuwa zuri.

    はるHaru

    : それはよかったですね。Sore wa yo⎤katta de⎤su ne.

    Hivyo ni vizuri.

    ミーヤーMi Ya

    : 写しゃ

    真しん

    をたくさん撮と

    りました。Shashin o takusan torima⎤shita.

    Nimepiga picha nyingi.

    見み

    てください。Mi⎤te kudasa⎤i.

    Ziangalieni tafadhali.

    タムTam

    : あ! これ、悠ゆう

    輝き

    さん・・・。A! Kore, Yu⎤uki-san...

    Oh! Huyu ni Yuuki-san…

    はるHaru

    : 悠ゆう

    輝き

    さん?Yu⎤uki-san?

    Yuuki-san?

    Msamiati

    日にち

    曜よ う

    日び

     Jumapilinichi-yo⎤obi

    ピアノ pianopiano

    演え ん

    奏そ う

     onyeshoensoo

    聴き

    く sikilizakiku

    すばらしい -zurisubarashi⎤i

    写し ゃ

    真し ん

     pichashashin

    Mazungumzo ya leo

    Piano no ensoo o kiki ni ikimashitaNilikwenda kusikiliza onyesho la piano.

  • ©NHK WORLD-JAPAN 91https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Usemi wa Msingi

    ピアノの演え ん

    奏そ う

    を聴き

    きに行い

    きました。Piano no ensoo o kiki ni ikima⎤shita.

    Nilikwenda kusikiliza onyesho la piano.Ili kuelezea lengo la kwenda mahali fulani, tumia “[kitenzi cha umbo la MASU bila masu] + ni iku.” Kwa hapa lengo ni “piano no ensoo o kiku” yaani “kusikiliza onyesho la piano.” Kwa hiyo ondoa “masu” kwenye “kikimasu” (umbo la MASU la “kiku” yaani “kusikiliza”) na kisha ongeza “ni iku.”

    Tumia!

    今き ょ う

    日、どこに行い

    きましたか。Kyo⎤o, do⎤ko ni ikima⎤shita ka.

    原はら

    宿じゅく

    に、服ふく

    を買か

    いに行い

    きました。Harajuku ni, fuku⎤ o kai ni ikima⎤shita.

    Leo ulikwenda wapi?Nilikwenda Harajuku kununua nguo.

    Jaribu!

    ~に行い

    きました。~ ni ikima⎤shita.

    Nilikwenda ~.

    ① すしを食た

    べる(→食た

    べ)sushi⎤ o tabe⎤ru (→ta⎤be)

    kula sushi

    ② 野や

    球きゅう

    を見み

    る(→見み

    )yakyuu o mi⎤ru (→mi⎤)

    kutazama mchezo wa besiboli

    Ongeza maarifa

    Siku za jumaJumatatu Jumanne Jumatano Alhamisi Ijumaa Jumamosi Jumapiligetsu-yo⎤obi

    ka-yo⎤obi

    sui-yo⎤obi

    moku-yo⎤obi

    kin-yo⎤obi

    do-yo⎤obi

    nichi-yo⎤obi

    Can-do! Kusema ulichokifanya

  • ©NHK WORLD-JAPAN92 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

    Tufurahie kuzunguka Kamakura

    Kamakura ni mwendo wa karibu saa moja kwa treni kutoka Tokyo. Ni mahali ambako serikali ya kwanza ya wababe wa kivita ilianzishwa karibu miaka 800 iliyopita. Maeneo maarufu yanayojumuisha Hekalu la Shinto la Tsurugaoka Hachimangu na sanamu kubwa ya kibuddha yenye urefu wa mita 11.

    Mbali na kutembelea maeneo ya kihistoria, unaweza kufurahia mandhari mazuri ya asili katika msimu husika, maduka na migahawa mizuri. Treni nzuri ya eneo hilo ya Enoden pia ni maarufu.

    Sanamu kubwa ya Kibuddha ya Kamakura

    ©TSURUGAOKA HACHIMANGU©Kotoku-in/KAMAKURA TOURIST ASSOC.

    Hekalu la Tsurugaoka Hachimangu

    Hekalu la Meigetsuin

    ©Enoshima Electric Railway(Maua ya Hydrangea, Mwezi Juni)

    Enoden

    Majibu ① すしを食た

    べに行い

    きました。 Sushi⎤ o ta⎤be ni ikima⎤shita.② 野

    球きゅう

    を見み

    に行い

    きました。 Yakyuu o mi⎤ ni ikima⎤shita.

    Mwongozo wa safari wa Mi Ya

  • ©NHK WORLD-JAPAN 93https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Somo la

    30 一い っ

    緒し ょ

    に歌う た

    ったり、踊お ど

    ったりしました

    店てん

    員いん

    Mhudumu: メロンパフェでございます。

    Meron-pa⎤fe de gozaima⎤su.Hivi hapa vitindamlo vyenu vya tikiti.

    タムTam

    : おいしそう!Oishisoo!

    Vinaonekana vitamu!

    ミーヤーMi Ya

    : タム、悠ゆう

    輝き

    さんと、Ta⎤mu, Yu⎤uki-san to,

    どこで会あ

    ったの?do⎤ko de a⎤tta no?

    Tam, Yuuki-san ulikutana naye wapi?

    タムTam

    : ベトナムです。Betonamu de⎤su.

    Vietnamu.

    小しょう

    学がっ

    校こう

    でボランティアをしました。Shooga⎤kkoo de bora⎤ntia o shima⎤shita.

    Tulikuwa tunajitolea kwenye shule ya msingi.

    一いっ

    緒しょ

    に歌うた

    ったり、踊おど

    ったりしました。Issho ni utatta⎤ri, odotta⎤ri shima⎤shita.

    Tuliimba nyimbo na kucheza dansi pamoja.

    ミーヤーMi Ya

    : そうだったの。So⎤o datta no.

    Kumbe.

    タムTam

    : はい。悠ゆう

    輝き

    さんに会あ

    いたいです。Ha⎤i. Yu⎤uki-san ni aita⎤i de⎤su.

    Ndiyo, ningependa kukutana naye tena.

    Msamiati

    メロンパフェ  kitindamlo cha tikiti (melon parfait)meron-pa⎤fe

    小しょう

    学が っ

    校こ う

     shule ya msingishooga⎤kkoo

    ボランティア kazi ya kujitoleabora⎤ntia

    一い っ

    緒し ょ

    に pamojaissho ni

    歌う た

    う imbautau

    踊お ど

    る cheza dansiodoru

    Mazungumzo ya leo

    Issho ni utattari, odottari shimashita Tuliimba nyimbo na kuchenza dansi pamoja.

  • ©NHK WORLD-JAPAN94 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

    Usemi wa Msingi

    一い っ

    緒し ょ

    に歌う た

    ったり、踊お ど

    ったりしました。Issho ni utatta⎤ri, odotta⎤ri shima⎤shita.

    Tuliimba nyimbo na kucheza dansi pamoja.Ili kutaja baadhi ya mifano miongoni mwa mambo kadhaa, tumia kitenzi cha umbo la TARI. Kutengeneza umbo hilo, badilisha “te” mwishoni mwa kitenzi cha umbo la TE na kuwa “tari.” Kuelezea kitu ulichokifanya, ongeza “shimashita” yaani “-lifanya.”

    Tumia!

    北ほっ

    海かい

    道どう

    で何なに

    をしますか。Hokka⎤idoo de na⎤ni o shima⎤su ka.

    ハイキングをしたり、温おん

    泉せん

    に入はい

    ったりしたいです。Ha⎤ikingu o shita⎤ri, onsen ni ha⎤ittari shita⎤i de⎤su.

    Utafanya nini Hokkaido?Nataka kwenda kufanya matembezi marefu na kuoga kwenye chemchemi ya majimoto.

    Jaribu!

    【kitenzi 1】たり、【kitenzi 2】たりしました。/したいです。[kitenzi 1]tari, [kitenzi 2]tari shima⎤shita./shita⎤i de⎤su.

    Nili/nataka [kitenzi 1] na [kitenzi 2].

    ① 買

    い物も の

    をする(→したり)kaimono o suru (→shita⎤ri)

    kwenda kufanya manunuzi

    ② お寺

    て ら

    に行い

    く(→行い

    ったり)otera ni iku (→itta⎤ri)

    kwenda hekaluni

    海う み

    で泳お よ

    ぐ(→泳お よ

    いだり)u⎤mi de oyo⎤gu (→oyo⎤idari)

    kuogelea baharini

    着き

    物も の

    を着き

    る(→着き

    たり)kimono o kiru (→kita⎤ri)

    kuvaa kimono

    Usemi wa ziadaおいしそう!Oishisoo!Kinaonekana kitamu!

    Hutumika wakati chakula kinapoonekana kuwa kitamu. Ili kusema "tamu" wakati unapokula kitu, sema “oishii.”

    Can-do! Kuelezea mambo mbalimbali yaliyopita na yajayo

  • ©NHK WORLD-JAPAN 95https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Kaito, Mwongozaji wako wa chakula!

    Unaweza kupata aina zote za vitamutamu nchini Japani, kama vile vitamutamu vya kitamaduni vya Kijapani na vile vya Kimagharibi.Vitamutamu vya Kijapani vinajumuisha keki za wali, na vikaukau vya wali na aina ya maandazi ya rojo la maharage. Baadhi ya vitamutamu vinavutia macho yako kama vile keki za wali kwa kutumia maua na majani ya mcheri katika msimu wa machipuo. Wakati wa msimu wa joto, baadhi ya vitamutamu vinaonekana kama anga zinazong'aa na chemchemi safi.

    Kuna vitamutamu vingi vya mtindo wa Kimagharibi ambavyo vimebadilishwa kidogo nchini Japani, kama vile "shortcake" za Kijapani ambayo ni keki ya sponji yenye malai na stroberi. Na unaweza kufurahia rangi za tunda kwenye vitindamlo.

    Majibu ① 買か

    い物もの

    をしたり、海うみ

    で泳およ

    いだりしました。 Kaimono o shita⎤ri, u⎤mi de oyo⎤idari shima⎤shita.② お寺

    てら

    に行い

    ったり、着き

    物もの

    を着き

    たりしたいです。 Otera ni itta⎤ri, kimono o kita⎤ri shita⎤i de⎤su.

    Sakuramochi

    ©Toraya Confectionery©Toraya Confectionery

    Kitamutamu cha Kijapani cha msimu wa joto pekee

    “Shortcake” ya Kijapani

    ©SHINJUKU TAKANO©FUJIYA

    Kitindamlo cha tikiti (Melon parfait)

    Vitamutamu vya Kijapani namuonekano wake wa kuvutia