Upload
others
View
3
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
Mifuko ya PICS: Weka Mavuno Bila Kutumia Dawa
Ununuwe mifuko ya PICS kwa wa-churuzi wanaokubaliwa. Uhakikishe kila mfuko PICS una sehemu tatu
Uhakikishe kama mavuno yakuweka imekauka na ni safi (bila uchafu)
• Usiweke mifuko ya PICS kwenye jua ao kwenye kifukutu
• Usiweke mifuko ya PICS chini udongoni, ila juu ya mbao/pande za mti/mawe
• Usiegemeshe mifuko ya PICS kwenye uku ta kwa kurahisisha uchunguzi
• Usiweke mifuko ya PICS fasi moja na ingine mifuko ambayo ina mavuno yaliyo shambuliwa na vidudu
1 32
Sokota kauchu ya kwanza vizuri ukiondoa hewa. Ki-sha ugunje vizuri na kufunga na kamba. Fanya vile vile kwa kauchu ya pili na mufuko wa tatu
Hatuwa ya 1Funga kauchu ya kwanza ndani
Hatuwa ya 2 Funga kauchu ya pili kati
Hatuwa ya 3Funga mfuko wa tatu wa inje7
Jaza mavuno katika mfuko ukitingizatin-giza vizuri kwa kuondowa hewa. Acha nafasi kwa ajili ya kufunga mfuko
Tumbukiziya kauchu zote mbili ndani ya mfuko wa tatu. Gunja mifuko yote mitatu pamoja kuanzia juu 4 5 6Tiya mavuno kidogo katika kauchu ya
kwanza kiisha utumbukizie ndani ya kauchu ya pili
CONTACTPurdue Improved Crop StorageDepartment of EntomologyPurdue UniversityWest Lafayette, IN 47907Email: [email protected]: (+1) 765-494-4554Catholic Relief Services-USCCBCONGO PROGRAM12 Bis, Avenue NyemboQuartier SocimatKinshasa - R. D. CongoTél: +243 991009500E-mail: [email protected]
Redaction: D. Baributsa, I. Baoua, T. Abdoulaye, C. Dabiré, C. Alexander & L. MurdockDrawings: Boukari Mamadou, Niger
Chunguza kama kauchu mbili za nda-ni hazitoboke (usitumiye iliyotoboka ama iliyopasuka)
8Unashauriwa: “Mifuko ya PICS – inaongeza tha-
mani ya mavuno nakuchunga ubora wa chakula”