8
Muhtasari wa utafiti wa Mradi wa WOLTS Tanzania na Mapendekezo yake WOLTS ni mradi wa mpango mkakati wa muda mrefu wa utafiti unaofanywa na Mokoro kwa kushirikiana na HakiMadini “kutafiti changamoto za usalama wa umiliki wa ardhi kwa wanawake nchini Tanzania”. Mokoro kwa kushirikiana na HakiMadini Tanzania, wamekuwa wakitafiti hali ya usalama wa umiliki wa ardhi kwa wanawake wa jamii za kifugaji zinazoathiriwa na uwekezaji wa uchimbaji madini kupitia njia shirikishi za utafiti ili kubaini changamoto/vikwazo mbalimbali vya haki za ardhi kwa wanawake na makundi maalum. Mradi wa WOLTS unalenga kutathmini njia sahihi za kuboresha usawa wa kijinsia katika umiliki na usimamizi wa haki za ardhi ili kulinda haki za umiliki wa ardhi kwa makundi maalum dhidi ya vikwazo/changamoto katika jamii husika pamoja na kusaidia jamii kwa ujumla kuhimili changamoto juu ya umiliki wa ardhi na maliasili zao. Muhtasari wa utafiti huu na mapendekezo yake inajumuisha matokeo ya utafiti wetu uliyofanyika katika kijiji cha Mundarara na Naisinyai nchini Tanzania kati ya Juni 2016 na Februari 2017, ikihusisha kazi zilizofanyika vijijini, utafiti wa awali na awamu ya utafiti shirikishi. Matokeo ya utafiti yalithibitishwa wakati wa hatua ya ufutailiaji mwezi wa Julai na Agosti 2017. Tunawashukuru sana ushirikiano tuliopewa na Halmashauri za Wilaya zote mbili; Longido na Simanjiro na ukarimu wa watu wa kijiji cha Mundarara na Naisnyai wakati wote wa utafiti. Pia tunawashukuru kipekee wale wote tuliowahoji na kushiriki kwenye mijadala kwa utayari wao wa kushirikiana na sisi na michango yao ya kimawazo iliyotusaidia kujifunza juu ya jinsia, ardhi, ufugaji na uchimbaji Tanzania leo. Mbinu za msingi/awali Utafiti wa awali ulifanyika Agosti 2016 hadi Octoba 2016 kwa kuhusisha asilimia kumi (10%) ya kaya kwa kila kijiji kizima. Katika kijiji cha Mundarara ilihusisha kaya 71 ambapo kaya 57 yalichaguliwa bila kuzingatia vigezo maalum na kaya 14 ni kaya za nyongeza zinazoongozwa na wanawake. Katika kijiji cha Naisinyai ilihusisha kaya 125, ambapo kaya 103 kati ya hizo zilichaguliwa bila kuzingatia vigezo maalum na kaya 22 zilikuwa kaya za ziada zinazoongozwa na wanawake. Hivyo 80% ya jumla ya sampuli ya utafiti ilichaguliwa bila kuzingatia vigezo maalum kwa kijiji cha Mundarara na 82% kwa kijiji cha Naisinyai (ikihusisha kaya 50 zinazoongozwa na wanaume na 7 zinazoongozwa na wanawake katika kijiji cha Mundarara na 97 zinazoongozwa na wanaume na sita zinazoongozwa na wanawake kijiji cha Naisinyai) wakati 20% Mundarara na 18% Naisinyai ilikusudiwa ziwe kaya zinazoongozwa na wanawake. Mbinu hii ilitumika mahususi ili kuongeza idadi ya kaya zinazoongozwa na wanawake katika utafiti ili kuibua masuala muhimu ya kijinsia na makundi maalum.Taarifa kutoka kaya za ziada zinazoongozwa na wanawake zimehusishwa tu ili kulinganisha matokeo na kaya zinazoongozwa na wanaume na kulinganisha wahojiwa wa kiume na wa kike na siyo matokeo ya jumla ya utafiti. Mbinu shirikishi wakati wa ziara za kazi Awamu ya utafiti shirikishi ilikuwa Februari 2017 na ilihusisha majadiliano ya makundi lengwa 13 na mahojiano ya watu binafsi 12 kwa kila kijiji na kufanya jumla ya watu 104 katika kijiji cha Naisinyai. Makundi tofauti ya kijamii na watu binafsi walichaguliwa mahususi kwa majadiliano na mahojiano ili kuakisi tabia na masuala yanayodhaniwa kuwa muhimu kuchunguzwa zaidi baada ya uchambuzi wa taarifa za matokeo wa utafiti wa awali (Mfano: wajane, wachimbaji, walio kwenye ndoa ya mke mmoja, walio kwenye ndoa ya wake wengi, n.k). Majadiliano ya makundi lengwa yaliundwa kwa kuzingatia viwango vya mazoezi shirikishi (yakihusisha maliasili na misimu ya kuhamahama, uchambuzi wa kazi za msimu, uchambuzi wa wadau na ushirikiano baina ya taasisi mbalimbali). Mahojiano ya wasifu yaliongozwa na muundo wa maswali ambayo yalifumwa kutokana na hali za wahojiwa binafsi ili kusaidia kufahamu maisha ya watu na namna ambavyo mahusiano ya kijinsia na upatikanaji wa rasilimali mbalimbali ulivyobadilika tangu utotoni. Majadiliano ya makundi lengwa yote na mahojiano ya watu binafsi yalihusisha majadiliano huru pia. Utafiti wa mradi ulihusisha mahojiano na viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa pamoja na wawakilishi kutoka baadhi ya kampuni za uchimbaji na mashirika yanayofanya kazi katika vijiji vyote viwili.

Muhtasari wa utafiti wa Mradi wa WOLTS Tanzania na ...mokoro.co.uk/wp-content/...Summary_and...Kiswahili.pdf · yanaweza kuwa na nyumba hadi 20 ama zaidi. Idadi ya watu katika kijiji

  • Upload
    others

  • View
    16

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

MuhtasariwautafitiwaMradiwaWOLTSTanzanianaMapendekezoyake

WOLTS ni mradi wa mpango mkakati wa muda mrefu wa utafiti unaofanywa na Mokoro kwakushirikiananaHakiMadini“kutafitichangamotozausalamawaumilikiwaardhikwawanawakenchiniTanzania”.MokorokwakushirikiananaHakiMadiniTanzania,wamekuwawakitafitihaliyausalamawaumilikiwaardhikwawanawakewa jamiizakifugaji zinazoathiriwanauwekezajiwauchimbajimadinikupitia njia shirikishi za utafiti ili kubaini changamoto/vikwazo mbalimbali vya haki za ardhi kwawanawakenamakundimaalum.MradiwaWOLTSunalengakutathmininjiasahihizakuboreshausawawakijinsiakatikaumilikinausimamiziwahakizaardhiilikulindahakizaumilikiwaardhikwamakundimaalumdhidiyavikwazo/changamotokatikajamiihusikapamojanakusaidiajamiikwaujumlakuhimilichangamotojuuyaumilikiwaardhinamaliasilizao.

Muhtasariwautafitihuunamapendekezoyakeinajumuishamatokeoyautafitiwetuuliyofanyikakatikakijiji cha Mundarara na Naisinyai nchini Tanzania kati ya Juni 2016 na Februari 2017, ikihusisha kazizilizofanyika vijijini, utafiti wa awali na awamu ya utafiti shirikishi. Matokeo ya utafiti yalithibitishwawakatiwahatuayaufutailiajimweziwaJulainaAgosti2017.TunawashukurusanaushirikianotuliopewanaHalmashaurizaWilayazotembili;LongidonaSimanjironaukarimuwawatuwakijijichaMundararanaNaisnyaiwakatiwotewautafiti. Pia tunawashukurukipekeewalewote tuliowahojinakushiriki kwenyemijadalakwautayariwaowakushirikiananasisinamichangoyaoyakimawazoiliyotusaidiakujifunzajuuyajinsia,ardhi,ufugajinauchimbajiTanzanialeo.

Mbinuzamsingi/awali

Utafiti wa awali ulifanyika Agosti 2016 hadi Octoba2016kwakuhusishaasilimiakumi(10%)yakayakwakilakijijikizima.Katikakijiji chaMundarara ilihusishakaya71ambapokaya57yalichaguliwabilakuzingatiavigezo maalum na kaya 14 ni kaya za nyongezazinazoongozwa na wanawake. Katika kijiji chaNaisinyai ilihusisha kaya 125, ambapo kaya 103 katiyahizozilichaguliwabilakuzingatiavigezomaalumnakaya 22 zilikuwa kaya za ziada zinazoongozwa nawanawake.Hivyo80%yajumlayasampuliyautafitiilichaguliwa bila kuzingatia vigezo maalum kwa kijijicha Mundarara na 82% kwa kijiji cha Naisinyai(ikihusishakaya50zinazoongozwanawanaumena7zinazoongozwa na wanawake katika kijiji chaMundararana97zinazoongozwanawanaumenasitazinazoongozwa na wanawake kijiji cha Naisinyai)wakati 20%Mundararana18%Naisinyai ilikusudiwaziwe kaya zinazoongozwa na wanawake. Mbinu hiiilitumika mahususi ili kuongeza idadi ya kayazinazoongozwanawanawake katika utafiti ili kuibuamasuala muhimu ya kijinsia na makundimaalum.Taarifa kutoka kaya za ziada zinazoongozwana wanawake zimehusishwa tu ili kulinganishamatokeo na kaya zinazoongozwa na wanaume nakulinganishawahojiwawa kiumenawa kike na siyomatokeoyajumlayautafiti.

Mbinushirikishiwakatiwaziarazakazi

Awamu ya utafiti shirikishi ilikuwa Februari 2017 nailihusisha majadiliano ya makundi lengwa 13 namahojianoyawatubinafsi12kwakilakijijinakufanyajumlayawatu104katikakijijichaNaisinyai.Makunditofauti ya kijamii na watu binafsi walichaguliwamahususi kwa majadiliano na mahojiano ili kuakisitabia na masuala yanayodhaniwa kuwa muhimukuchunguzwazaidibaadayauchambuziwataarifazamatokeo wa utafiti wa awali (Mfano: wajane,wachimbaji,waliokwenyendoayamkemmoja,waliokwenye ndoa ya wake wengi, n.k). Majadiliano yamakundi lengwa yaliundwa kwa kuzingatia viwangovyamazoezishirikishi(yakihusishamaliasilinamisimuya kuhamahama, uchambuzi wa kazi za msimu,uchambuzi wawadau na ushirikiano baina ya taasisimbalimbali). Mahojiano ya wasifu yaliongozwa namuundowamaswaliambayoyalifumwakutokananahali zawahojiwabinafsi ilikusaidiakufahamumaishayawatunanamnaambavyomahusianoyakijinsianaupatikanaji wa rasilimali mbalimbali ulivyobadilikatanguutotoni.Majadilianoyamakundilengwayotenamahojiano ya watu binafsi yalihusisha majadilianohuru pia. Utafiti wa mradi ulihusisha mahojiano naviongozi mbalimbali wa serikali za mitaa pamoja nawawakilishikutokabaadhiyakampunizauchimbajinamashirikayanayofanyakazikatikavijijivyoteviwili.

2

Usuli

Tanzanianinyumbanikwawafugajiwengiambaowengiwaowanaendelezamaishayakiasilikulingananakabila. Madini mbalimbali hupatikana kote nchini, na madini ya dhahabu na madini ya vito (ikiwa nipamojanaalmasinaTanzanite)yanayojulikanazaidi,katikamigodimikubwananenakadhaazakatinazinginendogondogokitaifa.Pianickel,makaayamawe,urani,Chuma,shaba,graphitenamiradiyagesiyaasilipiayamepatikanakatikamiakayahivikaribuni.UsawawakijinsiaumewekwakatikaKatibayaNchinawanawakewamepewahaki zaardhi sawanawanaumechiniyasheria rasmi.Hatahivyo,mazoeayamudamrefu juu ya haki ya ardhi ambayo inawapendelea wanaume zaidi kuliko wanawake inaendeleakwenye baadhi ya maeneo.Wilaya zetu mbili za majaribio kupitia mradi waWOLTS zote zinapatikanakwenyeBondelaUfakaskaziniMasharikimwaTanzanianazotembiliwanaathiriwanashughulizamadinilakinikwanamnanakwaviwangotofauti.KatikaWilayazotembili,kundikubwalawatuniWamasai,kunaidadi ndogo ya vijana na wanawake wakiwa ndiyo wenye kiwango cha chini cha elimu zaidi kulikowanaume,nakanunizajinsianamilazinanguvukubwa.

Kijiji chaMundarara kipo katika kata yaMundararawilayani Longido,mkoawa Arusha, kaskazinimwaTanzania. Mji wa karibu ni mji mdogo wa Longido ambao upo umbali wa kilometa 33 masharikivikiunganishwanabarabaramojatuyavumbi.HapandipoyalipomakaomakuuyawilayaambayoyakochiniyaMlimaLongidokandokandoyabarabarakuuitokayoArusha(takribanikilometa82kusini)kwendaNamanga (takribani kilometa28kaskazini)mpakanimwaKenyanaTanzania.Hakuna taarifa zaukubwawa eneo la Mundarara zilizo patikana; eneo la kijiji lilitambulika kutumiwa kwa shughuli kuu mbili zakujipatiakipatoambazoniufugaji,nakilimojapokwakiwangokidogo.Mundararaipoumbaliwakilometa100tukutokaeneomaarufuulimwengunilaUhifadhiwaNgorongoroKretanawanyamaporihuonekanadhahiri katika eneo lote la kijiji ambalo baadhi lipo ndani ya Eneo Tengefu laWanyamapori;wilaya piainahusisha EneoTengefu laUwindaji la ZiwaNatron. Kufuatia taarifa zaOfisi zaMadini Kanda (Arusha)mnamo tarehe 11 Octoba 2016, leseni nane (8) za uchimbaji wa madini ya vito (Rubi) katika eneo laMundararazilitolewaingawalesenimojatuyaKampuniyaMundararaRubyMiningndiyoilikuainafanyashughuli za uchimbaji wakati wa utafiti huu. Mundarara ni kijiji wanachoishi Wamaasai kwa makundiyaliyo tawanyika.Watu katikamaeneo tofauti wanaishi pamoja kimila katika maboma (maeneo yenyemakazi/nyumba kadhaa namaeneo ya kuchungamifugo yaliyo zungushiwa vichaka vyamiba), ambayoyanaweza kuwa na nyumba hadi 20 ama zaidi. Idadi yawatu katika kijiji ilikua 4,857waliokuawakiishikatikanyumba701hadikufikiatarehe12Octoba2016.

Kijiji cha Naisinyai kiko katika kata ya Naisinyaiwilaya ya Simanjiro,mkoawaManyara, kaskazinimwaTanzania.MjiwakiwangochakatiniMirerani,unapakananaNaisinyaikusini;MakaomakuuyawilayayaSimanjiro yapo kilomita takribani 145 kusinimwa Naisinyai barabara ikiwa ya kawaida/vumbi (isiyo nakiwango cha lami)hadimjimdogowaOrkesumet.Kutokakijiji chaNaisinyaihadiuwanjawandegewaKimataifawaKilimanjaro ni takribani kilomita 19, barabara ikiwa ya kiwango cha lami. Kutokahukonizaidiyakilomita65magharibihadimjimkuuwaArusha.Hakunataarifasahihiiliyopatikanakuhusiananaeneo la ardhi laNaisinyai, ingawa viongoziwa kijijiwalidhani kuwa ni karibu Kilomita 30 zamraba (30km2). Matumizi makuumatatu ya ardhi ya kijiji ni ufugaji, kilimo chamazao na uchimbaji wamadini.SehemuzaNaisinyaiinajumuishwandaniyamipakayaEneotengefulaMirerani(MCA),eneolakilomita7za ardhi ambayondiyopekee inayojulikana kuwanamadini ya Tanzaniteulimwenguni. KwamujibuwataarifakutokaofisiyamadiniyakandaArusha,mnamoJuni1,2016,lesenizaawalizamadini732(PMLs)zilitolewakwawachimbajiwadogowaTanzanitendaniyaeneotengefulaMirerani(MCA),ambapokaribuleseni180-200 zilikuwa zinafanyakazi, na lesenimoja kubwanambili zikiwa zauchimbajiwakati hukoNaisinyai.KijijichaNaisinyaikinavitongojivitatu;vitongojiviwili(OlshonyokienaNaisinyaikati)vikojiraninamjimdogowaMireraninavinawakaziwengizaidinakitongojichatatuwatusiyowengisana.Kitongojihikichatatu(Naepo)kilikuwakatikamchakatowakuwakijijikinachojitegemea.KatikakijijichaNaisinyai,wanafamiliawanaishipamojakwenyekayatofautizilizokaribiana,nanyumbazimejengwakaribukaribulakinipiamajengo/nyumbazakisasazilionekana.Jumlayaidadiyawatuwakijijikizimakamataarifaya9Agosti2016inavyooneshailikuwaniwatu8,770nawanaoishikatikakaya1,243.

MatokeoyaUtafitiyaKijijichaMundararaKijijichaMundararakimepanukasanandaniyamiongomitatuiliyopitatangukuanzishwakwakekikiwanaidadindogoyajamiizawafugajiwakimasaiwaliokuwawakiishikuzungukamgodimkuuwaRubykwenyeeneoambalokwasasandiyomakaomakuuyakijiji(mji).Karibukayazotezilionekanakufanyaufugajiwa

3

jadiwaKimasai kamashughuli yaokuu zauendeshajiwamaishanakamachanzokikuuchamapatoyafedha lakini pia wote walionekana kuhusika katika shughuli zamadini, ikiwa ni pamoja na biashara yamadini na kukusanya mabaki ya madini kutoka kwenye mchanga/udongo na uchimbaji wenyewe.Uchimbaji wa madini imetengezeza fursa mpya kwa jinsia zote nabaadhi ya wanawake na wanaume pia wameweza kufanya ainambalimbalizabiasharandogondogo.Hivyotulitambuambinuzajumlaza njia mbadala za maisha mbali na maisha ya jadi ya ufugaji, kwakuongezeka kwa kilimo kwa muda mrefu zaidi ya miaka 20 iliyopitakamanjiayakukabiliananaupungufuwamaeneoyamalishonahajayakuwana njiambalimbali zamaisha. Hata hivyo,watuwachache sanandiyowamefanikiwa kwa kufanya kilimo chamazao katika kipindi chamiaka mitatu hadi mitano kabla ya utafiti wetu kutokana na ukame ulioongezeka kwa miaka ya hivikaribuni. Hii imechcochea changamoto zamaisha katika jamii, na watuwengi sasa wanategemea zaidimapatokutokananashughulizinazohusiananamadini.Wakatikilimochamazaokinashukanauborawamalishoinakumbwanaukosefuwamvuanakutokananakuongezekakwaidadiyawatunamifugo.

Kamailivyoonekana,kumekuweponataratibuzakimilanakidesturijuuyamgawanyowamajukumukwakuzingatiajinsiakwenyekayazaWamasai,hukuwanawakewakionekanakuhusikazaidinamajukumuyanyumbani ndani na nje ya boma. Maamuzi ndani ya kaya, ikiwa ni pamoja na mgawanyo wa

shughuli/majukumu ya kila siku kuhusu ufugaji nakilimochamazaohufanywanawanaumenasehemukubwa za kaya zinazoongozwa na wanawakewalikuwa wategemezi sana kwa wanaume kupatamatumizi yao ya kila siku. Kuhusu kuchungamifugo,wanawake wanahusika zaidi kukamua na kuwatunza

mifugodhaifunailiozeekanawanaumewalikuwanamajukumuyakunyweshamifugo,kuhamishamifugopamojana kuchinjana kuuzamifugo.Hatahivyo,wanawake sasawanaonekana kuhusika katika kufugazaidi na majukumu yao kuongezeka maradufu kutokana na wavulana wengi kuandikishwa shuleni nawanaume kujihusisha na shughulimbadala ya kujipatia kipato. Kwa upandemwingine, kuna baadhi yamabadiliko yanayoanza kuonekana kwenye baadhi ya kaya. Kwa mfano, ingawa ndoa ya wake wengiinaonekana kuongoza zaidi kuliko ndoa yamume/mkemmoja,ndoayamume/mkemmojazinakuwakwakasinakwambamaamuziyanaonekanakuwashirikishibainayamume namke katika ngazi ya kaya,mfano kuhusubajeti na matumizi. Hata katika ndoa za wanawakewengi, inaonekana kwamba baadhi ya wanawakewanayonguvunamamlakazaidikulikowengine,natuliambiwakuwawanawake(mke)waliopendwanawaumezaowanashirikikwenyemaamuziyakayanapiawanahakizaidikulikowengine.

Kila siku, wanawake na wanaume wanaenda kuokota madini kutoka kwenye mabaki ya mchangaunaotolewanakampuniyaMRMC;wanachukuwamaweyanayoonekanakuwanamadinindaniyakenakujaribu kuwauzia madalali wakubwa wa kiume kijijini. Ingawa kazi kadhaa zilipatikana, wanaonufaikazaidi kwenye madini ni wanaume wanaouza na madalali wa madini ambao wengi wao wametajirikakutokananakuuzamadiniyarubi.Hatahivyo,faidakwawanawakesiyokubwakutokananakutofahamuthamani yamadiniwanayookota, pamoja na ubaguziwa kijinsia ambaounawakabiliwanawakewakatiwanapojaribukukusanyamabakiyamadini.Ubaguzihuuniudhalilishajiwamanenonawamojakwamojakamawalivyotutaarifuwakatiwautafitiwetu.

Ijapokuwa shughuli za madini zimechangia uchumi wa wanajamii wa Mundarara, baadhi ya masualamabaya pia yalionekana. Iligundulika pia kuwawatuwengi hawafurahiswi na ushirikiano uliopo kati yamakampuniyamadininakijijichaMundarara,nakwambakunahajayakuboreshamahusianohayokwakushauriana,kulipafidianakuhakikishakuwajamiiinanufaikazaidi.Masualahayayamechangiakujengachuki,vurugunamaandamano.Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi ya Kijiji (VLUP) ulianzishwa Mundarara mwaka 2012, sehemu yampangowamatumiziborayaardhiniilikupunguzamigogorokatiyawafugajinawanyamapori.Kablayauanzishwajiwavijiji, ardhihukoMundarara ilikuwakubwana ilisimamiwakwanjia zakimila zaidi.Hatahivyo, ujio wa taasisi za kisheria umekuja na nguvu zaidi kuzidi njia za kimila na desturi. Hata hivyo,kutokananakuongezekakwaidadiyawatu,nathamaniyaardhikuendeleakuongezeka,imekuwavigumu

“Tulipooana,hatamkewanguakijanyumbanikwanguatapitanyumayangu,jenikwanamnaganiatakuwananguvukwenyenyumbayangu?Nilazima

wanaumewawenanguvusikuzote.”(MumewawakewengikutokaMundarara)

“Labdakatikangaziyafamiliatundiyowanawakewanawezakujadilimasualayamabadilikopamojanawanaume.Lakinikuliwekahiliwazinivigumu.”(Mkewapilialiyekokwenyendoayawakewengi

kutokaMundarara)

4

kujichukuliaeneolaardhibilakufuatautaratibuwakisheria.Ardhikwaajiliyakilimonamakazihivisasainasimamiwakisehria,wakatiardhiyamifugoinasimamiwakwaushirikianowaserikalizavijijinaviongoziwa mila (Ilaigwanak) kwa kuzingatia utaratibu wamila na desturi kama ilivyobainishwa kwenyeMpango wa Matumizi Bora ya Ardhi. Malalamikoyalielekezwa kwenye ucheleweshwaji wa mchakatowa kupewa ardhi, kuwepo kwa haja ya kufuatiliamara kwa mara, na ugumu wa watu masikini kupata ardhi. Kuongezeka kwa idadi ya mashamba namakazi, pamoja na uwepo wa makampuni ya uchimbaji, yote yamechangia umbali zaidi ambao watuwanalazimikakwendakufuatamalishoyamifugo.Kuongezeka kwa urasimishaji na usimamizi wa ardhi kinadharia imetoa fursa sawa ya wanawake waMundararakuwananahakisawazakupataardhinakuwanaumilikiwapamojawaardhiyakayanahivyoimewahakikishia usalama wa ardhi zao. Hata hivyo, kiuhalisia, tulitaarifiwa mara kwa mara kwambawanaume hawaruhusuwanawake kumiliki aina yeyote ya ardhi na kwamba serikali ya kijiji pia ilikuwaikiwapa ardhi wanawake wajane ambao wana watoto wa kiume wenye umri wa zaidi ya miaka 18 iliwawezekusimamiahizoardhi.Zaidiyahayo,mifugoyoteinamilikiwanawanaumetu.Kwamalihizimbilimuhimuzilizokomikononimwawanaume, imewafanyawanawakewashindwekujitegemeanakuzalisha

mali au kuchangia kipato kwenye uchumi wa kaya. Wajane (nawanawakewachachewalioachika), hasawalewalionawatotowakuwalea, pia wanaonekana kuachwa na mali ndogosana/isiyotosheleza,ugumuwakupatarasilimalinakukosamsaadawowote kutoka kwa wanaume. Ingawa tulikutana na wanaumewachache ambao ni maskini sana, bado wanawake wako katikakundilawatuwaliokwenyemazingiramagumuzaidiMundarara.

Kwaujumla,mabadilikoyatabianchipamojanaongezekolaidadiyawatu,vimechangiasanakutotabirikakwaufugajihukoMundararakulikoilivyokuwahapoawali.Kuwepokwakilimo(lichayaukamewamiakamichache iliyopita) imepelekeaardhikurasimishwazaidinausimamiziumezigatiwapia. UanzishwajiwaMpangowaMatumizi Bora ya Ardhi umetengamaeneo yamalisho na kupunguza upatikanajiwa ardhikwaajiliyaupanuziwamakazinakilimo.Wakatihuohuo,watuwengiwameanzakujaribunjiambalimbaliyakuendeshamaisha,madini tupekeyakeninjiamojawapo ingawaupanuziwamaeneoyamadinipiaumesababishaugumukwaupatikanajiwaardhindaniyakijiji.

Kitendo cha wanaume wengi kujihusisha na shughuli za madini na mwelekeo mzima wa maisha kwaujumla vimepelekea wanawake wengi kuwa na majukumumengi zaidi nje ya kaya.Wakati wanawakewengiwanahusikanakuchunganawenginewapokwenyeshughulimbalimbalizakujipatiakipato,badowanawakwewanahusikakukamilishamajukumuyoteyanyumbaninahawaruhusiwikufanyamaamuzijuuyafedhawanazojitafutia.Iligundulikakuwamaamuziyotendaniyajamiiyanafanywanawanaumelichayabaadhi yawanawake kuwanawajumbe kwenye serikali za vijiji kama sheria ilivyoagiza. Tulitambuapiakuwa kile watu wanachosema wamekifanya ukilinganisha na ukweli unakuta kwamba kiuhalisia siyokweli/sawa. Baadhiyawanaumewalikuwatayarikubadilikanakuungamkono jitihadazotezinazoteteahakizawanawakenakunufaishafamilianzima,wakatihuohuowakiheshimumilanadesturizilizoko.

Mabadilikoyatabianchinahaliyahewa,ukamenauchimbajiwamadinivimesababishamigogorojuuyauhaba wa maeneo ya malisho na rasilimali maji ndani ya kijiji na vijiji vya jirani. Vitisho hivi vya njevimebadilishamaishayawafugaji namgawanyowamajukumukwakuzingatia jinsiaMundarara,wakativitisho vya ndani ambavyo vinawakumbawanawakewengi wa jamii hii vilionekana kuwa vigumu sanakuvikabili.

MatokeoyaUtafitiyaKijijichaNaisinyaiKumekuwanamabadilikomakubwakatikakijijichaNaisinyaizaidiyamiaka50iliyopita, hasa kutokana na uchimbaji wa madini kuanzia miaka ya 1960.Matokeo yake,maeneo ya uotomwingi namalisho yamifugo yaliharibiwanauchimbaji yenyewe na upanuzi wa makazi, mashamba na miundombinu ilikuendana na uvamizi wa watu kwenye eneo hilo, ikiwa ni pamoja nawafanyakaziwahamiajikutokasehemumbalimbalizaTanzania.Mabadilikohayayote yamefanyika wakati Naisinyai yenyewe imebadilika kutoka kuwa jamiiinayotegemeaufugajipekeenakuwajamiiinayochanganyaufugajinakilimo.

“Nilikuwanabahatisanakupataardhikidogo.Sikuhizinivigumusanakupatakwasababuwatuwametambuathamaniyaardhisasa...Watuwanaonaardhinitamu.”

(MumewawakewengikutokaMundarara)

”Tutapatajeardhikamahatunarasilimalizinginezozotekamamifugo?

Kamahumilikirasilimaliyeyote,utamilikijeardhi?Sijawahikumwona

mwanamkeanayemilikiardhi.”(MjanekutokaMundarara)

5

Kama ilivyoMundarara,mgawanyowamajukumu kijinsia unazingatiamila na desturi za Kimasai katikakijijichaNaisinyai.Ingawawatuwengiwalidhanikuwamgawanyowamajukumukijinsiayamebadilikakwasiku za hivi karibuni ya kwambawanawake sasawanajihusisha zaidi na shughuli za kujipatia kipato, ilabadomatumiziyafedhahiyoinaamuliwanawaumezao.Wanawakewengiwaliripotikuwakukosaumilikiwarasilimalinafedhanitatizonanikikwakokikubwachamaendeleokwao.Tatizojingineniukosefuwaelimu kwawanawake na kukosa uwakilishi kwenye uongozi, usimamizi namaamuzi juu yamasuala yaardhi namaliasili. Hata hivyo, jambo lamsingi ni kuanzishwa kwa vikundi vya kuweka na kukopa vyawanawake Naisinyai ili wanawake waweze kusaidiana kuanzisha biashara ndogondogo na mabadilikomengine yanayofanana na haya ili kuhakikisha kuwa sauti zao zinasikika ili waweze kusaidia kuletamaendeleoendelevukatikakijijichaNaisinyai.KamailivyokwakijijichaMundarara,karibukayazotewanafanyaufugajiwajadi/kimilayaKimasaikamashughuliyaokuuyamaisha.Hatahivyo,kujihusishananjiambalimbalizakujipatiakipatombalinaufugajiilitaarifiwapiakwambanikutokananakilekilichoelezwakuwanikwasababuyakuongezekakwaidadiyawatu Naisinyai, kuongezeka kwa ukame wa muda mrefu na kuchukuliwa kwa ardhi ya malisho namakampuni za uchimbaji. Baadhi yawatuwalitaarifu kuongezeka kwa kilimo chamazao, uchimbaji wamadninabiasharandogondogokwaajiliyakujikimukimaisha.Kwamfano,82%yasampuliyawaliohojiwabilakuzingatiavigezomaalumwaliripotikuwawanajihusishanakilimochamazao,nawatuwengiwakokwenye uchimbaji mdogo, biashara ya madini, kukusanya mabaki ya madini kutoka kwenye mchangaunaotolewa namakampuni za uchimbaji shughuli ambayo inafanywa zaidi na wajane Naisinyai. Hivyo,uchimbajibila shaka inachangiasanakipatocha fedhaNaisinyai,kwanjiayamojakwamojana isiyoyamoja kwamoja kama inavyothibitiswa namatokeo yanayoonekana ya kiuchumi kwenyemaendeleo yajamiihusika,kwamfanokuwepokwamasokoyavyakulanahudumambalimbali,uwepowamadukanaujenziwabarabarayakiwangochalamiuliojengwahivikaribunikutokaNaisinyaihadiuwanjawaNdegewakimataifawaKilimanjarolakinipiaimeletamatatizomengiyaainambalimbali.

Wanawakenawanaume tuliowahojiwamekuwanahisia kuwa faidayamadininindogo sanahasakwawatuwaeneohusika,nawaliripoti kuwahatahivyowalewalioonekanakufaidika zaidiniwanaume tu.Ingawa wanawake wanajihusisha na kukusanya mabaki ya madini kutoka kwenye mabaki ya mchangaunaotolewa na kampuni za uchimbaji, hii ilionekana kuwa ni shughuli hatari kwao kutokana nakilichoelezwakuwa imesababishiaudhalilishwajiwamaneno,unyanyasajinakubakwa.Hiinikwasababuwalikuwa wakigombania mabaki ya madini nawanaumeambaosiyowaajiriwawamakampuninaambao waliokuwa wakiwabia kile wanawakewanachopata na kuwabaka pia; tulitaarifiwa kuwawanawake baadhi na kijana mdogo waliuwawa.Tofauti na taarifa hiyo, ni kwamba biashara yamadini inayotoa fursa kubwa ya watu kujipatiakipato cha fedha inayoletwa na makampuni ndaniyaeneotengefulaMireraraniilionekanakuwafursahizo zilielekea mikononi mwa wanaume, na hatafursa nyingi za ajira ziliwalenga wanaume na siyowanawake.Hatahivyo,baadhiyamiundombinuyandanizilijengwanamakampuniyamadini,ikiwanipamojanavisimanamabombayamaji,nabaadhiyamajengoyalifanyiwaukarabati;ainahiiyafaidakutokananamadiniambazosiyofaidazamojakwamojazinaonekanakuwagusa/kuwanufaishawanawakenawanaume.Ingawamatokeo yauchimbaji yameonekana kuwaathiri zaidiwanawakeNaisinyai, athari za kimazingirayalionekana kumwathiri kila mtu—wanaume na wanawake. Utafiti wetu ulibaini changamoto nyingiyanayosababishwanawachimbajiwakubwanawadogoikijumuishakuchukuliwanakuharibiwakwaardhiyamalisho(ikiwanipamojanakutofukiamashimoyaliyokuwawazikwenyeardhi)nakuharibuuborawavyanzo vya maji na kuwepo kwa hofu kuwa ardhi zaidi itagawiwa kwa wachimbaji. Kwa ujumlaimeonekana kwamba kukuwa kwa uchimbajiwamadini na kuongezeka kwa idadi yawatu imepunguzauoto wa misitu na eneo la malisho ndani ya kijiji. Matokeo yake, ni sehemu kidogo sana ya ardhi yamalisho ndiyo iliyobaki kwa kijiji cha Naisinyai na imekeuwa ikitumiwa na watu wachache tu hasawanawakewenyewatotowadogowanaohitajimaziwakilamarahivyowalilazimikakuwanamifugoyaokaribu. Wanawake hawa walikuwa wanaruhusiwa kupitisha mifugo hiyo katikati ya maeneo yamakampuni za wachimbaji ili kufikia eneo la malisho lakini ilikuwa ni hatari sana kwao (wanawake)

“Wanawakewanabakwapindiwanapoendakuokotamabakiyamadini...Wataendeleakutubakakwasababu

tunahitajikuzitunzafamiliazetu.”(MjanekutokaNaisinyai)

“Haowanaowabakawanakimbia,kwahiyohuwezikuwapelekakotini...TunaombamtusaidiekushirikisharipotiyautafitihuuWizarani,AfisaMadiniKandanaAfisaMadiniMkazi.Wanahitajikufahamuwatuwanajisikiaje,tunayomaumivumakubwasana.”

(WazeekutokaNaisinyai)

6

kupitishamifugonjiahiyokutokananakuwepokwamashimowazikwenyeardhipamojanauwezekanowakubakwaaukudhalilishwakwawanawakehaokwenyemaeneoyanayozungukakampunizauchimbaji.

Kablayauanzishwajiwavijiji,ardhiyaNaisinyaiilikuwaikisimamiwakwautaratibuwakimilanabaadayekutolewakamaurithikwanduguwa familianaukoo.Hatahivyo,kama ilivyoMundarara,usimamiziwakisheriaumeonekanakupatanguvu zaidi. Yeyotealiyehitaji ardhi kwaajili ya kilimonamakazi alipaswakuomba kwa kupitia serikali ya kijiji au kuipata ardhi hiyo kwa kununua ingawa ardhi yamalisho badoinaonekanakusimimiwakwautaratibuwamilanadesturi. Serikali yakijiji na Ilaigwanakkwapamojanimabaraza yanayoongozwa zaidi na wanaume na wanawake hawaonekani wakishiriki sana kwenyeusimamizinaulinziwaardhinamaliasilinjenawajumbewaliokokwenyeserikaliyakijijikisheria(kwenyetaasisizakiserikali).Wakatiwa utafitiwetu, Kijiji chaNaisinyai haikuwa naMpangowaMatumizi Bora ya Ardhi unaosaidiakusimamianakulindaardhiyakijiji. Imeonekanakuwaupatikanajiwaardhiumekuwamgumukutokananakuongezekakwaidadiyawatunaufinyuwaardhiiliyopo.Kipindichanyumawatuwaliwezakujipatiakiasichochotechaardhiwaliyohitajikwaajiliyakilimonamakazi,wakatihuukilamtuanatakiwakununuaardhiaukuomba(kiasikidogochaardhikilichopo)kwakupitiaserikaliyakijijikwakulipia,nahivyohalihiikufanya upatikanaji wa ardhi kuwa mgumu hasa kwa watu masikini. Wakati washiriki wengi kwenyemakundinawatubinafsiwaliohojiwawalidaikuwatayariwanawakewanayohakisawanawanaumejuuyaumilikinausimamiziwaardhiauwanawakehawahitajikumilikiardhi,wengihawafahamuhakizaozakisheria. Hata mahali ambapo wanawake wanafahamu sheria, inaonekana kuwa mila na desturizinawakwamisha kudai haki zao. Zaidi ya hayo, hata pale ambapo wanaume wanafahamu usawa wakijinsia kwenye sheria ya Tanzania, uelewa huu haujasaidia kupunguzamsimamowao kuwawanawakehawahitaji/ hawana haja ya kudai haki ya kumiliki ardhi, wanawake wengi wanafahamu kuwahawatendewi haki na hivyowanatamani kuonamabadiliko kuhusuhaki za ardhi; hata hivyo, kwa kuwaainayeyoteyaardhiwanayoitakawanawakewatapatakwawaumezaonaaunduguwenginewakiume.

Uchimbajimadiniumechangiakwaufanisimkubwamaendeleoyakiuchuminamiundombinuyaeneohilona baadhi ya watu wamepata utajiri mkubwa kutokana na madini ya Tanzanite. Hata hivyo, pia

imebadilisha hali ya ufugaji wa ndani, kama vilewafugaji hivi sasa wanalazimika kuhamia mbali zaidikufuata malisho na watu wengi wa Naisinyaiwanalazimika kupelekamifugo yao vijiji vya jirani kwamwakamzima. Pia kumekuwepo namatokeo hasi yakijamii na ya kimazingira yaliyosababishwa nauchimbaji wa madini kwa jamii ya Naisinyai, ambapomatukiomengiyalionekanakuwanyanyasawanawake.

Wakati majukumu ya kijinsia yalionekana kubadilika polepole sana, wanawake hivi sasa wanazidikujihusisha katika ufugaji na shughuli za kuzalisha kipato, bado wanawake hawakuwawakimiliki ardhi,mifugo wala mali nyingine na mara nyingi kama ilivyokuwa kwa Mundarara wengi wa wanawakewalilazimika kukabidhi fedha yoyote wanayopata kwa waume zao. Wakati huohuo, unyanyasajiunaotokana na madini umeongezeka, ubakaji na udhalilishaji umeongezeka hasa kwa wanawake nakufanyakazizaozakilasikukamakukusanyakuninakuchungamifugokuwahatarizaidi.Pia,faidandogoambazo wanawake wanapata kutokana na kukusanya mabaki ya madini kwenye mchanga zinapelekeawanawake kuacha shuguli hiyo kuliko hatari zinazo ambatana nayo. Wakati serikali ya kijiji inafahamumatatizo haya, kwa kiasi kikubwa imeonekana kuwa haina nguvu na wakati huohuo wanawake wengiwalidhanikuwajamiiinayoongozwanawanaumeinahitajikufanyajitihadazaidikuwalindawanawake.

Hitimisho

WakatiKijijichaMundararainaonekanakuwapembezonizaidinaniyakijadi/kimilazaidikulikoKijijichaNaisinyai,vijijivyoteviwilivimepitiamchakatosawayakimabadilikokatikamiongoiliyopita.MabadilikoyaTabiaNchinahaliyahewapamojanakuongezekakwaidadiyawatuyamechangiakubadilikakwamaishayawafugaji na kusababisha ufinyuwa ardhi nawatu kujihusisha na njiambalimbali za kujipatia kipatokatikavijijivyoteviwili.Uchimbajiumeanzamudamrefuuliopitakwavijijivyoteviwililakinikasiyaukuajiiliongezekazaidikatikamiaka10au20iliyopita,nahii imechangiazaidikupunguakwaardhiyamalisho.HiiimeonekanazaidikatikakijijichaNaisinyai,ambapoardhinzimayamalishoimechukuliwanauchimbajiikiwanipamojanakuongezekakwamakazinakilimo.

“Jenikwanamnaganisisikamajamiitutanufaikanauchimbaji?...Kampunihizizotezikondaniyakijiji

chaNaisinyailakiniwanatumiajinakutokaMirerani!Tutapatajekufahamikayakwambamadinihayayoteyanatokakijijinikwetu?”

(ViongoziwaKijijichaNaisinyai)

7

Uchimbaji katika vijiji vyote viwili ulitengeneza nafasi chache za ajira (hasa ya malipo finyu) ambazowalipewawanaumetu,lakiniimewezakutengenezafursambalimbalizamaishakwakuwepokwashughulimbalimbali za kujipatia kipato kupitia uchimbaji wa madini. Wakati mabaki ya madini kutoka kwenyemabakiyamchangaunaotolewanawachimbajiwakubwanawadogoambayowanaumenawanawakewakijijichaMundararawanafaidikanayo(hasawajane)nawanaumewasioajiriwakatikakijijichaNaisinyai,yalikuwa yakinunuliwa kwa bei ndogo hasa na wanaumewaliokuwawakihusika na biashara yamadinizaidi jambo ambalo limeonekana kuwaletea utajiri mkubwa baadhi ya wafanyabiashara hao. Wakatihuohuo, katika vijiji vyote,wanawakewaliokuwawakiokotamabaki yamadini kutoka kwenyemchangaunaotolewanamakampuniyauchimbajiwalikumbwanachangamotombalimbalikamavileunyanyasajinaudhalilishwajilakinihayayalionekanazaidikatikakijijichaNaisinyai.Wanawake siku hizi siyo tu wanajihusisha na shughuli mbalimbali za kujipatia kipato cha fedha,waliripotiwa pia kuwa siku hiziwanahusika sana kuchungamifugo katika vijiji vyote viwili. Kwaupandemwingine, imeoenekana kuwa majukumu ya wanawake yameongezeka mara dufu hivi sasa lakinimabadilikohayahayajabadilisha/hayajaongezahadhiyawakinamamahao.Katikavijijivyotemajukumuya wanawake yalikuwa mengi lakini ilikuwa ni vigumu kwao kumiliki rasilimali zozote kama ardhi aumifugoauhatamalizinginezozoteauhatakumilikifedhawanayopatakwakujihusishakwenyeshughulizakujipatiakipatokidogochafedha.Siyohayotu,katikavijijivyoteviwiliwanawakewalionekanakutokuwanasautiyeyoteaunamaslahiyaohayakuwayakilindwanakupewakipaumbele.

Tofautiyakijinsia inayoelekezamajukumukwakila jinsianivigumukubadilisha, lakinimabadilikokidogoyanaonekanawazikwavijijivyoteviwili.Ndoazamume/mkemmojazinaonekanakuongezekana“ndoazaupendo” pia zinaonekana kuongezeka na ndoa hizo za mume/mke mmoja walitaja kuwa maamuziyanafanyikakwaushirikianonakwambawanawakekatikandoahizowanayonjiazaozakujipatiakipatocha fedha. Pia nukuu juu ya haki za wanawakekatikasheriazanchizimeongezanafasiyauwakilishiwa wanawake katika maamuzi katika vijiji vyoteviwili. Ingawa ilitajwamaranyingi kuwawanawakehawa kiuhalisia hawana nguvu ya kufanyamabadiliko yeyote kwenyenafasi hizo,wengi badowanashukuru kwa nafasi hizo na kwambawanatamani kuwaona wanawake zaidi wakiwakwenye nafasi ya kufanyamaamuzi. Zaidi ya hayo,katikakijiji chaNaisinyaibaadhiyawanawake japokwa sehemu ndogo sanawameweza kukabiliana na changamoto ya kibaguzi na kuweza kujihusisha nabiashara ya madini na vikundi mbalimbali vya wanawake vimeweza kuwa majukwaa ya wanawakekukutananakujadilimasualayaonakushirikianazaidi.Swalilaliliojitokezamaranyingikutokakatikavijijivyoteviwiliwakatiwautafitiwetuni;kwanamnaganiwanawakewatasaidika.KatikakijijichaMundararamasualamenginemakubwakuhusukukusanyamabakiya madini kutoka kwenye mchanga unaotolewa na kampuni ya uchimbaji, uendeshaji wa jumla yamakampuni ya uchimbaji na uwezekano wa kujihusisha na uchimbaji mdogo ukiwa na leseni, nakuheshimiwa kwa hati ya kimila ya ardhi na masuala ya ardhi ya malisho na kuhama. Katika kijiji chaNaisinyai, pia masuala mengine makubwa yanahusu shughuli za makampuni makubwa ya uchimbaji,wachimbajiwadogokuwanaleseninakuheshimiwakwahatiyakimilayaardhi.

Vijijivyetuvyoteviwilivyamajaribio,vyotewalitajahajayamakampuniyauchimbajikuwanamahusianoya karibu namazuri na jamii na kuongeza huduma zaombalimbali kwa jamii. Piawalipendekeza kuwa

makundimbalimbaliambaoniwatumiajiwa ardhi (hasa wafugaji, wakulima wamazao,wachimbajiwakubwanawadogo)wakutane pamoja na Serikali za vijiji

kutafutasuluhujuuyachangamotozinazoikumbamaishayawafugajinakuongezekakwatatizolaufinyuwaardhikwaujumlanakuharibiwakwaa rdhiyamifugoambayo inaathiri jamiinzima.Wakatihuohuo,tulitambuahajakubwayakuwanauwakilishimzuriwawanawakekatikanafasizamaamuzinakusimamapamoja kushirikiana na wanaume katika jamii zao kukabiliana na tatizo la muda mrefu la ubaguzi wakijinsia ili kulinda na kuwasaidiawanawake ikiwa ni pamoja na kutatua changamoto zawatuwanaoshikatikamazingiramagumukatikajamiihizizinazoathiriwanauchimbajileo.

“Ninatamanikuonamabadilikolakinihuendahililikawagumu...Wanaumewanahitajikuelimishwapia.”

(MumealiyekokwenyendoayamkemmojakutokaMundarara)

“Wanawakewangesimamakwaumojawangekuwakwenyenafasinzurizaidiyakusikilizwa.Haijatokeabado

lakinininamatumaini!...Wanaumewanayonguvukubwanawanawakehawajaunganishanguvuyapamojailiwawezakusikika.Kunamilanadesturiambayoinaona

niaibukwamwanamkekusimamakuongea.”(MjanekutokaNaisinyai)

“Niwanawakewachachesanawanayonafasiyauongozihapalakiniwataongezeka.Hukombeleniwataongezeka

ninauhakika.”(MumewawakewengikutokaNaisinyai)

8

MatokeoyaMradiwaWOLTSTanzania1.Kuwaelimishawanawakenawanaumekuhusuhakizaardhi,kutoamafunzoyauongozikwawanawake,kusaidiawanawakekuanzishavikundivitakavyowasaidiawanawakekupataardhinamifugosualaambalolimejitokeza kamamoja ya suluhu ---lakini ilidokezwa kuwa uzito/wingi wa majukumu ya mudamrefuwaliyonayowanawakeinabakikuwakikwazochakufikiamalengohaya.2.Kumejitokezahisiayakwambakunahajayamakampuniyauchimbajinawachimbajibinafsikutakiwakufanya kazi kwa kushirikiana na jamii nzima na kutengeneza fursa zaidi kwa wanawake na makundimaalumnakuwaajibishawalewotewanaosababishamatatizokwawanawake.3.Kuhakikishakuwawatuwotekatikajamiizotewanakuwanamajukwaayakukutananakujadilimasualamuhimu ya ardhi namaliasili kwa njia shirikishi ambapo huenda ikasaidia kutatuamasualambalimbaliyaliyojitokeza kwenye utafiti wetu kuhusu ardhi, jinsia, uchimbaji na ufugaji. Ili kufanikisha hili vizuri,wanaume,wanawake,wadogo,wakubwa,matajirinamasikiniwotewahusike,nakuweponamsaadawakipekee kwa makundi maalum ili kuhakikisha kuwa maslahi yao yanasikika, yanapewa kipaumbele nakutatuliwakwahaki.

MapendekezoyaJumla

Mbinushirikishikwavijijivyoteviwilihuendaikasaidiasanakutatuamasualamengiyaliyojitokezakwenyeutafitiwetukwakupitiawadauwotekujapamojakatikamdahalokwalengolakupunguzamigogorokatiyawatumiajimbalimbaliwaardhi.

Vikao vya mara kwa mara vya ngazi ya vijiji na vitongoji vinaweza kuwa ni nafasi nzuri itakayosaidiawatumiaji mbalimbali wa ardhi kujadili masuala yanayohusiana na usimamizi wa ardhi kijadi/kimila nausimamizi wa ardhi kisheria na kutafuta suluhu kwa pamoja kwa njia shirikishi. Watatakiwa kufanyayafuatayo:

• Kuhakikishakuwaushirikimzuriwawatuwote—wanaume,wanawake,matajiri,masikini,wadogonawakubwa ikiwanipamojanakuwahusishamakundimaalumkatikamaamuzi, ikihusishawajane,watumasikininawanawakewaliokokwenyendoayawakewengiambaohawanasautikwawaumezao;

• Kuwahusishawanaumenawanawake,maafisawaSerikali,namakampunizauchimbajinamashirika.

Ushirikihuuutakuwanifursanzuriyakupashanahabari,kuelimishanajuuyasherianautekelezajiwake,kujadiliutaratibuwakutumiarasilimalimbalimbalinakuonamaeneoyanayohitajimabadiliko,kuendelezana kuzipa kipaumbele mapendekezo lukuki yaliyotolewa na washiriki wakati wa utafiti wetu, nakuhakikishakuwakunaushirikiwawatuwotekwaajiliyamaendeleoendelevuyakijijichao.

Kwamfano,mojaya shughuli ambayo ingepewakipaumblenakutekelezwanavijiji vyoteviwili ni jamiinzima (ikihusisha makampuni za uchimbaji, madalali na wafanya biashara wa madini)kupendekeza nakupitisha sheria ndogondogo zilizo bora zitakazosimamia ukusanyaji/kuokota mabaki ya madini kutokakwenyemchangaunaotolewanamakampuni zauchimbaji ili kupunguzamigogoronakuhakikishakuwakuna usawa wa kupata faida/kunufaika na madini hayo, pamoja na, hasa katika Kijiji cha Naisinyai,kutafutanjiayakuwalindawanawakedhidiyaubakajinaudhalilishwajikwenyemaeneoyauchimbaji.

HakiMadininishirikalisilolakiserikalilinalojishughulishanauteteziwawachimbajiwadogokatikasektayamadiniTanzaniakwalengolakuwajengeauwezowakujitambuanakutambuahakizao.Shirikahililimekuwalinafanyakazihizitangumiakaya1990nahivisasalimeanzishaprogramumpyainayojikitazaidikutazamamahusianoyaJinsianaUchimbajiwamadini.MokoronishirikalisilotengenezafaidalenyemakaoyakemakuunchiniUingereza,shirikahililinatoaushauriwakitaalamjuuyanyanjazotezaardhinausimamiziwamaliasili.

KwataarifazaidikuhusushirikalaMokoronamradiwaWOLTS,nailiuwezekuendeleakupatataarifambalimbalikuhusumradiwaWOLTSnashughulizinazofanywachiniyamradihuo,tembeleatovutiyetuambayoniwww.mokoro.co.uk/woltsauandikabaruapepekwaDaktaElizabethDaley,mshaurimkuunakiongoziwatimunzimayamradiwaWOLTSkupitia:[email protected].

KwataarifazaidikuhusuHakiMadini,tafadhaliandikabaruapepekwaBwanaAmaniMhinda,MkurugenziMkuuwashirikahilokupitia:[email protected].

TimuyamradiwaWOLTSTanzaniailihusishaDaley,E.,Mhinda,A.,Lanz,K.,Driscoll,Z.,Ntiruka,D.,Ndakaru,J.,Grabham,J.,Kereri,E.,Mbise,E.,Kessy,S.,Eliphasy,B.,andKivugo,F.Muhtasarihuuwautafitinamapendekezoyakenimatokeoyajitihadazapamojakutokananatimuhiiznima.Maandishi©TimuyaWOLTS.Pichazote©TimuyaWOLTS.