20
MWONGOZO WA TAARIFA

MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

  • Upload
    others

  • View
    11

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

MWONGOZOWA TAARIFA

Page 2: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za
Page 3: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

2

ORODHA YAYALIYOMO

1

KUHUSU URSB ……………........................................................ 2

USAJILI WA BIASHARA .……………….......….………..……............… 3Manufaa ya Kusajili Kampuni ............................................................... 3

Mamlaka/Jukumu ................................................................................. 2

Hatua za Kusajili Kampuni .................................................................... 3

Manufaa ya Kusajili jina la Biashara ..................................................... 4

Hatua za Kubadili Kutoka kwa Jina la Kibiashara Hadi kwa Kampuni .. 4

Huduma Zingine ................................................................................... 4

USAJILI WA KIRAIA ............................................................... 9

Faida za Kusajili Ndoa ........................................................................... 9

Mfilisi /Kuuzwa kwa mali ...…................................................ 12Kutoweza Kulipa Deni ........................................................................... 12

Namna za Kufunga Shughuli ................................................................. 14

Michakato ya Kunusuru Shirika ............................................................ 15

Mchakato wa Kufanya mapatano ya Ndoa ya Kiserikali ...................... 9

Barua ya hali ya Upeke ......................................................................... 11Kutoa leseni kwa Makanisa yafungishe/yaendeshe ndoa ................... 11

Usajili wa Ndoa za Ki-Islamu, Kanisani, Kimila, na Kihindu .................. 10

MALI ZA KIAKILI/ KITAALAMU …........................................... 5 Tara�bu za Haki za Kunakili (Hakimiliki) na Usajil .............................. 5

Haki za Ujirani ...................................................................................... 6Michakato ya Alama ya Biashara na Usajii .......................................... 6Tara�bu za Michoro ya Kiviwanda na Usajili ....................................... 7Ishara/Alama za Kijiografia.(Gls) .......................................................... 7Tara�bu za Ruhusa na Maombi ........................................................... 7

Aina za Usajili wa Ndoa nchini Uganda ................................................ 9

Page 4: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

2

KUHUSU

URSB

MAMLAKA/JUKUMU

MAONO

Kituo cha ubora kwa huduma za kutegemeka kwa kujiandikisha

Shirika la Huduma za Usajili (URSB); chini ya sehemu 210 ya sheria za Uganda; ni taasisi iliyo na mamlaka ya kutoa huduma kadhaa za usajili, kwa lengo la kutoa huduma za kuwezesha sekta binafsi ili kubuni hali bora ya kuwekezea.

URSB linawajibika kwa kazi hizi zifuatazo:

Usajili wa Biashara - usajili wa makampuni, majina ya biashara, ubia, ha�/nyaraka, stakabadhi za mikopo, na dhamana za mali zinazohamishika(k.m magari, vi�)Usajili wa Mali za Kiakili/ Kitaalamu - usajili wa ruhusa, Mifano ya matumizi, Michoro ya viwandani, Alama za Kibiashara, Haki za kunakili(hakinakala), na Haki za Ujirani.Usajili Wa Kiraia - Usajili wa ndoa zote, kutoa leseni kwa makanisa yote yaendeshe/yafungishe ndoa, kutekeleza ibada ya ndoa za kiserikali,na kutoa ha� za hali ya upeke.Kushughulikia masuala ya kukosa uwezo wa kulipa madeni - mkiwemo na ufilisi, kufunga makampuni na tara�bu (njia) za kuokoa mashirika.

Ikipa�kana kwenye plo� 5, George Street, ka�ka Jumba la Georgian Kampala, Shirikala URSB, limeeneza huduma zake kwa maeneo mablimbali ili kukaribishia wananchi huduma.

Jijini Kampala, kuna matawi: Posta Uganda- Ofisi Kuu, Kampala Rd. (Booth)Kibanda 2 & 3 Ofisi ya UIA, jumba la Twed Tower Ghorofa ya pili, Lumumba Avenue; na: Sekaziga House ghorofa la kwanza, Nakivubo Mews mbele ya Soko la Park Yard.

Vilevile kuna ofisi za kimikoa/kikanda zikiwa; Mbale kwenye plo� 3, Park Crescent; Mbarara kwenye plo� 1, Kamukuzi Hill; Gulu kwenye plo� 68, (Barabara ya) Princess Road na Arua kwenye plo� 42/44, (Barabara ya) Pakwach Road.

Page 5: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

3

-

Searches.

companies, Private Companies limited by shares, Company limited by guarantee. Foreign

-tures, etc.)

BENEFITS OF REGISTERING A COMPANY

eligible to transact in its own name. This means that the company can, among other things: a) own and transfer property; b) borrow money and provide security in form of a charge on its assets; and c) sue (or be sued) in its own name.

Steps To Reserve A Company Name

Steps To Register A Company

BIASHARAUSAJILI WA

Kurugenzi ya Usajili wa Biashara (DRB), inawajibika na shughuli kadhaa, mkiwemo na utafi� wa Majina na Mashaka, kushirikishwa kwa kampuni mpya, usajili wa majina ya Biashara, Usajili wa ha�/nyaraka za kisheria, na nyaraka zingine; nyaraka zinazohusiana na makampuni; na dhamana za nyongeza, kwa mfano: mali inayohamishika, ha� za kuweka rehani(morgages), na stakabadhi za mikopo(debentures). Kubuni vye� na uchunguzi.

URSB husajili makampuni ya aina hizi zifuatazo: Kampuni ya mtu mmoja; kampuni ya umma(wengi); kampuni ya kibinafsi ikiwa na kikomo cha hisa (limited); kampuni inayofugwa na dhamana iliyoandikwa(guarantee); na kampuni ya kigeni(foreign).

FAIDA ZA KUSAJILI/KUANDIKISHA KAMPUNIKampuni ikisajiliwa, inasemekana kuwa kama iliyounganishwa; na che� cha kuunganishwa kinatolewa. Baada ya kurasmishwa hivyo kama shirikisho, kampuni hiyo, huwa shirika, lililo tofau� na wenyewe/wamiliki. Hii inamaanisha kuwa, biashara hiyo itatambulika kisheria, inayoweza kujitambulisha kwa jina lake. Hii yamaanisha kuwa, kampuni hiyo inaweza mion-goni mwa mambo mengine: a) kumiliki na kuhamisha mali/raslimali; b) kuchukua mkopo wa fedha na kutoa usalamakwa mfumo wa kubadilisha kwa mali zake; na c) kushitaki au kushitakiwa kwa jina lake yenyewe.

HATUA ZA USAJILI WA KAMPUNI

Hatua za Kusajili Kampuni

Hatua za Kubakiza Jina la Kampuni

Hatua 1

Hatua 2

Hatua 3

Jaza fomu ya kukubali/kubakiza jina na majina matatu yanayopendekezwa, ili kuweza kuchagua moja wapo, lililo bora.

Wasilisha/Toa fomu pamoja na uhakika wa malipo kwa ajili ya uchunguzi wa jina.

Rejea baada ya saa moja kwa ajili ya ripo� juu ya uhakikisho wa uwepo wa jina.

Fanya maombi ya ubakizaji wa jina lililochaguliwa (kama ilivyo hapo juu).

Fanya maombi ya kusajili kampuni,(fomu ya maombi, azimio la ushirikiano na makala ya ushirikiano, fomu za kusajiliwa kwa kampuni A1( taarifa ya raslimali iliyotajwa, fomu 20, taarifa ya Uteuzi wa Wakurugenzi na Ka�bu) na fomu S18 (fomu ya usajili wa kampuni)

Wasilisha/toa nyaraka zote pamoja na stakabadhi/risi� za malipo.

Pata che� cha ushirikiano/usajili mnamo masaa matatu ya kufanyia kazi.

Hatua 1

Hatua 2

Hatua 3

Hatua 4

Page 6: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

Steps To Register A Foreign Company

BENEFITS OF REGISTERING A BUSINESS NAME

Registering a business name helps the proprietor to carry on business under the registered

Steps To Register A Business Name

Steps To Change from Business Name to A Company

Other Services Offered Include;

licenses required to do different business in Uganda and can be accessed through

3 OnlineName Searches: An online search for availability of business name can be processed through the URSB website on www.ursb.go.ug.

4

Mafanikio Ya Kusajili Jina La Biashara

Huduma Zingine

Hatua za Kusajili Kampuni ya Kigeni/NjeToa fomu zote za mahitaji (nakala ya mkataba halali, sheria au azimio na Makala (ibara) za kampuni au ka�ba, Jaza fomu 24 (orodha ya wakurugenzi na ka�bu) Fomu 13(taarifa ya madai/malipo), fomu 25(majina na anwani za posta za mtu/watu (m)wenyeji wa nchini Uganda, anaye/wanaoruhusiwa kukubali huduma kwa niaba ya kampuni na fomu 26,(anwani kamili ya Ofisi iliyosajiliwa au Ofisi kuu ya kampuni husika.kampuni ekikulu)

Malipo ya ada

Toa nyaraka zifuatazo (che� cha kwanza/asili cha usajili, Fomu ya taarifa za jina la biashara, No�si iliyowekwa sahihi ikibainisha kuachwa kwa majina ya kampuni na fomu za maombi na azimio na sheria zilizowekwa sahihi, na uhakikisho/uthibi�sho wa malipo.

Che� cha kubadili jina la biashara

Utoaji wa che� cha kusajiliwa mnamo masaa matatu ya kufanyia kazi.

Toa fomu ya maombi kwa jina la kampuni kwa ajili ya kuchunguza jina, na uwepo wa kampuni kama hiyo.

Toa fomu kwa uhakikisho wa kulipia usajili.

Kusajili kampuni kunasaidia mmiliki malikuendesha biashara chini ya jina lililosajiliwa, na kwa hivyo; kutofau�sha biashara ya mmiliki huyo na ya/za wengine.

Hatua Za Kusajili Jina La Biashara

Hatua Za Kubadili Kutoka Jina La Biashara Kwa Kampuni

Chukua che� usajili mnamo masaa matatu ya kufanyia kazi.

Kutoa vye� vya nyaraka: Kupata ha� iliyokuwa imesajiliwa awali, kwenye Shirika la URSB, iliyothibishwa ndiyo inahitajika inahitajika kutoa nakala za nyaraka; itakayothibishwa na ushahidi wa malipo. Nyaraka huthibitshwa mnamo dakika 30.

Habari/Taarifa kuhusu leseni za biashara: mfumo wa mtandao wa matandao ‘e-licences portal’, ambao unataarifa kuhusu leseni, ilitakiwa ifanye biashara/kazi nchini Uganda, na inaweza kufikika kupi�a:http://www.businesslicences.go.ug

Uchunguzi wa majina kupi�a mitandao(onlineName Searches): Uchunguzi wa kupi�a mitandao, ili kuhakikisha uwepo wa jina la biashara, unaweza kuchakatwa kupi�a mtandao wa tovu� wa URSB, kwenye www.ursb.go.ug.

Hatua 1

Hatua 2

Hatua 3

YA KUANGALIWA:Makadirio ya ada zinazolipwa yanafanywa kwa kutumia tovuti ya/mtandao wa URA(web portal), na unawezakujifanyia makadirio yako kwenye www.ura.go.ugKusajili kampuni kunahitaji picha ya pasipoti aina ya (mugshot), ya wachanga-fedha.Nyaraka zote,ni lazima ziwekwe sahihi na wachanga-fedha wote.Tafadhali, ujue kwamba unaweza kusajili kampuni ya mtu mmoja ambayo ni ya dhima ya kikomo(Ltd).

Hatua 1

Hatua 1

Hatua 2

Hatua 2

Hatua 3

Page 7: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

TO NOTE:

• Assessment for fees payable is carried out using the URA web portal and you can also carry out self-assessment on www.ura.go.ug

• All documents must be signed by all subscribers.• Please note you can register a Single Member limited liability company.

5

Mchakato Wa Kusajili HakinakiliMaombi ya kusajiliwa yanafanywa kwa Msajili wa hakimiliki, na ada za maombi kulipwa.Kazi/shughuli inayofanyiwa maombi ni lazima iwekwe kwenye gaze� rasmi la kiserikali “Uganda Gaze�e”.Kama hakuma anayepinga kusajiliwa huko mnamo siku 60, che� cha usajili kitatolewa kwa mwombaji.

MALI ZA KIAKILI/KITAALAMU

Buno bwe bwannannyini ku kintu ekivudde mu buyiiya n’obutetenkanya bw’amagezi g’omuntu. Mali za kitaalamu/kiakili, ni zao la ubongo na akili za kibinadamu. Haki za mali za akili za mtu, zinampa mwenye ubunifu wa kiakili, haki maalumu kutumia na kunufaika kutoka kwa ubunifu wake.Mali za kitaalamu/kiakili zinatuzunguka sote, kwa sababu; kila zao tunalotumia ka�ka maisha yetu ya kila siku, ni zao la ubunifu wa mtu mwingine.Utungaji na ubunifu unaongezea ustawi wa wanadamu, Ulinzi wa kisheria kwa utungaji huo mpya, unaunga mkono matumizi ya utajiri wa ziada hali inayosababisha uvumbuzi zaidi.

Kazi za maandishi na usanii kama riwaya (vitabu vya hadithi),mashairi, shughuli za kujifunzia, magaze�, filamu, utunzi wa miziki, picha za kuchorwa kwa rangi, michoro, picha, matangazo, ramani, na michoro ya kiteknikali, Sanaa za uchongaji na usanifu majengo, mipango ya kompyuta/taraklishi, na misingi ya data(databesi)Hakuna mahitaji/matakwa kwamba kwanza kabisa, shughuli za maandishi na kisanii zinafaa ziwe nzuri, au ziwe na sifa za kisanii, lakini ni lazima ziwe za asili au za kwanza.

Mwenye hakimiliki anaweza kuzuia;

Sheria ya Hakimiliki inawapa waandishi, wasanii, na wavumbuzi wengine ulinzi kwa ajili ya maandishi yao, na uvumbuzi wao wa usanii, inayoitwa “kazi/shughuli”, kwa jumla.

Haki za kunakili/hakimiliki na Ujirani, ambazo zinahusu maandishi na kazi za Sanaa kama vitavu vya hadithi, mashairi na michezo, filamu, kazi za miziki na nyimbo, picha, michoro ya usanifu-majengo, mipango ya kompyuta/taraklishi, na data za elektroniki na umeme.Mali za Kiviwanda zikiwemo:uvumbuzi unaolindwa na Serikali; Alama za Kibiashara, uchoraji/ubunifu wa Kiviwanda na alama/ishara za Kijiografia.

Mali Za Kiakili Zagawanywa Kwa Kategoria/aina Mbili1

2

Aina ya Mali za Kiakili:

Aina Za Kazi Zinazoguswa Na Hakimiliki Zinakuwemo Na;

MICHAKATO YA HAKI ZA KUNAKILI NA USAJILI

Uzalishaji mpya kwa hali zote mkiwemo na kuchapisha, na kurikodi sau�;Kuandaa maonyesho ya kazi yake na kuwasiliana kwa umma;Kutangaza kazi yake;Kutafsiri kazi yakeKuibadili na kuirekebisha kwa mfano kama kitabu cha hadithi ibadilishwe kwa onyesho la televisheni au la skrini.

Hatua 1

Hatua 1

Page 8: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

66

Inalinda kazi za wasanii, wazalishaji, na wanaoshiriki ka�ka utangazaji. Kazi ambazo zinatolewa kwa kazi ambazo tayari zipo. Chini ya sheria ya mwaka 2006, inayohusu Hakimiliki na Haki ya Ujirani haki hiyo inalindwa na maisha ya mwenye hakimiliki pamoja na miaka 50, baada ya vifo vyao.

Alama ya kibiashara ni ile maalumu inayobainisha kwamba bidhaa fulani au huduma zinazalishwa, au kutolewa na mtu binafsi au kampuni. Ulinzi wa alama za biashara unahakikisha kuwa, wamiliki wa alama hizo, wana haki ya kuzitumia alama hizo, ili kubainisha mazao au huduma zao au kuruhusu wengine kuzitumia lakini kwa malipo.

Alama ya Kibiashara inaweza kuwa na jambo lolote, mchoro, ishara, wito, nembo au msemo, sau�, harufu, rangi, kitambulisho cha maelezo; jina, sahihi/saini, harufi, tarakimu, au mchanganyiko wowote wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau� kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za biashara ni: ‘Rwenzori Water’, ‘Apple’, HP na kadhalika.

Alama za Biashara zinalindwa kupi�a kusajiliwa, au matumizi. Ulinzi sawa unampa mmiliki alama haki kamili kuzuia wengine wasiuze zao hilo lenyewe au linalolifanana, au huduma kutolewa chini ya alama kama hiyo, kwa kutatanisha wateja.

Alama Za Biashara Hazifai Kuwa Na Maneno Au Ishara Zinazo;

Hatua za kusajili Alama ya Biashara.

MICHAKATO YA ALAMA ZA BIASHARA NA USAJILI

HAKI ZA UJIRANI

Baada ya kulipa kiasi cha ada inayotajwa, na kufanya maombi ya uchunguzi, ili kuthibi�sha ikiwa alama ya kibiashara ipo kwenye rejista tayari.

Mwombaji anafanya maombi ya alama ya biashara, baada ya kulipa ada za maombi.

Maombi yanachunguzwa kuhakikisha ikiwa yanaweza kubainisha bidhaa au huduma miongoni mwa mazinga�o mengine.

Fafanua zao lenyeweKuwa na kumbukumbu za moja kwa moja kwa tabia au thamani ya bidhaaWeza kudanganya au kutatanishaGongana na sheria na uadilifu.Fanana na bendera za kitaifa, kieneo, au za kimataifa, nembo ya kitaifa, na ishara

Uchapishaji wa Maombi: ombi likitolewa, litatangazwa kwenye gaze� tasmi la Kiserikali: “Uganda Gaze�e”, kwa siku 60.Che� cha Kuasjiliwa: kusipotokea upinzani/ukinzani wowote baada ya siku 60 kupita tangu tangazo hilo lichapishwe kwenye gaze� rasmi - ‘Uganda Gaze�e’, mwombaji akilipa ada inayotajwa kisheria, Msajili wa makampuni ataingiza alama ya biashar kwenye rejista, na atoe che� cha Kusajiliwa.

Hatua 1

Hatua 2

Hatua 3

Hatua 4

Hatua 5

Page 9: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

7

Hatua Za Kusajili Kwa Ajili Ya Mchoro Wa Kiviwanda.

Jaza fomu 28 ya ombi la mchoro wa kiviwanda

Amba�sha michoro, picha au mifano mingine ya Sanaa za maandishi inayowakilisha kitu kinachohusika na mchoro wa kiviwanda.

Toa nyaraka zote mkiwemo sampuli, (ikihitajika); ukiwa na risi� za malipo. Mteja anasubiri kukataliwa kwa ombi, au no�si ya gaze� kwa siku 60. Kusipotokea upinzani wowote, che� hutolewa baada ya malipo ya ada.

Mchoro wa kiviwanda unakuwa na mapambo ya ibara au makala; mchoro wa kiviwanda, unaweza kuwa na sura tatu za mielekeo;kwa mfano, muundo wa Makala, au sura mbili za mielekeo kwa mfano,mapambo, misitari au rangi. Inalinda muonekano wa mazao mbalimbali kwa mfano: muonekano wa (eropleni) ndege, kwa zao la m�ndo.

Michoro ya kiviwanda hutumika kwa mazao kadhaa ya kiviwanda, na kazi za mikono: kutoka kwa vifaa vya kiteknikali na kima�babu; hadi kwa masaa za mkononi, mapambo ya vito, na vitu vingine vya anasa, kutoka kwa bidhaa za nyumbani na vifaa vya umeme, hadi kwa magari, na miundo ya usanifu-majengo; mazao kutoka kwa michoro ya nguo, hadi kwa mazao ya mapumziko/burudani.

Michoro ya kiviwanda ndiyo inarembesha kifaa; na kuonekana vizuri; na kwa hivyo huongezea thamani kwa zao na kutanua soko lake.

MICHAKATO YA MICHORO YA KIVIWANDA NA USAJILI

Kiashirio cha Kijiografia kinamaanisha kiashirio chochote kinachobainisha bidhaa, kama zinavyotoka nchi maalumu, eneo, ambapo thamani inatolewa, umaarufu au tabia zingine za bidhaa zinaamba�nishwa na mahali zinapotoka (kijiografia). Viashirio vya Kijiografia hufanya kama uhakikisho/uthibi�sho kwamba zao fulani lina thamani fulani na hutengenezwa kulingana na tara�bu za kitamaduni, au ikiwa na umaarufu fulani; kulingana na wapi itokako kijiografia kwa asili yake.

Kama ilivyo kwa Alama za Biashara, na Michoro ya Kiviwanda, Indiketa za Kijiografia (Viashirio vya Kijiografia), husaidia kwa:

Kutofau�sha zao kutoka kwa mazao yanayolifananaKukamata na kujenga urafiki mwema na umaarufuKubuni uaminifu kwa mteja na ushirikiano wa aina za vyapa na michoro ya mazao.Kuhakiki kuwa matumizi halisi na matumizi sawa kwa mazao yote, yanayoingizwa kwenye masoko ya kimataifa.Kuzidisha nguvu za kimasoko na thamani za kibiashara kwa zao lolote.Kuzuia wasio na ruhusa kuathiri, kukosesha mazao urafiki mwema.

VIASHIRIO VYA KIJIOGRAFIA/INDIKETA ZA KIJIOGRAFIA(Gls)

Ruhusa (patent) ni haki maalumu inayopewa kwa ajili ya uvumbuzi/ubunifu, ambao aidha ni zao au mchakato unaotoa njia mpya ya kufanya jambo; au unaotoa suluhu mpya ya kiufundi; kwa ta�zo. Ruhusa hiyo, inampa mvumbuzi haki ya kutumia mazao yao waliyovumbua kikamilifu, kwa mda; hadi miaka 20. Zao jipya la uvumbuzi ni lazima liwe jipya, la ubunifu na, likiweza kutumiwa ka�ka viwanda, ili kupewa ruhusa ya Serikali. Ulinzi kwa ruhusa hiyo, unamaanisha kuwa, zao la uvumbuzi haliwezi kutengenezwa kibiashara; kutumiwa kusambazwa, au kuuzwa bila idhini ya mwenye ruhusa rasmi. Miongoni mwa mifano ya uvumbuzi ni: vifaa vya kimawasiliano; balbu/globu bakora za makumbusho, fomyula za kemikali.

MICHAKATO YA RUHUSA NA MAOMBI

Hatua 1

Hatua 2

Hatua 3

Page 10: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

8

Mahitaji/Matakwa Kwa Kutoa Ruhusa Kwa Uvumbuzi

Uchunguzi wa Ombi la Ruhusa ya serikali

Hatua za Kuomba Ruhusa kwa Uvumbuzi

Ombi likitambulika kuwa linafaa, kufanyiwa utafi� na uchunguzi kuhakiki thamani yake. Mtahini/Mchunguzi wa Ruhusa kwa wateja, au mwenye mamlaka mwingine, anachunguza ombi la ruhusa rasmi, ili kuhakikisha ikiwa uvumbuzi unaodaiwa, unakamilisha mahitaji yote ya kupewa ruhusa.

Matumizi ya manufaa ni haki maalumu inayopewa kwa mtu halisi kwa mda wa kikomo. Vilevile, inatazamiwa kama ruhusa ndogondogo, au ruhusa ya uvumbuzi, na inaruhusu haki ya aliye na ruhusa hiyo, kuzuia wengine kutumia uvumbuzi wake kibiashara;bila idhini ya mwenye mamlaka hiyo.

Matakwa/Mahitaji ya kutoa matumizi ya manufaa, yanafanana na yale ya mwombaji wa ruhusa ya Serikali, ila tu kwa yule wa kwanza, mashar� siyo magumu mno, kama yale ya mwombaji wa ruhusa; na hali ya kiuvumbuzi,ni ya chini au haiko kabisa.

MATUMIZI YA MANUFAA

Riwaya/Mpya - Zao linalovumbuliwa halifai kufafanuliwa kwenye chapisho lolote duniani.La Kiuvumbuzi - Zao jipya au mchakato halifai/haufai kuwa bayana kwa mtu mwenye ujuzi/ustadi.Inayoweza kutengenezwa viwandani - Inafaa iwe rahisi kutumika kwa njia fulani.Mata ya suala linaloruhusiwa - Inafaa liwe likiweza kuruhusiwa chini ya sheria, Uvumbuzi, nadharia, tara�bu za kibiashara ni mifano wa vitu ambavyo haviwezi kuruhusiwa na Serikali.

Mwombaji anatoa ombi la kuchunguzwa juu ya ombi; hiyo inafaa i�mizwe mnamo miaka mitatu kutoka tarehe ya maombi.

Ombi linachunguzwa na Mchunguzi wa Ruhusa rasmi, au mamlaka iliyo na uwezo.

Mchunguzi au mamlaka nyingine yenye uwezo, hukusanya ripo� ya uchunguzi.

Kupewa na Kuchapisha Ruhusa kwa Ombi

Mwombaji anaarifiwa juu ya kupewa/kunyimwa ruhusa.

Baada ya kupata ya kupewa ruhusa, mwombaji atalipa ada za kupewa ruhusa hiyo.

Ruhusa uliopewa, utachapishwa kwenye gaze� la kiserikali.

Hatua 1

Hatua 2

Hatua 3

Hatua 1

Hatua 2

Hatua 3

Page 11: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

9

Mchakato Wa Kufanya Kandarasi Kwa Ndoa Ya Kiraia/Serikali

Waliofunga ndoa hufika wenyewe kwa Ofisi Ya Msajili wa Ndoa ili kuhojiwa na kujaza no�si ya ndoa pamoja na; uhakika wa uraia,uhakika wa wapi wanaishi angalao kwa siku 15; picha za kipimo cha/saizi ya (zinazowekwa kwenye)pasipo�; ha� za kiapo za ndoa, zilizosajiliwa;barua inayobainisha upeke (kwa wageni).

Makadirio na malipo kwenye benki wanayotaka kutumia.

Msajili wa Ndoa anatangaza no�si ya ndoa kwa siku 21, kusipotokea ukanusho wowote, wahusika hao wawili wanafunga ndoa baada ya siku 21, pakiwepo mashahidi wawili; na kupewa che� cha ndoa papo hapo.

Aina Za Ndoa Nchini UgandaNdoa za kiraia/kiserikali - Ni ndoa za mke/mume mmoja, zikiendeshwa kwenye ofisi ya Msajili Mkuu kwa ajili ya wenyeji wa Kampala na, ka�ka ofisi ya Afisa Mtawala Mkuu (CAO) kwenye wilaya zingine.Ndoa za kanisani - Ni ndoa za mke mume mmoja, zikiendeshwa kwenye makanisa yaliyo na leseni kulingana na kanuni za Imani ya Kikristo.Ndoa za kimila - zaweza kuwa za wake wengi, zikiendeshwa kulingana na mila za Jamii ya Kiafrika.Ndoa za Ki-Islamu - Huendeshwa kulingana na dini ya Ki-Islamu.Ndoa za Kihindu - Huendeshwa kulingana na kanuni za Imani ya Kihindu.

USAJILI WA KIRAIA

Faida Za Kusajili NdoaChe� cha ndoa iliyosajiliwa ni ushahidi wa kutosha kwa ndoa.Ni ulinzi wa kutosha kwa waliofunga ndoa kuwa na mafanikio kutoka kwa mmoja wapo; kwa mfano: pensheni(malipo ya kustaafua), madai ya bima, na masuala kurithi.Ni ulinzi dhidi ya kosa la kuwa na wake/waume wawili; au hali ya mwanamke anapokuwa na waume wengi.Inaambatana na sheria.

Kuendesha ndoa za kiraia/kiserikali, kunadhibi�wa au kutawaliwa na Sheria ya Ndoa sehemu ya 251.

Msajili Mkuu anatazamiwa au kurasmishwa kama Msajili wa Ndoa wa Kampala, huku Watawala Wakuu (C.A.Os); ndio Wasajili wa Ndoa ka�ka wilaya zote nje ya Kampala.

Ndoa hizo za kiraia au kiserikali, hufanyika kwenye ofisi za Wasajili hao.

Hatua 1

Hatua 2

Hatua 3

Page 12: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

KUSAJILIWA KWA NDOA ZA KI-ISLAMU, KANISANI, KIMILA NA KIHINDU.

Ya Kuangaliwa:

Cheti cha kuzaliwa ili kuhakikisha ukoo/uzawaBarua ya kukiri kutoka kwa baba au mama au mlezi halali.Nakala ya kitambulisho cha mamlaka yanayoruhusu.Ndoa zaendeshwa kutoka Jumatatu hadi Ijumaa kati ya saa nne asubuhi hadi saa kumi alaasiri.

Licha ya hayo, wahusika wakiwa kati ya miaka 18 na 21, wanafaa wawe pia na:

Kutoa Leseni Za Kuendesha Ndoa Za Kanisani:

Leseni maalumu zaweza kutolewa kwa ajili ya ha� ya kusamehe madai, ya no�si ya siku 21; au ya kuruhusu ndoa ifanyike, nje ya mahali pa kufanyia ndoa palipobainishwa kwenye leseni. Leseni hizi maalumu, zinaweza kutolewa na Waziri wa Haki/Sheria na Mashauri ya Kika�ba, kupi�a Shirika la Usajili wa Kitaifa(URBS), kulingana na sheria.

Leseni Maalumu:

Ili kubadili ndoa ya kimila, iwe ya kiserikali/kiraia; au ya mke/mume mmoja, ndoa hiyo ya kiserikali, ni lazima iwe ka� ya mpenzi wa ndoa hiyo ya kabla;(ya kimila);[la sivyo, ndoa hiyo ya kiserikali au ya mwana-ndoa mmoja, haitaruhusiwa/itaba�lishwa kisheria]; aidha, ndoa hiyo ni lazima iwe kama ilisajiliwa kwa ofisi ya Chifu wa tarafa/wilaya, au Karani wa Mji, mnamo miezi sita. Lakini kutosajili ndoa hiyo mnamo miezi sita hakuba�li ndoa hiyo, ingawa ndoa zinazosajiliwa baada ya mda huo zinaweza kuzusha adhabu.

Kubadili Ndoa ya Kimila iwe ya Kiserikali/Kiraia

Ndoa za kimila husajiliwa kwenye Ofisi ya Chifu wa Tarafa/Wilaya au Karani wa Mji, anayetoa che� cha ndoa. Kumbukumbu za ndoa zote za kimila, zinawekwa kwa jalada za Shirika la URSB, kila baada ya mwezi.

Kila ndoa inayosajiliwa kwenye kitabu cha Msajili,ni lazima iwekwe kwenye jalada la Msajili Mkuu wa Ndoa kila baada ya mwezi. Ndoa zote za msingi wa kidini zile za kimila, na za kiserikali/kiraia; NI LAZIMA, zisajiliwe na Msajili wa Ndoa.

Barua ya maombi ikielekezwa kwa Waziri wa Haki/Sheria na Mashauri ya Ka�ba (MOJCA), kupi�a kwa Msajili Mkuu. Barua hiyo inaomba leseni ya kuendesha ndoa.Nakala iliyothibi�shwa, ya leseni inayoruhusu kanisa hiyo kuendesha shughuli zake.Nakala iliyothibi�shwa ya plani (ramani) za majengo ya kanisa zilizothibi�shwa.Nakala iliyothibi�shwa ya ha� za ardhi za kanisa husika, au makubaliano ya upangaji/ukodishaji.Ushahidi wa malipo ya leseni yanayofafanuliwa, zikielekezwa kwa fuko jumla la Serikali, (kwa njia ya risi� kutoka benkini)Orodha ya walioendesha ndoa hiyo kwa eneo la kuabudia Mungu.(Viongozi wa kidini kama wachungaji, mapadri, na wengine, wanaotambuliwa na Imani hiyo, wanafaa kuamba�sha barua zao za kisomo,na vitambulisho vya busara).

Sheria ya ndoa inasema, makanisa yote yanayotaka kuendesha ndoa ni lazima yawe na leseni.Ili kupata leseni ya kuendesha ndoa, ni lazima pawepo:

610

Page 13: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

11

Barua ya pendekezo kutoka kwa Mwenyeki� wa LC 1 (Chifu) wa eneo ambako mwombaji anaishi.Nakala ya che� cha kuzaliwa kwa mwombaji, ili kuthibi�sha ukoo.Uthibi�sho wa uraia, kwa mfano: pasipo�, au kitambulisho cha kitaifa.Tangazo la Kitaifa lililosajiliwa kutoka kwa mzazi kwamba mwana wao/bin� wao ni peke.Azimio la kisheria lililosajiliwa kutoka kwa mzazi ili kuhakikisha kuwa mwana wao/bin� wao yuko peke yake

BARUA YA UPEKEHii ni barua inayotolewa kwa Wana-Uganda wanaotaka kufanyia ndoa zao nje ya Uganda. Barua hiyo inahakikisha kuwa mwombaji nip eke, na hana uwezo wa kufunga ndoa. Mwom-baji anatoa nyaraka zifuatazo kuongezea nguvu kwa ombi lake;

Page 14: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

12

Shughuli za Mfilisi(Rasmi), Zinahusu Watu Binafsi na Ufilisi wa Shirika Zikihusiana Hasa Na:

MFILISI /KUUZWA KWA MALI

Lengo la Mfilisi ni kuweka mfumo sawa wa ufilisi (insolvency), unaoimarisha sekta ya biashara, kwa kuweka matumaini kwa wawekezaji na umma/jamii, ili kutoa maamuzi ya busara, yanayosaidia kukuza uchumi.Mfilisi(rasmi): ana�zama jinsi ya kuokoa makampuni yanayofilisika na mtu binafsi, kwa kuwahimiza watumie njia za kuokoa biashara. Kutoweza Kulipa madeni, yanapopitwa waka�.

Mdaiwa anatazamiwa kushindwa kulipa madeni yake ikiwa:

Sheria zinazotumiwa kwa hali ya kutoweza kulipa madeni(ufilisi) nchini Uganda, zinahusu pia: Sheria ya Makampuni ya 2012, Sheria ya Kutoweza Kulipa Madeni(Ufilisi) ya 2011, na Kanuni za Ufilisi za 2013, na kanuni za ada za ufilisi za 2013, Ufilisi(hali ya kutoweza kulipa madeni) inahusu watu binafsi makampuni au mashirika.

Ameshindwa kutekeleza madai ya sheria inayoamuliwa kihalali;Utekelezaji /Uamuzi unaotolewa dhidi yake akitakiwa kulipa deni, haukujibiwa kikamilifu au kwa sehemu. - [Yaani mtu akishindwa kulipa deni analodaiwa na ametolewa hukumu alipe].Mali zake zote, au sehemu ya mali zake, zinamilikiwa au kudhibi�wa na Mfilisi au mtu mwingine yeyote; anayeshitaki au kudai juu ya mali hiyo.

Kuangalia na kuchunguzia masuala ya makampuni ya ufilisi na yanayoishiwa;Kuchunguza wakurugenzi, wabia, wachangiaji wenye kuchangia, na maafisa wote wa sasa na wale wa zamani wa kampuni inayofilisika, au wa kampuni inayokaribia kufungwa; au kufilisika, kwa kusudio la kuanzisha ulaghai wa utovu wa adabu;Kuchunguza ukuzaji, uundaji, kuanguka; na mwenendo wa kampuni inayofilisika;Kumfungulia mashitaka mtu yeoyote kwa makosa aliyotenda, chini ya sheria au kugundua kuwa, ana kesi ya kujibu kufua�a uchunguzi unaofanywa;Kuchunguza tabia za wanasheria/waweledi, na kuwafungulia mashitaka kwa makosa yoyote; chini ya Sheria hiyo ya ufilisi;Kuchukua hatua waka� wa kukosa mwanasheria/mweledi;Kuchukua hatua zote za busara na vitendo vinavyotazamiwa kufaa ama kusitahiki, kwa mfilisi, ili kutekeleza Sheria ya Ufilisi.

UFILISI WA SHIRIKAHii inahusiana na hali ya kampuni kutoweza kulipa madeni yake, yanapotarajiwa kulipwa. Ka�ka daraja hilo, kampuni inaweza kulazimika kuuza mali zake, au kukokonywa utawala ama kutangaziwa Mfilisi.

Page 15: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

1113

Faida za Kufunga Rasmi Biashara /Kampuni.Mashar� ya Kisheria yanayowekwa dhidi ya kampuni, kwa mfano: shar� la kutangaza msimamo wa kampuni hiyo, na kulipa kodi na mashar� mengine yanayotukia waka� wa kuendesha kampuni/biashara hiyo; yote hayo yanazimwa.Kampuni hiyo hunufaika kwa ulinzi fulani dhidi ya utekelezaji kazi au masuala mengine ya kisheria.Faida hizo hulinda matakwa ya wadai.Kampuni inaweza kupata maisha mapya, kwa mfumo wa kunusuriwa kibiashara, kwa mfano kupata ufilisi au mwangalizi.

Mi�ndo Ya Kufunga KampuniKufunga kampuni kwa hiari, mkiwemo wanachama kuamua wenyewe wafunge na wadai kuifunga.Kufunga kukiweko uwezekano wa kuangaliwa na Kor�/ Mahakma.Kulazimishwa kufunga/Kor� kuamua kampuni ifungwe.

1. Kampuni Kuuza Mali Zake/KufungwaHuu ni mchakato wa kuuza mali za kampuni. Hatua ya Utawala ni ule mchakato wa ufilisi unaopangwa kusaidia kampuni inusurike; hii, ikiwa suluhu bora ama ya maadili, kuliko kuuza mali zake. Ka�ka mchakato huo, huo, kampuni inapewa mazingira mema ya kujipanga upya, kwa lengo la kubadilisha kampuni ianze kupata faida; na kuvuna matokeo bora kwa wadai au wawia.

Kabla ya kampuni hiyo kutangaziwa ufilisi, kampuni hiyo inawekwa ka�ka hali ya uangalizi wa mda, ambapo agizo la kuilinda linatolewa. Mtawala wa mda anayeteuliwa na kampuni hiyo, anapaswa kui�sha mkutano wa wadai au wawia, ili kuthibi�sha uteuzi wake. Vilevile anatoa mapendekezo yake, kuhusu msitakbali wa kampuni hiyo, yazinga�we na wadai; wadai hao wakipiga kura kwa wingi, wakiunga mkono mapendekezo hayo, makubaliano yanafanywa, halafu kampuni inapata uangalizi mpya. Uangalizi huo mpya ukishindwa, mali za kampuni hiyo zauzwa na kufikia kikomo kabisa. Daraja hilo la kukomeshwa kabisa, ndilo la mwisho kwa kampuni inayofilisika kabisa.

Uamuzi huo, wa kufunga ama kuba�li kampuni, unaweza kutegemea sababu kadhaa. Kampuni hiyo inaweza kuamua iungane na nyingine kama shirikisho, kulingana na malengo yake; au wabia wanaweza kupoteza hamu kwa kazi/biashara ya kampuni hiyo.

Waka� mwingine, kampuni hiyo, inaweza kuwa na mata�zo ya kifedha, na kusababisha ugumu kwa shughuli za kampuni hiyo.

Kwa hali mbili za kwanza, kampuni inaweza kuwa na uwezo wa kulipa madeni, halafu ka�ka hali ya mwisho, kampuni haina uwezo wa kulipa madeni. Ka�ka hali kama hizo, wabia na uhusiano wa kampuni hiyo, vitakoma.

Page 16: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

14

Muhtasari Wa Mchakato Kwa Wanachama Wanaofunga Kwa Hiari

Kutangaza uwezo wa kulipa madeni kwa pamoja; na taarifa ya mali, na madeni, ukitolewa kiapo

na zaidi ya wakurugenzi

Pi�sha na sajili azimio maalumu ili kufunga na kuteua Mfilisi

Tangaza azimio ka�ka gaze� la Serikali na gaze� la kawaida

Mfilisi anachukua wajibu wa mashauri ya kampuni.

Mnamo siku 30

Mfilisi anatayarisha majalada na kutoa no�si, akitangaza ripo� ya

mwanzo.

Kila baada ya miezi sita

Mfilisi anatuma nakala ya hesabu /akaun� ya mwisho, na (anaandaa) anaweka yaliyojiri ka�ka mkutano

wa mwisho kwa jalada.

Mnam

o siku 14

Mnam

o siku 40

Mfilisi anatayarisha na kuweka kwenye majalada na kutoa no�si,

akitangaza ripo� ya mda

Mfilisi anatayarisha ripo� ya mwisho, akaun�/hesabu ya mwisho na kwa no�si ka�ka

magaze�, anai�sha mkutano wa hadhara/wa mwaka; wa mwisho.

Miezi mitatu tangu hesabu zisajiliwe, kampuni hiyo

inatazamiwa kama iliyovunjwa.

Mnamo siku 14

within which to re-organize its affairs with an aim of turning around the business to profitabili-

-

used interchangeably with winding up. Winding up is the process by which the life of a company is brought to an end. The decision to liquidate or wind up a company may be based on a number of factors. The

lose interest in the business the company was undertaking.

impossible. In the first two instances, the company may be solvent while in the last instance, the company is insolvent. In such cases, the shareholders may decide to liquidate or wind up the company. The person appointed for this purpose (the liquidator) will sell the assets of the company, pay off all its debts, distribute any balance to the shareholders and the life of the company will come to an end.

Benefits Of Formally Winding Up A Business/Company

legal process. (c) Protects the interests of creditors. (d) The company may acquire a new lease of life through business rescue mecha

Modes of Winding up (a) Voluntary winding up which includes; members’ voluntary winding up and credi-tors winding up. (b) Winding up subject to supervision of the Court. (c) Compulsory winding up/ winding up by Court.

Page 17: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

15

Kufunga Kukiweko Uwezekano Wa Kuangaliwa Na Korti/ Mahakma.Kampuni ikipi�sha azimio la kutaka kuifunga kwa hiari, kor� inaweza kutoa agizo kwamba kampuni hiyo, itaendelea na shughuli zake lakini, kukiweko uwezo wa kuangaliwa na kor�.Agizo lingine likitolewa, Kor� inaweza kuteua mfilisi mwingine, atakayekuwa na mamlaka/nguvu sawa.Mfilisi anaweza kutumia nguvu zake, na kanuni kwa njia sawa, na ile itumiwayo, ikiwa kampuni ilifungwa kwa hiari.

Kulazimishwa Kufunga/kor� Kuamua Kampuni Ifungwe.

Uangalizi

Mahakma Kuu ina uwezo wa kusikiliza masuala yote kuhusu hali ya kutoweza kulipa madeni.Baada ya kupokea malalamishi, Kor� inaweza kutoa agizo la kufunga kampuni hiyo; ikiridhika kwamba kampuni hiyo haiwezi kulipa madeni yake.Ulipaji madeni utaanza kufanyika, waka� ambapo malalamishi yatafanyika kwa kutaka ulipaji wa madeni uwepo.Kor� itateua Mfilisi rasmi au mtu yeyote anashughulika na masuala ya hali ya kufilisika/kuishiwa, kama mfilisi wa mda. Atakuwa na uwezo kuondoa mali zozote zinazoharibika upesi; ambazo zaweza kupoteza thamani kabisa.Mfilisi huyo wa mda, atai�sha mkutano wa wadai, baada ya siku 14 tangu ateuliwe na, amteue Mfilisi kamili.Mfilisi atatoa no�si ya kuteuliwa kwake, mnamo siku 5 tangu ateuliwe kwenye fomu 12, chini ya kanuni za kutokuwa na uwezo wa kulipa madeni za mwaka 2013.Wajibu kwa mfilisi kuweka ripo� kwenye jalada, na kui�sha mikutano utabaki kama ule unaowekwa chini ya aina nyinginezo za kufilisika.

Hii ni njia ambayo inatolewa, kufuatana na fomu 19, kwenye Orodha 1 ya kanuni za Kushindwa kulipa Madeni za 2013.

MICHAKATO YA KWANZA KWA KUOKOA SHIRIKA

Hali ya Uangalizi ni mchakato wa ufilisi, unaopangwa kusaidia kampuni iweze kupata nguvu mpya, aidha; hatua hiyo inatazamiwa kuwa bora na maadili, kuliko kutangazwa kwa hali ya ufilisi. Ka�ka mchakato huo, kampuni inapewa mazingira ya afueni (kupumua), waka� ambapo kampuni hiyo inaweza kujipanga upya, ili kuiwezesha kampuni hiyo kupata faida tena, na kupata matokeo bora kwa wadai.

Kabla ya hali ya uangalizi kuweko, kampuni inawekwa chini ya uangalizi wa mda; na agizo la uangalizi la mda kufanywa. Mwangalizi wa mda anayeteuliwa na kampuni, anapaswa kui�sha mkutano wa wadai; ili kuhakikisha kuteuliwa kwake, na kutoa mapendekezo yake, kuelekea hali ya baadaye ya kampuni hiyo; yote hayo yazinga�we na wadai. Wadai walio wengi mno, wakikubaliana na mapendekezo hayo, makubaliano yanafanywa, kufua�a hayo, kampuni hiyo inaanza kuangaliwa.

Hali hiyo ya uangalizi ikishindikana, kampuni hiyo inatangazwa kuwa imefilisika, na baadaye, kuvunjwa.

Page 18: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

16

Mnam

o siku 20 kila baada ya

miezi 6

Cheo cha/Daraja la Ufilisi/UpokeajiHizi ni hali za kuokoa wadai ka�ka hali ya kushindwa kuwalipa, na mdaiwa.

Mfilisi anaweza kuteuliwa chini ya makubaliano au stakabadhi ya mkopo; na kuweka ulinzi juu ya mali za kampuni, au na Kor�.

Mtazamo mkuu wa mfilisi, ni kutambua mali za kampuni, na kuendesha kazi/biashara za kampuni hiyo, kwa manufaa ya anayeshikilia usalama wa kampuni hiyo.

Mchakato wa cheo cha ufilisi ni huu ufuatao:

Weka no�si ya cheo cha ufilisi na uombe che� cha usalama

Tangaza no�si kwenye gaze� la kawaida na gaze� la kiserikali ya

hali ya ufilisi.

Mfilisi anachukua wajibu wa usimamizi wa kampuni/mali.

Tayarisha na panga ripo� ya mwanzo kuhusu hali ya mali

waka� wa ufilisi.

Mnamo siku 14

Tayarisha na panga ripo� baada ya kumaliza hali ya ufilisi.

Tayarisha na panga ripo� za miuda juu ya hali ya ufilisi.

Mnamo siku 40 tangu kuteuliwa.

Page 19: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

OFISI ZA KIMIKOA

Ofisi ya Eneo la Kasikazini mwa UgandaJengo la Wizara ya Haki/Sheria na Mashauri ya Ka�baPlo� 6B, Princess Rd (Barabara ya Princess)Gulu

Ofisi ya Eneo la Magharibi mwa UgandaJengo la Wizara ya Haki/Sheria na Mashauri ya Ka�baPlo� 1, Kilima cha Kamukuzi [Kamukuzi Hill],Mbarara

Ofisi ya Mkoa wa/Eneo la West Nile Jengo la Wizara ya Haki/Sheria na Mashauri ya Ka�baPlo� 42/44, Pakwach Road.

Ofisi ya Eneo la Mashariki mwa UgandaJengo la Wizara ya Haki/Sheria na Mashauri ya Ka�baPlo� 3, Park Crescent, Mbale.

Ofisi za Matawi ya Kampala1. Plo� 35 Kampala road, Posta Uganda Kibanda 1,2,3&5

2. Plo� 223 Lumumba Avenue Mamlaka ya Uwekezaji Uganda Ghorofa ya chini Twed Towers

3. Nakivubo Mews, Sekaziga House, Ghorofa ya Kwanza

Page 20: MWONGOZO WA TAARIFA€¦ · wa hivyo; aidha ni lazima iweze kuwakilishwa kwa kuandika au kuchorwa. Alama ya biashara, ni lazima iwe tofau kabisa, na isiyoelezeka. Mfano wa alama za

+256 417 338000

0800 100 006 (Toll Free)

URSBHQ

@URSBHQ

P.O.BOX 6848,Georgian House,Plot 5, George Street Kampala

www.ursb.go.ug

[email protected]

+256 712 448 448