Upload
others
View
5
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
i
Nani Mshindi wa Rede
Oscar Ndalibamale
rede.indd 1 11/4/15 11:41 AM
ii 1
Taasisi ya Elimu TanzaniaS. L. P 35094Dar es Salaam
Tanzania
© Taasisi ya Elimu Tanzania ,2015
Mwaandishi: Oscar NdalibamaleMchoraji: Abdul Gugu
Usanifu: Sisi Illustrators
Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili, kutafsiri,kupiga chapa kitabu hiki au sehemu yake kwa njia yoyote ile bila ya idhini ya Taasisi ya Elimu Tanzania.
rede.indd 2 11/4/15 11:41 AM
ii 1
Doto ni mlemavu wa ngozi.
1
Doto ni mlemavu wa ngozi.
rede.indd 1 11/4/15 11:41 AM
2 3
Siku moja Doto alikwenda nyumbani kwa Mama Salma.
2
rede.indd 2 11/4/15 11:41 AM
2 3
Alimkuta Mama Salma amekaa anaosha vyombo.
3
rede.indd 3 11/4/15 11:42 AM
4 54
Alipofika alimsalimia kwa kusema, “Shikamoo mama.”Mama Salma aliitikia, “Marahaba mwanangu.”
rede.indd 4 11/4/15 11:42 AM
4 55
Doto alisema, “Mama, nimekuja kucheza na Salma.”
rede.indd 5 11/4/15 11:42 AM
6 7
Doto alimkuta Salma nyuma ya nyumba akicheza rede na wenzake.
6
rede.indd 6 11/4/15 11:42 AM
6 7
Doto alisema, “Naomba kucheza rede nanyi.”
7
rede.indd 7 11/4/15 11:42 AM
8 98
Salma na wenzake walimcheka Doto. “Huwezi kucheza. Ngozi yako ni laini na huoni vizuri.”
rede.indd 8 11/4/15 11:42 AM
8 9
Wao walidhani Doto hawezi kucheza mchezo wowote.
9
rede.indd 9 11/4/15 11:43 AM
10 1110
Mama Salma aliposikia hivyo, aliwaambia “Chezeni pamoja Doto ni mtoto mwenzenu.”
rede.indd 10 11/4/15 11:43 AM
10 11
Watoto walikubali wakasema, “Basi, tufanye mashindano tupate mshindi wa rede.” Wote walikubali.
11
wa rede.” Wote walikubali.
rede.indd 11 11/4/15 11:43 AM
12 13
Mashindano yalianza. Kigo alidaka mpira mara moja.
12
Mashindano yalianza. Kigo alidaka mpira mara moja.
rede.indd 12 11/4/15 11:43 AM
12 13
Neema alidaka mpira mara mbili.
13
rede.indd 13 11/4/15 11:43 AM
14 15
Asha, Selina na Salma walilingana. Walidaka mpira mara tatu.
14
Asha, Selina na Salma walilingana. Walidaka mpira mara tatu.
rede.indd 14 11/4/15 11:43 AM
14 15
Doto alipoingia, alicheza kwa kukwepa mpira, kuruka juu na kudaka mpira mara tano.
15
mara tano.
rede.indd 15 11/4/15 11:44 AM
16 17
Doto alikuwa mshindi namba moja. Wote walisema, “Kumbe walemavu wanaweza kama sisi.”Walifurahi na kuimba:
Tusiwatenge walemavu, tuwapende walemavuWalemavu wanaweza, wanaweza kama sisi.Tusiwauwe walemavu, tuwapende walemavuWalemavu wanaweza, wanaweza kama sisi.Tusiwapige walemavu, tuwapende walemavuWalemavu wanaweza, wanaweza kama sisi.
16
Walifurahi na kuimba:
Tusiwatenge walemavu, tuwapende walemavuWalemavu wanaweza, wanaweza kama sisi.Tusiwauwe walemavu, tuwapende walemavuWalemavu wanaweza, wanaweza kama sisi.Tusiwapige walemavu, tuwapende walemavuWalemavu wanaweza, wanaweza kama sisi.
rede.indd 16 11/4/15 11:44 AM
16 17
Maswali1.Wewe huwa unacheza michezo gani mingine mbali na Rede?2.Taja ulemavu wa aina nyingine mbali na ulemavu wa ngozi?3.Watoto wangapi walikuwa wakicheza Rede nje ya nyumba ya Mama Salma?4.Kwa nini watoto walikataa kucheza na Doto?5.Je, watu gani hutengwa katika jamii?
rede.indd 17 11/4/15 11:44 AM
18
Shughuli
1.Kuwaongoza watoto kucheza michezo mbalimbali kama vile:a)Redeb)Damac)Mdakod)Mingineyo
2.Kuongoza watoto kufanya igizo dhima kuonyesha upendo na uadilifu katika maisha ya kila siku.
rede.indd 18 11/4/15 11:44 AM