2
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: [email protected] Website : www. ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425 PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM . Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewateua wabunge wawili (2) wapya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Walioteuliwa ni Dkt. Grace Khwaya Puja na Bwana Innocent Sebba. Rais amefanya uteuzi huu kwa mamlaka aliyopewa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 66 (I) (e) ambapo amepewa mamlaka ya kuteua wabunge wasiozidi 10. Uteuzi huu umekamilisha idadi ya wabunge ambao Mheshimiwa Rais amepewa kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo Kikatiba. Wabunge ambao wameshateuliwa ni: - Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa - Mhe. Profesa Sospeter Mwijarubi Muhongo - Mhe. Dkt. Asha Rose Migiro - Mhe. Janet Zebedayo Mbene - Mhe. Saada Salum Mkuya - Mhe. Zakhia Hamdani Meghji - Mhe. Shamsi Vuai Nahodha - Mhe. James Fransis Mbatia Uteuzi huu umeanza tarehe 20 Machi, 2015. ……………………………MWISHO………………………………. Imetolewa na: Premi Kibanga, Mwandishi wa Habari wa Rais, Msaidizi

RAIS KIKWETE ATEUWA WABUNGE WAWILI WAPYA

Embed Size (px)

DESCRIPTION

RAIS KIKWETE ATEUWA WABUNGE WAWILI WAPYA

Citation preview

Page 1: RAIS KIKWETE ATEUWA WABUNGE WAWILI WAPYA

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898

E-mail: [email protected] : www. ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE,

1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya

Mrisho Kikwete, amewateua wabunge wawili (2) wapya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Walioteuliwa ni Dkt. Grace Khwaya Puja na Bwana Innocent Sebba.

Rais amefanya uteuzi huu kwa mamlaka aliyopewa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 66 (I) (e) ambapo amepewa mamlaka ya kuteua wabunge wasiozidi 10.

Uteuzi huu umekamilisha idadi ya wabunge ambao Mheshimiwa Rais amepewa kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo Kikatiba.

Wabunge ambao wameshateuliwa ni:- Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa- Mhe. Profesa Sospeter Mwijarubi Muhongo- Mhe. Dkt. Asha Rose Migiro- Mhe. Janet Zebedayo Mbene- Mhe. Saada Salum Mkuya- Mhe. Zakhia Hamdani Meghji- Mhe. Shamsi Vuai Nahodha- Mhe. James Fransis Mbatia

Uteuzi huu umeanza tarehe 20 Machi, 2015.

……………………………MWISHO……………………………….Imetolewa na:Premi Kibanga,Mwandishi wa Habari wa Rais, MsaidiziIkulu-Dar-Es-Salaam26 Machi, 2015