Upload
others
View
35
Download
1
Embed Size (px)
Citation preview
Somo la 2 kwa ajili ya Octoba 13, 2018
“ ‘Kumcha Bwana ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu’ ”
(Mithali 9:10)
Fungu la Kukariri
Mungu anataka watuwake wawe wamoja. Kutii mapenzi ya Munguni muhimu ili kuufikiaumoja. Tunapokuwawamoja, furaha namafanikio hulijaza kanisana injili itahubiriwa kwanguvu.
Kwa bahati mbaya, watuwa Mungu hawajawamfano mzuri mara zote. Kwa hiyo, ni lazimatujifunze katika historiaya watu wa Mungu, ilitujifunze kutoka katikamakosa yaliyopita nakuwa wamoja leo.
Watu wa Israeli.
Hitaji la Utii.
Kufanya kila ninachotaka.
Hitaji la hekima.
Kanisa la kikristo.
Upendeleo.
Masilahi binafsi.
“na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti yaBwana, Mungu wako.” (Kumbukumbu la Torati 28:2)
Mungu alitoa masharti yaliyokuwa wazi sana kwa Israeli walipokaribia kuingia nchi ya ahadi:
KumtiiMungu Ukaiidi
Uzima tele naamani
(Kumb. 28:1-14)
Vita na Mizozo(Kumb. 28:15-
68)
Tunaweza kuuona huu mfululizo katika historia yote ya Israeli. Bahati mbaya, ukaidi ulikuwa mwingi kuliko utii.
Hata hivyo, Mungu alikuwa upandewao daima. Alituma manabii kuwaitawatubu kwa sababu aliwapenda watuwake (Yeremia 3:14-15; 31:3).
Mungu anayoshauku ya kuletamafanikio, umoja na afya kwa watuwake. Anaweza kufanya hivyotunapoishi katika Imani na utii.
“Kama ukimkaribia Yesu na kutafuta kupamba
taaluma yako kwa Maisha yaliyopangwa vyema na
mazungumzo ya kumcha Mungu, miguu yako
itaepushwa na njia mbaya. Kama tu utakesha, daima
kukesha katika maombi, kama utafanya kila kitu kana
kwamba uko mbele za Mungu kabisa, utaokolewa
usiingie majaribuni, na unaweza kuwa na tumaini la
kuwa safi, bila waa na usichafuliwa hata ule mwisho.
Ikiwa utaushika kwa uthabiti mwanzo wa ujasiri
wako hadi mwisho, njia zako zitathibitika katika
Mungu; na kile neema ilichokianzisha, utukufu
utakivika taji katika ufalme wa Mungu wetu.”E.G.W. (Testimonies for the Church, vol. 5, cp. 12, p. 148)
Watu wa Israeli walizifuata tamaa zao za kidunia na kukaidi sheria za Mungu. Walifanya makosa mawili mabaya:
a) Walitumikia miungu mingine (Waamuzi 2:11-13)b) Walioana na wakaanani (Waamuzi 3:5-7)
Kwa kudhamiria walikwenda mbali nangao ya ulinzi wa Mungu. Israeli ilitaabikakwa vita na dhambi mbaya kamamatokeo ya maamuzi yao.
Zaidi ya hayo, watu wa mataifawaliielewa vibaya tabia na sheria yaMungu kwa sababu ya kielelezo cha Israeli.
Kufanya kila ninachotaka kuna matokeomabaya sana. Hebu tufanya uamuzi wakufanya mapenzi ya Mungu tangu sasa.
“Basi Israeli wote walipoona ya kuwa mfalmehakuwasikia, hao watu walimjibu mfalme, wakasema, Tuna sehemu gani katika Daudi? Wala hatuna urithikatika mwana wa Yese. Haya! Nendeni zenu hemani
kwenu, enyi Israeli; sasa itunze nyumba yakomwenyewe, Ee Daudi. Hivyo Israeli wakaenda zao
hemani kwao.” (1 Wafalme 12:16)
Je; Kwa nini Israeli iligawanyika katika falme mbili?
Rehoboamu, mwana wa Suleimani, alitafuta hekimasehemu isiyo sahihi. Hakusikiliza ombi la watu wake, pia alikuwa katili na asiye na huruma.
Je; Tutapata wapi hekima ili kufanya maamuzisahihi?
Biblia hutuhimiza tutafute hekima, na kumchaMungu ndicho chanzo cha Hekima (Mithali 4:7; 9:10). Tunahitaji tu kuiomba: “Lakini mtu wakwenu akipungukiwa na hekima, na aombedua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.” (Yakobo 1:5).
Kulikuwa na makundi katikakanisa la korintho: Wenginewalisema walikuwa ni waApolo, wengine Paulo, wengineKefa na wengine Kristo.
Ndugu na dada huko Korinthowalielekeza macho yao kwawatu wema na kwa matendoyao. Hili lilileta faraka.
Mimi ni waApolo maana
yu mtu waelimu
Mimi ni waPaulo maanahuzungumzia
neema
Mimi ni wa Kefamaana alikuwa
na Yesu
Mimi ni waKristo
Moyo wa umoja ni Kristo. Ndiyekielelezo chetu na ni lazima macho yetu yaelekezwe kwake. Sotetukiutazama msalaba, tunaunganishwa kwa kusudi moja.
“Najua mimi ya kuwa baada ya kuondoka kwangu mbwa-mwitu wakaliwataingia kwenu, wasilihurumie kundi.” (Matendo 20:29)
Paulo alilitahadhalisha kanisa dhidi yawatu ambao wangekuja nakusababisha faraka ili kutumia kanisakujinufaisha.
Daima watakuwepo walimu wa uongo, lakini tunaweza kuzipinga kazi zao nakuuhifadhi umoja kanisani.
Kuna ushauri mzuri katika 2 Timotheo2:14-19 na 3:12-17 ili kuepukakupotoshwa:
Soma Biblia, ielewe na ufundishe.
Epuka mada za uvumi na zisizo na umuhimu. Iseme kweli.
Mtii Mungu.
“Mnyonroro wa dhahabu wa upendo,
unaowafunga pamoja waumini katika upendo,
katika mafundo ya ushirika na upendo, na katika
umoja na Kristo na Baba, hufanya muunganiko
kamili, na kupeleka kwa ulimwengu ushuhuda
wa nguvu ya ukristo ambao hauwezi kupingwa...
Ndipo ubinafsi utakapong’olewa na kukosa
uaminifu hakutaonekana. Hakutakuwa na
mivutano na migawanyiko. Usumbufu
hautaonekana ndani yake yule aliyefungwa
katika Kristo.” E.G.W. (That I May Know Him, June 16)