6
St. Gaspar Nursing School P.o. BOX 12, Itigi. Sing ida- Tanzania. TEL.0732- 960685, Fax: 0732- 960744. E-Mail l:[email protected] E-Mail 2:[email protected] Hongera kwa kufanikiwa kuchaguliwa kujiunga katika chuo cha Uuguuzi cha Mt. Gaspar. Chuo hiki kinatoa kozi ya Stashahada ya Uuguzi kwa wanaojiendeleza toka Muuguzi daraja B (Enrolled Nurse) kwenda Daraja A (Registered Nurse) kwa masafa (e-learning/distance learning). Muda wa mafunzo ni miaka miwili. Chuo kipo chini ya Usimamizi wa Kanisa Katoliki kikiendeshwa na Shirika la Wamisionari wa Damu Takatifu ya Yesu. Kwa kuwa chuo kinaendeshwa na Kanisa Katoliki kinafuata maadili, kanuni na taratibu za kikatoliki. Chuo kimesajiliwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania (TNMC) pamoja na National Council for Technical Education (NACTE). Chuo cha Uuguzi cha Mt. Gaspar kinapokea wanachuo wajinsia zote (Wanaume na Wanawake). Chuo kipo katika Mkoa wa Singida umbali wa km. 117 kutoka Singida mjini na umbali wa km. 40 kutoka Manyoni. Mazingira mazuri ya chuo na ya hospitali yanamfanya mwanachuo kuwa katika nafasi nzuri ya kusoma na hivyo kufaulu vizuri. Chuo kina kila kitu muhimu na cha lazima kwa kujisomea (walimu, majengo mazuri, vitabu, maji, vifaa vya mazoezi, umeme na hopitali nzuri). Chuo kinao uwezo wa kuchukuwa wanachuo wasiozidi 50 kwa kila kozi kila mwaka. Unakaribishwa sana katika Chuo cha Uuguzi cha Mt. Gaspar. MUUNDO WA ADA KWA E-LEARNING KWA MWAKA 2016-2017 NO MCHANGANUO MWAKAI MWAKA 11 1 ADA YA MAFUNZO 850,000.00 850,000.00 2 ADA YA VITABU 20,000.00 20,000.00 3 KITAMBULISHO 15,000.00 4 COMPUTER SERVICE 40,000.00 40,000.00 JUMLA 925,000.00 '910,000.00 1. Ada pamoja na malipo mengine yanapaswa kulipwa mara moja kwa mwaka mwanachuo anapoanza chuo au mara mbili, yaani kila mhula mpya unapoanza kwenye akaunti za chuo na si zaidi ya hapo. Ada na malipo mengine yanapaswa kulipwa muhula wa kwanza wa kila mwaka. Aidha kama unalipa kwa awamu mbili basi kila mwanzo wa muhula. Mwanachuo hataruhusiwa kuanza muhula wa pili kabla ya kumaliza malipo ya mhula wa kwanza. 2. Mwanachuo akiamua au akishauriwa kusitisha masomo kwasababu yoyote ile hawezi kurudishiwa ada yake pamoja na malipo mengine aliyofanya.

St. Gaspar Nursing Schoolstgasparhospital.co.tz/SCHOOL/INSTRUCTIONS-E-LEARNING.pdf · MUUNDO WA ADA KWA E-LEARNING KWA MWAKA 2016-2017 ... kusoma kwa bidii masomo ya ... chuo kinachoendeshwa

  • Upload
    phamnhu

  • View
    632

  • Download
    50

Embed Size (px)

Citation preview

St. Gaspar Nursing SchoolP.o. BOX 12, Itigi.Sing ida- Tanzania.TEL.0732- 960685,Fax: 0732- 960744.E-Mail l:[email protected] 2:[email protected]

Hongera kwa kufanikiwa kuchaguliwa kujiunga katika chuo cha Uuguuzi cha Mt. Gaspar. Chuohiki kinatoa kozi ya Stashahada ya Uuguzi kwa wanaojiendeleza toka Muuguzi daraja B(Enrolled Nurse) kwenda Daraja A (Registered Nurse) kwa masafa (e-learning/distancelearning). Muda wa mafunzo ni miaka miwili.

Chuo kipo chini ya Usimamizi wa Kanisa Katoliki kikiendeshwa na Shirika la Wamisionari waDamu Takatifu ya Yesu. Kwa kuwa chuo kinaendeshwa na Kanisa Katoliki kinafuata maadili,kanuni na taratibu za kikatoliki. Chuo kimesajiliwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania (TNMC) pamoja naNational Council for Technical Education (NACTE). Chuo cha Uuguzi cha Mt. Gasparkinapokea wanachuo wajinsia zote (Wanaume na Wanawake).

Chuo kipo katika Mkoa wa Singida umbali wa km. 117 kutoka Singida mjini na umbali wa km.40 kutoka Manyoni. Mazingira mazuri ya chuo na ya hospitali yanamfanya mwanachuo kuwakatika nafasi nzuri ya kusoma na hivyo kufaulu vizuri. Chuo kina kila kitu muhimu na chalazima kwa kujisomea (walimu, majengo mazuri, vitabu, maji, vifaa vya mazoezi, umeme nahopitali nzuri). Chuo kinao uwezo wa kuchukuwa wanachuo wasiozidi 50 kwa kila kozi kilamwaka. Unakaribishwa sana katika Chuo cha Uuguzi cha Mt. Gaspar.

MUUNDO WA ADA KWA E-LEARNING KWA MWAKA 2016-2017

NO MCHANGANUO MWAKAI MWAKA 111 ADA YA MAFUNZO 850,000.00 850,000.002 ADA YA VITABU 20,000.00 20,000.003 KITAMBULISHO 15,000.004 COMPUTER SERVICE 40,000.00 40,000.00

JUMLA 925,000.00 '910,000.00

1. Ada pamoja na malipo mengine yanapaswa kulipwa mara moja kwa mwaka mwanachuoanapoanza chuo au mara mbili, yaani kila mhula mpya unapoanza kwenye akaunti za chuo nasi zaidi ya hapo. Ada na malipo mengine yanapaswa kulipwa muhula wa kwanza wa kilamwaka. Aidha kama unalipa kwa awamu mbili basi kila mwanzo wa muhula. Mwanachuohataruhusiwa kuanza muhula wa pili kabla ya kumaliza malipo ya mhula wa kwanza.

2. Mwanachuo akiamua au akishauriwa kusitisha masomo kwasababu yoyote ile hawezikurudishiwa ada yake pamoja na malipo mengine aliyofanya.

3. Unatakiwa kufika chuoni tarehe 17110/2016 saa mbili kamili asubuhi kwa ajili ya usajili namafunzo ya utangulizi (face to face orientation) ambayo yatadumu kwa majuma mawili (haditarehe 29110/20 16). Kwa kipindi hiki utajitegemea kwa chakula na malazi uwapo hapa Itigi.Ratiba za mwendelezo wa mafunzo kwa mwaka mzima utaipata ufikapo hapa chuoni.

4. Aidha utatakiwa pia kulipia:~ NACTE Quality assurance fee shilingi 15,000/-. Kiwango hiki kinaweza

kubadilishwa na NACTE wakati wowote na utajulishwa (uje nazo taslimushuleni)

~ Ada ya mtihani 150,000/- hii utalipa moja kwa moja wizara ya afya, HealthServices Fund acc. 011103012059 NBC Corporate Branch Dar es salaam.Wizara ikibadilisha kiwango hiki utajulishwa rasmi.

~ Mchango wa mahafali shilingi 50,000/-. Fedha hizi uta lip a chuoni unapoanzamhula wa mwisho. Kiwango kinaweza kubadilika kutegemea mahitaji nathamani ya shilingi kwa wakati huo.

~ Vitabu vya mazoezi (Procedure Books)o General Nursing = 10,000/-o Delivery Book = 20,000/-o P.V Book = 5,0001-

Vitabu hivi vinapatikana hapa chuoni hivyo uje na fedha taslimu.

5. Ni wajibu wako kujua kiasi cha fedha ya ada na malipo mengine unachodaiwa na hivyokuhakikisha unakamilisha kwa wakati ulipoangwa. Uongozi hautawajibika kwa lolote kwamwanachuo kusimamishwa masomo au kutopewa namba ya mtihani kutokana na tatizo lakutokamilisha ada na malipo mengine.

6. Unatakiwa kuwepo chuoni muda wote kama ratiba itavyoonesha na kushiriki kikamilifukwenye mafunzo. Muda wote wa mafunzo hapa chuoni utatakiwa kuvaa sare za uuguzi kamazilivyopendekezwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania (TNMC). Aidha unatakiwakuzingatia maadili ya uuguzi muda wote. Pia unakurnbushwa kuwa mavazi ya kidinihayaruhusiwi kwenye chuo chetu isipokuwa mavazi maalumu ya Watawa wa Kikatoliki kwamujibu wa taratibu za Kanisa Katoliki.

7. Uwapo hapa chuoni hakikisha una kadi ya Bima ya Afya kwa ajili ya matibabu iwapo itatokeakuhitaji tiba kwa mud a huo. Iwapo huna kadi ya bima utalazimika kulipia Gharama za matibabukwa fedha taslimu ikitokea umeugua ukiwahapa Itigi.

8. Taratibu za mitihani:a) Mwanachuo lazima afuate sheri a na taratibu zote za mitihani.b) Kugushi kwa namna yoyote ile hakukubaliki.c) Mwanafunzi aliyejiunga na chuo na kugundulika kuwa ana vyeti vya kugushi chuo

hakitahusika wala hakitarejesha ada wala malipo mengine.d) Mwanachuo anapaswa kusoma kwa bidii masomo ya nadharia na vitendo. Hivyo

anapaswa kufaulu kwa kiwango kinachotakiwa na Chuo pamoja na NACTE. Kushindwakufikia kiwango husika hupelekea kurudia mitihani hata kusimamishwa masomo. Chuohakitahusika na kusimamishwa kwa mwanachuo hivyo ada wala malipo mengine

yaliyolipwa hayata rudishwa. Ufaulu wa chuo chetu ni kwa alama 60. Ukifeli somomoja kwa kupata alama chini 60 utarudia mtihani na ukifeli masomo matatu kwakupata alama chini 60 utarudia mwaka na ukifeli masomo manne hutaendelea namasomo.

9. Namna ya Kulipa Ada:Ada ya shule na ya mtihani wizara unapaswa kulipia kupitia Benki kwa akaunti ilivyooelekezwa.Fedha taslimu haitapokelewa. Hundi itapokelewa tu baada ya kukubaliwa Banki. Tafadhali njoona PAY IN SLIP - ya banki uliyolipia ada na kuiwasilisha katika ofisi ya malipo ya hospitali iliuweze kupatiwa risiti. Fedha kwa ajili ya matumizi binafsi isiwekwe katika akaunti ya chuo kwakuwa ukisha weka fedha kwenye akaunti ya chuo hutarejeshewa tena.

JINA LA AKAUNTI: ST. GASPAR NURSING SCHOOLTAWI: CRDB - SINGIDA NAMBA YA AKAUNTI: 01J1049836000

AU

JINA LA AKAUNTI: ST. GASPAR NURSING SCHOOLTAWI: NMB- ITIGI NAM,BA YA AKAUNTI: 51910001256

KUTHIBITISHA NA KUKUBALI:

Mimi nathibitisha na kukubali kuwa,nimesoma na kuelewa vizuri sheri a hizi zote zinazoongoza chuo kinachoendeshwa kwa kanunina sheri a za Baraza la Maaskofu Tanzania (TEe), esse, Hospitali ya Rufaa ya S1.Gaspar na zaWizara ya Afya na Ustawi wa jamii. Ninaahidi kuzifuata sheria hizi. Nisipozifuata sheri a hizinakubali kuchukuliwa hatua ya kinidhamu kama kupewa adhabu, kusimamishwa masomo hatakuachishwa masomo.

Sahihi na jina la mwanafunzi mbele yaMzazi I Mlezi I Mfadhili/Mwajiri. Tarehe .

Sahihi na jina la ya Mzazi I Mlezi I MfadhililMwajiri Tarehe

St. Gaspar Nursing SchoolP.o. BOX 12, ltigiSingida- TanzaniaTeL +25513.2960685E·Mailinfo@[email protected]: +255 2625.403061 +255732- 960744.

19/09/2016

IT ISGNS/07 107

ToMr. Miss .

Director

U.FS

P.O. Box 12ITIGI

Please refer the above heading.

I am pleased to inform you that you have been selected to attend diploma e- learning course innursing at our school.

The requirements for the courses are as follows:The applicant should have passes in science subjects with rmrumum of 'D' In Biology orChemistry.

COllr~p. duration i~ two (I) vears- - _. - - - - _.- -- 0- •• _ ,,- / .I - ._.-

If you have the above qualifications and you are selected by NACTE Online Admission System(NOAS) you are invited to attend the course and if you do not have them, please do not come.The school will not be held responsible for not being admitted or after admission being sent backdue to lack of entrance criteria.

You are required to attend orientation (face to face facilitation) course from 17th October - 29th

October 2016, thereafter you will return to your work station and continue with the e-learningprogram as instructed.

1

• =

You are advised to arrive at Itigi on Sunday 16th October 2016 and book for accommodationand meals of your own convenience and at your own cost for the entire duration of 16 days.Please note that there will be no extension of the orientation program. Report at the school onMonday 17thOctober 2016 at 8.00 a.m.

1. Deposit your school fees at NMB Itigi Account number 51910001256 or CRDB Singidaaccount number 01J1049836000. The fee structure and mode of payment is stipulatedoverleaf. l\JA;i',tE. ()...F ~N1;: ~. G~ N""RSiM.. £~

2. Bring the following with you:a) Original form IV certificates plus General Nursing and Midwifery Certificate as well as

the original valid Nursing License.b) Nurses uniform as prescribed by TNMC.c) Closed leather shoes white or blackd) Recently taken photographs:

~ One stamp size photograph for identity card~ Four passport size photographs

e) Birth certificatef) Letters of recommendation from your current employer.

3. Portable Computer (Laptop or I pad) with battery life of at least 3 hours

4. Smartphone (3G and above) with internet connection and WhatsApp application

5. Stationeries:~ One ream of photocopy/multipurpose papers~ Notebook~ Pens).> Penciis~ Ruler~ Rubber eraser~ .Blank (empty) writable DVD

Yours are welcome

2