7
Hukumu za Swala https://www.al-feqh.com/sw

sw - فقه العبادات المصور | علمHukumu za Swala 1.Swala ya mwenye kukaa a. Katika Swala ya Sunna: Swala ya mwenye kukaa ni sahihi na thawabu zake ni nusu ya zile

  • Upload
    others

  • View
    18

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

  • Hukumu za Kiislamu zilizowepesishwa

    Fiqhi ya ‘Ibada yenye picha zilizochorwa

    HijjaZakat Funga Swala Tohara

    Tarjama Dr Abdalla Khatib Sheikh Salim Barhayan

    Ustadh Said AbduUstadh Ahmed Yasin MustafaSheikh Said Bawazir

    Marejeo

    Hukumu za Swala

    https://www.al-feqh.com/swht

    tps:

    //ww

    w.a

    l-feq

    h.co

    m/s

    wht

    tps:

    //ww

    w.a

    l-feq

    h.co

    m/s

    wht

    tps:

    //ww

    w.a

    l-feq

    h.co

    m/s

    wht

    tps:

    //ww

    w.a

    l-feq

    h.co

    m/s

    wht

    tps:

    //ww

    w.a

    l-feq

    h.co

    m/s

    w

    https://www.al-feqh.com/sw/category/hijjahttps://www.al-feqh.com/sw/category/zakahttps://www.al-feqh.com/sw/category/saumuhttps://www.al-feqh.com/sw/category/swalahttps://www.al-feqh.com/sw/category/twaharahttps://www.al-feqh.com/sw

  • 110

    Mlango wa Swala

    Fiqhi ya ‘Ibada yenye picha zilizochorwa

    Hukumu za Swala1.Swala ya mwenye kukaaa. Katika Swala ya Sunna: Swala ya mwenye kukaa ni sahihi na thawabu zake ni nusu ya zile za mwenye kuswali kwa kusimama, kwa kuwa Mtume (S.A.W) alisema: (Akiswali kwa kusimama, basi hivyo ni bora. Na mwenye kuswali kwa kukaa basi thawabu zake ni nusu ya thawabu za mwenye kusimama. Na mwenye kuswali kwa kulala, basi thawabu zake ni nusu ya thawabu mwenye kukaa)(1). Na akiswali kwa kukaa kwa dharura, basi atapata thawabu kamili, kwa kauli yake Mtume ملسو هيلع هللا ىلص: (Mja akiwa Mgonjwa au akiwa safarini, basi ataandikiwa thawabu mfano wa thawabu ya yale mema ambayo alikuwa akiyafanaya alipokuwa mjini na kuwa mzima)(2).

    (1) Imepokewa na Bukhari.(2) Imepokewa na Bukhari.

    7

    Y a l i y o m oSwala ya mwenye kukaa

    Kutia nia

    Kusoma suratul Fatiha

    Kusema «Aamiin›

    Vinyamazo vya imamuKusoma kwa sauti wakati wa kukidhi Swala ya Faradhi, na Swala za sunnaKuinua mikono

    Kuipata rakaa

    Kujituliza.

    Kutingisa Ulimi

    Namna ya Kusujudu

    Kutingisa kidole

    https://www.al-feqh.com/swht

    tps:

    //ww

    w.a

    l-feq

    h.co

    m/s

    w

    https://www.al-feqh.com/sw/hukumu-za-swala

  • 111Fiqhi ya ‘Ibada yenye picha zilizochorwa

    Hukumu za Swala

    b. Katika Swala ya Faradhi: Mwenye kuswi kwa kukaa hali yakuwa anaweza kusimama swala yake haikubaliwi

    2. Kutia niaMiongoni mwa hukumu za nia: 1. Haifai kuikata nia katikati ya Swala. Yoyote

    mwenye kutia nia ya kukata Swala, basi Swala yake huharibika na analazimika kuianza upya.

    2. Mwenye kufunga Swala ya Sunna haitafaa kuigeuza katikati yake kuifanya Swala ya faradhi.

    3. Mwenye kufunga Swala ya fardhi akiwa ana swali peke yake kisha ikakimiwa Swala ya jamaa, inafaa aigeuze nia yake kuifanya ni Swala ya sunna na akamilishe rakaa mbili kisha apige Salamu na aswali pamoja na jamaa.

    3.Kusoma Suratul Fatiha Ni lazima kwa mwenye kuswali kusoma Fatiha, katika Swala ya kujihirisha (kusoma kwa sauti), hata kama ni maamuma. Ubadah bin Swamit alisema: (Tulikuwa nyuma ya Mtume wa Mwenyezi Mungu ملسو هيلع هللا ىلص katika Swala ya Alfajiri, akasoma Mtume wa Mwenyezi Mungu ملسو هيلع هللا ىلص, na kisomo kikawa kizito kwake. Alipomaliza Mtume alisema: (Huenda nyinyi mnasoma nyuma ya ,ملسو هيلع هللا ىلصimamu wenu? Wakasema: ‘Ndio, tunafanya hivyo, ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu’. Akasema ملسو هيلع هللا ىلص: “Msifanye hivyo isipokuwa kwa Ufunguzi wa Qur’ani (Fatiha), kwani asiyeisoma huwa hana Swala)(1).

    (1) Imepokewa na Abu Daud.

    4- Kusema ‹Aamiin› Kusema ‹Aamiin’ ni sunna kwa kila mwenye kuswali, awe ni imamu au maamuma au mwenye kuswali peke yake au mwenye kuswali faradhi au mwenye kuswali Swala ya sunna, ziwe ni katika swala za kusoma kwa siri au za kusoma kwa sauti.

    Dalili yake ni neno la Mtume ملسو هيلع هللا ىلص: (Imamu akisema ‘Aamiin’, basi na nyinyi semeni ‘Aamiin’. Kwani yoyote yule ambaye Amina yake imeafikiana na Amina ya Malaika, atasamehewa dhambi zake zilizotangulia)(2)

    (2) Imepokewa na Bukhari.

    https://www.al-feqh.com/swht

    tps:

    //ww

    w.a

    l-feq

    h.co

    m/s

    w

  • Mlango wa Swala

    112 Fiqhi ya ‘Ibada yenye picha zilizochorwa

    5. Vinyamazo vya imamu1. Kinyamazo baina ya takbiri na kisomo kwa

    ajili ya dua ya kufungia Swala.

    2. Kinyamazo baina ya Fatiha na Sura. Maamuma atasoma Fatiha katika vinyamazo vya imamu.

    3. Kinyamazo baada kumaliza kisomo kabla ya kurukuu.

    6. Kusoma kwa sauti wakati wa kukidhi Swala ya Faradhi, na Swala za sunna Ikimpita Swala na akataka kuilipa: je, atasoma kwa siri au atasoma kwa sauti?

    Linalozingatiwa ni ile Swala yenyewe, na sio wakati wa kuilipa, kwani lau anailipa Swala ya kusoma kwa sauti katika kipindi cha mchana, atatakiwa asome kwa sauti.

    Sunna ni kusoma kwa siri katika Swala za sunna isipokuwa kunapokuwako dalili ya kusoma kwa sauti, kama vile Swala ya Tarawehe na Swala ya kupatwa kwa mwezi.

    7. Kuinua mikono Mikono huinuliwa katika sehemu zifuatazo:

    1. Takbiri ya kufungia Swala.

    2. Takbiri ya kurukuu.

    3. Wakati wa kuinuka kutoka kwenye rukuu.

    4. Wakati wa kuinuka baada ya kikao cha Atahiyatu ya kwanza.

    8. Kuipata rakaa Maamuma anapoiwahi rukuu pamoja na imamu, basi huwa ameipata rakaa, kwa kauli yake Mtume Mwenye kuwahi Rukuu, basi huyo ameipata) :ملسو هيلع هللا ىلصRakaa)(1).

    9. Kujituliza Kujituliza katika nguzo zote za Swala ni mojawapo ya nguzo za hiyo Swala ambayo bila hiyo Swala haiwi sahihi. Hii ni kwa hadithi iliyopokewa na Abu Hurairah kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu ملسو هيلع هللا ىلص aliingia msikitini. Kisha akaja mtu akaingia akaswali, kisha akaja akampigia Salamu Mtume wa Mwenyezi Mungu ملسو هيلع هللا ىلص, na Mtume wa Mwenyezi Mungu ملسو هيلع هللا ىلصakamrudishia salamu. Akasema kumwambia: “Rudi uswali kwani wewe

    (1) Imepokewa na Abu Daud.

    https://www.al-feqh.com/swht

    tps:

    //ww

    w.a

    l-feq

    h.co

    m/s

    w

  • 113Fiqhi ya ‘Ibada yenye picha zilizochorwa

    11-Namna ya kusujudu Kusujudu kunakuwa kwa viungo saba kwa neno lake Mtume ملسو هيلع هللا ىلص: (Mja anaposujudu vinasujudu pamoja naye viungo saba: uso wake, vitanga vyake viwili vya mkono, magoti mawili yake na nyayo mbili zake)(2).

    12.Kuashiria kwa kidole Sunna ni kuashiria kidole katika kikao cha Atahiyatu., kwa hadithi ya Waail bin Hujr: (Kisha akainua kidole chake nikamuona akikitingisha, akiomba dua kwacho) (3).

    (2) Imepokewa na Bukhari na Muslim.(3) Imepokewa na Nasai.

    hukuswali”. Yule mtu akarudi akaswali kama alivyoswali. Kisha akaja kwa Mtume ملسو هيلع هللا ىلص akampigia salamu. Mtume wa Mwenyezi Mungu ملسو هيلع هللا ىلص akasema kumjibu: “Na wewe salamu zikushukie” kisha akasema: “Rudi uswali kwani wewe hukuswali”(1).

    10. Kutingisha ulimi Haitoshi katika kusoma Qur, ani, na kupiga takbiri na kutoa dhikri, kisomo cha moyoni, bali hapana budi kutamka. Na uchache wake ni kutikisa ulimi na mdomo kwa kisomo.

    (1) Imepokewa na Bukhari.

    Hukumu za Swala

    https://www.al-feqh.com/swht

    tps:

    //ww

    w.a

    l-feq

    h.co

    m/s

    w

  • Mlango wa Swala

    114 Fiqhi ya ‘Ibada yenye picha zilizochorwa

    NyayoMagotiVitanga vya mikonoPaji la uso

    https://www.al-feqh.com/swht

    tps:

    //ww

    w.a

    l-feq

    h.co

    m/s

    w

  • 115Fiqhi ya ‘Ibada yenye picha zilizochorwa

    Yasiofaa-Kutowa sauti wakati wa kutia

    nia na kulazimisha kufuata nia wakati wa kupiga takbiri ya kufungia swala.

    - Kuzidisha neno (Washukru) wakati wakusema (Rabbanaa walakal Hamdu) na ziada hii haikupokewa kutoka kwa Mtume ملسو هيلع هللا ىلص

    - Kuzidisha neno la (Sayyidnaa) katika Attahiyatu, au katika kumswalia Mtume ملسو هيلع هللا ىلص Katika Swala

    -Kuashiria kwa mkono wa kulia upande wa kulia na kwa mkono wa kushoto upande wa kushoto wakati wa kutoa salamu

    - Kupeana mikono baada ya kuswali, na kusema Haram, na mwengine kusema Jama’an na Mfano wake

    -Wanavo fanya baadhi ya wenye kuswali kusoma mmoja wao Ayatul kursi kisha kusema: Subhana llah na wao wakaleta nyuma yake Tasbihi

    -Kupangusa Uso baada ya Dua na Dhikri

    Hukumu za Swala

    https://www.al-feqh.com/swht

    tps:

    //ww

    w.a

    l-feq

    h.co

    m/s

    w