76
1 http://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli.html UKWELI NI HUU (KUUSUTA UWONGO) Aman Thani Fairooz Dibaji Kitabu Hichi Ukweli Ni Huu (Kuusuta Uwongo) Utukufu Na Neema Ya Zanzibar Zanzibar Na Ubaguzi Kabla Ya Mavamizi Ubaguzi Umeanzishwa Zanzibar Wakati Wa Serikali Yenye Kujiita Ya "Mapinduzi" Elimu Na Matibabu Bure! Taalimu Matibabu Hali Za Maisha Neema Zilikuwepo Kuanza Harakati Za Siasa Sheikh Ali Muhsin Kwenda Nchi Za Ulaya Ikiwemo Na Uingereza Kupigania Uchaguzi Wa "Common Roll" (Mtu Mmoja Kura Moja). Kuasisiwa HizbulWattan (Zanzibar Nationalist Party) Wakoloni Dhidi Ya Hizbu, Uhuru Na Umoja Wa Zanzibar Makao Makuu Ya Hizbu Hizbu Kumleta Zanzibar Seyyid AbdulRahman (Babu) Natija Ya Safari Ya Sheikh Ali Muhsin Wakoloni Na Nyerere Ndio Waasisi Wa AfroShirazi Uchaguzi Wa Mwanzo Juni 1957 Kwanini Sheikh Ali Muhsin Aliamua Kusimama N'gambo Badala Ya Majumba Ya Mawe? Kwenye Shari Huzaliwa Kheri Kukuwa Kwa Harakati Za Siasa Ati Husemwa Kuwa Hizbu Imefeli! Kugawanyika Kwa AfroShirazi Kuasisiwa Kwa Zanzibar And Pemba Peoples' Party (ZPPP) Tume Ya Sir Hillary Blood Uchaguzi Wa Pili, Januari 1961 Uchaguzi Wa Tatu Juni 1961 Ushirikiano Wa ZNP/ZPPP Kutokufaulu Mazungumzo Ya Mwanzo Ya Katiba Ya Uhuru AfroShirazi Iliandaa Machafuko Siku Ya Uchaguzi Muungano Wa ZNP/ZPPP, Waunda Serikali Kutokufaulu Mazungumzo Ya Mwanzo Ya Katiba Ya Uhuru Babu Kutoka Katika Hizbu Dhamiri Za Babu Kufungwa Gerezani Kwa Seyyid AbdulRahman Babu Kutolewa Gerezani Babu Babu Na Fisadi Yake Ya Mwisho Kipi Kilicho Mpelekea Babu Kuchukua Khatua Kama Hizo Uchaguzi Wa Julai 1963 Nyerere Anasema Wakoloni Walipendelea Kuiacha Serikali Ya Zanzibar Mikononi Mwa Hizbu Mkutano Wa Katiba Ya Uhuru. Uhuru Wa Zanzibar Sherehe Za Uhuru Yaitwayo "Mapinduzi" Kuuliwa Kwa Muhsin, Suleiman Na Ahmed

UKWELI NI HUU (KUUSUTA UWONGO) · PDF fileUbaguzi Umeanzishwa Zanzibar Wakati Wa Serikali Yenye Kujiita Ya "Mapinduzi" ... (na ndugu zetu wa Tanganyika, bali na ulimwengu, ... roho

Embed Size (px)

Citation preview

  • 1

    http://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli.html

    UKWELI NI HUU

    (KUUSUTA UWONGO) Aman Thani Fairooz

    Dibaji Kitabu Hichi Ukweli Ni Huu (Kuusuta Uwongo) Utukufu Na Neema Ya Zanzibar Zanzibar Na Ubaguzi Kabla Ya Mavamizi Ubaguzi Umeanzishwa Zanzibar Wakati Wa Serikali Yenye Kujiita Ya "Mapinduzi" Elimu Na Matibabu Bure! Taalimu Matibabu Hali Za Maisha Neema Zilikuwepo Kuanza Harakati Za Siasa Sheikh Ali Muhsin Kwenda Nchi Za Ulaya Ikiwemo Na Uingereza Kupigania Uchaguzi Wa "Common Roll" (Mtu Mmoja Kura Moja). Kuasisiwa HizbulWattan (Zanzibar Nationalist Party) Wakoloni Dhidi Ya Hizbu, Uhuru Na Umoja Wa Zanzibar Makao Makuu Ya Hizbu Hizbu Kumleta Zanzibar Seyyid AbdulRahman (Babu) Natija Ya Safari Ya Sheikh Ali Muhsin Wakoloni Na Nyerere Ndio Waasisi Wa AfroShirazi Uchaguzi Wa Mwanzo Juni 1957 Kwanini Sheikh Ali Muhsin Aliamua Kusimama N'gambo Badala Ya Majumba Ya Mawe? Kwenye Shari Huzaliwa Kheri Kukuwa Kwa Harakati Za Siasa Ati Husemwa Kuwa Hizbu Imefeli! Kugawanyika Kwa AfroShirazi Kuasisiwa Kwa Zanzibar And Pemba Peoples' Party (ZPPP) Tume Ya Sir Hillary Blood Uchaguzi Wa Pili, Januari 1961 Uchaguzi Wa Tatu Juni 1961 Ushirikiano Wa ZNP/ZPPP Kutokufaulu Mazungumzo Ya Mwanzo Ya Katiba Ya Uhuru AfroShirazi Iliandaa Machafuko Siku Ya Uchaguzi Muungano Wa ZNP/ZPPP, Waunda Serikali Kutokufaulu Mazungumzo Ya Mwanzo Ya Katiba Ya Uhuru Babu Kutoka Katika Hizbu Dhamiri Za Babu Kufungwa Gerezani Kwa Seyyid AbdulRahman Babu Kutolewa Gerezani Babu Babu Na Fisadi Yake Ya Mwisho Kipi Kilicho Mpelekea Babu Kuchukua Khatua Kama Hizo Uchaguzi Wa Julai 1963 Nyerere Anasema Wakoloni Walipendelea Kuiacha Serikali Ya Zanzibar Mikononi Mwa Hizbu Mkutano Wa Katiba Ya Uhuru. Uhuru Wa Zanzibar Sherehe Za Uhuru Yaitwayo "Mapinduzi" Kuuliwa Kwa Muhsin, Suleiman Na Ahmed

    http://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli.htmlhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli.html#DIBAJI#DIBAJIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli.html#KITABU HICHI#KITABU HICHIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli.html#UKWELI NI HUU#UKWELI NI HUUhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli0.html#UTUKUFU NA NEEMAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli0.html#UBAGUZIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli0.html#UBAGUZI MAPINDUZIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli0.html#ELIMU NA MATIBABUhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli0.html#TAALIMUhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli0.html#MATIBABUhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli0.html#HALI ZA MAISHAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli0.html#NEEMA ZILIKUWEPOhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli1.html#KUANZA SIASAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli1.html#SHEIKH ALIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli1.html#SHEIKH ALIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli1.html#HIZBUL-WATTANhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli1.html#WAKOLONI DHIDIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli1.html#MAKAO MAKUUhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli1.html#KUMLETA BABUhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli1.html#SAFARI YA ALI MUHSINhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli1.html#WAKOLONI NA NYEREREhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli1.html#UCHAGUZI 1957http://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli1.html#KUSIMAMA N'GAMBOhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli1.html#KWENYE SHARIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli2.html#KUKUWA SIASAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli2.html#HIZBU IMEFELI!http://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli2.html#KUGAWANYIKA ASPhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli2.html#KUASISIWA ZPPPhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli2.html#SIR HILLARY BLOOD.http://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli2.html#UCHAGUZI WA PILIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli2.html#UCHAGUZI WA TATUhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli2.html#MUUNGANO ZNP/ZPPPhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli2.html#KUTOKUFAULU MAZUNGUMZOhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli2.html#ASP Machafukohttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli2.html#MUUNGANO ZNP/ZPPPhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli2.html#KUTOKUFAULU MAZUNGUMZOhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli3.html#BABU KUTOKA HIZBUhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli3.html#DHAMIRI ZA BABUhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli3.html#KUFUNGWA BABUhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli3.html#KUTOLEWA BABUhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli3.html#BABU FISADIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli3.html#BABU KUCHUKUA KHATUAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli4.html#UCHAGUZI WA JULAI 1963http://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli4.html#NYERERE ANASEMAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli4.html#MKUTANO WA KATIBAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli4.html#UHURUhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli4.html#SHEREHEhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli5.html#YAITWAYO MAPINDUZIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli5.html#MUHSIN, SULEIMAN NA AHMED

  • 2

    Kifo Cha Ali Mzee Mbalia "Skolashipu" Za Misri Yaliyo Nifika Nafsi Yangu Na Hayo Yenye Kuitwa "Mapinduzi" Maafa Ya Gerezani Kufungwa Kifungo Cha Miaka 10 Gerezani Kiasi Cha Kazi Alichokuwa Akifanyishwa Mfungwa Maovu Waliyotendewa "Wafungwa Wa Kisiasa" Kutolewa Gerezani Nakimbilia DarEsSalaam Mahabusi Wadhulumiwa Wa Mwalimu Nyerere Mateso Ya "Kwa Ba Mkwe" Maisha Ya Gereza Langoni Nyakati Za Kufanyishwa Kazi "Wafungwa Wa Sisasa" Ufungwa Wa Karume Ni Zaidi Ya Utumwa Kurejeshewa Uhuru Wetu Kuuliwa Wananchi Msikitini Kuuliwa Kwa Wananchi Wengine Namna Walivyo Uliwa Wafungwa Waliyokufa Gerezani (1) Mzee Mohammed Mbaba (2) Maalim Harun Ustadh (3) Idi Hassan (4) Ramadhan Ibrahim Saadalla Wameuliwa Vifungoni Wafungwa Wengine Wauliwa "Wafungwa Wa Siasa" Bado Waendelea Kuuliwa Aliyonizungumziya Twala Yalomfika Othman Shariff Kuteswa Na Kuuliwa Othman Shariff Kufungwa Na Kuuliwa Saleh Saadalla Karume Kuanza Kumbadilikia Twala Mwisho Wa Twala Makomred Wamechangia Maafa Yaliopo Nchini Kwanini Mwalimu Nyerere Alikataa Kuwapeleka Zanzibar Watuhumiwa Wa Kesi Ya Ukhaini? Siri Hii Ni Kubwa Sana!! Serikali Ya Mavamizi Ya Zanzibar Bado Imo Na Ubaguzi Wake Nilitakiwa Nitoke Nchini Namna Nilivyoondoka Kuukimbia Wattani Wangu Kuleta Ahli Zangu Dubai Mengineyo Kwa Ufupi Mwalimu Na Uislamu Mwalimu Na Utumwa Porojo La Mitaani Demokrasi Ya Vyama Vingi (MultiParty Democracy) Vipi Kuifikilia Demokrasi Shukrani

    DIBAJI Namshukuru Mwenye Enzi Mungu Mwenye Wingi wa Rehema Kubwa na Ndogo kuniwezesha kuandika kijitabu hiki ambacho nimejaribu kiasi nilichoweza kuyaeleza yale yaliyotokea katika Nchi yetu, Zanzibar. Na yaliyonitokelea mimi mwenyewe na yaliyowatokelea Wananchi wenzangu kutokana na hayo yenye kuitwa, "Mapinduzi" yaliyofanyika katika Visiwa vyetu mnamo taarikh 12 Januari, 1964. Haya ninayoyaandika ni kiasi ya hayo niyajuayo mimi tu; hapana shaka yapo mengi ambayo sikupata kuyajuwa. Bali nataraji watatokea wenzangu nao, wakayaeleza waliyotendewa au waliyoyaona yakitendwa.

    http://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli5.html#ALI MZEEhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli5.html#SKOLASHIPUhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli6.html#YALIYO NIFIKAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli6.html#MAAFA YA GEREZANIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli6.html#KUFUNGWA MIAKA 10http://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli6.html#KAZI MFUNGWAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli6.html#MAOVU WALIYOTENDEWAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli6.html#KUTOLEWA GEREZANIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli6.html#NAKIMBILIAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli7.html#MAHABUSI WADHULUMIWAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli7.html#KWA BA MKWEhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli7.html#GEREZA LANGONIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli7.html#NYAKATI ZA KUFANYISHWA KAZIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli7.html#UFUNGWA WA KARUMEhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli8.html#KUREJESHEWA UHURU WETUhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli8.html#KUULIWA WANANCHI MSIKITINIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli8.html#KUULIWA KWA WANANCHI WENGINEhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli8.html#NAMNA WALIVYO ULIWAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli8.html#WAFUNGWA WALIYOKUFA GEREZANIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli8.html#WAFUNGWA WALIYOKUFA GEREZANIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli8.html#WAFUNGWA WALIYOKUFA GEREZANIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli8.html#WAFUNGWA WALIYOKUFA GEREZANIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli8.html#WAFUNGWA WALIYOKUFA GEREZANIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli8.html#WAMEULIWA VIFUNGONIhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli8.html#WAFUNGWA WENGINEhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli8.html#WAFUNGWA WA SIASA WAULIWAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli9.html#ALIYONIZUNGUMZIYA TWALAhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli9.html#YALOMFIKA OTHMAN SHARIFFhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli9.html#KUTESWA NA KUULIWA OTHMAN SHARIFFhttp://www.fortunecity.com/victorian/abbey/313/ukweli9.html#K