27
Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini? Ufuatiliaji wa rasilimali za umma au kwa kingereza Public Expenditure Tracking Systems (PETS) ni mchakato wa kuangalia na kuchambua au kufuatilia mapato na matumizi ya rasilimali za umma tangu vianzo mpaka mwisho wa matumizia au utoaji wa huduma Ni mchakato wa kufuatilia rasilimali za umma kama fedha tangu inapotolewa na serikali kuu, mpaka mikononi mwa serikali za mitaa na hatimaye kwa watumiaji wa mwisho kama kiliniki, shule au wanachi wa mtaa

Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

  • Upload
    others

  • View
    87

  • Download
    4

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?

• Ufuatiliaji wa rasilimali za umma au kwa kingereza Public Expenditure Tracking Systems (PETS) ni mchakato wa kuangalia na kuchambua au kufuatilia mapato na matumizi ya rasilimali za umma tangu vianzo mpaka mwisho wa matumizia au utoaji wa huduma

• Ni mchakato wa kufuatilia rasilimali za umma kama fedha tangu inapotolewa na serikali kuu, mpaka mikononi mwa serikali za mitaa na hatimaye kwa watumiaji wa mwisho kama kiliniki, shule au wanachi wa mtaa

Page 2: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?

• Ni mchakato wa kufuatilia rasilimali za umma kama fedha tangu inapotolewa na serikali ya wilaya, mpaka mikononi mwa serikali za mitaa na hatimaye kwa watumiaji wa mwisho kama kiliniki, shule au wanachi wa mtaa

• Kwa namna nyingi PETS ni mfumo wa kutoa tarifa ya rasilimali kwa namna inayowawezesha wahusika (watendaji) au wananchi kupata na kujadili tarifa mbali mbali kuhusu rasilimali za umma na kulinganisha tarifa hizi na matumizi au huduma inayotolewa na sekta, idara, watendaji au miradi fulani kwa walengwa

Page 3: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za uma

Page 4: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Umuhimu wa PETS kwenye Utawala Bora • Lengo la PETS ni kuimarisha utendaji na utoaji

wa huduma za jami na SI kuchochea vurugu kwenye jami au kuchonganisha wananchi na serikali yao au watendaji wao kama watu wengine wangependa kufikiri

• PETS inasaidia watendaji au wasimamizi wa rasilimali za umma kuimarisha utendaji wao na usimamizi wao wa rasilimali za umma.

• PETS inasaidia wananchi nao kupata tarifa mbali mbali kuhusu rasilimali za umma na kuweza kufuatilia au kufahamu jinsi gani zinatumika kuleta maendeleo au kufikia malengo yalio pangwa

Page 5: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Umuhimu wa PETS na Utawala Bora

Page 6: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Umuhimu wa PETS na Utawala Bora

• Tarifa za PETs zinasaidia watendaji na wanachi kama ifuatavyo:

• Kujua kama kuna matatizo kwenye mfumo-kwa kulinganisha fedha halisi iliyotolewa serikali kuu na kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza kubaini mapungufu na kiwango chake

• PETs inasaidia kujua chanzo cha matatizo-kwa mfano kama hakuna maji salama kwenye mtaa au kijiji inawezekana kwamba miradi ya maji haijapangwe na kutengewa fedha kwenye bajeti au mpango wa wilaya au mtaa

Page 7: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Umuhimu wa PETS na Utawala Bora

• Inasaidia watendaji au wanachi kujua kwa nini serikali, halmashauri ya wilaya, mji au mtaa haijatekeleza mradi au ahadi-Kwa mfano inawezekana fedha hazijatolewa na serikali kuu kama ilivyopangwa au watendaji hawajatumia vizuri kama ilivyopangwa nk

• Inasiadia kulinganisha na kuthibitisha matumizi ya rasilimali za umma. Kwa mfano kama ripoti inasema million 20 zimetumika kujenga kisima watendaji au wananchi wanaweza kulinganisha ripoti na kisima wanacho ona

Page 8: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Umuhimu wa usimamizi wa rasilimali za umma na Utawala Bora

Page 9: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Umuhimu wa PETS na Utawala Bora

• Tarifa za PETS zinasaidia kulete matumizi mazuri zaidi kwa kuangalia kiasi cha rasilimali kilichopo na jinsi gani kitumike vyema kuleta mafanikio zaidi

• PETS inasaidia kuleta tarifa sahihi zaidi kwa kulinganisha tarifa iliyotolewa na watendaji au makandarasi wa miradi ya maendeleo na tarifa za wanachi au wana kamati za maendeleo za wananchi

Page 10: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Nguzo za Kisheria na Kanuni kuhusu

usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali

Page 11: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Nguzo za Kisheria na Kanuni kuhusu usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali

• Kuna nguzo mbali mbali ambayo zimewekwa au zina kinga wananchi kufuatilia au kupata na kuchambua tarifa za mapato na matumizi ya rasilimali za umma. Nguzo hizi za kikatiba, kisheria au kanuni na miongozo au tamko za kitaifa na kimataifa ni kama ifatavyo:

1) Tamko ya Kimataifa ya Haki za Binadamu-(Universal Declaration of Human Rights) ambayo ina tambua haki ya kupata tarifa kama haki ya msingi. Tanzania ni mwana chama wa Umoja wa Mataifa (UN) na imetia saini na kuridhia mkataba huu.

Page 12: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Nguzo za Kisheria na Kanuni kuhusu usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali

2) Katiba ya Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania kinaeleza wazi kwamba wanachi wana haki ya kupata tarifa-Kifungu cha 18 (2) kinaeleza kwamba kila mwananchi ana haki ya kupata taarifa za kuhusu matukio mbalimbali ya kitaifa au kidunia wakati wowote ambayo yana umuhimu kwa maisha na shuguli za watu na masuala muhimu kwa jami-Kwahiyo tarifa kuhusu fedha au rasilimali za umma inalindwa na katiba

Page 13: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Nguzo za Kisheria na Kanuni kuhusu ufuatiliaji wa Rasilimali

• Sheria ya Fedha ya Serikali za Mtaa namba 9 ya 1982 na taarifa ya fedha ya serikali za mtaa, 1997-pamoja na marekebisho yake

• Sheria hi inabainisha taarifa za fedha zinazotakiwa kuwekwa wazi

• Inatoa maelekezo ya kina kwa watendaji ju ya mafisa mbali mbali wa wilaya na halmashauri kuhusu usimamizi na utoaji wa tarifa za fedha za umma.

• Inatoa maelekezo kuhusu ripoti za fedha za halmashauri za serikali za Mtaa

Page 14: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Nguzo za Kisheria na Kanuni kuhusu Utawala bora

na usimamizi wa Rasilimali

• Miongozo ya Mipango ya Bajeti ya TAMISEMI-Miongozo ya kunda mipango ya Bajeti na usimamizi wa fedha zimetolewa na TAMISEMI. Miongozo yote inabainisha kwenye aya mbali mbali kuhusu umuhimu wa wasimamizi wa rasilimali kutoa tarifa kwa wananchi na kuhusisha wananchi kwenye mipango ya bajeti na usimamizi wa rasilimali za umma

• Miongozo ya Kipimo cha Unboreshaji wa maboresho ya umma-Inawataka watendaji wa serikali za mtaa kutoa tarifa kuhusu kiwango cha mafanikio bada ya maboresho na kutoa tarifa kwenye mbao za matangazo

Page 15: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Nguzo za Kisheria na Kanuni kuhusu ufuatiliaji wa Rasilimali

• Miongozo ya Msaada wa maendeleo wa kujenga uwezo wa serikali za mtaa (LGCD) unasisitiza umuhimu wa wanachi kupata taarifa ya matumizi ya rasilimali za umma na kiwango cha kushiriki kwa wananchi kupitia vikao mbali mbali ni kigezo kimoja kinachotumika kutoa msaada zaidi

• Vipengele vya Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza umasikini (MKUKUTA) –Lengo 2.1.3-Kushiriki kwa wananchi kwenye mchakato wa bajeti na mipango

Page 16: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Mchango wa wadau: • Madiwani:

• Madiwani wanaweza kuvutiwa na uanzishaji wa PETS kwa sababu wao ndiyo wawakilishi wa wananchi ngazi ya wilaya, na wanahitaji maarifa zaidi juu ya masuala ya fedha ili waweze kuzihoji mamlaka husika na hatimaye kuwaeleza kwa kina wananchi.

• Maafisa Wilaya:

• Hawa nao wanamchango mkubwa sana kwa ufanisi wa PETS. Wanahitaji kuelewa kwa hakika jinsi rasilimali zitumikavyo kwa kutoa huduma. Hata hivyo wanakabiliwa na changamoto katika ufanisi wa utendaji kazi wao kwani yawezekana kutenga na kudhibiti rasilimali si miongoni mwa vipaombele vyao.

Page 17: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Mchango wa wadau:

• Jamii zipokeazo huduma:

• Jamii zipatazo huduma kutoka wilayani zaweza kuanzisha na kuendesha PETS ili kuboresha viwango vya huduma wanazopokea. Hii yaweza fanywa kwa kukadiria ubora wa huduma ukilinganisha na rasilimali (fedha nk) waliotengewa kwa huduma hizo. Changamoto zinazoweza wakabili ni kuanzisha na kuendesha PETS kuna hitaji muda na utaalamu, na pia kujiandaa kifikra kwamba ni haki na jukumu kuhoji juu ya mapato na matumizi ya mali ya umma.

Page 18: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Mchango wa wadau: • Mashirika ya kijamii:

• Mashirika ya kijamii mathalani Guluka Kwalala Youth Environment Group ni wenza katika utekelezaji wa PETS. Hamu yao yaweza kutokana na nia yao ya kuboresha maisha ya wanajamii yanakofanyia kazi. Faida mashirika haya yaliyonayo kulinganishwa na washirika na washirika wengine waliotajwa ni mpangilio safi wa kuweza kutekeleza PETS.

• Mashirika ya kijamii ni chachu katika kusaidia

kukuza uwazi na uwajibikaji katika masuala ya kifedha.

Page 19: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Mchango wa wadau:

Page 20: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Umuhimu wa Tarifa katika kujenga utawala Bora

• Njia/Vyombo vya kuhabarisha:

• Katika kujenga uwazi serikali za mitaa, kata na kijiji zaweza kutengeneza na kutumia vyombo mbalimbali katika kuhabarisha jamii yao katika taarifa mathalani za kifedha. Vyombo hivi ni kama radio ya wilaya, matumizi ya mbao za matangazo, barua kwa wanakijiji, mikutano ya wanakijiji

Page 21: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Umuhimu wa Wananchi kupata tarifa na kusoma mbao za Matangazo

• Wananchi wanapata tarifa kuhusu malengo, na mipango ya wilaya, kata na Kijiji

• Usimamizi mzuri wa miradi ya serikali, na miradi ya maendeleo

• Kushiriki kwenye mipango ya kuleta maendeleo

• Kushiriki kwenye kufanya tathmini ya maendeleo

• Kuchagua na kuajibisha viongozi wao

• Kujua majukumu na nafasi yao kwenye michakato ya maendeleo

Page 22: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Umuhimu wa Wananchi kupata tarifa na kusoma mbao za Matangazo

Page 23: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Umuhimu wa Wananchi kupata tarifa na kusoma mbao za Matangazo

Page 24: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

What Should be done

• Strengthening of oversight bodies (NAO, PAC,

LAAC) and enforcing their decisions and

recommendations

Page 25: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

Umuhimu wa Wananchi kupata tarifa na kusoma mbao za Matangazo

Page 26: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

CITIZENS ACTION

Page 27: Usimamizi na ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma-PETS Ni nini?zanzibarassembly.go.tz/apapers/Usimamizi na... · kiasi kilichotolewa kwenye ngazi ya za wilaya, mtaa na kijiji-Tunaweza

27

Asanteni kwa

kunisikiliza

Thank you for Listening

Mwisho

End