26
MAFUNZO YA WALIMU KAZINI NGAZI YA SHULE KWA WALIMU WA MADARASA YA MWANZO Moduli ya Kwanza: UTARATIBU WA KUANDAA MAZINGIRA YALIYOSHEHENI MACHAPISHO Mwongozo wa Mrabu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule

wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

  • Upload
    others

  • View
    60

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

MAFUNZO YA WALIMU KAZINI NGAZI YA SHULE KWA WALIMU WA MADARASA YA MWANZO

Moduli ya Kwanza: UTARATIBU WA KUANDAA MAZINGIRA

YALIYOSHEHENI MACHAPISHO

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu

Kazini Ngazi ya Shule

Page 2: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Maelezo Muhimu kwa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule

Mwongozo huu utatumika sanjari na moduli ya kwanza ya mwalimu ili kumsaidia mratibu wa mafunzo kuwa na mpangilio

mzuri wenye kufuata hatua kwa hatua ili kuwafanya walimu washiriki kikamilifu katika kujifunza maudhui ya moduli

ya kwanza.

Mwongozo huu umegawanyika katika sehemu mbili. Sehemu ya kwanza ambayo ni upande wa kushoto wa mwongozo unabeba maelezo ambayo mratibu wa mafunzo ya walimu kazini ngazi ya

shule atatakiwa kuyafuata wakati wa kuratibu kipindi cha kujifunza maudhui ya moduli. Sehemu ya pili ambayo ni upande wa kulia wa mwongozo unabeba maudhui yaliyo kwenye moduli ya mwalimu

ambayo watayasoma wakati wa kipindi cha kujifunza.

Wakati wa kipindi cha kujifunza, unatakiwa kufuata maelezo yanayok uongoza yaliyo upande wa kushoto wa mwongozo huu

na kuyahusianisha na maudhui yaliyo kwenye moduli ya mwalimu ambayo yapo upande wa kulia wa mwongozo

huu kama yanavyosomeka kwenye moduli ya mwalimu.

Page 3: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

1Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule

DIBAJI

Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025, imetoa kipaumbele katika sekta ya elimu ili kuleta mageuzi ya kiuchumi na kijamii. Lengo la Dira ya Maendeleo ni kuwa na taifa la watu waliolelimika na jamii iliyo tayari kujifunza ku�kia 2025. Serikali ya Tanzania imethibitisha kwa vitendo kuwa Elimu ni kiambato muhimu katika kupunguza umaskini na kuimarisha maendeleo ya taifa. Kwa muda mrefu serikali imetambua kuwa “Ubora wa Elimu yoyote hauwezi kuwa bora kuliko mwalimu mwenyewe” hivyo imetilia mkazo mafunzo kazini kwa walimu kupitia mikakati mbalimbali ili kuimarisha umahiri wa walimu katika ufundishaji na ujifunzaji darasani.

Katika kuongeza ufanisi wa ufundishaji na ujifunzaji darasani, Taasisi ya Elimu Tanzania kwa kushirikiana na EQUIP-Tanzania, wameandaa moduli hii ambayo imesheheni kazi mbalimbali ambazo waalimu mtazitenda katika vikundi wakati wa mafunzo kwa kutumia mbinu ya Mafunzo ya Walimu Kazini ngazi ya shule. Mbinu hii inatambua umuhimu wa walimu kujifunza pamoja na kubaini changamoto zinazowakabili ili kupata suluhisho la changamoto za ufundishaji na ujifunzaji kwa pamoja.

Moduli hii ya Mafunzo ya Walimu Kazini, imeandaliwa ili kusaidia juhudi za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuhakikisha kuwa mbinu fanisi zinatumika darasani wakati wa ufundishaji na ujifunzaji. Moduli hii pia inawasaidia walimu kushirikishana uzoefu na umahiri katika ufundishaji na ujifunzaji darasani. Vilevile Moduli inatoa mafunzo ya ziada ikitarajiwa kuwa walimu watakuwa wamekwisha pata Mafunzo Kabilishi ya utekelezaji wa Mtaala ulioboreshwa wa kuimarisha ufundishaji wa KKK kwa wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili.

Taasisi ya Elimu Tanzania inatarajia kuwa moduli hii itawasaidia walimu kuimarisha umahiri wa ufundishaji na ujifunzaji ili kuwasaidia wanafunzi waweze kujenga uwezo unaokusudiwa wakati wa kujifunza.

Changamoto iliyo mbele yetu ni kuhakikisha kuwa tunaonyesha kwa vitendo matokeo mazuri yanayotokana na maudhui ya moduli hii wakati wa ufundishaji na ujifunzaji darasani ili kuimarisha ubora wa elimu ya shule ya msingi.

Dr. Leonard AkwilapoKaimu Mkurugenzi Mkuu,Taasisi ya Elimu Tanzania.

Page 4: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 2

Moduli hii imetayarishwa kwa ushirikiano na:

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Taasisi ya Elimu Tanzania Chuo Kikuu cha Dodoma

Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Moduli hii imewezeshwa kwa ushirikiano na:

C.C.U Butimba C.C.U Bustani C.C.U Tabora C.C.U Ndala C.C.U Kasulu

C.C.U Kabanga C.C.U BundaC.C.U Tarime

C.C.U ShinyangaC.C.U Mpwapwa

Page 5: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 3

Maelekezo na taswira katika moduli

Kuna picha na michoro mingi katika moduli. Baadhi zinajirudia mara nyingi kwa sababu zinamaanisha jambo mahususi linalotokea. Chini kuna mfano wa taswira mbalimbali ambazo zinapatikana katika moduli pamoja na kile ambacho zinawakilisha:

Jadili na mwenzako: Wakati wote wa kusoma moduli, walimu wataelezwa kufanya kazi pamoja na mwalimu mwingine juu ya maswali au kazi.

Fikiri– Wawili wawili – Shirikishana: Kama ilivyo katika maelezo ya hapo juu, hapa vilevile walimu wanafanya kazi wakiwa wawili wawili. Japokuwa, hapa walimu wanatafakari mmoja mmoja kwanza juu ya swali au tatizo, halafu wanafanya kazi mwalimu mwenzake na mwishoni wanawasilisha katika kundi lote.

Jadiliana katika kikundi: Wakati mwingine walimu wataelekezwa kutafakari au kujadili maswali mbalimbali katika kikundi.

Soma: Katika kila moduli kuna “dhana kuu” ambayo kwa kawaida huwasilishwa kwa kirefu katika maelezo.

Andika: Moduli itawahamasisha walimu kuchukua maelezo na kuandika fikra zao na majibu.

Igizo: Baadhi ya mazoezi yatahitaji walimu kuigiza kazi ya kufundisha wakati wengine watapaswa kuigiza kama wanafunzi.  

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 3

Maelekezo na taswira katika moduli

Kuna picha na michoro mingi katika moduli. Baadhi zinajirudia mara nyingi kwa sababu zinamaanisha jambo mahususi linalotokea. Chini kuna mfano wa taswira mbalimbali ambazo zinapatikana katika moduli pamoja na kile ambacho zinawakilisha:

Jadili na mwenzako: Wakati wote wa kusoma moduli, walimu wataelezwa kufanya kazi pamoja na mwalimu mwingine juu ya maswali au kazi.

Fikiri– Wawili wawili – Shirikishana: Kama ilivyo katika maelezo ya hapo juu, hapa vilevile walimu wanafanya kazi wakiwa wawili wawili. Japokuwa, hapa walimu wanatafakari mmoja mmoja kwanza juu ya swali au tatizo, halafu wanafanya kazi mwalimu mwenzake na mwishoni wanawasilisha katika kundi lote.

Jadiliana katika kikundi: Wakati mwingine walimu wataelekezwa kutafakari au kujadili maswali mbalimbali katika kikundi.

Soma: Katika kila moduli kuna “dhana kuu” ambayo kwa kawaida huwasilishwa kwa kirefu katika maelezo.

Andika: Moduli itawahamasisha walimu kuchukua maelezo na kuandika fikra zao na majibu.

Igizo: Baadhi ya mazoezi yatahitaji walimu kuigiza kazi ya kufundisha wakati wengine watapaswa kuigiza kama wanafunzi.  

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 3

Maelekezo na taswira katika moduli

Kuna picha na michoro mingi katika moduli. Baadhi zinajirudia mara nyingi kwa sababu zinamaanisha jambo mahususi linalotokea. Chini kuna mfano wa taswira mbalimbali ambazo zinapatikana katika moduli pamoja na kile ambacho zinawakilisha:

Jadili na mwenzako: Wakati wote wa kusoma moduli, walimu wataelezwa kufanya kazi pamoja na mwalimu mwingine juu ya maswali au kazi.

Fikiri– Wawili wawili – Shirikishana: Kama ilivyo katika maelezo ya hapo juu, hapa vilevile walimu wanafanya kazi wakiwa wawili wawili. Japokuwa, hapa walimu wanatafakari mmoja mmoja kwanza juu ya swali au tatizo, halafu wanafanya kazi mwalimu mwenzake na mwishoni wanawasilisha katika kundi lote.

Jadiliana katika kikundi: Wakati mwingine walimu wataelekezwa kutafakari au kujadili maswali mbalimbali katika kikundi.

Soma: Katika kila moduli kuna “dhana kuu” ambayo kwa kawaida huwasilishwa kwa kirefu katika maelezo.

Andika: Moduli itawahamasisha walimu kuchukua maelezo na kuandika fikra zao na majibu.

Igizo: Baadhi ya mazoezi yatahitaji walimu kuigiza kazi ya kufundisha wakati wengine watapaswa kuigiza kama wanafunzi.  

Page 6: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 4

Tarehe:

Sahihi:1

2

3

4

5

6

7

8

Page 7: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 5

Moduli hii inamsaidia mwalimu kuandaa mazingira yaliyosheheni machapisho katika darasa na kuanzisha utaratibu wa kufundisha kwa kurudia rudia ili kuimarisha uwezo wa wanafunzi kujifunza kusoma kwa ufanisi.

KIPINDI:

Moduli ya wanza: taratibu wa uandaa Mazingira aliyosheheni Ma ha isho

Mazingira yaliyosheheni ma ha isho: Humaanisha darasa lenye picha, kadi za maneno, majina ya wanafunzi, chati ya alfabeti, michoro na machapisho mengine yanayofanana na hayo. Mazingira yaliyosheheni machapisho ni muhimu kwa sababu wanafunzi wanahitaji kuona herufi na maneno mara kwa mara ili wajifunze kusoma kwa ufanisi.

Kuandaa utaratibu wa kufundisha kwa kurudiarudia ili kuwajengea wanafunzi tabia ya kujisomea. Kubainisha vifaa muhimu vya kuandaa ili darasa liwe na zana zinazotosheleza. Kuwezesha ujifunzaji wa kusoma Kiswahili kwa kutumia mbinu rahisi kama vile ”ujumbe wa siku”, ”herufi ya

siku” na ”wimbo wa alfabeti”.

Mara zote uwe na Moduli yako ya Mafunzo ya Walimu Kazini na kalamu

TARATIBU ZA KUJIFUNZA KWA KILA KIPINDI:

. Kutana katika sehemu tulivu yenye ubao kama inavyoonekana katika picha

. anga madawati meza ili kuwezesha washiriki wote waonane na kuongea pamoja

. Kuwa huru kuuliza maswali kama hujaelewa

. Kuwa wa msaada kwa wenzako

. Kuwa mbunifu na fikiria jinsi dhana unazojifunzazinahusiana na darasa lako

. Weka simu yako katika hali ya mtetemo

Page 8: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 6

.”

:

“KILA KIKUNDI CHA WASHIRIKI WAWILI WAWILI KINA DAKIKA MBILI ZA KUJADILIANA W M W W W

hunguza humba dakika

W MW M M

W M W W M W

Waoneshe walimu picha hizi za rangi ili wazione picha vizuri kwa kuwa katika moduli za walimu picha iliyowekwa ina rangi nyeupe na nyeusi)

Page 9: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 7

hunguza

yanayotofautiana?

anayotofautiana:

Kwa kushirikiana na mwenzako tazama sehemu ya madarasa mawili hapa chini.

Unafikiri darasa lipi linamwezesha mwanafunzi kuwa na uwezo wa kujifunza kusoma kwa ufanisi? Kwa nini unafikiri hivyo?

anayofanana:

Page 10: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 8

WALIMU:

.

.”

:

muhimu wa Mazingira aliyosheheni Ma ha isho dakika

Jadiliana katika kikundi dakika

Page 11: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 9

.

2.

)

Wanafunzi hujifunza kusoma kwa haraka wanapokuwa kwenye mazingira yaliyosheheni machapisho kama vile vitabu, chati ya alfabeti, kadi za herufi darasani. Kwa kadri wanavyoona machapisho kwa wingi kila siku ndivyo akili zao hutaka kujifunza kusoma mambo mengi zaidi.

Darasa lenye mazingira yaliyosheheni machapisho ni darasa linalotosheleza mahitaji ya wanafunzi katika kuona na kujifunza maudhui yaliyokusudiwa. Mazingira yaliyosheheni machapisho yana manufaa yafuatayo: Huchochea stadi ya kuongea, kusikiliza, kusoma na kuandika kwa uhalisi Huwavutia wanafunzi kwa sababu ya matumizi ya rangi ambayo hufanya herufi na maneno yaliyoumbwa vizuri kupendeza Darasa lenyewe huwa zana ya kufundishia i rahisi kulitumia kulingana na utaratibu wa darasa.

Kubandika majina ya vitu darasani, kutundika chati ya alfabeti na kuandika taarifa mbalimbali ubaoni ni njia muhimu ya kuwawezesha wanafunzi kujifunza msamiati mwingi zaidi. Darasa lenye kadi nyingi za maneno na picha huwawezesha wanafunzi kujizoesha kuhusianisha herufi moja moja na utamkwaji wake, muunganiko wa herufi na utamkwaji wake, na pia maneno na maana zake. Hii hutokea wanafunzi wanapoangalia kadi na picha hizo katika kila kona ya darasa au wanapoelekezwa na mwalimu ambaye hutumia kadi na picha hizo za kufundishia na kujifunzia.

Kujenga mazoea ya kutumia zana hizi, kunaimarisha kujifunza usomaji halisi wa kila siku na matumizi mbalimbali ya herufi na maandishi darasani. Kwa mfano, endapo mwalimu atabandika chati ya alfabeti darasani anaweza kuitumia kuimbisha wimbo wa alfabeti na kumtaka mwanafunzi aoneshe herufi zinazoimbwa, au akatumia maneno yaliyobandikwa darasani yakasaidia katika kusoma maneno mengine kama hayo kwenye vitabu.

Kujifunza kusoma kwa ufanisi ni muhimu sana kwa ajili ya mafanikio ya baadaye. Kwa sababu hiyo, mwalimu anapaswa kuhakikisha wanafunzi wanatumia muda wao mwingi inavyowezekana katika madarasa ya mwanzo kuona maandishi mengi, kubaini maneno mapya na kuandika wenyewe. Uzoefu unaonesha kuwa ufundishaji wa jumla wa herufi za alfabeti na dhana za maandishi darasani hautoshelezi. kumbukwe kuwa kila mwanafunzi anajifunza kwa uwezo unaotofautiana. Kwa hivyo, kila mmoja apewe fursa ya kutosha kujifunza kwa kuzingatia uwezo wake.

Unaweza kufanya mengi kuleta mabadiliko ya haraka na rahisi katika mazingira ya darasani yaliyosheheni machapisho ili kuendeleza ujifunzaji wa wanafunzi. anya jitihada zote kuhakikisha kuwa darasa lako lina “mazingira yaliyosheheni machapisho,” yaani darasa zima liwe limejaa picha, kadi za maneno, majina ya wanafunzi, chati ya alfabeti, michoro na machapisho mengine yanayofanana na hayo.

. Kwa kuzingatia matini uliyosoma hapo juu, taja ni sehemu gani ya matini ambayo unafikiri ni muhimu, haieleweki au ni mpya kwako?

Page 12: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 10

ikiri eke yako kuhusu maswali kisha washirikishe washiriki katika kikundi (dakika 10)

MW M W W W W M W W aada ya dakika waambie walimu wasiendelee na kazi yao kisha waambie yafuatayo

MW M W M J W W ila mwalimu awasilishe ma ibu yake na kama kuna mkanganyiko wasomee ibu lifuataloM M M W M J

M M J W M M M

MW M W M J W udia utaratibu wa swali la kwanza kama kuna mkanganyiko kwa kuwasomea ibu lifuatalo M M J W M M J W

MW M W M J W ama kutakuwa na mkanganyiko wa ma ibu wasome ma ibu yafuatayo M M M M W W W J M M W M W J M

u enga utaratibu wa kufundisha na ku ifunza katika mazingira ya darasa yaliyosheheni ma ha isho dakika

W M W M :

M W J M J M W M W M M

MATINI KWA SAUTI.”

MW M MM J M M M J M M MW M MW M

MW

Page 13: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 11

)

a)

b)

c)

. afanua kwa mifano dhana ya mazingira yaliyosheheni machapisho:

3. Jadili umuhimu wa mazingira yaliyosheheni machapisho

. Taja njia tatu unazoweza kutumia ili kulifanya darasa lako lisheheni machapisho

u enga utaratibu wa kufundisha na ki ifunza katika mazingira ya darasa yaliyosheheni ma ha isho dakika

i muhimu kuwa na taratibu zinazoongoza utendaji darasani. Taratibu hizi zinaweza kujengwa kwa kurudia rudia shughuli wanazofanya walimu na wanafunzi. Shughuli hizo zaweza kuwa maandalizi ya awali, kusalimiana, chemsha bongo, maswali na majibu na tathmini. Taratibu za darasani zinazojirudia rudia huweza kuwasaidia wanafunzi kuimarisha stadi ya kuzungumza na kuandika. Kwa mfano, mwalimu anaweza kutumia salamu ya maandishi ubaoni badala ya kuzungumza. Salamu hii huitwa Ujumbe wa Siku kama inavyofafanuliwa hapa chini,

umbe wa siku

Ujumbe wa siku ni wazo ambalo mwalimu huandika ubaoni kwa wanafunzi siku inapoanza. Ujumbe unaweza kuundwa na sentensi ambazo hutoa ujumbe wa:

1. Salamu2. Picha ya jumla kuhusu shughuli za siku

Page 14: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 12

taratibu wa kuandika u umbe wa siku

eru ya siku

Page 15: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 13

Hamjambo watoto wazuri.

Leo ni Jumatatu, siku ya kwanza ya juma,

Leo katika somo la Kiswahili tutajifunza kusoma herufi ‛m‛herufi.

Kisha tutajifunza kusoma maneno.

Karibu tufurahie somo la leo.

. Maelezo ya maudhui ya somo linalokusudiwa katika kipindi husika

. Swali linalohusu tukio muhimu lililotokea jana

. Swali linalohusu tukio muhimu linalotarajiwa

. Dhana au jambo lenye kufurahisha ambalo limetendeka

taratibu wa kuandika u umbe wa siku

Mwalimu unatakiwa kuandika ujumbe wa siku kabla wanafunzi hawajaingia darasani. Kwa wanafunzi wa darasa la kwanza ambao hawajajua kusoma, mwalimu unatakiwa kusoma ujumbe wa asubuhi kwa kuonesha maneno unayoyasoma kwa kutumia ncha kionesheo. Wakati unasoma, onesha kwa vitendo taratibu za kusoma ambazo ni

kusoma kwa kuanzia kushoto kwenda kulia kuanzia juu kushuka chini.

Ufuatao ni mfano wa Ujumbe wa siku:

jia nyingine ya kufundisha utaratibu zinazojirudiarudia ambao unaweza kuimarisha stadi ya kuzungumza na kuandika ni ufundishaji wa Herufi ya Siku

eru ya siku

Fanya kazi hii kwa dakika 5-10 kila siku kulingana na uwezo wa wanafunzi wako ili kuwasaidia wanafunzi kufanya mazoezi ya kubaini herufi. Endelea na utaratibu huu unaojirudia rudia hadi utakapomaliza herufi zote.

atua za kufundisha heru ya siku. ndika herufi za siku ubaoni.. ndika neno ambalo herufi ya siku inaanza mwanzo wa neno, mwisho mwa neno na katikati ya neno Tumia

maneno ambayo yanafahamika vizuri kwa wanafunzi .. Wagawe wanafunzi katika makundi ya wanafunzi kisha waongoze kundika maneno mengi yenye herufi ya

siku kadri wanavyoweza. Kama darasa lina wanafunzi wengi, waongoze wanafunzi kufanya kazi na jirani aliye upande wa kushoto au kulia ili wasitumie muda mrefu kutengeneza makundi.

. Kwa darasa la kwanza waongoze wanafunzi kubungua bongo maneno ambayo herufi ya mwanzo ni herufi ya siku.

. Waongoze wanafunzi wa darasa la na la kuandika maneno ambayo yanaanza na herufi ya siku.

. Kama una muda wa ziada, waongoze wanafunzi waje mbele na kuandika maneno sahihi ubaoni kama haya.

. nza na maneno yenye silabi mbili kwa darasa la kwanza na kisha maneno yenye kuundwa na silabi tatu kwa darasa la pili

Page 16: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 14

:

Wimbo wa lfabeti

gizo dakika

W W W J MW M M J W M J M W

W M W MW M W M M M MW M

W MW M W M W W W Waada ya dakika kila mwalimu awe tayari kuandaa igizo dhima na kuanza

kuonesha igizo dhima kwa washiriki

Page 17: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania
Page 18: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 16

:

Jadiliana katika kundi kubwa (dakika 5)

M M J M W W M M J W W W

W M W W W W W

Wahamasishe walimu kushirikishana mawazo yao kwenye maswali yaliyo baki

uandaa i indi ha usoma na uandika dakika

“SASA TUTASOMA KUHUSU KAZI ZA KUSOMA NA KUANDIKA AMBAZO W M M M M J W M J M W M

W J M W

W W M M W MW M MM J W M M J M MW MW M MW M

Page 19: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 17

Jadiliana

k

. Je, ni wakati gani utaratibu uliochagua hapo juu inaweza kuwa muhimu zaidi darasani kwako Utaratibu huu inaweza kuwa tofauti na ule uliochaguliwa na mwalimu mwenzako .

. Unawezaje kuboresha taratibu hizi na kuzitumia darasani

Utangulizi:. ndika herufi za alfabeti kwenye ubao. Uliza maswali rahisi yanayohusu alfabeti. Kwa mfano kuna herufi ngapi kwenye alfabeti i herufi ipi ya

mwanzo au ya mwisho i herufi gani inayotangulia kabla ya herufi m Herufi ipi inayotangulia kabla ya herufi d Herufi ipi inafuata baada ya herufi s

Vitendo:. mba wimbo wa alfabeti pamoja na wanafunzi. Tumia fimbo ili kuonesha kila herufi inayoimbwa. Kumbuka

kutamka herufi kwa uwazi. mba wimbo tena ila mara hii imba kwa haraka kidogo. Kisha badilisha utaratibu kwa kuimba pole pole na wakati mwingine imba kwa haraka. ta mwanafunzi mmoja kusimama mbele ya darasa na aimbe wimbo wa alfabeti kwa kufuata utaratibu ulioanza nao. Kumbuka kuwaongoza wanafunzi kuonesha herufi wanayoitamka wakati wa kuimba wimbo.

Upimaji:. uta herufi ubaoni na kisha waambie wanafunzi waandike herufi katika da ari zao za mazoezi Kwa watoto wa

darasa la kwanza wanaweza kuanza kuandika hewani, kisha kwenye mchanga baada ya hapo kwenye da ari zao.

. unguka katika darasa kukagua wanafunzi wanavyoandika herufi kwenye da ari zao na kuwapa msaada wale wanaopata changamoto ya kuandika.

. ndika orodha ya alfabeti ubaoni . nza na herufi a kisha chagua mwanafunzi mmoja mmoja kuandika herufi moja ya alfabeti.

. Toa msaada kwa wanafunzi wanaopata ugumu wa kufanya zoezi hili.

Page 20: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 18

:

Jadili na mwenzako (dakika 15)

M J MW W M W M

W W M W WAWILI KITAKUWA NA DAKIKA KUMI KUWASILISHA WALICHOJADILIANA KATIKA KIKUNDI KIKUBWA.”

aada ya dakika waambie walimu waa he ku adiliana waanze kuwasilisha kwenye kikundi kikubwa

Page 21: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 19

____________________________________________________________________________

____________________________________________________________________________

____________________________________________________________________________

____________________________________________________________________________

____________________________________________________________________________

____________________________________________________________________________

Matumizi ya utaratibu wa ili: umbe wa asubuhi

Utangulizi:

. ndika ujumbe wa siku kabla ya wanafunzi hawajaingia darasani

. Kwa ujumla unaanza na salaam, kisha kutaja jina la siku, hali ya hewa ya siku hiyo na wakati mwingine unaweza kuanza kwa kuzungumzia tukio maalumu kwa mfano jaribio au ugeni wa mtu maarufu hapo shuleni.

itendo:

. Mara baada ya wanafunzi kuketi waambie kuangalia ujumbe wa asubuhi ulioandikwa ubaoni

. Waambie wanafunzi kila mmoja amulize jirani yake kama kuna neno katika ujumbe wa asubuhi analoweza kulitambua.

. Waulize wanafunzi kushirikishana maneno wanayoyatambua.

. Wasomee ujumbe wa asubuhi wanafunzi kwa sauti lakini polepole. Tumia kidole kuonesha maneno unayoyasoma kwenye ujumbe wa siku.

. Soma ujumbe wa asubuhi kwa pamoja na wanafunzi huku ukionesha kila neno linalosomwa.

Upimaji:

. udia kusoma ujumbe wa asubuhi. Wakati huu chunguza mwanafunzi anayepata ugumu wa kubashiri neno linalofuata wakati wa kusoma ujumbe wa asubuhi.

Jadili na mwenzako dakika 15)

Ukiwa na mshiriki mwenzako, jadilianeni jinsi mnavyoweza kuingiza taratibu hizi za kufundisha katika andalio lako la somo na katika kipindi cha wiki cha kusoma na kuandika. Onesha kwa vitendo namna utakavyoweza kutumia kwa ufanisi taratibu hizi kwa darasa la kwanza, la pili, na la tatu. Kisha wasilisha mawazo yako kwenye kikundi.

Page 22: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 20

Mwisho dakika

:

( )

Mada:

Mahalie:

W M M MW W M M M M J M W

W

Wakati walimu wakijibu maswali, andika ubaoni taarifa zinazohusiana na moduli inayofuata

Page 23: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 21

Mwisho dakika

Mada:

Mahali:

Page 24: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 22

:

u ima tenda i azi dakika

MW M M M W M M W W W MW M M W J W W W M W M

W J M J W M W M

Page 25: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule 23

:

yaliyoorodheshwa

2 3

1. –

2. Uwezeshaji: –

3. –

4. –

5. –

u ima tenda i azi dakika

Mwongozo wa sahihisha i kwa a ili ya Waratibu wa MW :

Tafadhali tafakari jinsi mratibu wa MWK alivyofanya kazi leo. Jaza fomu ifuatayo kwa ajili ya tathmini yako. omu hii itakusanywa na Timu ya Wilaya ya MWK kwa ajili ya kuwasaidia waratibu wa MWK.

Ameweza kidogo meweza vizuri sana

Page 26: wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule...Morogoro Chuo cha Ualimu Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa EQUIP-Tanzania

Mwongozo wa Mratibu wa Mafunzo ya Walimu Kazini Ngazi ya Shule