Warning for heavy rains/Tahadhari ya mvua kubwa 18/01/2016 - 20/01/2016

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Warning for heavy rains/Tahadhari ya mvua kubwa 18/01/2016 - 20/01/2016.

Citation preview

  • JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO

    MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

    Simu: 255 22 2460735/2460706

    FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056

    Barua pepe: [email protected] DAR ES SALAAM

    Tovuti: www.meteo.go.tz

    Unapojibu tafadhali nakili:

    Kumb. Na.: TMA/1622 18 Januari, 2016

    Taarifa kwa Umma: Vipindi vya mvua kubwa vinatarajiwa.

    Taarifa Na. 201601-01

    Muda wa Kutolewa

    Saa za Afrika Mashariki Saa 9:00 Alasiri

    Daraja la Taarifa: Tahadhari

    Kuanzia:

    Tarehe 18 Januari, 2016- Usiku

    Mpaka:

    Tarehe 20 Januari, 2016

    Aina ya Tukio

    Linalotarajiwa

    Vipindi vya mvua kubwa inayozidi milimita 50 ndani ya

    saa 24 katika siku hizo vinatarajiwa.

    Kiwango cha uhakika: Wastani (70%)

    Maeneo yanayotarajiwa

    kuathirika

    Mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Njombe, Iringa, Mbeya

    na Rukwa

    Maelezo: Hali hii inatokana na kuimarika kwa ukanda wa mvua

    katika maeneo yaliyotajwa hapo juu.

    Angalizo:

    Vipindi vya mvua kubwa vinaweza kujitokeza pia kwenye

    maeneo machache katika mikoa ya Morogoro, Pwani na

    Dar es salaam.

    Wakazi wa maeneo tajwa wanashauriwa kuchukua

    kuchukua tahadhari na hatua stahiki.

    Maelezo ya Ziada Mamlaka ya Hali ya Hewa inaendelea kufuatilia hali hii

    na itatoa mrejeo kila itakapobidi.

    Imetolewa na

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania.