2
Ushauri wa Jinsi ya Kutumia Hundi Zako za WIC (Ukurasa wa 5)--angalia picha ya hundi iliyo hapa chini 1. Tumia hundi zako za WIC kwenye maduka yaliyoidhinishwa na WIC pekee. Angalia tarehe kwenye hundi ya WIC. Tarehe ya kwanza ni siku ya kwanza ambayo unaweza kutumia hundi. Tarehe ya pili ni siku ya mwisho ambayo unaweza kutumia hundi. Unaweza kutumia idadi yoyote ya hundi za WIC ambazo zinatumika katikati ya tarehe hizi kwa wakati mmoja. Angalia vyakula vilivyoorodheshwa na kiasi cha kila bidhaa ambayo unaweza kununua kwa kutumia hundi yako. Kwa mfano, idadi ya lita za maziwa, kilo za nafaka, au mikebe ya sharubati ambayo unaweza kununua imeorodheshwa hapo. Orodha ya Vyakula Viliyoidhinishwa na WIC itakusaidia kujua ni vyakula gani unaweza kununua. 4. Tenganisha vyakula vya WIC na vyakula vingine unavyonunua unapofika kwenye sehemu ya kulipia. Ikiwa unatumia zaidi ya hundi moja, weka vyakula kwa vikundi kulingana na kila hundi. 5 Mpe keshia folda yako ya WIC na hundi ambazo unatumia kabla ya bidhaa za chakula za WIC kupitishwa kwenye kitambazo cha msimbo pau. Andika jumla ya bei ya bidhaa za chakula za WIC kwenye hundi isipokuwa inapochapishwa kiotomatiki na sajili ya pesa ya duka. Tia sahihi kwenye upande wa mbele wa hundi katika sehemu ya chini kulia na kisha umrejeshee keshia hundi hiyo. Keshia atahakikisha sahihi yako inasawiana na sahihi ya mwakilishi aliyeidhinishwa, mshiriki au wakala aliye kwenye Folda ya WIC. 8. Ikiwa ulinunua sharubati iliyowekwa kwenye chupa, utahitaji kulipa ada ya dhamana ya chupa, ambayo ni senti tano kwa kila chupa. 9. Hakikisha umerejeshewa folda yako na risiti kabla ya kuondoka kwenye sehemu ya kulipia bidhaa. Tips for Using WIC Checks - Swahili

 · Web viewTips for Using WIC Checks - Swahili Ushauri wa Jinsi ya Kutumia Hundi Zako za WIC (Ukurasa wa 5)--angalia picha ya hundi iliyo hapa chini 1. Tumia hundi zako za WIC kwenye

  • Upload
    others

  • View
    8

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1:  · Web viewTips for Using WIC Checks - Swahili Ushauri wa Jinsi ya Kutumia Hundi Zako za WIC (Ukurasa wa 5)--angalia picha ya hundi iliyo hapa chini 1. Tumia hundi zako za WIC kwenye

Ushauri wa Jinsi ya Kutumia Hundi Zako za WIC (Ukurasa wa 5)--angalia picha ya hundi iliyo hapa chini

1. Tumia hundi zako za WIC kwenye maduka yaliyoidhinishwa na WIC pekee.

② Angalia tarehe kwenye hundi ya WIC. Tarehe ya kwanza ni siku ya kwanza ambayo unaweza kutumia hundi. Tarehe ya pili ni siku ya mwisho ambayo unaweza kutumia hundi. Unaweza kutumia idadi yoyote ya hundi za WIC ambazo zinatumika katikati ya tarehe hizi kwa wakati mmoja.

③ Angalia vyakula vilivyoorodheshwa na kiasi cha kila bidhaa ambayo unaweza kununua kwa kutumia hundi yako. Kwa mfano, idadi ya lita za maziwa, kilo za nafaka, au mikebe ya sharubati ambayo unaweza kununua imeorodheshwa hapo. Orodha ya Vyakula Viliyoidhinishwa na WIC itakusaidia kujua ni vyakula gani unaweza kununua.

4. Tenganisha vyakula vya WIC na vyakula vingine unavyonunua unapofika kwenye sehemu ya kulipia. Ikiwa unatumia zaidi ya hundi moja, weka vyakula kwa vikundi kulingana na kila hundi.

5 Mpe keshia folda yako ya WIC na hundi ambazo unatumia kabla ya bidhaa za chakula za WIC kupitishwa kwenye kitambazo cha msimbo pau.

⑥ Andika jumla ya bei ya bidhaa za chakula za WIC kwenye hundi isipokuwa inapochapishwa kiotomatiki na sajili ya pesa ya duka.

⑦ Tia sahihi kwenye upande wa mbele wa hundi katika sehemu ya chini kulia na kisha umrejeshee keshia hundi hiyo. Keshia atahakikisha sahihi yako inasawiana na sahihi ya mwakilishi aliyeidhinishwa, mshiriki au wakala aliye kwenye Folda ya WIC.

8. Ikiwa ulinunua sharubati iliyowekwa kwenye chupa, utahitaji kulipa ada ya dhamana ya chupa, ambayo ni senti tano kwa kila chupa.

9. Hakikisha umerejeshewa folda yako na risiti kabla ya kuondoka kwenye sehemu ya kulipia bidhaa.

Tips for Using WIC Checks - Swahili