1
TOWSF ni taasisi isiyo ya kiserikali inayohudumia wajane na yatima katika mikoa ya Tabora, Kigoma, Simiyu na Shinyanga, ikiwa na ofisi zake pia katika Kijiji cha Usinge, wilayani Kaliua mkoani Tabora. Imeanza kazi zake rasmi katika mikoa hiyo ya Kanda ya Magharibi. Taasisi hii ina makao yake makuu Mtaa wa Matokeo Kigogo Luhanga, Dar es Salaam. Imesajiliwa chini ya kifungu cha 12 (2) cha sheria No. 24 ya mwaka 2002 na kupewa usajili No. 00NGO/00006168. TOWSF imesajiliwa tangu Februari, 2013. Malengo ya TOWSF Mosi, kuhamasisha jamii kutoa misaada ya kielimu, kijamii na kimaadili kwa watoto yatima, watoto wa mtaani na wajane. Mbili, kujenga vituo vya ushauri juu ya mambo mbalimbali yanayohusu maisha yao ya kila siku. Na tatu, kuhamasisha wananchi kushiriki katika shughuli za kijamii ili kujiletea maendeleo. Mambo yanayofanywa na taasisi Mosi, kuhakikisha watoto yatima wote wa Tanzania wanasoma shule kuanzia chekechea hadi chuo kikuu. Hili linatekelezwa kwa kufanya yafuatayo 1. Kulipia ada za shule (2) Kushona sare, (3) Vifaa vya kujifunzia. Pili, kuhamasisha umma kujua kuwa malezi kwa watoto yatima ni jukumu lao kama wanajamii na si sahihi kuwatelekeza. Tatu, kutoa mafunzo ya ufundi wa nguo kwa cherehani na ufumaji, na mafunzo ya ujasiriamali kwa wajane. Nne, kutoa ushauri kwa makundi haya ili yaweze kumudu changamoto zinazowakabili. Ofisi za TOWSF Taasisi hii imedhamiria kusogeza huduma zake vijijini, hivyo imepanga kuwa na ofisi katika kila kanda. Ofisi Kuu Ofisi ya Kanda ya Magharibi (Tabora, Shinyanga, Kigoma na Simiyu) . Ofisi ya Kanda ya Mashariki (Dar es Salaam, Pwani na Morogoro). Ofisi ya Kanda ya Kaskazini (Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara). Ofisi ya Kanda ya Kati (Dodoma na Singida). Ofisi ya Kanda ya Kusini (Mtwara, Lindi, na Ruvuma). Ofisi ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Iringa, Mbeya, Rukwa, na Katavi). Ofisi ya Kanda ya Ziwa (Mwanza, Mara, Geita na Kagera). Ofisi zilizoanza kazi Ofisi kuu – Mtaa wa Matokeo Kata ya Mabibo nyumba Na. MTK/408. Ofisi ya Kanda ya Magharibi – kijijini Usinge Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora. Ofisi hii ipo Kijiji cha Usinge Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora. Kazi zilizofanyika tangu kusajiliwa kwa taasisi hii Februari mpaka sasa. Kufungua ofisi (mbili) Ofisi Kuu na ofisi ya Kanda ya Magharibi, Kufanya utambuzi wa yatima na wajane katika Kata ya Usinge Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora. Kuanza kuhudumia yatima 200 na wajane 65 kutoka vijiji vya Usinge, Luganjo, Maboha na Shela. Kushona sare za shule kwa yatima hao 200 wa shule za msingi. Mipango endelevu Ni kuhakikisha taasisi inashirikiana na jamii za vijijini kuboresha huduma za kijamii zifuatazo:- 1) Afya itakayookoa vifo vingi vya mama na mtoto vinavyopelekea kupatikana kwa yatima wengi. Elimu – Ili kuwasaidia watoto yatima waweze kuja kujitegemea na kuepuka kuja kuwa janga la Taifa miaka ya mbele. Maji- Jamii nyingi za vijijini zinateseka sana na suala la maji safi ya kunywa. Taasisi inashirikiana na jamii kuhakikisha visima virefu vinachimbwa ili kuwaepushia wananchi wa vijijini na mateso ya kukosa maji. Yatima Education Fund Taasisi hii imezindua mfuko rasmi wa elimu kwa watoto yatima wa Tanzania ambao utawawezesha yatima wote kusoma. Changamoto zilizopo Uelewa mdogo wa jamii juu ya jukumu la kuwalea watoto hawa yatima. Fedha za kuendesha miradi mbalimbali ya taasisi Ufadhili wa Taasisi. Ombi kwa jamii Ieleweke kuwa watoto yatima na wajane ni watu kama wengine na wanastahili kupata huduma stahiki. Iunge mkono taasisi hii kwa hali na mali. Mwenye mchango wake juu ya makundi hayo anakaribishwa (TOWSF) misaada yote ya vitu vya kijamii inapokelewa mfano: Nguo, chakula, sabuni, mafuta, pesa nk. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa anuani zifuatazo:- P.O. Box 67620, Dar es Salaam. Mob: 0652 – 600700 / 0763 261711. E-mail: [email protected] Website: www. towsf. TOWSF: Mkombozi wa yatima na wajane iliyoanzia Usinge

TOLEO MAALUM MKOA WA TABORA

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: TOLEO MAALUM MKOA WA TABORA

TOWSF ni taasisi isiyo ya kiserikali inayohudumia wajane na yatima katika mikoa ya Tabora, Kigoma, Simiyu na Shinyanga, ikiwa na ofisi zake pia katika Kijiji cha Usinge, wilayani Kaliua mkoani Tabora. Imeanza kazi zake rasmi katika mikoa hiyo ya Kanda ya Magharibi. Taasisi hii ina makao yake makuu Mtaa wa Matokeo Kigogo Luhanga, Dar es Salaam. Imesajiliwa chini ya kifungu cha 12 (2) cha sheria No. 24 ya mwaka 2002 na kupewa usajili No. 00NGO/00006168. TOWSF imesajiliwa tangu Februari, 2013.

Malengo ya TOWSFMosi, kuhamasisha jamii kutoa misaada ya kielimu, kijamii na kimaadili kwa watoto yatima, watoto wa mtaani na wajane. Mbili, kujenga vituo vya ushauri juu ya mambo mbalimbali yanayohusu maisha yao ya kila siku. Na tatu, kuhamasisha wananchi kushiriki katika shughuli za kijamii ili kujiletea maendeleo.

Mambo yanayofanywa na taasisi

Mosi, kuhakikisha watoto yatima wote wa Tanzania wanasoma shule kuanzia chekechea hadi chuo kikuu. Hili linatekelezwa kwa kufanya yafuatayo 1. Kulipia ada za shule (2) Kushona sare, (3) Vifaa vya kujifunzia. Pili, kuhamasisha umma kujua kuwa malezi kwa watoto yatima ni jukumu lao kama wanajamii na si sahihi kuwatelekeza. Tatu, kutoa mafunzo ya ufundi wa nguo kwa cherehani na ufumaji, na mafunzo ya ujasiriamali kwa wajane.

Nne, kutoa ushauri kwa makundi haya ili yaweze kumudu changamoto zinazowakabili. Ofisi za TOWSF Taasisi hii imedhamiria kusogeza huduma zake vijijini, hivyo imepanga kuwa na ofisi katika kila kanda. Ofisi Kuu Ofisi ya Kanda ya Magharibi (Tabora, Shinyanga, Kigoma na Simiyu) . Ofisi ya Kanda ya Mashariki (Dar es Salaam,

Pwani na Morogoro). Ofisi ya Kanda ya Kaskazini (Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara). Ofisi ya Kanda ya Kati (Dodoma na Singida). Ofisi ya Kanda ya Kusini (Mtwara, Lindi, na Ruvuma). Ofisi ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Iringa, Mbeya, Rukwa, na Katavi). Ofisi ya Kanda ya Ziwa (Mwanza, Mara, Geita na Kagera).

Ofisi zilizoanza kazi Ofisi kuu – Mtaa wa Matokeo Kata ya Mabibo nyumba Na. MTK/408. Ofisi ya Kanda ya Magharibi – kijijini Usinge Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora. Ofisi hii ipo Kijiji cha Usinge Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora.

Kazi zilizofanyika tangu kusajiliwa kwa taasisi hii Februari mpaka sasa.

Kufungua ofisi (mbili) Ofisi Kuu na ofisi

ya Kanda ya Magharibi, Kufanya utambuzi wa yatima na wajane katika Kata ya Usinge Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora. Kuanza

kuhudumia yatima 200 na wajane 65 kutoka vijiji vya Usinge, Luganjo, Maboha na Shela. Kushona sare za shule kwa yatima hao 200 wa shule za msingi. Mipango endelevu Ni kuhakikisha taasisi inashirikiana na jamii za vijijini kuboresha huduma za kijamii zifuatazo:- 1) Afya itakayookoa vifo vingi vya mama na mtoto vinavyopelekea kupatikana kwa yatima wengi. Elimu – Ili kuwasaidia watoto yatima waweze kuja kujitegemea na kuepuka kuja kuwa janga la Taifa miaka ya mbele. Maji- Jamii nyingi za vijijini zinateseka sana na suala la maji safi ya kunywa. Taasisi inashirikiana na jamii kuhakikisha visima virefu vinachimbwa ili kuwaepushia wananchi wa vijijini na mateso ya kukosa maji. Yatima Education Fund Taasisi hii imezindua mfuko rasmi wa elimu kwa watoto yatima wa Tanzania ambao utawawezesha yatima wote kusoma. Changamoto zilizopo Uelewa mdogo wa jamii juu ya jukumu la kuwalea watoto hawa yatima. Fedha za kuendesha miradi mbalimbali ya taasisi Ufadhili wa Taasisi. Ombi kwa jamii Ieleweke kuwa watoto yatima na wajane ni watu kama wengine na wanastahili kupata huduma stahiki. Iunge mkono taasisi hii kwa hali na mali. Mwenye mchango wake juu ya makundi hayo anakaribishwa (TOWSF) misaada yote ya vitu vya kijamii inapokelewa mfano: Nguo, chakula, sabuni, mafuta, pesa nk. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa anuani zifuatazo:- P.O. Box 67620, Dar es Salaam.Mob: 0652 – 600700 / 0763 261711. E-mail: [email protected] Website: www.towsf.

TOWSF: Mkombozi wa yatima na wajane iliyoanzia Usinge