6

Click here to load reader

Conservation Agriculture Communities of Practice Objectives and Outputs of meetingswahili version presentation by peter kuria cops meeting nanyuki

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Conservation Agriculture Knowledge sharing

Citation preview

Page 1: Conservation Agriculture Communities of Practice Objectives and Outputs of meetingswahili version  presentation by peter kuria cops meeting nanyuki

CA COMMUNITIES OF PRACTICE FOR FARMERS AND FARMER

ORGANIZATIONS

STAKEHOLDERS MEETING IN LAIKIPIA, 30TH OCTOBER 2014 AT SIXTY TWO

PARADISE HOTEL, NANYUKI

Page 2: Conservation Agriculture Communities of Practice Objectives and Outputs of meetingswahili version  presentation by peter kuria cops meeting nanyuki

JUMUIA YA WAKULIMA NA VYAMA VYAWAKULIMA WANAOTEKELEZA KILIMO

HIFADHI

MKUTANO WA WADAU UNAOFANYIKA LAIKIPIA, 30 OKTOBA 2014

KATIKA HOTEL YA SIXTY TWO PARADISE, NANYUKI

Page 3: Conservation Agriculture Communities of Practice Objectives and Outputs of meetingswahili version  presentation by peter kuria cops meeting nanyuki

OBJECTIVES OF THE MEETING

• TO SHARE AND DOCUMENT EXPERIENCES IN CONSERVATION AGRICULTURE FROM WITHIN AND

OUTSIDE THE COUNTIES.

• TO DEVELOP THE FRAMEWORK FOR THE FORMATION OF A LAIKIPIA AND MACHAKOS FARMER’S

APEX BODY THAT ADVOCATES FOR THE INTERESTS OF CA FARMERS AND PRACTITIONERS

• TO INTRODUCE FARMERS TO THE AVAILABLE CA SERVICERS THAT IS PROVIDED BY SERVICE

PROVIDERS

• INITIATE A FORUM FOR NETWORKING, PARTNERSHIPS AND INFORMATION SHARING WITH THE AIM

OF SCALING UP CA IN AFRICA

Page 4: Conservation Agriculture Communities of Practice Objectives and Outputs of meetingswahili version  presentation by peter kuria cops meeting nanyuki

MALENGO YA MKUTANO

• KUBADIRISHANA UZOEFU NA KUWEKA KUMBUKUMBU KUHUSU KILIMO HIFADHI NDANI NA NJE

YA KAUNTI

• KUANDAA UTARATIBU WA KUANZISHA TAASISI ITAKAYOSIMAMIA MANUFAA YA WAKULIMA

NA WATENDAJI KILIMO HIFADHI WA LAIKIPIA NA MACHAKOSI

• KUTAMBULISHA HUDUMA ZA KILIMO HIFADHI ZINAZOTOLEWA NA WATOA HUDUMA KWA

WAKULIMA

• KUANZISHA JUKWAA KWA AJILI YA KUKUTANA, KUSHIRIKIANA NA KUBADIRISHANA TAARIFA

KWA LENGO LA KUPANUA KILIMO HIFADHI KATIKA AFRIKA

Page 5: Conservation Agriculture Communities of Practice Objectives and Outputs of meetingswahili version  presentation by peter kuria cops meeting nanyuki

EXPECTED OUTPUTS

• EXPERIENCES ON CA DOCUMENTED

• A FRAMEWORK FOR THE FORMATION OF A FARMER’S ADVOCACY APEX BODY DEVELOPED

• THE NETWORKS BETWEEN SERVICE PROVIDERS, FARMERS AND INSTITUTIONS WHICH

PROMOTE CA STRENGTHENED.

• STRATEGIES OF OUT-SCALING CA FARMER’S COPS IDENTIFIED.

Page 6: Conservation Agriculture Communities of Practice Objectives and Outputs of meetingswahili version  presentation by peter kuria cops meeting nanyuki

MATOKEO YANAYOTARAJIWA

• UZOEFU KUHUSU KILIMO HIFADHI UTAWEKWA KWENYE KUMBUKUMBU

• UTARATIBU WA KUANZISHA TAASISI ITAKAYOSIMAMIA MANUFAA YA WAKULIMA NA

WATENDAJI KILIMO HIFADHI UTAANDALIWA

• MTANDAO WA WATOA HUDUMA, WAKULIMA NA TAASISI ZINAZOHAMASISHA KILIMO HIFADHI

UTAIMARISHWA

• MIKAKATI YA KUPANUA JUMUIA ZA WAKULIMA WA KILIMO HIFADHI ITAAINISHWA