3
JUZUU 30 /no A.vll ]} SURATUL BURUJ ( /meteremka Makka) Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, Mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na Mwenye neem·a ndogo ndogo. 1. Naapa kwa mbingu zenye Buruji (nyota) 2. Na kwa siku iliyoahidiwa (kuwa itafika, nayo ni Siku ya Kiama) Na Mwenye kushuhudia na kishuhudiwacho. 4. (Kuwa) wameangamizwa watu waliowaadhibu Waislamu katika mahandaki. s. Y enye Moto wenye kuni (nyingi) 6. Walipokuwa wamekaa hapo 7. (Waliangamizwa makafiri hao pale wakati walipokuwa) wanatazama yale wanayowafanyia hao Waislamu (walipokuwa wakiwaadhibu). .. .. Ina Karu I 1. Buruji ni nyota ambazo zimckaa vikundi vikundi, kila kikundi huitwa Burji, na Buruji zotc ni Il: Sila ziko Kaskazini ya lkwcta (Equator), na sita ziko Kusini yakc. J. Kat i ka "Mwcnyc kushuhudia na kishuhudiliwacho" anaingia kila atakayc kuwa shahidi na kushudiliwa Siku ya Kiama; kama Mitu:nc, watashuhudilia umati wao kwa wcma wao na uwovu wao; mwahali mwa lbada; mtawashuhudilia kwa wcma wcnyc kuabudu; mwahali mwa maasia; mtawashuhudilia kwa uovu wcnyc kuasi; na hata viungo vya mtu na ngozi ya mwili wake pia Siku hiyo vitatoa ushahidi juu ya mtu huyo. Basi yataka mtu akiazimia kufanya maasi akumbukc kuwa ana mashahidi kadha wa kadha wamuonao, na Siku ya Kiama watasimama mbclc za Mwcnyczi Mungu watowc ushahidi wao juu ya mtu yule! Wakati Mayahudi wa Najrani walipoingia katika (kabla ya kuja Uislamu na kabla ya Umasihia kuharibiwa), alipata ha. bari mfalmc wao, Dhu-Nuwas; akaja Najrani na jcshi kubwa, akawalazimisha watu wa Nairani warudi katika Uyahudi; nao wasikubali. Dhu-Nuwas akachimba handaki kubwa akatia kuni, akawasha moto. Akawa humshika mmoja katika wale Wamasihia wa Najrani akiwatupa katika handaki lilc, na ycyc na watu wake wamekaa pambizoni mwa handaki watafaraji. Katika Sura hii Mwen)· czi Mungu Amctaia kisa hiki, pamoja na kuashiria kisa cha Firauni na Thamudi (kama utakavyoona katika Aya zijazo) ili kumliwaza Mtume na Sahaba zakc wajuc kwamba tabu iwapatayo kwa makafiri, imcanza kuwaftkilia ndugu zao waliotangulia. Katika maelelo ya hii Aya waliyoifanya ni ya s wamcscma uwongo kabisa. Wafasiri wotc na wanavyuoni wa Taretae wotc wamchadithia kuwa mambo haya yalitokca kabla ya Nabii Muhammad Hakuna mmoia aliycscma kuwa haya yatatokca baadayc; hata leo ndiyo wao wanasema kuwa haya yamcmhusu mtu wao ill wamdaiac Utumc. Na mara ya mwisho tulipojibu kwa urcfu ukafiri wa kudai Utume baada ya Nabii Muhammad (s.a.w.) ni katika marcjezo ya Aya ya 40 ya Suratul Ahzaab.

WordPress.com...JUZUU 30 Al-BURUJ (8S) 8. Nao hawajaona bay a lolote · kwao (W aislamu) ila kumuamini M wenyezi Mungu Mwenye kushinda (na) Mwenye kusifiWa 9. Ambaye ni Mwenye ufalme

  • Upload
    others

  • View
    5

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

  • JUZUU 30

    /no A.vll ]} SURATUL BURUJ ( /meteremka Makka)

    Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, Mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na Mwenye kun~mesha neem·a ndogo ndogo.

    1. Naapa kwa mbingu zenye Buruji (nyota)

    2. Na kwa siku iliyoahidiwa (kuwa itafika, nayo ni Siku ya Kiama)

    3· Na Mwenye kushuhudia na kishuhudiwacho.

    4. (Kuwa) wameangamizwa watu waliowaadhibu Waislamu katika mahandaki.

    s. Y enye Moto wenye kuni (nyingi) 6. Walipokuwa wamekaa hapo

    7. (Waliangamizwa makafiri hao pale wakati walipokuwa) wanatazama yale wanayowafanyia hao Waislamu (walipokuwa wakiwaadhibu).

    t""~r .. · rr~l' ..

    AM~1A

    Ina Karu I

    1 . Buruji ni nyota ambazo zimckaa vikundi vikundi, kila kikundi huitwa Burji, na Buruji zotc ni Il: Sila ziko Kaskazini ya lkwcta (Equator), na sita ziko Kusini yakc.

    J. Katika "Mwcnyc kushuhudia na kishuhudiliwacho" anaingia kila atakayc kuwa shahidi na kushudiliwa Siku ya Kiama; kama Mitu:nc, watashuhudilia umati wao kwa wcma wao na uwovu wao; mwahali mwa lbada; mtawashuhudilia kwa wcma wcnyc kuabudu; mwahali mwa maasia; mtawashuhudilia kwa uovu wcnyc kuasi; na hata viungo vya mtu na ngozi ya mwili wake pia Siku hiyo vitatoa ushahidi juu ya mtu huyo. Basi yataka mtu akiazimia kufanya maasi akumbukc kuwa ana mashahidi kadha wa kadha wamuonao, na Siku ya Kiama watasimama mbclc za Mwcnyczi Mungu watowc ushahidi wao juu ya mtu yule!

    4· Wakati Mayahudi wa Najrani walipoingia katika Um~sihia (kabla ya kuja Uislamu na kabla ya Umasihia kuharibiwa), alipata ha.bari mfalmc wao, Dhu-Nuwas; akaja Najrani na jcshi kubwa, akawalazimisha watu wa Nairani warudi katika Uyahudi; nao wasikubali. Dhu-Nuwas akachimba handaki kubwa akatia kuni, akawasha moto. Akawa humshika ~moja mmoja katika wale Wamasihia wa Najrani akiwatupa katika handaki lilc, na ycyc na watu wake wamekaa pambizoni mwa handaki watafaraji.

    Katika Sura hii Mwen)·czi Mungu Amctaia kisa hiki, pamoja na kuashiria kisa cha Firauni na Thamudi (kama utakavyoona katika Aya zijazo) ili kumliwaza Mtume na Sahaba zakc wajuc kwamba tabu iwapatayo kwa makafiri, imcanza kuwaftkilia ndugu zao waliotangulia.

    Katika maelelo ya hii Aya waliyoifanya ni ya s wamcscma uwongo kabisa. Wafasiri wotc na wanavyuoni wa Taretae wotc wamchadithia kuwa mambo haya yalitokca kabla ya Nabii Muhammad (~.a.w.). Hakuna mmoia aliycscma kuwa haya yatatokca baadayc; hata leo ndiyo wao wanasema kuwa haya yamcmhusu mtu wao ill wamdaiac Utumc. Na mara ya mwisho tulipojibu kwa urcfu ukafiri wa kudai Utume baada ya Nabii Muhammad (s.a.w.) ni katika marcjezo ya Aya ya 40 ya Suratul Ahzaab.

  • JUZUU 30 Al-BURUJ (8S)

    8. Nao hawajaona bay a lolote · kwao (W aislamu) ila kumuamini M wenyezi Mungu Mwenye kushinda (na) Mwenye kusifiWa

    9. Ambaye ni Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi; na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuona kila kitu.

    1 o. Hakika wale waliowaadhibu Waislamu ~anaume na Waislamu wanawake, kisha wasitubie basi watapata adhabu ya Jahanamu na · watapata adhabu ya kuungua (barabara).

    r

    11 . Hakika w~le walioamini na kutenda vi tendo vizuri bila shaka watapata Mabustani yenye mito ipitayo mbele yake. Huku ndiko kufuzu kukubwa.

    12. Hakika kutesa kwa Mola wako ni kukali (sana).

    1 3. Yeye ndiye aliyeanzisha ( viumbe) na Ndiye atakayewarejeza.

    14. Naye m Mwingi wa msamaha Mpenda (waja Wake)

    1 5. M wenye kiti cha enzi kitukufu

    16. Mwingi wa kutenda Alipendalo.

    AMAA

    . ... 8. Maana yake: Hapana lililomchukiza Dhu-Nuwas na wafuwasi wake kwa watu wa Najrani hata

    wakawakutisha adhabu hiyo ila ni kuwa wao wamemuamini Mwenyczi Mungu tu, Hapana jcngine!

    1 o. Makusudio ya kuadhibu hapa ni kuwaudhi wenye kuamini na kuw~tenza ngu\'U ili wawachc dini yao waiudi katika ukafiri. Na maneno haya kama ambavyo yanawahusu wale wenye handaki waliotangulia kuaajwa, kadhalika yanawahusu na makafiri wa Makka waliokuwa wakiwaadhibu lslamu kwa na:nna namna za udhia ill wawalazimishe kurcjca katika ukafiri. Na kama ambavyo yanahusu hao, kadhalika yanawakhusu kila warakaofanya kama hayo .

    i z-16. Mwcnyezi Mungu baada ya kuwahwaza Islamu kwa kuwaaajia mambo yatiyowafika ndugu zao waliotangulia, sasa anawaliwaza lena kwa Aya hi1.i, pamoja na kuwasubinsha, kwa kuwaoncsha Nguvu Zake Kubwa na Ufalme Wake Mtukufu . Wajue kwamba hao makafiri waji.Jnao wana nguvu za kuwaadhibu wenziwao, Yeyc hawamshindi. Atakapopcnda Atawapatiliza kwa adhabu ya Dunia na Akhera, au mojawapo. Na kwa kuwa Yeyc ni "Mwingi wa Maghufira" na "Mwcnye Mapenzi," Atakapopcnda Atawageuza nyoyo hao makafiri, walikubali hilo walikataalo leo, na kulilctta hilo walipigalo vita. Na kwa Uweza Wake Mkubwa,Ameyafanya yotc mawili. Baada ya myaka michachc Aliwapa nguvu !flo waliokuwa wanyonge. Altawapatiliza baadhi ya makafiri kwa adhabu ya Dunia na Akhera, kama Ab\1 Jahl na wenziwe waliokuwa wakimuudhi saua Mtumc na Sahaba zake. Na baadhi yao Akawagcuza r.yoN zao wakaingia katika Dini ya Uishamu, wakasimama kuiletea kwa roho zao na mali yan pia; hata wakafa vitani na huku wanatamani warudi wapiganie Dini!

    1 3. Maana ya Aya hii, ni kuwa Mwcnyczi Mungu Ndiyc Mwcnyc kuanza kuumba kila kitu, ~~ Ndiyc Atakayevircicza katika uhai baada . ya kufa .

  • JUZUU 30 AL·BURUJ (85)

    17. J e, zimekuwasilia habari za majeshl ya makafui

    18. Firauni na Thamudi?

    19. Lakini waliokufuru wamo katika kukadhibisha tu

    10. Na Mwenyezi Mungu Amewazunguka kote kote (bawawezi kuikimbia adhabu Y ake).

    11 . Bali hii ni Qurani tukufu

    ll . (lliyotolewa) katika buo ubao uliohifadhhva, (wa Mwcnyezi Mungu).

    AMMA

    17,18. Muna ya Aya mbili hizi ni haya: Mwcnyezi Mun1u Anamwambia Mtum~ Wake: )ee, imeku(lkilla khabari ya Askari w~ Firauni na Thamudi namna walivyokadhibisha Mitume yao, na kuwaudhi walioamini katika wao na namna Mwenyczi Mua1u Alivyowapatiliza kwa madhambi yao, Akamtotcaha Firauai na ukari zake katika bahari na akawUDiamiza Thamudi. Na Thamudi ai kabila ya uma wa Nabii Salih.

    JO. Na muradi wake bapa ai kuwa hao makafiri wamo katika kabdhi ya Mwenyczi Mun1u na tawuti Yake; bawana pa kukimbilia. ·

    JJ. Muna yake: Hii wanayosomcwa makafui ni Quiaai tukufu, iliyo katika Ubao uliyohifadhiwa buko mbialuni, ai mancno ya watu wa kale kama wadhanivyo wao. Na huo "Ubao wenye kuhifadhiwa, aaaycjua namna yake ni Ycye Mwcnycwc tu Mwenyezi Muqu. Na ambalo linatupasa sisi ai kuamini tu kuwa uko siyo kuijua KA YFIA yake.

    Katika maclezo ya hii Aya waliyoifaaya ya J 3 wameacuza muradi wa neno "Lawhin Mahfuudlr."

    ••