6
MALKIA! HEBU CLEAR THIS MESS! UNCLE YAKO ANAKUJA KUNI-VISIT. HAWA NI KINA NANI? 9

07.b - Malkia

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 7 - Malkia

Citation preview

Page 1: 07.b - Malkia

MALKIA!

HEBU CLEAR THIS MESS! UNCLE YAKO ANAKUJA

KUNI-VISIT.

HAWA NI KINANANI?

9

Page 2: 07.b - Malkia

Oh, ni friends naclassmates wangu.

Sisi ni memberswa peace club.

For goodness sakeMalkia! Sitaki uwe rafiki ya

hawa foreigners!!!

But ni schoolmatesmum!

If not nitaku-transfershule. Sawa!!??

Mi si-understand sababuya mathe kusema hataki

niwe beste yenu.

Mathe Alisma ati watu wenu niwa-greedy, ...na nyinyi ni wazembe, ...na kuwa wewe watu wenyu hutumia urogi kwa exams!

Na budangu alisemanyinyi Malkia huibaga

doh kwa maskini!

Na nyinyi ati huwaga fitina na hupenDa

kupigana vita.

Ohoo, ni hivo? Sasa nitakuonyesha

vita wewe!

10

Page 3: 07.b - Malkia

Wacha kumpiga

Kichwa soo ntakwonyesha oxygen hu-spell-iwa aje

Heeey! Ni nini?

Hii ni meeting ya peace club ama

ni wrestling club?

11

Page 4: 07.b - Malkia

PRINCIPAL

Na hii fighTimeanzia wapi?

Na si ni wewe ulianza hIyo storo na mathako?

i’m sorry, sikuwanataka tupigane.

Sorry kwa kukuvurutanywele.

Sasa nimepata idea poa. Hii shida najuwa ina-represent wazazi wengi. So, kwa next

parents meeting, situ-make ka-presentation juu ya tribalism.

Come inExcuse me sir, we wantto have a presentationon tribalism in the next

p.t.a. meeting.

We live together in harmony in schooland need to show our parents how

to do that...

That is a great idea. Prepare yourpresentation then call me ToPREVIEW it once you are ready.

12

Page 5: 07.b - Malkia

Mum, Pleeease kuja uone play yetu kesho.

Nitakuwaniki-act

Eee nita-try.Oookay.

Mum thanks a million!

Ma-Paro wame-come wengi?

Ndio na ninatafutamathangu

Simwoni.

A WEEK LATER AT MALKIA’S HOME...

13

Page 6: 07.b - Malkia

“Tuachane na ukabila, kwani huleta utenganyifu, mgeni kumpokea kumbe ni kujitongea.”

Very good Malkia. The parentshave received the message

and understood.Don’t be sad Malkia.Change begins with

you and yourgenerationMY MOM HASN’T

COME...

ubaguziMara nyingi, watu husikika

wakiongea vibaya juu ya watu wa kabila, race, tabia, na tabaka tofauti

na yao. Hii sio sawa.

Wanaobaguliwa huanza ku-doubt watu wengine, wanaskia guilty na kuwa na low self-esteem. Utakuwa responsible citizen kwa

kusaidia kumaliza ubaguzi!

Tumia DJ B maoni juu ya ubaguzi on 3008, facebook

Djboyie Shujaaz

Jua kila mtu ni tofauti na special.

Kuwa sensitive kwa feelings za watu wengine.Ni unfair kubagua.

Usikubali kuona wengine wakibaguana juu ya dini, lugha, kule wametoka, gender, au sura zao.

Teach friends zako ku-respect tofauti za watu na kuwajulisha wanapo bagua.

Kuwa kwa activities zinazo-encourage watu wa different groups kuwa pamoja kwa concerts, sports forums, ku-visit festivals.

Jivunie kuwa from your culture, ambia watu wengine juu ya culture yenyu.

Hi DJB keep it up mnatia Wakenya moyo eg. Mi ni

Mkamba I stay in Kerugoya pahali Wakamba uogopwa sana.1st niliwa-show mi ni mtu na Mkenya kama wao, u-join story za kukataa ukabila juu ata kama kwetu kuko uchawi sio kila mtu mchawi also hizo ni vitu vya kale, tena sijionangi au kujitenga kando kwa ujenzi wa taifa. Kwanza mi ni wanachama wa shule, na niliaza merry go round ya wamama ili tuwe kitu kimoja and they turned to love me and many have no problem with my tribe now. Always show people around you that, you are brothers, share your talent with them wherever you are na Kenya will be a nice place to stay.Tresa M. M from Machakos via Kirinyaga.

14