Upload
well-told-story
View
263
Download
14
Embed Size (px)
DESCRIPTION
Chapta 19– Malkia :Jitambulishe (I.D)
Citation preview
Life inakupelekaje Filo?
Najaribu lakini ni hardest…
hata naona afadhali ni give-up.
Filo! Mbona unasema hivyo, nini iliku-happen-ia?!
Ulikuwa leader mpoa zamani
lakini una-give up!
Malkia, sio kwa kupenda… 9
jitambulishe!
Nikimada seco nilikuwa na morale sana…
Wasee, mimi nafikisha 18 years…
Na elections ndio hizi zina-come. Lazima nichukue hatua ni-vote!
Nani ako na mimi?!
WAZI FILO!
WAZI FILO!
Nilifanya application yangu ya ID vipoa…
10
Kijana, naona umerudi kuchukua
ID yako?
Ndio…iko tayari?
Hehehe! Si wewe uli-apply 3 months ago? Baaaado! Utangoja tu!
Ngoja kabisa!
Sawa.
BAADAE KIASI…
Tena umerudi? Bado kabisa! Unataka nikuzalie
ID ama?...Lakini ungekuwa unaongea vizuri, ungesaidika…
Sina dooh…
Kwani nafaa kulipa tena…?
Usirudi hapa kama hauezi
kuongea mzuri!
11
Sijui kama hizi dooh zitatosha yule officer, manze lazima ni-vote!
Turn yangu itafika kweli?
12
Orait! Tunafunga. Wengine mtarudi Monday!
Haki wacha tu nichukue yangu,
ntashindwa ku-vote!! Mbona mnaonea mayuts hivi?!
Mafala. Wakae na hizo
elections zao!
Vile violence ilitokea, nika-join wasee
tukavunja ma-shops.
Nilijam juu sikuona use ya kuwa patriotic any more…
13
Unacheki Malkia, hakuna haja ya
ku-struggle sana…
Usi-give up Filo! Wewe ni m-young na unaweza achieve vitu biggie!
Kuna vitu unaweza do kama unakosa kusaidika kwa ofisi za ID. Nitatuma SMS kwa 3008
ndio DJB a-show mafans issue yako tupate solution.
Sawa, sina credo, tutumie simu yako…
ID ni LAZIMA kama unataka KU-VOTE kwa election yoyote! Anza mapema!
Apply-ia ID kwa District Registration Office (hii office iko kwa kila district). Wataku-show requirements za ku-apply, kumbuka…
hii service ni free!!
sare!!
bwerere!!
Usitumie ma-broker ku-apply ID, ma-officer wa registration wote wako na badge yenye inawatambua as workers wa gava. Usilipe broker, usilipe bribe. Kupata ID ni SARE!
Nairobi 18 working days (Mon – Fri)
Arid & Semi-Arid Lands na Border Districts 38 working days
Ma-district zingine zote 28 working days
After hii time imepita, enda
uulizie ID yako kwa place penye
uli-apply. Usipoipata, na kama
hauelewi mbona ID yako haiko,
bonga na District Registrar
in Charge kwa hiyo ofisi.
Kama bado una maswali bonga na customer care kwa hii address: National Registration Bureau
P.O Box 57007 – 00200, NAIROBI020 2722526 020 [email protected]
Hizi ndio time ya kawaida ye ID kutokelezea kwa areas tofauti Kenya:
14