32
BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU Mwongozo rahisi kwa wadau wa misitu

BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

  • Upload
    others

  • View
    1

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU

Mwongozo rahisi kwa wadau wa misitu

Page 2: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

CONTRIBUTORS

Christopher Agwagwa. Senior Translator, MINFOF (Cameroon)TSANGA ADA A. Didier. Senior Translator, FS C-ARO (Cameroon)

Simon Minja, SFI TanzaniaForm International (Netherlands)

Creation:

Production:

CIEFE/ICEFS: International Centre for Environmental and Forestry Studies (Cameroon)IMAFLORA: Instituto de Manejo e Certificação Florestal e Agricola (Brazil)

Copyright © 2006 ICEFS/CIEFE-IMAFLORA. All rights reserved.

Andréa Vilela

Priscila Mantelatto

Clément Beaud. Agro-economic Engineer, CIEFE (Cameroon)Olive Tatio Sah. Sociologist, CIEFE (Cameroon)Mauricio de Almeida Voivodic. Forestry Engineer, IMAFLORA (BRAZIL)

Lambari Design Editorial

English Translation:Louis Djomo, Director of CIEFE/ICEFSRevision:

Diagrams:

Graphic Production:

Illustrations:

Swahili Translation:

Page 3: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

Neno la utambulisho Kiwango cha juu cha ukataji miti na uharibifu wa misitu ya kitropiki iliyotokea miaka ya 1980, Ulaya kususia mbao za kitropiki kampeni iliyoandaliwa na mashirika yasiyo ya kiserikali ya Kaskazini. Utafiti uliofanywa kufuatia mgomo huu ulibaini kuwa uvunaji wa magogo haikuwa sababu tu ya ukataji misiti - bali kulikuwa na sababu nyingine nyingi kama vile kilimo, malisho ya mifugo na kadhalika. Kwa hiyo, wazo la kuthibitisha na kutoa vyeti vya misitu likawa limeanza katika miaka ya 1990. Mifumo kadhaa ya uthibitishaji iliendelezwa na hata hivyo, ilileta mkanganyi-ko katika akili za watumiaji. Haraka sana, uthibitishaji uka-poteza sifa yake. Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu yanayofanya kazi ya kulinda misitu ya mvua (Ra-inforest Alliance) walipendekeza kuundwa kwa Baraza la usimamizi wa misitu ‘Forest Stewardship council’ (FSC) ambapo mkutano wa uanzishwaji wake ulifanyika mwe-zi Oktoba 1993. Kwa kuunganisha mifumo yote iliyopo ya uthibitishaji katika mpango wake, chombo hiki hatua kwa hatua kilipata imani kwa wadau mbalimbali na kwa saba-bu hiyo kukawa na mfumo wa kuaminika na kukubaliwa na wengi. Mwongozo huu ni chombo rahisi cha kutumiwa na jamii za vijijini na wadau wote wenye nia na mchakato wa uthibitishaji na utoaji wa vyeti/hati za FSC kwa misitu...

Louis DjomoMkurugenzi wa CIEFE/ICEFS

Page 4: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

Katika siku za nyuma, misitu yetu ilitumika bila mpango wa usimamizi, bila ya hofu yoyote kwamba ingeweza kutoweka, hivyo kusababisha uharibifu mkubwa kwenye jamii zinazoishi ndani na pembezoni mwa misitu.

Page 5: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

Wafanyakazi wao walifanya kazi katika hali isiyo salama, bila kifaa kinga chochote cha kuwakin-ga na ajali.

Wanapowasili vijijini, makampuni ya kuvuna magogo yalichapisha hati zao za kuvuna magogo, wakaingia msituni, basi, walikata miti na kuondoka zao. Wenyeji hawakuwa na cha kusema, kwakuwa hawakufuatwa kwa mashauriano wala kushirikishwa.

Page 6: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

LAKINI, LEO, MAMBO YANABADILIKA!!!

KWANINI?

Page 7: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

Sasa, kule Ulaya, kabla ya kununua mbao zilizokuja kutoka nchi, kama vile Cameroon, wateja wanauliza maswali mbalimbali, ikiwa ni pamoja na, hii mbao inatokea wapi? Ilivunwaje? Je, kampuni ya kusafirisha magogo nje ya nchi inazingatia sheria za kitaifa?

Mbao zilivunwa katika njia ambayo msitu utaendelea kuwa na tija ili kusudi watu wanaoute-gemea wangeendelea kuvuna mbao? Na, je, wananchi wa eneo husika walifaidika na shughu-li za uvunaji? ……??

Page 8: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

Kwa kifupi, msitu ambapo mbao zimevunwa utunzaji wake ni endelevu? Hii ni kwasababu kama msitu utatoweka, watu watateseka.Ili kukabiliana na masuala yaliyotolewa na wateja wake, meneja wa msitu anapaswa kutoa cheti. Mwisho inalenga kushuhudia kwamba mbao iliyouzwa vyanzo vyake ni kutoka kwenye msitu unaosimamiwa Vizuri.

Cheti cha FSC ndicho ambacho, duniani kote, kinatoa udhamini wa uhakika kwa watumiaji wa mbao kwamba mbao iliyonunuliwa imetoka kwenye msitu ambao utunzaji wake ni endelevu.

Page 9: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

UTHIBITISHAJI WA MSITU NI NINI?Uthibitishaji msitu ni mchakato ambao una lengo la kushuhudia kwamba vyanzo bidhaa vya msitu vinatoka katika msitu unaosimamiwa vizuri. Hii ni tathmini ya kampuni za uvunaji juu ya viwango vya Usimamizi Endelevu wa Msitu (UEM).

Ndani ya mfumo wa uthibitishaji FSC wa msitu, kipimo ni pamoja na Kanuni 10 zenye maele-zo yaitwayo vigezo na Viashiria. Mara baada ya kampuni ya kuvuna magogo kutathminiwa na usimamizi wake wa msitu kuonekana wa kiwajibikaji; inapewa cheti cha FSC cha Usimamizi Endelevu wa Msitu(UEM).

Page 10: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

UTHIBITISHAJI WA MSITU NI NINI?Kwenye soko, chapa ya FSC hutumika kutofautisha bidhaa (mbao) zinazotoka kwenye misitu inayotunzwa vizuri na ile ambayo haitunzwi kwa uendelevu.

Na, ili kuhakikisha kwamba meneja wa msitu hatoweka chapa kwenye bidhaa zilizotoka kwenye vyanzo ambavyo havijathibitishwa, njia iliyotumiwa na kila bidhaa, kuanzia kwenye msitu uliothibitishwa mpaka kwa mtumiaji wa mwisho, inafuatwa na kukaguliwa; hii inaitwa vipengele vya uthibitishaji vya FSC.

Page 11: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

NDANI YA MPANGO WA FSC, USIMAMIZI ENDELEVU WA MSITU NINI MAANA YAKE?

FSC kwa waziwazi inathibitisha kwamba kampuni ya kuvuna magogo inaendeleza msitu wake vizuri kama inakubaliana na Kanuni kumi za FSC. Kwa hivyo, kampuni ya magogo inayotaka usimamizi wa msitu wake uwe ndelevu lazima:

Izingatie sheria zote za kitaifa;Imiliki kibali cha uvunaji kwa misingi ya muda mrefu;Iheshimu haki za watu wa asili na desturi;Kuwepo na hali nzuri ya kufanya kazi kwa wafanyakazi;Kuongeza faida zinazotoka kwenye msitu na kupunguza hasara;

Page 12: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

NDANI YA MPANGO WA FSC, USIMAMIZI ENDELEVU WA MSITU NINI MAANA YAKE?

Kutumia mbinu za uvunaji zisizo na madhara makubwa wakati wa shughuli za uvunaji;Kuendeleza mpango wa usimamizi wa msitu wa kweli na wenye mpangilio mzuri;

Kufuatilia uzalishaji na kutathmini athari za shughuli za uvunaji;Kujua namna ya kutambua na kutunza kitu chochote ambacho kina faida ndani ya msitu; Kuhakikisha kwamba mashamba yanazingatia kanuni na miongozo ya FSC.

Page 13: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

LENGO KUU LA UTHIBITISHAJI MSITU NI NINI?

Kuhamasisha watu ambao wanavuna rasilimali za misitu ama kwa ajili ya kuuza au kwa ajili ya matumizi kufanya hivyo kwa njia endelevu, ili watoto wao waweze pia kufaidika katika siku zijazo. Inafanyika hivyo kwa kutoa bei ya juu na faida kwa wale ambao wamejitolea kufanya usi-mamizi endelevu wa misitu.

Page 14: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

NI WATU GANI WANAOHUSIKA KWENYE UTHIBITISHAJI WA MISITU?

Kampuni za misitu na wafanyakazi wake, wakazi wa eneo husika, mashirika ya ndani na mashirika yasiyo ya kiserikali, serikali za mitaa, na watumiaji.Mwongozo huu utakuonyesha jinsi gani utahusika kwenye mchakato wa uthibitishaji....

Page 15: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

NI MISITU GANI INAYOWEZA KUTHIBITISHWA NA FSC?Msitu wowote unaosimamiwa vizuri na kampuni za uvunaji, jamii, halmashauri za mitaa, au watu binafsi, nk.

Uthibitishaji wa FSC wa misitu unashughulikia mbao na bidhaa nyingine zote za msitu kama wanyamapori, majani, matunda na kadhalika.

Page 16: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

UTHIBITISHAJI WA MISITU UNAFANYIKA VIPI?Kuthibitishwa, meneja wa msitu anawasiliana na chombo cha FSC chenye vibali vya uthibitis-haji. Wanakubaliana juu ya mahitaji ya uthibitishaji (muda, kipindi, na gharama).

Chombo cha uthibitishaji ni wakala unaoundwa na timu ya wataalam wanaoitwa wakaguzi. Wao hufanya ukaguzi au tathmini ya usimamizi wa kampuni za uvunaji magogo. Wao huangalia kama meneja wa msitu anasimamia vizuri msitu.

Page 17: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

UTHIBITISHAJI WA MISITU UNAFANYIKA VIPI?

Tathmini ya awali ya FSC;

Mchakato wa FSC wa uthibitishaji wa msitu hufanyika kwa hatua kadhaa kama ifuatavyo:

Uthibitishaji ukaguzi;

Uthibitishaji wa cheti;

Ziara za ufuatiliaji/uthibiti ukaguzi.

Page 18: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

TATHMINI YA AWALITathmini ya awali ni tathmini ambayo hufanyika kabla ya kutolewa cheti. Wakaguzi hufuatilia shughuli zinazofanyika katika msitu na kujadiliana na wafanyakazi wa misitu na wakazi wa eneo hilo.

Matokeo ya awali ya tathmini ni ripoti ambayo hujadili uwezo na pia madhaifu ambayo yana-hitaji kushughulikiwa kabla ya uthibitishaji ukaguzi. Mapungufu ya kushughulikiwa hujulikana kama “Matakwa ya Hatua za Marekebisho" (MHT). Kunaweza kuwa na matakwa ya hatua za marekebisho madogo (hali) au makubwa (kabla ya hali).

Page 19: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

UTHIBITISHAJI UKAGUZIUthibitishaji ukaguzi ni tathmini ya kina inayofanyika wakati ambapo mthibitishaji atasema kama inawezekana au haiwezekani kuthibitisha. Wakati wa mchakato wa uthibitishaji, kuna-weza kuwa na watu wengi kulingana na hali.

Chombo cha uthibitishaji rasmi kinatangaza ziara yake ya kutembelea shamba, siku 30 kabla ya tarehe ya uthibitishaji ukaguzi. Inapeleka programu ya ziara yake kwa watu wanaohusika na kuuliza kama wana malalamiko yanayohusiana na shughuli za kampuni ya uvunaji mago-go kuomba uthibitishaji/cheti.

Page 20: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

Wakati wa tathmini kuu, bado watakagua shughuli zinazofanyika msituni, watawauliza wafa-nyakazi kuhusu mazingira yao ya kazi, na wanajamii kuhusu mahusiano yao na kampuni ya uvunaji wa magogo.

UTHIBITISHAJI WA CHETI

Kama shughuli za kampuni ya uvunaji wa magogo zinazingatia kanuni 10 za FSC, inapewa cheti cha FSC ambacho kitaipa kampuni mamlaka ya kuweka chapa kwenye bidhaa zake kuonyesha kwamba chanzo chake ni kutoka kwenye msitu uliothibitishwa.

Page 21: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

ZIARA ZA UFUATILIAJI/UTHIBITI UKAGUZI Kampuni ya magogo iliyopata cheti inapaswa kuendelea kutekeleza mbinu nzuri za usimamizi wa msitu na kudumisha uhusiano mzuri na wadau wengine ili kuendelea kuwa na cheti chake.

Kujihakikishia mwendelezo huu, mthibitishaji kwa mwaka hufanya tathmini ya ufuatiliaji, angalau mara moja kwa mwaka, kwenye kampuni ya uvunaji wa magogo; hii inaitwa ziara za ufuatiliaji au udhibiti ukaguzi.

Page 22: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

ZIARA ZA UFUATILIAJI/UTHIBITI UKAGUZI Wakati wa ziara ya ufuatiliaji kila mwaka, mthibitishaji anatathmini shughuli za uvunaji, maswali kutoka kwa wafanyakazi, jamii, na wadau wengine.

Cheti kitanyang’anywa kama taratibu za kampuni ya uvunaji hazizingatii/kutii kanuni za FSC.

Page 23: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

NANI ANAYEFAIDIKA NA UTHIBITISHAJI WA MISITU? KAMPUNI ZA KUVUNA MAGOGO

Uthibitishaji unawawezesha kupata huduma kirahisi kwa masoko ya bidhaa zao na kupata matumaini kwa wanunuzi ambapo uthibitishaji kwao unaonyesha kwamba msitu unasimamiwa vizuri na unaweza kuzalisha kwa muda mrefu.

Page 24: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

NANI ANAYEFAIDIKA NA UTHIBITISHAJI WA MISITU? WAFANYAKAZI WA MSITUNI Kampuni za kuvuna magogo zilizothibitishwa, waajiri lazima: Wazingatie sheria za kazi;

Kuhakikisha usalama kazini na wakati wa kusafiri, na kuwapa wafanyakazi vifaa vyote wanavyohitaji;Kutoa hali/mazingira mazuri ya kufanya kazi;Kuwezesha kazi kwa kuandaa mafunzo ya mara kwa mara.

Page 25: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

WAKAZI WA ENEO HUSIKAWanafuatwa kwa mashauriano na kuhusishwa katika usimamizi wa misitu yao. Haki zao za kimila na desturi juu ya msitu zinatambulika, tamaduni zao zinaheshimiwa.

Watu wanaoishi katika maeneo ya jirani ya msitu uliothibitishwa wanaweza:Kufurahia kipaumbele cha kuajiriwa kwa nafasi za kazi kwenye makampuni ya uvunaji wa magogo wakati wana ujuzi unaotakiwa. Kupokea msaada kutoka kwa meneja wa msitu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi midogo midogo ya maendeleo.

NANI ANAYEFAIDIKA NA UTHIBITISHAJI WA MISITU?

Page 26: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

NANI ANAYEFAIDIKA NA UTHIBITISHAJI WA MISITU? WATUMIAJI:

Matumizi ya bidhaa zilizothibitishwa na FSC huchangia kulinda misitu na kuboresha maisha ya wakazi wa misitu na wafanyakazi.

Page 27: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

SAWA!!! HIYO NI NZURI SANA !!! WAPI BASI MTU ANASHIRIKI KATIKA MCHAKATO WA UTHIBITISHAJI?

KWA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI ZA KUVUNA MAGOGOZILIZOTHIBITISHWA, NI MUHIMU:

Kujua haki zako vizuri sana. Wakati wa tathmini,kumpa mthibitishaji taarifa juu ya hali yako ya kufanyia kazi na tabia ya mwajiri wako.

Page 28: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

KUZUNGUKA MAENEO YA MSITU ULIOTHIBITISHWA, UNAWEZA:

Kukutana na chombo cha uthibitishaji na kuwapatia taarifa juu ya: Mahusiano yako na kampuni ya kuvuna magogo; Kama shughuli za kampuni ya kuvuna magogo zimesababisha uharibifu kwa jamii; Kama kampuni ya kuvuna magogo inaheshimu haki zenu za kimila;

KAMA WEWE NI MWANACHAMA WA JUMUIYA ZINAZOISHI NDANI NA

Kuhudhuria mikutano ya mashauriano iliyoandaliwa na kampuni ya kuvuna magogo, chom-bo cha uthibitishaji, utawala wa msitu, mashirika ya mazingira kwa kujijulisha mwenyewe, kujifunza na hatimaye kuonyesha wasiwasi wako.

Page 29: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

Kama kampuni ya kuvuna magogo inafanya shughuli haramu au haizingatii viwango vya FSC.Wakati wa majadiliano na kampuni ya magogo au wakaguzi, ni faida zaidi kuongea kwa utaratibu wa kimakundi. Kwa kufanya hivyo, unaamrisha heshima, nafasi yako ya kupitisha/kufikisha ujumbe wako ni kubwa na ushiriki wako kwenye mchakato wa FSC wa kuthibitisha msitu ni muhimu zaidi.

Sasa kwakuwa wewe unajua zaidi kuhusu uthibitishaji wa misitu wa FSC, chukua nafasi hii kushiriki kwenye uthibitishaji wa misitu Tanzania na nchi nyingine za Afrika.

Page 30: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

FSC Africa Regional Office: Chris BurchmoreFSC Regional Director - Africa73 Uplands Road, Blackridge, Pietermaritzburg 3201; South AfricaPhone: +27(0)76 9102299E-Mail: [email protected] skype: burchmorec

Kwa habari zaidi juu ya mpango wa uthibitishaji wa FSC , wasiliana na:

FSC East Africa OfficeNairobi, KenyaPhone: +254 722 726 690E-Mail: [email protected] Skype: paul-opanga

FSC Africa Regional Office: Annah AgashaEast Africa Project ManagerP.O.Box 7487Kampala, UgandaPhone: +256 772 495544E-Mail: [email protected] skype: Annah.agasha2

Page 31: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu

The International Centre for Environmental and Forestry Studies - CIEFE/ICEFS - mission is to promote the conservation, protection and rational use of na-tural resources in general and forest resources in particular. ICEFS is a conservation and development organisation. Its objectives include the promotion of sustainable natural resources management for the well-being of people through: sensitizati-on, technical support/advice, instututional and organisational capacity building (gender approach), support to the development and implementation of local de-velopment plans, advocacy and research action (data collection, processing and dissemination).

The Instituto de Manejo e Certificação Florestal e Agricola - IMAFLORA- (www.imaflora.org) is a Brazilian non profit and non governamental institution which goal is to contribute to the sustainable development, by the support and promotion of the environmentally responsible, socially beneficial and economi-cally viable forest and agronomic management practices.

Form international is a forest management and services company that mana-ges forest assets in Africa and delivers a range of technical and financial services to clients worldwide. One of the services is the support to organisations who want to achieve FSC certification. As part of this support, the current booklet on FSC has been translated into Swahili to help stakeholders and companies working on FSC in East Africa.

Page 32: BAZARA LA UTHIBITISHAJI USIMAMIZI BORA WA MISITU · 2018. 7. 19. · Mwaka 1992, umoja wa wachongaji, wafanyabiashara na wawakilishi wa mashirika ya mazingira na haki za bi-nadamu