13
Chakula (Food) Vikolezo (Condiments) Kikolezo (Condiment) Kitoweo (Dressing) Kiungo (Spice) Sosi (Sauce) Mchuzi (Gravy) Kachumbari (Salad) Saladi (Green salad) Achari Relish / Pickles Aioli Aïoli Asali Honey Chatne ya maembe Mango chutney Chumvi Salt Chumvi ya bahari Sea salt Dipu ya vitunguu Onion dip Guakamole (Rojo ya parachichi) Guacamole Haradali ya asali Honey mustard Haradali ya Dijoni Dijon mustard Haradali ya Kiingereza English mustard Haradali ya Kijerumani German mustard Haradali ya manjano Yellow mustard

Chakula (Food)

Embed Size (px)

DESCRIPTION

swahilli

Citation preview

Chakula (Food)

Vikolezo (Condiments)

Kikolezo (Condiment)Kitoweo (Dressing)Kiungo (Spice)Sosi (Sauce)Mchuzi (Gravy)Kachumbari (Salad)Saladi (Green salad)AchariRelish / Pickles

AioliAoli

AsaliHoney

Chatne ya maembeMango chutney

ChumviSalt

Chumvi ya bahariSea salt

Dipu ya vitunguuOnion dip

Guakamole (Rojo ya parachichi)Guacamole

Haradali ya asaliHoney mustard

Haradali ya DijoniDijon mustard

Haradali ya KiingerezaEnglish mustard

Haradali ya KijerumaniGerman mustard

Haradali ya manjanoYellow mustard

Haradali ya nafaka zisizokobolewaWholegrain mustard

Haradali ya ungaPowdered mustard

HarisaHarissa

HummusHummus

JemuJam

Jibini ya nachoNacho cheese

KachumbariSalad / Pico de gallo

Kachumbari ya kabichiColeslaw

KechapuKetchup

Kitoweo cha ranchiRanch dressing

Kitoweo cha visiwa elfuThousand Island dressing

Kiziduo cha lavani / vanilaVanilla extract

Mafuta ya zeituniOlive oil

MajariniMargarine

Malai machunguSour cream

MayonesiMayonnaise

MchuziGravy

Mchuzi wa bizariCurry

Mchuzi wa nyamaBroth

MrabaMarmelade

Rojo ya biringaniBaba ghannouj

Rojo ya jibiniCheese spread

Rojo ya nyanyaTomato paste

SalsaSalsa

SambaliSambal

SaukrautiSauerkraut

Shira ya mshiraMaple syrup

SiagiButter

Siagi ya karangaPeanut butter

Siki ya balsamikiBalsamic vinegar

Siki ya kimeaMalt vinegar

Siki ya mvinyoWine vinegar

Siki ya sida ya matofaaApple cidar vinegar

Siki ya waliRice vinegar

Sosi kaliHot sauce

Sosi tamu-chachuSweet-and-sour sauce

Sosi ya B.B.Q.Barbecue sauce

Sosi ya BearniaBarnaise sauce

Sosi ya hoisinHoisin sauce

Sosi ya karangaPeanut sauce

Sosi ya KiholanziHollandaise sauce

Sosi ya KiingerezaWorcestershire sauce

Sosi ya KitatariTartar sauce

Sosi ya kokteliCoctail sauce

Sosi ya maplamuPlum sauce

Sosi ya samakiFish sauce

Sosi ya soyaSoy sauce

TahiniTahini

VinagretiVinaigrette

WasabiWasabi

Posted by MZ at 9:45 AM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Chakula (Food) Tuesday, August 26, 2014Familia ya Vibuyu (Cucurbitaceae)

Familia ya vibuyu (Cucurbitaceae; Gourd family)*Note: The eggplant / aubergine belongs to the Solanaceae family.BiringaniEggplant / Aubergine

BogaPumpkin

ChayoteChayote

KibuyuGourd / Squash

Kibuyu cha demaniAutumn squash

Kibuyu cha kiangaziSummer squash

Kibuyu cha kipupweWinter squash

Kibuyu cha manjanoYellow squash

Kibuyu cha spagetiSpaghetti squash

Kibuyu cheupeWhite squash

Kibuyu kichunguBitter gourd

Mung'unyeZucchini (Courgette)

TangoCucumber

Tango bila mbeguSeedless cucumber

Tango la achariPickle

Posted by MZ at 10:42 AM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Chakula (Food) Friday, January 25, 2013Aina za Njugu (Types of Nuts)

Aina za njugu (Types of nuts)AramoniChestnut

Fistiki (Pistasho)Pistachio

HazeliHazelnut

JoziWalnut

KarangaPeanut

KoroshoCashew

KunguIndian almond

LoziAlmond

MakadamiaMacadamia

NaziCoconut

Njugu ya BraziliBrazil nut

Njugu ya mfuneBeech nut

Njugu ya mginkoGinkgo nut

Njugu ya mkolaCola nut

Njugu ya msonobariPine nut

PekaniPecan

Siagi ya karangaPeanut butter

Posted by MZ at 6:59 PM 1 comment: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Chakula (Food) Tuesday, May 17, 2011Aina za Mkate (Types of Bread)

Aina za mkate (Types of bread)Mkate (Bread)BageliBagel

Fimbo za mkateBreadsticks

Kinyunya ujeyaPhyllo dough

KrwasaniCroissant

Mikate midogoBread rolls

Mkate mgumu wa KiskandinaviScandinavian cracked bread

Mkate mgumu wa raiCracked rye bread

Mkate mweupeWhite bread

Mkate mweusi wa KirusiRussian pumpernickel

Mkate mweusi wa raiBlack rye bread

Mkate usiotiwa hamiraUnleavened bread

Mkate wa KieireIrish bread

Mkate wa KifaransaFrench bread (Baguette)

Mkate wa KigirikiGreek bread

Mkate wa KihindiIndian naan bread

Mkate wa KiingerezaEnglish bread

Mkate wa mhindiCornbread

Mkate wa mtindiButtermilk bread

Mkate wa nafaka zisizokobolewaMultigrain bread

Mkate wa raiRye bread

Mkate wa rai wa KidachiGerman rye bread

Mkate wa rai wa KideniDanish rye bread

Mkate-halaHallah bread

Mkate-pitaPita bread

SkonziBiscuit (Scone, Roll)

Tortila (Chapati ya mhindi)Tortilla

Posted by MZ at 6:26 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Chakula (Food) Aina za Viungo (Types of Spices)

Aina za viungo (Types of spices)Kiungo (Spice)BizariCurry powder

DalasiniCinnamon

Haradali nyeupeWhite mustard

Haradali nyeusiBlack mustard

HawajiTurmeric

IlikiCardamom

JiraCumin

KarafuuClove

KisibitiCaraway

KungumangaNutmeg

MasalaMasala

Mbegu za mpopiPoppy seeds

Pilipili iliyosagwaGround pepper

Pilipili kaliChili pepper

Pilipili mangaBlack pepper

Pilipili mbuziPaprika

Pilipili nyeupeWhite pepper

Pilipili ya JamaikaAllspice

Pilipili ya kijaniGreen pepper

Pilipili ya pinkiPink pepper

Pilipili zilizookwaDried chiles

Pilipili zilizopondwaCrushed chiles

Pilipili-halapenyoJalapeo pepper

ReteniJuniper berry

TangawiziGinger

UdahaCayenne pepper

Unga wa viungo vitanoFive spice powder

UwatuFenugreek

Viungo vya KikajuniCajun seasoning

ZafaraniSaffron

Posted by MZ at 5:25 PM 2 comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Chakula (Food) Matunda ya Tropiki (Tropical Fruits)

Tunda la tropiki (Tropical fruit)CherimoyaCherimoya

DurianiDurian

EmbeMango

FeijoaFeijoa

FenesiJackfruit

Gakachika*Horned melon

GulabiLychee

Izu (Ndovi)Plantain

Jabotikaba (Zabibu ya Brazili)Jaboticaba

JohoPersimmon

Kinyomoro*Tamarillo

KiwiKiwi

KomamangaPomegranate

KunaziJujube

KuyuFig

LongyaniLongan

MangostanaMangosteen

NanasiPineapple

NdiziBanana

PapaiPapaya

PasheniPassion fruit

Pea la AsiaAsian pear

PeraGuava

PungatePrickly pear

SapodilaSapodilla

ShelisheliBreadfruit

ShokishokiRambutan

Tango tamuPepino

Tunda-nyotaStarfruit

Posted by MZ at 9:12 AM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Chakula (Food) Matunda yenye Kokwa na ya Nusufamilia ya Matofaa

Tunda lenye kokwa (Drupe)Tunda la nusufamilia ya matofaa (Pome fruit)AprikotiApricot

CheriCherry

FyulisiPeach

NektariniNectarine

PeaPear

SafarjaliQuince

TendeDate

TofaaApple

ZambarauPlum

Zambarau ya KijapaniJapanese plum

Posted by MZ at 7:52 AM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Chakula (Food) Aina za matikiti

Aina za matikitiKantalupuCantaloupe

TikitiMuskmelon

Tikiti manjanoCanary melon

Tikiti-asaliHoneydew melon

TikitmajiWatermelon

Posted by MZ at 7:26 AM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Chakula (Food) Monday, May 16, 2011Aina za Beri (Types of Berries)

Aina za beri (Types of berries)Beri nyekunduLingonberry (Red whortleberry)

Beri nyeusiBlackberry

BuluuberiBlueberry

Buluuberi ya mwituBilberry

KranberiCranberry

RasiberiRaspberry

StroberiStrawberry

Tunda bukiniGooseberry

Tunda bukini jekunduRedcurrant

Tunda bukini jeusiBlackcurrant

ZabibuGrape

Zabibu nyekunduRed grapes (Purple grapes)

Zabibu nyeupeWhite grapes (Green grapes)

Zabibu nyeusiBlack grapes (Blue grapes)

Posted by MZ at 11:13 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Chakula (Food) Matunda ya Jenasi ya Machungwa (Citrus Fruits)

Tunda la jenasi ya machungwa (Citrus fruit)BalungiGrapefruit

Balungi la kijaniPomelo

ChenzaTangerine

ChungwaOrange

Chungwa dogoKumquat

Chungwa-limauBergamot

DanziBitter orange

FurunguCitron

KangajaMandarin

LimauLemon

NdimuLime

Posted by MZ at 10:46 PM No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to PinterestLabels: Chakula (Food) Sunday, May 15, 2011Aina za Viyoga (Types of Mushrooms)

Aina za viyoga (Types of mushrooms)Uyoga (Fungus)Kiyoga "Sikio la mti"Wood ear

Kiyoga cha ardhiTruffle

Kiyoga cha dhahabuChanterelle (Golden mushroom)

Kiyoga cha kulikaEdible boletus

Kiyoga cha maziwaMilk-cap

Kiyoga-sifongoMorel (Sponge mushroom)

Kiyoga-temboAgaric

Rusula ya kijaniGreen russula

Uyoga "Shiitake"Shiitake mushroom

Uyoga uliolimwaCultivated mushroom

Uyoga wa kipupweWinter mushroom

Uyoga wa matakaInk cap mushroom

Uyoga-chazaOyster mushroom

Uyoga-mainzi mautiDeath cap mushroom

Uyoga-mainzi mwekunduFly agaric