8
JIMBO KATOLIKI LA MBULU IDARA YA ELIMU SHULE YA SEKONDARI ENDAROFTA KUMB.NA.ESS/K.I/2017/05 S.L.P. 65, Mwanafunzi…………..……. . KARATU . ………………………………. 20/07/2016 Simu(phone) +255 69797689 ……………………………….., E-mail [email protected] YAH: KUCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2017. Nafurahi kukutaarifu kuwa umechaguliwa kujiunga katika shule hii mwaka 2016. HONGERA SANA. Ni matumaini yangu kuwa utatumia fursa hii kusoma kwa bidii ili uwe mtumishi bora wa Taifa letu. Shule ya sekondari Endarofta iko Wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha. Iko mashariki mwa mji mdogo wa Karatu, kilometa mbili. Inapakana na kanisa Katoliki. Iko kama kilometa 1.5 Kusini mwa barabara ya Arusha – Ngorongoro. Pamoja na barua hii nimeambatanisha fomu zifuatazo:- 1. Fomu ya malipo ya shule (Ada) 1

JIMBO KATOLIKI LA MBULU - WordPress.com · Web viewFomu ya malipo ya shule (Ada) Fomu ya Mahitaji mhimu na Vifaa vya kazi. Fomu ya Daktari (Medical Examination form) ijazwe na Daktari

  • Upload
    others

  • View
    97

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: JIMBO KATOLIKI LA MBULU - WordPress.com · Web viewFomu ya malipo ya shule (Ada) Fomu ya Mahitaji mhimu na Vifaa vya kazi. Fomu ya Daktari (Medical Examination form) ijazwe na Daktari

JIMBO KATOLIKI LA MBULUIDARA YA ELIMU

SHULE YA SEKONDARI ENDAROFTA

KUMB.NA.ESS/K.I/2017/05 S.L.P. 65,Mwanafunzi…………..……. . KARATU.………………………………. 20/07/2016

Simu(phone) +255 69797689……………………………….., E-mail [email protected]

YAH: KUCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2017.

Nafurahi kukutaarifu kuwa umechaguliwa kujiunga katika shule hii mwaka 2016. HONGERA SANA.

Ni matumaini yangu kuwa utatumia fursa hii kusoma kwa bidii ili uwe mtumishi bora wa Taifa letu.

Shule ya sekondari Endarofta iko Wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha. Iko mashariki mwa mji mdogo wa Karatu, kilometa mbili. Inapakana na kanisa Katoliki. Iko kama kilometa 1.5 Kusini mwa barabara ya Arusha – Ngorongoro.

Pamoja na barua hii nimeambatanisha fomu zifuatazo:-1. Fomu ya malipo ya shule (Ada)

2. Fomu ya Mahitaji mhimu na Vifaa vya kazi.

3. Fomu ya Daktari (Medical Examination form) ijazwe na Daktari wa Wilaya (Irejeshwe shuleni

wakati wa kuja na mwanao).

4. Fomu ya kukubali kufuata sheria za shule kwa hiari yako (Irejeshwe shuleni wakati wa kuja na

mwanao).

Shule itafunguliwa tarehe _________________siku ya mwisho kuripoti ni tarehe ______________

Usiporipoti mpaka tarehe hii, nafasi yako itatolewa kwa mwanafunzi mwingine.

1

Page 2: JIMBO KATOLIKI LA MBULU - WordPress.com · Web viewFomu ya malipo ya shule (Ada) Fomu ya Mahitaji mhimu na Vifaa vya kazi. Fomu ya Daktari (Medical Examination form) ijazwe na Daktari

FOMU YA MALIPO YA SHULE.

1. ADAS/NA MAELEZO KIDATO CHA I - IV

BWENI KUTWA

1 ADA 1,400,000/= 1,200,000/=

- Malipo hayo yamehusisha sare ya shule.

- Matibabu yatakayo fanyika nje ya zahanati ya shule Mzazi / Mlezi anatakiwa kurejesha gharama zilizo tumika.

- Kwa kidato II & IV malipo ya mitihani ya Mock na mitihani ya Taifa mzazi au malezi atajulishwa baada ya shule kupata kiwango cha kuchangia kutoka ngazi husika.

- Mzazi au mlezi utatakiwa kulipa malipo hayo kabla ya mototo kupokelewa shule

MALIPO YOTE YAFANYIKE KUPITIA AKAUNTI NA. 40902300097 AU 40902300076 NMB. UJE NA PAY-IN- SLIP

NB: Fedha ikisha wekwa kwenye Akaunti ya shule haiwezi kurudishwa kwasababu yoyote ile.

2

Page 3: JIMBO KATOLIKI LA MBULU - WordPress.com · Web viewFomu ya malipo ya shule (Ada) Fomu ya Mahitaji mhimu na Vifaa vya kazi. Fomu ya Daktari (Medical Examination form) ijazwe na Daktari

5. MAHITAJI MHIMU

1. Godoro la Sponji futi 3x3”

2. Blanketi moja rangi yoyote

3. Shuka mbili, moja pinki na nyingine bluu bahari (light blue)

4. Mto, foronya, taulo, Rain boot, saa, na ndoo yenye ujazo wa lita kumi

5. Chandarua(ya duara) kwaajili ya kujikinga na mbu

6. Vifaa vya michezo, Jezi (bukta na T-shirt) wavulana na Tracksuit rangi yeyote kwa

wasichana

7. Vyombo kwa ajili ya chakula(sahani,bakuli, kijiko,kikombe) na kidumu cha kuhifadhia maji

ya kunywa

8. Tochi (kurunzi)

9. Picha mbili za passport kwa ajili ya kitambulisho na faili

10. Daftari za kutosha

11. Fulana ya njano

12. Sanduku la chuma(tranka

6. VIFAA VYA SHUGHULI ZA MIKONI (KAZI).

1. Jembe mpya na mpini wake

2. Panga,

3. Kwanja

4. Fagio ndogo la ndani na nje

5. Mopper na Brush

NB: Mwanafunzi atapokelewa endapo ametimiza maagizo yote.

3

Page 4: JIMBO KATOLIKI LA MBULU - WordPress.com · Web viewFomu ya malipo ya shule (Ada) Fomu ya Mahitaji mhimu na Vifaa vya kazi. Fomu ya Daktari (Medical Examination form) ijazwe na Daktari

7. MAKOSA YANAYOWEZA KUMFUKUZA MWANAFUNZI MARA (BILA MAJADILIANO).

- Kuwa na simu shuleni

- Wizi, unyanganyi na uongo uliowazi

- Kufanya mapenzi, kulawiti, ubakaji na ushoga

- Kunywa pombe, sigara na madawa ya kulevya

- Kumpiga mtumishi au mwanafunzi mwenzake

- Udanganyifu katika mitihani

- Utoro ( kutokuwepo mazingira ya shule bila ruhusa

- Kuchochea au kuongoza mgomo, fujo au maandamano.

- Uharibifu mkubwa wa mali ya shule

- Kutoa matusi waziwazi.

KARIBU SANA ENDAROFTA SEKONDARI…………………

MKUU WA SHULE

Kwa mawasiluano zaidi: 0757651376 0763493128 0769881221

4

Page 5: JIMBO KATOLIKI LA MBULU - WordPress.com · Web viewFomu ya malipo ya shule (Ada) Fomu ya Mahitaji mhimu na Vifaa vya kazi. Fomu ya Daktari (Medical Examination form) ijazwe na Daktari

SHULE YA SEKONDARI ENDAROFTASEHEMU A.

AHADI YA MZAZI/MLEZI

ANWANI YA MZAZI/MLEZI……………………………..……………………………..Simu Na. …………………..

Mimi ……………………………mzazi/mlezi waMwanafunzi……………………..ninayo furahya kuchaguliwa kwa mwanafunzi/ndugu yangu kuingia kidato cha kwanza.

Kwa barua hii ninaahidi kwamba niko tayari:1. Kulipa karo kwa muda unaotakiwa na kuhakikisha kwamba mwanafunzi/ndugu yangu hachelewi

masomo.2. Nitakubaliana na michango mingine yoyote kama itakavyoamuliwa na bodi ya shule au vikao vya

wazazi/walezi wenzangu.3. Nitashilikiana na walimu ili kuhakikisha kwamba mwanangu/ndugu yangu anakuwa na tabia

nzuri, mchapakazi na mtiifu kwa maelekezo yote atakayopewa na uongozi wa shule. 4. Ninatambua wastani/alama zilizowekwa na shule kama kigezo cha mwanangu kuingia kidato

kingine. Ninapenda mwanangu/ndugu yangu alelewe katika dhehebu la…………………………………..Ninaahidi kuwa nitatekeleza hayo yote yaliyotajwa hapo juu.Saini ya mzazi/mlezi………………………………Tarehe………………………………………...

SEHEMU B.AHADI YA MWANAFUNZI

Mimi………………………………………………ninayo furaha kuchaguliwa kwangu kuingia kidato cha kwsanza katika shule hii.

5

Page 6: JIMBO KATOLIKI LA MBULU - WordPress.com · Web viewFomu ya malipo ya shule (Ada) Fomu ya Mahitaji mhimu na Vifaa vya kazi. Fomu ya Daktari (Medical Examination form) ijazwe na Daktari

Kwa barua hii naahidi kwamba:-1. Nitafuata sheria na kanuni zote za shule pamoja na maelekezo yote yanayotolewa mara kwa mara

na uongozi wa shule.2. Nitafanya kazi kwa bidii, nitakuwa na moyo wa kujituma na kwa nidhamu.3. Nitawatii na kuwaheshimu viongozi wangu wote kuanzia Mkuu wa shule, watumishi, viranja hadi

monita.4. Nitasoma kwa bidii na kwa nguvu zangu zote, ili niweze kufaulu mitihani yangu yote bila

kuwaletea wazazi wangu hasara.5. Sita toka nje ya mipaka ya shule bila ruhusa ya mwalimu.6. Kama nitashindwa kufuata/kuzingatia maadili mema nipewayo na walezi wangu shuleni, hatua

kali zichukuliwe dhidi yangu ambayo ni pamoja na kufukuzwa shule. Ahadi hii nimeitoa leo tarehe……………………………………………………………………. Jina la mwanafunzi…………………………………………..Sahihi……………………………. Jina la mzazi/mlezi…………………………………………..Sahihi…………………………….

*Mzazi/mlezi unatakiwa kukabidhi fomu hii shuleni ikiwa imejazwa

JIMBO KATOLIKI LA MBULUIDARA YA ELIMU

SHULE YA SEKONDARI ENDAROFTA, S.L.P. 65, KARATU. 20/07/2016

MGANGA MKUU,HOSPITALI YA WILAYA,

FOMU YA UTHIBITISHO WA DAKTARI

Nathibitisha kuwa mwanafunzi…………………………………………………amepimwa nami kikamilifu na kuonekana ana/hana afya nzuri kwa mujibu wa vipimo vifuatavyo:-

A. HALI YA MWILI(i) Mapigo ya

moyo……………………………………………………………………………(ii) Hemoglobin……………………………………………………………………………

……(iii) Kundi la damu (blood group)

…………………………………………………………(iv) Mkojo……………………………………………………………………………………

…….(v) Kinyesi……………………………………………………………………………………

……(vi) Macho……………………………………………………………………………………

……

6

Page 7: JIMBO KATOLIKI LA MBULU - WordPress.com · Web viewFomu ya malipo ya shule (Ada) Fomu ya Mahitaji mhimu na Vifaa vya kazi. Fomu ya Daktari (Medical Examination form) ijazwe na Daktari

(vii) Masikio………………………………………………………………………………………..

(viii) Mimba (kwa wasichana)…………………………………………………………………

Angalizo: Weka maoni yako kuhusu kila kilichojazwa hapo juu.

B. MAGONJWA(i) Pumu…………………………………………….(ii) Kifua kikuu…………………………………….(iii) Kifafa…………………………………………….(iv) Shinikizo la damu……………………………(v) Vidonda vya tumbo………………………...(vi) Sickle cell………………………………………..(vii) Ukoma……………………………………………(viii) Maradhi ya zinaa………………………........(ix) Ukimwi……………………………………........(x) Maradhi ya akili……………………………….(xi) Maradhi mengine makali yasiyotajwa hapo juu…………………………..

Sahihi na mhuri………………………………

Cheo………………………………………………………Tarehe…….............................

*Mzazi/mlezi unatakiwa kukabidhi fomu hii shuleni ikiwa imejazwa

7