19
Fomu PL.1 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ---------------- SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. 13 YA 1995 TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI (Kwa Mujibu wa Kifungu cha 9 na cha 11 cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Na. 13 ya Mwaka 1995) ZINGATIA: Viongozi wa Umma wanatakiwa kusoma kwa makini maelezo yaliyopo kwenye ukurasa unaofuata kabla ya kutoa Tamko la Rasilimali na Madeni. 0

SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

  • Upload
    others

  • View
    27

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

Fomu PL.1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ----------------

SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. 13 YA 1995

TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI

(Kwa Mujibu wa Kifungu cha 9 na cha 11 cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Na. 13 ya Mwaka 1995)

ZINGATIA: Viongozi wa Umma wanatakiwa kusoma kwa makini maelezo yaliyopo kwenye ukurasa unaofuata kabla ya kutoa Tamko la Rasilimali na Madeni.

0

Page 2: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

Maelezo Muhimu

1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na 15 cha Sheria ya

Maadili ya Viongozi wa Umma Na.13 ya mwaka 1995 kama ilivyorekebishwa na Sheria

Na.5 ya mwaka 2001.Orodha ionyeshe mali za kibiashara na za matumizi binafsi.

2. Orodhesha mali zako na mali unazomiliki kwa pamoja na mke au mume wako, na pia

mali za watoto wenye umri ulio chini ya miaka kumi na nane ambao hawajaoa au

kuolewa. Rasilimali zinazotakiwa kutajwa ni pamoja na zifuatazo:-

(a) Fedha taslimu na amana katika benki au taasisi nyingine ya fedha;

(b) Hawala za Hazina (Treasury Bills) na nyinginezo za dhamana maalum zinazotolewa au kudhaminiwa na serikali au vyombo vya serikali;

(c) Faida itokanayo na fedha iliyowekwa akiba katika benki,chama cha ujenzi au

taasisi nyingine ya fedha;

(d) Mgao wa fedha kutokana na fungu la rasilimali ya kampuni (stocks)au hisa za kiongozi wa umma katika kampuni au shirika lolote;

(e) Maslahi katika chombo cha biashara kisichokuwa na mkataba na serikali, na

kisichokuwa na au kisichotawala amana zinazouzwa bayana na vyombo vya

umma;

(f) Mashamba ya kibiashara na ya matumizi binafsi;

(g) Mali halisi zisizohamishika,kwa mfano nyumba au majengo mengine;

(h) Rasilimali zinazoleta faida ambazo zinatakiwa kutajwa na zinamilikiwa kwa mbali.

3. Kama nafasi kwenye fomu hii haitoshi,andika taarifa ya nyongeza katika karatasi nyingine uambatanishe.

4. Kiongozi wa umma ambaye alikwisha kutoa tamko la mali na madeni yako anatakiwa kutamka nyongeza au pungufu ya mali na madeni yake.

5. Mapato rasilimali na madeni uliyonayo nje ya Tanzania yanatakiwa kutolewa tamko

.Aidha ,mali,rasilimali ,akaunti na biashara unazomiliki kwa pamoja nje ya Tanzania

nazo zinatakiwa kutolewa tamko.

6. Tamko hili liwasilishwe kwa Kamishna wa Maadili katika kipindi cha siku

thelathini baada ya kushika wadhifa na tamko liwasilishwe kila mwisho wa mwaka na wakati wa kuacha wadhifa.

1

Page 3: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

7. Ni wajibu wako kuhakikisha kwamba Fomu ya Tamko iliyokamilika imemfikia Kamishna

wa Maadili kama ilivyoelekezwa katika aya ya 6. Unashauriwa kutumia njia inayoaminika

kuwasilisha Fomu hiyo.

8. Ni ukiukwaji wa Maadili iwapo kiongozi atashindwa kuwasilisha Tamko la Mali na

Madeni yake katika muda uliowekwa na Sheria. Aidha,ni kosa la jinai iwapo kiongozi

atatoa tamko au taarifa za uongo kuhusu mali na madeni yake.

9. Tamko hili lazima litolewe mbele ya Kamishna wa viapo.

2

Page 4: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

SEHEMU YA KWANZA: Maelezo Binafsi.

Kiongozi mtamkaji Mpya Kiongozi mtamkaji wa zamani

(weka alama ya vema katika kisanduku husika)

1 Jina la Ukoo ……………………………….………………………….………………………

(kwa herufi kubwa) 2 Majina mengine ………………………….……….………………….………………………. 3 Tarehe na mahali ulipozaliwa ….…………….……………..……………………………

…………….……………......….……………………………….………………………………. 4 Hali ya ndoa………….…………….…………………….…………………………………… 5 Uraia ………………….………………………..……….……………………………………… 6 Anwani ya sasa

(a) Sanduku la Barua ……..………………….………………………..…………………. …………………………………………………………………………….….…….……..… …..……………….………………………………………………………………...………..

(b) Mahali unapoishi …………..…………………………………………………………… ………………………………………….…………………………………………………….

(c) Namba ya simu …………………….…………………………………………………… 7 Taarifa za Ajira

(a) Cheo/Wadhifa ………….………………….…………………………………………….

(b) Tarehe ya kuajiriwa/kuchaguliwa/kuteuliwa …………………..……………….

(c) Jina la mwajiri ...…………..………………………………………..…………………..

(d) Aina ya ajira (ya kudumu, muda, mkataba) …………….………………………..

(e) Mshahara kwa mwaka ...………………………………………………………..…….

(f) Posho kwa mwaka (kadirio) ..…………..………………………………………….…

(g) Mapato kutoka Vyanzo Vingine ..…………...…..………………………………….

8(a) Cheo chako kabla ya cheo cha sasa .... ……..…………………………………..…

(b) Tarehe ya Cheo cha Mwisho: Kutoka ..……….……………………………………

Hadi .. ……..……………..………………………… (c) Jina la mwajiri wako wa mwisho …………..………………………………..………………

………………………………………………………………………..………………………………

3

Page 5: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

1. MAELEZO KAMILI YA MAPATO (kwa tarehe ya kujaza fomu hii)

(a) Fedha taslimu ………………………………………..……………………………….........

(b) Fedha zilizoko benki au taasisi ya fedha kama ifuatavyo;

(1) Jina la (2) Namba ya (3) Kiasi (4) Chanzo (5) Faida (6) Matumizi Benki Akaunti cha iliyopatikana (Binafsi/

Fedha kutokana Biashara na Akiba

(c) Fedha zilizoko benki au taasisi za fedha nje ya Tanzania (Eleza

kikamilifu kwa kutaja nchi zilizoko hizo fedha).

(1) Jina la (2) Namba ya (3) Kiasi (4) Chanzo cha (5) Faida (6) Matumizi(Bi Benki/ Akaunti Fedha iliyopatikana nafsi/Biash

Taasisi na kutokana na ara) mahali Akiba

4

Page 6: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

(d) Hisa na gawio ndani na nje ya Tanzania

(1) Kiasi cha Hisa (2) Jina la Kampuni na (3) Kiasi cha Gawio

Mahali Hisa zilipo

(e) Nyumba na Majengo Mengine ndani na nje ya Tanzania

(1) Nyumba/ (2) Mahali zilipo (3) Ukubw (4) Thamani au (5) Fedha za (6) Matumizi Majengo a au Gharamaya Ujenzi/Ununuzi (Binafsi/Biashara) mengine Eneo Ujenzi/Ununuzi zilivyopatikana

5

Page 7: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

(f) Mashamba,Mifugo, Madini ndani na nje ya Tanzania

(1)Mashamba, (2)Ukubwa wa (3)Thamani (4)Fedha za (5)Mahali yalipo (6) Matumizi(

Mifugo,Kitalu Eneo/Idadi kununulia Binafsi/Biash

cha Madini zilivyopatikana ara)

(g) Magari na aina nyingine za usafiri, (boti, ndege, mitambo, hataza) ndani na nje ya Tanzania

(1) Aina na Namba (2) Thamani (3) Fedha za kununulia (4) Mahali yalipo/ (5) Matumizi

zilivyopatikana zilipo (Binafsi/Biashara)

6

Page 8: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

(h) Mashine za kusaga nafaka,Viwanda,Mitambo ndani na nje ya Tanzania.

(1) Mashine za kusaga,nafaka (2) Mahali (3) Idadi (4) Thamani (5) Fedha za kununulia

,Viwanda Mitambo zilipo

zilivyopatikana)

2. RASILIMALI AU MASLAHI MENGINE YA KIBIASHARA NDANI NA NJE YA

TANZANIA

……………………………………………………………………………………………………

……………………………………………………………………………………………………

……………………………………………………………………………………………………

3. MADENI:

(a) Madeni unayodai

……………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………................................

……………………………………………………………………………………………………

(b) Madeni unayodaiwa

……………………………………………………….....................................................

.......................................................................................................................

........................................................................................................................

........................................................................................................................

........................................................................................................................

7

Page 9: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

SEHEMU YA PILI:

RASILIMALI ZA MME/MKE/WAKE

(Sehemu hii ijazwe na Kiongozi kwa ajili ya Mme/Mke/Wake kadri ilivyo

1. MAELEZO YA RASILIMALI NA MALI ZA MME/ MKE/WAKE WA KIONGOZI NDANI NA NJE YA

TANZANIA (Kwa tarehe ya kujaza Fomu).

(a) Jina la Mme/Mke/Wake (b) Kazi yake

………………………………..………..… …………………………..……………………

…………………………………………… …………………..……………………………..

………………………………….……..… …………………..……………………………..

…………………………………………… ………………………………………………….

1. Fedha zikizoko Benki au taasisi ya fedha ndani na nje ya Tanzania

(a) Fedha taslimu ………………………….…………….

(b) Fedha zilizoko Benki au taasisi nyingine ya fedha

(1) Kiasi (2) Jina la (3) Namba ya (4) Chanzo cha (5) Faida inayopatikana (6) Matumizi Benki Akaunti Fedha (Binafsi/ Biashara)

8

Page 10: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

(c) Fedha zilizoko benki au taasisi za fedha nje ya Tanzania (Eleza kikamilifu kwa kutaja nchi zilizoko hizo fedha).

(1) Kiasi cha (2) Jina la Kampuni na (3) Kiasi cha (4) Chanzo cha (5) Faida iliyopatikana (6) Matumizi

Hisa Mahali Hisa zilipo Gawio Fedha kutokana na Akiba (Binafsi/ Biashara

(d) Hisa na gawio ndani na nje ya Tanzania.

(1) Kiasi cha Hisa (2) Jina la Kampuni na Mahali Hisa zilipo (3) Kiasi cha Gawio

9

Page 11: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

(e) Nyumba na Majengo Mengine ndani na nje ya Tanzania.

(1) Nyumba/ (2)Mahali (3)Thamani au (4)Ukubwa (5)Fedha za (6)Matumizi Majengo zilipo Gharama ya au Eneo Ujenzi/Ununuzi ( Binafsi/ Mengine Ujenzi/Ununuzi zilivyopatikana Biashara)

(f) Mashamba,Mifugo,Madini ndani na nje ya Tanzania.

(1)Mashamba, (2)Mahali (3)Thamani (4)Fedha za (5) Ukubwa wa (6)Matumizi

Mifugo,Kitalu yalipo kununulia Eneo/Idadi (Binafsi/ cha Madini zilivyopatikana Biashara)

10

Page 12: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

(g) Magari na aina nyingine za Usafiri ndani na nje ya Tanzania.

(1) Aina na (2) Thamani (3) Fedha za (4) Mahali yalipo/zilipo (5) Matumizi Namba kununulia (Binafsi/Biashara) zilivyopatikana

(h) Mashine za kusaga Nafaka,Viwanda,Mitambo ndani na nje ya Tanzania.

(1) Mashine za Kusaga (2) Mahali zilipo (3) Idadi (4) Thamani (5) Fedha za kununulia Nafaka,Viwanda,Mitambo zilivyopatikana

11

Page 13: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

2. RASILIMALI AU MASLAHI MENGINE YA KIBIASHARA NDANI NA NJE YA

TANZANIA

…………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………

………………………………………………………………….....................................

3. MADENI

(a) Madeni anayodaiwa

………………………………………………………………..…………...................

……………………………………………………………………………………………

…………………………………………............................................................

………………………………………………………………………………................

(b) Madeni anayodai

……………………………………………………………………………………………

……………………………………………………………………………………………

……………………………………………………...............................................

………………………………………………………………………………...............

SEHEMU YA TATU: 1. RASILIMALI ZA WATOTO WENYE UMRI ULIO CHINI YA MIAKA KUMI NA

NANE AMBAO HAWAJAOA AU KUOLEWA (Sehemu hii ijazwe na Kiongozi wa Umma kwa niaba ya mtoto/watoto)

(a) Majina na umri wa mtoto/ watoto

…………………………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………………………………………………

12

Page 14: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

(b) Fedha

(i) Fedha taslimu ……………………………………………………………….............

(ii) Fedha zilizoko Benki au taasisi ya fedha ndani na nje ya Tanzania

(1) Jina la (2) Namba ya (3) Kiasi (4) Chanzo cha (5) Faida (6) Matumizi Benki Akaunti fedha iliyopatikana (Binafsi/

kutokana na Biashara) Akiba

(c) Fedha zilizoko benki au taasisi za fedha nje ya Tanzania (Eleza kikamilifu kwa kutaja nchi zilizoko hizo fedha).

(1) (2) (3) Kiasi (4) Chanzo (5) Faida iliyopatikana (6) Matumizi B e n k i / Namba ya Akaunti cha kutokana na Akiba (Binafsi/ T a a s i s i Fedha Biashara n a M a h a l i

13

Page 15: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

(d) Hisa na gawio ndani na nje ya Tanzania

(1) Kiasi cha Hisa (2) Jina la Kampuni na mahali Hisa zilipo (3) Kiasi cha Gawio

(e) Nyumba na Majengo Mengine ndani na nje ya Tanzania

(1) Aina ya (2) Mahali (3) Gharama ya (4) Ukubwa (5) Yalivyopatikana (6) Matumizi

Jengo zilipo Ujenzi/ununuzi wa Eneo hayo Majengo (Binafsi/

(mkopo, fedha Biashara)

yako n.k.)

14

Page 16: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

(f) Mashamba, mifugo na Migodi ndani na nje ya Tanzania

(1)Mashamba, (2)Ukubwa wa (3)Thamani yake (4)Fedha za (5)Mahali (6)Matumizi

mifugo, kitalu Eneo/Idadi kununulia zilipo (Binafsi/

cha Migodi zilivyopatikana Biashara)

(g) Magari na aina nyingine za Usafiri ndani na nje ya Tanzania

(1) Aina na (2) Thamani (3) Fedha ya Kununulia (4) Mahali (5) Matumizi Namba ilivyopatikana yalipo/zilipo (Binafsi/ Biashara)

15

Page 17: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

(h) Mashine za kusaga Nafaka,Viwanda,Mitambo ndani na nje ya Tanzania.

(1) Mashine za (2) Mahali (3) Idadi (4) Thamani (5) Fedha za Kusaga,Nafaka,Viwan zilipo kununulia

da Mitambo zilivyopatikana

2. RASILIMALI AU MASLAHI MENGINE YA KIBIASHARA/BINAFSI

………………………………………………………………………………………………………

………………………………………………………………………………………………………

………………………………………………………........................................................

3. MADENI:

(a) Madeni anayodaiwa.

……………………………………………………………………………………………………

…………………………………………………………………………................................

……………………………………………………………………………………....................

(b) Madeni anayodai

............................................................................................................................. .... ............................................................................................................................. .... ............................................................................................................................. .... ............................................................................................................................. ....

16

Page 18: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

SEHEMU YA NNE:

Eleza kama uliwahi kutuhumiwa kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa

Umma na aina ya Ukiukaji huo na hatua zilizochukuliwa

..........................................………………………………………………………………

……………….…………………………………………………………………………............

........................................................................................................................

........................................................................................................................

........................................................................................................................

........................................................................................................................

........................................................................................................................

........................................................................................................................

........................................................................................................................

........................................................................................................................

........................................................................................................................

........................................................................................................................

SEHEMU YA TANO:

Sehemu hii itajazwa na Viongozi wa Zamani ambao tayari walikwisha toa Tamko lao la Rasilimali na Madeni mwaka uliopita. Fomu hii ya tamko ni kwa ajili ya kuonyesha Mali na Madeni yaliyoongezeka au kupungua baada ya Tamko lao la mwisho.

(a) Ongezeko la Rasilimali na Mapato

Aina ya Rasilimali/Mali Maelezo ya Ongezeko la Chanzo cha Mali hiyo. Mali,Kiasi/Thamani/Mapato

(a) Fedha taslimu. Eleza Namba ya

Akaunti ya Benki

(b) Majengo: Eleza Namba ya Ploti.

(c) Mashamba, Eleza yalipo mashamba

hayo na Ukubwa wake.

(d) Magari, Eleza Namba za Usajili.

(e) Hisa

(f) Mashamba ambayo

hayajaendelezwa, Eleza yalipo.

(g) Rasilimali nyingine.

17

Page 19: SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. …samedc.go.tz/storage/app/uploads/public/5a4/553/8b7/5a...Maelezo Muhimu 1. Kabla ya kujaza Fomu hii soma kwa makini kifungu cha 4,5,6,8,9,na

(b) Upungufu wa Mali na Madeni

Aina ya Rasilimali/Mali Maelezo ya upungufu Chanzo cha upungufu wa mali wa hiyo Mali,Kiasi/Thamani/

(h)Fedha iliyo Benki na Namba ya Akaunti ya

Benki.

(i)Majengo: Namba ya Ploti.

(j) Mashamba: Eleza yalipo na Ukubwa wake.

(k) Magari: Eleza Namba za Usajili.

(l) Hisa:

(m) Mashamba ambayo hayajaendelezwa,

Eleza yalipo.

(g) Rasilimali nyingine.

Tamko hili limetolewa na kusainiwa ………………………….........

na mtoa tamko ambaye ninamfahamu Saini ya mtoa Tamko

leo tarehe…………...............................

Saini ya Kamishna wa viapo…………...

Wadhifa…………………………………….

Anwani…………………………………….. Muhuri wa Kamishna wa Viapo

Tamko hili lirejeshwe kabla ya tarehe 31 Desemba, kwa:-

Kamishna wa Maadili,

Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma,

S.L.P. 13341,

Dar es Salaam.

Simu: 2111810/11

Fax: 2119217

Barua pepe [email protected]

Limepigwa Chapa na Mpigachapa wa Serikali Dar es salaam-Tanzania

18