Upload
ngonhi
View
462
Download
7
Embed Size (px)
Citation preview
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3
Welcome to the Longman Kenya schemes of work
We are delighted to bring you Kiswahili schemes of work ready for use.The Kiswahili schemes of work are in line with our mission which is to make your work easy so you can focus on the business of teaching. While preparing these schemes, careful consideration was given to the need to make your classes innovative, lively and inspiring. The schemes cover the entire secondary cycle, from form 1 to 4. You will need to scroll down the CD to get to your specific subject area. The subject areas are arranged alphabetically.We do hope you will find the suggested activities and resources motivating and in line with the curriculum requirements. The schemes are a guide and you should adapt them to suit your particular circumstances.The Kiswahili schemes of work are based on the following tried and tested Longman Kenya textbooks and supplementary books:
Textbooks Hazina ya Kiswahili Kidato 1-4
Reference Books Marudio ya KCSE ya Kiswahili Zilizala na Kimani Njogu (New)
To make the most of the schemes you need to have the books listed above.
We know that in this new era of multi-media technology the needs and expectations of your learners are constantly changing, and we aim to provide inspiring, innovating and high-value books that will keep them interested. Whatever your subject area or interest Longman Kenya has something for you.We look forward to supporting you and your learners over the coming years and hope you enjoy using our schemes of work.Do not hesitate to contact me for any clarifications.Best wishes
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 1
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3Jacob MachariaSales Manager, Longman KenyaTel: Mobile – 0724 159770 Office – 020 2219177
:
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 2
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3
MUHULA 1
JUM
A
KIPINDI SOMO YALIYIOMO
LENGO MBINU ASILIA VIFAA MAONI
1 1 Kusoma UfahamuUtawala bora
Mwanafunzi aweze-kusoma na kujibu maswali ya ufahamu-kutungia maneno mapya kwa sentensi mwafaka
- Kusoma- Kujibu
maswali- Kutunga
sentensi
Hazina ya Kiswahili kidato3 uk 2-4
Kitabukamusi
2 Kusikiliza na kuzungumza
Vanishaji wa fasihi simulizi
Aweze:-kuanisha vipera vya fasihi simulizi-kueleza umuhimu wa fasihi simulizi
- Kuandika- Maelezo
mjadala
Hazina ya Kiswahili kidato3 uk 12
Kitabukamusi
3 sarufi Ngeli zaNomino-vivumishi
Aweze:-kueleza maana ya vivumishi-kutaja vivumishi vya aina mbalimbali
Maelezo kutoa mifano
Hazina ya Kiswahili kidato3 uk 4
Kitabukamusi
4 Fasihiandishi
TamthiliaKifo kisimani
Aweze-kueleza anwani ya tamthilia ipasavyo-kuanisha dhamara ya mwandishi
Kusoma kwa zamu Kueleza
Mberia‘Kifo kisimani’
Kitabu kamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 3
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 35 Fasihi
andishiTamthiliaKifo kisimani
Aweze-kueleza muhtasari wa onyesho la I and II-kueleza matukio muhimu
Kusomakujadiliana
Mberia‘Kifo kisimani’
TamthiliaKifo kisimani
6 Fasihi TamthiliaKifo kisimani
Aweze-kueleza matukio katika onyesho la I and II-kuandika muhtasari wa maonyesho hayo
KusomaKujadilianakuandika
Mberia‘Kifo kisimani’
TamthiliaKifo kisimani
2 1 Kusikiliza na kuzungumza
MaamkiziMeya na mpiga kura
Aweze-kufanya maamkizi ya heshima na adabu-kufanyan mazungumzo katika aofisi ya mtawala
KuigizaMazungumzo
Hazina ya Kiswahili kidato 3 uk 1
Kitabukamusi
2 Sarufi Upatanisho wa kisarufi
Aweze-kutumia sentensi zinazozingatia upatanisho mwafaka wa kisarufi-kukuza uwezo wa kutumia sentensi sahihi
kuandikaHazina ya Kiswahili kidato 3 uk 18
Kitabukamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 4
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 33 Sarufi Vivumishi
vya pekeeAweze-kutaja vivumishi vyote vya pekee-kuvitumia sahihi katika sentensi
- Kuandika- Kutunga
sentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 3 uk 18
Kitabu
4 kusoma Kusoma kwa kudadisiShairi-huru
Aweze-kusoma kwa kudadisi shairi huru-kukariri shairi huru
- Kusoma- Kukariri
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
5 Fasihiandishi
Kusoma kifo kisimani
Aweze-kusoma na kueleza matukio katika katika onyesho la V-kuandika muhtasari wa onyesho hilo
Kusoma kwa zamu Mberia‘Kifo kisimani’
TamthiliaKifo kisimani
6 Fasihi andishi Kusoma na kuchambua kifo kisimani
Aweze-kusoma na kueleza ploti katika onyesho la VI-kuandika muhtasari wa matukio hayo
Kusoma kwa zamu Mberia‘Kifo kisimani’
TamthiliaKifo kisimani
3 1 Kusikiliza na kuongea
Mazungumzo Aweze-kushiriki vilivyo katika mazungumzo-kujieleza ipasavyo kifasaha
Kusikilizakuzungumza
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 36
Kitabukamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 5
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 32 sarufi Vielezi Aweze
-kueleza maana ya vielezi-kueleza aina mbalimbali ya vielezi vya namna
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 38
Kitabu
3 kusoma Kusoma kwa ufahamu
Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu
- Kusoma - Kujibu
maswali
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 43
Kitabu
4 kuandika Ufupisho/muhtasari
Aweze-kueleza umuhimu wa muhtasari-kutaja hatua za ufupisho-kufanya zoezi kwa njia sahihi
KusomaKufupisha
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk 43
Kitabu
5 Fasihi Kifo kisimani Aweze-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho VIII-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
6Fasihi Kifo kisimani
Aweze-kusoma na kutaja matukio muhimu onyesho VIII-kufupisha kwa
Kuchambua Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 6
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3kuandika muhtasari wa matukio muhimu
4Kuzikiliza na kuongea Mjadala
mahali pa mwanamke ni jikoni
Aweze-Kushiriki katika mjadala akitetea au akipinga-kuimarisha uwezo wake wa kujieleza hadhari
Kuchambua Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
2sarufi
ViwakilishiAweze-kuleza maana ya viwakilishi-kutaja aina mbalimbali za viwakilishi muhimu
Mjadala Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 50
Kitabu
3Kusoma Ufahamu
Dawa za kulevya
Aweze-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari-kujibu vilivyo maswali ya ufahamu
Kutaja kueleza
Hazina ya Kiswahili kidato 3Uk 48
Kitabu
4Kuandika
Insha ya methali
AwezeKueleza maana ya nje na ndani ya methali ya Kiswahili-kuandika kisa kinachooana na methali hiyo
Kusomakuandika
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 47
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 7
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 35 Fasihi simulizi Kifo kisimani Aweze
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu onyesho la 1 na kuchambua vilivyo-kuandika muhtasari wa matukio
Kusomakuchambua
Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
6 Fasihi Kifo kisimani Aweze-kusoma kwa makini na ufahamu onyesho la X na kuchambua vilivyo-kuandika muhtasari wa matukio hayo
- Kusoma- Kuchambua
Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
5 1 Kusikiliza na kuzungumza Mwacha mila
ni mtumwa
Aweze-kueleza maana ya methali mwacha mila ni mtumwa-kutoa mifano inayooana na methali
Kisikiliza na kushiriki
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
2 sarufi Viwakilishi-vionyeshi-vimilikishi-viulizi
Aweze-kueleza maana ya viwakilishi-kutaja aina mbali mbali za viwakilishi
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
3 Matumizi ya Lugha
Tamathali za usemi
Aweze-kueleza maana ya
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 3 Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 8
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3-tashbihi-Tashhisi
tamathali-kutaja mifano ya tamathali
Uk
4 kusoma Kwa kina matumizi ya lugha katika fasihi
Aweze-kusoma kwa kina-kutambua matumizi mbalimbali ya lugha katika fasihi
KusomaHazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
5 Fasihi Uchambuzi:‘Kifo kisimani’
Aweze-kusoma kwa makini na ufahamu kila onyeso-kuchambua vilivyo maudhui
- Kusoma- Kuchambua
Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
6 Fasihi Uchambuzi wa kifo kisimani
Aweze-kusoma kwa makini na ufahamu na kuchambua kila onyesho-kutaja baadhi ya maudhui
- Kusoma- Kuchambua
Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
6 1 Kisikiliza na kuongea Malumbano
ya utani
Aweze-kushiriki vilivyo katika mazungumzo ya kimalumbano-kujieleza ipasavyo
Malumbano Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
2 Sarufi ViwakilishiVirejeshia-unganifu sifa
Aweze-kueleza maana ya viwakilishi-kueleza kwa kutaja
- Kutaja- Kueleza
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 9
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3viwakilishi vya a-ungamifu,virejeshi na vya sifa
3 kusoma Kusoma kwa ufahamu Lugha ya kiswahili
Aweze-kusoma kwa ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo
- Kusoma - Jibu maswali
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
kitabu
4Kuandika Muhtasari au
ufupishoAweze-kusoma kwa makini na ufahamu-kuandika ufupisho mwafaka
- Kusoma- Kufupisha
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
kitabu
5Fasihi Uchambuzi:
Kifo kisimaniAweze-kusoma kwa ufahamu-kuchambua maudhui
- Kusoma- Kuchambua
Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
6 Fasihi Uchambuzi: Kifo kisimani
Aweze-kusoma kwa makini /kuelewa-kchambua vipengele vya maudhui
- Kusoma- Kuchambua
Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
7 1 Kusikiliza na kuongea
Maghani na visakale
Aweze-kueleza maana ya maghani na
- Kusoma- Kuchambua
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 68
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 10
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3visakale-kusimulia maghani na visakale
2 sarufi Vitenzi Aweze-kueleza maaana ya vitenzi-kutaja aina mbalimbali za vitenzi
- Kutaja- Kueleza
Hazina ya Kiswahili kidato Uk
Kitabu
3 Kusoma Kusoma kwa ufahamu
Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu maswali vilivyo
Kusoma Hazina ya Kiswahili kidato Uk
Kitabu
4 Fasihi simulizi VisasiliMarafiki wawili watengana
Aweze-kueleza maana ya visasili-kusimulia
- Kueleza- Kusimuli
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 68
Kitabu
5 Fasihi Uchambuzi wa Fani
Aweze-kusoma kwa makini na ufahamu kila onyesho-aweze kuchambua vipengele vya fani
- Kusoma- Kuchambua
Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
6 Fasihi Uchambuzi wa fani
Aweze-kusoma kwa
- Kusoma- Kuchambua
Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 11
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3makini na kwa ufahamu kila onyesho-kuchambua vilivyo tamathali za usemi
8 1 Kusikiliza na kuongea
Mazungumzo juu ya mazingira
Aweze-kujieleza upitia mazungumzo-kushiriki mazungumzo juu ya mazingira
kushiriki Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 94
Kitabu
2 sarufi Uundaji wa maneno kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni
Aweze-kutambua vitenzi vya asili ya kigeni-kuunda majina kutokana na vitenz vya asili ya kigeni
Uundaji majina Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 88
Kitabu
3 Kusoma Kusoma kwa ufahamu Uandishi wa shajara
Aweze-kusoma kwa makini na ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu vilivyo
Kusoma Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 74
Kitabu
4 Fasihi simulizi Uhakiki wa hadithi fupi teule
Aweze-kufafanua maana ya uhakiki-kuhakiki hadithi fupi teule
Uhakiki Hazina ya Kiswahili kidato 3 uk 82
Kitabu
5 Fasihi Kifo kisimani Aweze-kutambua mbinu za lugha
- Kusoma- Kutambua
Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 12
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3zilizotumika katika kifo kisimani-kufafanua vilivyo mbinu husika
6 Fasihi Kifo kisimani Aweze-kutambua mbinu za sanaa-kufafanua mbinu husika ifaavyo
Kuchambua Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
9 1 Kusikiliza na kuongea
Uigizajiufisadi
Aweze-kushiriki vilivyo katika mazungumzo na kujieleza-Kuigiza ufisadi
- Kusikiliza - Kushiriki
Hazina ya Kiswahili kidato 3 uk
Kitabu
2 Sarufi Sentensi ya kiswahili
Aweze-kueleza mahitaji ya sentensi ya Kiswahili-kuchanganua sentensi ya kiswahili
- Kusikiliza- Kutunga
sentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 3 uk 107
Kitabu
3 kusomaKwa ufahamu kifungu cha habari
Aweze-kujadili maswala yanayoibuka-kutumia mpya kutungia sentensi-kujibu maswala ya ufahamu
- Kusoma- Kujadili- Kutunga
sentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 3 uk
Kitabu
4 kuandika Utunzi Aweze - Kusikiliza Hazina ya Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 13
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3Barua pepe Barua za mialiko
-kueleza aina mbalimbali za barua hizi-kufafanua aina za meme-kuandika aina
- Kusoma- kuandika
Kiswahili kidato 3 uk
5 Fasihi Kifo kisimani
Aweze-kuchambua mbinu za sanaa zilizotumiwa-kufafanua mbinu hizo na kuzitolea mifano
Kuchambuamifano
Mberia‘Kifo kisimani’
Kitabu
6 Kuandika Kifo kisimani Aweze-kuchambua vilivyo mbinu za kisana zilizotumika-kuzifafanua vilivyo
Kuchambuamifano
Mberia‘Kifo kisimani’
Kitabu
10 1 Kusikiliza na kuongea
Mjadala Usawa wa binadamu
Aweze-kujieleza vilivyo kupitia mazungumzo-kushiriki mjadala kwa kutetea au kupinga
kusikiliza Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
2 sarufi Muundo wa sentensi
Aweze-kueleza muundo wa sentensi ya Kiswahili-kuchanganua sentensi ya
Kuchanganua Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 14
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3kiswahili
3Kusoma
Kwa mapana na marefu
Aweze-Kusoma kwa mapana na marefu-kupanua msamiati wake
kusoma Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
4 kuandika Utunzi Insha ya maelezo
Aweze-kutunga mtungo wa ubinafsi-kuandika insha nzuri ya maelezo
kuandika Hazina ya Kiswahili kidato 3
Kitabu
5 Fasihi Kifo kisimani Aweze-kutambua wahusika mbalimbali na ngazi zao-kueleza sifa za wahusika
kusoma Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
6 Fasihi Kifo kisimani Aweze-kutambua wahusika mbalimbali na ngazi zao-kueleza sifa za wahusika hao
kusoma Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
11 1 Kusikiliza na kuzungumza mashairi
Aweze-kueleza maana ya shairi vilivyo-kbainisha aina mbali mbali za mashairi
Kusoma Hazina ya Kiswahili kidato 3Uk
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 15
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 32 sarufi Aina za
sentensiAweze
- kueleza mahitaji ya sentensi ya kamili ya Kiswahili
- -kutaja aina mbalimbali za sentensi
- Kutaja- Kueleza
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 124
Kitabu
3 Kusoma Kusoma kwa kina Fasihi Tamthilia
Aweze-kusoma kwa kina na kwa mapana akipanua uwezo wake wa msamiati-kupanua ujuzi wa lugha
- Kusoma- Kueleza
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 129
Kitabu
4 Matumizi ya Lugha Tanakali za
sauti
Aweze-kueleza maana ya tanakali za sauti-kutoa mifano ya tanakali za sauti
Kutoa mifano Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 129
Kitabu
5 Fasihi Kifo kisimani Aweze-Kuchambua wahusika mbalimbali na ngazi zao-kueleza sifa za wahusika
- Kusoma- Kuchambua
Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
6 FasihiKifo kisimani
Aweze-Kubainisha
- Kusoma- Kuchambua
Mberia‘Kifo kisimani’
Tamthilia
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 16
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3mafanikio ya mwandishi-kubainisha udhaifu
12 Mid year examinations13
MUHULA 2
JUM
A
KIPINDI SOMO YALIYIOMO
LENGO MBINU ASILIA VIFAA MAONI
1 1 Kusikiliza na kuzungumza
Mazungumzolakabu
Aweze: -kueleza maana ya lakabu-matumizi ya
Maelezo Ngure‘Fasihi simulizi’Uk 120
Kitabukamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 17
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3lakabu jamii
2 Kuandika Ripoti Aweze:-kujieleza vilivyo kupitia uandishi wa ripoti-kuandika insha nzuri ya ripoti
- Maelezo- Kuandika
Hazina ya Kiswahili kidato3 uk
Kitabukamusi
3 Fasihi simulizi
misimu Aweze:-kueleza maana ya misimu-kutoa mifano bayana ya misimu
- Maelezo - Kuandika
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Kitabukamusi
4 Matumizi ya lugha
MafumboSeminahau
Aweze-kubainisha maana ya semi na nahau-kutoa mifano halisi ya semi na nahau
- Maelezo- Kuandika
Hazina ya Kiswahili kidato3 uk 202
Kitabu kamusi
5 Fasihi Mayayi waziri wa maradhi “kuthmini kufeli’
Aweze-kutathmini kufeli katika uwasilishi wa hadithi zote fupi-kutaja baadhi ya matanikio hayo
- Uchambuzi- Majadiliano
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupi kamusi
6 Fasihi Mayai Aweze - Uchambuzi Wamitila ‘mayayi Hadithi fupi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 18
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3waziri wa maradhi ‘ katathmini kufeli”
-kutathmini nkufli katika uwasilishi wa hadithi zote fupi-kutaja baadhi ya udhaifu huo
- Majadiliano waziri wa maradhi’ kamusi
2 1 Kusikiliza na kuongea
MazungumzoDayalojia
Aweze-kueleza maana ya dayalojia-kushiriki katika mazungumzo ya ki-dayalojia
- Mazoezi- Mazungumzo
Hazina ya Kiswahili kidato3 uk 137
Kitabu
2 Sarufi Usemi wa hatisi
Aweze-kueleza maana ya usemi halisi-kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi halisi
- Kutoa mifano- Kueleza
Hazina ya Kiswahili kidato 3 uk 115
Kitabukamusi
3 kusoma Kusoma kwa ufahamu‘Tawasifu’
Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa
- Kueleza- Kutaja
Mifano
Hazina ya Kiswahili kidato 3 uk 137
Kitabu
4 sarufi Usemi wa taarifa
Aweze-kueleza maana
- Kusoma- Kusikiliza
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 143
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 19
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3ya usemi wa taarifa-kutaja mambo muhimu yanayo zingatiwa katika usemi wa taarifa
5 Fasihi Utengano Sura 1
Aweze-Kusoma kwa makini na kufanya uchambuzi vilivyo ya fani zote-kuandika muhtasari wa mambo muhimu yaliyozingatiwa
- Kusoma- Kuchambua
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupi
6 Fasihi Utengano Sura 2
Aweze-Kusoma kwa makini na kufanya uchambuzi vilivyo na fani zote-kuandika muhtasari wa matukio muhimu yaliyozingatiwa
- Kuchambua- Kusoma
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupi
3 1 Kusikiliza na kuzungumza
Mjadala‘Idadi ya masomo
Aweze-kujieleza vilivyo kupitia mjadala
- Kusikiliza- Kichangia
Hazina ya Kiswahili kidato3 uk 151
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 20
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3ipunguzwe” darasani
-kuchukua msimamo thabiti wa kutetea kupinga
2 sarufiVishazi-huru
Aweze-kueleza maana na muundo wa vishazi-kubainisha wazi vishazi huru kwa kutoa mifano
KuelezaKutoa mifano
Silabasi ya Kiswahili kidato 3 Uk 35
Kitabu
3 Sarufi Vishazi-Tegemezi
Aweze-kueleza maana ya vishazi tegemezi-kubainisha vishazi tegemezi kwa kuvitolea mifano
Kuelezamifano
Silabasi ya Kiswahili kidato 3 Uk 35
Kitabu
4 Kusoma Kusoma kwa ufahamu Hadithi-fupi SOFIA
Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo
KusomaKujibu maswali
Hazina ya Kiswahili kidato3 uk 151
Kitabu
5 Fasihi Mayayi waziri wa maradhi
Aweze-kusoma vilivyo na kuchambua ipasavyo kisa cha mayai waziri wa
kusoma Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Kitabu cha hadithi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 21
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3maradhi-kuandika muhtasari wake
6 Fasihi Mayayi waziri wa maradhi
Aweze-kuchambua fani mbalimbali zilizo tumika katika kisa hicho-kuchambua matumizi ya lugha na wahusika
kusoma Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Kitabu cha hadithi
41 Kuzikiliza na
kuzungumza Nidhamu na hali ilivyo barabarani
AwezeKujieleza vilivyo kupitia kuzungumza na kusikiliza-kutathmini nidhamu na hali ilivyo barabarani
Kujieleza Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 167
Kitabu
2sarufi Yambwa/
shamirisho-kipozi-kitondo-ala/kitumizi-chagizo
Aweze-kueleza maana ya yambwa shamirisho-kutoa mifano ya vitondo vipozi chagizo n.k
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 115
Kitabu
3 Kusoma Kusoma kwa kina vitabu viteule
Aweze-kusoma kwa mapana na marefu akipanua
Kusomakujadili
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 176
Vitabu vya sarufi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 22
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3uwezo wake wa msamiati-kuimarisha ujuzi wake wa lugha
4Kuandika Matangazo
Aweze-kujieleza kutoa tangazo kwa kifupi-kuandika matangazo sahihi yanayolenga shabaha
kuandika Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 150
kitabu
5Fasihi Mayayi
waziri wa maradhi
Aweze-kusoma kwa makini na kuchambua hadithi ya msamaria mwema-kuandika ufupisho wa matukio muhimu
KusomaMjadalauchambuzi
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupikamusi
6 Fasihi Mayayi waziri wa maradhi ‘Fumbo la mwana’
Aweze-kusoma kwa makini na kuchambua hadith ya msamaria mwema-kuandika ufupisho wa matukio muhimu
Kusomakuchambua
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupikamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 23
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3
5 1 Kusikiliza na kuongea
Vitendawili na mafumbo
Aweze-kueleza vitendawili na mafumbo-kufumba na kufumbua mafumbo kutega na
Kusikiliza kusimulia Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
2 sarufi UkanushiKulingana na nafsiLi-na- taMe-hu-nge-ngaliKI,A,KA,POKU
Aweze-kutambua hali zote katika Kiswahili-kukanusha na kulingana na nafsi hali zote
SentensiHazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
3Matumizi ya lugha magazetini
MagazetiAweze-kusoma magazeti kwa kina akichambua lugha ya magazeti-kubainisha sifa ya lugha ya magazeti
KusomaKuchambua lugha
Hazina ya Kiswahili kidato 4 Uk Kitabu
kamusi
4 Kusoma Kwa ufahamu
Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu maswali
KusomaKujibu maswali
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 24
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3ya ufahamu
5Fasihi Mayayi
waziri wa maradhi‘kisa cha mkimbizi’
Aweze-kusoma na kuchambua vilivyo kisa cha mkimbizi -kuandika muhtasari wa matukio yao muhimu
Kusomakuchambua
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupi
6 Fasihi Mayayi waziri wa maradhi‘Ngome ya nafsi’
Aweze-kusoma na kuchambua vilivyo kisa cha ‘Ngome ya nafsi’-kuandika muhtasari mwafaka wa matukio yote muhimu.
kusoma Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hdithi fupi
6 1 Kisikiliza na kuongea Mazungumz
o Katiba ya kenya
Aweze-kushiriki mazungumzo na kujieleza ipasavyo-kueleza mambo muhimu katika utengenezaji wa katiba
kushirikiHazina ya Kiswahili kidato3 uk
Kitabu
2 Sarufi Uakifishaji Alama za kuakifisha
Aweze-kufanya uakifishaji
kuakifisha Hazina ya Kiswahili kidato4 uk Kitabu
chati
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 25
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3mwafaka kwa kutumia alama za kuakifisha-kuandika sentensi kadhaa zilizoakifishwa ipasavyo
3Kusoma Kusoma
kwa sauti Ajali barabarani
Aweze-Kusoma ipasavyo kwa sauti kuhusu ajali ya barabarani-kushiriki vilivyo kujibu maswali na majadiliano yoyote
Kusomakusikiliza
Hazina ya Kiswahili kidato3 uk kitabu
4 kusoma Ufahamu katiba
Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu ipasavyo maswali ya ufahamu
kusoma Hazina ya Kiswahili kidato3 uk kitabu
5 FasihiMayayi Waziri wa maradhi‘ndimi za mauti’
Aweze-kusoma kwa makini na kuchambua vilivyo kisa cha ndimi za mauti
kuchambua Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’ Hadithi fupi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 26
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3-kuandika muhtasari wa matukio
6 Fasihi Mayayi waziri wa maradhi‘uteuzi wa moyo’
Aweze-Kusoma kwa makini na kuchambua vilivyo kisa ‘Uteuzi wa moyo’-kuandika muhtasari wa matukio muhimu
kuchambua Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupi
7 1 Kusikiliza na kuongea Methali
Aweze-kueleza muundo wa methali-kueleza maana ya methali-kueleza matumizi ya methali
Majadiliano Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
2 SarufiMnyambuliko wa vitenzi
Aweze-kueleza maana ya mnyambuliko-kunyambua vitenzi akizingatia kauli ya kutendeshewa
Maelezo Sentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
3Kusoma Kwa kina
vitabu viteule
Aweze-kusoma kwa mapana na marefu
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 27
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3akiimarisha ujuzi wake wa lugha-kupanua msamiati wake vilivyo
4Matumizi ya lugha
Kuimba na kukariri mashairi
Aweze-kubainisha mashairi mbalimbali-kuimba na kukariri mashairi mbalimbali
maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
5 Fasihi Mayayi waziri wa maradhi‘siku ya mganga’
Aweze-kueleza maana ya maudhui kikamikifu-kutaja baadhi ya maudhui na kuyaeleza vilivyo
Kutajakueleza
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupi
6 Fasihi Mayayi waziri wa maradhi‘kachukua hatua nyingine’
Aweze-kufafanua maudhui katika hadithi-kutaja maudhui hayo na kuyaeleza ipasavyo
Kutajakueleza
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupi
8 1 Kusikiliza na kuongea Methali
zinazooanaKi- maudhui
Aweze-Kupambanua methali za Kiswahili-kubainisha
kupambansa Hazina ya Kiswahili kidato3 uk
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 28
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3methali zinazooana kimaudhui
2 sarufi Mnyambuliko wa vitenzikutendesheana
Aweze-kunyambua vilivyo vitenzi kwa kuzingatia kauli ya kutendesheana-kutungia sentensi vitenzi hivyo
Nyambua Kutunga sentensi
Hazina ya Kiswahili kidato3 uk
Kitabu
3 Matumizi ya lugha
Uakifishaji Aweze-kueleza maana ya kuakifisha-kuakifisha baadhi ya sentensi za kiswahili
Kuakifisha sentensi Hazina ya Kiswahili kidato3 uk
Kitabu
4 Kusoma Kusoma kwa ufahamukatiba
Aweze-kuoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari-kujibu maswali ya ufahamu
kusoma Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk
Kitabu
5 Fasihi Mayayi waziri wa maradhiPwaguzi
Aweze-kusoma na kuchambua vilivyo kisa cha pwaguzi-kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kusoma kuchambua
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 29
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3katika kisa hicho
6 Fasihi Mayayi waziri wa maradhi‘Tuzo’
Aweze-kusoma na kuchambua vilivyo kisa cha Tuzo-kuandika muhtasari wa matukio muhimu katika kisa hicho
Kusomakuchambua
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupi
9 1 Kusikiliza na kuzunumza
Methali Aweze-kueleza maana batini na maana bayana ya shairi-kuchambua vilivyo aina mbalimbali za methali
Maelezokuchangia
Hazina ya Kiswahili kidato 3 uk
Kitabu
2 Fasihi simulizi
Ushairi wa jadi
Aweze-kueleza maana ya ushairi-sifa za ushairi wa jadi-kutaja aina mbalimbali za ushairi
maelezo Hazina ya Kiswahili Kidato 3 Uk 2
Kitabu
3 Matumizi ya lugha
Misemo Aweze-kubainisha wazi maana ya misemo
maelezo Hazina ya Kiswahili Kidato 3 Uk
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 30
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3-kueleza matumizi ya misemo
4 kusoma Kusoma kwa kina Asili ya kiswahili
Aweze-kusoma kwa kina na kuzingatia maudhui husika -kueleza asili ya lugha ya kiswahili
maelezo Hazina ya Kiswahili Kidato 3 Uk
Kitabu
5 Fasihi Mayayi waziri wa maradhi
Aweze-kusoma kwa makini na kuchambua mbinu za lugha -kuchambua wahusika vilivyo
Kusoma Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupi
6 Fasihi Myayi waziri wa maradhi‘msamaria mwema’
Aweze-kusoma kwa makini na kuchambua mbinu za lugha-kuchambua wahusika vilivyo
Kuandika Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupi
10 1 Kusikiliza na kuzungumza
Fasihi simulizi nyimbo
Aweze-kubainisha nyimbo mbalimbali zilizoimbwa nyakati mbalimbali-kutaja sifa za
KushirikiHazina ya Kiswahili Kidato 3 Uk180
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 31
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3nyimbo
2 sarufi Mnyambuliko wa vitenzi vya silabi moja
Aweze-kunyambua vitenzi vya silabi moja katika kauli mbalimbali-kutaja sifa za nyimbo
kinyombua Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 177
Kitabu
3kuandika
Utunzi wa kwamilifuwasifu
Aweze- kufanya utunzi wenye ubinifu mkubwa-kuzingatia sheria zote za utunzi wa kikwamilifu
kuandikaHazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 194
Kitabu
4 kusoma Kusoma kwa kina-mashairi
Aweze-kusoma kwa kina na kwa mapana huku akipanua msamiati-kutunga mashairi mepesi
Kusomakutunga
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 176
Kitabukamusi
5 Fasihi Mayayi waziri wa maradhi‘Ngome ya nafsi’
Aweze-kusoma kwa makini na kuchambua kisa cha ngome ya nafsi ipasavyo-kuchambua wahusika katika ngome ya nafsi
Kusomakuchambua
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Kitabukamusi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 32
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3
6 Fasihi Mayayi waziri wa maradhi‘Fumbo la mwana’
Aweze-kusoma kwa makini na kuchambua kisa cha ngome ya nafsi ipasavyo-kuchambua wahusika katika kisa cha fumbo la mwana
Kusomakuchambua
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Kitabu
11 1 Kusikiliza na kuzungumza Mjadala
‘shule zote za upili ziwe za mchana’
Aweze-Kujieleza vilivyp kupitia mjadala-kuchukua msimamo thabiti na kuutetea ipasavyo
Maelezo Majadiliano
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 151
Kitabu
2 sarufi Mnyambuliko kauli ya kutendesheka
Aweze-kunyambua vitenzi vilivyo kwa kuviweka katika kauli ya kutendesha-kutungia entensi vitenzi hivyo
maelezosentensi
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 177
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 33
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 33 Kusoma Kusoma
kwa kina vitabu viteule
Aweze-kusoma kwa mapana na marefu akipanua msamiati-kuchambua matukio muhimu katika usomi huo
kusoma Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupikamusi
4 Fasihi simulizi Vitendawili
Aweze-kutega na kutegua vitendawili mbalimbali katika Kiswahili-kueleza matumizi ya vitendawili
Kutegakutegua
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 176
Kitabukamusi
5Fasihi Mayayi
waziri wa maradhi‘mkimbizi’
Aweze-kusoma na kuchambua fani zote za kisa cha mkimbizi-kutaja maudhui ,sifa za wahusika na baadhi ya mbinu zilizotumiwa
Kusomakuchambua
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’ Hadithi fupi
6Fasihi Mayayi
waziri wa
Aweze-kusoma kwa kina na kufanya Kusoma
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’ Hadithi fupi
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 34
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3maradhi‘mauti’
uchambuzi ipasavyo-kueleza baadhi ya maudhui hulka na sifa za wahusika mbinu za lugha
uchambuzi
12 1 Kusikiliza na kuzungumza
Mazungumzo lakabu
Aweze-kueleza maana ya lakabu-matumizi ya lakabu katika jamii
Maelezo Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 176
Vitabukamusi
2 Kuandika Ripoti Aweze-kujieleza vilivyo kupitia uandihi wa ripoti-kuandika insha nzuri ya ripoti
Maelezokuandika
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 176
Kitabu
3 Fasihi simulizi
Misimu Aweze-kueleza maana ya misimu-kutoa mifano bayana ya misimu
Maelezokuandika
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 176
Kitabu
4 Matumizi ya lugha
Mafumbo Seminahau
Aweze-kubainisha maana ya semi na nahau-kutoa mifano halisi ya semi na nahau
MaelezoKuandika
Hazina ya Kiswahili kidato 3 Uk 202
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 35
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 35 Fasihi Mayayi
waziri wa maradhiKutathmini fanaka
Aweze-kutathmini mafanikio ya uwasilishi wa hadithi zote fupi-kutaja baadhi ya mafanikio hayo
UchambuziMajadiliano
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupi
6 Fasihi Mayayi waziri wa maradhi‘kutathmini kufeli’
Aweze-kutathmini kufeli katika uwasilishi wa hadithi zote fupi-kutaja baadhi ya udhaifu huo
Uchambuzimajadiliano
Wamitila ‘mayayi waziri wa maradhi’
Hadithi fupi
7 MTIHANI
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 36
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3
MUHULA 3
JUM
A
KIPINDI SOMO YALIYOMO LENGO MBINU ASILIA VIFAA MAONI
1 1 Kusikiliza Na Kuzungumza
Mazungumzo Dayalojia
Aweze-kueleza maana ya dayalojia-kushiriki katika mazungumzo ya ki-dayalojia
MazoeziMazungumzo
Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 207
Kitabu
2 Sarufi Usemi halisi Aweze-kueleza maana ya usemi halisi-kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi halisi
Kusoma Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk199
Kitabu
3 Kusoma Kusoma kwa ufahamu Tawasifu
Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo
Kusoma Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 198
Kitabu
4 Sarufi Usemi wa taarifa Aweze-kueleza maana ya usemi taarifa
Mazoezi Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 37
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3-kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa
199
5 Fasihi utenganosura 1
Aweze-kusoma kwa makini na kufanya uchambuzi vilivyo ya fani zote-kuandika muhtasari wa mambo muhimu yaliyozingatiwa
Kusoma Kuchambua
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
6 Fasihi Utengano sura 2 Aweze-kusoma kwa makini na kufanya uchambuzivilivyo ya fani zote-kuandika muhtasari wa matukio muhimu yanayozingatiwa
Kusoma Kuchambua
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
2
1 Kusikiliza Na Kuzungumza
Mjadala idadi ya masomo ipunguzwe
Aweze-kujieleza vilivyo kupitia mjadala darasani -kuchukua msimamo thabiti wa kutetea au kupinga
Mjadala Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 217
Kitabu
2 Sarufi Uakifishaji Aweze Maelezo Hazina ya Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 38
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3-kueleza umhimu wa uakifishaji katika sarufi-kuakifisha baada ya sentensi
Uakifishaji Kiswahili Kidato 3 uk 211
3 Kusoma Kwa ufahamu Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu-kujibu maswali ya ufahamu
Kusoma Kuandika Majibu
Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 208
Kitabu
4 Kuandika Insha ya maelezo Aweze-kujieleza vilivyo kupitia uandishi wa insha bora-kuandika insha nzuri ya maelezo
Kuandika Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk
Kitabu
5 Fasihi Utengano sura ya tatu
Aweze-kusoma sura ya pili kwa makini na kuchambua vilivyo-kuandika kwa muhtasari matukio muhimu
Kusoma Kuchambua
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
6 Fasihi Utengano sura ya nne
Aweze-kuoma sura ya tatu kwa makini na kuchambua vilivyo-kuandika muhtasari wa matukio muhimu katika sura hiyo
Kusoma Kuchambua
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 39
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3
31 Kusikiliza Na
KuzungumzaKughani mashairi Aweze
-kutaja na kueleza aina mbalimbali za mashairi -kughani baadhi ya mashairi yawe
Kusikiliza Na Kuzungumza
Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 225
Kitabu
2 Sarufi Mnyambuliko kauli ya
Aweze-kutaja minyambuliko mbalimbali ya vitenzi-kunyambua vilivyo kauli zao
Kusikiliza Na Kuongea
Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 220
Kitabu
3 Kusoma Kwa ufahamu maenezi ya kiswahili
Aweze-kusoma kwa yakini na kwa ufahamu ipasavyo-kujibu maswali ya ufahamu
Kusoma Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 217
Kitabu
4 Matumizi Ya Lugha
Vitanza ndimi misimu
Aweze-kueleza maana ya vitanza ndimi-kushiriki vilivyo katika vitanza ndimi
Kutamka Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
5 Fasihi Utengano sura 5 Aweze-kusoma kwa makini na kufanya uchambuzi ufaao-kuandika muhtasari wa matukio yote
Kusoma Kuchambua
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 40
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 36 Fasihi Utengano sura 6 Aweze
-kusoma kwa makini na kuchambua vilivyo-kuandika muhtasari wa matukio yote
Kusoma Kuchambua
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
4
1 Kusikiliza Na Kuzungumza
Hadithi Aweze-kujieleza vilivyo kupitia masimulizi mwafaka-kusimulia kisa cha hadithi cha kuvutia kama utambaji
Kujieleza Kusimulia
Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 217
Kitabu
2 Sarufi Mnyambuliko wa vitenzi kutendama
Aweze-kufanya mnyambuliko wa vitenzi kupitia kauli mbalimbali-kufanya unyambuzi katika kauli ya kutendana
Unyambuzi Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 220
Kitabu
3 Kusoma Kusoma kwa kina fasihi simulizi lakaba
Aweze-kusoma kwa kina huku akipanua msamiati wake-kuzingatia lakaba katika usomi wake na maelezo
Kusoma Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk
Kitabu
4 Matumizi Ya Lugha
Mafumbo chemsha bongo
Aweze-kushiriki chemsha bongo na maswali
Kusoma Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 41
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3ya haraka haraka-kufumba na kufumbua mafumbo ipasavyo
5 Fasihi Utengano sura 7 Aweze-kusoma kwa makini na kufanya uchambuzi wa fani zote-kandika mukhtasari wa matukio yote muhimu
Kusoma Kuchambua
Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk
Kitabu
6 Fasihi Utengano sura 8 Aweze-kusoma sura ya 8 na kuchambua vilivyo-kuandika mukhtasari wa matukio yote muhimu
Kusoma Kuchambua
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
5
1 Kusikiliza Na Kuzungumza
Semi na nahau mbalimbali
Aweze-kueleza semi na nahau za Kiswahili ipasavyo-kuzitumia kisahihi na kwa njia fasaha ya kuvutia
Maelezo Matumizi
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
2 Sarufi Mnyambuliko wa vitenzi
Aweze-kueleza mnyambuliko wa vitenzi na
Maelezo Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 42
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3kubainisha kauli mbalimbali-kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendata
3 Kusoma Kusoma ufahamu usanifishaji wa kiswahili
Aweze-kusoma kwa makini na kwa ufahamu ipasavyo-kujibu maswali ya ufahamu
Kusoma Kujibu Maswali
Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 227
Kitabu
4 Kuandika Utunzi wa kiuamilifu ratiba
Aweze-kutunga mawazo kiuamilifu na kujieleza kupita utunzi-kandika insha nzuri ya ratiba
Kutunga Kuandika
Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk
Kitabu
5 Fasihi Utengano sura 9 Aweze-kusoma sura ya 9 na kuchambua vilivyo kifani -kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kusoma Kuchambua
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
6 Fasihi Utengano sura 10 Aweze-kusoma sura ya 10 kuchambua vilivyo kifani-kuandika muhtasari wa matukio yote
Kusoma Kuchambua
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 43
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3muhimu
6 1 Kusikiliza Na Kuzungumza
Vitendawili Aweze-kushiriki mazungumzo vizuri kwa kufanya mazoezi ya vitendawili-kutega na kutegua vitendawili
Kutega Na Kutegua
Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 225
Kitabu
2 Sarufi Mnyambuliko wa vitenzi ‘kutendua’
Aweze-kunyambua vitenzi vya kibantu katika kauli mbalimbali-kunyambua vilivyo katika kauli ya kutendua
Unyambuzi Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 188
Kitabu
3 Kusoma Kusoma kwa kina ushairi na bahari zake
Aweze-kusoma kwa kina akipanua msamiati wake na ujuzi wa lugha-kubainisha aina mbalimbali za ushairi
Kusoma Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 227
Kitabu
4 Kusoma Kusoma kwa ufahamu ustawi wa kiswahili
Aweze-kusoma kwa ufahamu na kwa makini-kujibu maswali ya ufahamu
Usomaji Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 227
Kitabu
5 Fasihi Utengano Aweze Kusoma Mohammed Riwaya
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 44
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3-kusoma kwa ufahamu na kuchambua vilivyo matukio yote-kutaja na kueleza maudhui
Kuchambua S.A ‘Utengano’
6 Fasihi Utengano Aweze-kusoma riwaya ya utengano na kuchambua vilivyo
Uchambuzi Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
7 1 Kusikiliza Na Kuzungumza
Methali zinazopingana
Aweze-kufafanua bayana maana ya methali ya nje na ndani-kubainisha methali zinazokinzana kimaudhui
MaelezoUfafanuzi
Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 227
Kitabu
2Sarufi Mnyambuliko wa
vitenzi ‘kutenduka’
Aweze-kueleza maana halisi ya resipe na matumizi yake-kuandika resipe mwafaka ya kutumika katika upishi
Uandishi Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
3 Matumizi Ya Lugha
Uandishi wa kiuaminifu‘Resipe’
Aweze-kueleza maaana halisi ya resipe na matumizi yake-kuandika resipe mwafaka ya kutumika katika
Uandishi Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 45
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3upishi
4 Kuandika Insha ya mawazo Aweze-kubuni mawazo mazito ya kuandikia insha ya mawazo-kuandika insha bora ya mawazo
Uandishi Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
5 Fasihi Utenganomaudhui
Aweze-kusoma kwa makini na kuchambua riwaya hiyo vilivyo-kutaja baadhi ya maudhui ya riwaya hiyo
Uchambuzi Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
6 Fasihi Utengano Aweze-kusoma kwa makini ufahamu na kuichambua vilivyo riwaya ya utengano-kutaja na kueleza baadhi ya maudhui
Uchambuzi Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
81 Kusikiliza Na
KuzungumzaMjadala Aweze
-kushiriki mjadala vilivyo na kujieleza ipasavyo-kuchambua msimamo thabiti wa kutetea au kupinga kauli
Majadiliano Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 46
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 32 Sarufi Mnyambuliko wa
vitenzi vya silabi moja ja,pa,nywa,fa,la,cha, pa ,chwa, wa
Aweze-kutaja vitenzi vya silabi moja na kuvinyambua-kuvitumia vilivyo katika sentensi
Unyambuzi Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
3 Kuandika Kiuaminifu Kujaza fomu za sajili
Aweze-kueleza vilivyo usajili na umuhimu wa kusajiliwa-kujaza fomu za usajili ipasavyo
Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
4 Fasihi Sanaa ya maonyesho
Aweze-kueleza maana ya sanaa-kuandaa au kushiriki sanaa ya maonyesho vilivyo
Maonyesho Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
5 Fasihi Utenganomaudhui
Aweze-kueleza maana ya maudhui ipasavyo-kutaja na kueleza baadhi ya mauddui katika riwaya utengano
KusomaUchambuzi
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
6 Fasihi Utenganomaudhui
Aweze-kueleza maana ya maudhui ipasavyo-kutaja na kueleza baadhi ya maudhui katika riwaya ya utengano
KusomaUchambuzi
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 47
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 39 1 Kusikiliza Na
KuzungumzaMashairikukariri
Aweze-kubaini mashairi ya aina mbalimbali ya Kiswahili-kukariri na kuimba mashairi kwa mahadhi ya kiswahili
Kukariri Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
2Sarufi Mnyambuliko wa
vitenzi vyenye asili ya kigeni-samene,ghairi
Aweze-kueleza kauli mbalimbali za unyambuzi wa vitenzi vya kawaida-kunyambua vitenzi vya asili ya kigeni
Uchambuzi Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
3 Matumizi Ya Lugha
Tanakali Aweze-kueleza maana ya tanakali za sauti-kutaja mifano na kuitumia vilivyo katika sentensi
Kutaja Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
4 Kusoma Kea kina Aweze-kusoma kwa kina huku akipanua uwezo wake wa lugha na msaminati-kuchambua matukio maalum
Usomaji Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
5Fasihi Utengano
TamathaliAweze-kusoma riwaya ya utengano na kuichambua vilivyo
UsomajiUchambuzi
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 48
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3-kuchambua lugha ya mwandishi na kutaja tamathali zilizotumiwa
6 Fasihi UtenganoTamathali
Aweze-kusoma riwaya kwa makini na kuchambua vilivyo-kuchambua tamathali zilizotumika katika tamathali
Usomaji-Uchambuzi
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
10 1 Kusikiliza Na Kuzungumza
MazungumzoVisasilivisakale
Aweze-kueleza maana ya visasili na visakale-kusimuli kisasili au kisakale katika jamii yoyote
Maelezo Masimulizi
Hazina ya Kiswahili Kidato 3
2 Sarufi Uanishaji wa sentensi
Aweze-kubainisha maana ya uanishaji-kubainisha sentensi kadhaa za kiswahili
Mifano Ya Uandishi
Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
3 Kusoma Kusoma kwa kina vitabu viteule
Aweze-kusoma kwa kina huku akiimarisha uwezo wake wa kimsamiati-kuchambua matukio muhimu
Kusoma Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 49
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 34 Matumizi Ya
LughaUfupisho Aweze
-kutaja hatua muhimu za kuandika ufupisho-kuandika ufupisho mwafaka kwa kufuata hatua
Mazoezi‘Kuandika’
Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
5 Fasihi Utenganowahusika
Aweze-kubainisha aina mbalimbali za wahusika-kutaja huljka na sifa za wahusika husika
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
6 Fasihi Utenganowahusika
Aweze-kubainsha aina mbalimbali za wahusikaKutaja hulka na sifa za wahusika walioma
Kusoma Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
11 1 Kusikiliza Na Kuzungumza
Mazungumzo ‘semi’
Aweze-kueleza maana ya semi-kufanya mazoezi ya kuandika sentensi zenye semi nyingi
Mazungumzo Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 68
2 Sarufi ukanushaji Aweze-kufanya mazoezi ya ukanushaji hali zote
Kuandika Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 50
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3-aweze kuandika sentensi katika hali yakinifu na kanushi
3 Matumizi Ya Lugha
Mazungumzo gumzo
Aweze-kushiriki mazungumzo na kujieleza vilivyo-kuzingatia mada ya mazungumzo na kuendeleza mazungumzo
Kuzungumza Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
4 Kusoma Kusoma kwa kinavitabu viteule
Aweze-kusoma kwa mapapna na marefu huku akipanua uwezo wake wa msamiati-kufanya uchambuzi mzuri
KusomaKuchambua
Hazina ya Kiswahili Kidato 3
Kitabu
5 Fasihi Utenganowahusika
Aweze-kubaini aina mbalimbali za wahusika waliotumika-kuchambua hulka na sifa za wahusika
KusomaKuchambua
Mohammed S.A‘Utengano’
Riwaya
6 Fasihi Utenganowahusika
Aweze-kubainisha aina za wahusika waliotumiwa na mwandishi-kuchambua hulka
KusomaKuchambua
Mohammed S.A‘Utengano’
Riwaya
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 51
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 3na sifa za wahusika wote
12 1 Kusikiliza Na Kuzungumza
Mazungumzo Dawa za kulevya
Aweze-kutaja tofauti iliopo baina ya dawa za kulevya na za kawaida-kutetea au kupinga matumizi ya dawa za kulevya
KuteteaKuandika
Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 225
Kitabu
2 Sarufi vinyume Aweze-kuandika vinyume vya vitenzi vya Kiswahili-kuandika sentensi katika hali yakinifu na hali kinyume
KuandikaKinyume
Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 250
Kitabu
3 Matumizi Ya Lugha
Tahariri Aweze-kueleza maana ya tahariri-kuandika tahariri yake juu ya jambo lolote
KuelezaKuandika
Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 100
Kitabu
4 Kusoma Kusoma kwa kina vitabu viteule
Aweze-kusoma kwa kina akipanua uwezo wake wa kimsamiati-kufanya uchambuzi wa fani zote
KusomaKuchambua
Hazina ya Kiswahili Kidato 3 uk 225
Kitabu
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 52
LONGMAN KENYA KISWAHILI SCHEMES OF WORK FOR FORM 35 Fasihi Utengano
DhamiraAweze-kueleza kufaulu kwa mwandishi katika fani zote-kueleza kufeli kwa mwandishi katika nyanja zote
KusomaKuchambua
Mohammed S.A ‘Utengano’
Riwaya
6 MTIHANI
LONGMAN KENYA, PUBLISHERS FOR LIFE LONG LEARNING 53