1
KUSANYA NA UJIFUNZE $ KADI ZA WAHUSIKA KATIKA BIBLIA Potifa s Pakua nakala hii ya PDF kwenye www.jw.org POTIFA KADI YA BIBLIA 29 POTIFA MAMBO MACHACHE KUMHUSU Potifa, ofisa wa makao ya mfalme wa Misri na mkuu wa wa- linzi wa Farao, alikuwa bwana mkubwa wa Yosefu. Baada ya Potifa kumchagua Yosefu asi- mamie mali yake yote, Yehova aliibariki nyumba ya Potifa. (Mwanzo 39:5) Hata hivyo, mke wa Potifa aliposema uwongo kumhusu Yosefu, Poti- fa aliagiza Yosefu afungwe gerezani.—Mwanzo 39:19, 20. MASWALI A. Potifa alimnunua Yosefu kutoka kwa nani ili awe mtumwa wake?—Mwanzo 37:36; 39:1. B. Kweli au la? Potifa alimchagua Yosefu asi- mamie karibu kila kitu ndani ya nyumba yake. —Mwanzo 39:8, 9. C. Mke wake alipomwambia uwongo kuhusu Yo- sefu “ [ya Potifa] ikawaka.”—Mwanzo 39:19. MAJIBU A. Wamidiani au Waishmaeli. B. Kweli. C. hasira. 4026 K.W.K. Adamu aumbwa Aliishi karibu 1750 K.W.K. 1 W.K. Karibu 98 W.K. Kitabu cha mwisho cha Biblia chaandikwa Safari ya Yosefu kutoka Dothani kwenda kwa nyumba ya Potifa ilichukua siku kadhaa Dothani Yerusalemu (Salemu) K A N A A N I MISRI CHAPISHA KATA KUNJA KATIKATI NA UHIFADHI www.jw.org ˘ 2013 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania

KADI ZA WAHUSIKA KATIKA BIBLIA Potifa...Safari ya Yosefu kutoka Dothani kwenda kwanyumbayaPotifa ilichukua siku kadhaa Dothani Yerusalemu (Salemu) K A N A A N I MISRI CHAPISHA KATA

  • Upload
    others

  • View
    10

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: KADI ZA WAHUSIKA KATIKA BIBLIA Potifa...Safari ya Yosefu kutoka Dothani kwenda kwanyumbayaPotifa ilichukua siku kadhaa Dothani Yerusalemu (Salemu) K A N A A N I MISRI CHAPISHA KATA

KUSANYA NA UJIFUNZE � KADI ZA WAHUSIKA KATIKA BIBLIA

PotifasPakua nakala hiiya PDF kwenyewww.jw.org

PO

TIF

AK

AD

IY

AB

IBL

IA

29

P O T I F A

MAMBO MACHACHE KUMHUSU Potifa, ofisawa makao ya mfalme wa Misri na mkuu wa wa-linzi wa Farao, alikuwa bwana mkubwa waYosefu. Baada ya Potifa kumchagua Yosefu asi-mamie mali yake yote, Yehova aliibariki nyumbaya Potifa. (Mwanzo 39:5) Hata hivyo, mke waPotifa aliposema uwongo kumhusu Yosefu, Poti-fa aliagiza Yosefu afungwe gerezani.—Mwanzo39:19, 20.

MASWALI

A. Potifa alimnunua Yosefu kutoka kwa nani iliawe mtumwa wake?—Mwanzo 37:36; 39:1.

B. Kweli au la? Potifa alimchagua Yosefu asi-mamie karibu kila kitu ndani ya nyumba yake.—Mwanzo 39:8, 9.

C. Mke wake alipomwambia uwongo kuhusu Yo-sefu “����� [ya Potifa] ikawaka.”—Mwanzo 39:19.

MAJIBU

A. Wamidiani au Waishmaeli.

B. Kweli.

C. hasira.

40

26

K.W

.K.

Adam

uaum

bw

aAlii

shik

aribu

17

50

K.W

.K.

1W

.K.

Karibu

98

W.K

.

Kitabu

cha

mw

isho

cha

Bib

liach

aandik

wa

Safari ya Yosefukutoka Dothani kwenda

kwa nyumba ya Potifailichukua siku kadhaa

Dothani

Yerusalemu(Salemu)

KAN

AAN

I

MISRI

CHAPISHA KATA

KUNJA KATIKATI

NA UHIFADHI

www.jw.org ˘ 2013 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania