8
Bajeti ya mwananchi ni nini? Bajeti ya mwananchi ni bajeti iliyorahisishwa na ambayo imewekwa katika muundo unaomfanya mwananchi wa kawaida aweze kuelewa mambo muhimu ambayo serikali imeyapanga katika mwaka wa fedha: fedha zitakazotumika na vyanzo vya mapato. Ni haki ya kila mwananchi kufahamu bajeti ya taifa. Kwa nini tuwe na bajeti ya mwananchi? Ziko sababu kadhaa zinazosababisha wananchi wengi kuwa nyuma katika kujihusisha na masuala ya bajeti nchini Tanzania:‐ • Lugha inayotumika katika nyaraka za bajeti ni ya taaluma ya mahesabu, uchumi na takwimu ambayo ni ngumu kueleweka kwa mwananchi wa kawaida. • Wingi wa kurasa za nyaraka hizo huwatia uvivu wananchi wengi kusoma na kuelewa kilichomo. • Imani potofu; watendaji wengi serikalini na wananchi wenyewe huamini kuwa upangaji na uandaaji wa bajeti ni kazi inayowahusu wataalamu tu na wasomi wa taaluma zinazohusiana na hesabu na biashara. • Usiri; bado serikali inalifanya suala la bajeti kuwa ni la siri na hivyo kusababisha ugumu katika upatikanaji wa taarifa na nyaraka zinazohusu masuala ya bajeti. Mwongozo kwa wananchi Bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012/2013

Mwongozo kwa wananchi - hakielimu.org ya Mwananchi_reduced.pdf · ya kila mwananchi kufahamu bajeti ya taifa. Kwa nini tuwe na bajeti ya mwananchi? Ziko sababu kadhaa zinazosababisha

  • Upload
    others

  • View
    29

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Bajeti ya mwananchi ni nini?Bajeti ya mwananchi ni bajeti iliyorahisishwa na ambayo imewekwa katika muundo unaomfanya mwananchi wa kawaida aweze kuelewa mambo muhimu ambayo serikali imeyapanga katika mwaka wa fedha: fedha zitakazotumika na vyanzo vya mapato. Ni haki ya kila mwananchi kufahamu bajeti ya taifa.

Kwa nini tuwe na bajeti yamwananchi?Ziko sababu kadhaa zinazosababisha wananchi wengi kuwa nyuma katika kujihusisha na masuala ya bajeti nchini Tanzania:‐•Lugha inayotumika katika nyaraka za

bajeti ni ya taaluma ya mahesabu, uchumi na takwimu ambayo ni ngumu kueleweka kwa mwananchi wa kawaida.

•Wingiwakurasazanyarakahizohuwatiauvivu wananchi wengi kusoma na kuelewa kilichomo.

•Imani potofu; watendaji wengi serikalinina wananchi wenyewe huamini kuwa upangaji na uandaaji wa bajeti ni kazi inayowahusu wataalamu tu na wasomi wa taaluma zinazohusiana na hesabu na biashara.

• Usiri; bado serikali inalifanya suala labajeti kuwa ni la siri na hivyo kusababisha ugumu katika upatikanaji wa taarifa na nyaraka zinazohusu masuala ya bajeti.

Mwongozo kwa wananchiBajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012/2013

Bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi 2012/2013

1. UtanguliziAgosti13,2012Dkt.ShukuruKawambwa,WaziriwaElimunaMafunzoya Ufundi aliwasilisha bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi2012/13,yaWizarayakeakiliombaBungekujadilinakuidhinishakiasicha shilingi bilioni 724.5 kwa ajili ya kutekeleza mipango ya elimu inayosimamiwa na wizara. Kwa hiyo kwa mwaka wa fedha 2012/13 Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inatarajia kutumia kiasi chashilingi bilioni 724.5 katika utoaji wa huduma ya elimu nchini.

2. Ni changamoto zipi zinaikabili Wizara?Katika hotuba ya makadirio ya bajeti ya 2012/13, Waziri alitajachangamoto kubwa katika wizara yake kwa mtiririko ufuatao.• Haja ya kuimarisha ubora wa

elimu ngazi zote na mafunzo.•Kuimarishanakuongezaidadiya

samani, miundombinu na vifaa vya kufundishia na kujifunzia pamoja na walemavu.

•Kuongeza kiwango cha ufaulu,hasa katika masomo ya Sayansi, KingerezanaHisabati.

•Kupata vyanzo mbadala vyakugharimia elimu ya juu na urejeshwaji mikopo.

• Kukidhi mahitaji ya rasilimaliwatu (walimu na viongozi) katika ngazi zote za elimu na mafunzo. Hawa ni wanafunzi wakiwa darasani.

Mazingira kama haya yapo sehemu nyingi nchini.

Hawa ni wanafunzi wakiwa darasani. Mazingira kama haya yapo sehemu nyingi nchini.

Migomo ya mara kwa mara ya walimu ni miongoni mwa changamoto kubwa zinzoikabili wizara.

3. Je, vipaumbele vya wizara kwa mwaka wa fedha 2012/2013 ni vipi?

Wizaraimepangakutekelezamajukumuyakekwakuzingatiavipaumbelevifuatavyo;‐•Kuinuauborawaelimunamafunzoyaufundi.•Kuongezauandikishajikatikangazizotezaelimunamafunzo.•Kuimarishausawakatikautoajiwaelimunamafunzo.•Kujenga uwezo na kuimarisha usimamizi wa huduma za elimu na

mafunzo.• Kukamilisha mapitio ya sera ya elimu na mafunzo na mkakati wa

utekelezaji.•Kuimarishamiundombinukatikangazizotezaelimunamafunzoiliiwe

rafiki hata kwa wanafunzi wote wenye mahitaji maalumu. •Kukarabatinakuongezamajengoyavitivovyasayansinauimarishajiwa

hudumazaTEHAMA.

Makazi mazuri ya walimu ni chachu ya kuwafanya wawe na ari ya kufundisha wanafunzi

4. Namna fedha ilivyopangwa kutumika

Matumiziyabajetiyaserikaliyamegawanyikakamaifuatavyo:

Matumzi ya Kawaida - HiinijumlayafedhaambayoitatumikakwaajiliyauendeshajiwashughulizakilasikuzaWizarakwamfanokulipiamishaharaya watumishi wa umma, gharama za mafuta, umeme, chai ya mikutano, kununua magazeti, safari n.k.

Matumzi ya Maendeleo - Hizi ni fedha kwa ajili ya kutekeleza miradimbalimbali ya sekta ya elimu kama vile kujenga madarasa, maabara, nyumba za walimu au kujenga shule.

Kuonesha mgawanyo wa matumizi ya kawaida

Bajeti ya Wizara Sh bilioni 724.47

Mishahara Shbilioni 247.225

Matumizi kawaidaSh bilioni 631.87

Matumizi ya maendeleoSh bilioni 92.6

Matumizi mengineyo

Sh bilioni 384.66

Matumizi ya kawaida na

maendeleo katika asilimia ya bajeti

ya wizara Matumizi ya Kawaida

87%

13%

Matumizi ya Maendeleo

Fedha za ndaniSh bilioni 18.6

Bajeti ya Maendeleo ya WizaraSh bilioni 92.6

Fedha za WahisaniSh bilioni 74.0

Fedha za Ndani

80%

20%

Fedha za Wahisani

Vyanzo vya fedha za bajeti ya maendeleo ya wizara

Vyanzo vya mapato vya bajeti ya maendeleo ya wizara katika asilimia ya bajeti ya wizara

5. Je, unasimamia utekelezaji wa bajeti yako?

Katika taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Fedha za Serikali 2010/2011,halmashauri zilishindwa kutumia zaidi ya shilingi bilioni 160, sawa na asilimia 29.6 ya fedha zilizotolewa kama ruzuku, kutokana na usimamizi mbovu. Kama mwananchi, unajua jinsi fedha hizo zilivyopaswa kutumika? Unadhani utafanya nini kuhakikisha kuwa kiasi cha zaidi ya trilion 2nyingine zilizoidhinishwa mwaka huu kwa ajili ya sekta ya elimu 2012/13 zinatumika ipasavyo?

6. Nini cha kufanya?Ni jukumu lako mwananchi kuhakikisha kuwa fedha yako inatumika kusaidia kuleta maendeleo ya jamii nzima kwa mujibu wa mahitaji na vipaumbele.•Fuatilianamuulizemwalimumkuukatikashuleyaummakatikaeneo

lako, muulize mwenyekiti wa kamati ya shule, mratibu wa elimu na maafisa elimu juu ya fedha zilizotolewa na jinsi zilivyotumika; hii nihaki yako.

•Fuatilianamuulizediwaniwako,mkurugenzi,nambungewakojuuyafedha za umma na matumizi yake.

•Fuatilia na soma taarifa zitolewazo na ofisi ya Mkaguzi na Mdhibitiwa Hesabu za Serikali (CAG) ili uweze kujua jinsi fedha za ummazilivyotumika na uweze kuhoji viongozi wenye dhamana katika eneo lako.

•Fuatilianamuulizekiongoziwamtaa,kijijiaukitongojichakojuuyaratiba na vikao katika eneo lako vinavyohusu mipango ya mapato na matumizi na dai nafasi yako ya kushiriki katika upanga bajeti ya eneo lako.

•Fuatiliakupitiavyombovyahabari,nataarifambalimbalikutokaasasiza kiraia juu utekelezaji wa ahadi na vipaumbele vyote ambavyo serikali imehaidi kushughulikia katika mwaka.

HakiElimu inawezesha wananchikuleta mabadiliko katika elimu na demokrasia

SLP79401•DaresSalaam•Tanzania.Simu(25522)2151852•Faksi(25522)[email protected]•www.hakielimu.org