2
NHK WORLD-JAPAN Mwaka 2019 NHK WORLD-JAPAN inaadhimisha mwaka wa 84 tangu ianze kutoa huduma kimataifa. Kutoka studio zetu zilizopo jijini Tokyo, tunatangaza habari za hivi karibuni pamoja na mada zihusuzo Japani kwa watu duniani kote. Isaac Maro NHK WORLD-JAPAN NHK WORLD-JAPAN inatangaza kwa lugha 17. Huduma zetu zinapatikana kupitia masafa mbalimbali, kama vile masafa mafupi, masafa ya kati, masafa ya FM, pia zinapatikana kupitia satelaiti pamoja na kupitia Intaneti, ili kumrahisishia msikilizaji kupata matangazo yetu. Katika matangazo ya lugha ya Kiswahili, kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi “Baragumu la REDIO JAPANI” hukutambulisha teknolojia ya viwanda, sanaa na utamaduni wa jadi miongoni mwa mada zingine mbalimbali za kuvutia kutoka kote Japani. Vipindi hivyo vinalenga kutoa taarifa zenye manufaa kwa wasikilizaji wanaopanga kutembelea Japani, na kuwafanya wengine watamani kutembembelea Japani. Kipindi cha “BOSAI” kinanaangazia ubobezi wa Japani katika kujiandaa na majanga, wakati kipindi cha “WHAT’S YOUR CONNECTION?” kinawapatia fursa wasikilizaji ya kuwa na uhusiano na Japani, kikiwapa mwanya wa kuwa na uelewa mkubwa juu ya Japani. Mbali na hayo toleo jipya la masomo ya “Jifunze Kijapani” litaanza mwezi wa Kumi mwaka huu. Kwa taarifa zaidi, tafadhali rejea katika mwongozo wa vipindi vyetu vya kila wiki. Timu ya idhaa ya Kiswahili inathamini sana mrejesho na maoni yako juu ya vipindi vyetu. Tafadhali tutumie ujumbe wako kwa njia ya posta au kwa njia ya barua pepe kupitia tovuti yetu.

Kwenye tovuti yetu NHK WORLD-JA PAN · 2020-01-06 · zilizopo jijini Tokyo, tunatangaza habari za hivi karibuni pamoja na mada zihusuzo Japani kwa watu duniani kote. Eustadius Magezi

  • Upload
    others

  • View
    4

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Kwenye tovuti yetu NHK WORLD-JA PAN · 2020-01-06 · zilizopo jijini Tokyo, tunatangaza habari za hivi karibuni pamoja na mada zihusuzo Japani kwa watu duniani kote. Eustadius Magezi

NHK WORLD-JAPAN

Wasiliana nasiSwahili Service, NHK WORLD-JAPAN, Tokyo 150-8001, JapanTembelea tovuti yetu: nhk.jp/swahiliIli kutuma maoni, tafadhali bofya “wasiliana nasi” juu kabisa katika tovuti hiyo.Fuatilia matangazo yetu kwenye Twitter : @nhk_rediojapani

nhk.jp/swahiliIDHAA YA KISWAHILIMwaka 2019 NHK WORLD-JAPAN inaadhimisha mwaka wa 84 tangu ianze kutoa huduma kimataifa. Kutoka studio zetu zilizopo jijini Tokyo, tunatangaza habari za hivi karibuni pamoja na mada zihusuzo Japani kwa watu duniani kote.

Eustadius Magezi

Ahmed SalumBatlet Milanzi SwinkyIsaac Maro

Martin Mwanje Jonas SongoraDeo Bintabara

2019. 4~

Kwenye tovuti yetuVipindi kutoka NHK WORLD-JAPAN vinatangazwa moja kwa moja kwa lugha 17.Vipande vya sauti za taarifa za habari na vipindi vingine pia vinapatikana kadiri utakavyo.Tovuti yetu ni: nhk.jp/swahili

Programu za bure kwa iOS na AndroidPakua bure programu na unaweza kusikiliza moja kwa moja matangazoyetu na vipande vya sauti kutoka NHK WORLD-JAPAN kwenye simu yakotambuzi na tableti.

NHK WORLD-JAPAN

(*1) Nusu ya kwanza ya mwaka kuanzia mwezi wa Nne hadi mwezi wa Tisa(*2) Nusu ya pili ya mwaka kuanzia mwezi wa Kumi hadi mwezi wa Tatu

BOSAI WHAT'S YOUR CONNECTION?

J u m a p i l iI j u m a a J u m a m o s iA l h a m i s iJ u m a t a n oJ u m a n n eJ u m a t a t u

Jifunze Kijapani Ukumbi wa Jumapili

NHK WORLD-JAPAN inatangaza kwa lugha 17.Huduma zetu zinapatikana kupitia masafa mbalimbali, kama vile masafa mafupi, masafa ya kati, masafa ya FM, pia zinapatikana kupitia satelaiti pamoja na kupitia Intaneti, ili kumrahisishia msikilizaji kupata matangazo yetu.

Katika matangazo ya lugha ya Kiswahili, kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi “Baragumu la REDIO JAPANI” hukutambulisha teknolojia ya viwanda, sanaa na utamaduni wa jadi miongoni mwa mada zingine mbalimbali za kuvutia kutoka kote Japani. Vipindi hivyo vinalenga kutoa taarifa zenye manufaa kwa wasikilizaji wanaopanga kutembelea Japani, na kuwafanya wengine watamani kutembembelea Japani. Kipindi cha “BOSAI” kinanaangazia ubobezi wa Japani katika kujiandaa na majanga, wakati kipindi cha “WHAT’S YOUR CONNECTION?” kinawapatia fursa wasikilizaji ya kuwa na uhusiano na Japani, kikiwapa mwanya wa kuwa na uelewa mkubwa juu ya Japani. Mbali na hayo toleo jipya la masomo ya “Jifunze Kijapani” litaanza mwezi wa Kumi mwaka huu. Kwa taarifa zaidi, tafadhali rejea katika mwongozo wa vipindi vyetu vya kila wiki. Timu ya idhaa ya Kiswahili inathamini sana mrejesho na maoni yako juu ya vipindi vyetu. Tafadhali tutumie ujumbe wako kwa njia ya posta au kwa njia ya barua pepe kupitia tovuti yetu.

U T C

Jifunze Kijapani

Mambo Leo

Mada kutokakote Japani

Uvumbuzikutoka Japani

Mambo Leo

BOSAI

Ana kwa Ana

Mambo Leo

Sanaa za Kijapani

HAIKU

Vidokezo katikaJamii ya Kijapani

WHAT'S YOURCONNECTION? (*1)

Vinono kutoka jijini Tokyo (*1)

Tupike Kijapani (*1)

Jifunze Kijapani (*1)

Mambo Leo (*2)

WHAT'S YOURCONNECTION? (*2)

Karibu Japaniinayostaajabisha! (*2)

Vinono kutoka jijini Tokyo (*2)

Tupike Kijapani (*2)

Tunu zaMuziki

Wasifu waMwanamuziki

Riwaya

Ukumbi waJumapili

Page 2: Kwenye tovuti yetu NHK WORLD-JA PAN · 2020-01-06 · zilizopo jijini Tokyo, tunatangaza habari za hivi karibuni pamoja na mada zihusuzo Japani kwa watu duniani kote. Eustadius Magezi

RATIBA YA MATANGAZO

NHK WORLD-JAPAN

(*1) Nusu ya kwanza ya mwaka kuanzia mwezi wa Nne hadi mwezi wa Tisa(*2) Nusu ya pili ya mwaka kuanzia mwezi wa Kumi hadi mwezi wa Tatu

J u m a p i l iI j u m a a J u m a m o s iA l h a m i s iJ u m a t a n oJ u m a n n eJ u m a t a t u

NHK WORLD-JAPAN inatangaza kwa lugha 17.Huduma zetu zinapatikana kupitia masafa mbalimbali, kama vile masafa mafupi, masafa ya kati, masafa ya FM, pia zinapatikana kupitia satelaiti pamoja na kupitia Intaneti, ili kumrahisishia msikilizaji kupata matangazo yetu.

Katika matangazo ya lugha ya Kiswahili, kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi “Baragumu la REDIO JAPANI” hukutambulisha teknolojia ya viwanda, sanaa na utamaduni wa jadi miongoni mwa mada zingine mbalimbali za kuvutia kutoka kote Japani. Vipindi hivyo vinalenga kutoa taarifa zenye manufaa kwa wasikilizaji wanaopanga kutembelea Japani, na kuwafanya wengine watamani kutembembelea Japani. Kipindi cha “BOSAI” kinanaangazia ubobezi wa Japani katika kujiandaa na majanga, wakati kipindi cha “WHAT’S YOUR CONNECTION?” kinawapatia fursa wasikilizaji ya kuwa na uhusiano na Japani, kikiwapa mwanya wa kuwa na uelewa mkubwa juu ya Japani. Mbali na hayo toleo jipya la masomo ya “Jifunze Kijapani” litaanza mwezi wa Kumi mwaka huu. Kwa taarifa zaidi, tafadhali rejea katika mwongozo wa vipindi vyetu vya kila wiki. Timu ya idhaa ya Kiswahili inathamini sana mrejesho na maoni yako juu ya vipindi vyetu. Tafadhali tutumie ujumbe wako kwa njia ya posta au kwa njia ya barua pepe kupitia tovuti yetu.

0330

0340

0400

1730

1740

1800

U T C

Baragumu la Redio Japani

Taarifa ya habari (Dakika 10)

Jifunze Kijapani

Mambo Leo

Mada kutokakote Japani

Uvumbuzikutoka Japani

Mambo Leo

BOSAI

Ana kwa Ana

Mambo Leo

Sanaa za Kijapani

HAIKU

Vidokezo katikaJamii ya Kijapani

WHAT'S YOURCONNECTION? (*1)

Vinono kutoka jijini Tokyo (*1)

Tupike Kijapani (*1)

Jifunze Kijapani (*1)

Mambo Leo (*2)

WHAT'S YOURCONNECTION? (*2)

Karibu Japaniinayostaajabisha! (*2)

Vinono kutoka jijini Tokyo (*2)

Tupike Kijapani (*2)

Tunu zaMuziki

Wasifu waMwanamuziki

Riwaya

Ukumbi waJumapili

NHK WORLD-JAPAN

Wasiliana nasiSwahili Service, NHK WORLD-JAPAN, Tokyo 150-8001, JapanTembelea tovuti yetu: nhk.jp/swahiliIli kutuma maoni, tafadhali bofya “wasiliana nasi” juu kabisa katika tovuti hiyo.Fuatilia matangazo yetu kwenye Twitter : @nhk_rediojapani

Mwaka 2019 NHK WORLD-JAPAN inaadhimisha mwaka wa 84 tangu ianze kutoa huduma kimataifa. Kutoka studio zetu zilizopo jijini Tokyo, tunatangaza habari za hivi karibuni pamoja na mada zihusuzo Japani kwa watu duniani kote.

Isaac Maro