14
MUSWADA WA UTAFITI MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU WAKIELIMU A PATRICA

MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

  • Upload
    makan

  • View
    273

  • Download
    3

Embed Size (px)

DESCRIPTION

MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU. A PATRICA. Mswada -ni makala au mpango ambao huandikwa kuonyesha vipengele mbalimbali vya utafiti. Vipengele vinavyotakiwa kuzingatiwa kwenye mswada wa utafiti ni;. kuandika Swala la utafiti kwa ufasaha na uwazi Malengo ya utafiti;. mfano. - PowerPoint PPT Presentation

Citation preview

Page 1: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

MUSWADA WA UTAFITI MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMUWAKIELIMU

A PATRICA

Page 2: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

Mswada -ni makala au mpango Mswada -ni makala au mpango ambao huandikwa kuonyesha ambao huandikwa kuonyesha

vipengele mbalimbali vya vipengele mbalimbali vya utafiti.utafiti.

Page 3: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

Vipengele vinavyotakiwa Vipengele vinavyotakiwa kuzingatiwa kwenye mswada wa kuzingatiwa kwenye mswada wa utafiti ni;utafiti ni;

a.a. kuandika Swala la utafiti kwa ufasaha na kuandika Swala la utafiti kwa ufasaha na uwaziuwazi

b.b. Malengo ya utafiti;Malengo ya utafiti;mfano Katika utafiti wa wanafunzi kuacha shule, malengo yanaweza kuwa

•Kutafuta sababu za kuacha shule

•Kutafuta matokeo ya kuacha shule

Page 4: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

a)a) Umuhimu na maswali ya utafitiUmuhimu na maswali ya utafiti

•Kusudi la utafiti

Mf; kwa nini watoto huacha shule kabla ya wakati wake katika wilaya ya mvomero?.

•Maswali ya utafiti;

Jee ni watoto wangapi wameacha shule kabla ya wakati

Watoto huacha shule katika madarasa gani kwa nini?

Kuna utaratibu gani uliowekwa kuhusiana na tatizo la utoro na kuacha shule kabla ya wakati?njia zipi zitumike kuzuia tatizo hili lisitokee

Page 5: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

a)a) DhanioDhanio

Ni kauli inayoeleza matarajio au jawabu linalotakiwa kuthibitishwa na utafiti kama kweli au si kweli

Umhimu:

Dhanio linamweka mtafiti kwenye vipengele mahususi vya kuchunguzwa

Page 6: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

a)a) Pitio la maandiko-Pitio la maandiko- Maandiko Maandiko uliyopitia ili kujenga hoja ya suala la uliyopitia ili kujenga hoja ya suala la utafiti.utafiti.

Page 7: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

a)a) Muundo wa utafiti na namna Muundo wa utafiti na namna utakavyoteua sampuliutakavyoteua sampuli

Njia za utafiti wa kielimu

1) Njia ya survey;•D

•Data hukusanya katika eneo kubwa

•Hujumuisha watu wengi katika kutoa habari

1)Njia ya kisa mafunzo;

•Eneo dogo na watu wachache hufanyiwa utafiti

•Hulenga katika kutafuta chanzo cha tatizo na njia za kulitatua.

Page 8: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

Sampuli ya utafitiSampuli ya utafiti

Njia za kupata sampuli

•Njia ya bahati nasibu

•Njia ya taratibu maalumu

•Njia ya tabaka

Page 9: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

a.a. Njia za kukusanya Njia za kukusanya datadata

• Fomu ya maswali dodosoFomu ya maswali dodoso

• Mwongozo wa usailiMwongozo wa usaili

• Orodha hakiki(observation schedule)Orodha hakiki(observation schedule)

Kuchunguza kwa kuzingatia kuona,kusikilizakuvunja na kisha kuandika habari inayotakiwa katika uchunguzi huo

Page 10: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

a.a. Namna data Namna data zitakavyochambuliwazitakavyochambuliwa

• Data kwa asilimia-kama idadi ya wahusika ni kubwaData kwa asilimia-kama idadi ya wahusika ni kubwa

• Data kwa wastani-kokotoa data ujue kwa wastani Data kwa wastani-kokotoa data ujue kwa wastani watu wansema niniwatu wansema nini

• Data kwa uwianoData kwa uwiano

Mfano;

Ongezeko katika kipengele kimoja linaweza kuoana na ongezeko katika kipengele kingine

Tafuta uwiano wa ongezeko katika kipengele kimoja kwa kipengele cha pili

Page 11: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

a)a) Mfano wa ratiba ya utekelezajiMfano wa ratiba ya utekelezaji

ShughuliShughuli AugustAugust OctobaOctoba NovembaNovemba

11 22 33 44 11 22 33 44 11 22 33 441.0 kuandaa 1.0 kuandaa vifaavifaa

..

1.2 kukusanya 1.2 kukusanya datadata

1.3 kuchambua 1.3 kuchambua datadata

1.4 kuunganisha 1.4 kuunganisha datadata

1.5 kuandika 1.5 kuandika ripotiripoti

Page 12: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

BajetiBajeti

MahitajiMahitaji KiasiKiasi JumlaJumla

UsafiriUsafiri 5@1,0005@1,000 5,0005,000

ChakulaChakula 5@3,0005@3,000 15,00015,000

SteshenariSteshenari 6,0006,000 6,0006,000

JumlaJumla 10,00010,000 26,00026,000

Page 13: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

a)a) OnyeshaOnyesha jinsi matokeo ya utafiti huo jinsi matokeo ya utafiti huo yatakavyo saidia kupunguza au kuliondoa yatakavyo saidia kupunguza au kuliondoa tatizo lililopo.tatizo lililopo.

Page 14: MUSWADA WA UTAFITI WAKIELIMU

ASANTE KWA KUNISIKILIZAASANTE KWA KUNISIKILIZA

C PATRICA & C CHIPINDULAC PATRICA & C CHIPINDULA