Upload
chika
View
101
Download
0
Embed Size (px)
DESCRIPTION
Namna ya kupandikiza kitambaa cha kuua ndorobo. 1. 2. Chagua eneo ambalo kitambaa kitaonekana toka pande zote. 3. Fyeka majani na kuondoa vichaka vyote. 4. Eneo lililo chaguliwa na kufyekwa vizuri. 5. Kata fito 2 nene zilizonyooka. 6. Pungua urefu wa fito kufikia mita moja na nusu. - PowerPoint PPT Presentation
Citation preview