22
NENO LA UZIMA April 2013

NENO LA UZIMA April 2013

  • Upload
    callia

  • View
    51

  • Download
    3

Embed Size (px)

DESCRIPTION

NENO LA UZIMA April 2013. Ndugu, msinung’unikiane (Yak 5:9). Ili tulielewe vizuri zaidi Neno hilo la mwezi huu lazima tuangalie mazingira lilimokusudiwa. Ni matatizo yaliyoibuka katika jumuia za Kikristo waliopelekewa waraka wa Mtume Yakobo. - PowerPoint PPT Presentation

Citation preview

Page 1: NENO LA UZIMA April 2013

NENOLA

UZIMA

April 2013

NENOLA

UZIMA

April 2013

Page 2: NENO LA UZIMA April 2013

Ndugu, msinung’unikiane (Yak 5:9)

Page 3: NENO LA UZIMA April 2013

Ili tulielewe vizuri zaidi Neno hilo la mwezi huu lazima tuangalie mazingira lilimokusudiwa.

.

Page 4: NENO LA UZIMA April 2013

Ni matatizo yaliyoibuka katika jumuia za Kikristo

waliopelekewa waraka wa Mtume Yakobo.

 

.

Page 5: NENO LA UZIMA April 2013

Yalikuwa makwazo, ubaguzi wa kijamii, matumizi ya kibinafsi ya mali, kunyanyasa wafanyakazi, imani ambayo ilikuwa zaidi ya

maneno kuliko matendo, n. k.

Page 6: NENO LA UZIMA April 2013

Hayo yote yalisababisha machukizo na malalamiko ya wao kwa wao, na hivyo kujenga hali ya mahangaiko kaika jumuia nzima.

.

Page 7: NENO LA UZIMA April 2013

Ndugu, msinung’unikiane (Yk 5:9)

Page 8: NENO LA UZIMA April 2013

Tayari tangu nyakati za miume waliweza kutambua yale tunayoona katika jumuia zetu:

Page 9: NENO LA UZIMA April 2013

matatizo makubwa zaidi ya kuweza kuishi imani yetu, mara nyingi si matatizo yanayotokana toka nje, yaani toka dunia, bali ni

yale yatokanayo toka ndani:

Page 10: NENO LA UZIMA April 2013

hali fulani zitokanazo na mwenendo mbalimbali wa ndugu zetu, usiolingana na kipeo cha Kikristo.

Page 11: NENO LA UZIMA April 2013

Nazo huleta hisia ya mahangaiko, kutoaminiana, na ya hofu. 

Page 12: NENO LA UZIMA April 2013

Ndugu, msinung’unikiane (Yak 5:9)

Page 13: NENO LA UZIMA April 2013

Lakini, ikiwa upinzani na udhia hizo zilizo mbaya kiasi au vikubwa, zina mizizi katika imani ambayo mara nyingine haimulikwi, na

upendo hafifu sana kwa Mungu na kwa jirani, basi Mkristo anapaswa mara, kuacha kuuzika na kupinga vikali, bali vile

anavyofundisha Yesu. 

Page 14: NENO LA UZIMA April 2013

Yeye anataka tungoje kwa uvumilivu, kuwaelewa, na kuwa na huruma, ambazo zinasaidia kuchipusha mbegu ile ya wema

uliopandwa ndani yetu, unavyofundisha mfano wa magugu (Mt 13:24-30. 36-43).

Page 15: NENO LA UZIMA April 2013

Ndugu, msinung’unikiane (Yak 5:9)

Page 16: NENO LA UZIMA April 2013

Tuishije, basi, Neno la Uzima la mwezi huu?Neno hilo linatuweka mbele ya hali ngumu ya maisha ya Kikristo.

.

Page 17: NENO LA UZIMA April 2013

Ijapo tunashiriki na jumuia mbalimbali (kama familia, parokia, shirika, mazingira ya kazi, jumuia ya mwananchi), ambamo, kwa bahati mbaya,

kuna mengi yasiyopendeza.

Page 18: NENO LA UZIMA April 2013

Kama tabia ya watu, maono tofauti, mwenendo wa watu, mambo kinyume yanayohuzunisha na kutusababisha upinzani.

Page 19: NENO LA UZIMA April 2013

Tazama, basi, nafasi mbalimbali nyingi za kuishi vema Neno hilo la Uzima la mwezi huu.

 

Page 20: NENO LA UZIMA April 2013

Mahali pa manung’uniko au kuhukumu – tunavyoelekezwa kufanya – tutaweka saburi na maelewano; halafu, kadiri inavyowezekana, hata

maonyo ya kidugu;  

Page 21: NENO LA UZIMA April 2013

na hasa tutatoa ushahidi wa Kikristo, kwa kuzidisha kwa uwingi wa upendo na kuwajibika, kwa upande wetu, mbele ya ukosefu wa

upendo au kuwajibika unaoweza kutokea.

Page 22: NENO LA UZIMA April 2013

Ndugu, msinung’unikiane

(Yak 5:9)

““Parola di Vita” inatangazwa na Movement of Focolare.Matini hii Imetolewa katika Città Nuova, n.22/1989

Chapa cha Anna Lollo akishirikiana na Fr. Placido D’Omina (Sicily, Italy).Maelezo ya Neno la Uzima inatafsiriwa katika lugha 96 na kilugha

na kuwafikia mamilioni ya watu katika dunia nzimakwa njia ya maandishi, radio, TV na kwa njia ya Tovuti.

Kwa kupata maelezo www.focolare.orgPPS hiyo, katika lugha mbalimbali inatangazwa katika

www.santuariosancalogero.it(na hapo unaweza kupakua)

““Parola di Vita” inatangazwa na Movement of Focolare.Matini hii Imetolewa katika Città Nuova, n.22/1989

Chapa cha Anna Lollo akishirikiana na Fr. Placido D’Omina (Sicily, Italy).Maelezo ya Neno la Uzima inatafsiriwa katika lugha 96 na kilugha

na kuwafikia mamilioni ya watu katika dunia nzimakwa njia ya maandishi, radio, TV na kwa njia ya Tovuti.

Kwa kupata maelezo www.focolare.orgPPS hiyo, katika lugha mbalimbali inatangazwa katika

www.santuariosancalogero.it(na hapo unaweza kupakua)