Upload
others
View
14
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
Fomu Na 6H(ii)
FOMU YA KUOMBA NAFASI YA UONGOZI NDANI YA CHAMA NGAZI YA TAIFA
NAFASI YA MWENYEKITI BARAZA LA WANAWAKE (BAWACHA)
(Fomu hii Imetolewa chini ya Ibara ya 6.3.1( b) ya Katiba ya Chama na Kanuni ya (7.2.3) ya Kanuni za Chama, Katiba ya mwaka 2006 toleo la mwaka 2016) Gharama ya fomu hii ni Tsh 200,000 (Laki Mbili Tu) – Malipo yafanyike kupitia Account Number 22601605514 – Account Name Bawacha Taifa- NMB BANK
MAELEKEZO YA UJAZAJI WA FOMU
1. Fomu hii ijazwe kikamilifu kwa heru� kubwa kwa kutumia kalamu ya wino mweusi/blue2. Fomu hii irejeshwe na nakala (COPY) ya kadi ya uanachama iliyolipiwa mpaka muda ulioujaza kipengele cha (2.0) cha fomu hii3. Mgombea adhaminiwe na mwanachama mwenye sifa ya BARAZA analoomba nafasi4. Fomu hii irejeshwe ikiwa na picha ya anayeomba nafasi ya kugombea yenye muonekano wa kitambaa cha blue kwa nyuma5. Fomu hii irejeshwe ikiwa imeambatanishwa na uthibitisho wa malipo halali ya fomu hii
1.0 MAELEZO BINAFSI1.1 NAFASI UNAYOOMBA KUGOMBEA MAJINA: LA KWANZA : LA PILI : LA TATU :1.2 JINSI MWANAUME MWANAMKE
��������������
Page 1 of 6 Fomu Na. 6H(ii) (KUOMBA UONGOZI NDANI YA CHAMA TAIFA-BAWACHA) CHADEMA
PICHA
��������������
1.3 NAMBA YA SIMU BARUA PEPE1.4 TAREHE YA KUZALIWA1.5 UNAPOISHI MKOA WILAYA JIMBO KATA KIJIJI/MTAA MSINGI/KITONGOJI1.6 URAIA WA KUZALIWA WA KUJIANDIKISHA NAMBA
2.0 MAELEZO YA UANACHAMA WAKO • Tarehe ya kujiunga na Chama • Namba ya kadi ya Uanachama • Kadi imelipiwa mpaka Tarehe • Tawi lako la Chama • Msingi wako
(Kama nafasi ya fomu hii haitatosha kujibu kipengele 2.1, 2.2, 3.3, 3.4, 3.5 & 3.6 weka maelezo ya kipengele husika katika kiambatanisho
2.1 Wadhifa ndani ya CHADEMA. Eleza kwa kifupi nyadhifa na muda uliowahi kushika nyadhifa hizo.
2.2 Umewahi kusimamishwa/kufukuzwa Uanachama ?
Kama ndiyo toa maelezo, Sababu ya kusimamishwa/kufukuzwa, Lini na wapi?
Page 2 of 6 Fomu Na. 6H(ii) (KUOMBA UONGOZI NDANI YA CHAMA TAIFA-BAWACHA) CHADEMA
3.0 MAELEZO KUHUSU UWEZO, UZOEFU NA ELIMU Elimu ya mgombea. • Shule ya msingi Kuanzia hadi • Sekondari (O’level) Kuanzia hadi • Sekondari (A’level) Kuanzia hadi • Chuo kikuu kuanzia hadi
Taja jina la cheti cha juu ulichonacho• Jina la cheti• Taasisi iliyotoa• Mwaka uliotunukiwa
3.1 Eleza kazi/shughuli yako halali
3.2 Lugha unazomudu kuzungumza na kuandika
Kusoma Kiswahili Ndiyo HapanaKuandika Kiswahili Ndiyo HapanaKusoma Kingereza Ndiyo HapanaKuandika Kingereza Ndiyo HapanaNyinginezo
3.3 Uzoefu katika uongozi (Eleza kwa kifupi)
3.4 Kabla ya kujiunga na CHADEMA uliwahi kuwa mwanachama wa vyama /chama kingine cha siasa? Kama ndiyo toa maelezo
Page 3 of 6 Fomu Na. 6H(ii) (KUOMBA UONGOZI NDANI YA CHAMA TAIFA-BAWACHA) CHADEMA
3.5 Nini Dira, Mwelekeo na Matarajio yako ukipata wadhifa huo?
3.6 Je umewahi kuhukumiwa kwa kosa la jinai? Kama ndiyo toa maelezo
4.0 UTHIBITISHO: Ninathibitisha kuwa maelezo niliyotoa hapo juu yote ni sahihi Jina Sahihi Tarehe Mahali
5.0 WADHAMINI WA MGOMBEAI. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi
II. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi
Page 4 of 6 Fomu Na. 6H(ii) (KUOMBA UONGOZI NDANI YA CHAMA TAIFA-BAWACHA) CHADEMA
III. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi
IV. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi
V. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi
VI. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi
VII. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi
Page 5 of 6 Fomu Na. 6H(ii) (KUOMBA UONGOZI NDANI YA CHAMA TAIFA-BAWACHA) CHADEMA
VIII. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi
IX. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi
X. Jina kamili Jinsi Tarehe ya kuzaliwa Namba ya simu Barua pepe Nambari ya kadi ya chama Namba ya kadi ya mpiga kura Sahihi
6.0 KWA MATUMIZI YA OFISI TU
Fomu ya maombi imepokelewa Tarehe SaaJina la aliyeipokea Nafasi/Cheo SahihiFomu imelipiwa ada kamili ?Fomu ina mapungufu ? Kama ndiyo Eleza mapungufu
Page 6 of 6 Fomu Na. 6H(ii) (KUOMBA UONGOZI NDANI YA CHAMA TAIFA-BAWACHA) CHADEMA