34
SERA YA TAIFA YA KUDHIBITI UKIMWI 2001 KIKAO CHA WADAU WA KUDHIBITI UKIMWI MKOA WA IRINGA 9 JUNI, 2017

SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

  • Upload
    others

  • View
    37

  • Download
    1

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

SERA YA TAIFA YA KUDHIBITIUKIMWI 2001

KIKAO CHA WADAU WA KUDHIBITIUKIMWI MKOA WA IRINGA

9 JUNI, 2017

KIKAO CHA WADAU WA KUDHIBITIUKIMWI MKOA WA IRINGA

9 JUNI, 2017

Page 2: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Uwasilishaji wa Mada...

8. Upimaji wa VVU9. Huduma kwa WAVIU10.Huduma za afya na Wakunga wa Jadi11. Utafiti wa VVU12. Majukumu ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI

Tanzania (TACAIDS)

8. Upimaji wa VVU9. Huduma kwa WAVIU10.Huduma za afya na Wakunga wa Jadi11. Utafiti wa VVU12. Majukumu ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI

Tanzania (TACAIDS)

Page 3: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

UTANGULIZI …

• Wakati huo UKIMWI ulionekana kuwa ni tatizola afya na kampeni za kudhibiti UKIMWIzilihusisha sekta ya Afya- Mpango wa Taifa waKudhibiti UKIMWI. Matokeo hayakuridhishakulingana na kuenea kwa UKIMWI.

• Serikali ilichukua hatua madhubiti kutangazaUKIMWI kuwa janga la Taifa na kupewakipaumbele katika ajenda za maendeleo katikangazi zote.

Page 4: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

UTANGULIZI …

• Umuhimu wa kuwepo sera ya UKIMWI?• Mwaka 1983- UKIMWI uligundulika

nchini.• Serikali iliandaa Mpango wa Taifa wa

Kudhibiti UKIMWI (NACP) wa mudamfupi wa mwaka (1985-1986) ikifuatiwana mipango 3 ya muda wa kati wa miaka5 kuanzia 1987-1991 hadi 1998 – 2002.

Page 5: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

UTANGULIZI …

• Mwaka 2001 Tume ya Kudhibiti UKIMWI TZ.Ilianzishwa kuongoza na kuratibu mwitikio waTaifa kwenye udhibiti wa VVU na UKIMWI.

• Sera ya UKIMWI ilianzishwa Novemba, 2001• Mikakati ya Taifa ya UKIMWI (2003/2007,

2008-2012 na 2013- 17) ya miaka 5.

Page 6: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Uwasilishaji wa Mada

1. Utangulizi2. Umuhimu wa Sera ya Taifa ya Kudhibiti

UKIMWI3. Kanuni za Sera ya UKIMWI4. Hali halisi ya UKIMWI5. Lengo la Sera ya Taifa6. Haki za WAVIU7. Kuzuia kuenea kwa VVU

1. Utangulizi2. Umuhimu wa Sera ya Taifa ya Kudhibiti

UKIMWI3. Kanuni za Sera ya UKIMWI4. Hali halisi ya UKIMWI5. Lengo la Sera ya Taifa6. Haki za WAVIU7. Kuzuia kuenea kwa VVU

Page 7: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

HAJA YA KUWEPO SERA

• Kutoa mwongozo wa uratibu wa mwitikio wataifa wa kudhibiti UKIMWI- kuelekeza namnaya kudhibiti ugonjwa huu, jinsi ya kutoamatunzo na misaada kwa waathirika nawaathiriwa na kupunguza athari

• kuwezesha kutunga sheria mbali mbali zakuratibu mapambano dhidi UKIMWI.

Page 8: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI.

• Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutanoya Kimataifa na mikataba ya haki za binadamuambayo serikali yetu imeridhia. Inatoa mwongozo wakuanzishwa Sera ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI nautekelezaji wake.

• Watu wote kufahamu kuwa wana wajibu wa kushirikikikamilifu katika kuzuia na kudhibiti maambukizo yaVVU na UKIMWI.

• Uwajibikaji mkubwa wa wanasiasa na serikali pamojana uongozi bora ni muhimu kwa utekelezajiendelevu dhidi ya VVU na UKIMWI

Page 9: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI.

• Kuwalinda watu wengine wasiambukizwe VVU kwakutoa elimu ya kubadili tabia hatarishi kwa jamii yote

• Watu kulindwa kisheria kutokana na vitendo vyamakusudi vya kueneza VVU.

• utekelezaji wa ufanisi wa malengo ya mwitikio wataifa

• Umuhimu wa ushauri nasaha kabla na baada yakupima VVU. Msisitizo ni utunzaji wa siri wa matokeoya kupimwa VVU na ridhaa ya upimaji - watoto

• Haki ya WAVIU kupata matunzo na matibabu• Umuhimu wa utafiti kukabiliana na VVU na UKIMWI

Page 10: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

HALI HALISI YA UKIMWI• Mwaka 1983 wagonjwa watatu wa kwanza

waliripotiwa Kagera. Kufikia mwaka 1986mikoa yote Tz. Bara ilikuwa na wagonjwa waUKIMWI. Mpaka kufikia mwaka 1999 ilikisiwakuwepo wagonjwa 600,000 wa VVU/UKIMWIna idadi kama hiyo ya yatima.

• Kwa mujibu wa utafiti wa VVU na MalariaTanzania ushamiri wa VVV unaendeleakupungua kutoka 6.7% 2003/2004 hadi 5.1%2011/2012 haya ni matokeo ya jitihadambalimbali za udhibiti VVV na UKIMWI

• Mwaka 1983 wagonjwa watatu wa kwanzawaliripotiwa Kagera. Kufikia mwaka 1986mikoa yote Tz. Bara ilikuwa na wagonjwa waUKIMWI. Mpaka kufikia mwaka 1999 ilikisiwakuwepo wagonjwa 600,000 wa VVU/UKIMWIna idadi kama hiyo ya yatima.

• Kwa mujibu wa utafiti wa VVU na MalariaTanzania ushamiri wa VVV unaendeleakupungua kutoka 6.7% 2003/2004 hadi 5.1%2011/2012 haya ni matokeo ya jitihadambalimbali za udhibiti VVV na UKIMWI

Page 11: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

LENGO KUU LA SERA YA TAIFA YAKUDHIBITI UKIMWI

• Kuweka mfumo wa uongozi na uratibu waSekta mbali mbali katika kukabiliana na VVUna UKIMWI

• Kuwajibisha sekta zote kuandaa na kutekelezamipango ya kuzuia kuenea kwa VVU naUKIMWI, magonjwa mengine ya zinaa,kusaidia waathirika na kupunguza athari kwajamii.

Page 12: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

LENGO KUU LA SERA YA TAIFA YAKUDHIBITI UKIMWI…

• kuweka mfumo wa kuimarisha uwezo waserikali, taasisi,watu binafsi,mashirikayasiyokuwa ya kiserikali, jumuia za kidini nakijamiii kuzuia kuenea kwa UKIMWI.

• Halmashauri za serikali za mitaa kuzishirikishana kuziratibu sekta za umma na binafsi, jumuiaza kijamii, katika kupanga na kutekelezashughuli za kukabiliana na UKIMWI kwakushirikisha jamii.

Page 13: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Madhumuni mahususi ya Sera• Kuongeza mwamko wa jamii kutambua UKIMWI

kupitia kampeni na taarifa za elimu• Kuzuia kuenea kwa UKIMWI/VVU:- upatikanaji wa damu salama kwa wagonjwa- kuhimiza kubadili tabia- matumizi sahihi ya kondomu- Kutibu mapema magonjwa ya zinaa• Kuhimiza kupima VVU• Huduma kwa watu wanaoishi na VVU NA UKIMWI

• Kuongeza mwamko wa jamii kutambua UKIMWIkupitia kampeni na taarifa za elimu

• Kuzuia kuenea kwa UKIMWI/VVU:- upatikanaji wa damu salama kwa wagonjwa- kuhimiza kubadili tabia- matumizi sahihi ya kondomu- Kutibu mapema magonjwa ya zinaa• Kuhimiza kupima VVU• Huduma kwa watu wanaoishi na VVU NA UKIMWI

Page 14: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Madhumuni mahususi ya Sera…• Kushiriki katika utafiti wa VVU na UKIMWI• Utungaji sheria- zinazotoa haki kwa WAVIU mf.

kupata mali mara baada ya wazazi kufariki• Kuhamasisha jamii kuishi kwa matumaini• kutoa matibabu na huduma nyingine kwa

wagonjwa• Kupiga marufuku matangazo yanoyopotosha

kuhusu madawa na vitu vingine vinavyozuia,kutibu na matunzo kwa waathirika waVVU/UKIMWI

• Kushiriki katika utafiti wa VVU na UKIMWI• Utungaji sheria- zinazotoa haki kwa WAVIU mf.

kupata mali mara baada ya wazazi kufariki• Kuhamasisha jamii kuishi kwa matumaini• kutoa matibabu na huduma nyingine kwa

wagonjwa• Kupiga marufuku matangazo yanoyopotosha

kuhusu madawa na vitu vingine vinavyozuia,kutibu na matunzo kwa waathirika waVVU/UKIMWI

Page 15: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

HAKI ZA WAVIU• Madhumuni- Kulinda haki za WAVIU ili kuinua ubora wa

maisha yao na kupunguza fedheha kulinganana Umoja wa Mataifa na Haki za binadamu

• WAVIU wanastahili--Kupata mahitaji yote ya msingi na haki zote bila

ubaguzi-Wanastahili haki sawa ktk upimaji, matibabu na

matunzo

• Madhumuni- Kulinda haki za WAVIU ili kuinua ubora wa

maisha yao na kupunguza fedheha kulinganana Umoja wa Mataifa na Haki za binadamu

• WAVIU wanastahili--Kupata mahitaji yote ya msingi na haki zote bila

ubaguzi-Wanastahili haki sawa ktk upimaji, matibabu na

matunzo

Page 16: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

HAKI ZA WAVIU…- WAVIU hawata baguliwa kwenye ajira, elimu,

huduma za afya- Kupata elimu sahihi ya VVU na UKIMWI- Vijana wa umri balehe wana haki ya kupata

ushauri na upimaji wa VVU na kutunziwa siri- Wafungwa wanahaki ya kupata taarifa sahihi

za UKIMWI na matibabu

- WAVIU hawata baguliwa kwenye ajira, elimu,huduma za afya

- Kupata elimu sahihi ya VVU na UKIMWI- Vijana wa umri balehe wana haki ya kupata

ushauri na upimaji wa VVU na kutunziwa siri- Wafungwa wanahaki ya kupata taarifa sahihi

za UKIMWI na matibabu

Page 17: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Kuzuia kuenea kwa VVU na UKIMWI

Madhumuni:Maambukizo ya VVU yanazuilika. Zaidi ya 80% yamaambukizo yote ya VVU yanatokana nakujamiiana. Umma uelimishwe kubadili tabiakuzuia kuenea kwa VVU na UKIMWI na umuhimuwa kupata tiba mapema ya magonjwa ya ngono

Page 18: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Kuzuia kuenea kwa VVU na UKIMWI …

• Vijana walioko shuleni na Vyuo vya elimu ya Juu- Sekta ya elimu ni miongoni mwa sekta

zilizoathiriwa zaidi na UKIMWI na kushuka kwaubora wa elimu kutokana na kufariki kwa walimuna wanafunzi.

- Watoto wa shule, vijana balehe na watu wazimawameathiriwa sana na maambukizo ya UKIMWI.

- Mikakati zaidi iwekwe katika kutoa elimu yaUKIMWI mashuleni na vyuo vya elimu ya juu

Page 19: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Kuzuia kuenea kwa VVU na UKIMWI …

• Vijana walio nje ya shule-Wapewe elimu ya jinsia na afya ya uzazi kuhusuUKIMWI, wapate elimu sahihi ya UKIMWI namatumizi sahihi ya kondomu na upimaji wa hiari

Page 20: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Kuzuia kuenea kwa VVU na UKIMWI…

• Watu wazima-Wapate elimu ya mawasiliano (IEC) , upimaji wa VVUna matumizi sahihi ya kondomu• Vyombo vya habari -Kuelimisha umma kwa kutoa

taarifa sahihi za kudhibiti UKIMWI• Kondomu- Kondomu zenye ubora zitapatikana kwa

bei nafuu• Magonjwa ya zinaa- yachunguzwe na kupata tiba

mapema

Page 21: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Kuzuia kuenea kwa VVU na UKIMWI…• Uambukizaji kwa njia ya damu – Vituo vyote

vitakusanya damu na kutoa damu kwa wahitaji kwakufuata miongozo ya serikali. Kuhakikisha kuwavituo vyote vya afya vinatoa damu salama

• Upandikizaji wa viungo na tissue za mwili vituo vyaafya kuhakikisha kuwa viungo hivyo vinachukuliwakutoka watu wasiokuwa na VVU.

• Uambukizaji kwa tiba ya upasuaji, tiba ya menona kutoga/ vifaa vya kuchanjia-Kuna hatari ya kuenea kwa VVU kwa njia ya vifaatibavisivyomunizwa (sterilization)

• Uambukizaji kwa njia ya damu – Vituo vyotevitakusanya damu na kutoa damu kwa wahitaji kwakufuata miongozo ya serikali. Kuhakikisha kuwavituo vyote vya afya vinatoa damu salama

• Upandikizaji wa viungo na tissue za mwili vituo vyaafya kuhakikisha kuwa viungo hivyo vinachukuliwakutoka watu wasiokuwa na VVU.

• Uambukizaji kwa tiba ya upasuaji, tiba ya menona kutoga/ vifaa vya kuchanjia-Kuna hatari ya kuenea kwa VVU kwa njia ya vifaatibavisivyomunizwa (sterilization)

Page 22: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Kuzuia kuenea kwa VVU na UKIMWI…

a) Utumiaji wa vifaa vinavyotumiwa mara moja tu-Vituo vyote vya afya kutumia vifaa vya kutumiwa mara moja tu mf.

Sindanona mabomba yake. Endapo vifaa hivi havipatikani, vitatumiwa baada yakumunizwa (sterilization)- Serikali itatoa mafunzo kwa watoa huduma ya afya ya kuzuia

maambukizo wakati wa tiba- Serikali itaendeleza kampeni dhidi ya ukeketaji- Miongozo itaandaliwa juu ya wafanyakazi wa afya watakaoambukizwa

VVU wakiwa wanatoa huduma ya tiba kwa kutumia mkabala waShirika la Afya Duniani- Post Exposure Prophylaxis (PEP)

b) Kuelimisha watu wanaotumia huduma za afya-Umma utaelimishwa kuhakikisha kuwa watumiaji wa huduma za afya namatunzo majumbani wanatumia vifaa vilivyomunizwa pamoja na gloves.

Page 23: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Kuzuia kuenea kwa VVU na UKIMWI…

• Kuzuia uambukizaji wa VVU kutoka kwa mamakwenda kwa mtoto (PMTCT)

-Uambukizaji wa VVU unatokea wakati wa ujauzito,kujifungua

na kunyonyesha. Karibu 25-35 %ya wanawake wote wenyeVVU

wanaweza kuambukiza watoto wao wachanga na upouwezekano wa 15-20% ya watoto kuambukizwa wakati wakunyonya maziwa ya mama-Elimu ya kuzuia maambukizo kutoka kwa mama kwenda kwamtoto itatolewa kwa watu wote-Wakati wa kujifungua wataalamu wa afya watatumia mbinu

za kusimamia ujauzito na kujifungua kwa kuchagua njia zakupunguza hatari ya kumuambukiza mtoto VVU

Page 24: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Kuzuia kuenea kwa VVU na UKIMWI…Uambukizaji baada ya kujifungua-Kuzuia uambukizaji wa VVU wakati wa kunyonyesha maziwa yamama huduma zifuatazo zitatolewa:-Ushauri nasaha kuhusu unyonyeshaji maziwa ya mama-Ushauri nasaha kuhusu vyakula mbadala vyenye afya kwamtoto au mambo ya kufanya kwa mama aliyeambukizwa VVU.• Masuala ya kijinsia kuhusu VVU-Ushiriki sawa wa wanaume na wanawake kujadili njia salamaza kujamiiana, wanawake wana haki na wahamasishwe kusemaHAPANA au KUKATAA kutumia njia isiyo salama-Wanaume na wanawake kupewa hadhi sawa – kielimu, afya yauzazi, huduma za matunzo na uongozi ngazi zote

Uambukizaji baada ya kujifungua-Kuzuia uambukizaji wa VVU wakati wa kunyonyesha maziwa yamama huduma zifuatazo zitatolewa:-Ushauri nasaha kuhusu unyonyeshaji maziwa ya mama-Ushauri nasaha kuhusu vyakula mbadala vyenye afya kwamtoto au mambo ya kufanya kwa mama aliyeambukizwa VVU.• Masuala ya kijinsia kuhusu VVU-Ushiriki sawa wa wanaume na wanawake kujadili njia salamaza kujamiiana, wanawake wana haki na wahamasishwe kusemaHAPANA au KUKATAA kutumia njia isiyo salama-Wanaume na wanawake kupewa hadhi sawa – kielimu, afya yauzazi, huduma za matunzo na uongozi ngazi zote

Page 25: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Upimaji wa VVUUpimaji wa hiari:-Ushari nasaha kutolewa kabla na baada ya kupima ili mtu awe

tayari kupokea matokeo ya vipimo, kama ni mdogoyatolewe kwa wazazi au walezi. Shabaha kuu ni kuwapamoyo watu 85-90% ambao hawana VVU kuchukua hatuakutokuambukizwa na wenye VVU kuishi kwa matumaini nakutokuwaambukiza wengine

USIRI:-Vipimo vyote vya VVU vitakuwa siri-Sheria za afya zitawekwa ili Wataalamu wa afya waweze

kufanyamaamuzi kwa kuzingatia maadili mf. Kuwafahamisha wapenzi

wawagonjwa kuhusu hali ya VVU ya wapenzi wao au endapo

hatari yauambukizo wa VVU kwa mwenzi unaonekana

Upimaji wa hiari:-Ushari nasaha kutolewa kabla na baada ya kupima ili mtu awe

tayari kupokea matokeo ya vipimo, kama ni mdogoyatolewe kwa wazazi au walezi. Shabaha kuu ni kuwapamoyo watu 85-90% ambao hawana VVU kuchukua hatuakutokuambukizwa na wenye VVU kuishi kwa matumaini nakutokuwaambukiza wengine

USIRI:-Vipimo vyote vya VVU vitakuwa siri-Sheria za afya zitawekwa ili Wataalamu wa afya waweze

kufanyamaamuzi kwa kuzingatia maadili mf. Kuwafahamisha wapenzi

wawagonjwa kuhusu hali ya VVU ya wapenzi wao au endapo

hatari yauambukizo wa VVU kwa mwenzi unaonekana

Page 26: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Upimaji wa VVU...Ridhaa ya kutoa taarifa:-Baada ya ushauri nasaha ridhaa hiyo itaombwa kabla upimaji waVVU haujafanyika- Wagonjwa waliolazwa hospitali au waliopoteza fahamu na

wale ambao hawana akili timamu hawataweza kutoa idhini yakutoa taarifa. Ushauri nasaha utamhusisha ndugu wa karibuzaidi kutoa idhini kabla ya kuanza Uchunguzi na matibabu

Kumtaarifu Mpenzi:Madaktari na wafanya kazi wa afya hawaruhusiwi kumuarifumtuyeyote zaidi ya mtu aliyepima juu ya matokeo bila idhini yake.Ushauri utawahamasisha wapenzi wote wawili na wenye ndoakupima VVU

Ridhaa ya kutoa taarifa:-Baada ya ushauri nasaha ridhaa hiyo itaombwa kabla upimaji waVVU haujafanyika- Wagonjwa waliolazwa hospitali au waliopoteza fahamu na

wale ambao hawana akili timamu hawataweza kutoa idhini yakutoa taarifa. Ushauri nasaha utamhusisha ndugu wa karibuzaidi kutoa idhini kabla ya kuanza Uchunguzi na matibabu

Kumtaarifu Mpenzi:Madaktari na wafanya kazi wa afya hawaruhusiwi kumuarifumtuyeyote zaidi ya mtu aliyepima juu ya matokeo bila idhini yake.Ushauri utawahamasisha wapenzi wote wawili na wenye ndoakupima VVU

Page 27: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Upimaji wa VVU...Ni kosa la jinai kwa mtu kuambukiza VVU kwa makusudi:Kwa kuzingatia kiwango kikubwa cha maambukizo ya VVUkatika jamii, kanuni za adhabu zitarekebishwa kuwatia hatianikwa kosa la jinai wale ambao wataambukiza VVU kwa watuwengine kwa makusudi

Page 28: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Upimaji wa VVU...Kupima VVU kabla ya ndoa – Utahimizwa na kuwezesha kufanyika kwa

gharama nafuu na utakuwa wa hiari kwa kupewa ushauri nasaha kabla nabaada ya kupima

Utafiti unaohusu upimaji wa VVU na UKIMWI- Mapendekezo yote ya utafiti yatapata kwanza kibali kutoka kwenye Kamati

ya Utafiti na Maadili ya Taasisi au Sekta husika. Tume ya Kudhibiti UKIMWITanzania itafahamishwa kuhusu matokeo ya utafiti kwa ajili yakumbukumbu na /au kuyasambaza.

- Mapendekezo ya utafiti yatakayoidhinishwa yatasajiliwa na Tume yaKudhibiti UKIMWI.

Gharama za vipimo vya VVU:Watu wanaojitolea kwa hiari yao wenyewe wanaweza kutakiwakuchangaia gharama za ushauri na vipimo. Gharama za upimaji VVUhospitalini na vituo vingine zitategemea sera au kanuni za hospitali aukituo husika

Kupima VVU kabla ya ndoa – Utahimizwa na kuwezesha kufanyika kwagharama nafuu na utakuwa wa hiari kwa kupewa ushauri nasaha kabla nabaada ya kupima

Utafiti unaohusu upimaji wa VVU na UKIMWI- Mapendekezo yote ya utafiti yatapata kwanza kibali kutoka kwenye Kamati

ya Utafiti na Maadili ya Taasisi au Sekta husika. Tume ya Kudhibiti UKIMWITanzania itafahamishwa kuhusu matokeo ya utafiti kwa ajili yakumbukumbu na /au kuyasambaza.

- Mapendekezo ya utafiti yatakayoidhinishwa yatasajiliwa na Tume yaKudhibiti UKIMWI.

Gharama za vipimo vya VVU:Watu wanaojitolea kwa hiari yao wenyewe wanaweza kutakiwakuchangaia gharama za ushauri na vipimo. Gharama za upimaji VVUhospitalini na vituo vingine zitategemea sera au kanuni za hospitali aukituo husika

Page 29: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Huduma kwa WAVIUMadhumuniKutoa msaada wa lishe, kijamii na kimaadili kwa WAVIU iliwaishi maisha mazuri na kuendeleza uzalishaji ikiwa nipamoja na huduma za matunzo majumbaniHuduma za matunzo na msaada zinazotolewa na jamii:-Serikali itaanzisha itatoa ushirikiano na mashirika, watubinafsi wanaotoa huduma za matunzo kwa wagonjwa nayatima wa UKIMWI-Jumuia za kidini kuhimizwa kutoa matunzo ya kiroho namsaada wa vitu kwa WAVIU.-Madai yote kutoka kwa umma ya uwezo wa kutibu VVU kwatiba za jadi, au kidini au watabibu wengine yasitiliwemaanani mpaka yathibitishwa na kuidhinishwa na Serikali

MadhumuniKutoa msaada wa lishe, kijamii na kimaadili kwa WAVIU iliwaishi maisha mazuri na kuendeleza uzalishaji ikiwa nipamoja na huduma za matunzo majumbaniHuduma za matunzo na msaada zinazotolewa na jamii:-Serikali itaanzisha itatoa ushirikiano na mashirika, watubinafsi wanaotoa huduma za matunzo kwa wagonjwa nayatima wa UKIMWI-Jumuia za kidini kuhimizwa kutoa matunzo ya kiroho namsaada wa vitu kwa WAVIU.-Madai yote kutoka kwa umma ya uwezo wa kutibu VVU kwatiba za jadi, au kidini au watabibu wengine yasitiliwemaanani mpaka yathibitishwa na kuidhinishwa na Serikali

Page 30: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Watoa huduma za afya na Wakunga wa jadi

Kuzingatia kuenea kwa VVU kwa kiwango kikubwa katikajamii, watoa huduma za afya na wakunga wa jadi wakokwenye hatari kubwa kuambukizwa VVU kutoka kwawagonjwa wanapotekeleza majukumu yao.- Lengo ni wao kuchukua tahadhari ya kutokuambukizwa

VVU kwa kutumia vifaa vya kujikinga.- Taasisi zote zinazotoa huduma za afya zitatoa vifaa vya

kinga kwa watoa huduma vituoni, nyumbani na kwawakunga wa jadi

Page 31: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

UTAFITIMadhumuni:Kuweka mfumo wa kuendeleza na kuratibu shughuli zautafitikuhusu VVU na UKIMWI, kusambaza na kutumiamatokeo ya utafiti.Utaratibu wa utafiti wa VVU na UKIMWI:-Kutakuwepo na kamati ya Taifa ya Utafiti na Maadiliitakayoshughulikia masuala ya VVU na UKIMWI. Kamati hiiitajumisha wawakilishi kutoka TACAIDS, NIMR, Vyuo vikuu,Wizara ya Sheria na NGOs-Watafiti wote watawasilisha nakala za taratibu za tafiti zaona hati za vibali TACAIDS

Madhumuni:Kuweka mfumo wa kuendeleza na kuratibu shughuli zautafitikuhusu VVU na UKIMWI, kusambaza na kutumiamatokeo ya utafiti.Utaratibu wa utafiti wa VVU na UKIMWI:-Kutakuwepo na kamati ya Taifa ya Utafiti na Maadiliitakayoshughulikia masuala ya VVU na UKIMWI. Kamati hiiitajumisha wawakilishi kutoka TACAIDS, NIMR, Vyuo vikuu,Wizara ya Sheria na NGOs-Watafiti wote watawasilisha nakala za taratibu za tafiti zaona hati za vibali TACAIDS

Page 32: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

UTAFITI…Usambazaji wa matokeo ya utafiti:-Sekta zote zitaweka orodha ya miradi yote yautafiti wa VVU na UKIMWI inayoendelea nailiyokamilishwa TACAIDS ambayo itatayarishaorodha na kusambaza matokeo muhimu ya utafitikwa wadau wanaohusika.-Watafiti watatafsiri matokeo ya utafiti katikalugha inayoeleweka ili umma uweze kutumiamatokeo hayo.

Usambazaji wa matokeo ya utafiti:-Sekta zote zitaweka orodha ya miradi yote yautafiti wa VVU na UKIMWI inayoendelea nailiyokamilishwa TACAIDS ambayo itatayarishaorodha na kusambaza matokeo muhimu ya utafitikwa wadau wanaohusika.-Watafiti watatafsiri matokeo ya utafiti katikalugha inayoeleweka ili umma uweze kutumiamatokeo hayo.

Page 33: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

Majukumu ya TACAIDS Kuandaa miongozo ya Sera kwa ajili ya udhibiti wa VVU na

UKIMWI Kuandaa mkakati wa Taifa wa udhibiti wa UKIMWI Kukusanya rasilimali za UKIMWI na kuzisambaza maeneo yenye

uhitaji Kukuza uraghibishi na elimu kuhusu kinga na udhibiti wa VVU Kuendeleza utafiti kuhusu VVU na UKIMWI Kuishauri serikali kuhusu masuala yote yanayohusiana UKIMWI

TACAIDS itaanzisha mfuko wa kudhibiti UKIMWI ambao utapatafedha kutoka serikali, wadau mbalimbali na watu binafsi

Ufuatiliaji na tathmini wa afua za kudhibiti UKIMWI

Kuandaa miongozo ya Sera kwa ajili ya udhibiti wa VVU naUKIMWI

Kuandaa mkakati wa Taifa wa udhibiti wa UKIMWI Kukusanya rasilimali za UKIMWI na kuzisambaza maeneo yenye

uhitaji Kukuza uraghibishi na elimu kuhusu kinga na udhibiti wa VVU Kuendeleza utafiti kuhusu VVU na UKIMWI Kuishauri serikali kuhusu masuala yote yanayohusiana UKIMWI

TACAIDS itaanzisha mfuko wa kudhibiti UKIMWI ambao utapatafedha kutoka serikali, wadau mbalimbali na watu binafsi

Ufuatiliaji na tathmini wa afua za kudhibiti UKIMWI

Page 34: SERA YA TAIFA YA UKIMWI 2001 - mafingatc.go.tz · • kuwezesha kutunga sheria mbali mbali za ... KANUNI ZINAZOLINDA SERA UKIMWI. • Changamoto mpya zinazojitokeza kwenye mikutano

MWISHO

AHSANTENI SANA

KWA KUNISIKILIZA

AHSANTENI SANA

KWA KUNISIKILIZA