14
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS – TAMISEMI SHULE YA SEKONDARI LUGUFU BOYS S. L. P 567 UVINZA – KIGOMA. 11 MEI, 2018 NAMBA ZA SIMU MKUU WA SHULE: 0767618310/0673219197 MTAALUMA: 0712240240/0753240240 MHASIBU: 0758376248/0623785672 PATRON: 0768529112 Email: [email protected]/[email protected] Mzazi/Mlezi wa Mwanafunzi ……………………………………………………………………………………………………… S. L. P ……………….. ………………………………… YAH: MAELEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI LUGUFU BOYS HALMSHAURI YA WILAYA UVINZA MKOA WA KIGOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2018/2019 1. Nafurahi kukkuarifu kuwa mwanao amechaguliwa kujiunga kidato cha tano katika shule hii ya Lugufu Boys kwa mwaka wa masomo 2018 kati ya tahasusi sita tulizonazo ambazo ni PCM, PCB, HGE, HGL, HGK na HKL ambapo naamini mwanao amechaguliwa kati ya hizo. Shule ya Sekondari Lugufu boys ipo umbali wa kilometa 11 kusini mwa Mji wa Lugufu, ambapo ndipo makao makuu ya Wilaya ya Uvinza kwa wasafiri watakao tumia barabara ya Tabora, Mpanda kwenda Kigoma washuke Lugufu, kituo cha Polisi na watakaotumia barabara ya Kigoma/ Kasulu kwenda Uvinza washuke Lugufu Kituo cha Polisi. Muhula wa masomo unaanza tarehe 02/07/2018. Hivyo unatakiwa kuripoti shuleni tarehe 16/07/2018 na mwisho wa kuripoti ni tarehe 30/07/2018. 2. Mambo muhimu ya kuzingatia: 2.1 Sare za Shule

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

  • Upload
    others

  • View
    72

  • Download
    2

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS – TAMISEMI

SHULE YA SEKONDARI LUGUFU BOYS S. L. P 567 UVINZA – KIGOMA. 11 MEI, 2018

NAMBA ZA SIMU MKUU WA SHULE: 0767618310/0673219197 MTAALUMA: 0712240240/0753240240 MHASIBU: 0758376248/0623785672 PATRON: 0768529112 Email: [email protected]/[email protected]

Mzazi/Mlezi wa Mwanafunzi

………………………………………………………………………………………………………

S. L. P ………………..

…………………………………

YAH: MAELEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI LUGUFU BOYS HALMSHAURI YA WILAYA UVINZA MKOA WA KIGOMA KWA

MWAKA WA MASOMO 2018/2019 1. Nafurahi kukkuarifu kuwa mwanao amechaguliwa kujiunga kidato cha tano katika shule

hii ya Lugufu Boys kwa mwaka wa masomo 2018 kati ya tahasusi sita tulizonazo ambazo ni PCM, PCB, HGE, HGL, HGK na HKL ambapo naamini mwanao amechaguliwa kati ya hizo. Shule ya Sekondari Lugufu boys ipo umbali wa kilometa 11 kusini mwa Mji wa Lugufu, ambapo ndipo makao makuu ya Wilaya ya Uvinza kwa wasafiri watakao tumia barabara ya Tabora, Mpanda kwenda Kigoma washuke Lugufu, kituo cha Polisi na watakaotumia barabara ya Kigoma/ Kasulu kwenda Uvinza washuke Lugufu Kituo cha Polisi.

Muhula wa masomo unaanza tarehe 02/07/2018. Hivyo unatakiwa kuripoti shuleni tarehe 16/07/2018 na mwisho wa kuripoti ni tarehe 30/07/2018.

2. Mambo muhimu ya kuzingatia:

2.1 Sare za Shule

Page 2: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

(a) Sare ya Shule hii ni suluari mbili nyesi na shati mbili jeupe mikono mirefu.

(b) Sare ya michezo kwa shule hii tracksuit nyeusi michirizi myeupe na bukta.

(c) Viatu vya shule ni vyeusi vya kufunga na Kamba vyenye visigino vifupi.

(d) Mkanda wa kuvalia suruali ni mweusi wa ngozi.

(e) Soksi nyeupe jozi mbili au Zaidi

(f) Sweta lenye rangi ifuatayo kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini

mnele

(g) T.shirt za darasani aina mbili

i. T.shirt Rangi ya bluu moja iwe kama ifuatavyo:

Nembo ya shule

Mbele iwe hivi

Nyuma iwe hivi

Mbele

Nyuma

Page 3: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

ii. T.shirt rangi light blue iwe kama ifuatavyo:

(h) Nguo za kushindia (shamba dress) T. shirt mbili za blue isiyo na maandishi na suruali

mbili rangi ya kaki.

(i) Tai nyeusi

2.1 Ada na Michango ya Shule

(a) Ada ya Shule kwa mwaka ni shilingi 20,000/= kwa mwanafunzi wa kutwa na

shilingi 70,000 kwa mwanafunzi wa Bweni. Unaweza kulipa kiasi cha shilingi

10,000/= kwa mwanafunzi wa kutwa na Shilingi 35,000 kwa mwanafunzi wa

Bweni ikiwa Ada ya Nusu muhula au lipa ada yote pamoja na michango yote kwa

mara moja. Fedha hizo (yaani Ada na Michango yote) zilipwe kwenye akaunti ya

Shule 51610003581 katika Benki ya NMB (tafadhali andika Jina la Mwanafunzi

kwenye Bank Pay Slip).

(b) Michango inayotakiwa kulipwa na kila mzazi ni:

i. Shilingi15,000/= kwa ajili ya Ukarabati wa samani

ii. Shilingi 6000/= kwa ajili ya Kitambulisho na picha

iii. Shilingi 20,000/= kwa ajili ya Taaluma

iv. Shilingi 30,000/= kwa ajili ya kuwalipa wapishi, walinzi na Vibarua

wengine

v. Shilingi 2,000/= Nembo ya shule

Page 4: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

vi. Shilingi 5,000/= kwa ajili ya Huduma ya kwanza

vii. Shilingi 5,000/= kwa ajili ya Bima ya Afya (wanafunzi washauriwe kujiunga

na mfuko wa Bima ya Afya CHF kikaya)

viii. Shilingi 20,000/= kwa ajili ya Mitihani ya Kujipima Mock

ix. Fedha ya tahadhari 5,000/=

Jumla ya Ada (70,000) + Michango (108,000) = 𝑆ℎ 178,000.00 Kwa mwaka

(c) Mahitaji muhimu ambayo mwanafunzi anapaswa kuleta Shuleni ni:-

i. Ream ya karatasi 1 (kwa mwaka) ii. Vitabu vya masomo ya tahasusi husika

iii. Dissecting kit kwa wanafunzi wa Biolojia iv. Scientific calculator (Kwa wanafunzi wa sayansi na BAM) v. GOdoro kwa wanafunzi wa Bweni ukubwa wa nchi 1 ½ x 6

vi. Ndoo mbili kwa ndogo zenye mifuniko vii. Vyombo vya chakula (Sahani, bakuli, kijiko na kikombe)

viii. Kwanja 1, jembe 1, leki 1, mfagio wa ndani na mfagio wa nje. ix. Shuka mbili, rangi ya pinki, foronya moja na chandarua

(d) Maelekezo Mengine

i. Kila mzazi aje na fomu au taarifa ya maandishi ya uthibitisho wa afya ya mwanae kwamba hana matatizo au anayo kwa uthibitisho wa daktari.

ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana shuleni.

iii. Fomu ya maelezo binafsi kuhusu historia ya mwanafunzi/ mkataba wa kutoshiriki katika migomo, fujo na makosa ya jinsi pia nazo zitajazwa Shuleni mara baada ya Mwanafunzi kuripoti.

3. Tafadhali soma kwa makini maelezo/ maagizo haya na kuyatekeleza Kikamilifu.

4. MAKOSA YATAKAYOSABABISHA MWANAFUNZI KUFUKUZWA SHULE.

(i) Wizi (ii) Kutohudhuria masomo kwa zaidi ya siku 90 bila taarifa/utoro (iii) Kugoma na kuhamamsisha mgomo (iv) Kutoa lugha chafu kwa wanafunzi wenzake, walimu walezi na jamii kwa ujumla.

Page 5: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

(v) Kupigana mwanafunzi kwa mwanafunzi, kumpiga mwalimu au mtu yeyote Yule. (vi) Kusuka nywele. Wanafunzi wote wanatakiwa kuwa na nywele fupi wakati wote wawapo

shuleni. (vii) Ulevi au unywaji wa pombe na matumizi ya madawa ya kulevya. (viii) Uvutaji sigara (ix) Uasherati, uhusiano wa jinsia moja, kuoa au kuolewa (x) Kupata ujauzito au kutoa mimba. (xi) Kushiriki matendo ya uhalifu, siasa na matendo yoyote yale yanayovunja sheria za nchi. (xii) Kutembelea majumba ya starehe na nyuma za kulala wageni. (xiii) Kumiliki, kukutwa na kutumia simu ya mkononi katika mazingira ya shule. (xiv) Kudharau bendera ya Taifa. (xv) Kufanya jaribio lolote la kujiua, au kutishia kujiua kama kunywa sumu n.k (xvi) Uhalibifu wa mali ya Umma kwa makusudi.

4. VIAMBATANISHO NA FOMU MUHIMU

a) Fomu za uchunguzi wa afya (Medical Examnation Form) ambayo itajazwa na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Serikali.

b) Fomu ya maelezo binafsi kuhusu histori ya mwanafunzi/mkataba wa kiutoshgiriki katika mgomo, fujo na makosa ya jinai.

c) Fomu ya mzazi kukiri na kukubaliana na sheria, kanuni, ulipaji ada, michango na maelezo mengine yatakayotolewa na shule.

d) Picha nne (4) za wazazi na ndugu wa karibu wa mwanafunzi na namba zao za simu.

NB.Tafadhali soma kwa makini maelezo/maagizo haya na kuyatekeleza kikamiliufu.

KARIBU SANA KATIKA SHULE HII

Saini ya Mkuu wa Shule : ……………………………………

Jina la Mkuu wa Shule: ………………………………………….

Mhuri wa Mkuu wa Shule:………………………………………

Page 6: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

OFISI YA RAIS -TAMISEMI

SHULE YA SEKONDARI LUGUFU BOYS

HISTORIA YA MWANAFUNZI:

1. Jina la mwanafunzi…………………………………………………………………….. 2. Jina la baba……………………………………………………………………………….. 3. Jina la mama………………………………………………………………………………. 4. Jina kamili la Mlezi (kama hana mzazi……………………………………………… 5. Anuami kamili ya Mzazi/Mlezi…………………………………………………………….. 6. Uhusiano wa Mlezi………………………………….(mjomba/shangazi/kaka/dada) 7. Kazi ya 8. Baba/Mama/Mlezi…………………………………………….(mkulima/mfanya

biashara/mfanyakazi) 9. Kama ni mfanya kazi; kazi yake ni……………………………………….. 10. Kama ni mkulima ; zao muhimu analitegemea ni……………………………………………… 11. Kama ni mfanya biashara; biashara yake ni ……………………………………………………… 12. Afya yake (mwanafunzi) kama anayo matatizo ya kiafya na hivyo kustahili huduma maalumu

tafadhali Mzazi/Mlezi eleza wazi wazi………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………..

13. Madhehebu ya dini ya mwanaunzi……………………………………………………………………….

14. Majina wa Wazazi/Walezi na Ndugu wengine wa karibu wa mwanafunzi na namba zao za simu.

Page 7: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

NDUGU WATAKAOMTEMBELEA MWANAFUNZI SHULENI

Utaratibu wa shule unaruhusu Mzazi/Mlezi na ndugu wengine wasiozidi watatu kufika shuleni kumjulia

hali Mwanafunzi. Hata hivyo wageni hawa hawaruhusiwi kuonana na Mwanafunzi. Wageni

hupokelewa na Mwalimu wa zamu ili kupokea maelezo na salamu za mzazi na kumfikishia Mwanafunzi.

Hata hivyo wageni hawaruhusiwi shuleni miezi ya Mei na Novemba kwa sababu ya uwepo wa mitihani

ya kitaifa.Ni vema wageni wafike shuleni muda wa saa za masomo ili kufatilia taaluma na nidhamu ya

Mwanafunzi.Tadhali orodhesha majina ya ndugu watakaomtembelea Mwanafunzi awapo shuleni:

JINA KAMILI: ANUANI YAKE/SIMU

1……………………………………………..

2………………………………………………

3……………………………………………….

Page 8: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

SHULE YA SEKONDARI LUGUFU BOYS

MKATABA/AHADI YA MWANAFUNZI:

Mimi………………………………………………………………………………………………………(Jina kamili)ambaye ni mwanafunzi, nimeyasoma maagizo haya na kuyaelewa, ninakubali nafasi niliyopewa ya kujiunga na shule hii.

Ninaelewa kuwa nafasi hii niliyopewa ni dhamana, hivyo naahidi mbele ya Wazazi/Walezi wangu kwamba nitaitumia nafasi hii kwa kushirikiana na uongozi wa shule kutimiza na kutekeleza yale yote yaliyo katika maagizo haya. Nitatii na kufuata sheria za shule wakati wote.

Naahidi kutoshirki migomo, fujo na makosa ya jinai. Naahidi pia kufanya bidii katika masomo yangu na kuwa mfano mwema kwa wenzangu wakati wote.

Saini ya mwanafunzi………………………………

Tarehe……………………………………………………

Shahidi:

Jina kamili……………………………………………….

Saini……………………………………………………….

Tarehe…………………………….………….............

Page 9: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

TAMISEMI

SHULE YA SEKONDARI LUGUFU BOYS

AHADI YA MZAZI:

Mimi……………………………………………………………………(Jina kamili) ambaye ni Mzazi/Mlezi wa……………………………………………………………………kidato cha………

Nimeyasoma maagizo haya na kuyaelewa vema.Nimekubali mwanangu ajiunge na shule hii. Naahidi kwamba nitashirikiana na uongozi wa shule katika kumpatia binti yangu malezi na elimu bora kwa manufaa ya Taifa la Tanzania. Na nitatoa msaada kadri ya uwezo wangu nitakapo takiwa kufanya hivyo. Ninaahidi kwamba ninakubaliana na yote yaliyotajwa kwenye barua hii mfano sheria, kanuni na maelekezo mengine yanayotolewa na shule.

Saini ya Mzazi/Mlezi…………………………………

Anuani kamili……………………………………………..

Simu…………………………………..

Tarehe…………………………………

Page 10: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL AND TRAINING

LUGUFU BOYS SECONDARY SCHOOL

FORM FOR MEDICAL EXAMINATION

(TO BE COMPLETED BY A MEDICAL OFFICCER IN RESPECT OF ALL FORM 5 ENTRY)

PUPIL’S FULL

NAME……………………………………………………………………………………………………………………………………………………

AGE………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

STOOL EXAMINATION……………………………………………………………………………………………………………………………….

BLOOD COULT (RED AND WHITE) ……………………………………………………………………………………………………………

URINALYSIS:………………………………………………………………………………………………………………………………………………

TB.TEST:……………………………………………………………………………………………………………………………………………………

EYE TEST:……………………………………………………………………………………………………………………………………………………

SYPHILIS TEST:……………………………………………………………………………………………………………………………………………

CHEST:………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

SPLEEN:…………………………………………………………………………………………………………………………………………………

ABDOMEN:………………………………………………………………………………………………………………………………………………

ADDITIONAL INFORMATION; eg Physical detects of impalement (s) chronic or family.Diseases, etc.

Page 11: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………....................

I certify that I have examined the above pupil and recommend that he/she is fit/unfit to pursue further education

Signed……………………………………………………………………………………………………..

Designation…………………………………………………………………………………………….

Official Stamp……………………………………………………………………………………….

Date……………………………………………………………………………………………………

(Delete whichever is inapplicable)

VITABU VYA ‘’A-LEVEL’’ AMBAVYO MAZAZI/MLEZI ANAWEZA KUMNUNULIA MTOTO/MWANAFUNZI:

GEOGRAPHY 1

1. TIE (2016), Geography for Secondary schools form five. Tie Publisher 2. Practical Geography for A-level by Francis Mnyawi 3. Practical Geography for Africa by John M pritchard 4. Principles of Physical Geography by Monkhouse 5. Zist Kamili (2016) Practical Geography alive. KOT Publisher 6. Introduction to Geomorphology by colin Buckle

GEOGRAPHY 11

1. Human and economic Geography by Goh cheng and Morgan 2. Geography An Integrated Approach by David Waugh 3. An Integrated Focal Study on Human and Economic Advanced level Paper 2 by D.T Msabila.

HISTORY

1. TIE. (2016), HISTORY FOR SECONDARY SCHOOL FORM SIX 2. TIE. (2016), HISTORY FOR SECONDARY SCHOOL FORM FIVE 3. Nyirenda, H.D Africa in Word History-level certificate notes DSM (DUP) 1992 4. Rodney W, How Europe underdeveloped Africa, Nairobi Heinemann Kenya (1992)

KISWAHILI 1

1. J.A Masebo na M.Nyangwine, nadharia ya Kiswahili kidato cha tano na sita. 2. Tahakiki kidato cha tano na cha sita 3. Ndharia ya fasihi kidato cha tano na sita 4. Kitangulizi cha Tafsiri, nadharia na mbinu. Waandishi;H.J.M Mwansoko R.D.K

Page 12: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

KISWAHILI 2

RIWAYA

1. Vuta nikuvute Shafi A. Shafi 2. Mfadhili H. tuwa 3. Usiku utakapokwishisha M.Mbunda 4. Kufikirika

TAMTHILIYA

1. Kivuli kinaishi 2. Ukingo wa Thim 3. Nguzo mama 4. Morani

USHAIRI

1. Kimbunga 2. Mapenzi bora 3. Chungu tamu 4. Fungata ya uhuru

ENGLISH LANGUAGE 1

1. Nicholous Arshery, comprehensive English Grammer New edition/Advanced LEVEL English practical approach

ENGLISH LANGUAGE 2

2. Alyi Kwei Armal, The beautiful one are not yet born 3. Chinua Achebe, A man of the people 4. His Excellency the Head of state, Danny Safo

PLAYS

1. Heinrich Ibsen, An enemy of the people 2. Ngungi wa Thiongo I will merry when I what 3. Francis Imbuga,Betrayal in the City

POETRY

1. Selected Poems 2. The Wonderful Surgeon and other Poems.

Page 13: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

ECONOMICS

1. C.M Ambilikile- Advanced level paper two and professional studies 2. Economics 2, Advanced levels paper two and professional 3. Understanging Economics (Hemed H Chegee M) 4. Economics simplifilied (revised and update)

PHYSICS

1. Nelkon and Parker 2. Undersatnding Physics 3. Rodger Manchester 4. Calculation for A-level 5. Mahta, R&Mahta, V.K (2009).Principle of Physics for class xi, S.Chard and company. Ltd. New

Delhi

MATHEMATICS

1. Pure mathematics Vol 1 2. Pure mathematics Vol 2 3. Engineering mathematics 4. Statistics for A level 5. nderstangig mathematics

CHEMISTRY

1. Freementle M. Chemistry in Action. Macmillan Education Ltd 3rd Education 2. Advanced chemistry Anna and Patrick

BIOLOGY

1. CBSE Biology for class xi by Chand 2. Biology science 1 and 2 (third edition) by Cambridge University 3. Roberts M.B (1986). New Biology a Functional approach (4th edition). 4. G.Toole & S.Toole 1999 understanding Biology for Advanced level 4th edition United King

5.

Saini ya Mkuu wa Shule ……………………………… Jina la Mkuu wa Shule ………………………………………………………

Page 14: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI SHULE YA ... BOYS... · ii. Fomu ya mzazi kukiri kukubaliana na sheria, kanuni za kulipa ada na michango na maelekezo zinapatikana

Mhuri wa Mkuu wa Shule