55
1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa na Dk. Joseph L.M.Shitundu Mkurugenzi, Kitengo cha Utafiti wa Uchumi Chuo Kikuu , Dar es Salaam 12 May, 2008 Dar es Salaam

Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

  • Upload
    others

  • View
    43

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

1

Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER)

Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi,

Zanzibar

Limetayarishwa na

Dk. Joseph L.M.Shitundu Mkurugenzi, Kitengo cha Utafiti wa Uchumi

Chuo Kikuu , Dar es Salaam

12 May, 2008

Dar es Salaam

Page 2: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

2

Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER)

1.0 Utangulizi

2. Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ni nini?

3. Vitu muhimu katika PER nzuri

4. Kwa nini tunaanda PER?

5. Madhumuni ya mafunzo haya mafupi

6. 6. Utayarishaji wa PER Tanzania Visiwani

6.1 Nini Madhumuni yake

6.2 PER na utaratibu wa Budget

(PER and Budget Process)

Page 3: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

3

• Muundo wa matumizi ya muda wa Wastani (MTEF)

• Mzunguko wa kuandaa budget and PER

Mchoro No. 2.1

Mchoro na 2.2

6.3 Ripoti ya PER ikoje?

6.4 Mapungufu ya PER

7.0 Mfano wa vitu/maswali muhimu ya sekta ya

elimu

Page 4: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

4

8.0 Matokeo (impact) ya PER

9.0 Tumejifunza nini kutokana na PER

Page 5: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

5

Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER)

1.0 Utangulizi

• Katika kusukuma mbele maendeleo

serikali mbalimbali huzingatia utoaji wa

huduma bora (goods and services) na pia

husimamia na kusaidia ukuaji wa sekta

binafsi.

Page 6: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

6

• Serikali hufanya matumizi (ya pesa) ili

kufikia malengo mbalimbali ya kiuchumi,

kijamii na kisiasa. Miongoni mwa malengo

hayo ni:

• Kuondoa umaskini

• Kujenga mazingira bora/wezeshi kwa

sekta binafsi

Page 7: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

7

• Matumizi ya serikali/umma (Public

spending) ni nyenzo muhimu ya kuondoa

umaskini. Lakini inahitaji kwamba:

- Matumizi yapangwe na kulengwa

katika maeneo muhimu yanayoongeza

maskini kupata huduma na pia kuongeza

uwezo wao wa kujipatia kipato.

Page 8: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

8

- Utafiti/uchambuzi wa kina kufanyika

- Ziwepo taasisi, taratibu madhubuti

katika utandaji kazi wa serikali.

• Mageuzi yamechochea ari ya kutaka

kudhibiti/kusimamia vyema matumizi ya

umma

- Jinsi fedha za umma zinavyopatikana

Page 9: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

9

- Malengo ya matumizi

- Faida itokanayo na matumizi

• Tutambue kuwa:

- mara nyingi “mahitaji” ni makubwa

kuliko “pesa”.

- Chaguzi zetu za vitu/mahitaji

zinabanwa

Page 10: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

10

- Matumizi ya umma pia hubanwa i.e.

kiwango ambacho serikali inaouwezo wa

kutumia.

• Kwa hali hiyo ni muhimu kwamba

“matumizi ya umma” yanatumika

vizuri/ubora iwezekanavyo kupata huduma

nyingi na nzuri za kutosha.

Page 11: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

11

2.0 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER)

ni nini?

• PER hufanya kazi ya kuchambua

matumizi ya umma, hususani kuhusiana

na “kutosha” na “usahihi” wake katika

kufikia malengo ya maendeleo.

• PER inawakilisha “mfumo” na

“mazao/matoikeo” ya uchambuzi wa

mfumo wa mapato na matumizi, ikiainisha

na kupendekeza mbadiliko muhimu katika

Page 12: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

12

mgano wa matumizi ya umma na

taasisi/taratibu na sheria zitumikazo.

• PER inaimarisha mfumo wa bajeti

• PER inatoa fursa ya `kukodineti’ misaada

na kupima matokeo yake

• Zipo PER za kitaifa (macro) na za kisekta

Page 13: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

13

3.0 Vitu muhimu katika PER nzuri

• PER nzuri inapatikana kwa kutumia mfumo bora wa uchambuzi, ukihusisha:

- Uchambuzi wa ushirikiano sahihi wa sekta ya umma na sekta binafsi katika kutooa huduma na mahitaji. Na pia ukionyesha umuhimu wa uhalali (rationale) wa sekta ya umma kuingilia pale nguvu za soko huru zinaposhindwa kuleta ufanisi na usawa.

Page 14: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

14

- Kuchambua na kupima vipa-umbele vya

matumizi ya umma katika sekta mbalimbali huku

ikizingatiwa ufinyu wa rasilimali na mgao wenye

usawa.

- Kuangalia kwa ukaribu mfumo, taasisi na sheria

pamoja na malengo ya kisiasa ili kuboresha vitu

hivyo vilivyo muhimu katika kuhakikisha kuwa

matumizi ya umma yanakuwa bora na ya

kudumu (sustainable).

Page 15: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

15

4.0 Kwa nini tufanye PER

- Hutoa mchango muhimu katika mfumo wa bajeti

- Inashughulia vitu muhimu katika maendeleo ya

muda wa kati na mrefu

- Inapima na kuchambua madhara ya “mambo ya

jumla” (cross cutting issues)

- Inatoa fursa ya kuchunguza kwa makini jinsi

Wizara, Idara na Taasisi zingine za umma

zinavyotumia fedha na raslimali zingine.

Page 16: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

16

- Inatoa fursa ya kupima mafanikio ya sera

na mipango yetu kwa mfano jinsi serikali

na umma kwa ujumla kupitia wizara,

sekta, idara na taasisi zake

zinavyotekeleza Mpango wa Kupunguza

Umaskini Zanzibar (MKUZA).

Page 17: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

17

5.0 Kutayarisha/Kuandaa PER

• Mfumo wa budget unahusisha utayarishaji

wa mipango ya matumizi ya umma,

mapitio ya matumizi ya umma (PER)

“miongozo ya bajeti”, Muundo wa

Matumizi ya muda wa wastani (MTEF)na

bajeti ya mwaka. PER na MTEF hususani

inasaidid akuhakikisha kwamba MKU\A ni

sehemu ya mfumo wa mipango na bajeti

Page 18: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

18

uliokamilika unaoongozwa na upembuzi

wa mambo ya kupewa umbele na kuwa na

nidhamu ya kuangalia hyali halisi ya bajeti.

- Lengo la jumla ni kuongeza idadi ya

raslimali zinazoelekezwa kwenye

maeneo muhimu zaidi katika zoezi la

upunguzaji umaskini.

Page 19: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

19

- Hivyo uandaji wa PER huhusisha wadau

na taasisi mbalimbali

- Kwa kawaida “mzunguko wa uandaaji wa

bajeti” unahusisha utayarishaji na utoaji

wa “miongozo ya bajeti (BGL) kwa ajili ya

MTEF kutoka kwa :Kamati ya taifa ya

Miongozo ya Bajeti”.

Page 20: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

20

• Miongozo ya Bajeti inatoa: picha

maendeleo ya kiuchumi kitaifa na kisekta.

- sera au vipengele muhimu vya sera

vinavyopaswa kutiliwa maanani wakati wa

kuandaaa bajeti

- Majukumu ya taasisi mbalimbali katika

uandaaji wa bajeti

Page 21: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

21

• Mfumo wa bajeti kwa kipindi cha kati na

format ya kutayarisha makadirio ya bajeti

kwa wizara, idara na taasisi za umma.

• Mfumo wa bajeti huonyesha rasilimali

(funds) zilipo na mapendekezo ya

“ceilings” kwa wizara, idara, sector and

taasisi za umma.

Page 22: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

22

• Kwa kufupi Miongozo ya Bajeti (BGL) ina vitu muhimu vifuatavyo:

- muhtasari wa hali ya jumla kiuchumi na makisio (macro-economic performance and projections)

- muhtasari wa utendaji katika sekta na sera na mikakati husika

- “ceiling” za kasma (vote) za matumizi kulingana na upatikanaji wa raslimali

Page 23: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

23

- taratibu/mfumo wa kuandaa na

kuwasilisha riport ya awali (draft) ya

bajeti huko Wizara ya Fedha.

• Wadau wakuu wanaoshiriki katika PEWR

ni: Serikali, wawakilishi kutoka World

Bank, Wafadhili, Taasisi zisizo za

Kiserikali.

Page 24: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

24

- Wadau hawa huunda “PER Sector Working

Group na PER Working Group na kwa sasa ni

“PER Cluster WG” na `PER Macro Group”

- PER Macro Group huishauri kamati ya taifa ya

miongozo ya bajeti kuhusu.

- Kipewa umbele katika mgawanyo wa matumizi,

bajeti, na muunda na matumizi ya muda wa

wastani na uandaaji wa miongozo ya bajeti.

Page 25: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

25

• Mzunguko wa utayarishaji wa MTEF/PER

Bajeti

- Husika na Chati 2.1

- Husika na Chati 2.2

Page 26: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

26

6.0 Ripoti ya PER ikoje?

• Ripoti ya PER siyo ya aina moja lakini sehemu muhimu za Ripoti kwa ujumla ni:

(i) Utangulizi

(ii) Uchambuzi kwa kifupi wa maendeleo ya utekelezaji wa mapendekezo ya PER iliyotangulia

• Muhtasari wa mapendekezo

• Uchambuzi wa utekelezaji na maendeleo yaliyofikiwa

• Vipewa-umbele vikuu

Page 27: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

27

(iii) Upitiliaji wa mfumo wa Bajeti katika sekta husika

(iv) Uchambuzi wa mgao wa Bajeti na matumizi katika vipaumbele vya utekelezaji kwa miaka mitatu ya nyuma na mwaka husika wa fedha

• Uchambuzi wa bajeti kwa mambo ya jumla na athari za kutokuyaingiza katika bajeti

• Uchambuzi wa mahitaji ya sasa na yanaotakiwa kuimarisha uwezo (capacity) na ujuzi wa wafanyakazi katika sekta husika.

Page 28: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

28

(v) Kutathmini/kuboresha ukadinaji wa

gharama za kutekeleza mikakati

mbalimbali katika sekta husika ili kufikia

malengo ya kupunguza umaskini

• Uchambuzi wa fedha zinazotakiwa

kulinganisha na makadirio ya pesa

zinazoweza kupatikana.

Page 29: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

29

• Njia mbadala za kupanga matumizi ili

kufikia malengo husika

• Kuangalia maana/matokeo ya njia

mbadala zilizopendekezwa.

(vi) Kutathmini mfuko wa raslimali kwa

sekta pamoja na maeneo ya kupewa

umbele katika kupewa za matumizi

Page 30: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

30

• Uchambuzi wa huduma muhimu zinazotolewa

na sekta

• Uchambuzi wa wapi pesa inaweza kupatikana

• Uchambuzi wa muko wa rasilimali za kutekeleza

MTEF ikilinganishwa na pengo la raslimali

• Uchambuzi wa maeneo ya kupewa umbele

katika matumizi ya raslimali katika sekta husika

Page 31: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

31

(vii)Uchambuzi wa mambo ya jumla na jinsi

ya kuyaweka katika bajeti

(viii)Majumuisho na mapendekezo na

wahusika wa kutekeleza/kusimamia

utekelezaji wa yaliyopendekezwa.

Page 32: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

32

7.0 Mapungufu ya PER

• PER kwa ujumla inafaa kupanga vyanzo

vya mapato, mgawanyo na matumizi.

Lakini PER haiwezi kuhakikisha kuepukwa

yafuatayo:

- mgao au uwekezaji usiosahihi kwa

huduma halisi itolewayo

- huduma duni ukilinganisha na fedha

zilizotolewa

Page 33: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

33

- huduma kutokutumika na walengwa

• Hivyo ipo mifumo mingine kusaidiana na PER

- PETS

- QS

Mifano wa Mambo muhimu katika PER ya Sekta ya Elimu

• Maelezo kwa kifupi kuhusu mipaka ya sekta itakayohusishwa na PER

Page 34: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

34

• Vipengele muhimu kwa ujumla:

(i) Kiasi gani kinatumika katika sekta ya

elimu? Na serikali inatumia kiasi gani

(ii) Ni vipi serikali inalipia/kutoa fedha kwa

sekta ya elimu?

(iii) Ni sehemu/mambo yapi ambayo serikali

inalipia katika sekta ya elimu?

Page 35: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

35

(iv) Je matumizi ya umma katika elimu

yanalinda usawa katika jamii?

(v) Je raslimali za umma (fedha, watu,

majengo, vitabu) vinatumika kwa ufanisi

na kwa manufaa?

(vi) Je matumizi ya umma katika sekta ya

elimu yanatosha na yanaweza

kuendelea kwa muda mrefu?

Page 36: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

36

• Vipengele muhimu kwa undani

(i) Kuhusu kiasi kinachotumika katika

sekta ya elimu:

• Ni kiasi gani cha pesa kinapatikana

kutoka vyanzo vyote (serikali, sekta

binafsi, wafadhili na mashirika yasiyo ya

kiserikali) kwa matumizi katika elimu?

Page 37: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

37

• Ni kiasi gani kinatumika katika elimu

kutoka vyanzo vya umma?

• Matumizi katika elimu ni asilimia ngapi ya

pato la taifa?

• Je matumizi ya umma katika elimu

yanatokana na mapato ya jumla au kodi

maalumu?

Page 38: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

38

• Ni kiasi gani cha matumizi katika elimu

kinalipwa na sekta binafsi?

• Uandikishaji wa watoto/wanafunzi

kiasilimia kwa shule za binafsi na za

umma ukoje?

• Ni kwa kiasi gani sekta ya elimu

inategemea fedha za wafadhili? Na ni

maeneo yapi ya bajeti?

Page 39: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

39

(ii) Serikali inalipiaje sekta ya elimu?

• Mgawanyo wa fedha za elimu ukoje kwa

serikali kuu na serikali za mitaa?

• Katika mgao huo ni nini kinacholipiwa?

• Je wanaotoa maamuzi ya bajeti ya elimi ni

watu wa kuchaguliwa au la na wanawajibika

kwa nani?

• Je serikali za mitaa zinayomamlaka kamili ya

kukusanya pesa na kuzitumia katika elimu?

Page 40: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

40

• Ni kiasi gani cha fedha kutoka serikali kuu

hupelekwa katika elimu serikali za mitaa? Je

fedha hizo huka kama fungu maalumu la elimu

au kama fungu la jumla?

• Mfumo wa kuripoti mapato na matumzi ya fedha

za elimu ukoje?

• Je shule zina bajeti zao na wanayo mamlaka ya

jinsi ya kutumia? Je shule zinamapato kutoka

vyanzo vyake? Na pesa hiyo hupelekwa wapi?

Page 41: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

41

(iii)Serikali hulipia nini?

• Mgano wa fedha za elimu ukoje katika ngazi mbalimbali za elimu?

• Ni nini “unit cost” katika ngazi mbalimbali za elimu? Linganisha na pato la mtu.

• Mgao wa fedha za umma ukoje kwa huduma mbalimbali za elimu?

• Je fedha kutoka kwa wafadhili zinatumika wapi zaidi?

Page 42: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

42

• Ni kiasi gani cha fedha hutolewa kwa

matunzo/matengenezo na ukarabati wa

shule? Je kinatosha kulingana na

gharama halisi?

• Je vitabu vinatosheleza kwa kila

mwanafunzi. Kila na wanafunzi wangapi?

Page 43: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

43

(iv)Sera na Matumizi ya Umma na Usawa

• Nini tofauti ya uandikishwaji, kumaliza na mafunzo kati ya makundi mbalimbali katika jamii?

• Je serikali hutoa ruzuku kwa shule za binafsi? Kwa sheria na utaratibu upi?

• Je kuna mianya na vitendo vya rushwa katika kupata nafasi shuleni na kufaulu? Katika kutoa huduma?

Page 44: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

44

(v) Je Raslimali za umma zinatumika kwa manufaa na ufanisi?

• Je serikali hupima “inputs”, utaratibu na matokeo ya matumizi ya umma?

• Je serikali hupima mafanikio yatokanayo na matumizi ya umma katika elimu? Na je njia mbadala hupendekezwa.

• Mgao wa waalimu ukoje? Je ni sahihi kwa kila ngazi?

Page 45: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

45

• Nini ratio kati ya waalimu, wanafunzi na

watumishi wasio waalimu?

• Waalimu wanatumikaje? Nini mzigo wao wa

kufundisha? Wanafundisha kwa kiasi gani?

• Kwa wastani mwalimu mmoja hugharimu kiasi

gani?

• Ni gharama ya mitaala ukizingatia vitabu na

mafunzo maalumu kwa walimu ili waendane na

mitaala mipya?

Page 46: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

46

• Je fedha za ujenzi (capital) zinatumikaje?

- Vigezo gani hutumika kuamua kujenga

shule mpya na wapi?

- Ni nini gharama halisi za kujenga

darasa moja?

- Ni gharama za kutengeneza/kukarabati

darasa? Je shule inayo bajeti hiyo?

Page 47: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

47

Wastani ukoje kwa shule zingine?

- Je juna uwazi na ufuataji wa taratibu na

kanuni za manunuzi katika utoaji wa

tenda katika ujenzi, ukarabati na utoaji

wa vifaa vikiwemo vitabu? Je hakuna

rushwa au mazingara ya rushwa?

• Nini wastani wa watoto katika darasa moja

kati ya mijini na vijijini?

Page 48: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

48

• Je ni shule ngapi zina “shift” mbili?

• Je wanafunzi wangapi wanaacha shule?

Wararudia? Na gharama zake zikoje.

Page 49: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

49

9.0 Impact ya PER

• Kutayarisha vipa umbele vizuri zaidi

• Kuongezeka kwa taarifa na hivyo kuboresha maamuzi

• Kuboresha “coordination” ya wafadhili na uingizaji wa misaada katika bajeti kwa njia bora zaidi?

• Mfumo mzuri zaidi wa programmu za maendeleo kisekta

• Kujenga uwezo miongozi mwa wadau mbalimbali wa bajeti

Page 50: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

50

10.0 Tumejifunza nini?

• Ushirikiano (Partnership) miongoni

mwa wadau wa PER

- Faida za ushirikiano huu ni:

- Wadau kuelewa vizuri sekta

mbalimbali

- Pesa za wafadhili katika kuandaa

PER

Page 51: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

51

- Kuibuliwa kwa masuala muhimu ya

bajeti

- Kusambazwa miongoni mwa Wadau

ripoti za PER katika mikutano na vikao

mbalimbali

Page 52: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

52

• Majadiliano na Ushiriki

- Majadiliano yameboresha uandaaji na utumiaji wa PER katika bajeti

- Fursa kwa wadau mbalimbali wa PER katika kushiriki maandalizi ya PER na MTEF za kisekta

- Fursa kwa taasisi/mashirika yasiyokuwa ya kiserikali, sekta binafsi, wabunge/wawakilishi wanataaluma kuchangia mawazo na mapendekezo yao katika bajeti ikiwa ni pamoja na “consultative meeting”

Page 53: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

53

• Uhusiano na kusaidia Taasisi na nchini

- Taasisi za ndani zinashiriki kuandaa na kuchambua PER. Hiyo mfumo na mawasiliano yanaboreshwa kuhusiana na menejimenti na sera za kibajeti.

• Maboresho ya bajeti

- Namna nzuri zaidi yakupanga na kulipia vipa umbele katika sekta mbalimbali.

Page 54: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

54

- Mgao bora zaidi “strategic allocation” kwa kutumia PER na MTEF.

- Kuimarisha uandaji na usimamizi wa bajeti

- Kuboresha uwajibikaji katika bajeti

- Kuelewa kwa undani zaidi hali halisi ya bajeti na usimamizi wa matumizi ya umma katika sekta mbalimbali na hasa serikali za mitaa.

- Fursa ya kupitia/evaluate mafanikio ya bajeti imeboreshwa.

Page 55: Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) ya Matumizi ya...1 Mapitio ya Matumizi ya Umma (PER) Makala kwa ajili ya Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar Limetayarishwa

55

Ahsanteni Sana