5

Click here to load reader

Tanzania Ijayo: Nini Maana Ya Uchumi Wa Gesi Asilia, 16 April 2015

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Tanzania Ijayo: Nini Maana Ya Uchumi Wa Gesi Asilia

Citation preview

  • 1

    TANZANIA IJAYO NINI MAANA YA UCHUMI WA GESI ASILIA (GAS ECONOMY)?

    Maana na lengo kuu na muhimu la kuingia ndani ya Uchumi wa Gesi Asilia (Gas Economy) ni kuitumia raslimali yetu ya Gesi Asilia kwa ajili ya kukuza uchumi kwa kasi kubwa na kwa kiwango kikubwa tukielekea kwenye lengo letu kuu na la msingi la kutokomeza umaskini, na nchi yetu (Tanzania) iwe ya kipato cha kati ifikapo Mwaka 2025.

    UTILIZATION OF THE

    NATURAL GAS

    Power generation: 3,000 MW

    LNG (Onshore)(Onshore)(Onshore)(Onshore)

    Smelting plants

    Cement industries

    Other industries

    Household (Homes)

    Motor vehicles (CNG)(CNG)(CNG)(CNG)

    Fertilizer production

    Methanol plants

    Plastics industries

    Other Petrochemical Industries

    Matumizi ya Gesi Asilia ni mengi. Mchoro wa hapo juu unaonyesha matumizi makuu kwa upande wetu (Tanzania): (1) uzalishaji wa umeme wa kufikia MW 3,000 ndani ya miaka mitatu, (2) chanzo cha moto (heat) viwandani (k.m. viwanda vya saruji na chuma) badala ya kuni na umeme wa gharama kubwa, (3) kupikia - majumbani, hotelini, migahawa, mashuleni, n.k., badala ya kuni na mkaa; (4) kutengeneza mbolea, (5) kwenye magari, (6) viwanda vya plastiki, (7) kuzalisha methanol (inayo matumizi mengi sana, k.m. utengenezaji wa rangi, vitu vya mbao, vifaa vya plastiki; kuendesha magari na ndege, hutumika kwenye camping stoves, na waste water treatment); and other petrochemical industries, (8) kuuza Gesi Asilia nje ya nchi (LNG=liquefied natural gas). Kwa hiyo Uchumi wa Gesi Asilia ndiyo INJINI KUU ya kuleta MAPINDUZI KWENYE UZALISHAJI (PRODUCTION REVOLUTION) ndani ya sekta nyingine za uchumi kilimo, ufugaji, uvuvi, utalii na viwanda. Kwa mara ya kwanza katika historia ya Taifa letu, tutakuwa na uhakika wa kupata: (i) Raslimali Fedha, (iii) Vituo (centres) na taasisi

  • 2

    (institutions) za Sayansi, Teknolojia na Ubunifu na (iii) Raslimali watu wenye elimu na taaluma zinazohitajika kufanya Mapinduzi ya Uzalishaji kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi, utalii, na viwandani. Uchumi utakua kutoka 7% hadi zaidi ya 10% - matokeo yake ni Taifa kuwa na uchumi mkubwa na imara. Taifa LITAJITEGEMEA na KUJIPANGIA MAENDELEO YAKE LENYEWE - maana yake ni AJIRA MPYA kwa wingi kwenye sekta zote za uchumi.

    GESI ASILIA NI UTAJIRI WA UHAKIKA

    Nchi 10 Duniani zenye Gesi Asilia (mashapo-reserves) nyingi ni: (1) Russia (1, 720 trillion cubic feet, tcf/ GDP per capita US$ 12,925), (2) Iran (1,187 tcf/US$ 5,183 ), (3) Qatar (885 tcf/ US$ 93,965), (4) Turkmenistan (618 tcf/US$ 8,270), (5) USA (348 tcf/US$ 54,596), (6) Saudi Arabia (304 tcf/US$ 24,454), (7) Iraq (226 tcf/US$ 6,164), (8) Venezuela (202 tcf/US$ 6,756), (9) Nigeria (180 tcf/US$ 3,298) na (10) Algeria (159 tcf/US$ 5,531). Nchi 10 kwa ukubwa wa kuuza au kusafirisha Gesi Asilia Duniani kwa Mwaka 2012 ni: (1) Russia (7.06 tcf/ GDP per capita US$ 12,925), (2) Norway (US$ 97,013), (3) Qatar, (4) Canada, (5) Netherlands, (6) Algeria, (7) Indonesia, (8) USA, (9) Malaysia (US$ 10,803) na (10) Australia (0.87 tcf/GDP per capita: US$ 61,219).

  • 3

    MAHITAJI YA GESI ASILIA DUNIANI (GLOBAL GAS DEMAND) Mwaka 2013, mahitaji (demand) ya Gesi Asilia Duniani yalikuwa takribani mita za ujazo trilioni 3.50 (sawa na 123.6 tcf). Inaonekana kwamba mahitaji ya Gesi Asilia Duniani yanazidi kuongezeka na ifikapo Mwaka 2019 mahitaji yatafikia mita za ujazo trilioni 3.98 (140.6 tcf), na ifikapo Mwaka 2020 mahitaji yatavuka mita za ujazo trilioni 4 (141.3 tcf) Gas is on its way to cross the 4, 000 bcm mark by 2020.

    International Energy Agency (IEA, 2014) inakisia kwamba mahitaji ya nishati Duniani yataongezeka kwa 37% ifikapo Mwaka 2040, na vyanzo vikuu vya nishati vitakuwa ni mafuta (oil), gesi asilia (gas), makaa ya mawe (coal) na vyanzo vingine vyenye carbon kidogo (low-carbon sources). IEA inakadiria takribani Giga Watt (GW) 7,200 zitahitajika ili kuendana na mahitaji ya nishati Duniani ifikapo Mwaka 2040.

    Japokuwa nishati ya nuklia (global nuclear power capacity) itaongezeka kwa 60%, kutoka GW 392 Mwaka 2013 hadi GW 620 Mwaka 2040, bado mitambo takribani 200 (nuclear reactors) kati ya 434 iliyokuwa inafanya kazi kufikia Desemba 2013 (ipo Europe, USA, Russia na Japan), itafungwa ifikapo Mwaka 2040. Kwa hiyo mahitaji ya Gesi Asilia yatakuwa makubwa kuziba upungufu utakaotokana na mapengo ya nishati ya nuklia, n.k.

    Gesi Asilia itahitajika Duniani kote kuliko vyanzo vingine vya nishati (fossil fuels). Matumizi ya Gesi Asilia ifikapo Mwaka 2040 yameonyeshwa kwenye mchoro wa duara hapo juu. Mahitaji makubwa Duniani (2040) ya Gesi Asilia yatakuwa ni kuzalisha umeme (37%). Kwa bahati nzuri Tanzania tunayo Gesi Asilia nyingi na makaa ya mawe kwa ajili ya uzalishaji wa umeme na matumizi mengine.

    UTAJIRI WA GESI ASILIA NCHINI MWETU (TANZANIA)

    Wenzetu wameweza kwa nini Tanzania yenye 55.08 tcf (April 2015) ishindwe? Kuna uhakika wa mashapo (reserves) kuongezeka, hasa kwenye blocks zetu za Kusini, karibu na mpaka wa Tanzania na Msumbiji; na zile za Kaskazini. Tukiendelea kutafuta Gesi Asilia na Mafuta kwa umakini na utulivu mkubwa, tutavuka mashapo (reserves) ya 100 tcf miaka michache sana ijayo. BIASHARA KUBWA YA GESI ASILIA: LIQUEFIED NATURAL GAS (LNG) LNG ni Gesi Asilia (predominantly methane) iliyogeuzwa kuwa kimiminika (liquid) kwa kupozwa hadi nyuzi 162 chini ya zero (-162C) kwa sababu ya kurahisisha utunzaji (storage) na usafirishaji (transport). Liquefied natural gas (LNG) is natural gas (predominantly methane, CH4) that has been converted to liquid form for ease of storage or transport. It takes up about 1/600th the volume of natural gas in the gaseous state. It is odorless, colorless, non-toxic and non-corrosive.

  • Mtambo wa kwanza wa LNG Duniani ulijengwa Arzew, Algeria Mwaka 1964 Sospeter Muhongo alihakikisha Wizara ya Nishati na Madini ya Tanzania inakuwa na ushirikiano na Wizara ya Nishati ya Algeria ili kujifunza kutoka kwao (Algeria).kabisa kutumia kuni na mkaa Tanzania Ijayo tunaelekea huko

    Kampuni ya SHELL imebashiri kwamba mahitaji ya LNG yataongezeka kwa kiasi cha 5% kwa mwaka, ikiwa ni 16% ya jumla ya mahitaji 2011 mahitaji ya LNG yalikuwa takribani tani milioni 250, yataMwaka 2020 na ifikapo Mwaka 2025 milioni 500. Asia na Mashariki ya Kati zitaongoza kwa kuwa na mahitaji makubwa, na nchi zitakazokuwa zinaachana na

    Kwa sasa Qatar ndiyo nchi inayozalisha LNG nyingi DunianiLNG ya Dunia). Angola ilianza uzalishaji Mwaka 2013. Mwaka 2020.

    TANZANIA KUJENGA LNG

    Tanzania italazimika kujenga mitambo ya LNG iwapo tutaamua kuingia kwenye Uchumi wa Gesi Asilia kama inavyotakiwa wake ni mkubwa sana, na kwa hapa nchini,waliosoma Andiko la Tanzania Ijayo

    4

    Duniani ulijengwa Arzew, Algeria Mwaka 1964 ndiyo maana Prof Sospeter Muhongo alihakikisha Wizara ya Nishati na Madini ya Tanzania inakuwa na ushirikiano na Wizara ya Nishati ya Algeria ili kujifunza kutoka kwao (Algeria). Nchini Algeria wameacha

    Tanzania Ijayo tunaelekea huko huko kwa kasi kubwa

    imebashiri kwamba mahitaji ya LNG yataongezeka kwa kiasi cha 5% kwa mwaka, ikiwa ni 16% ya jumla ya mahitaji yote ya Gesi Asilia Duniani. Mwaka

    yalikuwa takribani tani milioni 250, yatafikia tani milioni 400 Mwaka 2020 na ifikapo Mwaka 2025 yatakuwa maradufu na kufikia takribani tani milioni 500. Asia na Mashariki ya Kati zitaongoza kwa kuwa na mahitaji makubwa, na nchi zitakazokuwa zinaachana na nishati ya nuklia (nuclear power).

    ndiyo nchi inayozalisha LNG nyingi Duniani (5.5 tcf, takribani 25% ya Angola ilianza uzalishaji Mwaka 2013. Australia itaipiku

    italazimika kujenga mitambo ya LNG iwapo tutaamua kuingia kwenye Uchumi wa Gesi Asilia kama inavyotakiwa hii ndiyo biashara kuu ya Gesi Asilia na uwekezaji

    , na kwa hapa nchini, unaweza kufikia US$ 2-3 bilioni. Tanzania Ijayo Document No. 1: TANZANIA YAJITAYARISHA

    ndiyo maana Prof Sospeter Muhongo alihakikisha Wizara ya Nishati na Madini ya Tanzania inakuwa na ushirikiano

    Nchini Algeria wameacha kwa kasi kubwa

    imebashiri kwamba mahitaji ya LNG yataongezeka kwa kiasi cha ya Gesi Asilia Duniani. Mwaka

    tani milioni 400 fikia takribani tani

    milioni 500. Asia na Mashariki ya Kati zitaongoza kwa kuwa na mahitaji makubwa, na

    takribani 25% ya Australia itaipiku Qatar ifikapo

    italazimika kujenga mitambo ya LNG iwapo tutaamua kuingia kwenye Uchumi hii ndiyo biashara kuu ya Gesi Asilia na uwekezaji

    3 bilioni. Kwa wale TANZANIA YAJITAYARISHA

  • KUINGIA KWENYE UCHUMI WA GESI ASILIA Prof Muhongo aliouweka wa kusomesha vijana wa Tanzania kwenye kiwango cha Diploma (technicians), Masters na PhDya Mafuta na Gas Asilia (Oil & Gas experts)sheria, na uhasibu (including auditing)

    Ujenzi na uendeshaji wa mitambo hii ya LNG (picha) inahitakwa Tanzania Ijayo lazima tusomeshe na kuelimisha vijana wetu kwenye mambo haya.

    TANZANIA IJAYO: UCHUMI UHAKIKA,

    Document No.10, Tarehe:16 April 2015

    5

    KUINGIA KWENYE UCHUMI WA GESI ASILIA (10 Februari 2015) wataona umuhimu wa kusomesha vijana wa Tanzania kwenye kiwango cha

    Masters na PhD (specializations in Oil & Gas) kwenye mambo ya Mafuta na Gas Asilia (Oil & Gas experts), hasa kwa upande wa sayansisheria, na uhasibu (including auditing) wa Gesi Asilia na Mafuta.

    Ujenzi na uendeshaji wa mitambo hii ya LNG (picha) inahitaji wataalamu wa uhakika na kwa Tanzania Ijayo lazima tusomeshe na kuelimisha vijana wetu kwenye mambo haya.

    TANZANIA IJAYO: UCHUMI MKUBWA NA IMARA, AJIRA ZA UHAKIKA, NA TAIFA LINALOJITEGEMEA

    Tarehe:16 April 2015

    wataona umuhimu wa kusomesha vijana wa Tanzania kwenye kiwango cha

    kwenye mambo , hasa kwa upande wa sayansi, uhandisi,

    ji wataalamu wa uhakika na kwa Tanzania Ijayo lazima tusomeshe na kuelimisha vijana wetu kwenye mambo haya.

    , AJIRA ZA