Transcript
Page 1: Visual aid for seeking informed consent on ‘What is killing my cow?’ project, Tanzania

A B

C D

E F

J e , n i n i k i n a c h o u a n g ’ o m b e w a n g u ?

Katika sehemu ya kwanza ya mradi, wakulima walisema wanataka kujua zaidi ni nini kinachofanya ng’ombe wao kugonjeka.

Tutachukua sampuli za maziwa Kwa njia Safi, isiyo na madhara na kupunguza hatari au nafasi ya maambukizi.

Ikihitajika, tutazuia ng’ombe ardhini kutumia kamba.

For use in seeking informed consent on the ‘What is killing my cow’ project, Tanzania.

Tutachukua sampuli za damu, kwa njia safi, isiyo na madhara na kupunguza hatari au nafasi ya maambukizi.

Wahusika hawata pokea pesa au dawa Kama malipo, ingawa wakulima watapata mawaidha kuhusu ng’ombe wagonjwa kutoka Kwa daktari wa mifugo bila malipo.

Mkulima atachagua kati ya ng’ombe moja hadi tatu wagonjwa kama sampuli, na kundi linalosalia litachunguzwa kwa umbali.

This document is licensed for use under a Creative Commons Attribution-Noncommercial-Share Alike 3.0 Unported License (March 2014)