1
A B C D E F Je, nini kinachoua ng’ombe wangu? Katika sehemu ya kwanza ya mradi, wakulima walisema wanataka kujua zaidi ni nini kinachofanya ng’ombe wao kugonjeka. Tutachukua sampuli za maziwa Kwa njia Safi, isiyo na madhara na kupunguza hatari au nafasi ya maambukizi. Ikihitajika, tutazuia ng’ombe ardhini kutumia kamba. For use in seeking informed consent on the ‘What is killing my cow’ project, Tanzania. Tutachukua sampuli za damu, kwa njia safi, isiyo na madhara na kupunguza hatari au nafasi ya maambukizi. Wahusika hawata pokea pesa au dawa Kama malipo, ingawa wakulima watapata mawaidha kuhusu ng’ombe wagonjwa kutoka Kwa daktari wa mifugo bila malipo. Mkulima atachagua kati ya ng’ombe moja hadi tatu wagonjwa kama sampuli, na kundi linalosalia litachunguzwa kwa umbali. This document is licensed for use under a Creave Commons Aribuon-Noncommercial- Share Alike 3.0 Unported License (March 2014)

Visual aid for seeking informed consent on ‘What is killing my cow?’ project, Tanzania

  • Upload
    ilri

  • View
    361

  • Download
    5

Embed Size (px)

DESCRIPTION

This poster was prepared in October 2013 by Tarni Cooper (concept and text), James Wakhungu (translation) and Timothy Hall (cartoons and design) as part of the ‘What is Killing my Cow?’ project in Tanzania. It was one of three communication tools used for seeking informed consent, which were tested and compared, for participant comprehension (of project information) and engagement with the consent process.

Citation preview

Page 1: Visual aid for seeking informed consent on ‘What is killing my cow?’ project, Tanzania

A B

C D

E F

J e , n i n i k i n a c h o u a n g ’ o m b e w a n g u ?

Katika sehemu ya kwanza ya mradi, wakulima walisema wanataka kujua zaidi ni nini kinachofanya ng’ombe wao kugonjeka.

Tutachukua sampuli za maziwa Kwa njia Safi, isiyo na madhara na kupunguza hatari au nafasi ya maambukizi.

Ikihitajika, tutazuia ng’ombe ardhini kutumia kamba.

For use in seeking informed consent on the ‘What is killing my cow’ project, Tanzania.

Tutachukua sampuli za damu, kwa njia safi, isiyo na madhara na kupunguza hatari au nafasi ya maambukizi.

Wahusika hawata pokea pesa au dawa Kama malipo, ingawa wakulima watapata mawaidha kuhusu ng’ombe wagonjwa kutoka Kwa daktari wa mifugo bila malipo.

Mkulima atachagua kati ya ng’ombe moja hadi tatu wagonjwa kama sampuli, na kundi linalosalia litachunguzwa kwa umbali.

This document is licensed for use under a Creative Commons Attribution-Noncommercial-Share Alike 3.0 Unported License (March 2014)