27
لية مشتركة ظواهر دحمد يوسف مصطفى م72 Arusi ya Buldoza

Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

  • Upload
    others

  • View
    10

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

72

Arusi ya Buldoza

Page 2: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

72

1

Arusi ya Buldoza

2

Page 3: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

72

Uhalisia Mazingaombwe

UhalisiajabuMbatiah

“Istilahi hii inatumiwa kuelezea mkondo wa uandishi ambapo

mazingira, matendo na matukio ya kifantasia husawiriwa kwa kuiga

mtindo wa uhalisia, yaani kwa kuyaeleza kwa njia ya moja kwa

moja kana kwamba ni mambo ya kawaidaia… Uhalisia wa

kimaajabu huhusishwa zaidi na nchi zinazoendelea kutoka bara la

Afrika, Marikani ya Kusini na Asia.”3

“Dhana hii huhusishwa na waandishi wa Marekani ya Kusini

au hata nchi zinazoitwa ulimwengu wa tatu.”4

Page 4: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

03

“Yale mambo ambayo hutokea pale ambapo mandhari na

matukio ya kihalisi yanavamiwa na jambo ambalo ni la ajabu mno na

ni vigumu kuaminika.”5

Nagona

1990Mazingile1991Kezilahabi

Babu Alipofufuka2001Sadiki Ukipenda

2002Hadithi ya Buldoza2005

Dunia yao2006Said A. Mohamed

Bina-Adamu2002Mayai Waziri Wa Maradhi

2004 Wamitila

Kufikirika1946

Kusadikika19511960

Page 5: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

03

Kurwa na DotoMzimu wa watu

wa kale1969

Kinjeketile1971Mashitani

Senkoro

“Uhalisiamazingaombwe katika fasihi ya Kiswahili: Istilahi mpya,

mtindo mkongwe”6

Evans

M. MbuthiaP. I. Iribemwangi

“An Analysis of Stylistic Trends in Published Kiswahili Short Story

Genre”

“The dichotomy between oral literature and written literature

does not always hold. This is because written literature has borrowed

many aspects from oral literature such as character types; that is the

use of animal characters some of whom have super human powers.

Some critics have classified some of the stories following this style

as falling in the category of magic narratives .”7

Page 6: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

07

8

“(Dhana hii) Hutambulishwa na sifa mbalimbali. Sifa hizi ni za

kuyaeleza matukio ya kifantasia au ya kiajabu au kichawi kwa

namna ya moja kwa moja, kwa maana inayoyafanya yaonekane

kama ya kawaida tu. Mpaka uliopo kati ya mambo yanayoweza

kupatikana katika ulimwengu halisi na yasiyowezekana huwa mdogo

sana.”9

Page 7: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

00

10

Njozi /FantasiaUhalisiafifi

Njozi

/Fantasia

“Hii ni dhana inayotumiwa kuelezea kazi ya kifasihi ambayo ina sifa

ambazo zinakiuka uhalisi.”11

Uhalisiafifi

“Lengo hasa la mkondo huu ni kuusawiri uhalisi tofauti na uhalisi wa

kimantiki”12

Mwangi

“Uhalisiajabu umefungamana na sanaajadi kama vile visasili.

Visasili ni hadithi zinazoeleza asili ya watu na matukio fulani. Matukio

hayafuatani kimantiki kama ilivyo kawaida. Mtindo wa baadhi ya tanzu za

fasihi simulizi hutumika. Jambo hili hufanywa kwa kumpeleka msomaji

Page 8: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

03

kwenye safari ya hali na matukio ya kikweli na yanayowezekana. Aidha,

wasanii hutumia mbinu ya ukumbukaji, mbinu rejeshi, mtiririko wa urazini

na ujenzi wa wahusika wenye nafsi mbili.”13

“Uhalisiamazingaombwe ni mtindo wa kifasihi unaokutanisha uhalisi

na mambo ambayo kwa kawaida si ya kiuhalisi. Mambo hayo ni kama

sitiari ambayo inasubiri kupasuliwa ili tuzikute humo taswira na ishara

zinazowakilisha uhalisi. Kwa maana hiyo basi, Uhalisiamazingaombweni

makutano ya uhalisi wa kawaida na uhalisi uliojificha katika sitiari.”14

WafulaNjogu

Page 9: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

03

“Hali za kushangaza na kuogofya huwasilishwa kama kwamba ni za

kawaida. Katika uhalisiajabu ndoto na uhalisi vinachanganywa. Pamoja na

haya, mipaka yote huvujwa. Hata wakati nao pia hausongi.” 15

Mwangi

MjakaKilua

(1) Wanjiru, Mwangi Jedidah, op.cit, p. 14.

Page 10: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

03

“Arusi ya Buldoza si hadithi niliyoiandika mwanzo kamwe. Kusema

kweli nimeiandika mwaka 2002 na wala haijapata kusomwa idhaani.

Lakini imepata heshima katika mkusanyo huu kuja mwanzo, kwani anuani

yake ni yenye mnaso wa kuweza kuzisimamia hadithi zote za mkusanyo

mzima. Tena imepata nafasi ya kutumika kama anuani kwa sababu ya

mtindo wake wa Uhalisiamazingaombwe, mtindo unaozidi kuwa maarufu

katika fasihi ya Kiswahili. Na kwa hivyo hadithi hii inawakilisha kielelezo

cha kubadilika kwangu.”16

2002

Page 11: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

02

Mtoni141996

19902000

17

“Nje, sondo linarindima, la ndovu kumla mwanawe! Wanawake

wanatupa viuno vyao visivyo mifupa chini, baada ya kuvirusha juu kutoa

moshi na mvuke na kisha kuvibwaga ardhini, na baadaye hao - kwa

uchawi - huvizoazoa na kuvibandika na kuanza kuvisuka tena.”18

Page 12: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

02

“Kijumba cha mawe kizuri kimevikwa kofia ya bati. Cha fahari

kubwa kwa Mjaka na fahari katika mazingira haya kilimochipua!

Kakijenga kwa kucha na meno na kukitomea kwa mate ya mchwa. Leo

ndiyo leo na leo ndiyo hivyo tena, kimejaa kelele zinazong'ong'a na

kuvuma kama mzinga wa nyuki badala ya kichuguu cha mchwa. Mara

nyingine kelele zilipanda juu kuvuka ng'ambo hai kwenda dunia ya wafu

kuwaamsha wahenga kuja kushiriki arusi ya kinying'inya chao.”19

Page 13: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

02

“Kijumba cha Mjaka kimeinamishwa. Tayari kimeshayeyukia

vijumba vingine. Tayari kimeshatambaa na kushikana na vibanda vingine

vyote. Kila kitu kimeingia kwenye mlolongo wa tafrija, na mlolongo

umeshakuwa mlizamu mmoja unaomwaga maji pande mbili: ingia toka,

pishapisha, sumilesumile, hebu nipite, hebu nipishe…”20

Page 14: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

33

“Kijumba cha Mjaka kimeinamishwa”21

“Cha fahari kubwa kwa Mjaka na fahari katika mazingira haya

kilimochipua!”22

Page 15: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

33

“Kiteremko cha kijani kilichofumbatwa na machaka na vichaka

kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu

inayosimama cheni kwenye shwari au kuyumbayumba na kuwayawaya

makuti yake wakati wa upepo ama dhoruba. Na mbele ya pale, upeo wa

Bahari ya Hindi usio mwanzo wala mwisho, yenye kubadilisha mandhari

yake yenyewe na mandhari ya kila kitu katika ujirani wake - na tabia yake

isiyoaminika kama mwendawazimu.”23

Page 16: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

37

“Amegotama anagusa mbingu na huko hupata nafasi ya kuzungumza

na vizuu vya wahenga wake. Navyo humwasa, humkanya, humkaripia au

humsifu kwa hatua aliyochukua.”24

“Mara nyingine kelele zilipanda juu kuvuka ng'ambo hai kwenda

dunia ya wafu kuwaamsha wahenga kuja kushiriki arusi ya kinying'inya

chao.”25

Page 17: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

30

Pemba26

Unguja

“Naye Mjaka akajitwika jukumu kwa ari na nia. Akafanya kazi

kama mwehu. Akajikosesha raha. Akajinyima wakati na usingizi.

Akajifunga kiguu na njia.”27

Akajifunga

kiguu na njia

Page 18: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

33

“Juu ya kilele cha kijilima ndipo ukomo unapomfikisha anapokuwa

na mshawasha na wasiwasi ndani ya moyo wake. Ameshafika hapo mara

milioni moja katika maisha yake, tokea kusuhubiana napo. Anapapenda.

Anapapenda kwa mengi.”28

“Amegotama anagusa mbingu na huko hupata nafasi ya kuzungumza

na vizuu vya wahenga wake. Navyo humwasa, humkanya, humkaripia au

humsifu kwa hatua aliyochukua.”29

Page 19: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

33

“Aaa, Kilua! Mwanamke mpya kwelikweli! Uzuri wake mnato wa

asali na utajiri wa sifa zake ukoko wa malai. Miaka yote hii amemtingisha

na kumsukasuka na kumtisha Mjaka kwa harakati za mapenzi. Njoo, siji!

Njoo, siji! Na hatimaye kaja! Kaja kwa njia ya ajabu. Kawaacha matajiri

wakubwa, wafanya biashara wazito na wanasiasa watishaji. Kaja kwa

Mjaka aliyejenga kijumba kizuri kwa mate ya mchwa! Kaja bila ya hofu

ya ukalimoto wa wazee wake wala woga wa masimango ya dunia. Ama

kweli mwanamke huyu mpya anayethammi mapenzi badala ya kwasi na

fedha. Nani mwingine zaidi yake?”30

Kilua

31

“Ilikuwa harufu ya kilua”32

kilua

Page 20: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

33

“Alipelekea mkono akakata kikonyo cha ua la kilua, akakipandisha

kikonyo puani pake na kujaza tena mapafu yake pumzi tele. Kisha

'fyyyyu', alitoa pumzi za raha nje. Mirindimo ya tutu, kinganga, msondo na

sauti za nyimbo za wanawake zilizopaa juu hewani kutoka nyumbani

kwake zilimfuata hapo alipo na kumwingia masikioni na moyoni

waziwazi.33

Matalai ShamsiBiti

“Hakutaka kufikiri vyovyote vingine kuliko Kilua, kuliko arusi ya

yeye na Biti Matalai Shamsi.”34

35

Page 21: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

32

“Wanatuvunjia nyumba na kutupiga kwa sababu sisi tunaunga

mkono chama cha haki.”36

“Mtibuko wa ndani kwa ndani kwenye nafsi yake sasa umemsimamia

waziwazi usoni pake Mjaka. Kwa hakika umekuwa ukimsimamia namna

hii karne nzima ya maisha yake. Ila leo ndindindi umeinuka wima

kumchagiza. Umeshafika unapotaka kutua?Labda sasa utapoa na

kupumzika!

"Kuna kupoa na kupumzika katika dunia hii?" Alijibu kinywa kipana

Mjaka.

Aaaa, sijui! Sauti yake ya ndani kwa ndani ilimwambia.”37

Page 22: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

32

1

2

3

Page 23: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

32

4

Mtoni

5

6

Page 24: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

33

2002

1619 WWW.kotobarabia.com1462015

6

2002

11995

82003

BAKIZA, Kamusi la Kiswahili Fasaha, Kenya, Oxford

University press, 2010.

Mbatiah, Mwenda, Kamusi ya Fasihi, Kenya, Nairobi, Standard

Textbooks, 2002.

Mbuthia, Evans M. & Iribemwangi, P. I., “An Analysis of

Stylistic Trends in Published Kiswahili Short Story Genre”,

Journal of Education and Practice, Vol.5, No.8,2014,Online:

http://www.iiste.org/Journals/index.php/JEP/article/view/11638/1

1981

Mohamed, Said A., “Arusi ya Buldoza na hadithi nyingine”

Kenya, Nairobi, Longhorn Publishers, Chapa cha Kwanza 2005.

Njogu, K & Wafula,R.M., Nadharia za Uhakiki wa Fasihi,

Nairobi. Jomo Kenyatta Foundation, 2007.

Senkoro F.E.M.K., “Uhalisiamazingaombwe katika fasihi ya

Kiswahili: Istilahi mpya, mtindo mkongwe”, Kioo cha Lugha,

Vol.5, No.1, 2007,Tanzania, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,

TATAKI. Idara ya Kiswahili.

Page 25: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

33

Wamitila K.W., Kamusi ya Fasihi Istilahi na Nadharia, Kenya,

Nairobi, East African Education Publishers Ltd, 2003.

Wanjiru, Mwangi Jedidah, Uhalisia Na Uhalisiajabu Katika

Riwaya Mpya Babu Alipofufuka (Said Ahmed Mohamed Na

Watu Wa Gehenna (Tom Olali), Tasnifu Hii Imetolewa Ili

Kutosheleza Baadhi Ya Mahitaji Ya Shahada Ya Uzamili Katika

Idara Ya Isimu Na Lugha, Chuo Kikuu Cha Nairobi, 2013.

1

،2002دباد القاهرة، دار سن

1619WWW.kotobarabia.com م.14/6/2015بتاريخ

282003256

(3) Mbatiah, Mwenda, Kamusi ya Fasihi, Kenya, Nairobi, Standard Textbooks, 2002, uk.60.

(4) Wamitila K.W., Kamusi ya Fasihi Istilahi na Nadharia, Kenya, Nairobi, East African Education Publishers Ltd, 2003, uk.274.

5 F.E.M.K. Senkoro, “Uhalisiamazingaombwekatika fasihi ya

Kioo cha Lugha, Vol.5, ”,Kiswahili: Istilahi mpya, mtindo mkongwe

, TATAKI. Kikuu cha Dar es Salaam Tanzania, Chuo 8,No.1, 2007, p.

Idara ya Kiswahili.

(6)Ibid, pp. 1-10.

7 Evans M. Mbuthia & P. I. Iribemwangi, “An Analysis of Stylistic

Trends in Published Kiswahili ShortStory Genre”, Journal of

Education and Practice, Vol.5, No.8, 2014, p. 41. Online:

http://www.iiste.org/Journals/index.php/JEP/article/view/11638/11981

3082015

8

6

2002182

(8) Wamitila K.W., op.cit, p.274.

9 2426.

(10) Wamitila K.W., Op.cit, p.170.

Page 26: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

37

(11) Ibid, p.273. (12) Wanjiru, Mwangi Jedidah, Uhalisia Na Uhalisiajabu Katika Riwaya

Mpya : Babu Alipofufuka (Said Ahmed Mohamed )Na Watu Wa Gehenna (Tom Olali), Tasnifu Hii Imetolewa Ili Kutosheleza Baadhi Ya Mahitaji Ya Shahada Ya Uzamili Katika Idara Ya Isimu Na Lugha, Chuo Kikuu Cha Nairobi, 2013, uk. 14.

13 F.E.M.K. Senkoro, op.cit, p.8,

(14) Njogu, K & Wafula,R.M., Nadharia za Uhakiki wa Fasihi, Nairobi. Jomo Kenyatta Foundation, 2007, pp.113, 114.

(15) Wanjiru, Mwangi Jedidah, op.cit, p. 14.

16 Mohamed, Said A., “Arusi ya Buldoza na hadithi nyingine” Kenya,

Nairobi, Longhorn Publishers, Chapa cha Kwanza 2005. P. x.

(17) http://www.tzaffairs.org/1996/09/politics-mkapa-mrema-amour-

hamad/

1292015 .

18 Mohamed, Said A., op.cit, p. 1.

19 Ibid, p. 2.

20 Ibid, p. 1.

21 Ibid.

22 Ibid, p. 2.

23 Ibid, p. 4.

24 Ibid.

25 Ibid, p. 2.

26

492015

27 Ibid, p. 3.

28 Ibid, p. 4.

29 Ibid.

30 Ibid. p.3.

Page 27: Arusi ya Buldozadspace.iua.edu.sd/bitstream/123456789/544/1/لواقعية السحرية في...kabakaba na mwisho usawa wa ardhi uliotonewa minazi mirefu inayosimama cheni kwenye

مصطفى محمد يوسف ظواهر داللية مشتركة

30

(31) BAKIZA, Kamusi la Kiswahili Fasaha, Kenya, Oxford University

press, 2010, uk. 170.

32 Mohamed, Said A., Op.cit, .p. 6.

33 Ibid.

34 Ibid., p. 4.

(35) Bertoncini, E.Z., Outline of Swahili Literature: Prose fiction and drama, Leiden-

Boston, E.J.Brill, 1989, p 20.

36 Mohamed, Said A., Op.cit, p. 8.

37 Ibid. p. 2,3.